@@GeorgeAkasha-zx2rj we huoni kama kuna maelezo yanapotosha watu😄
@GeorgeAkasha-zx2rj3 күн бұрын
@mohamedpesambili9460 Unatakiwa uelewe anachosema mtu na uamini pia maana yeye ndo kasema, na hata kama anaongopa basi huna ushahidi.
@mohamedpesambili94603 күн бұрын
@GeorgeAkasha-zx2rj mue mnaskiliza interviews za hao watu hua wanajitambulisha mahali wanapotoka.usitetee uongo😄😄 kakoso mwenyew alisema yey ni mtu wa kusini.hata mim nlidhan yeye na mwasi ni watu wa kigoma lakn mwasi ni msambaa wa Tanga na hawana undugu wowote na Kakoso
@CHUYUTV3 күн бұрын
Ange sema ata hospital gani yupo ange fwatwa ila apa ni story kama story za move zenu sara kama kulikua na tatizo angesema tu
@RamaMwango-y4b4 күн бұрын
Kweli
@dengepandu97343 күн бұрын
Mbo nyinyi gamba ndio mmeandika clam na kakoso wamegombana na kaondoka kwa clam
@ReemaM-i5t4 күн бұрын
Kwan mutu akiwa mugonjwa hawezi ongea jmn upuuzi tuh huo
@Dullayoo-M4 күн бұрын
Kakoso ulisema mwaka huu January mutaachia Big boss season 2 vipi mbona kimya
@0maryMathias-e8y3 күн бұрын
Kwani sara yeye ni nani msenge uyo
@SaidDuka-js2ex3 күн бұрын
Sisi mashabiki tuna penda mue pamoja
@SwabrinaamoohSwabrinaamooh-e3r4 күн бұрын
Alafu watu wana mlaumu clam
@GeorgeAkasha-zx2rj3 күн бұрын
Swabrina mambo
@sashaamoha3 күн бұрын
Mim uwa nachukia sanaa wasanii walioanza gang pamoja alf waliharibu mbeleni kwa kuwa kila mmoja anajion vp au sababu n nn??? Sipendi, mfano kin mkojani, tiniwhite, chumvinyingi, mambwende walikua wanafany vzr san lkn sai ni vihoja tu hata wngn nliwasahahu nlibaki n CHADO MASTER 🎉🎉🎉🎉🎉MNABOA bwana😂😂😂😂😂samahani kwa ntakae mkwaza.
@matyboymtanzaniano4 сағат бұрын
wasanii wa bongo ukaa kwa muda tu baadae upotea kabisa kujisikia sanaa