No video

#DIRA

  Рет қаралды 39,986

Channel ten

Channel ten

Күн бұрын

Пікірлер: 303
@jerryjanuary4198
@jerryjanuary4198 Жыл бұрын
Well understood Prof.that is international Investment Law
@irenealma6523
@irenealma6523 Жыл бұрын
Hongera sana margreth Itala Big up chanel 10 Kwa kipindi kizuri Tunahitaji vitu lishe kama hivi❤
@tukuyufm
@tukuyufm Жыл бұрын
pongezi sana dada
@yahyachande3009
@yahyachande3009 Жыл бұрын
Hongera Sana mzee Assadi nakuombea mungu akujaalie Afya njema na umri mreefu mzee wetu mzarendo wa taifa letu la Tanzania nakuombea kwa mola akupe nafasi uje uwe Rais wa nchi yetu
@universitylink
@universitylink Жыл бұрын
You have spoken well Prophessor may God Almighty increases your knowledge, health, age and wisdom so we can still benefit from you
@azizabdallah585
@azizabdallah585 Жыл бұрын
Asante Profesa....Matatizo ni hii serikali ya CCM ya Mh. Rais Samia imejaa WALA RUSHWA NA MAFISADI.
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
Dhana hiyo
@MwantumNdauga
@MwantumNdauga Жыл бұрын
Tibaijuka anachefua angekaa kimya enzi zake za pesa za nyanya kasahau?Asikilize NONDO za prof mwenzie
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 11 күн бұрын
Yeye je? Hao wala rushwa na mafisadi hajawaona? Kwa taarifa yako, Kwa mfumo tulio nao ni kwamba: 1. UKIYAONA MAZURI YASMIN HAKI, MAEBDELEO NAMENGINE KWENYE NCHI NI YA RAIS NI KWAMBA ANAHUSIKA, NA 2. UKIYAONA MABAYA UWIZI, RUSHWA NA UFISADI MWINGINE PIA NI YA RAIS ANAHUSIKA!!! HAWEZI KUKWEPA LAEAMA AU SIFA NJEMA.
@Ibnimohd-tr6qc
@Ibnimohd-tr6qc Жыл бұрын
Amaizing Pr Assad
@joyceitala3303
@joyceitala3303 Жыл бұрын
Hongera professor nimekuelewa .hongera chanel ten kwa kazi nzuri@margreth Itala
@innocentlethisia416
@innocentlethisia416 Жыл бұрын
shivji ni mtaalam wa sheria sasa si mchumi unatoa je?ufafanuzi juu ya jambo la kisheria?
@errydeo8865
@errydeo8865 Жыл бұрын
NTANGASAJI HAPO NDO ALIBORONGA LOL
@mohammedamour4930
@mohammedamour4930 Жыл бұрын
Assad umeongea point tupu FUNDI WA BAISKELI HUWEZI KUMPA AFUNGE ENGINE YA GARI
@George-jz3jg
@George-jz3jg Жыл бұрын
We mtangazaji na we Mzee Assad kwenye swala la bandari tatizo ni ubovu wa mkataba
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
UMESHINDWA KUMWELEWA...RUDIA TENA KUMSIKILIZA PRF NAAMINI UTAELEWA
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 Жыл бұрын
Prof. uko sawa na umeeleweka. Hili jambo linapotoshwa na baadhi ya watu kwa sababu wameamua kuchagua upande fulani. Kuna watu tena wengine wasomi wanapotosha kwa makusudi. Kwanza wana dhana potofu kuwa kuna rushwa ndani ya hili jambo. Hawana ushahidi. Pili wanaangalia mifano michache ya migogoro kati ya DPWORLD na host countries na kuitumia kama kigezo cha kuogopesha watanzania. Kwanini wasiangalie sehemu ambazo DPWorld amewekeza na hakuna mgogoro. Nilifanikiwa kuona a similar IGA kwenye Google nikaona jinsi walivyoeleza kuhusu ukomo, kwamba utatokana ukomo wa HGA.
@feiz3180
@feiz3180 Жыл бұрын
Asante Prof. Assad. Tatizo Tanzania umelitaja vizuri sana. Dhana na fikra potofu zinatuumiza.
@janekapinga6793
@janekapinga6793 Жыл бұрын
Yaanii Mama Rais wetu kwanini huyu baba asiwe mshauri wako ,kwanza ana hofu na Mungu kama wewe Mama
@africaonechannel1289
@africaonechannel1289 Жыл бұрын
Channel TEN!!! HONGERENI KWA KAZI NZURI. Asanteni Sana!.
