Every now and then I come to revisit this masterpiece. For my mental health
@majosir9430 Жыл бұрын
best song ever ..the reality on it is lit broo ...kazi safy
@franklachman88832 ай бұрын
The best way to maneuver an enemy. Masterpiece song. According to Sun Tzu, the art of war, then, is governed by five constant factors to be taken into account in one’s deliberations when seeking to determine the conditions obtained in the field. In my understanding, you have applied the 3rd principle, which is EARTH. Lyrics was well planned for a future big win.
@FaileXit11 ай бұрын
" mitihani hii haina majibu palipo amani pana taifa nadhifu usitegemee niwe msafi kama malaika wa mbingu na unajua mi binadamu mwenye haiba dhaifu" this provokes a tear Bro 🔥🔥✍️ wino kweli ulimwagika hapa Love from Kenya
@Seccohvisual2 жыл бұрын
"Mjini umekuja juzi juzi alafu unaleta makuzi mamaye" kama umesikia hiyo acha like🔥🔥🔥🔥
@phiniasntem2442 жыл бұрын
Mstari wa rapcha huo nn
@luganonsubisi34182 жыл бұрын
Black maradona hatari
@Yanga_sc_302 жыл бұрын
Rapcha choko yule
@yombokasonga81612 жыл бұрын
Imesikika hiyo naniukweri
@BOSSMTOTO-sn5yf2 жыл бұрын
ukosawa yooh
@davabackup77672 жыл бұрын
Haya mlikua mnabisha Kaka yangu dizasta hatojibu niliwaambia ni Kaka yangu namjua sio mnyonge manina likes hapa nizione 😂😁😁
@kikotinationtv482 жыл бұрын
Tulio lud kusikiliza tena hii ngoma tujuane kwa likes apa
@hillaryjuma84342 жыл бұрын
Watoto wanakuja jana af wanadiss babazao 😅dizasta shkamoo
@baloziubalozini50742 жыл бұрын
Ngoma ya Dkk 8 Trending on top 5 Zilizobaki hazifikishi Dkk 5 Do you know what it takes to listen to a 8 mins song that doesnt talk about Love/sex/gossips/Politics but STRAIGHT AND RAW HIPHOP!? Oiii "D" that is history
@Mr.Kibabu2 жыл бұрын
as usual, track yoyote ya Dizasta huwa like kwanza kisha nasikiliza, Likes zangu hazijawah kwenda Bure. Dizasta Genius sana
@godfreyvijana43312 жыл бұрын
hahahahha
@ommygraphics43552 жыл бұрын
Kumbe wewe kama mimi naanza kulike kwanza alafu ndio nasikiliza.
@jaxflavour11802 жыл бұрын
Hakika
@luganonsubisi34182 жыл бұрын
Black maradona
@leolaswai57842 жыл бұрын
Professorial substance, really substantial,full body of work,maths, science and history all combined.The reach for the stars.
@luganonsubisi34182 жыл бұрын
Black maradona
@barakamshiu71462 жыл бұрын
this is space's stuff....... people on the earth can not manage
@saidcoutinhophillipe18452 жыл бұрын
@@luganonsubisi3418 anakwambia yupo tayari alikua tayari na ameshakua tayari yaani NI wewe2 ukijichanganya anakunyandua
@chichasam90322 жыл бұрын
@@luganonsubisi3418 >
@Tellaaxis2 жыл бұрын
Scientists 📻
@princegabriel37702 жыл бұрын
Lunya left..🚶♂️ Rapcha Typing...📝 Tale trip to garilaya...🚗 Fela Muted...🔇 Kadgo Witness..😇 Candy Crush Uninstalling...🚮 Mavuz got Respects 👮♂️ Mende got shots🔫 Kanisa knows everything about Dizasta
@stevemwachi2542 жыл бұрын
If Rapcha is typing...he better be ready to become she...Dizasta anauwezo wakumbadili Fid kuwa sajna,yeye atabadilishwa jinsia kuwa Zuchu..Akacheze na watoto wenzake wakupiga kelele hapo anaingia kwenye tanuri la🔥🔥🔥
@mohamedissa92282 жыл бұрын
Huyo mtoto mwacheni apate somo. Kakutupukia rap Alafu hataki Elimu. Shenzi Sanaa hawa watoto wa type yake.
