Dini ya kweli... Franc Onyango Vs yusuf wambugu

  Рет қаралды 12,624

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

Күн бұрын

Пікірлер: 85
@MeshackMongeri-nu8yx
@MeshackMongeri-nu8yx Жыл бұрын
Ndacha leo hii mungu akuongoze ulete wengi kwa mukombozi yesu
@presenttruthloudcryforthel5338
@presenttruthloudcryforthel5338 2 жыл бұрын
Hallelujah Bwana apewe sifa sana.tunafurahi jinsi Roho wa Mungu anavyozidi kuwaongozaa
@mwanamkemwebrania9530
@mwanamkemwebrania9530 2 жыл бұрын
Mwl Onyango Mungu akubariki sana pamoja na team nzima ya Biblia nuru ya INJILI pamoja na Watumishi wote mnaofanya kazi hii njema shambani mwa Bwana. Mungu awalinde na kuwahifadhi kwaajili ya utukufu wake katika jina la YESU
@lewismurithi9578
@lewismurithi9578 2 жыл бұрын
Hakika walimu wa kiislam u Wana elimu ila ya walimu wa wakristo elimu Yao imetoka juu Kwa Mungu surely victory belongs to Jesus
@ZeinabHassan-n4r
@ZeinabHassan-n4r Жыл бұрын
Masha Allah may Allah blessed sheikh yusuf...May Allah s.w reward him with jannatul firdos insha Allah
@beatricemutambala3972
@beatricemutambala3972 2 жыл бұрын
Moto umewaka kabisa Mungu awabariki watumishi wa Mungu mutavikwa taji mbinguni kwaiyo kazi.waislamu okokeni jamani yesu ninjia ya kweli na uzima
@ajaliyamorogoroinaniliza3607
@ajaliyamorogoroinaniliza3607 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Pastor Onyango , na team Biblia Nuru Ya Dunia. Kwa kuonyesha hawa ndugu zetu njia uzima wa milele. Ila pastor Onyango umefanana kila kitu na Pastor Ndacha.
@robbinjacks7744
@robbinjacks7744 2 жыл бұрын
mwalimu ndacha,paul hassan pamoja na franc onyango huwa ni kiboko yao githurai kitaeleweka mungu azidi kuwabariki na azidi kuwapa nguvu
@navokisembo
@navokisembo 2 жыл бұрын
Hallelujah Yesu no njia an kweli na uzima. Barikiweni saana watumishi wa Mungu aliye hai. Ndacha na team yako Mungu awalinde
@domnia6980
@domnia6980 2 жыл бұрын
Thank you Ndacha kwa kuandaa mwalimu Onyango.I was worried you were alone in this fight.
@elishamatae9705
@elishamatae9705 2 жыл бұрын
Haha ndacha amefanya recruitment nimeona kijana mwingine anaongea kiarabu utadhani ni jini haha lakini sahii iko sawa
@domnia6980
@domnia6980 2 жыл бұрын
@@elishamatae9705 utadhani ni jini😀😀😀
@judithmoturi3402
@judithmoturi3402 2 жыл бұрын
Let me say Amen 🙏,mada yenye imeenda shule,Anwar must watch this,Baba wa mbinguni awabariki🙏
@peninahkariuki1136
@peninahkariuki1136 2 жыл бұрын
Ameen Yesu Kristo ndio njia.Be blessed Man of God Ndacha and your Team 🙏🙏
@domnia6980
@domnia6980 2 жыл бұрын
Quran 1071 Allah the Muslim God pia ataelekea jehanum.wao husema mungu wao hana mfano...ilhali ni kiwete mwenye mguu mmoja.
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p Жыл бұрын
Maashaallah tabarakallah walim wetu Allah amfanyie wepesi kueneza dini ya Allah
@ramazecha2877
@ramazecha2877 2 жыл бұрын
Mbna wakiristo Leo hamcoment Kwa wingi najivunia kua muislamu alhdhulahi
@thomasalchannel1135
@thomasalchannel1135 2 жыл бұрын
Wengi tulicomment ikiwa live so don't Worry.Christ is the Only True Way to Receive Eternal Life.
