Unaweza kununua album ya #AFF. inapatikana kwa Email, whatsApp au Telegram kwa shilingi 10,000 tu. Mpesa 0762 158871 Tigo pesa 0655 696811 Jina Edger Vicent Mwaipeta
@raphaelkaswahili32311 ай бұрын
Mkuu tushazoea kusikiliza, audio. .... Haya mambo ya video yanatuchanganya 😂😂😂❤❤❤❤
@SizaAdolph11 ай бұрын
Me ntanunua wiki ijayoo kaka
@danielngove11 ай бұрын
Respect man .
@AshaRajabu-j3q11 ай бұрын
Unyama umeua sana
@Evo_Tv111 ай бұрын
😂😂😂😂@@raphaelkaswahili323
@Fundikichwa11 ай бұрын
Msanii wakwnza Africa ambye naweza nikavaa htantshet yenye Jina lake au picha yke na nikawa proud and comfotable... Wasanii wengne wte africa cwezi baado,
@duveehducci938011 ай бұрын
Ukinikata kwa kiwembe damu yangu DIZASTA MTUPU.nikiamka nikila nikilala ...daah! Sisemi sana.wacha tu! Huyu Mwamba ni natural talented.nampeperushia bendera toka Kenya Mombasa..mitaa ya Mtwapa mzambarauni.💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
@eddiedonald748311 ай бұрын
Natia chata kweny list ya maveterani/ Wanaopamba bit kama binti mwenye pete yani/ Chagua jumba la sanaa uchukue kitu uketi ndani/ Au undelee kusearch role modo wako anamdate nani?/ ZUCHUUUU MAMAMAEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@dizastavinafanaccount11 ай бұрын
Unachagua maneno vizuri sana Vina..Special special ability
@noelphilipmollel635511 ай бұрын
Tumsifie mwana na kumpa support ya kununua Albamu....ukinunua hiyo albamu hautojutia.....kuna kazi kama TOP SHELF, MWANASESERE, CHUPA MOJA YA ZIADA, NOT HERO.... aisee wiki ya pili hii sijaichoka
@ayubukaduma101711 ай бұрын
Hiyo album wap inapatikana
@noelphilipmollel635511 ай бұрын
@@ayubukaduma1017 cheki pinned msg hapo juu
@mugadimon356311 ай бұрын
@@ayubukaduma1017anaiuza shilingi 10,000/= anakutumia kwa e-mail, watsup&telegram
@omaryhalfani-ge1fi11 ай бұрын
kuna hiyo a confenssion of mad father kuna hiyo theluji
@hamzazianmisana50811 ай бұрын
Last confession ni hatari sana
@Staykad11 ай бұрын
Kumbe star nimefika kwa movie hii Dadandandaaaaaa 🔥🔥
@jephramso11 ай бұрын
Mnunue Album wazee.. hii michano watu zaidi yya wiki 2 sasa... so tu-show true support wazee..... PARADOX
@mugadimon356311 ай бұрын
Tayari tushachukua
@pilatoguiter899411 ай бұрын
Mwanetu Saizi Kachangamka Sana Sijutii Kuwa Shabiki Ake Sijutii Kununua Albam
Usisahau Kumsapoti Mwana, Kwa Kununua Albam Yake... Shule Ya Critical Thinker!
@dariusmsagha11 ай бұрын
Dizasta Vina is NOT the Tanzanian Kendrick Lamar. He is The Tanzanian Dizasta Vina. His acumen and skill set doesn't need any validative comparisons. He writes for us, defines us and represents us.
@SalumKasambala11 ай бұрын
Nlitamani kua Artist alivotokea DIZASTA nikaaacha For Him kashaimba kula kitu ntaimba nn
@DirectorDeiv11 ай бұрын
Najua nitakuwa Star that's not my major dream Stardom is for little kids legacy's the better thing
@StellaErick-k4i11 ай бұрын
Msimshindanishe tena uwezo wake umejitoshereza
@piussungwa538611 ай бұрын
System ni ya kiwaki tuu mwanangu ila unastahili zaidi.
