Dizasta Vina - Achia jala Ft Kaa La Moto

  Рет қаралды 119,443

Dizasta Vina

Dizasta Vina

Күн бұрын

Official music video of a record Achia jala by Dizasta Vina off the upcoming album A Father figure, Written and perfomed by Dizasta Vina & Kaa la moto & Irene, incredible nory & Gerrard Mhabi
Shot and edited by Dee ayo.
Stream/Download Achia jala
Boomplay - www.boomplay.c...
Mdundo - mdundo.com/son...
Audiomack - audiomack.com/...
KZbin - • Dizasta Vina - Achia j...
Apple Music - / achia-jala-single
Spotify - open.spotify.c...
Genius - genius.com/Diz...
Other music by Dizasta Vina
Audiomack - audiomack.com/...
Boom play - www.boomplay.c...
KZbin - / dizastavina
Mdundo - mdundo.com/a/2263
Spotify - open.spotify.c...
Apple music - / dizasta-vina
Deezer - www.deezer.com...
Spotify playlist - open.spotify.c...
Genius - genius.com/Diz...
Connect with Dizasta Vina on social medias
Instagram - / dizastavina
Twitter/ X - x.com/dizastavina
Facebook - / dizastavina07
sw.wikipedia.o...
Business: Pan.authentik@yahoo.com
Website - bio.link/dizas...
Lyrics
Oya
Mwela alikuja nikampiga sound mbumba mbaya
Siwezi lala down town naitunza kaya
Niko around ninavunja taya
Michongo kibao town wana hawakuvuta waya
Achia jala
Ni heri kuyashinda majaribu
Ila kufeli ni kushindwa kujaribu
Baba alifeli siwezi feli pia
Namiliki jina la ukoo sio sheli dia
Siwezi lala njaa itanigaraza
Kwahiyo usiniletee risala achia jala kwanza
Sina kazi nimedandia ndala
Alafu unanikazia fala
Bro achia Jala
Hauna shida ndo' maana unapendeza
Alafu unaniambia hauna fedha
Sikupi kichaka sikupi hata stata utakimbia,
Achia jala ntakupiga mitama utajifia
Sikupenda kuwa vikundi vya wahuni,
Nilikuwa madini ambayo hauyakuti vitabuni,
Nilikuwa mtu kabla enzi zangu
Haya maisha yangu ni kitabu na hii ni peji chafu,
So achia jala
Dingi mwenyewe alitoboka
Madeni kama dhambi milele nakokota
Na alipodondoka nikarithi shida
Ndio maana Kuelewa mtu lazima uelewe alipotoka
So, Achia jala
Sichezi kamali na washua
Nitakupiga kabali nitakuua, sikuachii hata ukisali
Matumaini yako mbali
Nami nipo katikati ya bahari Na mashua
Hauwezi kuwa mtoto ukishazaa
Nina mtoto sasa, sitaki kuuza ndoto ka bidhaa
Mwanzo nilikuwa na ndoto na iling'aa
Lakini bahati mbaya mtoto hawezi kula ndoto ikija njaa
Nilipenda kuwa rubani
Ila mambo ni makubwa ukubwani
Nikaishia kuwa mkulima fani niliyofunzwa nyumbani
Kabla shamba halijakumbwa tufani
So achia jala
Nimekufata tangu Benki najua kuwa una cash
Uliingia ukiwa empty ukatoka na mabegi
Una-act kama Ndezi
Unaniletea undezi nitakuletea ushenzi wewe
Nilichora plan na sikupiga mchele
Wenzangu wa mtaani ni'shazika tele
Najua unahesabu time si ujaribu kurun sijui
Nimeshika gun nitakuchezea shere
Achia jala,
Siwezi kudanganya kuhusu
Haya Madusko hatuwezi kugawana nusu
Usihubiri sisadiki maadili
Maisha yenyewe mafupi na hatuishi mara mbili
Achia jala
Mbunge halijui jina langu
Ramani ya jiji haisanifu njia zangu
Hawajivunii ndugu zangu, Miungu haisikii sauti yangu
Niko peke yangu mimi na gun yangu
Nitaku pah pah
Kisha unione mamluki
Nitakuchezesha mabuzuki
Nishafungwa mara tatu nimetoa roho nne
Utakuwa wa tano, so jaribu kutoka nduki nikuonyeshe
Nipo kazini so achia jala
Nitakutia ngwara ufe
Mafanikio ni kwa wale majasiri
Walio tayari kusubiri ni makupe
Nisikize brother
Ni'shafanya mamziki
Sikuvutia kukusanya mashabiki
Naogopa kuwa begi nishazika marafiki
Nilishalala na maiti nishajiuza kwa shangingi
Nishafunga mahirizi, nishakula mamizizi
Nishafuga Jinamizi mamisuba nikasizi
Nishakuzwa na waizi waliokuzwa na machizi waso....