@leonardmhagama58282 жыл бұрын
P hajakwambia game jela,sio daycare?🤣🤣🤣🤣
@Iamsaintlaurent2 жыл бұрын
😂😂😅😅
@luganonsubisi34182 жыл бұрын
Black maradona hatari
@zithnation79202 жыл бұрын
oya kaka mkubwa lile atomic bomb unalo andika usisahau kuna mwengine kaunga, motra the future sasa iki kupendeza wa jumlishe tuu wote. Ata ikiwa nyimbo ya lisaa tunaskiliza😊😊
@hassanmakweto62992 жыл бұрын
Hao ndo watu waliotoka kwenye dunia ya punchline,dunia ya uandishi bora 💪💪💪💪watu wenye sanaa yao
@emmanuelchilimo2 жыл бұрын
Hizi Dakika 8 za maangamizi make hip hop Culture iko hapaaaaa... Dizastaaaaa....
@kiduaalute6032 жыл бұрын
Hatwariii,kauwa Sana panorama
@yusufuselemani63392 жыл бұрын
Nishadiss hadi kanisa langu msenge, hukumbuki unataka Niue mende kwa bunduki 😀😀😀 master on teaching mode 💪
@kibwamoko8767 Жыл бұрын
Kila Mwezi lazima huwa nirudigi hapa kusikiliza. Nitaendelea na utaratibu huu hadi Mwisho.
@soccerupdates52 жыл бұрын
Huyu mwamba apewe tuzo yake ya utungaji Bora, Ngoma zake zote Kali asee🔥🔥🔥
@georgeludakulo47502 жыл бұрын
Nakubali dizasta anaulimwengu wake kwenye huu mziki
@valencepaul46042 жыл бұрын
Akili zao haziwaruhusu kumuelewa ila ngoma za dizasta zinaishii 💥💥💥
@pcmofficialtz2 жыл бұрын
Uandishi wa huyu jamaa apewe kazi kwenye ngazi Fulani afundishe wasanii 🔥🔥🔥🔥🔥
@stevemwachi2542 жыл бұрын
Vigezo wanavyoangalia hao sijui ni vipi ili ikija upande wa usawa hilo tuzo lingaichiwa DIZASTA alihifadhi kabisa maana hakutatokea tena mwengine atakaekuwa na uandishi kama huu
@idrissachisigwa53602 жыл бұрын
Oya kaka ngoma zake uhakika
@bigirimanadaudi97972 жыл бұрын
Bongo rapa ni wawili tu Dizasta na fid q wengine ni fujo sema dizasta umeniangusha kumjibu yule dogo ule bado sana
@bensonmasawa47492 жыл бұрын
"Wanaita wanawake mabitch, utadhani hawatapata mabinti" "Futa candy crush kwenye simu" "Siwezi ringa nyumbani mbali bro" "Furaha yangu ni kuona umamretire bi-mkuwba nyumbani" "Pole sana universe doesn't play fair" "Ukilala game itakujig-jig now now".... These nukes are not for an individual, Dizasta is attacking an archetype... He is a poetry genius and a gift for our generation.
