Dizasta Vina - Money

  Рет қаралды 54,063

Dizasta Vina

Dizasta Vina

Күн бұрын

Пікірлер: 288
@abdulrazack9577
@abdulrazack9577 Жыл бұрын
GOAT
@asukilekipamila72
@asukilekipamila72 Жыл бұрын
top 3 song in the verteller. the way pesa inachange hands from kibopa, kibaka, dada muuza, landlord, mwanafunzi kwaajili ya ada... ah! this man's a genius. NO ONE COMES CLOSE
@allykaizar1011
@allykaizar1011 Жыл бұрын
Tukamchinja kichwa kibiti mwili msata noma xna
@allykaizar1011
@allykaizar1011 Жыл бұрын
Ujawai kukoxea kuanzia kanisa mpaka money Viva dizasta sarute kwako boe
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious Жыл бұрын
Mkuu Sijawahi Kukupinga 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@rodrickmataba8999
@rodrickmataba8999 Жыл бұрын
Wananchi tuna msoto na mashaka... Pesa imefichwa na kigogo mwenye madaraka...
@hassanmakweto6299
@hassanmakweto6299 Жыл бұрын
Huyu ni zaidi ya jini
@KSACTV
@KSACTV Жыл бұрын
This kid is goated a beast on the mic 🎤 tz hope you guys ain’t sleeping 🛌 on him
@dladchalle9179
@dladchalle9179 Жыл бұрын
Money makes the world go round........Tunakubaliana kwamba pesa ndo kila kitu @dizasta sio😅😅😅😂
@Priver_Jabir
@Priver_Jabir Жыл бұрын
This is next level.. bro unapaswa sasa uwasaidie bongo movie kuaandaaa story kama hizi
@veronicaselestin7134
@veronicaselestin7134 Жыл бұрын
Nimeipenda hiyo vina kawasaidie bongo movie
@luckyone2437
@luckyone2437 Жыл бұрын
Mimi ulinikwaza tu kushusha brand yako kumjibu kaka yake Paula/ Levels zako ni unreachable🙌🙌🙌✌✌
@silasgerrychannel225
@silasgerrychannel225 Жыл бұрын
Ngoma zake ni Kali,, ukisikia intro tuu huhitaji kusikia Hadi mwisho kujua ni nouma ile mbaya,, Dizasta Vina you killin it again and again Money makes the world go around Money makes the world go around What a chorus,,, very simple but meaningful and very tasteful Badman in hip hop Dizasta Vina,,, hats off to you ma man
@sheby_artz
@sheby_artz Жыл бұрын
Wakwanza mimi nipewe maua yanguuu
@HansMellody
@HansMellody Жыл бұрын
Dizasta ndo jina la ushindi,we jamaa unajua sana ,ila mistali yako inatesa sana akili😢
@mdkkomba5403
@mdkkomba5403 Жыл бұрын
Daah sijui unawazaga Nini kaka tungo zinaatali Ani ndomaana fidQ ata acha kuku sikiliza wewe ni 🔥🔥
@ramadhansalum6800
@ramadhansalum6800 Жыл бұрын
Dogo kausha kwanza Hauwezi ukapaza sauti mahala ambapo hauna.............Dizasta🙌🙌🙌
@rich.kizza10
@rich.kizza10 Жыл бұрын
Goma kali hili kaka, naona umelileta tena
@mulie_coco
@mulie_coco Жыл бұрын
Kuna mtoto aligusa Busha wazee, nilicheka😂😂
@nickyvanich6214
@nickyvanich6214 Жыл бұрын
Uh ngoja ni hatari lakini huyu jamaa ni kiboko yao❤❤
@valencepaul4604
@valencepaul4604 Жыл бұрын
Acha nibaki underground huku ndo mitutu inapofichwa💣
@snaidertv1857
@snaidertv1857 Жыл бұрын
Mzeee bongobongo so rahis nmeiskiliza hii ngoma inaujumbe miubwa sana umetumia sanaa kubwa be blessed
@dillungajrgasper9178
@dillungajrgasper9178 Жыл бұрын
Wakwanza naomben like zangu Kam unamkubali black maradona
@stevenmbosa99
@stevenmbosa99 Жыл бұрын
Zikusaidie nini hizi like we zuzu
@marleysumaty2942
@marleysumaty2942 Жыл бұрын
This jamaa is so dope amepanda sana juu ktk list yangu ya hip hop artist bora bongo
@ibrahimkambunga3081
@ibrahimkambunga3081 Жыл бұрын
Cjawahi kukupinga Kaka dizasta 🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥
@mzeebaba6045
@mzeebaba6045 Жыл бұрын
black maradona, black genius, black mtanzania🙌🙌🙌
@karimshabani771
@karimshabani771 Жыл бұрын
another hit song from black maradon hii ngom yakuwek replay
@paulfrancis8160
@paulfrancis8160 Жыл бұрын
speaking of the The Realest G, @dizasta Vina ur one of the best that will always be in this Rap Game, This is not Yooh yooh flow.I swear if Rapcha will write a storytelling track like this bhas the 1st verse itamchukua 2 years kukamilisha only that single Verse..but my brother u make this rap Game look easy the way u do it.U are lyrical minded Watanzania wengi wanashindwa kuona na kuelewa hii becoz they do like easy come easy go staffs. If u have that brain to listen and analyse lyrics then u are in a rght place....aaaaaayeeee......