Mama ananiona failure for life
Na ninamisi kumbatio la wife
Mkwe ananiona bwege, napeleka nuksi malangoni pake
Shemeji ananiona sio type
So achia jala, nitakubia roho nipe jala
Usinizoee usinipe gwara
Unahisi sina maadili ninafata mkumbo bwege
huwezi kuwa consious ukiwa tumbo empty
Achia jala
Sijarithi mali ili nizichunge kama zako
jala ziko mbali nizifuge Kama zako
Wajomba masadali sio wabunge kama wako
Sijaenda shule yako...
I'll fucking shoot you, Achia jala
Nimeshindwa leo sio kwamba nilisinzia jana
Sijakwambia kwamba alisinzia baba
Hakujua mkwanja ni maua mazuri yanafifia ghafla
Achia jala
Hey, so sad hunijui boy, am not of your Calibre
Usituone tu tajiri, wengi tuna suck blood ki-Cannibal.
Msimamo kitaliban, na roho ya kijahidina.
Kama mbwai mbwai ndio utajua mi kikosi kama Pina.
But I won't choose that hata ka' niko street smart.
nna-pure fact nahisi we ni mgonjwa unahitaj.......

Пікірлер: 855
@dizastavina
@dizastavina 10 ай бұрын
Mazungumzo ya wimbo wa #achiajala ni ya kubuni na yamelenga kuchochea majadiliano kuhusu maudhui tofauti ya kijamii kama kanuni za ubaya na wema (moral values), athari za ukosefu wa malezi bora, msongo wa mawazo, ukosefu wa ajira na mahusiano kati ya ongezeko la uhalifu na umasikini. Wasanii wa hii kazi hatukulenga kuchochea maamuzi mabaya kwa namna yeyote. Tunaamini kuwa sanaa hii ni sehemu ndogo tu ya uhalisia na wasanii tunajaribu kucheza nafasi yetu tu kupeleka ujumbe kwa jamii Shoutout to incredible performance by @incredible_nory kuwakilisha antagonistic role kwenye wimbo. Character aliyechezwa na @incredible_nory amekuwa inspired na a legendary character Robin Hood from 1370’s ballads and tales anayesemekana alihisi kudhurumiwa umiliki wa rasilimali na akachukua maamuzi ya kulipa kisasi kwa kuchukua miliki ya walio daraja la juu la maisha na kuwapa masikini #DZSTVN
@PeterDaniels-ht7kd
@PeterDaniels-ht7kd 10 ай бұрын
Kaka me ni mwandishi wa vitabu naomba uniruhusu niandike kitabu kwa kutumia wimbo wako wa shahidi & mlemavu
@verosir1416
@verosir1416 10 ай бұрын
Mhuu Kal sana mtalamu
@sleifikhajjir262
@sleifikhajjir262 10 ай бұрын
u know what u do and u r pfct boy❤❤❤🎉🎉
@richardmanolo5207
@richardmanolo5207 10 ай бұрын
Daaah imekaa poa sana hii track brothers nitaifanya tena kwaajili yenu TAFADHARI
@bartazariluvanga3298
@bartazariluvanga3298 10 ай бұрын
