Baba Mchunguzi umenikosha sana msoni wetu mzuri! Nawaambia mtanzania msomi anapointi za kujenga na zenye afya siyo kujisifia sifia vingereza utadhani ni lugua ya Kimungu!
@sidneybaraza3516 ай бұрын
🤣🤣🤣Kama huyu ndio political analyst then Tz has a long way to go
@joshuason5576 ай бұрын
Na anajitapa amesoma sana 😂😂😂
@jumamnemo83836 ай бұрын
Amekosea wapi?
@thadenmaina54036 ай бұрын
It ia not a long way but a no way.
@pharoah-ahmose60756 ай бұрын
He's very good if you understand swahili 😂😂😂
@rmimosa56806 ай бұрын
He has asked for Kagame, Museveni and Suhulu to intervene 😂. Kenya there is FREEDOM OF EXPEESSION and the right to MAANDAMANO.
@rosemanyonge99956 ай бұрын
Finally an analyst who says it as it is.......very true indeed
@emilythuo51645 ай бұрын
Point of correction. GenZs hawana ukabila.
@RugakiMsingo6 ай бұрын
Dr elim yako aina msahada kwa watanzania maisha yale ayako ivo.
@emmanuelrutaihwa65456 ай бұрын
Mh Dr upo vizuri sana. Watanzania tusishabikie vurugu Kenya. Sanasana tuwaombee. Mi binafsi naliombea taifa la Kenya nikitamani kuna siku Mungu atawanusuru
@maimunashariffathman20736 ай бұрын
If you think vijana hawajui what is in the finance bill ,then you are very wrong 😂
@herryochola26506 ай бұрын
Hongera Dr. Vijana tunahitaji elimu hii, MAANA VIJANA WANAPENDAA HARAKATI BILA KUJUWA NYUMA YA PAZIA YA KILA JAMBO KUNA SABABU.
@shiracque85246 ай бұрын
Asantesana baba yangu ❤❤❤❤❤❤❤❤
@opindoosiru5606 ай бұрын
With all due respect,kusema ya kwamba Kenya hawaelewi mambo ya finance si sahihi.Wakenya ni watu wamesoma sana na hii finance bill wameisoma na kuilewa kisawasawa.
@charleskabuchu76326 ай бұрын
I support you on this
@annetvuseletse45096 ай бұрын
Yes na ndo imeanzisha haya yote
@LameckOtuomameshack6 ай бұрын
Dr samahani niko MUSOMA Tanzania kweli haujui kenya sawa sawa Kenya tatizp ni ukabila na utawala wa kabila la Wakikuyu ambao wanajiona ni bora kuliko makabila mengine na hawataki makabila mengine yakamate utawala , madai yote waandamamaji yameridhiwa na RUTO na bado MAKAMU wake ambae ni MKIKUYU anahasisha wakikuyu wamfukuze RUTO ili mkikuyu awe mtawala leo huyo makamu ana madai kuwa serikali yao ni kampuni makabila yaliyowaoigia kura ndio wana shea na mskabila ambao hawakuwapigia kura hawana mgao!!? Kweli utawala unakua hivyo ?! Mwisho MUSEVEN hana busara ya kusuluhisha KENYA anapendelea wakikuyu huku hapendi wajaluo kwa vile wajaluo wa uganda wanamsumbua kwenye utawala wake wa kifalme na hana busara za kutosha.
@michaelmwangi55406 ай бұрын
Naitwa Mwangi frm Nairobi. The truth sio Fince Bill, Ni mambo yote ulioitja. Unaelewa kweli
@ramdanmbara85006 ай бұрын
Dr Muchunguzi nakuomba upunguze Uchawa, haipendezi mtu wa taaluma yako kuwa Chawa....
@saviomlelwa6 ай бұрын
Kenya wanajitambua Sana most of them you can't compare them with tz hata kidogo.
@davidkibe67176 ай бұрын
Shukran DK.Mchunguzi kwa kueleza kinaga ubaga. Habari tumeipata… Hongera kwa maelezo.🙏🙏
@jnrcliff33496 ай бұрын
Boss we are well informed you should engage us. Kenyans
@akenyanswahiligamer64036 ай бұрын
Dr Muchunguzi nakubaliana nawewe kabisa. Pia Asante Kwa mawaidha yako na sifa unayo tupatia kama taifa. Mimi ni mkenya nayote unayo sema ni ukweli.
@MamboleoPeter6 ай бұрын
Asante sana nimekuelewa Dr Muchunguzi
@bernardgakuru17016 ай бұрын
Kenya ni Udemokrasia state TZ ni Ukomunisti state.These have two different political policies.
