DIVA THE BAWSE AFUNGUKA PENZI ZITO NA VUNJA BEI TUMEPANGA KUPATA WATOTO 2 /NYUMBANI SIVAI NGUO

  Рет қаралды 26,657

Carrymastory

Carrymastory

Күн бұрын

Пікірлер: 167
@marygregory7566
@marygregory7566 Ай бұрын
Pamoja yote mnayosema mimi diva nampendaga sijui kwa nini
@zabibusilayo9877
@zabibusilayo9877 26 күн бұрын
Unishindi Mimi yaan Nampenda dada diva na wema sepetu sijui kwann❤
@beautywithnay5974
@beautywithnay5974 Ай бұрын
Diva ana uchizi kidogo ayuko sawa
@taturajabukhalfani7953
@taturajabukhalfani7953 Ай бұрын
Umeona eee!!
@RayChausa
@RayChausa Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@EstarMichael
@EstarMichael Ай бұрын
Akikusikia lazima akujibu mbovu😂😂😂
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 26 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@insidetheobamium9907
@insidetheobamium9907 14 күн бұрын
Uchizi kiasi yakubalika ukiwa league ya juu... Wewe chezea league yakwako 🤪 Diva ajigaramikia 😎
@McT-m1m
@McT-m1m Ай бұрын
Diva mimi namuelewaga sana wallah anafanyaga makusudi kwenye ety ila watu wake wakaribu wanamjuaa anapenda kulopoka kwa sababu watu wanapenda hivo
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 10 күн бұрын
Watu wachawi kama weye uliwajua je kama huwangi nao. "I love him so very much." Chizi msafi.
@Ajijji12
@Ajijji12 Ай бұрын
Mental health is real
@HusnaMuhammed-yx8nl
@HusnaMuhammed-yx8nl 17 күн бұрын
Mpelekeni mirembe diva hayuko sawa
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 10 күн бұрын
True
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 10 күн бұрын
Wewe sio muislamu hukubadili dini umesema tu.
@lucybatista2631
@lucybatista2631 Ай бұрын
D familia yenu nzima mnapenda matajil mna maisha yakuigiza ndan yake. Mnaubaguzi sana mi binafsi sijapenda na mnaumiza sana mioyo ya wanaowapenda
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt Ай бұрын
Mtangazaji kusikia Diva anatembea uchi mkono kaushusha kwenye uboo😊
@KhadijazabronMwajombe
@KhadijazabronMwajombe 29 күн бұрын
Ha ha hahaha haha
@jadetoto
@jadetoto Ай бұрын
Mtangazaji mwenyewe kachoooooka anasema kitu gani hiking...Diva ana kauchizi kidooogo
@bakariomari24omar21
@bakariomari24omar21 Ай бұрын
Eti kidogo huyu taira hasa
@claudia1500
@claudia1500 Ай бұрын
Huyu hayuko sawa,sasa Laizer unahisi anaweza kukupenda?we mwenyewe na hao matajiri nao wanasema hivyo hivyo kuwa hawawezi kufikiria kukuoa
@mustafarajabu4005
@mustafarajabu4005 Ай бұрын
Huyu mwanamke chizi alivaa vizuri.kaona kamera kafungua kifungo cha nguo tuone vindara vyake alivovipiga jeki.sijui ndio biashara matangazo.hawa watakuwa awalipwi mshara mkubwa.mpka anafikilia kuonyesha vindara vyake ili wanaume wamtamani.huyu sio mwanamke
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Ай бұрын
Maziwa pia yanafanya mahojiano mhh
@KhadijaSalum-nf5mf
@KhadijaSalum-nf5mf Ай бұрын
😂😂😂😂
@Bintimrembo-y1v
@Bintimrembo-y1v Ай бұрын
Biashara ngumu😂
@erickashindi2666
@erickashindi2666 Ай бұрын
Hilo ziwa kweli limekaa vizuri ​@@KhadijaSalum-nf5mf
@subiraaddo864
@subiraaddo864 28 күн бұрын
😂😂😂😅 Nimecheka sana
@vero57
@vero57 Ай бұрын
Unatembea bila nguo ndani, hii ni dalili ya ukichaaa!!! Eti tv inches 1000 wewe dada una tatizo kichwani definitely
@nancyg8664
@nancyg8664 23 күн бұрын
😂😂😂ukiwa peke ako sawa ila iyo ya kuwa na mtu af uwe huna nguo hapo kipengele
@margaretnyamwilahila292
@margaretnyamwilahila292 Ай бұрын
Hiki kichwa kazi kweli kweli!
