RAIS SAMIA ASHIKA KICHWA, MZEE MAKAMBA AKIWACHANA CCM "TUACHE UNAFIKI, TUAMUE LEO"

  Рет қаралды 545,661

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 1 100
@jesuspowerfuldevotional
@jesuspowerfuldevotional 2 жыл бұрын
Kama unayapenda mazuri yote aliyofanya hayati Magufuli weka like zote hapa👍
@IssaIdrisa-d9s
@IssaIdrisa-d9s 5 ай бұрын
jl
@enocksilungwe1211
@enocksilungwe1211 5 ай бұрын
❤😂
@angelsylvester4795
@angelsylvester4795 2 жыл бұрын
Magufuri tutakukumbuka milele baba pumzika kwa amani kipenzi cha moyo wangu💔💔💔😭😭🙏🙏
@mamita336
@mamita336 2 жыл бұрын
Rest in peace dady
@mohameddikaluka3162
@mohameddikaluka3162 2 жыл бұрын
Allah!! Hakulipe hapa hapa Duniani kwa kauli yako,,sisi tulipoteza wazazi wetu walikuwa wabaya na wewe mzuri Endelea kuwepo Alhabdulillah!🙏
@janesimonmbironikweli6826
@janesimonmbironikweli6826 2 жыл бұрын
Hii kauli kumbe imetuumiza wengi,wazuri hawafi,sie tulio fiwa na wazazi,kaka na wengineo, Mhuuuuuuu
@bochchriss1412
@bochchriss1412 2 жыл бұрын
R.l.p rais wa wanyonge 😭😭 tulikupenda na tutazid kukupenda daima😭😭 baba yetu
@mussathomasdossa4687
@mussathomasdossa4687 2 жыл бұрын
Wazuri hawafi nazani mama yerere mama mkapa mama magufuli wamelia Sana kauli hiyo daah mzee huyu mjinga Sana mungu atalifanyia kazi kaulihii
@Ndawoo
@Ndawoo 2 жыл бұрын
kwaiyo walikufa ni wabaya
@karaoglan9444
@karaoglan9444 2 жыл бұрын
Jamani!!
@digitalaffiliatemarketing210
@digitalaffiliatemarketing210 2 жыл бұрын
Yaani, Siku zote Mungu hutusikia na hutizama Yale yote tunayomtendea....Huyu Mzee makamba Kwa akili yake hiyoo amemkufuru mungu Kwa kiasi Kikubwa sanaaaaaaa.....Hapo inaonesha kuwa alikuwa hampendi Magufuli
@janechacky3810
@janechacky3810 2 жыл бұрын
Rest in peace Magufuli we are always in our hearts 💕
@lameckbutanga2325
@lameckbutanga2325 2 жыл бұрын
We are always in our hearts ndo nini sasa 🤔🤷🏼‍♂️
@kamanapomo7029
@kamanapomo7029 2 жыл бұрын
Tafadhali, ungetumia lugha unayo ifaham vizur ili tuelew vizur dhamira yako
@chaxpeter5789
@chaxpeter5789 2 жыл бұрын
😂😂😥🙏
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 2 жыл бұрын
Yah we missed him because no zanzibar killed yet, no more bullets like for Lissu, no founds peoples died in the sea, no others like Azori and bensanane and Ali Juma...........................
@jeremiapeter683
@jeremiapeter683 2 жыл бұрын
Hilo Ni kosa la simu ya TECNO..🤣🤣
@violethbosha1666
@violethbosha1666 2 жыл бұрын
Magu pumzika kwa amani tulikumpenda mno ndo mana mungu alikuvuna Mapema. Amina
@alinanuswe1704
@alinanuswe1704 2 жыл бұрын
JPM was surrounded by wolves in shèeps clothing. RIP Magu.
@eliudfelix7180
@eliudfelix7180 2 жыл бұрын
Nakupenda sana Mama Samia. Nadhani unaona panapovuja... A Lot of pretenders.... Hawatakuweka salama hawa. You better mind what you think and feel, Hii ndio Miruzi ya kumpoteza mbwa. MY CONDOLENCES KWA FAMILIA YA MTOTO WA AFRIKA, OUR FOR EVER BELOVED JPM.
@josephinemeela9098
@josephinemeela9098 2 жыл бұрын
Rest in HEAVENS uncle Magu 😢
@johnpesambili4806
@johnpesambili4806 2 жыл бұрын
Maisha ni zawadi kutoka kwa mungu, kauli ya kwamba wazuri hawafi ni kumukufuru mwenyezi mungu. Kwa hiyo hao jakaya na kinana wataishi milele kwa kuwa wao ni wazuri na wewe utaishi milele kwa kuwa wewe ni mzuri hongera Mzee wetu tumejifunza kwenu tutakuwa wazuri ili tuishi milele. Ndugu watanzania wenzangu na wanaccm wenzangu tuzidi kuwaombea viongozi wetu , kwani uongozi ni msalaba. Mungu bariki nchi yetu wabariki viongozi wa dini na serikali. Amina.
@MikereMio
@MikereMio 2 жыл бұрын
mwehu weee. viongozi gani hawa , wakati nchi ina kila majanga hivi sasa
@bakariomari8758
@bakariomari8758 2 жыл бұрын
Mzee kateleza ulimi kibinaadamu
@benjaminjoseph1747
@benjaminjoseph1747 2 жыл бұрын
Mzeee mshenzi sana huyu. Wana uzuri gani. Wauwaji tu na wala nchi. Mfyuuuuuu
@MikereMio
@MikereMio 2 жыл бұрын
@@benjaminjoseph1747 vuri hawana kaka tazama nchi walivyo ifanya , kama tambara bovu lililo jaa matundu , halafu wapo kupeana sifa za kudanganyana
@MikereMio
@MikereMio 2 жыл бұрын
@@bakariomari8758 hakuteleza ulimi wale ni wizi na wanasherekea kurejeana kwao kuitafuna nchi , na ndio jeuti inapo anzia
@josephatnyamageu1046
@josephatnyamageu1046 2 жыл бұрын
Mungu atawaonyesha watanzania ukweli, Mzee huyu anakiburi cha uzima " Kweli watu wazuri awafi kwa mujibu wa Mlamba Asali baada ya kifo cha Rais Magufuli" tunapaswa kutafakali vizuri maneno haya yanaukweli Mkubwa ulionyuma ya pazia. Naliona giza zito katika nchi yetu ukweli unaongea daima RIP Magufuli ukweli unaongea daima.