@petergakonde12316 ай бұрын
Thanks very much sir for your advice.
@brantonmakani35486 ай бұрын
Salamia Dr mwenzako kikwendu
@judymburu88986 ай бұрын
Very good discussions
@cbbonlineproduction6 ай бұрын
Kweli DR polisi wetu wa kenya wamezidiwa yena sana ndo maana jeshi lika ingilia kuzima rabsha na kuna kipengele ya katiba inakubali jeshi kumsaidia panapo zidiwa polisi. Thank you Daktari uko very much informed on matters politics.
@thomasodeny56936 ай бұрын
mimi ni mkenya na licha ya kukubaliana nawe kwenye mambo mengi pia nakinzana na wewe. kwa mkweli usiwe msabiki wa upande. tatizo kub2a ya kenya ni ubadhilifu na uporaji wa mali ya uma asipo kujali maslahi ya wanannchi.
@thomasodeny56936 ай бұрын
you got it wrong kenya is currently on the right truck and does not need any intervention from outsiders
@TheresiaAndrea-hv9dg6 ай бұрын
Boss umeongea vizuri. Hata sasa hivi wanyarwanda wamejaa Karagwe wakienda wanarudi kesho yake wanadai Rwanda hapakaliki, maeneo ya bushangaro yote wamejaa wanyarwanda hata lugha ya biashara ni kinyarwanda. Kwa ufupi, Tanzania tumevamiwa na wakimbizi bubu.
@davidjuma85306 ай бұрын
Huyu mzee ako na point. Mimi ni mkenya and I can relate to his points
@samutykuntathebantu84026 ай бұрын
Mimi mkenya lakini huyu hajui chochote kuhusu kenya yeye ni bwege
@beatricelibasia70326 ай бұрын
You are really a peace maker you really know the secrets of our country and you really graduated and all the universities you learned and understood about it's not Finance bill may God pass through your revelation for our neighboring presidents to intervene for a sound solution
@CanuteTemu-bo9zx6 ай бұрын
Hongera Mwanaamani Dr Muchunguzi kwa ushauri mzuri. Naongezea kuwa lugha ya Kiswahili kwa wote ni nyenzo nzuri ya kuelewana R4 zitafsiriwe rasmi. Reform Rebuilding Resilience Recontruction!
@EradMushi6 ай бұрын
We chawa tu
@JacksonMtese-gn4so6 ай бұрын
Nawe toa maoni yako tuyasikie
@bilid41286 ай бұрын
😂😂😂😂 ahaaa haaa anataget mkeka wa mama huenda atapata teuzi
@jumamnemo83836 ай бұрын
Kunguni unamuonea wivu?.
@Dan13Speed6 ай бұрын
Thank you for articulating both Kenya & Tanzania.
@jumannerizimbura67506 ай бұрын
Labda n Dr wa Mwarobaini na sarago
@hemedmwipopo7806 ай бұрын
Mhe. Umeeleweka sana, bigup
@felixmsale92446 ай бұрын
Mzeee huna jipya .yte unayoongea HEWA TUPU.Ungekua Kenya ungesalimiwa na Gen Z
@emilykipngok24996 ай бұрын
Very true analysis
@FlorenceKhamedeMuluhya6 ай бұрын
From Nairobi Kenya nimesikiza maongeo yako nimekusikia ukisema wa Tanzania hawalali njaa, Mbona mulisahau kusaidia viwete wenu wa Tanzania uku Kenya wako 70% ya ombaomba? Pili mimekusikia ikisifu Museveni wa Uganda swali ni, Umesahahu Museveni amekaa miaka mingapi uongozini? Pia unajua Museveni ni Mukoloni ameuwa watu wengi wenye kujaribu kupinga uongozi wa kihimla?
@paspara93686 ай бұрын
You have said it all in Kenya they know the constitution in and out
@nizigiyimanabaruani45906 ай бұрын
Wa Tanzania ni waelewa si watu wakudanganywa na watu wasiojielewa, Hao wanaoleta habari za baada ya Kenya ni tanzania wasahau Hilo.
@CadeauZabibu6 ай бұрын
Ungesema. Wangine. Uganda na Rwanda njo wasipime wananyanyasa rahiya
@lenoxkahindi47236 ай бұрын
Dr ...hapo umeongea sahihi. Tz msiige Kenya kabisa. Kenya usomi ni mwingi lakini ujuaji pia unasababisha vurugu.