@MelaniaGasper
@MelaniaGasper Ай бұрын
Aisee kumbe tupo weng tunaotembeaga bila nguo tukiwa wenywe😂😂😂
@nurubinjubeir
@nurubinjubeir 26 күн бұрын
Eti kuonewa huruma kushika mimba amazing kweli ww SHETANI
@MagretySenserah
@MagretySenserah Ай бұрын
Saw❤tembea uchi ujiachiye❤😂😂🎉🎉ndiva my best😊
@nurubinjubeir
@nurubinjubeir 26 күн бұрын
Yaani ww kweli kipofu shetani kakushika mkono, eti mm big star, angalia mwenzio dida yuko wapi sasa hv, mrudie mungu wako ww huo umaarufu na umalaya havito kusaidia CHOCHOTE, byeeeeeee tunangoja mtokeo
@annamussa185
@annamussa185 Ай бұрын
Kwanza huyu mjinga Bado yuko na mume wake kahaba mwenzake,hajavua pete kama mke wa Pilipili hapo kiki tu
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 Ай бұрын
Fred ana arleg nawatu wafupi.hawez kua na diva hata sikumoja.labda kidogo angekua mzuri.lkn wapi
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 Ай бұрын
Mhhh jamani diver MWe Mungu akutetee
@khadijanjama8721
@khadijanjama8721 Ай бұрын
Dada nampenda huyu
@GufgChgy
@GufgChgy Ай бұрын
Sema Diamond haja kutupia mistari, akifanya utamkubali na kupenda pesa huko. Wewe unaweza kufilisi watoto wa wenziyo
@HassanSaid-e1w
@HassanSaid-e1w Ай бұрын
Jamaa kadindaaa😂😂
@mariozulu5743
@mariozulu5743 Ай бұрын
Huyu ni kiwanja cha mazowezi kwa kila mwanamume she is good for nothing at least mariam she can inspire people.
@PaschaziaEdigard-j2p
@PaschaziaEdigard-j2p 29 күн бұрын
Mm apa
@KhadijaSalum-nf5mf
@KhadijaSalum-nf5mf Ай бұрын
Huyu si mzima
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Ай бұрын
DUH!! HUYU DADA SASA HIVI KIPOCHI CHAKE MANYOYA KILA MTU ANAKIFUNUA!! 😂😂😂😂
@beauty2239
@beauty2239 Ай бұрын
Hilo titi sasa limeshuka kuliacha wazi aah 😂😂
@zainabufeka87
@zainabufeka87 29 күн бұрын
Hili dem nichizi lina jichetua jamani 😢😢sjuw litakuwa lini hili likigagura
@salimjumaa8180
@salimjumaa8180 Ай бұрын
Nyie mcheke2 lkn mwenzenu mgemuangalia afya ya akili mkamsaidia hii ni dalili moja wpo.
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Ай бұрын
😂😂
@FatmaHalfan-w3l
@FatmaHalfan-w3l Ай бұрын
Bora ulivyorudi kwenye dini yako maana hufananii na mila na desturi za kiislam mwenda uchi ww
@queenlinda255
@queenlinda255 Ай бұрын
😃😃😃 huyu shangazi anashida jamani mabinti wadogo please achaneni na uyu shangazi 😀😀😀
@AmanaHussein
@AmanaHussein Ай бұрын
Sawa shosti 🤪
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 10 күн бұрын
Hajui kama maziwa ndio kitu akipendachonzaidi wanaume wanaojua huyu hana ajualo kijidai kwa mkundu kutoka mavi tu.