@PhilipPhanuel
@PhilipPhanuel 6 күн бұрын
Hiyo ni mashine sana. Hata chuo kikuu UDSM alikuwa ni mtu very committed na makini
@omarilugendo8663
@omarilugendo8663 Жыл бұрын
Mambo ambayo hatuna 1. Mifumo na tekinolijia 2. Watendaji hasa level ya Kati na Juu 3. Mitaji ya uwekezaji Nadhani haya sote tunakubaliana lakini nadhani ni muhimu pia kujiwekea roadmap ni lini hasa tutakuwa navyo hivyo vyote na sustainability yake hata kama muwekezaji atakuja lazima Kuwe na skill set na knowledge transfer ili tujiwekee uwezo huo walionao wenzetu. Ni muhimu Index 3 zikafanyiwa tafiti na kuwekewa Mwelekeo: 1. Proffessional development Index 2. Competence Index 3. Leadership Index Hizi ziwepo katika maeneo nyeti ya Nchi.
@cpabonnychris6315
@cpabonnychris6315 Жыл бұрын
Well Said Professor!!
@knight6757
@knight6757 Жыл бұрын
Very well said may AL-MIGHTY GOD BLESS YOU ALWAYS AMEEN! 🤲
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Simba akinguruma pori nzima linatulia,ubarikiwe sanaaa professor
@robinsonrespicius2713
@robinsonrespicius2713 Жыл бұрын
SIMBA WA TERANGA AU SIMBA GANI , MNAJITEKENYA NA KUCHEKA WENYEWE HAIUZWI WALA KUKODISHWA BANDAR YETU NIMEKAA PALE
@TNgwale-eu3xl
@TNgwale-eu3xl Жыл бұрын
Hapa Huyu Prof anakosea sana. Anamung'unya Maneno kuhusu mkataba. Ina maana watu kama Prof Issa Shvuji anatoa mawazo yake akijikita ktk dhana mbaya!! Na hao wataalamu wa uwekezaji wako wapi wakati moradi mibovu ya madini, gesi na mafuta ikisainiwa na kupitishwa!!
@saidnoumani7244
@saidnoumani7244 Жыл бұрын
Na wewe ni kati ya wale wasio na ujuuzi ktk " Investment Law"
@saidnoumani7244
@saidnoumani7244 Жыл бұрын
Unahitaji kuwa na degree ili kumfahamu professor ikiwa ni kilaza basi pole
@drimaz2692
@drimaz2692 Жыл бұрын
angalia elim yako kwanza umechagua upande tulia huko
@Globalpeace123
@Globalpeace123 Жыл бұрын
Huyu jamaa inatakiwa ndiyo awe waziri wa fedha Hello Samia muondoe huyo mwigulu umuweke Prof. Assad awe waziri wa fedha atataka sana na nchi yetu itaendelea na watu wake watapata faida na hali ya uchumi itakuwa nzuri kwa kila mtanzania
@saidkipalo4427
@saidkipalo4427 Жыл бұрын
Safi Sana professor Asad kwa Kweli Imenifanya nimkubali sana Mama Samia na Niichukie Chadema na kina lissu kwa Upotoshaji Piga kazi Mama Samia
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 Жыл бұрын
My Prof. Mussa Juma Asad ❤
@ghalibunassornassor7249
@ghalibunassornassor7249 Жыл бұрын
Mashallah mola akupe maisha marefu na afya tele
@abeljames4043
@abeljames4043 Жыл бұрын
Acha ubabaishaji we mama mbona haujamuuliza kwanini hakuna kiasi Cha malipo Kwa mwaka tz inapata kiasi Gani?
@NubiClement-hq6ol
@NubiClement-hq6ol Жыл бұрын
Waswahili wanasema kusoma sio mwisho wa ujinga elimu ni bahari
@saidmtenda1628
@saidmtenda1628 Жыл бұрын
Magufuli fired him because of this best analysis of economic principles
@azizabdallah585
@azizabdallah585 Жыл бұрын
ASANTE PROFESA ASSAD....LAKINI...LAKINI....WATANZANIA HAWAPINGI UWEKEZAJI....WANAPINGA MKATABA WENYEWE.
@africaonechannel1289
@africaonechannel1289 Жыл бұрын
Hivi alichosema Prof. Assad hamjaelewa au MULISHANOGEWA NA MJADALA WA BANDARI ktk Mitandao!?? *HAYA Bandari Imeuzwa MJADALA UENDELEE😂😂
@errydeo8865
@errydeo8865 Жыл бұрын
hapo kajikanyaga
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 Жыл бұрын
Alhajj Prof Mussa Juma Assaad❤
@saidnoumani7244
@saidnoumani7244 Жыл бұрын
Asante professor nimejifunza mengi kwenye hichi kipindi
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp Жыл бұрын
Serikali hamsikilizi maoni ya wananchi Bali mnasababisha udini hai wadini wapo Tanzania Wala hawanufaiki nakile mlicho kilenga nyie ila udini usio na maana ss niwatanzania tupambane kwajili ya tanzania
@popekatalango9409
@popekatalango9409 Жыл бұрын
hivi mdini ktk hili swala ni nani ?