imeenda broo hujawahi kutungusha kwenye kuandika stroy wewe n ibora zaidi ya hta waandika stry za movie bongo hpa take a time weka stry njoo na movie brooo your master mind on this all in all bonge moja la ndoma bonge moja la idea...... @dizastaVINA
@zainabmaulid9637
@zainabmaulid9637 10 ай бұрын
Dizasta unajua tz huna mpizani anae mkubali dizasta like hapa %
@jofreymfugale4752
@jofreymfugale4752 10 ай бұрын
Kama unakubaliana na mimi kwamba hii Combination inatakiwa irudie collabo nyingine gonga like hapo ili washtuke
@nyemomtwanga9449
@nyemomtwanga9449 10 ай бұрын
Siku na mwaka wowote kama nikiwa hai kuanzia hii nov/2023 nikipata like itanikumbusha na kunirudisha hapa kuulisha ubongo wangu tena na tena
@dizastavina
@dizastavina 10 ай бұрын
There you go
@saidamour6938
@saidamour6938 10 ай бұрын
Real mcs wamekutana wamefanya real HIP HOP real fans mko wapi? One love from Zanzibar leo kaa limewaka mpaka Zanzibar na Tribulation ipo forodhani
@dankarkije
@dankarkije 10 ай бұрын
Nilikua kijiweni nimepaki bodaboda yangu Ila hii nyimbo imenirudisha ghetto nisikilize vizuri, sikuhitaji makelele ya pale kijiweni. Apa ndo narudi kijiweni baada ya kusikiliza...🙌🙌🔥
@meovinmwangomale8512
@meovinmwangomale8512 9 ай бұрын
Ila kaa la moto ni mbad uyu jamaa all in all dizasta tujengewe Sanamu lako mamayeeee
@HarunaGeorge-bp6hv
@HarunaGeorge-bp6hv 10 ай бұрын
Dizasta noma sana kabla ya kusikiliza ngoma yake nieacha like kwanz sababu najua hukosei
@KEVOSHIZO
@KEVOSHIZO 9 ай бұрын
Sina kazi nimedandia ndala Alafu unanikazia fala Bro achia Jala Hauna shida ndo' maana unapendeza Alafu unaniambia hauna fedha. Punch line moja ya nguvu imenigusa sana!!
@nickman4435
@nickman4435 10 ай бұрын
Kitu moja kali zaidi na ngoma za Dizasta, ukianza kuiskiliza ata kama wewe ni mtu wa mbwembwe unatulia kwanza na unaanza kuwa conscious🙌🙌 RESPECT genius 👏👏👏👏 Meru Kenya we salute 💯
@mohamedmaphya7286
@mohamedmaphya7286 10 ай бұрын
Dude tamu sana lazma vijana tujifunze kujitegemea sio wote walionavyo wamerithi wengi wao wamehustle congratulations to both of you Disasta n Kaa
@leeskillz3734
@leeskillz3734 10 ай бұрын
(punguza maninja ndo uweze kumkumbatia mkeo) mstari wa maana sana maana ndoa nyingi huvunjika kwa watu wanaoendekeza masela na kusahau familia
@youngrappertz1735
@youngrappertz1735 10 ай бұрын
Naacha Comment leo, nitarudi 2050 nikiwa mzee kuaambia wajukuu wangu kwamba ngoma za Dizasta zimenikuza📌🔥
@lutenganomwalivale754
@lutenganomwalivale754 3 ай бұрын
na reply kwako😎
@allysaleh2220
@allysaleh2220 Ай бұрын
Niko pamoja na ww mzee hichi kichwa never seen before