@mwiropeter16022 жыл бұрын
Not to mention the wordplay skills 🙌🏾
@lameckliu5052 Жыл бұрын
I had to screenshot this bro, stored on my archives ❤
@dizastavinafanaccount Жыл бұрын
Well put
@timothykaiza3272 жыл бұрын
Hiyo inaitwa kung’atwa nakupulizwa, unapewa vitu alafu unapozwa you are my best friend 😂😂
@davabackup77672 жыл бұрын
Nimecheka 😂😂😂😁😁😁
@phiniasntem2442 жыл бұрын
Hahahahaa hatari kaka
@zebedayojonathan22572 жыл бұрын
Hii ngoma ina unyama mwingi sana nimeplay mara kumi kuisikiliza ❤❤❤❤
@malamafyisamkanda53622 жыл бұрын
Sema Tanzania atuna usimamiz mzuri kwenye sanaa kwamana Ukiangalia Tuzo wanapewa wale ambao hawajui uandishi Bali mziki wao una Bebwa na mabiti yenye mkito mkarii na sio uandishi. Wale ambao Wana jua uandishi na hawana promo wanakuwa wanajifanya hawawaoni na hawathamini ila cc mashabik tunazd2 kuwafuatilia atuchoki 🔥🔥🔥🔥 Dizasta is better artist kweny nchi hii uandish wa umakin kama Huu wanao wachache sana na Hawana promo nying na Wala hawapew kipa umbele kwenye media yeyote apa Bongo 😥😥
@zedekiajumaluwumba34732 жыл бұрын
futa candy crush kwenye simu ✊🏾
@antonrichard22492 жыл бұрын
Sawa fundi tungo, Mungu akuhifadhi zaidi na kukupa maarifa .......unawalea leo kesho wananyea kambi
There no coming back after this, this is a straight casket. Mtu anakufundisha alafu anakudiss alafu tena anakukumbusha alafu anakuelimisha alafu anakudiss alafu anakukumbusha. Damn.. after professor jay, fid q na nikki mbishi nimewapa hii nafasi kwa ajil ya u legend... ila this guy disaster nobody can fuck with him, alafu its a miss match katumia bunduki kuua mende
@petermichael46152 жыл бұрын
KAMA UMERIRUDIA HILI GOMA MARA KUMI KULISIKILIZA GONGA LIKE HAPAAA DIZASTA VINA MESSI WA HIPHOP🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🔥🔥🔥
@taufiqkweka6692 жыл бұрын
Sio mara kumi km tisini
@beatricedanken89362 жыл бұрын
Nmeirudia masaa yote ata sielewi n mara ngap
@stevemwachi2542 жыл бұрын
Iko kwa repeat mode,nimeisikiza siku nzima naona kama ndio naianza mara ya kwanza...lazima apate somo la bure
ARGENTINA IS PROUD OF MESSI.... HERE TANZANIA OUR MESSI IS DIZASTA. THIS MAN IS COMPLETE PACKAGE THAT THE INDUSTRY NEEDS.
@msodokidasilva67392 жыл бұрын
Kama unaamin dogo rapcha kayakanyaga gonga like apa 🐐
@xhenobizzy3345 Жыл бұрын
Dizasta n vorteller
@hassansadaka-n8d10 ай бұрын
Rapcha is still young here...Dizasta 💯
@jumakondo568810 ай бұрын
Rest In Peace Mangwair Hip Hop legendary. Hollaa Dizazta U re too a legendary bro
@ashuramuhammed32572 жыл бұрын
Rapcha umekanyaga waya huyu jamaa SI wakumdiss kabisa hili goma utazani limetungwa miaka 100 kumbe limetungwa siku 1tu na kichwa timamu dah dizasta unajua sanaaaa& good song@