@trizanyaburra93736 ай бұрын
Kwani wewe ni mungu mungu 1 ❤😂
@bensombithi6 ай бұрын
Wewe wacha uwongo nimekuwa Tz dodoma,hadi kule Tunguli jaa ni mingi uko ...
@justinesorwa-soudo41776 ай бұрын
Dr. Uko vizuri sana hongera sana .
@abdallahngondae85216 ай бұрын
mh samia amwangalie huyu mtu yupo vizuri
@dtv22355 ай бұрын
Do you know the meaning of mwanajeshi na polisi
@charleskabuchu76326 ай бұрын
The problem with us kenyans is we knw our constitution inside out and we knw our rights
@danielnyiro28506 ай бұрын
Shida si hivyo financial bill shida ni wakenya hawataki uongozi wa Raisi William Ruto
@agesag.m24766 ай бұрын
Watching you live from Kenya... Though for now we don't need your advices.
@daisykinyanjui33976 ай бұрын
We love u❤
@WilfredRweyemamu-rp5re6 ай бұрын
Hongera kwa uchambuzi mzuri
@NJamal-pf4vb6 ай бұрын
Thanks sana musenaji hawa wetu ni wachochezi
@rossymutash96436 ай бұрын
Hongera baba natumai wakenya wameipokea habari
@ceeyceey59276 ай бұрын
Kenya hatuna fujo.we are demonstrating peacefully. Matatizo ya Kenya si sawa na ya Tanzania. Tuacheni tutatue matatizo yetu
@asaarashid34246 ай бұрын
Tatizo la Kenya ni hali ya maisha kwa watu wasio na kipato au walio na kipato cha chini. Sawa na Tanzania. Ajira ziko kisiasa zaidi.
@PKim-sg7es6 ай бұрын
Ahsante sana kwa maoni sawa ila tu nakukosoa kwamba vijana wa Kenya hawaelewi yaliyomo kwenye finance bill, wanayaelewa vizuri sana. Pengine wewe huyaelewi, nakubali Kenya wana shida 3 muhimu, #1- Ukabila, #2- Corruption, #3- Tofauti kati ya Matajiri na wasio tajiri (the haves and the have nots), wasipo tatua haya Kenya hawata hepuka msuko-suko.
@benardbett42076 ай бұрын
Upside-down advises...kenya iko mbele kuliko Tanzania in everything..education, economy, infrastructure, hivi wewe kwanini unachukia sisi wakenya?..one day one time we shall REVISIT...lets us preach peace and unity kwa nchi zetu majirani ...ubinafsi mwingi haisaidii ndugu...very sad!!
@serahmohamed65136 ай бұрын
Kweli Tanzania sio kama Kenya
@njoroon84406 ай бұрын
Shida zenu Watanzania sio sawa na zetu hapa Kenya. Tunayo matatizo yetu tu. Tafadhali msiige. Lakini nakukosoa, yetu sio fujo. Tunapigania utawala bora. Hebu wakalieni Watanzania tuone kama watanyamaza.
@ChristopherKeno6 ай бұрын
Amewasikiza vijana vipi story za Kenya Ni za Kenya hajui kitu huyu eti ukabila Gen Z hawajui kabila
@3_6_5.6 ай бұрын
Nashangaa. Uwache ufala.
@youth23876 ай бұрын
Kwanza natoa shukurani kwa manzungmuzo mazuri juu ya taifa letu la Kenya nimeona kweli kama taifa muna tufaa zaindi mungu awa bariki sana
@MonicaRaila-tn5rb6 ай бұрын
Asante Sana mtani hata Mimi Nimeolewa mkoani kagera 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@gastonmodestkaziri25666 ай бұрын
Very true Dr. Denis Mchunguzi!
@titus18466 ай бұрын
Hongera 🎉 Umeongea ukweli lakini nakuambia vijana wa Tanzania wataamka ....
@AngwenyiMak6 ай бұрын
Agree with Msuveni absolutely.
@simonTarsh97486 ай бұрын
Hayo ni kweli kabisa, That's the whole truth. Lakini kwa finance bill, watu wanaelewa.
@John-z5v8k6 ай бұрын
Mungu wa akuhekimishe
@danielkiariewafes.6916 ай бұрын
Huyu mzee hajui, Kenya finance bill is the main problem.