@josureabely8899
@josureabely8899 10 ай бұрын
Ila aisee bro una content Kali sana Yan nataman Dunia ielew Aya madini adim
@hydratz9750
@hydratz9750 10 ай бұрын
Haya maisha yangu ni kitabu,na hii ni page Chafu, So achia JALA😂
@festobangi2560
@festobangi2560 10 ай бұрын
Story Taylor kama story Taylor TANZANIA NA WORLD WIDE naamini sana katika kazi zako
@user-kg9rj8xs6j
@user-kg9rj8xs6j 10 ай бұрын
Salute vina nmetoka mbali sana na wewe vile hujui tu mwanangu nakukubali kinoma yaan
@dizastavina
@dizastavina 10 ай бұрын
Yes fam ✌🏽
@ernestemack9135
@ernestemack9135 10 ай бұрын
Daaa uyu jmaaa🙌🙌🙌noma sana
@nivogee9830
@nivogee9830 10 ай бұрын
Combination ya akili kubwa kwenye ukubwa wa maudhui real recognize real the big chemistry of hiphop 🙌✊✊✊
@EinsteinFromEastern-vh6lo
@EinsteinFromEastern-vh6lo 10 ай бұрын
Kama utaki haikuhusu nenda kule kwakina whozu na bonge la nyau
@user-mb7tq1lr1e
@user-mb7tq1lr1e 10 ай бұрын
255 na 254 on top nakubali kaa la moto kiumbe
@user-gd7to5ct9x
@user-gd7to5ct9x 10 ай бұрын
Oya dizasta upati ktu leo respect hipo ya ziki la nazi.achia jala kaaaaa
@aligomatumla2930
@aligomatumla2930 10 ай бұрын
Kaka vina we mchfu bro Yan ipingwi oioi kala Kama kala ngose msafiri nakubali 👊
@ShabanAlly-lg7dp
@ShabanAlly-lg7dp 10 ай бұрын
We jamaa,ni nomaaaaa,ukitaka kujua hii ngoma,ni kali isikilize mida flan ivi ukiwa umejichokea na msongo wa mawazoo😩😩
@wapigajitv7530
@wapigajitv7530 10 ай бұрын
angekata tamaa nyerere,,,,, oyaah vinaaa
@valencepaul4604
@valencepaul4604 10 ай бұрын
EA anthem “lakin bahati mbaya mtoto hawezi kula ndoto ikija njaa”🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇰🇪black you don’t have to bend knee ile ki uncle tom ,,, kipaji + maarifa+juhudi+ubunifuu= DIZASTA
@jabirynjiku1002
@jabirynjiku1002 10 ай бұрын
black maradonaa,marap wao wala unga tena sembe ila we unakula unga tena donaa
@KANAELNYANDA-zh7lf
@KANAELNYANDA-zh7lf 9 ай бұрын
Bonge moja la tracker shout out to ma man #@dizasita
@mzeebaba6045
@mzeebaba6045 10 ай бұрын
Konkiii... Black Maradona ft kaa LA moto... Oya weeeeee toa jala
@jofreymfugale4752
@jofreymfugale4752 10 ай бұрын
Uwezo wa dizasta unajulikana kuwa ni next level,, ila leo nimejua kuwa kuna KAA LA MOTO nae ana verse moto balaa
@dancankazimoto1483
@dancankazimoto1483 10 ай бұрын
Hata mm pia❤
@hamimumatola2829
@hamimumatola2829 10 ай бұрын
Kuna tofauti kubwa kati ya fid q, geez mabovu , gwair pamoja na wewe. But iyo tofauti ndio wewe halisi .