@mussai.sillas3796
@mussai.sillas3796 2 жыл бұрын
Asante Ndacha na kikosikazi chako. Niko DODOMA Tanzania
@nicholasmurithi6293
@nicholasmurithi6293 2 жыл бұрын
Chapa kazi muzugayi mungu akubariki
@thomasalchannel1135
@thomasalchannel1135 2 жыл бұрын
COMBINATION YA NDACHA, PAULO NA FRANK IKO POA SANA.WATUBU & WABATIZWE HAO WAPINGAJI.KRISTO AWAINUE.HALLELUJAH
@khalfanifarisy8313
@khalfanifarisy8313 2 жыл бұрын
Tatizo hamtumii akiri mnaburuzwa tu. Wenzenu waliotumia akiri washasilimu na wengine wanaendelea.
@thomasalchannel1135
@thomasalchannel1135 2 жыл бұрын
@@khalfanifarisy8313 Kati ya Mathayo,Marko,Luka, Yohana na Wengine Waliokuwa na Yesu Washatueleza ukweli .Sina haja ya kufuata Mpumbavu na Mkora aliyekuja miaka Mia Sita baadaye.IBAADA YA MAJINI NA SHETANI HATUINGII🔥🔥🔥
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 2 жыл бұрын
Ndacha na Onyango,na msomaji wao the great, strong bad fearless 💪 💪 combination kwa unabii na uislamu
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p Жыл бұрын
Yesu alisema muabudun Mungu wangu nae n Mungu wenu
@ramazecha8862
@ramazecha8862 2 жыл бұрын
Makafiri hamna hoja juu ya uislamu najivunia kua muislamu coz ndio dini pekee kwa mungu inayotambulika
@ramazecha2877
@ramazecha2877 2 жыл бұрын
Mashalah mashekh wetu yusuph wambogo uko vzuri sana hyo ndacha ni kafiri mueleweshe tu aelewe
@richardkisebu9650
@richardkisebu9650 2 жыл бұрын
Unajua maana ya "kafiri"..yani ndio maana sipendi uislamu.matusi na fujo
@fredrickgitonga1972
@fredrickgitonga1972 2 жыл бұрын
Maana ya neno kafiri ni kile kilicho kuja nyuma kupinga kilicho tangulia
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 2 жыл бұрын
@Rema, for your information makafiri ni wapingaji waliokuja kuja kupinga chenye kilitangulia. Kwa hivyo MAKAFIRI ni allah, Qor'an, Mohammed na waislamu.. Kazi yenu ni kuitana makafiri na hamjui maana yake
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 2 жыл бұрын
@@richardkisebu9650 sio kupenda kwao, ni yule muovu. Mara pap, Ukiingia uislamu unajazwa na chuki sasa wanaitana makafiri ilhali hawajui maana yake.
@domnia6980
@domnia6980 2 жыл бұрын
@@rosemutinda3076 wachawi ni waislamu
@ramazecha2877
@ramazecha2877 2 жыл бұрын
Yaani kiboko ya ndacha ni hyu yusuph wambogo pongezi sna shekh wetu mungu akulinde hao makafiri wote wamepotea wakina ndacha na watu wake
@charlesjanuary1798
@charlesjanuary1798 2 жыл бұрын
Petro, Yohana, Mathayo, walikua waislam huu ni msiba
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 жыл бұрын
Masiba mzito sana kwa kweli
@monicabh1668
@monicabh1668 2 жыл бұрын
Uislamu bila uongoo sio dini follow them at your own risk ⚠️
@jm-dk3re
@jm-dk3re 2 жыл бұрын
True my sister I pity african.
@ramazecha8862
@ramazecha8862 2 жыл бұрын
Ukirsto wp umeandkwa kma ni dini ....ukafiri mtu kirsto ni mtu hla sio dini
@mwanamkemwebrania9530
@mwanamkemwebrania9530 2 жыл бұрын
TUNAWEZA MUHUBIRI YESU KRISTO PASIPO QR HAMUWEZI MTHIBITISHA MUHAMMAD MPAKA MUMTAFUTE KATIKA BIBLIA BAHATI MBAYA NI KWAMBA ANAPATIKANA KATIKA GROUP LA MANABII NA MITUME WA UONGO. UISILAMU NI JEHANUM ILIYO WAZI
@monicabh1668
@monicabh1668 2 жыл бұрын
Eti petro alikuwa muislamu 🤔🤔🤔
@ommy3617
@ommy3617 2 жыл бұрын
Ndacha Allah akuonakie uone ukweli upate kuwa mwislam inshallah...