@kabojamaluku7894
@kabojamaluku7894 2 жыл бұрын
Ina umaa
@Desireyakubu
@Desireyakubu 2 жыл бұрын
Wazuri hawafi maana yake mazuri yao yanaendelea kuwafaa watu hata kama wao wamekwisha kuondoka duniani heroes get remembered &Legends never die🇨🇩
@barakajoseph2234
@barakajoseph2234 2 жыл бұрын
Kuongea sana jukwaani Kuna kuharibu umeongea kauli tata Hadi watu wameshtuka na kutulia ukumbini uyo mzee cku nyngne asiruhusiwe nafasi Kama iyo Rais tunamuitaji Majaliwa 2o25 Hadi 2o35
@elensaid1508
@elensaid1508 2 жыл бұрын
@@Desireyakubu ndomaana Kikwete hajafa
@Desireyakubu
@Desireyakubu 2 жыл бұрын
@@elensaid1508 hakuna ambae hatakufa
@happypius4192
@happypius4192 2 жыл бұрын
Huyu mzee anahati miiliki ya dunia ataishi alinde dunia kwahiyo sisi yatima wazazi wetu waliokufa walikuwa watu wabaya 😭😭😭
@sistymbombo1616
@sistymbombo1616 2 жыл бұрын
Mmmmmm
@sistymbombo1616
@sistymbombo1616 2 жыл бұрын
Mungu anamuona lakini
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 Жыл бұрын
Rabisi
@jemimap.ndejembi8981
@jemimap.ndejembi8981 2 жыл бұрын
Sema Mzee Makamba waeleze ukweli ni kwa neema zake MUNGU kabisa Mama ni MUNGU mwenyewe kakuweka hapo na mkono wake uko juu yako anakulinda Wanaume wote lazima mliheshimu hilo CCM oyee mganga wa kienyeji kashinda Tanga 😇 nanukuu maneno ya Mzee wetu Makamba 👏🏾👏🏾👏🏾 Hongera sana Mama kwa ushindi mkubwa 👏🏾👏🏾👏🏾
@edson2450
@edson2450 2 жыл бұрын
"WATU WAZURI HAWAFI, NDIO MANA KINANA YUPO, NDIO MANA KIKWETE YUPO" WE Mzee Hutakufa mana unajiona Mungu mjomba wako
@allyhassan7522
@allyhassan7522 2 жыл бұрын
Kwa hiyo Nabii Musa,Yesu, Ibrahim n.k ni wabaya? Kwa hiyo King Farao( Firauni) aliishi muda mrefu sana ni Mtu mzuri? Na ndo maana wanatuburuza wanavyotaka coz hatufikilii kwa kutumia kiungo kipasacho
@dullahkhalifa5312
@dullahkhalifa5312 2 жыл бұрын
@@allyhassan7522 nikwel hawa viongozi wapambe sana hasa watoto wao wakipewa madaraka
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 2 жыл бұрын
Hiki chama kimeozaaa wazee wao ndio hawa wanaongea utumbo idea hakuna sisi wananchi hatuwataki hatuwapend mpo muda mrefu madalakani lakin still mpaka leo ...umeme shida maji shida sepen😏
@wisperfect5320
@wisperfect5320 2 жыл бұрын
Njaa inamsumbua sana
@marcokwiyola9107
@marcokwiyola9107 2 жыл бұрын
@@allyhassan7522 to.q...
@noelkaaya2433
@noelkaaya2433 2 жыл бұрын
Sijawahi kutamani mtu afe ila huyu mzee anatakiwa kufa kama mbwa mwizi wa nyama Afe kwa kansa ya koo, imtafune apate maumivu kitandani kwa miaka mingi....Mungu pokea maombi yangu kifo cha huyu mzee na familia yake kiwe cha simulizi na wengine wote wajifunze kutoka kwao. Amen. Sindikiza sala hii kwa kusema Amen.
@jackpaul9825
@jackpaul9825 2 жыл бұрын
Ameeeeeeeeeen
@AbdulMakamba-b1e
@AbdulMakamba-b1e 4 ай бұрын
Weee utakua mchaw
@linnamlay3643
@linnamlay3643 2 жыл бұрын
😂😂😂Wakati wenzangu mnahuzunika na hii kauli mi ni yatima lakini nimejikuta nacheka tuu. Nimejaribu kumtafakari Mungu nikawaza angekuwa ni mwanadamu halafu anasikia kauli jeuri kama hii. Ooh Mungu si wa hasira ni mwingi wa rehema,ametupa utashi tuchague wenyewe. Mungu nakuomba rehema kwa huyu mzee hajui asemalo, mpe uzee mwema, utakaokuwa na tija kiroho utakaokuwa na uwezo wa kujua jema na baya kwako. Kamkumbushe nafasi yako kwetu wanadamu uliotuumba.