@kaissalum7364
@kaissalum7364 10 ай бұрын
Nimaaaaasaaa tiche
@festobangi2560
@festobangi2560 10 ай бұрын
ONE minutes remainiiiii wananguiuuu tufurahie kitu roho inaaminiaaaaaaaaaaaaaaaa
@christopherizdory5302
@christopherizdory5302 10 ай бұрын
Hauwezi kuwa mtoto ukisha ZAA. Na mtoto hawez kula NDOTO ikija njaa ,pia kuna mstari wa nyimbo Yako X unasema " MAISHA YA NDOTO YATAISHA UTAIRUDIA KAWAIDA NA UTAGUNDUA Kuwa HAUKUWA MALAIKA" DIZASTAR VINA bro kila nikiingia online nataman kujua kuna nn kuhusu wewe.....ni noma appreciate💯
@ahmedmudric9546
@ahmedmudric9546 4 ай бұрын
Ni heri kuyashinda majaribu ila kufeli ni kushindwa kujaribu
@mustaphasolyambingo5851
@mustaphasolyambingo5851 10 ай бұрын
We hatat
@joramsumary7731
@joramsumary7731 10 ай бұрын
Humu kuna shule sana na hii ndio Hip Hop
@abumuhammad9615
@abumuhammad9615 Ай бұрын
Mmeua sana aisee hii ni masterpiece for many centuries to come
@3dwin6itta60
@3dwin6itta60 10 ай бұрын
THE GREATEST OF ALL TIME..HUTAKI PITA HIVI
@abdallahmuhammed6908
@abdallahmuhammed6908 10 ай бұрын
Hii n kawaida ya uyu jamaa salout kinoma kk
@macksonjuma5180
@macksonjuma5180 10 ай бұрын
Dzasta na kaa la moto inakua Bomu lenyewe
@NachiLapa-zo9ld
@NachiLapa-zo9ld 10 ай бұрын
No one is insane to battle vina He is so scaring when he wear mask for Halloween Huyu jamaa ni WA moto Muuni vina anajua kuwa ukabaji ndo njia ya mafanikio halafu mkali kaa la moto anampa ma hope kwamba kufanya KAZI Kwa bidii ndo suluhisho la mafanikio
@quincechacha6285
@quincechacha6285 10 ай бұрын
uu muziki ni shule level za juu sana
@samwelysimon569
@samwelysimon569 10 ай бұрын
kwa yeyote anae ona hii 2050 achia jala na muscular feminist ni ngoma zilizoleta ukombozi wa fikra kwa vijana wa tanzania natumaini inafanya ivo kwenu pia
@leonardkweka1104
@leonardkweka1104 10 ай бұрын
Dude Tamu na zuri, Linafundisha na kusisimua hisia za Vijana Wapambanaji.
@user-mb1yt6cn7g
@user-mb1yt6cn7g 10 ай бұрын
1day na viewers ni 24k yasipoe haya machakula ya ubongo inatia moyo sanaa ❤ wana hip hop wote tukaze tufike 1M subscribers tumsapoti dizasta azidi kutupa madude ya ubongo
@youngdira1584
@youngdira1584 10 ай бұрын
Ramani ya jiji haisadifu njia zangu🎶🎶
@Yusuph-px6ci
@Yusuph-px6ci 10 ай бұрын
Namiliki jina la ukoo sio sheli dia ❤❤
@jeffmacharia9598
@jeffmacharia9598 10 ай бұрын
Noma sana ..
@landiismollel4075
@landiismollel4075 10 ай бұрын
Duuh, Dizasta, dizasta na Dizasta. Uishi sana
@Daizo530
@Daizo530 10 ай бұрын
Dizasta Vinna❤❤❤❤ unajua ninja
@jesseykariuki4028
@jesseykariuki4028 10 ай бұрын
Hayo yote chini ya mbuyu! Tafakari hayo!
@nickminja704
@nickminja704 10 ай бұрын
dizasta ana mfano asee noma story teller master
@ambokilenyondo3122
@ambokilenyondo3122 10 ай бұрын
Huwa nikiandika verses then nikikusikiliza dizasta nafuta verses naludi kusoma kufwatili kiundani uandishi Bora wa bars nimegee u genius Kidogo home boy niingie booth
@mohamedabdalla5302
@mohamedabdalla5302 10 ай бұрын
Hi Heri Kuyashinda Majaribu Ila Kufeli Ni Kushindwa Kujaribu 🇰🇪🙌
@timothykaiza327
@timothykaiza327 8 ай бұрын
Huyo kaa la moto wa moto kila siku nasikia hii ngoma naona kabisa kaendana na uwandishi wa Dizasta.
@robertmjuba4440
@robertmjuba4440 10 ай бұрын
Oya we boya achia jala ntakupiga daga
@stevemwachi254
@stevemwachi254 10 ай бұрын
Siku zote nikisikiza nyimbo zenu sijutii kufeli shule maana mtaani munanifunza maisha... Vina-Niheri kuyashinda majaribu,ila kufeli ni kushindwa kujaribu..🔥 Kaa-Bidii ni mazoezi tenda kwa mda uone matokeo..🔥
@RamadhaniMkopi
@RamadhaniMkopi 10 ай бұрын
Haipingwi mwamba wa Kali🙏🎵
@omary3238
@omary3238 10 ай бұрын
Nakupenda hip hop kuliko mpira ..🤐🤐🤐
@josmomlundwa9858
@josmomlundwa9858 9 ай бұрын
Illest kabisa kaka upo kwenye sayari yako.