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 жыл бұрын
Uislamu ni Dini iliyoanzishwa mwaka 610 na akina Waraka wakimtumia Muhammad
@ellyothim355
@ellyothim355 2 жыл бұрын
@frank and @ndacha, mwalimu wambugu amekonda, ninaeza omba mumfikishie health message
@nancybitutu7861
@nancybitutu7861 2 жыл бұрын
Waongo wanatambulika kwa maneno yao mengi ya mdomo na kutumia maandiko ya Bibilia vibaya. Uislamu ni balaa
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p Жыл бұрын
Nancy hamjui Mungu mnaemuabud mara yesu mara baba mara roho mtakatifu hamjielew
@mwoso
@mwoso 2 жыл бұрын
Samahani! Mbona akabatizwa
@amblozambloz8812
@amblozambloz8812 2 жыл бұрын
Hii mambo ya kusilimisha marehemu kuwa muislamu hatutaki...
@mwoso
@mwoso 2 жыл бұрын
Kama Yesu alikua muisilamu, je, mbona akabazwa? Ama tueleza wakati alisilimu kwa kutoa andiko. Swali la pili: Kati ya Muhammed na Yesu nani alitangulia hapa duniani? Tatu: mbona vitabu vya injili, saburi na agano la Kale haziko kwa qurani? Na Kati ya bibilia na quran , kipi kitabu kilicho tangulia?
@fredrickgitonga1972
@fredrickgitonga1972 2 жыл бұрын
Kwao kukujibu Hilo n vugumu
@domnia6980
@domnia6980 2 жыл бұрын
@@fredrickgitonga1972 wao wanaongozwa na mashetani quran1071 Allah wao pia ataelekea jehanam.
@annkuya1446
@annkuya1446 2 жыл бұрын
Wao hutumia uwongo ndio dini yao iimarike.bila uwongo hii dini yao haiwezi kuimarika maana Yesu alisema baba yao alikua muongo tangu mwanzo Na Hakusimama katika ukweli alipokua akitafuta wafuasi wake walio muasi Mungu.
@khalfanifarisy8313
@khalfanifarisy8313 2 жыл бұрын
@@domnia6980 hizo ni chuki tu. Nyie hamna tofauti na mayahudi makafiri wenzenu. Pesa ndo chanzo chakukufuru nyie. Endeleeni mtaenda kulipwa mnachotaka.
@domnia6980
@domnia6980 2 жыл бұрын
@@khalfanifarisy8313 chuki vipi ilhali imeindikwa na mtume wenu.why the double standard.Allah wenu Ana unyayo soma quran baba.huo unyayo atakua wa mwisho kuweka jehanum akiuliza"jee imejaa au ziada ije"kisha atachomwa wa mwisho.Allah ni kiumbe kiwete si mungu wa kweli.maandiko wazi.yesu ndie njia ya kweli.
@ZUHURAARABELLAHABDALLAH-gv2op
@ZUHURAARABELLAHABDALLAH-gv2op Жыл бұрын
KAZ NJEMA SANA
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
The Muslims ☪️ gentleman is just challenging fools who don't understand scriptures..we Christians we do read the bible verses together with other scriptures and the Holy spirit is helping us to understand as we do meditation But the Bproblem with Islam fellowship they do really on one side of a verse that's why they can't understand the bible in a flash mind
@dannyosolo2752
@dannyosolo2752 2 жыл бұрын
Yesu ni bwana
@suleimanmido2942
@suleimanmido2942 2 жыл бұрын
wakristo someni na muelewe, mbele ya Mungu hakuna dini ya ukristo
@mwanamkemwebrania9530
@mwanamkemwebrania9530 2 жыл бұрын
Ndipo ufahamu wako ulipoishia Bali sisi hatufahamu kwa kutumia akili ya muhammad
@annkuya1446
@annkuya1446 2 жыл бұрын
Dini inasaidia nini? Njia yangu ni Yesu pekee ya kunifisha alipo yeye juu mbinguni.