@Werema3760
@Werema3760 2 жыл бұрын
Amina
@alextina9020
@alextina9020 2 жыл бұрын
Amen
@janesimonmbironikweli6826
@janesimonmbironikweli6826 2 жыл бұрын
Ni kweli Mungu amrehemu
@bulunjamalimikulwa4876
@bulunjamalimikulwa4876 2 жыл бұрын
Anajua tu!!! Na uzee wake wote ule asijue 🙄
@mwanumwanu1513
@mwanumwanu1513 2 жыл бұрын
Pole mama magufuli mama yetu jipe moyo maneno hayo tunajua yamelalua moyo wako na sisi pia
@digitalaffiliatemarketing210
@digitalaffiliatemarketing210 2 жыл бұрын
Yaani Kwa kauli hiyo ya kwamba watu wazuri hawafi na kutoa mfano Kwa Kikwete pamoja na Kinana....hiyo Ina maanisha kuwa John. Magufuli alizungukwa na watu wabaya wengi sana humo humo ndani ya Chama..na waliokuwa wanatamani waone siku amekufa Ili wao wafurahie
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 2 жыл бұрын
Team magufuri paka kufa mimi namagufuri siangaiki kupiga kula atakae pita ndio huyo mungu nijalie mwisho mwema
@MikereMio
@MikereMio 2 жыл бұрын
kaka muda ukifika akiwepo mgombea mzuri kampigie kura ndio dawa ya kuyaondoa haya mabuku
@jeniphanzeran8231
@jeniphanzeran8231 2 жыл бұрын
acha ujinga hupigi kura!!! Kwahiyo magufuli atakuja kukuletea dawa hispitali au barabara huyu amemaliza mwendo wewe piga kura
@MikereMio
@MikereMio 2 жыл бұрын
@@jeniphanzeran8231 ukitilia maanani wenye uchungu na imani ya taifa wapo . na watajitokeza hapo mbele . Tanzania inahitaji kukombolewa kwenye mikono ya wezi na walafi walio jimilikisha hii nchi kwa muda mrefu na kuidumaza kimaendeleo
@PlatnamzChoma-gl4jw
@PlatnamzChoma-gl4jw 9 ай бұрын
Umezeka. Vibaya
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 9 ай бұрын
@@jeniphanzeran8231 nioneshe mzarendo nikampigie kura 🤣
@sautiyamunguduniani4620
@sautiyamunguduniani4620 2 жыл бұрын
Niwewe Mungu mwenye kuziumba mbingu na ardhi niwewe pekeeako ndiye mtetezi wawaTz tunakuomba sikia haja ya watu wako kilio Cha watu wako Mungu simama na taifa la Tz nilako Mungu uliliumba kwamapenzi yako nawe lifanye kuwa amani na lisimamie kwa mapenzi yako katika jina la Yesu Kristo 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Rest in peace wazee wetu wote waasisi wetu viongozi wetu wazee wetu nanyinyi mlikuwa na haki ya kuishi Bali n kwamapenzi yake Mungu akawapenda zaidi.
@yusufunguruko8080
@yusufunguruko8080 2 жыл бұрын
Kumbe uhovyo wa January Makamba karithi kwa baba yake, najua anapalilia ugali wa mwanae ila mama Samia hao wanakudanganya tu piga ua galagaza 2025 CCM lazima ikufie mikononi, kama huamini tuma watu waje huku mitaani wakufanyie utafiti wakawaida ktk vikundi vya watu mbalimbali utapata majibu, kiukweli kila mtu hakukubali kabisa kwani hata hiyo 2025 watu wanaona mbali sana, ila watu wako wa karibu uliowateua watakudanganya tu kwamba usihofu utashinda kwa ajili ya kulinda position zao kiunafiki - Ulichoharibu mama ni kuonyesha waziwazi Ile tu ulivyoingia kumchukia mtangulizi wako Magufuli na kugeuza njia, misimamo na imani (attitudes) zote alizozipandikiza kwa watu ambavyo kiukweli ndivyo vilivyosaidia Tanzania kuanza kung'ara duniani, Kwa misimamo yake, tuliingia uchumi wa kati tukiwa katikati ya janga la korona, watanzania heshima ilipanda duniani, miundo mbinu bwelele kila mahali, hivi Sasa mama tumerudi kulekule mwaka 47 watu wanafanya wanavyotaka, mama watu wa magharibi wakikusifia sana ujue umeshanasa kwenye njia zao Ili waendelee kukunyonya, hakuna mzungu anaetaka eti akusaidie uwe powerfully kiuchumi kama yeye Sasa atamnyonya nani ? Kwa nini Marekani hamtaki mchina au mjapani ? kama kweli wana Nia ya kusambaza upendo wa kwamba kila mtu ainuke kiuchumi ? somo Hilo mama, ndio maana Magu walimchukia kwasababu alishawastukia... RIP JPM.
@chacha-255
@chacha-255 2 жыл бұрын
2025 mama ashapita bila kupingwa, Ccm mbele kwa mbele aietaka aende kutengeneza chama chake
@fransiskamwinuka4750
@fransiskamwinuka4750 2 жыл бұрын
Sio wote unaowaona wanatembea barabarani ukajua wanaakili timamu, wengine akili zilishakufa amebakiwa na box tupu kichwani.
@willykyando5647
@willykyando5647 2 жыл бұрын
Miizi mikubwa hiyo bila kubadilisha katiba yataiba nikelo Kubwa hicho chama kipo ajili ya matumbo yao
@willykyando5647
@willykyando5647 2 жыл бұрын
Mzee umezeeka vibaya hata huyo mamaako Hera nizake ccm muage naakili ndio aliokua anasema bashiru hela Kodi za wananchi
@salumsaid1545
@salumsaid1545 2 жыл бұрын
Unajidanganya sana na upuuzi wako, huyo magufuli mnaemsifia aliiba kura na kubaka matokeo Sasa akili kichwani mwako
@theophilojohn7331
@theophilojohn7331 2 жыл бұрын
Ety wazuri hawafi. Jaman kwelii, kauli hiii inaonyesha kuwa huyu mzee alikuwa hampendi uncle magu kabisa afu anakelaaa kinoma, sie tumemkumbuka rais wetu tuliempgia kura jpm hao wengne mmmh sinajibu walitoka wapi rest in peace jpm nyerere mdgo
@jeniphanzeran8231
@jeniphanzeran8231 2 жыл бұрын
Ccm wanajisaha sababu vyombo vya habari vyote ccm watangazaji wote ccm hawawatu wakimbilia ccm kwa sababu gani vyeo au watanzania tunateketea haya mambo si sawa vijana
@paulolunyalula6394
@paulolunyalula6394 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu anawaona nafasi ya kutubu madhambi Yao na Si uzuri wa Matendo Yao.