@bensonthobias6765
@bensonthobias6765 10 ай бұрын
Kumuelewa mtu ni lazima uelewe alipotoka 👊
@bazoloemanuel5897
@bazoloemanuel5897 10 ай бұрын
Lecturer wa Mtaa👂👂💥💥💥
@andreamachumi8713
@andreamachumi8713 2 ай бұрын
Dizasta we ni hatar sanaaa mzeee huu utunzi niwa out of this planet
@luc_96
@luc_96 10 ай бұрын
Maisha yanagadhabu nyingi sana
@PaulineJoseph-oy5km
@PaulineJoseph-oy5km 10 ай бұрын
Daah wewe ni noumaaaaaa
@nganasilimavuai9944
@nganasilimavuai9944 10 ай бұрын
haikupita hata sekunde nsilie nikitamani mpaka ardhi ipasuke niingie
@frankchitemo2480
@frankchitemo2480 10 ай бұрын
Scooby,rochi,pachito, Noriega 👀 nakubali
@piusmayanga
@piusmayanga 10 ай бұрын
Namiliki jina la ukoo na sio sheri
@chrisk.efreestylerofficial149
@chrisk.efreestylerofficial149 10 ай бұрын
Naiweka katika repeat mode
@Mwita-vw9rv
@Mwita-vw9rv 10 ай бұрын
Katika watu ulowai kuimba nao wakajibu almost correct as you ask ni kaa la moto. He is very talented with the melody as you have real meaning of hip pop
@aliuali4690
@aliuali4690 10 ай бұрын
Safi sana ...kazi kubwa mno
@mariamhawaya1561
@mariamhawaya1561 10 ай бұрын
Nilipenda kuwa rubani.. ila mambo ni makubwa ukubwani🙌
@sevystaronedancer1785
@sevystaronedancer1785 10 ай бұрын
Nasubir ngoma ya akili ili nijifunze kitu👊🏿👊🏿👊🏿
@cellestinelucas165
@cellestinelucas165 3 ай бұрын
nmesikiliza ngoma utamu wake machozi yamenilenga this is vina 🙌
@timotheovitalis4147
@timotheovitalis4147 9 ай бұрын
Unajua Kwa marapa hatar huyu mwamba aseh anajua ngoma zake zin jumbe sana aseh
@howardbillionaire
@howardbillionaire 10 ай бұрын
nimerudi sababu hawa jamaa nilitamani kitambo sana walink up... kama mtu huna skio la ndani huwezi ona hii combination.... kwa haraka natamani kuona more collab btn them than hii moja... sAFI SANA @KAALAMOTO NA @DIZASTAVINA sana brothers.. sio lazima watu waonekane uchi au ziimbwe content za matusi ndio tutrend noooo..... keep on going vina.. time will tell mzee.. i believe this gonna make them notice kwamba HIP HOP is still alive n nobody can against this sababu hata trending imezama bila kick na snare... HIP HOP IS GREAT LIFE AISEEE
@rashidisanju9628
@rashidisanju9628 10 ай бұрын
NOMA SANA UNYAMA....🙏🙏🙏
@pholylove
@pholylove 10 ай бұрын
Ramani ya jiji haisanifu njia zangu
@wakijivu8562
@wakijivu8562 10 ай бұрын
Mpaka wasemee kaka ww niwamoto ❤
@kastorymalila1109
@kastorymalila1109 10 ай бұрын
Hatari sana wazeee
@hamzermahundu6371
@hamzermahundu6371 10 ай бұрын
Kaa lam moto kauaaaa
@drmedard
@drmedard 10 ай бұрын
ni heri kuyashinda majaribu ila.........ila kufeli ni kushindwa kujaribu
@qualityquartzmusic
@qualityquartzmusic 10 ай бұрын
Sure🎉
@bilalhamoud1738
@bilalhamoud1738 8 ай бұрын
Timamu chafu yangu
@alisuleiman9383
@alisuleiman9383 4 ай бұрын
Waz kaa
@theswordvinamc664
@theswordvinamc664 10 ай бұрын
Sema watoto wamechelewa kumjua dizasta mm dizasta ndo mwalimu wangu wa maixha kama ata wewe umewahi kumsikiliza ujue kunavitu umechukua kwa dizasta ukubali ukatae
@omarmtumbi7151
@omarmtumbi7151 6 ай бұрын
🇰🇪🇹🇿 to the world. Wakali wawili kwenye zizi moja
@sameonesample4548
@sameonesample4548 10 ай бұрын
Unanilete undenzi,nitakuletea ushenzi wewe, wajomba masadali sio wabunge kama wako
@mamencodox6996
@mamencodox6996 10 ай бұрын
kufeli ni kushindwa kujaribu...