@Vanisikaka2 жыл бұрын
Lunya left.. Rapcha Typing🤔.. Tale trip to garilaya.. Fela Muted... Kadgo Witness.. Candy Crush Uninstalling.. Mavuzi got Respect🙌🏾.. Mende got shot💥 Kanisa knows everyting about Dizasta🫢 I'm going to react this Case🏃♀️
@reeckstar9312 жыл бұрын
Go go go bro 💥💥💥
@bakarpaul50462 жыл бұрын
Bro tufanyie reaction hii😂
@mukaplatinumz30452 жыл бұрын
😂😂😂van
@vicemsanii67562 жыл бұрын
😅🤣🤣
@mnyakitz20072 жыл бұрын
Your wellcome
@travismlelwa87352 жыл бұрын
99 tafuten pa kupeny maana c kwa moto wa dizasta. Mtakuf ghafla bila kuugua😂😂😂😂😂
@Imahmedseif28062 жыл бұрын
Nyieeee Hii ngoma nilishaiskiaza kesho ni kali snaaaaa yan inafundishoooo
@mellenigga31822 жыл бұрын
Dah na enda nunua Album yah huyu mwamba kwa kweli 🦅
@nyerumedia2 жыл бұрын
Tupo tofauti kama sigara na tumbaku so ukiletea chuki hiyo ni ishara ya upumbavu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥. Huu mstari nimeuelewa sanaa kaka hakuna rapper yeyote anaeweza kua kama ww wewe ni the best 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@therealdL1882 жыл бұрын
Nilishasemaga tracks zako zitumike kama lecture katika vyuo vikuu hapa inchini... This shit is hot 🔥🔥🔥🔥 🔥🔥🔥 real the blackmaradona 👊👊👊👊
@venturebown6983 Жыл бұрын
Deep thinker 💥deep writer 💥 deep delivery 🔥🔥Usiuwe mende Kwa bunduki📸
@hendrickndossi14352 жыл бұрын
Ujawahi kuangusha kizazi cha mashabiki wa hiphop,what a masterpiece.we need u bro.mamae.
@erastompongo84002 жыл бұрын
Hiyo inaitwa kusa unaswe Ata sisi wenyewe mtaani tunakutana na challenge Kubwa tunavumilia tu @Dizasta best hip-hop Tz
@cptnbazil6121 Жыл бұрын
Dizasta bro hii ngoma ilikuvusha ligi kubwa ikakupeleka ligi special uliua sana mwamba hapa niliproof u are the best beast iko siku watakuelewa tu niamini
@neko98692 жыл бұрын
Ni kipindi cha dk 8 sekunde ya 27📝📌🔥# GREAT DIZASTA VINA ✊🏿
@xhenobizzy3345 Жыл бұрын
Sijawahi kuchoka ngoma zako very deep feeling
@koechdickson8012 Жыл бұрын
Dizasta vina's tracks you can't listen while walking. You must sit down. 🔥🔥🔥🔥
@johnsonmaro9302 жыл бұрын
True definition of rapper sio awa wase** wanaoimba sauti za kike na kufuga nywele kama wachumba .. KIKATILI NAKILL MASTANZA ..
@abdallazakaria69532 жыл бұрын
💣💣💣 weka mbali na watoto 18🚫⚠️
@lugazodecoration32622 жыл бұрын
@Rapcha kachambia upupu @dizasta vina sio mtu mzuri
@salimmajani67492 жыл бұрын
Tumpe maua yake akiwa hai maua hayatamsaidia kitu akiwa mdani ya jeneza...heshika sana D mwanangu nakukubali ile ile nna ngoma zako zote asee kila ukichapisha napitia hilo chapisho lako hongera sana🤝