@jeniphanzeran8231
@jeniphanzeran8231 2 жыл бұрын
Huyu mzee ni hatari sana anaweza kuwagawa hata waccm wenyewe
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 10 ай бұрын
Kabsaaa
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 10 ай бұрын
Huyu mzee bhna bas lem keep quiet
@djnnyandboy564
@djnnyandboy564 2 жыл бұрын
Achen kujipendekeza kwan mama anatakiwa kuambiwa ukweli, nchi imemshinda kwan hakuna anacho kifanya zaidi ya madudu
@hassanabdillah3325
@hassanabdillah3325 2 жыл бұрын
Hongereni sana tunasubir maendeleo Tanzania ibadilike sababu mungu ametupa zaslimali nyingi
@mwigakatumpula5695
@mwigakatumpula5695 2 жыл бұрын
Body language ya kikwete ina onekana kuna sehemu ambayo Mzee ametereza kiasi kikubwa 🙆🙌😄
@raulianraphael6853
@raulianraphael6853 2 жыл бұрын
Asante coz umeliona hlo
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
Wote ni hao hao tu!
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 2 жыл бұрын
Nimemuona hajui la kufanya tu
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 2 жыл бұрын
Jk hakupenda kabisaa anamuona km kachanganyikiwa huyu lopolopo amekuwa.jua limeshazama inaonyesha na gari imeshawaka hiyo.
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 жыл бұрын
@@bahiyalumelezy3016 asingependa kaur hizo asingecheka bana hivi watanzania huon hata pc kuwa kaur hizo zime mfurahisha kikwete? tazama tena kwa mara ingine uelewe vizur yaani kikwete kafurahiya kweli alivoambiwa yeye ni mzur hafi kacheka sana so wanamtuma nandio maana wanampa hata umwenyekit jana tu wamemchagua tena kuwa mwenyekit wa makatubu sasa sijui mnalionaje hilo anaongea mavi na wanampa cheo
@josephatnyamageu1046
@josephatnyamageu1046 2 жыл бұрын
Hakuna fikra mbaya kama kujiwekea umilele, kwa jeuli ya mafanikio ya matumbo yenu. Kama kweli Mungu yupo tusubiri tuone matokeo ya wazuri awafi. Asante Mungu jiziilishe mwenyewe na liokoe Taifa letu. Ukweli unaongea daima RIP Magufuli.
@kabojamaluku7894
@kabojamaluku7894 2 жыл бұрын
Wazuli hawafii? ??? Haya bwana
@saluwatimalyeta5587
@saluwatimalyeta5587 2 жыл бұрын
Mzee kakosea hakuna ambaye hataonja mauti
@titus_maridhia
@titus_maridhia 2 жыл бұрын
Wema hufa mapema, Rest in Peace Magufuli
@florameza3491
@florameza3491 2 жыл бұрын
Mabaya hubaki ili yatubu badala ya kutubu yanabwabwaja tunajiuliza kwa mini Raid wakristo tu huaga dunia??
@gideonmhami9589
@gideonmhami9589 2 жыл бұрын
Ndiyo ukweli ndugu pumzikeni salama viongozi wetu NYERERE MKAPA JPM
@rabomunde3550
@rabomunde3550 2 жыл бұрын
Ee Mungu nijalie hekima nakuzuia ulimi wangu wakati wa furaha! Maana furaha ikizidi unaweza ukakufuru” Huyu Mzee asali imezidi mpaka anakufuru. Imebidi Leo niwakumbuke nilio waona wakiniacha nakuelekea akhera😭😭😭😭😭🥲🥲
@enockfanueli3008
@enockfanueli3008 2 жыл бұрын
Kweli kabisa yaani Mimi ccm naipenda lakini mzee makamba kaniweka jiapanda mama akajipime watu wanalinda matumbo yao kwa kauli ya mzee makamba sio mara ya kwanza kusema hivo
@rabomunde3550
@rabomunde3550 2 жыл бұрын
@@enockfanueli3008 ndugu tuwe pole sana wenzetu asali imezidi mpaka wanakufuru.
@richmwaij3368
@richmwaij3368 Жыл бұрын
mchague wewe mzee sisi atutaki
@rosehaule6765
@rosehaule6765 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana ujibu inshaalah tumshukuru kwa nyakati zote yy ndioo tegemeo kubwa dah 🙏
@salumjoka6286
@salumjoka6286 2 жыл бұрын
Mama nafikiri ujumbe umeupata ukitoboa 2025 mungu mkubwa
@frederickmaringo8014
@frederickmaringo8014 Жыл бұрын
Mh Makamba. Very philosophical but message delivered. Ashante saana.
@irmgardsamia1827
@irmgardsamia1827 2 жыл бұрын
This man should rest "niujinga tu ipo kwa kichwa yake"
@lilyjones3584
@lilyjones3584 2 жыл бұрын
CCM imeshakufa, tunasubiri mazishi yake.
@obedkiswaga2790
@obedkiswaga2790 2 жыл бұрын
Mazishi ni mwaka 2025
@mnyamakambi8468
@mnyamakambi8468 2 жыл бұрын
Kafie huko mbele mzee unajipendekeza .mungu yupo rest in peace magufuli
@meryshekoloa961
@meryshekoloa961 2 жыл бұрын
Wewe mwenyewe utakufa mbwa ww kwa hiyo wazazi wetu walikua wabaya kipenzi chetu magufuli alikua mbaya kwa sababu kakuinua wewe mwanamke na kumfukuza huyu jambazi makamba kinana na maendeleo tumeyaona mnaiba pesa tu maisha magumu nyie na watoto wenu mnaishi vizuri Bashir u anajielewa sasa 2025 mtaisoma namba tutalinda chama kwa kuweka kichwa tu mikono vidole vyote wapinzani.
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 3 күн бұрын
Hongera sana Mhe Yusuf makamba angefaa sana kuwa makamu mwenyekiti wa Chama chetu CCM lakini uhalisia ni kwamba kama wenyewe wana mipangilio nyingine hatuna ujanja.