@George-jz3jg
@George-jz3jg Жыл бұрын
Assad kwenye swala la bandari wewe unatoa mchango wako kiushabiki unaushabiki wa kumshabikia Samia
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 Жыл бұрын
Wewe nikichaaa hujui chochote mtu akisema ukweli Ati mshabiki!!!! Acheni ujinga mwachien mama afanye jukumu lake lakuongoza nchii...
@JRN2612
@JRN2612 Жыл бұрын
​@@abuushakiraddausiy8666ni kweli, huyu ni kichaa kabisa😅
@fredysiwale5413
@fredysiwale5413 Жыл бұрын
Watu kama asadi hatakiwi serikalini maana ni mkweli mnoo atawumbua waongo alituambia bunge la ovyo hatukumuelewa.
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 Жыл бұрын
Ireland the best country in the world
@hamzamwaya463
@hamzamwaya463 Жыл бұрын
Safi sana kwa elimu pana, waliobahatika kuwa na ubongo salama tumekuelwa
@husseinibrahim2929
@husseinibrahim2929 Жыл бұрын
Huyu ndiye mwalimu wa uchumi si tanzania tuu bali Africa nzima anajua kuelimisha kwa lugha nyepesi kila mwananchi wa kawaida akafahamu.
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 Жыл бұрын
Japo umepindisha lakini Kuna seemu umeongea ukweri,kimsingi mkataba unautata
@user-id7ws5hl5p
@user-id7ws5hl5p Жыл бұрын
Mfahamishe lissu na mbowe lissu mwanasheria wa kesi za kuku mahakani walewapotoshaji
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
CHADEMA HOYE KWA KUPOTOSHA WANANCHI NA MAWAKILI UCHWARA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿LISU&MBOWE HAWANA HOJA NA HAWAJUI MAMBO YA UWEKEZAJI 🥵🥵🥵🥵🥵🥵
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
mashoga na mashehe machoko yanayoabudu warabu nendeni mkafilwe dpworld machoko.
@magufulitv
@magufulitv Жыл бұрын
your vision
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
@@emmapaul1766 WEWE NJAA INAKUSUMBUA MGALATIA UCHWARA NENDA KALIE KANISANI 🥵🥵🥵🥵🥵🥵
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
MAASKOFU uchwara na ze comed chadema oyeee
@africaonechannel1289
@africaonechannel1289 Жыл бұрын
​@@emmapaul1766hivi hizi Shule za KIKATOLIKI Ndivo zinavofundisha kijana kama Wewe KUTOA MANENO YA HOVYIO NA YA Kibaguzi hivi!? NINA HAKIKA HAKUNA SHULE YA SERIKALI INAYOTOA MUHITIMU WA HIVI.
@sadikingonyani8124
@sadikingonyani8124 Жыл бұрын
NAMWOMBA MAMA AMCHUKUE AWE MSHAULI WAKE KATIKA MAMBO YA UCHUMI,. HUYU BABA ANAVITU VYA KUISAIDIA TANZANIA YETU
@NassorTwahiru-kf8fo
@NassorTwahiru-kf8fo Жыл бұрын
Nchi hii watu wenye akili km hawa hawahitajik mzee wanahitajika vilaza kwa sbb wanajijua ni vilaza hivyo inabidi wawe machawa ili kulinda ajira zao ila mtu mwenye akili km huyu ana misimamo ss nchi hii watu hawa hawawataki
@irenealma6523
@irenealma6523 Жыл бұрын
Well done 👍✅
@pendosamwel1682
@pendosamwel1682 Жыл бұрын
Mjadala huu ni kama nimzuri. But what it seems is not what it is. Uchumi na usalama wa nchi ni vitu viwili tofauti.
@popekatalango9409
@popekatalango9409 Жыл бұрын
usalama upi ndugu mbona walomaliza mkataba TICTS walikuwa ni wawekezaji ? lini huo usalama ulikosekana? jamani tuache kushikiwa akili zetu kwa upotoshaji
@mohammedsalim3315
@mohammedsalim3315 Жыл бұрын
Huu mjadala ni mzuri ,tatizo baadhi ya watu wamekaririshwa ujinga.
@getitdoneright1938
@getitdoneright1938 Жыл бұрын
Professor stated a weak and bias argument in favor of Samia on DP gate. His interview is clearly meant to downplay the magnitude of DP gate. Unfortunately there are no more fools left.