@shaddyqualityfurniture3595
@shaddyqualityfurniture3595 Жыл бұрын
Yeeeees 🔥🔥🔥🔥 my favorite story telling song... the VERTELLER
@allyviva8328
@allyviva8328 Жыл бұрын
Noma sana dizasta vina lete ya mwanaume wa afrika moja ndefu kali
@uswegehamza5968
@uswegehamza5968 Жыл бұрын
ukweli usemwe dizasta vina n mtu hatar sana 🔥🔥🔥🙌💯🌹
@musicworldwide2625
@musicworldwide2625 Жыл бұрын
Kakayako alileta ujuaji akachinjwa , nimekuelewa dizasta😊
@hassanmakweto6299
@hassanmakweto6299 Жыл бұрын
Jamaa uandishi wake uko smart sana
@JOXX-J
@JOXX-J Жыл бұрын
Dizasta ni nchi ya vina bhana hakuna mwingine kwenye game
@mafioso26411
@mafioso26411 Жыл бұрын
Best rapper of all the time
@abuumansoural-amrik6317
@abuumansoural-amrik6317 Жыл бұрын
No man he is just the best of his generation,Hasheem dogo still undisputed but this man will be up there too
@LANDLORD_TV
@LANDLORD_TV Жыл бұрын
Yo bruh am not jux ur fan now, Am ur disciple
@boscochilongola6507
@boscochilongola6507 Жыл бұрын
A best story teller I ever heard prof vina
@kandegewa7-gg7dh
@kandegewa7-gg7dh Жыл бұрын
❤❤❤
@joshuayengu3624
@joshuayengu3624 17 күн бұрын
Seriously nahitaj namba ya simu ya dizasta
@ramsmambea2318
@ramsmambea2318 10 күн бұрын
Ukiipata utanitumia na mm. Huyu jamaa ni mtu mwngne
@mosesdavid-vm5hk
@mosesdavid-vm5hk Жыл бұрын
Bonge Moja la ngoma kudadadadadekiii
@nyotamy3678
@nyotamy3678 Жыл бұрын
💪🏽
@BantuMtabwa
@BantuMtabwa 8 ай бұрын
Hyuuuuu jmaaa wanasubr afe ndo waanz kusema mazr yke daaaah dunia hiii tz hiii haj kuptkn muandish km hyuuuu
@kungwe3792
@kungwe3792 Жыл бұрын
Daaah oya utengwe Kaka ujua kuandika
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 Жыл бұрын
Dizasta vina vina ww ni zaidi ya msani ww teacher wa fasihi#
@tariqkhassim4059
@tariqkhassim4059 Жыл бұрын
DISASTER VINA KWA KINA NAINAMISHA SKIO .NSKIE TUNGO TATA TOKA KWA MTU MATATA ASIE NA UTATA AKIIMBA KWENYE BEAT ILIYO SLOW UTAMTAKA🙌🙌🙌🙌
@imanisiame6070
@imanisiame6070 Жыл бұрын
let us keep on praying masikio ya viziwi wanaosikia na vipofu wanaoona yafunguke waziache kelele warudi kupata elimu kutoka kwa our lone man army, brother "DIZASTA"
@hipolitemarcus8240
@hipolitemarcus8240 Жыл бұрын
Tema mwanetu, tunakuelewa
@alfredsoso9070
@alfredsoso9070 Жыл бұрын
profesa tungo
@jollityjorgan5920
@jollityjorgan5920 Жыл бұрын
Money makes the world go round 🙌🙌🙌🙌
@HabakukiSanga-w9c
@HabakukiSanga-w9c Жыл бұрын
We ni rol mod wangu ! Narap kama ww na me naamini kukucopy sio Dhambi
@kyternjunie2835
@kyternjunie2835 Жыл бұрын
Dizata hata kwenye biti la rhumba anajua kufikisha ujumbe kwa mashabiki zake 🔥🔥🔥.....