@tanzania2559
@tanzania2559 2 жыл бұрын
R.I.P Magufuli , tulikupenda na tutaendelea kukupenda daima 🙏🏾
@gideonmhami9589
@gideonmhami9589 2 жыл бұрын
Umenena kweli kiongozi binafsi hata machozi yananitoka nikikumbuka JPM na watu wanavyomdhihaki kwa jeuri ya uhai waliopewa na MUNGU pumzika salama baba JPM
@benedictkihombo348
@benedictkihombo348 2 жыл бұрын
Huyu Mzee nilimuheshimu sana, kumbe pumba kiasi hichi... Mungu Mwenyezi anakuona kwa kauli yako hiyo...
@zenobiakapere1379
@zenobiakapere1379 2 жыл бұрын
Yaani mzee ongea vizuri!Hapo mko na mama Magufuli hayo maneno yako siyo ya mtu mzima kama wewe! Wewe sio Mungu !!
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
Mama Magufuli, watoto wake, ndugu na jamaa zake, sio ustaarabu
@magdalenajoseph9910
@magdalenajoseph9910 2 жыл бұрын
Dr. Bashiru hoyeee. Mungu azidi kukupa ujasiri, uzuri uliongea na kimewauma Sana, na maneno hayarudi👏👏👏
@hamadsaburi3569
@hamadsaburi3569 2 жыл бұрын
Hakika mnafiki ata kua katika daraja la chini kabisa katika Moto WA jahannam
@dottondege8869
@dottondege8869 2 жыл бұрын
Kumbe kuna wazee hawamjui mungu kabisa eti wazuri hawafi jakaya yupo kwa sisi watanzania tunasema asante kwa kauli yako mungu anakuona mzee makamba
@benjaminjoseph1747
@benjaminjoseph1747 2 жыл бұрын
We mzee mshenzi sana. Kwani samia pesa zake, pesa ni zetu, kodi zetu. Washenzi kuleni na hata nyinyie mtakufa na kuiza. Magufuli katufungua macho we are watching you. Wakuu wa mkoa wsnaoupiga mwingi ni hski kuitwa hivyo masna wanajali utu wa mtu. Ni Amana ya familia yake kijijini akazane kuwachumia.
@LumolaSteven
@LumolaSteven 2 жыл бұрын
Hii dhana ya Rais kuwa ndiye mwenye Fedha ni dhana potofu sana. Inaua morale ya wananchi kulipa Kodi. Ni lazima wananchi waambiwe Maendeleo hayawezi kuja mpaka walipe Kodi. Fedha ni za wananchi na wenye Nchi ni wananchi.
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
Hayo yalikuwa mawazo ya Magu sio sasa
@meryshekoloa961
@meryshekoloa961 2 жыл бұрын
Samia anahela kazitoa wapi anauza nini makamba kafe mbele hizo ni kodi za watanzania azokopa mnakula tulipe cc yatima na wajane makamba mtumzima ovyo dashi mkubwa wewe unategemea vya yatima na wajane mpaka kifo chako hutauona ufalme wa mungu na utaadhibiwa hapahapa duniani .
@christopherbomola4151
@christopherbomola4151 2 жыл бұрын
Sahihi kabisa nasisitiza kila mara nguvu kubwa iwekwe kwenye kufundisha elimu ya Uraia ,watoto na watu wote waijue historia ya nchi yao,katiba yao,wajibu wao,na nini wajibu wa serikali kwao badala ya kuweka nguvu kubwa watoto wajue kiingereza tu,tunatengeneza msiba mkubwa huko mbele..
@marijanimohamed8875
@marijanimohamed8875 2 жыл бұрын
hata yeye ni mtu m baya kwa maana na yeye atakufa wote tuta kufa ina maana watu wote tutakuwa wabaya mbele Mwenyezi mungu kwa maana wote ni marehemu watarajiwa hata hao anawo wasema ni wazuri itafika mda wao watakufa mzeee anaitaji msaada wa kumuombea kwa Mwenyezi Mungu kwa maana kavuka mipaka
@musamusa6213
@musamusa6213 2 жыл бұрын
Miss you Magufuli kipenzi cha wa Tanzania saivi kukosa maji Umeme ni kawaida na hurusiwi kusema.
@byamasumundele6385
@byamasumundele6385 2 жыл бұрын
Mimi ni mukongomani anaye fatilia siasa ya Tanzania. Hakuna aliwayi kufanya kazi nzuri. Ksma magufuli. Mbona katuacha mapema. Wewe unamusifu mama eti hawezi kufa kwasababu anafanya vizuri. Maana yake JPM alikua mubaya ndio maana kafariki
@aderickanatorypesha4004
@aderickanatorypesha4004 2 жыл бұрын
Mama Mkapa,Mama Nyerere,Mama Magufuri na wengineo,Kwa lugha hii watakuwa wameguswa Sana rohoni mwao.Lakini watanzania tunasikia na kueleweshwa zaidi kinachoendelea pale ambapo hatujui.Tusiwaumize wenzetu walio hai kwa midomo yetu.Hakuna mbaya wala mzuri zaidi mbele ya Mungu wote Ni sawa.Najalibu kutafakari Sana ,ikitokea mtu unakufa unakoelekea unawakuta wale uliowaisi kuwa wabaya ndo pia viongozi mbinguni ,je kipi kinaweza kufuatia .Nasubilia majibu.
@zainabally4
@zainabally4 2 жыл бұрын
Mzee huyu sio bure ana Lana ya Mungu kuna mzuri kuliko Mtume Mohammad na mbona alikufa? Baba ako mzazi amekufa kwahio alikua mbaya sio alafu usiseme mioyo ya watu kwani kupiga kura maana yake ni uhuru wa kumchagua umtakae sasa vip mnatutisha kwa maneno yenu? Kama mnalazimisha vilee vip au mnajihami kwa matendo yenu mabaya ya kuwauwa waTz kwa njaa?
