Meja Jenerali Charles Mbuge Afariki. Angalia Namna Magufuli Alivyomkubali Akampandisha Cheo Ghafla

  Рет қаралды 15,270

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Meja Jenerali Charles Mang'ra Mbuge amefariki leo Oktoba 12, 2024, huko nchini India alipokuwa akipokea matibabu. Amefariki akiwa na umri wa miaka 61.
Moja ya tukio la kipekee katika Maisha ya Mbuge ni lile la April 13, 2019, ambapo Rais Magufuli aliagiza apandishwe cheo kutokana na kusimamia ujenzi wa majengo mbalimbali ya serikali Dodoma na akapandishwa muda huo huo
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 53
@mweyoms5548
@mweyoms5548 4 сағат бұрын
MIAMBA MIWILI YOTE IMEONDOKA.😭😭😭😭😭😭!! Uende unapostahili kamanda wetu Brigedia Jenerali Mbuge Tutakukumbuka kwa kazi zako mahiri kwa nchi yetu
@DerickNgowi-mf5pe
@DerickNgowi-mf5pe 12 сағат бұрын
Daaaaaaah maguful bado nakuliliaaaaa baba nayaman ungekuwepo tusingekuwa hivi tulivyo 😭😭😭
@hamadsuleiman5177
@hamadsuleiman5177 6 сағат бұрын
Subhannallah usiseme hivyo angekua na uwezo huo angejizuia angalau asife (Yasismfike mauti)...Tuwe na mpaka wa maneno sawa mdogo wangu
@MussaMussa-v4x
@MussaMussa-v4x 5 сағат бұрын
Kwani muko vipi?
@MussaMussa-v4x
@MussaMussa-v4x 5 сағат бұрын
Naamin huo ni udini tu unakupelekesha.lkn MAMA YUKO VIZUR KULIKO MAKUFULI.HONGERA MAMA 2025 URAIS NI WAKO
@fahdihasnuu9034
@fahdihasnuu9034 4 сағат бұрын
Punguza wenge babaa acha mawazo ya kipumbavu
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k Сағат бұрын
🥹🥹🥹🥹🥹hakika sisi wote ni wa mungu na kwakwe tutarejea
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 13 сағат бұрын
duuu hakuna hasara tumewahi pata TZ kama kifo cha Magufuli leo tungekuwa super power
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 12 сағат бұрын
Mnoo mnooo tungekua watu wenye akili timamu tungekua kwenye mchakato wakuona tunapataje mwingine wa namna ile kwakua waswahili ni vijitu jitu tu tunachukulia poa .
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 12 сағат бұрын
@@FahadAbubakari-y3f Safi sana ungekuwa unajua kirusi ningesema umnichka una akili sana wewe
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 12 сағат бұрын
@@jeanmusamba8448 presiba
@giztony2009
@giztony2009 4 сағат бұрын
Endelea kuota ndo za mchana
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 2 сағат бұрын
@@giztony2009 sasa nawewe Ota za usiku unakataza hata watu wasiote aisee kila mtu aote ndoto zake
@edmundnkarangu134
@edmundnkarangu134 11 сағат бұрын
Apumzike kwa Amani amsalimie Magufuli😭😭😭🙏
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k Сағат бұрын
Ameen😢😢😢
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 2 сағат бұрын
Wanakufa wenye faida tu jamani Mungu atusimamie
@EstherWambura-t2t
@EstherWambura-t2t Сағат бұрын
Magufuli utakumbukwa milele na watanzania wazalendo wakweli na wasafi ktk miyoyo yao. RIP JPM TUTAKUPENDA DAIMA
@AliDulla
@AliDulla 12 сағат бұрын
Pumzika salama asante kwa huduma yako kwa nchi yetu
@jovinjoseph4887
@jovinjoseph4887 57 минут бұрын
Mzee ametembeza saluti kwa kila mtu, mpaka imebidi Janet Magufuli acheke tu, ukimtazama usoni tu unakula saluti😂
@EnockChingula-gw1po
@EnockChingula-gw1po 3 сағат бұрын
Cammander kazi umeimaliza mungu akutunze mahali pema peponi
@kiyumbijustine3434
@kiyumbijustine3434 Сағат бұрын
😢😢😢
@SaidiKitange-us2ej
@SaidiKitange-us2ej 24 минут бұрын
Kuhusu mbuge nakumbuka kuhusu cku ikulu Dodoma palivyo chafuka na tunaojenga kuitwa wahasi. 835 kj op mirerani. Cjui kilitokea nn serikali hii jaman ukifuatilia utauwawa.