@popekatalango9409
@popekatalango9409 Жыл бұрын
chuki ikizidi hupunguza maarifa,nyinyi mlishaamua kuwa upande fulani kwa chuki zenu,hivyo yoyote anaekuja kuzungumza kinyume na upande wenu hamuelewi kwa makusudi na chuki zenu, wapo wengi sana wamezungumzia hili swala kwa mapana yake bila kuficha chochote lkn bahati mbaya nyinyi mlioamua upande wenu huwa hamtaki kumsikiliza mtu hadi mwisho wake bali mnaishia njiani na kisha mnatoka na maazimio yenu,hebu wapeni room yenye usawa na muwasilize kiundani hadi mwisho kwa nia ya kujua ukweli na kuwasikiliza kwa moyo na sio masikio
@drimaz2692
@drimaz2692 Жыл бұрын
yale yale...dr.wa meno kutibu macho sikiliza kuelewa na kujibu hoja acha chuki binafsi
@popekatalango9409
@popekatalango9409 Жыл бұрын
@@drimaz2692 mwenye chuki ni nani kama sio nyinyi?
@donaldmaziku7915
@donaldmaziku7915 Жыл бұрын
Haiwezekani mkataba usiwe na ukomo, usipotoshe. Mwekezaji lazima pia afanye tathimini kabla ya kuwekeza hivyo ukomo ni lazima
@errydeo8865
@errydeo8865 Жыл бұрын
HANA LOLOTE WATU TUNAONGELES NKATABA YEYE ANAONGELEA UWEKESAJI ;NDO WASO WETU HAO
@saidimpako5186
@saidimpako5186 Жыл бұрын
Wewe unataka ukomo uwe miaka mingapi
@saidimpako5186
@saidimpako5186 Жыл бұрын
Unataka ukomo wa miaka mingapi
@errydeo8865
@errydeo8865 Жыл бұрын
@@saidimpako5186 mikataba huwa INA SPECIFIED TIME LIMIT.MNAJADILIANA,WEWE MWENYE MALI UNAMUWEKEA MDA ANAYETAKA KUPANGISHA,INAWEZA IKAWA MWAKA 1,5,20,30nk.Huo MDA UKIISHA,mnakaa TENA mezani,kama hapendi au HAPENDI KUINGIA MIKATABA mwingine,mnamalizana.Kama nyote mnataka kuendelea,mnaandikisha MKATABA MPYA.Mfano MZURI NI ukipangisha au ukipanga nyumba.mkataba wowote LAZIMA UWE NA KIKOMO.
@angelusmhelela8142
@angelusmhelela8142 Жыл бұрын
Gombea urasi profesa
@rosematabula8537
@rosematabula8537 Жыл бұрын
Aisee Hongera sana Profesa,binafsi nimekuelewa sana kiongozi.
@sulimanmzee2310
@sulimanmzee2310 Жыл бұрын
WAZANZIBAR WANATAKA WATOTOSHE MALI ZA TANGANYIKA WAPEREKE DUBSI NA ZANZBAR
@mashaka-mu9vx
@mashaka-mu9vx 2 ай бұрын
Pro huyu anafaakua raisi
@gulatonemasiga2827
@gulatonemasiga2827 Жыл бұрын
Umeeleweka profesa
@errydeo8865
@errydeo8865 Жыл бұрын
pro tunaongelea nkataba SIO UWEKESAJI;HAKUNA ANAEPINGA UWEKESAJI LOL TUKIONGELEA NKATABA TUNAONGELEA SHERIA NA WEWE HAPO HUJUI LOLOTE ;NTANGASAJI NA WEWE SHIDA;WATU TUNAONGELEA NKATABA HAPO NDO UNGENUULISA
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Tatizo mnasimiliza upande mmoja kuna watu suala hili wanalitumia kama njia ya siasa tu,utakuja kuona mikataba ya uendeshaji,yatakuwepo vipengele vyote vinavyopotoshwa na wanasiasa na wanaopinga hapo ndo watakapokuja kudhalilika
@errydeo8865
@errydeo8865 Жыл бұрын
@@mkude KILA KITU HUWA WASI KWENYE NKATABA;HAKUNA ETI KESHO UTAKUA TOFAUTI DP WAKIANSA; WHAT U SEE IS WAT U WILL GET;DP NI HULKA YAO HIYO;KWANINI WANA KESI NYINGI DUNIANI?KWASABABU WAKISHAANSA BRO HUWANBII KITU;DJIBUTI WALITAKA KUPANUA TU BANDARI YAO DP WAKAKATAA;DJIBUIT WAKAUNJA NKATABA;DP WaNA KESI ISHIRINI NA KITU NA SOTE SINAFANAna BRO;TATISO BONGO HATUPENDI KUTAFITI NA KUJUA[na nkataba na djibout ulikua wa thirty yrs] wetu hauonyeshi years;ushauso wewe huu nkataba????hatupingi uwekesaji nooo
@williamkavavila608
@williamkavavila608 Жыл бұрын
Mmh! tunazidi kupigwa na kitu kizito....watz tuamke!