@faridaally-jp1gx
@faridaally-jp1gx Ай бұрын
Huyu hayuko sawa mwanamke mwenye nidham hawezi kuongea upuuzi yaani chanel zingine ovyo
@bakariomari24omar21
@bakariomari24omar21 Ай бұрын
Kachanganyikiwa
@bakariomari24omar21
@bakariomari24omar21 Ай бұрын
Kachanganyikiwa
@bakariomari24omar21
@bakariomari24omar21 Ай бұрын
Kachanganyikiwa
@alsam4881
@alsam4881 Ай бұрын
Mtu mzima wa hovyo kabisa huyo diva umri umeshaenda ni bibi sasa ila anapenda kujiona bado ni mtoto.
@farrybeautysaloon.5025
@farrybeautysaloon.5025 Ай бұрын
😮😮😮 Diva si alikuwa ana mimba hapa majuzi juzi.
@rahmambugi2322
@rahmambugi2322 29 күн бұрын
Dah kiki zingine mh🫢
@SelinaMdoe
@SelinaMdoe 17 күн бұрын
Mara hii kaishajipen dekeza kwa vunja bei umalaya huo aac hane tu na maimath a diva ana ugonjwa wa akili utembee uchi unaakili timamu kweli wewe hovyoo kabisa huna wazazi kweli wewe uko hovyo Sana
@sund2553
@sund2553 Ай бұрын
Vunja ana mkula huyu diva😅😅😅😅😅
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Ай бұрын
Anaongelea watoto na hana kizazi ,,nakuombea kwa mungu akupe kizazi
@SilivinaSule
@SilivinaSule Ай бұрын
Mwanamke mzuri akili ziro huo ni ugonjwa wa akili
@abdulqadirjuma7495
@abdulqadirjuma7495 Ай бұрын
Sasa ndio nini kuachia hizo ndara hapo kifuani?eti nyonyo.funika ndara hizo
@ummukulthummohd5403
@ummukulthummohd5403 Ай бұрын
Diva jamani utapata lini akili!
@beatricerobert8985
@beatricerobert8985 Ай бұрын
Hayo unayoyaongea vinja Atapenda ulivyoyaweka public
@SuleimanMuhammed-g7q
@SuleimanMuhammed-g7q Ай бұрын
Mm najiulizia hivo kuonyesha maziwa ina maan gan au ndio umalaya
@LatifaRajabu-l3n
@LatifaRajabu-l3n 20 күн бұрын
Diva cheko lako tu me hoi
@Naju645
@Naju645 Ай бұрын
Kichaa diva
@jacobsadock3530
@jacobsadock3530 Ай бұрын
Afya ya akili
@AmanaHussein
@AmanaHussein Ай бұрын
Diva lpo hivi dini zote mbili hazikufai sio ya kislam na sio ya kikristo wewe wafaa kua hindu ukifa uchomwe moto kama Mombasa cement 😂
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari Ай бұрын
😅😅😅😅😅
@AmanaHussein
@AmanaHussein Ай бұрын
Hamsukh Patel na diva brand wachomwe moto😂😂
@TeddyMbole
@TeddyMbole Ай бұрын
😂😂😂
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Ай бұрын
Duu!!
@evalinemalole6709
@evalinemalole6709 Ай бұрын
Mombasa wati😅
@firdaushamid8200
@firdaushamid8200 Ай бұрын
Ungejistiri ingekiwa bora zaidi Kulikov kuacha kifuwa wazi
@shammysleyman7112
@shammysleyman7112 Ай бұрын
Jmn vunja bei si yuko na rushayna au😂😂
@TeacherBoda
@TeacherBoda Ай бұрын
Nije nikufume upo bila nguo utachezea dudu ww mpaka utaimba singeli
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 9 күн бұрын
F. Atakuwa kashajichanya na ikitokea utaniambia hizo drama
@Ajijji12
@Ajijji12 Ай бұрын
Huyu dada huwenda kakosa mtoto kumemdatisha
@OmegaJustine
@OmegaJustine Ай бұрын
Acha kutengeneza stori za ajabu ajabuuu
@ChikotiManyelezi
@ChikotiManyelezi 10 күн бұрын
Mwandishi amebana mapaja mara mkono duu
@Peace-x6s
@Peace-x6s Ай бұрын
Mara mzungu Mara vunjabei
@RenathaKalamage
@RenathaKalamage Күн бұрын
Anatembea uchi
@ummukulthummohd5403
@ummukulthummohd5403 Ай бұрын
Anaulizwa A anajibu Z.