@eddynassor52422 жыл бұрын
Daa huyu mwana noma leo nimesikiliza nyimbo zake zote 🤛🏼
@DurahRich2 жыл бұрын
Rapcha zamu yake kumsikia broh😂🙌🙌🙌🙌
@k-tonetheicon2122 Жыл бұрын
Wiiiiiiiih 🤣🌹👏👏🔥🔥🔥from Kenya Dizasta huna huruma daaaah 🔥💔🤣mende huezi ua na bunduki very true 🤣🔥level hii ni ya mastaaaa
@bullychandy65092 жыл бұрын
Siwezi ringa nyumbani mbali Bro 🙌🙏
@worldhappiness1181 Жыл бұрын
Kama Fid Q kamuweka namba 2 kwenye playlist na Rapper of all time, sisi tubishe ni nani, dizasta ana madini bana
@KuppeBurrows2 жыл бұрын
Sikuwahi kua shabiki kindaki ndaki wa huyu mwamba ila Kwa hili me nishabiki ako namba Moja kwanza kitu nilichopenda kwenye dis track Umeonesha uwezo Alafu pia humu Kunalaza Pia huja dis mtu umemuelimisha chalii 🔥🔥🙌🙌
@BnTMusicLabel2 жыл бұрын
We ndo ulinifanya nipende kusikiliza hiphop na sijutii ur the real G.O.A.T 🙌💣💥
@allymbondo1112 жыл бұрын
Rapcha alilikoroga...hii kapigwa kwenye kila mshono lazima ainame na kusikilizia maumivu😅😅😅. Nilikua namkubali Rapcha ila kumdiss Vina imebidi nimpunguze kwenye favorites. Dizasta, take a bow brother🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@johnlibiah15062 жыл бұрын
Kuna ngoma moja huyu jamaa sijui kashirikiana na Nan vile ....hila anabishana na bounsa ivi....john from Kenya nisaidieni kuipata
@kibwamoko87672 жыл бұрын
Yupo na Shaulin inaitwa Baunsa
@Sportycorner2 жыл бұрын
Hii inanikumbusha Machine Gun alivyomdis Eminem Killshot ikamuhusu aisee rapa wenu amechokoza mzinga wa Nyuki hii ikawe fundisho Kwa marapa wote wanaodis Culture Dizasta is A Legend men ✊🏾
@Damiantuby2 жыл бұрын
Ni sawa umemfukuza mtu mpaka kwake akaingia ndani akatoka na shoka 😂
@mugadimon35632 жыл бұрын
Dogo aliyakanyaga Eminem kaenda kuua
@swalehbakari26672 жыл бұрын
Rapcha kaingia cha kike
@swalehbakari26672 жыл бұрын
@@Damiantuby 😂😂😂😂
@johannesjoseph74962 жыл бұрын
@@mugadimon3563 Vina ana line moja anakwambia Kibaha mile moja/ Mi ni 8 miles-eminem/
@modricmaro8512 жыл бұрын
Serikali yetu ingetenga kipindi kimoja madarasani zipigwe ngoma zako tuuu naisi tungekuwa mfano wa kuigwa na dunia
@totojinga27952 жыл бұрын
Nimerudi kuiskiza tena ...hapa..baada yakuskiza ..ngoma ya Motra the future( Sisi sio marafiki)..lakini bado...haiwezi fikia Best friend ya king Dizasta Vina🙌🙌🙌
@beckboy93282 жыл бұрын
Oy huyo dogo anazingua mpe jiwe jingine
@nehemiamwashinani18212 жыл бұрын
Kuna mtoto kakuchokoza mkuu motra the future anautaka moto !!🔥🔥✅
@phadhilathuman30542 жыл бұрын
Kwa kweli huyu dogo nneskiliza ngoma zake kadhaa kuna KANISA, KIKAO, ..ila iyo kikao dah
@worldhappiness11812 жыл бұрын
Ile Siku mbaya na Hatia V, daah!!