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 Жыл бұрын
Elimu yako ni ndogo sana ili uamke nenda shule Kama hujaelewa hapa hutokaa ukaelewa mpk usome.. darasa la nne uliekimbia shule huwezi elewa mambo ya vyuo vikuu ya uwekezaji
@patricknyiti5303
@patricknyiti5303 Жыл бұрын
Assad unayumba kwa hili la Bandari.. Mkataba upo wazi na magwiji wa sheria wameshapendekeza Cha kufanyika ila CCM na TV yao wanapotosha ..
@JRN2612
@JRN2612 Жыл бұрын
Wewe na Tundu Lissu mnajua zaidi ya kumzidi Prof. Asad? 😅😅😅😅
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 Жыл бұрын
HUYU JAMAA NAMKUBALI SANA ILA KWA MKATABA WA BANDARI NAJUA KWANN AMEWAKUBALI DP WORLD 🤔🤔🤔DON'T TRUST ANYONE.. ishinayo hoyo
@V24hrs
@V24hrs Жыл бұрын
HUNA BAYA Mkuu. Mungu akuweke mia IshaAllah
@gasparkamiliusbutama6487
@gasparkamiliusbutama6487 Жыл бұрын
Kuna shida kubwa pro. Shivji, prof. Anna Tibaijuka na prof. Asad nani yupo sahihi
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Tuwakutanishe
@innocentlethisia416
@innocentlethisia416 Жыл бұрын
issue ni ukomo,tutapata nn kwenye uwekezaji huo wa bandari professor umenitia wasiwasi juu yako ww si professor wa sheria wataalam wa sheria wanasema mkataba una shida sasa ww ni mwanasheria au mchumi?
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Nashangaa yeye ni mtaalamu wa uchumi at the same time anasema waliotoa hoja sio wataalamu wa Mikataba ya Kimataifa ya uwekezaji. Yeye amejipambanua kama mkweli wakati haongei bayana matatizo yaliyopo kwenye huo Mkataba. Hakuna aliyepinga uwekezaji ila M kataba ndio shida, ila hafafanui vifungu vyenye ukakasi bali anazunguka Mbuyu sijui kumfurahisha nani?.
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Жыл бұрын
@@leokamil6284 Watu sijui wanajua prof anajua kila kitu
@robinsonrespicius2713
@robinsonrespicius2713 Жыл бұрын
WAJINGA NDIO WALIWAO HATA AJE MWAMPOSA KUUPAMBA HUU MKATABA HAUPAMBIKI KWANINI MNAJITEMBEZA SANA HAMJUI KIZURI CHAJIUZA NA KIBAYA CHAJITEMBEZA POLE TUMESHASANUKA
@drdd774
@drdd774 Жыл бұрын
jamani, hivi hawa mawakili wote hawajui sheria? Kama mkataba hakuna kasoro kwa nini kunataka kufanyika mabadiliko ya sheria ya maliasili za Taifa?, mwenye akili lazima apige kelele kuhusu mkataba.
@africaonechannel1289
@africaonechannel1289 Жыл бұрын
TULIKUA TUNANUNUA NDEGE KWA PESA Cash, Enzi za MAGU na Kelele zilikua hivihivi; HATA HAIELEWEKI WATU WA Tz munataka Nini!?
@MwantumNdauga
@MwantumNdauga Жыл бұрын
Allah akulipe nuru ya kiislam ndoa hiyo,wenye kutubeza waendelee
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Tujiulize kwa nini hii Intaview inafanyika karibu na Hukumu ya kesi ya Bandari huko Mbeya?.Je siku zote kwa nini asiongee haya ipo sababu
@uzimameditv8148
@uzimameditv8148 Жыл бұрын
wataalamu wakati hata unaye mtetea anashangaa utaalamu wao ,kazi ni kuiba tu
@K-STARGLOBALTRADERSCOLTD
@K-STARGLOBALTRADERSCOLTD Жыл бұрын
Background music is unnecessary
@mansourlikamba6289
@mansourlikamba6289 Жыл бұрын
Inakera sana sana
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Pale Magwiji wanapopingana tumuogope Mungu tusitazame nyazfa !
@sitamgeta7565
@sitamgeta7565 Жыл бұрын
Huyu jamaa anaongea nini? Tunanunua mandege makubwa kabisa madreamliner tunajenga SGR tunajenga bwawa la kufua umeme ndiyo tushindwe vimitambo vya bandarini hapo tukaendesha wenyewe? Tutajitegemea lini. Kama sisi hatuwezi watoto wetu wataweza.
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
Sio lazima ufanye kila kitu wewe dunia kwa sasa imeungana...NI muhimu kujifunza kwa wengine...