@MOBIGO2F
@MOBIGO2F 10 ай бұрын
Haya madusko,hatuwez kugawana NUSU.🎙️🎤🎤
@user-os1rq3bj4z
@user-os1rq3bj4z 10 ай бұрын
Huyu kaa la 🔥🙌🙌🙌
@alfredsoso9070
@alfredsoso9070 10 ай бұрын
akili nyingi sanaaaa
@smartervoiceofficial
@smartervoiceofficial 10 ай бұрын
Utakuta wasenge wasenge kama basata wanabfungia hii nyimbo
@paschalsebastian
@paschalsebastian 10 ай бұрын
Waiting Brotherhood
@alwatanpt4318
@alwatanpt4318 10 ай бұрын
king of new school dizasta vina nikimaliza hii naenda ku stram tena tribulation🔥🔥🔥🔥🔥
@user-jk4kw8jr4v
@user-jk4kw8jr4v 10 ай бұрын
Hip hop yetu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🎉🎉🎉🎉
@maufijose2294
@maufijose2294 10 ай бұрын
Duuh! Huyu Kaa La Moto! ASEE! Mmekutana Wote Magenius Wa Uandish! 👏👏👏
@user-yp1iw8jk9h
@user-yp1iw8jk9h 10 ай бұрын
👊❤️cku nzima Ngoma inaliaa Kama IPO nyimbo moja kweny cm🙌🙌✌️
@mr.katapa_jr4074
@mr.katapa_jr4074 10 ай бұрын
Sitaki kuuza ndoto kama bidhaa.. Ila mtoto awezi kula ndoto ikija njaa.. 🙌
@RIDERNG99
@RIDERNG99 10 ай бұрын
Ata sikupingi vina❤❤❤
@Ali-kl4zc
@Ali-kl4zc 10 ай бұрын
Dizasta respect nakukubali sana 🎉😊
@evonmkamila1891
@evonmkamila1891 10 ай бұрын
Haujawah kufeli💪
Dizasta Vina - Best Friend
8:28
Dizasta Vina
Рет қаралды 230 М.
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 22 МЛН
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 43 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 50 МЛН
Dizasta Vina - Wachezaji wa timu
7:25
Dizasta Vina
Рет қаралды 81 М.
Dakika 10 Za Maangamizi-  Dizasta Vina | Planet Bongo I
12:06
EastAfricaRadio
Рет қаралды 725 М.
speaking with my favorite raper ! DIZASTA VINA
4:47
Msabato ze son
Рет қаралды 6 М.
Kaa La Moto feat Ssaru & Boutross - NAKAM
3:20
KAA LA MOTO
Рет қаралды 314 М.
Dizasta Vina - Uwaridi jeusi Ft Baraka The Prince
5:57
Dizasta Vina
Рет қаралды 43 М.
Dizasta Vina - Shahidi
6:38
Dizasta Vina
Рет қаралды 187 М.
Tribulation
11:27
Dizasta Vina - Topic
Рет қаралды 26 М.
BIG SUNDAY LIVE - AMPIGA BUSU BAADA YA KUSHINDWA KWENYE RAP BATTLE
12:34
Dizasta Vina - Nobody is safe 5
6:07
Dizasta Vina
Рет қаралды 110 М.
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 22 МЛН