@kibinda2 жыл бұрын
Nimependa sana huu mstari "Shukuru leo kaka ako nipo so school is free ,skills ka' Albert Mangwair ama Bruce lee" 🔥
@igpk22752 жыл бұрын
Kamaanisha nn hapo
@kibinda2 жыл бұрын
@@igpk2275 hapo target yake kubwa ni Rapcha ndo maan 80% ya hii nymbo inamuhusu yeye na wala sio diss kwa rapcha hapan ndo maan always anasound we are best friend anamwambia ashukuru sana leo kaka ake anampa darasa bure kwa kuwa ana maujuzi kama Ngwear ama Bruce Lee
@alfanngalihya64642 жыл бұрын
Umeelewa nn lakn hapo kiongozi??😳😳😳
@reubenbaraka68692 жыл бұрын
Eeeh bana nmecheka saana niliposkia huu mstari
@baricsalum96132 жыл бұрын
Mamaeee🙌🙌🙌🙌
@MagembeAngelo5 ай бұрын
Ngoma zako uchoki kuzisikliza ngoma best friend ngoma Noma Sana mwana anajua
@shavaivagefrata71132 жыл бұрын
Dah brother we ni level za juu saana nashangaa hata huyu mtoto kapatia wapi ujasiri wa kutekenya kinyago🙌
@margerithapaddy3157 Жыл бұрын
For the first time nakuskiliza na kukupa crown, wewe ni mkali sana@ Dizasta vina
@mullanochamp38602 жыл бұрын
Dizasta get the crown we ni king mzee wangu 😂 mtoto ameunyea mkono tunaukata kabisa 🙌
@rashidisanju96282 жыл бұрын
UNYAMA DUU ASEE WAMEKA NDO KWANZA NJANUARY HII💥💥💥💥💥
@abdullahmanmiyanjamo17962 жыл бұрын
Vina ni Eminem mwingine battle yake ni ya sayari nyingine ......Salute My G...
@ShaqueeBlackrapper2 жыл бұрын
PROTECT DIZASTA VINA AT ALL COSTS WE CAN'T LOSE THIS LEGEND ✊🏿
@EzzyK4382 жыл бұрын
Kama umesikia Rapcha kamalizwa kwenye verse ya mwisho weka like hapa 👍👊
Bro yule mtoto mdogo tu akuwezi kaka umetisha sana 🔥 🔥 🔥
@sutiyangu9347 Жыл бұрын
Nikiwa naweza kumgeuza fid q kuwa sajna.. Dizasta daaah
@alfredyjoseph9832 Жыл бұрын
Legend ni legend tu kwa dizasta uyu dogo wa 1999 atauponza
@Goalscorer122 жыл бұрын
oyaaa wee hii ngoma unatoa album 1000 za raptcha😃💥💥💥kumamake 🙌🙌🙌
@pcthemaster90962 жыл бұрын
Hahahahah. Mamaee wallah dah
@frankmadumba72432 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@Goalscorer122 жыл бұрын
yan inshot mwaka ushafungwa😃😃😃💥
@Kalifikra2 жыл бұрын
Kumamake huyooo
@Goalscorer122 жыл бұрын
@@Kalifikra akanywe sumu tu😃😃
@davidTentacion31042 жыл бұрын
Hii inaitwa double kiki mamae
@emmanueltesha20082 жыл бұрын
Black Maradona🙌 Mtoto amepigwa rabona👏👏👏
@GeronimoMorgans2 жыл бұрын
😂😂😂Panenka iliyotukuka
@dn_arg2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@evonmkamila18912 жыл бұрын
😂😂😂😂😂daah
@chescomwigune78862 жыл бұрын
Shida watu wamemjua jamaa juzi tuuu ndo maana Hata wanafananisha na hyo anayeimba Kwa Sauti ya juuu kama kwaya huyu mwamba anajua na nyimbo zake zingine unaweza usielewe Hata mwaka mzima
@richardtitus85392 жыл бұрын
Mwanangu Edgar unaReflect sana maisha halisi🙌🔥
@jayb33zy_2 жыл бұрын
Dizasta Umekuja na nuclear bomb kwenye ugomvi wa mawe 😀🔥🔥🔥 hauna kazi ndogo 👏🏾 👏🏾🙌🏾
@AlfacharlesKavindi Жыл бұрын
Japo sikuji kuji mbele Na sisukisuki nywele Na sifugi fugi upele Na situpitupi mchele Sifagilii mananilii machupi chupi tele Am your bestfriend
@hemednassor45602 жыл бұрын
Ah apo rapcha kaya kanyaga hawezi ku bato na uyu jamaa
@officialrashrayz41402 жыл бұрын
Muziki mgumu huu kuelewa. Respect sana Dizasta
@Manasehphilip404Alfa2 жыл бұрын
"Kaza ndonga una deal na ma senior...."