@CK-ii5cc
@CK-ii5cc 2 жыл бұрын
Nani alikwambia ukristo ni dini? Ukristo ni tumainii la pekee
@passlinemedia6657
@passlinemedia6657 2 жыл бұрын
Soma mark 9:41 wacha ubishi mzee
@paulnyakxx
@paulnyakxx 2 жыл бұрын
Hii ya leo ni ya kimataifa. Hata imeshinda ile mchezo Mazinge alikuwa nayo.
@ramazecha2877
@ramazecha2877 2 жыл бұрын
Yaani Leo kunamapambno ya kikweli
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
But I am still wondering with wambgo's body 🤔What happened to he's body 🤔
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 2 жыл бұрын
Tornando ameuliza swali simple sana, Yesu wao ni wa chini ya mtende ama wa Hori la ng'ombe?? lakini kwa sababu waislamu hawana elimu, wanapambana ili waingize Yesu kristo wa Biblia kwa Qor'an 🤣🤣
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 2 жыл бұрын
Sawa onyango
@bausifarouk1798
@bausifarouk1798 Жыл бұрын
Okay
@bustedislam3578
@bustedislam3578 2 жыл бұрын
Kwani huyu Yusuf amekuwa na shida gani mwilini? Amekonda sana
@theprinceaaron2553
@theprinceaaron2553 2 жыл бұрын
Niko Mombasa naitaji hicho kitabu, naweza pata wapi
@janenjenga5639
@janenjenga5639 2 жыл бұрын
Kwa Yeshua Messiah ni raha.dini ya majini na uchawi haina makao kwa Yahweh
@davidmghanga8502
@davidmghanga8502 Жыл бұрын
Mtu akisikia mafundisho ya kiislam na ukose kuwa makini utapotea maana Wana unjaja wa maandiko sana ya kusoma maandiko nusu na dhihaka nyingi ili kumpoteza anaesikia
@khalfanifarisy8313
@khalfanifarisy8313 2 жыл бұрын
Nyie mnachosubiri jehannamu. Kuanzia ndacha mpaka kafiri Paulo huyo.
@tabbygocho4127
@tabbygocho4127 Жыл бұрын
Waislam hawanahoja malalamishii to 🤣🤣🤣
@passlinemedia6657
@passlinemedia6657 2 жыл бұрын
Waislamu bila uongo hakuna kitu hapo 1st corinthians anza verse 14 ushuke. Nakama yesu hakufa waliolala katika yesu wamepotea . Mbona una soma nusu nusu?
@abdulwadud1001
@abdulwadud1001 2 жыл бұрын
M.a
@elishamatae9705
@elishamatae9705 2 жыл бұрын
Wambugu amekata weight sana amah ni majini
Russia expelled from the military base / A stab in the back
12:49
MCHUGAJI AKUTANA NA KIVUMBI  KATIKA MASWALI NA MAJIBU KATIKA DA-WAA BUSIA BORDER DAY 3 PART 1
56:28
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 7 М.
«Жат бауыр» телехикаясы І 30 - бөлім | Соңғы бөлім
52:59
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 340 М.
«Жат бауыр» телехикаясы І 26-бөлім
52:18
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 434 М.
MCHUNGAJI AKUTANANA WAKATI MNGUMU KATIKA MASWALI NA MAJIBU ISIOLO TOWN DAY ONE
35:35
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 4,1 М.
MUHADHALA AINA YA KUKURUKAKALA KATIKA MJI WA KIMILILI PART 3. (MASWALI NA MAJIBU) MPE MIC
48:06
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 9 М.
"JE YESU NI MWANA WA MUNGU?) NIKATIKA DA-WAA KEROGOYA TOWN KERINYAGA COUNTY PART 2
37:26
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 10 М.
MAZINGE VS NDACHA, Je yesu ni mtoto wa Mungu?
1:27:50
AL MUBAJJAL TV
Рет қаралды 32 М.