@hassanmakweto6299
@hassanmakweto6299 Жыл бұрын
Fact
@Yo_tune-tb5sn
@Yo_tune-tb5sn Жыл бұрын
Last story imenikosha sana kaka yadogo ila we nomaaaaa🔥🔥🔥🔥
@blackblue9729
@blackblue9729 Жыл бұрын
Money makes the world go around 🔥🔥🔥🔥
@dostovan5142
@dostovan5142 Жыл бұрын
They say money makes the world go round I make it stop. Good track reminds of immortal Technics .. dancing with..
@hipolitemarcus8240
@hipolitemarcus8240 Жыл бұрын
Dah unakichwa gani wewe, ni zaidi ya kipaji Cha kawaida
@godwillmawere5533
@godwillmawere5533 Жыл бұрын
Hizo hasira ni kama binti aliyepima na kujigundua ana mimba baada ya kubakwa,, Hahahaah
@yuzhoshaban5367
@yuzhoshaban5367 Жыл бұрын
You think differently sana mzee, the best rapper ( storyteller) ever in tz
@JaymaderMakaveli-tv3sc
@JaymaderMakaveli-tv3sc Жыл бұрын
👑 vina
@peterminja8097
@peterminja8097 Жыл бұрын
Yo deserve tuzo broh🙌🔥🔥🔥
@rojasmwakalinga2241
@rojasmwakalinga2241 Жыл бұрын
shout-out brother.. your on fire 🔥
@massytv9601
@massytv9601 Жыл бұрын
Noma mkuu we niwa sayari ingine
@suleymanmakiwa1651
@suleymanmakiwa1651 Жыл бұрын
Aisee
@dullahmedia8267
@dullahmedia8267 Жыл бұрын
Nakuanzia sasa tunaingia chocho kwenda kukaba
@BabuGga-td3mg
@BabuGga-td3mg Жыл бұрын
Mwanzoni nikazan ni Kendrick Lamar,huu ni uandishi wa viwango kwenye masikio yetu wasikilizaji, Appreciate ✊🏿✌️👍👏
@khaledmrtrap6937
@khaledmrtrap6937 Жыл бұрын
MI ndo mwanafalsafa NSIE ANDIKWA. VITABUN Napigana vita NIKIFA NAZIKWA NA WAHUN🫡🫡🫡🫡🤕
@davidichaly7483
@davidichaly7483 Жыл бұрын
Mwamba diza unajua sana
@iraisolomon5990
@iraisolomon5990 Жыл бұрын
Protect this guy at all cost!!
@emmanuelodunga5021
@emmanuelodunga5021 Жыл бұрын
Dizastar Atari sana💪💪💪💪💪💪tokea kenya
@JaymaderMakaveli-tv3sc
@JaymaderMakaveli-tv3sc Жыл бұрын
👑 vina natamani sanaaaa kujua kama ww
@millanmanture4376
@millanmanture4376 Жыл бұрын
level five sorcerer
@Bamwenga_Mural_Brother
@Bamwenga_Mural_Brother Жыл бұрын
Duuuhh..... Kweli Money makes the world g.....