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Ай бұрын
Huyu alikelewa na wazazi wake woote kweli?au ana shida kichwan?
@akwilaisseri5312
@akwilaisseri5312 Ай бұрын
Na ubibi huo na maneno na matendo yake vitu 2 tofauti kbs hajielewi Mpk leo
@beatricerobert8985
@beatricerobert8985 Ай бұрын
Dah anajiskia kweli anavyoongea
@esthermatisho2604
@esthermatisho2604 Ай бұрын
Still Diva anatakiwa kumcheck daktari wa psychology,trust me,something haiko poa na wewe,kwa umri ulionao. I'm 33 but I feel like Diva is 12yrs old.
@jadetoto
@jadetoto Ай бұрын
Mganga alikuwa anapitia changamoto kubwa..nyieee
@AmanaHussein
@AmanaHussein Ай бұрын
Sana siyo Kila mwanaum ataweza kaa na kigagula
@pengefeza2563
@pengefeza2563 Ай бұрын
Hakuna hakutulia Diva alimpenda sana
@AmanaHussein
@AmanaHussein Ай бұрын
Tuone kama atapata ndoa na mwanaume mwengine
@pengefeza2563
@pengefeza2563 Ай бұрын
@@AmanaHussein Kunawengine hawaolewi nayo pia ni zawadi.
@PeterFaustine-v9s
@PeterFaustine-v9s Ай бұрын
Huyu mama kichaa mda mrefu anapenda udada kwel wakati age gooooooo
@nurubinjubeir
@nurubinjubeir 26 күн бұрын
Hata kucheka hujui Sauti mbaya kama ya MBUZI beberu
@miriammwemzundu7536
@miriammwemzundu7536 Ай бұрын
Sio mzima huyu😅
@hamisihussein9851
@hamisihussein9851 Ай бұрын
Watoto kwa mganga imeshindikana
@queentanitah1346
@queentanitah1346 Ай бұрын
This woman is sooo cheap and desperate.
@Anandezi
@Anandezi Ай бұрын
Kweli
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 Ай бұрын
Tena ana Split personality
@RayChausa
@RayChausa Ай бұрын
Umeonaeeeee
@LeylaSaria
@LeylaSaria Ай бұрын
😂😂😂jamn hayo maziwa vip
@jokhaali5893
@jokhaali5893 Ай бұрын
Mtangazaji umekosa kazi, hivi kuna lipi lenye maana katika hilo porojo unaloporoja nae huyo mjinga.
@AmanaHussein
@AmanaHussein Ай бұрын
Wanataka pesa you tube 🤪
@rosemery3017
@rosemery3017 Ай бұрын
😅😅😅
@SalmaMsangi-n2m
@SalmaMsangi-n2m Ай бұрын
Kichaaa
@jadetoto
@jadetoto Ай бұрын
Jamani X wa mganga ana mamboooo😂😂😂
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Ай бұрын
Huyu sifa zinampelekesha dahh
@bitecastory2137
@bitecastory2137 Ай бұрын
Mmmmh vunja hawezi kuwa na ww hata utembee uchi
@bakariomari24omar21
@bakariomari24omar21 Ай бұрын
Huu utaira sasa mh kuwa uyaone ndio maana yake hii
@marysaituni4584
@marysaituni4584 Ай бұрын
Hayo maziwa vipi..?? 😳😳😳😳🇰🇪🇰🇪
@AmanaHussein
@AmanaHussein Ай бұрын
Kutuachia manyonyo wazi ni brand 😂
@iammichaellukindo
@iammichaellukindo Ай бұрын
YANI KUNA WATU NI TAKATAKA KULIKO. NACHEKA MPK NACHEKA TENA. EMPTY HEAD
@KhadijaSalum-nf5mf
@KhadijaSalum-nf5mf Ай бұрын
Hayo maziwa toa nje yaonakanr
@SelinaMdoe
@SelinaMdoe 17 күн бұрын
Nyumbani kwenu wa pi una wazazi wewe kweli unasema unat embea uchi ndani wakati una wazazi unaakili timamu kwe li wewe wazazi wako wanakusikia unaong ea hovyo hivyo
@annamussa185
@annamussa185 Ай бұрын