@kherisalum630411 ай бұрын
Video bora kabisa ya hip hop kwa mwaka 2024❤❤❤
@gwantadibusta11 ай бұрын
Walikuja na Kuondoka kama Menstral Period….. Qudadeki
@RosecocoRose8 күн бұрын
Jina " VINA" na kazini mistariii😂😂😂 ila aisee uncle dizastaa wee ni mnomaaa❤❤🎉🎉🎉
@programtz11 ай бұрын
Tunaomkubali dizasta vina tujuane
@is-mailh.makame542011 ай бұрын
Ukoo wa MBUZI unawapa salaam HIGH 5......🔥🔥🔥
@ezekielbituro796911 ай бұрын
Diizasta vinaaa..! Kaka nmeanza kukufatilia cku c nyingi sana, tena nmeanza sababu ya mdogo angu..unaua sana bro no lie 🔥🔥
@SaidiMkinga11 ай бұрын
Mwambamm sina mengi the way I feel about your lyrics ALLAH ndoanajua 🙏🙏
3:16 Nimeshiba contents, cheki KZbin// Nna material priceless, kwenye fuvu// Japo wanaziba ili nisitrend, kama Dudu// Sizifuati trend, trend nacreate kama Mungu/. Aloo Dizasta ni Noma.
@josephmtingwa838711 ай бұрын
Hadimu kama mythical creature Lyrical teacher naacha case ya criminal kisha napotea kwenye SURFACE siachi PHYISICAL FEATURE naacha HISTORY na ELIMU to every CRITICAL THINKER DZSTVN 🧠🙌♥️🙏
@charybdis811311 ай бұрын
Huwezi kusikiliza nyimbo ya Dizasta mara moja na ukaielewa.
@Heisbry_11 ай бұрын
Dhambi zote za dizasta naziomba nan anazo!? Azilete.... This guy is alien 👽
@AmereZ-q6h11 ай бұрын
Me nampa miaka yangu mitano ya kuishi duniani
@abelmwashiuya124811 ай бұрын
Mdundo wa ringo beat💥michano ya maradona 💯
@franklissu58911 ай бұрын
Jina Vina, na. Kazini mistari.... DIZASTA VINA
@kelvinodera82111 ай бұрын
Big love from kenya🇰🇪kijana hatari...Badili spana hii ni volvo.
@gaddibullahtzg563511 ай бұрын
Dizasta vinaaaa,,, umetisha sana mkuu God bless 2024 tumeanza na confidence ya hali ya juu
@mohamedissa922811 ай бұрын
Kuna jambo dogo ambalo hata watoto hawajatambua kwamba kuna joto ila dizasta ni wa moto kushinda jua
@yussufkhasim902111 ай бұрын
Bro 🎉🎉🎉 mwenye atakae mfananisha huyu bro na msanii wowote bongo atakua katukosea heshima sisi kama fans wa good music 🎉🎉🎉
@el-hajjel-shabbaz807811 ай бұрын
Van ghor mzee wa kuwapa kizungzungu ukishade layers
@visionally97511 ай бұрын
Daah kama baba angu angekuwepo ningemwambia dizasta ni nani.. na kila siku niimbe nyimbo moja kabla ya kwenda shule na kulala🔥🔥
@dismasmushi932811 ай бұрын
Rappers mnamskilizagaa uyu mwenzenuu kweliii jifunzenii kitu jamaa akilii kubwaa sana uyuuu
@danielchale644311 ай бұрын
My childs wako na two options , listening to dizasta vina masterpieces au wakajenge nyumba yao wakafie mbali
@geraldmushi444511 ай бұрын
Fika ghetto pika ugali wako na nyama, kula ushibe then njoo ckiliza hii ngoma😊 Utanishukuru badae
@BonMaro11 ай бұрын
Bro u knew mbaya mbovu kinyama yani daah no one bro mmh nimeilewa sana mmh akili nyingi sana zimetumika humu ndan kamaa ufikirii mbali u never know what u means ndani yaii song mmh maaana umenifunza vingi kwenye hii song ✍️🎵🎶🎵🇹🇿♥️ Vina God bless you and lam so proud to be ur fans ,live more bro
@SalumKasambala11 ай бұрын
We need To Goo Number 1 On Trending Oooh My Genius DIZASTA 22 Now❤
@Don.26Alien11 ай бұрын
NO BODY IS SAFE ....🔥🔥🔥 Bro we Ni LEGEND....+ ...WORRIOR
@samwelysimon56911 ай бұрын
bro u getting better and better acha na tungo kideo cha hiphop iki apa
@nakalikyumile32342 ай бұрын
Tusapoti watu kama hawa kwa kununua album zao kwa wingi hili linawezekana tujitoe wazee
@kimpyonglee755211 ай бұрын
Adimu kama mythical creature, lyrical teacher, naacha case ya criminal kisha, napotea kwenye surface siachi physical feature, naacha history na elimu to every critical thinker.