@oluochawino7026 ай бұрын
Finance Bill ni symptom. Shida ni Ukabila, Ufisadi, viongozi bila vision etc
@lucymosabi26985 ай бұрын
Finance is not a problem, our problem is tribal lines. Other issues are symptoms
@jumamayonga89146 ай бұрын
DR. Uko vizuri katika uchambuzi
@erickkinyua9526 ай бұрын
Hii ndio akili mnafuata watanzania?🤣🤣🤣
@EDWINKISIERO6 ай бұрын
sasa ikiwa mseveni ndiye anayempa ruto ushauri eti awatume jeshi waje wapambane na raia wasiobeba silaha ili wasitetee haki zao kiongozi kama huyo ni wakumpenda kweli alivyo na rekodi mbaya kwa nchi yake,mama samia heri amejawa na hekima kwa hawa viongozi wote ambao umewataja katika region hii yetu
@deohaule6 ай бұрын
Mzee Dr.Muchunguzi Hongera kwa uchambuzi wako mzuri. Deogratias John Haule.
@Elizabeth-gq9kl6 ай бұрын
Kagame, museveni hawo hatuwataki wasije kenya
@bakarimakalo71286 ай бұрын
Mgogoro wa Kenya utamalizwa na Wakenya wenyewe, kwani matatizo wanayajua sana kuliko sisi wengine tulioko nje ya Kenya. Wakenya wengi juu ya Akili na Kusoma sana kama mnavyo dai. Hii sio Hoja, Siasa za Kibepari ndio unaowamaliza Wakenya. Fursa za Wasomi hao wa Kenya wanashida kubwa. Hata huko Marekani ni shida Watu walala mabarabarani. Fursa ni shida sana.
@AlexNjelekela-e6e6 ай бұрын
Umefeli la mpina la sukari ,uchawa sana Acheni hizo.usomi wenu onyesheni kwa mambo ya nchi yenu.Mama kesha wajuwa machawa wote
@ndementriavermand80106 ай бұрын
tuna Bunge la Chama kimoja Tanzania linafanya vizuri sana
@andrewnyamwaro51746 ай бұрын
Pole Mzee wetu. We have a generational problem. Yote hayo unayosema ni ya past generation. Their eyes are on Ruto. He superinteds over a past generation repressive system. Democracy is premised on the numbers. Their numbers will carry the day. Na baada ya Kenya vijana watashukia TZ. Waitaiga. Wewe husikii sauti yao, Ruto must go?
@RwekazaBatamuzi6 ай бұрын
Sasa, kama unataka mambo ya Kenya tuwaachie wao, wewe unayachambua ili iweje??! Mzee una jambo nje ya haya unayoyazungumza!
@newtownmunene12366 ай бұрын
This is pure blackmail and manipulation. The people must demand accountability
@__jareer__6 ай бұрын
Daktari we shall not relent until we liberate this country. It's not just about finance bill. It's about good governance for the country. And having a country with available opportunities for all. Ruto must go
@EDWINKISIERO6 ай бұрын
sasa ikiwa raia wanawasaidia polisi waliozidiwa,raia wana utu au laa na mulisikia ikiwa kuna polisi aliyepoteza maisha..kuna yule aliyekuwa yuajaribu kutendea raia maovu lakini mungu aliye hai kampa majibu kwa kupoteza mikono yake..mungu anatupenda sote ila polisi wanakuja kwa unyama
@DiwaniMwafongo6 ай бұрын
Umeanza uchambuzi vizuri, umeharibu uchambuzi wako kwa uchawa wako kwa serikali ya Samia! Dr..na profs wa kitanzania mwaona uchawa unawalipa... Pumbafu Sasa wasomi wa aina Yako!!
@ErickNjoroge-fn4ob6 ай бұрын
Huyu mzae aki sawa wallahi
@bernardgakuru17016 ай бұрын
We need positive n inspiring n Governance books in our colleges.universities but too much political books consumption are no good.for a nation.But liberators are good at times of dictatorships in the World
@Elizabeth-gq9kl6 ай бұрын
Museveni na kagame wanakoroga Kongo so wasije
@joshuason5576 ай бұрын
Uyu msee hajui kama presido ni Zakayo bado anaonea wuluma Uhuru 😂😂😂😂😂
@eliasilwimba1876 ай бұрын
Pongezi kwakuo De.Mchunguzi.
@telezalfa87746 ай бұрын
Inasikitisha kuwa na mtu wa namna hii kujiita msomi na mchambuzi! Kusifia tu serikali yote ni tatizo kubwa kwa watanzania wanaotafuta uteuzi Tanzania. Huyu anatafuta pension!!! Sifa moja ya uchambuzi ni kuwa balanced sio kusifia tu. Aina hii ya watu haina faida kwa maendeleo ya watu wengi. inaumiza kuwa amepata forum hii. Contradictions nyingi: anamsifia Museveni amejifunza kitu kutoka Kenya, na kwamba hiyo ni akili; halafu anashawishi watanzania wasijifunze kitu kutoka hali ya Kenya. I am fed up with this guy!!!