@prosperjohn2047
@prosperjohn2047 2 жыл бұрын
Yaani mimi, nashkuru siyo Mungu, na Mungu bakia kuwa Mungu Baba,, MAGUFULI WEWE LALA BABA, lakin hakika hutoondoka mioyoni mwetu,,
@kefamkv3743
@kefamkv3743 2 жыл бұрын
Huyu mzee ameamua kumdhiaki mwenzie alie tangulia mbele za haki eti watu wazuri hawafi kwan watu wote wanao kufa ni wabaya sio daah Huyu Mungu kama anasikiaga viliyo vya waja wake ninakuomba baba 2025 isiwe ccm madarakan uwaaibishe Mana wanajikuta miungu watu Nimekasirishwa na hii speech
@leticiacyprian7786
@leticiacyprian7786 2 жыл бұрын
Sawa Mzee mungu ameskia kauri yako na Imani ataifannyia kazi maana hata hao wabaya aliwaumba yy hata mwl Julius alikuwa mbaya au unajitengenezea mazingira
@mwanumwanu1513
@mwanumwanu1513 2 жыл бұрын
Namimi pia hatasina lakueleza bali naomba watanzania tufunguke macho
@fabianayubu6738
@fabianayubu6738 2 жыл бұрын
tunaweza kufanyaje ili tutimize lengo hilo nipo tayari
@kefamkv3743
@kefamkv3743 2 жыл бұрын
Dawa ni kujitokeza sana ktk vituo vya kupigia kura na kumchagua yule kiongozi atakae kuwa sahii kwetu sisi wanyonge Hata kama wanaweza kuiba kura lakin zikiwa nyingi watakosa namna
@enockfanueli3008
@enockfanueli3008 2 жыл бұрын
Sio ccm tu mungu hata yeye na mwanae wasiwepo uchaguzi huo wa 2025 et mama vunja katiba wao ndio walitunga
@rashidikombo9240
@rashidikombo9240 2 жыл бұрын
Mzee kuwa na busara katika maongezi yako waislamu husema hakika sisi ni WA mwenzi mungu na kwake tutarejea
@mafundakhamis3337
@mafundakhamis3337 2 жыл бұрын
Makamba pengine ana kinyume chake ss hatujamuelewa,WAZURI HAWAFI😳😳 pumzika kwa Amani mama,R,I,P RAIS WANGU MAGU🙏🙏
@farajaMezza-qn4be
@farajaMezza-qn4be 5 ай бұрын
.
@mussathomasdossa4687
@mussathomasdossa4687 2 жыл бұрын
Wewe mzee mjinga kuriko unakufuru mungu kwahiyo waliokufa niwabaya mungu atashugulika nanyinyi mmerewa madaraka unatukana waliokufa mungu yupo
@kelvinjeremia8763
@kelvinjeremia8763 2 жыл бұрын
We sio mungu
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 2 жыл бұрын
Hapo ndipo inadhairisha walamba asali msoga timu majipu ndio mliomuangusha magufuli damu nzito mnapayuka payuka na kuwafungua watu ninyi ndio wauaji mungu amlaze mahala pema peponi jpm tulimuelewa amina
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
Hata Mimi nawaza hivyo hivyo, wamemuua sasa wanasheherekea kweupe peee bila aibu na kashfa Tele as if wao ni Mungu
@ericron6115
@ericron6115 2 жыл бұрын
Shida miaka.mingi huyu mzee akiongea watu wacheka, mzee wetu anahisi yuko Sawa lakini it's high time akosolewe, amenisikitisha Kwa waandishi
@saidikasheshe6349
@saidikasheshe6349 2 жыл бұрын
Docƙita.wakala
@saidikasheshe6349
@saidikasheshe6349 2 жыл бұрын
Kwanin.uteseke.wakat.dockita.wakala.yupo
@ibinyoma8067
@ibinyoma8067 2 жыл бұрын
Magufuli ni rais wa aina yake tofauti na watanzania wengi. Ndiyo maana baada ya kifo cha Magufuli sifuatilii tena habari za Tanzania. I am from Bujumbura
@azizakiswili9063
@azizakiswili9063 2 жыл бұрын
Hili zee linachakaa vibaya,kwahiyo sisi tuliokwisha kufiwa ndugu zetu walikuwa wabaya,Mwenyez Mungu amekusikia,unafiki ukuzidi mtu anajisahau.
@machoguhamery3731
@machoguhamery3731 2 жыл бұрын
Mzee Makamba anasema watu "wasibanwe na Katiba, wala wasibanwe na kanuni" wavunje tu mradi watimize lengo lao.Anasahau Baba wa Taifa Mwl Nyerere katika hotuba yake mwaka 1995 Kilimanjaro Hotel aliwahi kusema "Mtu asiyeheshimu katiba hatufai" Tena Mzee Makamba nasema wazuri hawafi" maana yake Hayati Nyerere Hayati Mkapa, Hayati Magufuri walikufa kwa sababu walikuwa watu wabaya sana.!!!! Wazuri wakabaki Marais wastaafu walio hai leo na uongozi wa awamu ya sita na yeye mwenyewe mzee Makamba,watu wema sana ndio maana wako hai hadi leo. Hii inaonyesha udhaifu mkubwa wa huyu mzee kupima maneno ya kusema sifa zinamzidia hadi anakufuru. Ndiyo maana Ukatibu Mkuu ulimshinda ccm ikataka kufia mkononi mwake. Mwaka 2025 ni siri ya Mungu Mzee Makamba hajui Hilo??!!!
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 2 жыл бұрын
Kizee kinafiki
@mwanumwanu1513
@mwanumwanu1513 2 жыл бұрын
Kweri watu wote tumebaki mdomo wazi kwa kaulizake waliokufa hawana haki? Kunanini hapo??