@bullychandy65092 жыл бұрын
Mafanikio si lazima approve Mtu 💪
@topaztz76012 жыл бұрын
Dizasta Vina💪🏻 Nakubali Sana damu Yangu wewe ni zaidi ya Genius
Kudadadedeki👊👊👊 Nishaumizwa na hii industry na makovu yapp ,we’re best friend bro 😎👊👊👊
@nelsonmushi44132 жыл бұрын
Rapcha kaa mbali,iki kichwa balaaa
@davidmrema42862 жыл бұрын
Salute sana kwa hii talent .. Kuchana 8minutes is not for everyone
@moziidavchonchi33382 жыл бұрын
Et "nishadiss ad kanisa langu msenge haukumbuki" dah Dizasta fundi kinoma hahahah nimecheka kichiz hii line 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥
@fahramy11132 жыл бұрын
From my BOTTOM 😭😭 KAMA NITAONDOKA KWA HII DUNIA BILA KUONANA DIZASTA NAHISI ITAKUA TIKETI YANGU MOTONI.. KAMA NITAZEEKA BILA KUMUONESHA MWANANGU PICHA YA PAMOJA NIKIWA NA DIZASTA VINA ITAKUA SIJAMPA MALEZI BORA MWANANGU 😭😭
@stevehinika2 жыл бұрын
Amini mwanangu huyu jamaa ni jini na sio genius na ni zaidi ya genius anaishi dunia yake tu huyu jamaa huwa hakusei kuandika zaman nilikua namsikiliza sana the real fid ila baadaya vina kuja fid anakua wa pili
@williamkunji47662 жыл бұрын
Unajua xan bro vina kama vina
@stevemwachi2542 жыл бұрын
Hii sio level ya Rapcha,badala ya battle inabidi asujudu...na hili ni onyo kwa wote,never mess with DIZASTA uwezo wako wa kufikiria sio wa dunia hii.. kaeni mbali na huu 🔥🔥🔥
@jackumeme83732 жыл бұрын
dizasta anaweza kumbadili fid akawa sagna sasa rapcha atakua nan?
@stevemwachi2542 жыл бұрын
@@jackumeme8373 Mtazamo wangu atakuwa ZUCHU🤣🤣..maana fid nae ni ngumu kitambo alegezwe kuwa sajna rapcha atageuzwa hadi jinsia🤣🤣
@officialmanji44382 жыл бұрын
Rapcha awe belle 9🤣🤣
@allyseba1722 жыл бұрын
@@jackumeme8373 daaah sjui hata umefkiria nn
@mwasangwaleagriculturalact85102 жыл бұрын
@@stevemwachi254 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@rosebanyikwa69032 жыл бұрын
Kuchagua BEAT PIA ni BLESS
@Makavelithedon20862 жыл бұрын
*1 Flow’s 100%* *2 lyrics 100%* *3 Rhymes 100%*
@samsonkatana56992 жыл бұрын
Jamaa anasound kama kagdo.. hana style hana flows..
@totojinga27952 жыл бұрын
Ila beat kama ya ..Nobody is safe 3..ama
@alexmwakasape34522 жыл бұрын
@@totojinga2795 yan ata hazifanan we jamaa disaster hajawai kurudia beat...mi nawashangaa wanaosema nymbo zake beat lile lile....tatzo watu wanaskia ila hawamskiliz mshkaj ni 🔥🔥
@antonymodestus28722 жыл бұрын
Noma sanaaa tunakubali wote dunia nzima
@jjokochamwakyusa36262 жыл бұрын
Best friend daaah dizasta nooma saaan sijawai kaa sikiliza nyimbo yake ikaniboa zaidi inanifanya nizidi kugain vitu vingi sana big up sana broo