@LBproducerGosp-Music
@LBproducerGosp-Music Жыл бұрын
This is dizasta vina a.k.a THE BEAST SLAYER
@rizickkalamata257
@rizickkalamata257 Жыл бұрын
money makes the world go round Daaah 😊
@HoodUnit
@HoodUnit Жыл бұрын
Haijawahi kutokea rapper kama uyu
@cleopamushi2478
@cleopamushi2478 Жыл бұрын
GOAT 🐐
@gaddibullahtzg5635
@gaddibullahtzg5635 Жыл бұрын
Dizasta Vinaaaaaaa
@barakamangula
@barakamangula Жыл бұрын
You kill it bro
@vevewalker4784
@vevewalker4784 Жыл бұрын
💰 ajira amnaaaa
@alimkumba9459
@alimkumba9459 Жыл бұрын
Tusiopenda kuboeka lazima tumsikilize dizastar vina 💪💪💪
@MickeEdward
@MickeEdward Жыл бұрын
Black in this
@youngzubelyzubely2288
@youngzubelyzubely2288 Жыл бұрын
Kitu kizito.. jamaa D VINA unamaterial had unajisahau unaingia dakika ya 5 na uchafu mzee baba.. daah kunawasanii ila huyu ni fuvu la wasanii❤❤❤
@salehssaidategirddb2994
@salehssaidategirddb2994 Жыл бұрын
Black Maradona 🙌🙌
@mohamedjumapili4551
@mohamedjumapili4551 Жыл бұрын
🔥
@THEO_CULTURE
@THEO_CULTURE Жыл бұрын
Panaroma ndio taifa letu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@kibumjohmfugale3310
@kibumjohmfugale3310 Жыл бұрын
One love...
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Жыл бұрын
Namuona Talibkweli na Mos Def ndani ya huyu jamaa heshima sana
@khadrukajishabani1068
@khadrukajishabani1068 Жыл бұрын
Dizast alien ..the smg chatter
@almanalitoyngmula8079
@almanalitoyngmula8079 Жыл бұрын
GOAT .. u will always be the best .. your footprints will stay 4ever ..
@4nil04
@4nil04 Жыл бұрын
Hili chuma dah🔥🔥🔥🔥🔥
@BatidiKatemi
@BatidiKatemi Жыл бұрын
Profesa tungo
@nyikaummary814
@nyikaummary814 Жыл бұрын
Aikili mingi🏧
@shebbybrain9346
@shebbybrain9346 Жыл бұрын
Nakubali💯
@Jukwaa-7
@Jukwaa-7 Жыл бұрын
Hii story inasafiri
@michaelkimaro
@michaelkimaro Жыл бұрын
Daah mwanang unajua mpk unakera sas 🔥
@clichytraveller6897
@clichytraveller6897 Жыл бұрын
Dizasta fundi Sana yani hatumii nguvu
@henrinelson6249
@henrinelson6249 Жыл бұрын
Dizasta ni mtata kwenye story telling, We ni unpredictable nini utakisema kwenye next bar!. Endelea kutengeneza mziki mzuri🤝🏿👊🏿
@RickChazy
@RickChazy Жыл бұрын
Umeme❤▶️🎶✍️✍️💥💥🥰
@calvinsbk
@calvinsbk Жыл бұрын
Unajua sana😂
@ojkolabo8737
@ojkolabo8737 Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@retechytgaming
@retechytgaming Жыл бұрын
Rapcha ni mshamba sana alooo😂😂
@izzo_boy
@izzo_boy Жыл бұрын
Mwanangu wa back to back ❤
@meshackkangwe3414
@meshackkangwe3414 Жыл бұрын
Dizastavina 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@vinchystyles1675
@vinchystyles1675 Жыл бұрын
This is real hiphop!
@udo7157
@udo7157 Жыл бұрын
🙌🙌🙌
@directorimmah_vfx3043
@directorimmah_vfx3043 Жыл бұрын
Nafikiri fid q hakukosea kusema we best rapper kwkee
Dizasta Vina - Best Friend
8:28
Dizasta Vina
Рет қаралды 261 М.
Dizasta Vina - Wachezaji wa timu
7:25
Dizasta Vina
Рет қаралды 103 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
Dakika 10 Za Maangamizi-  Dizasta Vina | Planet Bongo I
12:06
EastAfricaRadio
Рет қаралды 769 М.
Dizasta Vina - Almasi (Feat Tk Nendeze)
4:39
Dizasta Vina
Рет қаралды 80 М.
Sinaga Swagga Session 7  - Msukuma Mjanja
5:50
Msodoki Young Killer
Рет қаралды 211 М.
HISTORIA YA MFALME WA HIP HOP -DIZASTA VINA
13:44
MM HISTORIA
Рет қаралды 16 М.
WEUSI - Interlude Nyeusi
4:05
WEUSI
Рет қаралды 484 М.
Dizasta Vina - Hatia VI
7:02
Dizasta Vina
Рет қаралды 68 М.
Dizasta Vina - Hatia V
8:16
Dizasta Vina
Рет қаралды 133 М.
Dizasta Vina - Shahidi
6:38
Dizasta Vina
Рет қаралды 210 М.