@giztony2009
@giztony2009 4 сағат бұрын
Sijui kuna shida gani mtumishi akistafu wengi huwa wanakufa
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Сағат бұрын
Kweli huyu kastafu juzi juzi tu......
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Сағат бұрын
Kweli huyu kastafu juzi juzi tu......
@dicksonulotu7427
@dicksonulotu7427 12 сағат бұрын
Dah apumzike kwa Amani. Msalimie Magufuli .hakika alikupenda sana ila Mungu aliwapenda wote .
@livinuskamugisha5296
@livinuskamugisha5296 13 сағат бұрын
Apumzike Kwa amani
@godfreysanziki1461
@godfreysanziki1461 2 сағат бұрын
Mie ni mzalendo sana🙏🙏😢
@AronThomas-ws1sy
@AronThomas-ws1sy 2 минут бұрын
Rip jenerali Charles mbuge.
@PedadMiyombo-pc8gc
@PedadMiyombo-pc8gc 10 сағат бұрын
Vizur havidumu😢😢
@Youngchimodzi823
@Youngchimodzi823 37 минут бұрын
JPM aliamsha uchapakazi nchini, ,Uzalendo na kujiamini. JPM ataendelea kukumbukwa kwenye mioyo ya watanzania wengi sana. Pumzika kwa amani JPM
@anafikamugisha8834
@anafikamugisha8834 3 сағат бұрын
Jamani kamanda rip
@mohamedabdul9895
@mohamedabdul9895 2 сағат бұрын
Nikimkumbuka huyu mzee machozi lazima yanitoke Sina la kuongea Sina la kucoment
@salimamri9488
@salimamri9488 2 сағат бұрын
Huyu jamaa watakuwa wamemuondoa
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 Сағат бұрын
Kansa inatembea
@frankuhahulla3236
@frankuhahulla3236 11 сағат бұрын
Lala kwa amani mwamba! Hatukudai!
@KELVINHENRY-j1k
@KELVINHENRY-j1k 10 сағат бұрын
😭😭😭😭😭
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 12 сағат бұрын
Dah rest in peace major General Mbuge
@JummaIlomo
@JummaIlomo 12 сағат бұрын
Pumzika kwa amani mkuu tutakukumbuka vijana wa mjibu wa sheria rwamkoma 822 kj butiama musoma
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 4 сағат бұрын
Akamsalimie maguu
@gayanimwansasu
@gayanimwansasu 5 сағат бұрын
Nimejisia vema
@JummaIlomo
@JummaIlomo 12 сағат бұрын
2020 tutakukumbuka 822kj rwamkoma intake uchumi wa kati
@gabrielanthony3
@gabrielanthony3 11 сағат бұрын
RIP general
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA 12 сағат бұрын
Pumzika kwa amani afande
@moorama7476
@moorama7476 12 сағат бұрын
Pumzka kwa Amani kiongozi
@eliasmaika2620
@eliasmaika2620 12 сағат бұрын
R.I.P JPM
@octavianpeter8472
@octavianpeter8472 11 сағат бұрын
Hakika punzika salama baba
@georgesolos344
@georgesolos344 13 сағат бұрын
Life is to short RIP General Mbuge.
@ShaqharMagram
@ShaqharMagram 10 сағат бұрын
Mmejipangaje kwa aliewaumba sio mnapeana vyeo Dunia Ina mwisho kama amjui mliobaki jifunzeni
@josephatmakaranga
@josephatmakaranga 4 сағат бұрын
Jipange wew na familia yako mwende mbinguni
@fidahusseinkassim9778
@fidahusseinkassim9778 Сағат бұрын
😢😢😢
@kilungamponda3984
@kilungamponda3984 4 сағат бұрын
Apumzike kwa amani
India Bids Farewell to Ratan Tata | Vantage with Palki Sharma
10:12
Зу-зу Күлпаш 2. Бригадир.
43:03
ASTANATV Movie
Рет қаралды 634 М.
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 36 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI 14 Nov 2013
13:38
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 290 М.
MAJALIWA AFICHUA 'MADUDU' KIGAMBONI, ATOA MAAGIZO HAYA
15:03
Daily News Digital
Рет қаралды 7 М.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 6 МЛН
Зу-зу Күлпаш 2. Бригадир.
43:03
ASTANATV Movie
Рет қаралды 634 М.