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 Жыл бұрын
​@@karimkassam571 Hawezi kukuelewa kaka 😂
@karimmunis8302
@karimmunis8302 Жыл бұрын
Anaongea ujinga tu kila kitu ahtuwezi eti credi moja ni 40 bilon , kha hiyo hela nchi kama Tanzania tunaoshindwa kuwa nayo kweli au ni uvivu tu
@majaliwabwitonde7749
@majaliwabwitonde7749 Жыл бұрын
Huyu njaa tu
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 Жыл бұрын
Kama tunao wanashelia mbona tunakuwa na mikataba yenye utata na matatizo lukuki,acha kumungunya maneno
@kanoa645
@kanoa645 Жыл бұрын
Prof uko sahihi sana. Mtangazaji pia uko vizuri sana.
@innocentlethisia416
@innocentlethisia416 Жыл бұрын
SASA PROFESOR MKATABA HAUSEMI JOINT VENTURES?YAANI ZOTE NI ZAKE DPW SIJAKUELEW
@errydeo8865
@errydeo8865 Жыл бұрын
NAOANA NA YEYE HAJAUSONA;UNAJUA HUYU NI NTU WA HESABU SIO NTU WA KUSONA;HAJUI LOLOTE YAKIJA YA KISHERIA
@angelusmhelela8142
@angelusmhelela8142 Жыл бұрын
Very good pro
@kaguripenina63
@kaguripenina63 Жыл бұрын
Kweli proffessor lakin ungejikita kwenye mkataba unasemaje,
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 Жыл бұрын
Uyu anafaa kuwa waziri wa fedha
@user-ce5zf4oz6l
@user-ce5zf4oz6l Жыл бұрын
Ukisikia wapotoshaji ndio hawa,ameshindwa kulisaidia taifa kwaelimu naweledi wake anaanza kutetea wezi,tunakua nawasomi wabinafsi,wasio nahuruma nwatu wachini,hii nchi kweli imejaa majangiri.
@KassimSalumu-fk6yk
@KassimSalumu-fk6yk Жыл бұрын
Jinga wewe
@user-fc8sv8un5d
@user-fc8sv8un5d Жыл бұрын
Awakosoe wezi kama vile magu alivyokosoa kanisa kuhusu makontena bandarini kua waliibia nchi,na ndio maana maaskofu wanahaha
@KhamisHajji-gm4ns
@KhamisHajji-gm4ns Жыл бұрын
MAMA MPE TENA SHAVU PRF ASSAD AISAIDIE NCHI TUPATE KUFAIDIKA BY KHAMIS WAWESHA CHAKE CHAKE PEMBA ZANZIBAR
@moriscollins4494
@moriscollins4494 Жыл бұрын
Kichwa
@istambulahmed6664
@istambulahmed6664 Жыл бұрын
Tunashukuru sana profesa kwa kutuzidua sisi tunaowasikiliza wasiofahamu ukweli wa mambo, tunashukuru sana tena sana, hakuna ugonjwa mbaya kama asiyejua kudai anajua na kuwapoteza watu, kama kina lisu na wengineo.... tunaomba ufanye mikutano mikubwa ili uuzindza umma uliojeruhiwa na wapotoshaji.
@kianda973
@kianda973 Жыл бұрын
Wasomi wetu mnatuchanganya sana ...ASSAD, SHIVJI, BUTIKU, TLS nk. Kuna mahali aidha hamsemi ukweli! Hakuna mahali mnakutana katikati....kuna clear differences...why???
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Жыл бұрын
Asante kwa kutupa uzoefu wako lakini mimi mtanzania DP WORLD sisi wanainchi hata kama hatuna elimu kama yako lakini tunazo akili ya Mungu aliyo tupa DP WORLD hatubali kabisa na pamoja na elimu yetu ndogo. Sasa kwanini watu wanaiba, wanaiba kwani hata hiko watawala huko juu wanaiba sasa kama mzazi unaiba watoto wanafahamu watoto wataiba na wataona ni kitu cha kawaida
@hezekiamtera3559
@hezekiamtera3559 Жыл бұрын
Prof hebu tuambie kuhusu IPTL, Uendeshaji Wa Tanesco, Ubia Wa Uendeshaji Wa Shirika LA Reli na mengineyo.Huo uwekezaji ulikuwa na tija?
@superwarema2309
@superwarema2309 Жыл бұрын
Swali la msingi sana umeuliza Ambiere
@africaonechannel1289
@africaonechannel1289 Жыл бұрын
Munahoji kila hatua!? BUNGE LITAFANYA KAZI GANI Sasa!?? Hebu Nipe FAIDA TULIZOPATA BAADA YA KUJENGWA UKUTA WA MIERERANI!? 1.Bei Tanzanite haijapanda. 2.Mawe YANAENDELEA KUIBWA. Kwahivo Ukuta USINGEJENGWA!?? Tuwache FIGISU Jamani!●
@chrismwanjalika9892
@chrismwanjalika9892 Жыл бұрын
NATAMANI WALE WOTE WANAOPINGA WAKUTANISHWE NA PROF HAPA HALAFU AONGEZEKE SHIVJI. naamini nitajifunza otherwise nateseka bure.