Yani wewe kuolewa na Vunja itabaki ndoto hata uvue nguo zote upite mbele yake hawezi tomba uchafu kama ww😅😂
@fausalimu4578
@fausalimu4578 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@IsiahMosl
@IsiahMosl Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@JumaMatao
@JumaMatao Ай бұрын
Si aongee kiswahili tu ndo nn kujifanya mzungu, ujinga t
@HafswaCute
@HafswaCute Ай бұрын
Wanaoongea vibaya kuhusu diva mtaongea sana Anawaambia chenye mnataka kuskia juu watanzania mnapenda kufatilia na kumbull mtu thats why anaongea ili muumie na
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 Ай бұрын
👌👌
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Ай бұрын
KWANI ANAMKOMOA NANI SI ANAJIDHALILISHA MWENYEWE, WATU WANAMTAKIA MEMA NDIYO MAANA WANAMKOSOA... K YAKE IMEKUWA YA VIJANA KUIFANYIA MAZOEZI... WAKIPATA EXPERIENCE HAO WANAMTEMA WANAENDA KWA WA UMRI WAO... NAYE ANABAKI NA KUPOCHI MANYOYA CHAKE AKILALAMA HOVYO KWENYE MITANDAO 😂😂😂
@StevenPeter-sg7zo
@StevenPeter-sg7zo 21 күн бұрын
Akili za diva zinaendana kidogo na akili za Hemed phd 😊
@felixmisael3731
@felixmisael3731 Ай бұрын
DIVA = ASSETS - CAPITAL
@lindanyongesa2480
@lindanyongesa2480 Ай бұрын
Naomba kua surrogate mother kwa bei mzuri.....
@Bintimrembo-y1v
@Bintimrembo-y1v Ай бұрын
Upumbavu na desperation ya old age yake 🙄
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Ай бұрын
Laizer hawez kukutaka ww takataka bombey
@AminaAmine-v4m
@AminaAmine-v4m Ай бұрын
😂😂😂😂
@Ruu974
@Ruu974 Ай бұрын
Ata simuelewi
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews Ай бұрын
Huyu demu sio mzima 😂
@AmanaHussein
@AmanaHussein Ай бұрын
Anahitaji maombi Kwa pastor lrene uwoya😂
@rosemakange8163
@rosemakange8163 Ай бұрын
Mmhh hayuko saw
@SaidSaid-ef8md
@SaidSaid-ef8md Ай бұрын
Kashabu wa ukweli
@shammysleyman7112
@shammysleyman7112 Ай бұрын
Hizo hereni au tairi ya baiskeli
@maimunaulotu2075
@maimunaulotu2075 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂woooi nimechek
@MzunguTz-f2j
@MzunguTz-f2j Ай бұрын
Wadangaji 😅😅
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 Ай бұрын
Ziwa liko vzri limejaa
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Ай бұрын
Kabisaaaa
@IrisBrand
@IrisBrand Ай бұрын
oya toa mikono mfukoni bana
@hadijamshimbula7616
@hadijamshimbula7616 Ай бұрын
Yani Diva ukianzisha kipindi chako mm ntakua nakuangalia kila cku nakupnda
@PreciousKitike
@PreciousKitike 19 күн бұрын
😂😂😂😂
@leokamil6284
@leokamil6284 Ай бұрын
Kwani huyu ni mzima kweli, kichwani kwake sio sawa 😅
Каха и лужа  #непосредственнокаха
00:15
Wait… Maxim, did you just eat 8 BURGERS?!🍔😳| Free Fire Official
00:13
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 7 МЛН
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 1
26:44
ZamaradiTV
Рет қаралды 24 М.
KITASA AMNYWEA CHAI MKE MWENZIE / ASEMA TALAKA NGINJA NGINJA
22:20
Каха и лужа  #непосредственнокаха
00:15