Vinaa hiyo album nipe uelekeo naipataje . Umetisha nyimbo n makin
@mulanmike199711 ай бұрын
tulionunua album tujuane hapa 🌋
@abdulmohd688011 ай бұрын
Niliilipia 10000 na black Maradona mapema sn alinipatia mzee magoma yote yamenikosha ila hii na Hatia Vi n zaidi ya noma
@dunstunnchimbi799411 ай бұрын
Tupo brother. Wazee wa kusikiliza Interlude ya Hatia VI
@mulanmike199711 ай бұрын
@@abdulmohd6880 safi tusupport kazi yake aisee 🫧
@mulanmike199711 ай бұрын
@@dunstunnchimbi7994 ewaaaaa maridadi kabisaa
@abdulshakoursalumsaid712511 ай бұрын
@@dunstunnchimbi7994 😅 naiskilizaga sana ile interlude jamaa wanavyobishan.
@mashramadhani198911 ай бұрын
Daaaaaaa huyu dogo rapper mkali sana tumpe sapoti wabongo na East African kwa ujumla
@felixrumisha513211 ай бұрын
missed part ya kikosi kazi, i said that kitambo, .. am speechless... leo nanunua albam
@LucyJames-l6g11 ай бұрын
Nyie watoto WA 2050 uyu jamaaa ni hatal kwa wakati wetu jifunze vitu humuuu
@6ix7ven11 ай бұрын
Kuliko anaye sema elimu ni ufunguo wa maisha Bora ni msikilize disaster vina Kuna kitu Nita pata
@HamisiNanyata11 ай бұрын
Mambo ndio hayo sasa, mwana kaiteka hip hop, nani anabisha?
@bahopamontana638111 ай бұрын
Ifike atua TANZANIA tumshukuru MUNGU kwaajirinya DIZASTA VINA
@alphoncesamwel697311 ай бұрын
Walisha prove Ngosha na Prof.. Sisi ni zuzu tukatae kuwa wewe SI Lryical teacher. Nataka Album Leo.
@salimmwabundu95811 ай бұрын
Ndio hii sasa Hip hop in the safe hands
@bizzleadam989511 ай бұрын
Jamaa.." akili yake KUBWA sana...Cjawah ona wa kumlinganisha nae labda kidoogo tena kwa mbaali NGOSHA
@danielmtawa50647 ай бұрын
☠️🚀blaza wew n commando🙉
@jessekent506011 ай бұрын
Herufi za hii keyboard hazitoshi kuutukuza ufundi huu.
@drmedard11 ай бұрын
fan base bila Mchomvu na B.Twangaalaaaaaa.......
@klcmedia250311 ай бұрын
I wish ufungue chuo cha rap,mcs wajifunze kabla hawajaingia sokoni,it is good for the industry,no hard feelings,kwa level yako ifike mahala serikali iingilie kati kuwe na recognition za watu kama wewe
@paulomesarieki30911 ай бұрын
Yeah man
@heliudjulias774811 ай бұрын
Mashabiki tuna uriza kwann hauonekan wakati kwenye kira risti haukosekan.. Vina mtu mbaya
@emirythabith970411 ай бұрын
best rapper ever in our country dizasta
@vitendothidiyamanenobunyag674611 ай бұрын
Kidmange na vina adi kigoma kasulu
@benardmisaba519611 ай бұрын
Umetuwakilisha mapema mno
@detlantamarooned180911 ай бұрын
Dizasta Vina mpaka Buhingwe - Manyovu. That's very sure, Dizasta Vina ni wamoto kushinda Jua.
@DismasPhidason-vu6bt11 ай бұрын
Rapcha, lunya, njoo mjifunze 😂😂😂. Nakushangaa Ukija Bila Plan Kwenye Battle
@sevystaronedancer178511 ай бұрын
Duuuh yani wewe umeshindikana bro Ngoma imeisha bila kupenda 👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿Dizasta unakichwa cha dhahabu 👊🏿👊🏿👊🏿
@gagalinodenatrick165211 ай бұрын
Daaah yaan hata sijui nikuelezee vipi vina since day one kilingen niliamin utafika mbali wewe n genius broo
@Mswahili-122 ай бұрын
Bonge moja la pumbu, kubababake, Noma sana.