@cosmasmilanzi71176 ай бұрын
"Ufalme ukifitinika hauwezi kusimama"-Kenya inahitaji kujenga misingi ya Umoja wa kitaifa; nyufa za ubinafsi zinatesa sana taifa la Kenya
@kaswosky6 ай бұрын
huyu haelezi shida zinazochangia maandamano, ana zicompare Kenya na Tz ,maandamano si vurugu
@nicholasmbinjii6 ай бұрын
You need to do alot of research
@ErickNjoroge-fn4ob6 ай бұрын
By the way ni ukweli tatizo sio to finance bill pekee,, waambie Doc,, straight outta kiambu Kenya bro
@margarethpolepole74386 ай бұрын
Hakuna kabisa anaelala njaa Tanzania tina raha ya ajabu Mungu atuendelee kutulea
@mikesamba84656 ай бұрын
Dr talk English please
@JoelMuriti6 ай бұрын
Mm kama sitaki story za nchi yangu milele
@stephenyala76006 ай бұрын
Crap!!!!! Huyu anasema nini!?.... Hizi ni ufafanuzi za aina gani sasa. Nkt!!!!!
@3_6_5.6 ай бұрын
Hadi Mimi nashangaa anabonga nini. Kama huyu msee ndio wanamuona ako na akili basi watanzania hawana bahati
@PiusNyabuto-qj7nc6 ай бұрын
😅muhubili ama vipi
@BornToShine1016 ай бұрын
Bosss we don't have Gen Y, Gen W, Gen P ..... We have Gen Z, hawana ukabila au hivyo umetafusili. Our constitution has to be followed that what we want nothing more nothing less
@alimwadima2546 ай бұрын
We Daktari...Hujui kma Katiba ya Kenya inaruhusu Maandamano so it means kama mambo hayaendi sawa katika serikali ni rukhsa kuandamana kwa hiyo usiseme watu waache ili wazidi kukandamizwa tu kimaisha hapo umefeli Daktari
@pilotclipsafro6 ай бұрын
Huu ni mwaka gani? 1950? Hata miaka hayo wanaume hawakuwa waoga.
@Kizigira6 ай бұрын
Anayoyasema ni ya kweli kabisa. Mimi Mkenya hapa nina tatizo kubwa sana na serikali ya matapeli. Lakini ninaloomba watanzania mwe makini sana kuhusiana na maswala ya vijana na ajira wala swala la vurugu kutoka kenya hadi Tanzania halitabiriki.
@Zainab-f9w5x6 ай бұрын
Mzee kama ww unashiba mshukur mungu usitoe ushahid ambao huna ujuzi nao
@mohamedmwatuwano55266 ай бұрын
Kenya hakuna matata, tunajua kujipanga, hatuhitaji watu kutoka nje. Vijana wamesikika wazee waendelea kujenga taifa.
@wilsonbarasa64556 ай бұрын
Kiukweli Uongozi wa Tanzania, na wa Kenya ,unautofauti mkubwa mno,Tanzania nakumbuka Mzee wao Magufuli na sasa Daktari Samia na wazuru uongozini Kwa kuwa hawana ubinafsi na "watu wao"yaani amabao wanao nufaika na uongozi,viongozi wa Kenya ni WA tumbo zao hivyo kuchangia swala la ufisadi ilihali Tanzania uongozi wao ni WA wanainchi,wanaangalia na kujisatiti kuinua maisha ya watanzania ilihali Kenya inaongozwa na wafusadi,wakabila na wauwaji...ilimradi wapate watafutayo...Kwa hakika nakiri uongozi wenu watanzania nawapa heko Kwa misingi ya Mzee wangu marehemu Magufuli aliweka njia Bora isiyo na ufisadi.tafadhali Nawasahi watanzania wasifwate Wala kuiga Wana Gen Z wa Kenya maana mko na viongozi Bora kuliko Kenya yaani sio wafusadi kama wetu
@erickkinyua9526 ай бұрын
Inakuja kwanini Tanzania Na hamlali njaa?🤣🤣🤣
@tinaoffice92746 ай бұрын
Ajira. Bei za bidhaa. Lishe. Tofauti ya walio nacho na wasio nacho. Ni tatizo kubwa Kenya. Lakini IMF, na kodi kubwa iko juu sana. Pia interference toka nje. USA wanaendelea kutafuta njia ya uchonganishaji barani Afrika.