Umeongea kwa unyenyekevu na upole uliojaa hekima nyingi na utafiti uliokamilika, mwenye sikio na asikie.
@JohnMashambaАй бұрын
Tuko katika Pambano na hasa serkalini kutostaafu mapema na kujiongezea miaka.Isaya24:1-5,19-20,Mathayo 24:3-8,24,kutoka 23:6-9,Isaya 59:1-2,Daniel 12:1-3 na wakuu wamefichwa unabii.
@EliaHilukaАй бұрын
Mpengo kemea uovu serikalini huko ndiko saizibyako maana kumejaa uchafu sana hata hakuelezeki
@EliaHilukaАй бұрын
Hayo yalikwisha tabiriwa kuwa yatatokea
@masanjalameck7379Ай бұрын
Ubarikiwe kwa ujumbe muhimu
@suzannagibai213Ай бұрын
Sema watu wapone yapo kabisa, mm nilifanya kazi ktk kitengo cha uinjikist ngazi ya cheti cha pili lakini nilifukuzwa kikatili nikaambiws sijui Nazi nikaondoka na maokoto yangu niliyochangia yakawa ziroo , mungu anawaona
@isdoryrupia4040Ай бұрын
Mzee ametoa nasaa za kweli , Maokoto yamechukua nafasi ya Mungu, Tutafakari kwa undani je mimi na wewe tuna husika ? Mungu awabariki.
@BarakaMashimba-sr9owАй бұрын
Hata serikali yenyewe inazingatia maokoto kazi ya Mungu itamalizwa kwa sadaka zetu
@Mapenzi2635Ай бұрын
Yaani Kanisa limekuwa la mwilini hadi Serikali inaoneka kuwa ya Kiroho. This is how Constantine controlled the Church . Tumepoteza wito kwa njia hii. Kanisa limekuwa la Serikali badala ya kuwa la Kristo .
@sarahmosiori9774Ай бұрын
Si tumeona wazi jinzi serikali imeingilia Tania za waumini wa kanisa, freedom of conscience tumenyanganywa,yaani wanajidai hawana migogoro serikalini, wanakija kutatua ya mungu kanisani
@imcctv947828 күн бұрын
Kwa kweli makamu wa Rais umeongea Kwa hekima kubwa Sana. Hakika nahisi kama Mungu amekutumia
@NaomiNkindaАй бұрын
Hii ni kweli kabisa Wala sio uongo Mungu atusaidie turekebishe tabia hizo
@kagorobasimeon696714 күн бұрын
Hakika viongoz WA dini wabadilikee 😢😢😢
@mwambaimara1950Ай бұрын
Waonye pia watekaji, wauaji na polisi raia tunaishi kwa hofu achana na makanisa/misikiti.
@MugundaKamilo25 күн бұрын
Point, akimbie na vt muhimu sio mambo madogo madogo
@MugundaKamilo25 күн бұрын
Mbona mpango umepiga kwenye mshono? Lkn tukuulize ukikemea namna hii wasiojulikana watarudi kwao somalia na kuiacha jamii yetu salama
@gracekagoma323113 күн бұрын
Fake pastors na waumini pia. Dini imekuwa ajira kwa kuwaibia masikini na wanyonge😢😢
@sarahmosiori9774Ай бұрын
Eee jameni, ya kaisari mpe kaisari,saasa mambo ya dini yanahusu serikali nini???, Transfers za watendaji zinawahusu ninyi kama serikali???, Hat hivyo tunaelewa mnakoelekea
@JohnMashambaАй бұрын
Pambano kuu Yesu kristo na shetani kwani hatuja batizwa kwa Nguvu ya Roho Mtakatifu.
@GilbertGombeyeАй бұрын
Viongozi tunaomba sana tuliokuwa wafanyakazi wa hotel 77 ya Arusha tunaomba tulipwe madai yetu
@MeshackmarwaKihengu-in3snАй бұрын
Nyakati za mwisho hizi wengi wanajitenga na imani
@agastokissatu2667Ай бұрын
....umeongea vizuri Mzee wangu, watanzania wanaangamia kupitia Hawa manabii,wanachangishwa sana sadaka kwa kupangiwa 10000,20000,30000,50000,pia kuna kiongozi mkubwa kabisa alimtuma rc kupeleka sadaka mamilioni
@JestinaMloweАй бұрын
😢
@BarakaMashimba-sr9owАй бұрын
Nakushangaa unae SEMA kanisa limekuwa babeli maana dunia yote ni babeli wewe uko mbinguni
@EmanuelWillson-jy1fqАй бұрын
Ukweli mtupu
@JofryDaud-kc2duАй бұрын
Hilo kanisa lilisha anguka (wameweka wachungaji wamishaala(yoh10:12)lakini wewe kiongozi hao wametabiliwa (yuda1:4)matend20:28-34)
@SAMWELANTHONY-ro1kd27 күн бұрын
Pole🙂ndugu kanisa la Mungu halitaanguka kamwe sababu msingi nu neno na yesu mwenyew ndio jiwe kuu l a pembeni isipokuwa mtu,muumini,kiongozi ndio huanguka na si kanisa la Mungu🤔
@MugundaKamilo25 күн бұрын
Peleka mwanao kama atakula upepo
@Stay_with_God_tvАй бұрын
Hotuba iko vizuri,umoja na upendo ni muhimu,ndio maono aliyonipa Mungu kulirejesha kanisa kwenye utume wake halisi,nasubiri usajili sasa kwa wakati wa Mungu.KANISA LA BAKI NA MUNGU" Safi sana kiongozi wetu Dr I Mpango.
@NaomiNkindaАй бұрын
Kumbukeni kanisa liko vitamin watu wanashindwa kumfanya with walioitiwa mbwa mwitu wamelivamia kundi,zile tabia walizotoka nazo huko nje!acheni magugu na ngano yatatolewa sio muda mrefu
@deussasi9285Ай бұрын
Kanisa lilisha muacha Yesu ,linaongozwa na shetani .....soma kitabu cha kesha la asubuhi kiitwacho....Yesu Jina Kuu Kupita Yote ,Sehemu ya Kwanza ,somo la February 3 utaona ukweli
@sabatoagerАй бұрын
wasabato mmefikiwa 😅😅😅 kwisha sisi
@MugundaKamilo25 күн бұрын
Muda huo serikali imeficha watekaji na wauaji, zero kabisa
@DastanKuruboneАй бұрын
Shetani yupo kazin Kaa chonjo
@nafutarymajogoro30Ай бұрын
Hilo sio kanisa mkuu, ni taasisi ya watu wachache ndyo maana wengne tumetoka huko, limekuwa babeli mkuu, mama wa makahaba, karbu I matengenezo
@kabaranamaganga6646Ай бұрын
Pole sna unatakiwa kutengeneza kanisani sio nje ya kanisa. Ww ndo mtumishi wa Babeli mama wa makahaba
@frankathanasАй бұрын
@@kabaranamaganga6646endelea kutengeneza huenda ukafanikiwa na kuvunja record
@frankathanasАй бұрын
Na hujui kanisa ni nini ama unafikili ni dhehebu na jengo kasome vzr biblia
@kabaranamaganga6646Ай бұрын
@@frankathanas pole sna unadhani mm cjui kanisa ni nn?
@frankathanasАй бұрын
@@kabaranamaganga6646 basi ndio ujue mtu alietoka ndani ya kanisa ni yule alieacha mafundisho ya awali nakupokea mapya (dogma)