@SirajCreedi11 ай бұрын
Nakubaliana nawe
@omarabdulaziz378611 ай бұрын
"Nina materials priceless kwenye fuvu" Vina
@michaelnyagalu584511 ай бұрын
Linapotajwa jina langu marapa wanatokwa na povu, mi ni ndovu, walisha approve Ngosha na prof.
@KasembeObedy7 ай бұрын
Uuh mwaka auishii kaka tobo letu kubwa kitanzania nia nia mpaka kuku akujue mana muda wako kaka nakujua na nilijua hipo siku dunia itakujua
@zungatv554311 ай бұрын
"Ntakushangaa ukija bila plan kwnye battle mana unahitaji kiwango na mipango kunimudu" 🔥🔥🔥🤛Vina unyama sanaa mwana...representing KE
@electricaldevicesskillsand45317 ай бұрын
from kenya nampa sikio kuma ww kama humpendi dizasta..juju kumbe nislay queen kama nunu
@luckylakey061311 ай бұрын
🇰🇪naipeperusha. Jamaa hakosei💪
@emmanuelmwamonje238911 ай бұрын
We Ni Rapa Nyokoooooo
@omaryahmed710011 ай бұрын
Duuh!!! Simpingi Dizasta.
@mcbartonkesh366411 ай бұрын
From Kasulu to Kigoma tunakupa muruaa kabisa
@martin_mjb391711 ай бұрын
Oyaaa hizi Visuals✊🏽
@zainabmaulid963711 ай бұрын
Dizasta vina hujawahi kukosea
@AshaRajabu-j3q11 ай бұрын
Nimefurahi sana kuona kweny trending
@pilatoguiter899411 ай бұрын
Uwezi Amina Mambo Ambayo Ubongo Una Sove
@MangaraKamwera-of3ff11 ай бұрын
Kichwan kwang sijaonaa wakuu fananishwa nae.....unatup midundoo unatupaa fulaa unatishaaa dzt....... Gg up san
@johnny.j.nyondo11 ай бұрын
Kwa hii sasa ndo nimeuanza mwaka. Na mwaka utakuwa mzuri. Ahsante sana nashkuru brother.
@noahmgaya668710 ай бұрын
D we ninoma kweli wee ni laaananakupa 💐yako we si mkal bali nihatali watoto wakae mbal san san
@onesmosuccess843411 ай бұрын
Hunaga kazi mbaya kaka wewe ni vina sauti yako ni vina, Ifike sehemu dunia ichue kuna rapper anaitwa DIZASTA VINA🔥❤️🔥
@RapperTyger-vv1vt11 ай бұрын
Na fanibes bila mchomvu na b,twangalaaa hahahahaha Nouma we nu nyOko
@malombo_mzei11 ай бұрын
Genius ni uñderstatement, half man half god paradox!!!💯🔥🙌
@sangomacmc355810 ай бұрын
RINGOBEATZ🔥🔥🔥💯🎶 dundo la kubwa mno
@corrosiveacid830611 ай бұрын
Mwacheee afanye mapinduz ya hip hop
@jephramso11 ай бұрын
Niko bize na mkwanja, na ndio maana sionekani viwanja, kama vile sikai Dar
@EzzyK43811 ай бұрын
Foleni kubwa sana me nacoment wapi sasa 😂
@gerriemagic11 ай бұрын
Game recognizes game ✌🏽... Aliegundua Dizasta kavaa t-shirt ya Album Cover ya Fivara anyooshe kidole 😅
@yuvenalalphonce597811 ай бұрын
THIS VISUALS ARE QUALITY 🔥🔥 KEEP BEING MODERNIZED MASTER
@DanielJeremia-mj4bj11 ай бұрын
Nobody is safe nikawa najiuliza kwanini inaitwa hivi kumbe inatuelezea uwepo wa Dizasta Vina kwenye game respect Bro
@ThomasThomasmozesi11 ай бұрын
Kio wajamii darasa wazi ❤tuishi kihipap
@MRBAEBA-jc8vj11 ай бұрын
My best artist hip-hop bongo umiza ndonga
@nakamsilikasi331011 ай бұрын
Ndugu watachanga michango ukitusu
@omarypetro320711 ай бұрын
Kiukweli jamaa hapa Tz yupo peke yake aisee - jamaa anajua mpaka masikio jipata 💥🎉🔥🔥🇹🇿
@Don.26Alien11 ай бұрын
Walisha-APPROVE NGOSHA NA PROF.. BRO WE NI VETERAN TAYARI...🤜🏽💥🤛🏽