@nicksonjk8479
@nicksonjk8479 Жыл бұрын
Prof. Anasema muhimi ni wawekewe KPI nawapimwe angalau kila miaka mi4. Je, kama watakua wamevurunda utawafanya nini wakati kwenye IGA mekubaliana mkataba hauta vunjika hata in case of material breach? 😢😢
@Pharadge
@Pharadge Жыл бұрын
tatizo wewe umengangania kwamba "hautavunjika".
@nicksonjk8479
@nicksonjk8479 Жыл бұрын
@@Pharadge sio mimi ni Article 23 (4) ndio imengangania, ina sema "State parties shall not denounce, withdraw from, suspend or terminate IN ANY CIRCUMSTANCES, including in the event of MATERIAL BREACH, FUNDAMENTAL CHANE OF CIRCUSTANCES,SEVERANCE OF DIPLOMATIC OR CONSULER RELATIONS OR ANY OTHER COURSE RECOGNISED UNDER INTERNATIONAL LAW. Not withstanding the foregoing, any dispute between state parties in respect of such circumstances shall be dealt with in accordance with the requirement of Article 20 of this agreement.
@Pharadge
@Pharadge Жыл бұрын
@@nicksonjk8479 UMERUKIA S 23 (4) UMEACHA KUSOMA KUANZIA 23 (1) - (3) NA VYOTE VINAZUNGUMZIA NAMNA YA UVUNJAJI WA MKATABA. msidhani hiyo document mnayo peke yenu au mmeisoma peke yenu. sitokuandikia kingereza kwa manufaa ya wengine watakaosoma hii comment. article 23 (1) ina mkataba utakuwa hai mpaka moja wapo kati ya mambo yafuatayo yafanyike i) usitishwaji wa shughuli zote za mradi moja kwa moja ii) ukamilishwaji wa miradi yote iliyopo kwenye HGA (au kama kutakuwa na nyongeza katika miradi) na kama kutakuwa na migogoro yoyote ipatiwe ufumbuzi
@Pharadge
@Pharadge Жыл бұрын
A23 (3) makubaliano haya yanaweza yakasitishwa iwapo nchi zote mbili zitakubaliana, uvunjaji hautokuw na usumbufu wowote
@hopefully7090
@hopefully7090 Жыл бұрын
​@@nicksonjk8479❤❤
@wandewatz8962
@wandewatz8962 Жыл бұрын
Prfsa nakuelewa sana,ila vp kuhusu Ticks iliwekeza pale bandarn vp kunafaida gan tumepata mpaka sasa?pia vp kuhusu kwenu zanzibar hatuhtaji uwekezaj kama huu??
@user-bz1hn3in9t
@user-bz1hn3in9t Жыл бұрын
Huyo sio mzanzibar ni Mbongo mwezenu Ila Ana scope kubwa ya kujua mambo sio slaaa kichwa maji
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
Ticks.. Hawapo kwa sasa wapo tpa
@tegemeosezero9565
@tegemeosezero9565 Жыл бұрын
Harafu tuachieni Taifa letu sisi kama wananchi hatutaki kwani hii nchi niyenu tu bhanae tukatae wote uwekezaji wa bandari zetu wawekeze pengine
@saidkipalo4427
@saidkipalo4427 Жыл бұрын
Tulia Wewe huna lolote ujualo
@ahmadamohamed1907
@ahmadamohamed1907 Жыл бұрын
Hapa ndio zinapoonekana chuki zenu
@mubatailormbaraka9263
@mubatailormbaraka9263 Жыл бұрын
Sikiliza vizur then weka coment
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 Жыл бұрын
Safi sana profesa Assad
@lazaromshamu3521
@lazaromshamu3521 Жыл бұрын
Well said profesa akili mingi Sana
@user-th7kr4hl8h
@user-th7kr4hl8h Жыл бұрын
Safisana
@mansourlikamba6289
@mansourlikamba6289 Жыл бұрын
Kipindi kizuri ila background inatutoa barabarani... kuweni wabunifu bana
@robertmasatu8423
@robertmasatu8423 Жыл бұрын
Moja ya wasomi ninaowapenda sana hapa Tanzania
@popekatalango9409
@popekatalango9409 Жыл бұрын
hunishindi mimi
@user-id7ws5hl5p
@user-id7ws5hl5p Жыл бұрын
Lisu na mbowe ni wabaguzi na yule lema yeye anawabagua waislam
@nestor384
@nestor384 Жыл бұрын
Hii ni Prof rubbish nyingine!.. Dr Nshala ni daktari wa mikataba ya uwekezaji ya kimataifa, amesema no to the contract.. Huyu mzee kama una akili ndogo utadhani anaongea sense kumbe ni mlamba asali kama walamba asali wengine. Nchi yetu inapita katika upumbavu mkubwa sana.