@nicolauslukona2694
@nicolauslukona2694 2 жыл бұрын
Dah umenimalizia maneno
@felistamwashibanda7764
@felistamwashibanda7764 2 жыл бұрын
Mungu amsamehe ila tubaki tikijua "vizuri havidumu"
@vibetz9991
@vibetz9991 2 жыл бұрын
Bahasha ndo inaongea apo
@yusuphrehema3842
@yusuphrehema3842 2 жыл бұрын
R.I.P President Magufuri rais we2 wa wanyonge hii kauli imeniuma sana so Inshallah MUNGU ndo anaejua
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 2 жыл бұрын
Mmmm serekali yetu wacha tuishi tu na tusubili mungu atakapo tuchukua turidhike naviliopo 🙏🙏🙏🙏🙏mungu nipe mwisho mwema
@hassankaita1039
@hassankaita1039 2 жыл бұрын
Subhannallah innalillah waa Inna ilaihi rajeoun huu ni msiba kwa maana hayo huyu mzee Ana tutukania mpaka mitume na manabii wote walio kufa kua wote ni wabaya Allah atujibie hili
@eustardrwegoshora1683
@eustardrwegoshora1683 2 жыл бұрын
Ni ukweli mzeee makamba kakiweka mahapi pabaya chama Cha mapinguzi, hawa wazee wawe wanapewa vya kuongea sio kuongea TU Kisha kapewa mike akakanushe maneno aliyo Sema kuwa watu mazuri hawafi mungu atamwona
@abuutrikaa35
@abuutrikaa35 2 жыл бұрын
Mzeee hii kauli yako si nzuri hata kidogo ni umemkejeli mwenyezi Mungu ila kwa Mungu ndio anaejua zaidiii
@samwelnyaisanga765
@samwelnyaisanga765 2 жыл бұрын
9:13>> mzee kazingua big time! +Ogopa teknologia-hii itamkost
@daveme9180
@daveme9180 2 жыл бұрын
Very very sure bro ....matter of time
@venturejackson6357
@venturejackson6357 Жыл бұрын
😢sawa bwana mzee makamba mungu akubarik 😭🙏
@justineerenest6172
@justineerenest6172 2 жыл бұрын
Rest in peace jpm
@yasalaam590
@yasalaam590 2 жыл бұрын
Mzee wangu sema inshaallah maana roho ni za mungu pekee
@ahamadially8351
@ahamadially8351 2 жыл бұрын
Bado tunakazi kubwa sana nchi hii
@emarrgeorge8536
@emarrgeorge8536 2 жыл бұрын
Daaah Kiukweli Hisia Zangu Zinasafiri Mbaaali Mpaka Kusiko Julikana..Inaniuma Mmno 😭, Magu , Magu Magufuliiiii Baba Am Sure Unackia Hii Kitu, Uliko nipazuri Zaaidi,kwa Huruma Ya Wanyonge Uliokuanayo Tuombee OurDaddy🙏Aimeni
@holac7805
@holac7805 2 жыл бұрын
Tusikitike
@geofreymalekana8000
@geofreymalekana8000 2 жыл бұрын
Sijafurahishwa ata kidogo na kauli ya mzee makamba kwamba mtu mzuri hafi, kwa hiyo mana yake watu waliokufa kabla ya kumaliza wakati si watu wazuri?? Dr. JPM kafanya kazi nzuri sana leo hii tutajisikiaje watanzania mkisema watu wazuri hawafi 🤔🤔
@japhetjoseph1772
@japhetjoseph1772 2 жыл бұрын
Ndio kwanza tunaongia 2023 watu wanaweka nguvu kwenye uchanguz Wa 2025. Wakati umeme wamgao, maji ivoivo, garama za maisha ziko juu ajira hamna, upotevu wa pesa na matumizi mabaya wa mamlaka hivi bitajadiliwa lini
@kombedavis4056
@kombedavis4056 2 жыл бұрын
R.I.P JOHN JOSEPH MAGUFULI.....mzalendo wa kwel na msema kweli daima!😭😭
@safiamohamed635
@safiamohamed635 2 жыл бұрын
Kabisa magufuli ni mfanoo
@kabojamaluku7894
@kabojamaluku7894 2 жыл бұрын
Aisee hata Kama huna hakili lazima uwajuwe wabaya wa magufuli
@naomipieter4627
@naomipieter4627 2 жыл бұрын
Wazuri ndio wanakufa Ili wasiendelee kupata visuawishi vya kutenda mema...Mzee tafuta sifa sio usimpangie Mungu usituvunje mioyo sisi tulifiwa na wenxetu.....
@dullahkhalifa5312
@dullahkhalifa5312 2 жыл бұрын
Kweli chawa hata wazee wapo
@mosesmaduhu6603
@mosesmaduhu6603 2 жыл бұрын
Huyu Mzee aombe msamaha kabla ya siku ya kesho kma magufuli alikuwa mbaya ndio maana alitangulia sawa lkn kma nia kuu na malengo ya JPM ilikuwa kuisukuma Tanzania mbele ata yy siku zake chache sana.
@lilykarim8968
@lilykarim8968 2 жыл бұрын
Hili lizee ligwadukaji kila kukicha sijji anaenda wapi apunguze mukali siku za kuishi si nyingj hapa duniani makamba tubu!
@mwanumwanu1513
@mwanumwanu1513 2 жыл бұрын
Aombe msamaha mapema
@festomlunya7538
@festomlunya7538 2 жыл бұрын
Tena zimebaki chache sana namuomba Mungu ata yy asiushuhudie uchaguz 2025
@Peaceman-S
@Peaceman-S 2 жыл бұрын
Ingekuwa nchi hii watu wanaakili yakufumbua mafumbo hakika CCM syo chama Cha kuchagua yaani hapa ndo unakiona hichi chama unaelewa kinalengo gan na hii nchi kama Kuna wanamaombi wazindi kuomba sana Mungu alete mabadiliko
@kennymponezya8754
@kennymponezya8754 2 жыл бұрын
Ama kweli wazuri hawafi tumuogope mungu magu pumzika kwa amani
@pnight6550
@pnight6550 2 жыл бұрын
Apa kazitunayo uyu mama akipita 2025 sijuwi walala hoi tuta kimbilia wapi maana apa penyewe tulipo mambo ni magumubalaa🖐️😞🖐️
@jamessimba749
@jamessimba749 2 жыл бұрын
KWAHIYO NYERERE, MKAPA , MAGUFULI, KIJAZI Ndo wabaya waliokufa . KUNA UDINI UKO HAPA
@professorwangwande1752
@professorwangwande1752 2 жыл бұрын
Wewe ndiwe mchochezi kaambali tukikuambia Italia yote huja yaona umeona Hilo wakitawala wabaya nchi inalia dhuluma umangi mezaa ngoja nikubakishe hapo
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
@@professorwangwande1752 lini dhuluma imetoweka Tanzania?
@mimiraia2531
@mimiraia2531 2 жыл бұрын
Mungu wanafiki wataisha lini!!
@muhidiniabdur2382
@muhidiniabdur2382 2 жыл бұрын
Bashiru kweli mwanasiasa mkubwa mzee Ana zeeka vibaya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇹🇿
@wemakingdaily1462
@wemakingdaily1462 2 жыл бұрын
Kabisaaqqa
@rehemasmbena8392
@rehemasmbena8392 2 жыл бұрын
Safi sana mzee makamba 20, 25 ,ni mama Samia suluhu ulipo tupo
@mzalendowaasili1727
@mzalendowaasili1727 2 жыл бұрын
Makubwa nahama CCM, aibu tupu RIP MAGUFULI
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 2 жыл бұрын
Fanya hivyo na pole kwa kuchelewa kuwajua hawa sio hiki sio chama sasa mzee wa hovyo kama huyu anasema unaogopa katiba??? Seriously 😐 ndio maana samia haifati katiba
@allyvuai9762
@allyvuai9762 2 жыл бұрын
You are not a CCM potea tu
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 2 жыл бұрын
Mzalendo, ilikuwa ccm unafanya Nini? Mbona asilimia 90 ya watanzania walihama siku nyingi tu? Wanaogopa risasi za mapolisi wa CCM tu na ndo maana wamekaa kimya.
@michaelmfanga3084
@michaelmfanga3084 2 жыл бұрын
Tunaomba Mh January Makamba, umshauri baba yako ajitokeze hadharani aombe watanzania radhi.... Mungu yupo na hadhihakiwi kwa kazi zake. TAFADHALI, FANYA HIVYO
@malimanyanja562
@malimanyanja562 2 жыл бұрын
Alie gundua uyu Mzee Amezeeka vibaya amna kitu kichwani..
@mammasud991
@mammasud991 2 жыл бұрын
Tena unaambiwa ni mkorofi vibaya 😁😁
@kilalaurio9922
@kilalaurio9922 2 жыл бұрын
Asante mzee umetuonyesha ramani ya vifo . Wewe utaishi milele?
@nassorseluma9106
@nassorseluma9106 2 жыл бұрын
daaaaah kufruuu kubwa sana yaani watu wazuri hawafiii......mitume yote ya mwenyezi wamekufa unazihaki wenzio kwa kuwa ww umzima ....mungu yupo
@surusuru1994
@surusuru1994 2 жыл бұрын
Huyu mam kichfuchi 2 wabiye sio haondo mafisadi wazury ndowanatangulia allah amrehm president makufuli 💔😭😭
@yuventmpiru7738
@yuventmpiru7738 2 жыл бұрын
Nyie watu Mungu na awarehemu ili nchi ipate rehema,
@brother_majesty
@brother_majesty 2 жыл бұрын
Haya buana..Mungu atakujibu soon
@tinomzungu8070
@tinomzungu8070 2 жыл бұрын
jamani njaambaya sana kila nikivuta picha je angekuwa rais wetu ingekuwaje nakuwa majibu sina
@hamismabula9934
@hamismabula9934 2 жыл бұрын
Kumbe Samia anaharibiwa na vizee hivi! Ndo maana hafurukuti!!!
@ilungasalle
@ilungasalle 2 жыл бұрын
Vizee vinafiki sana hivi
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 2 жыл бұрын
Mm nauhakika asilimia 95 ccm hawataweza kuingia peponi,Tena Hawa ndo watakuwa kuni kule mbngun
@graceessau2034
@graceessau2034 2 жыл бұрын
Rest in peace shujaa wetu Magu
@alexkabeho5609
@alexkabeho5609 2 жыл бұрын
Kumbe mama yangu kafa kwa ubaya wake, asante 🙏
@azizamvungi926
@azizamvungi926 2 жыл бұрын
Muogope mwenyezi mungu..huo ni ugali unatetea Kwa mwanae..ila mungu atawaona hata nyinyi mtakufa tu.umauti hautamiacha mtu
@mashakanassoro3119
@mashakanassoro3119 2 жыл бұрын
Hana lolote huyu Mzee anajipendekeza kwa Rais ili Mwanae aendelee kula bata
@sistymbombo1616
@sistymbombo1616 2 жыл бұрын
Maana yake ni kwamba magu alikuwa mbaya ndo maana alikufa loooo mzeee hata we ni mzuri saaaaana ndo sababu unaishi bado
@husseinbongo7447
@husseinbongo7447 2 жыл бұрын
Aiseeee Tanzania yetuuuu!!!!!!!
@ramadhanimkude5744
@ramadhanimkude5744 2 жыл бұрын
Allah atawahukumu kwa matendo yetu.
@nuryatmaulid3628
@nuryatmaulid3628 2 жыл бұрын
Sk zte vizuri huwa havidumu.......kizuri huwa hakikai md mrefu Kama kibaya,,na Mungu n mjuzi zayd
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 2 жыл бұрын
Makamba Makamba Makamba Iam very sorry 🙏
БАБУШКА ШАРИТ #shorts
0:16
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,1 МЛН
요즘유행 찍는법
0:34
오마이비키 OMV
Рет қаралды 12 МЛН
Namna hotuba ya Mzee Mwinyi ilivyoleta faraja kwa wafiwa
18:54
PART 1: MZEE MAKAMBA AMVUNJA MBAVU KIKWETE HADI MACHOZI YAMEMTOKA...
20:48
Kisa cha Mganga na Mtu asiye na Subira - Mzee Makamba
3:38
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
БАБУШКА ШАРИТ #shorts
0:16
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,1 МЛН