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Жыл бұрын
Prof.Musa Assad umenena vema. Mlundikano wa kodi unapelekea kiwango cha 0-100 ambacho sio rafiki,wala hakitainua uchumi wa nchi wala wa mtu mmoja mmoja bali unafilisi,watu wanashindwa kulipa hivyo hata serikali inakosa kodi uchumi unaanguka!
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Жыл бұрын
#NONSENSE
@hamisiramadhani3538
@hamisiramadhani3538 Жыл бұрын
Kweli wewe ni prof kweli
@sulimanmzee2310
@sulimanmzee2310 Жыл бұрын
WEWE MZANZBAR TU DUBAI KWENU C KWA WATANGANYIKA
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
HIVI SEREKALI HAIONI UMUHIMU WA KUMJUMUISHA PROFESA ASAD KTK SEREKALI,MAANA WATU KAMA HAWA NI WACHACHE MNO!!
@KissahMuywanga-ht1sj
@KissahMuywanga-ht1sj Жыл бұрын
Hata wewe Prof sio mwana sheria, ndo maana unasema mkataba usiwe na ukomo.mimi huwa nakuelewa prof, lakini kwa Dp world, wewe sio mwanasheria, ila mwana siasa mzuri.
@babazungu3180
@babazungu3180 Жыл бұрын
Chuma hicho professor assad😂😂Assad
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
Kuna meli zinabeba kontena el 10. ....tundulisu hii alikuwa haijui
@filorammbaga5710
@filorammbaga5710 Жыл бұрын
Assad iko akili hii kitu kitumieni.Amenyooka kama rula.
@angelusmhelela8142
@angelusmhelela8142 Жыл бұрын
Naomba ugombee
@designdesign4426
@designdesign4426 Жыл бұрын
Ulivyoongea kuhusu uwekezaji babandari na ulivyochambua wakosoaji kwa mtu mwenye akili awezi kuelewa umepuyanga sijui nistress yakazi cjui unataka mama akupe kanafasi
@thomsanga7956
@thomsanga7956 Жыл бұрын
Prof kweli wewe ni wa uchumi tu, uwekezaji hujui kitu, unapotosha tu, mkataba mama hausemi kikomo, utasemaje ukaangalie mikataba midogo!!???
@zenj1986
@zenj1986 Жыл бұрын
Nashauri huo mziki unaleta changamoto kwa msikilizaji. Bora tusikie sauti za wazungumzaji tu
@AdnanMbaehmahmoud
@AdnanMbaehmahmoud Жыл бұрын
Huyu walichelewa mno kumpa nafasi ya kutoa maoni na ufafanuzi. Siku nyingine wasitangulize wajinga mbele. Wataalamu wa aina ya Professor Assad wasiishie kutoa maoni tu bali wapewe fursa nyeti katika usimamizi wa uchumi, mipango na mapato ya Nchi yetu. Wakiacha kuwatumia wanatukosea kwasababu wamesomeshwa na kodi za Nchi hii. Wekeni pembeni Uchama wenu tumieni wataalamu hawa kulikomboa taifa kiuchumi.
@kingwandeinvestment8002
@kingwandeinvestment8002 Жыл бұрын
uyu alipaswa kuwa waziri wa fedha
@hajihassan5433
@hajihassan5433 11 ай бұрын
Kwa hayo maoni yake anaonesha dhahiri ameshirikishwa mapema na ndio maana washabiki watamuangalia dini yake. Ukumbuke hii ni vita ya uchumi na wengine hawapigi kelele bure wapo kazini na wanalipwa pesa ndefu kwa faida ya Muwekezaji aliyemaliza muda wake.
@mariammasunga8410
@mariammasunga8410 Жыл бұрын
Maneno mazuri sana
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 21 МЛН
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 10 МЛН
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 97 МЛН
How did Turkey change Somalia's fate?
23:42
TVNET X
Рет қаралды 188 М.
HUYU NDIE NASSOR AHMED MAZRUI
22:40
Marhaba Online TV
Рет қаралды 4,2 М.
The Destruction of Madinah and The Greater Israel | Ustadh Wahaj Tarin
51:59
OnePath Network
Рет қаралды 1,2 МЛН
MITIMINGI # 735 UTAFANYAJE KUONGEZA KIPATO KATIKA UCHUMI MGUMU
14:55
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 15 М.
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 21 МЛН