Wow 😍😍 tunazidi kumiminika katika dini ya Allah (sw) nawapenda sana Waislamu wenzangu
@qassimkc58986 ай бұрын
MashAllah
@saba-gv3mj25 күн бұрын
Ndio dalili za kiyama
@jeanbangwela Жыл бұрын
hakika allah akuongoze na kifo ikukute hali yakuwa ukufe muislam aaamiiin
@saidgawawa8519 Жыл бұрын
mashaallah,,,wallahy sheikh historia yako kidogo inilize.,kweli umepitia mengi kwa mitihani baada ya kuslimu kwako,mungu akuzidishie elmu yako akupe umri mrefu wenye barka na afya tele..mungu atuongozee sote ummaty mohammad.amiin.
@faizaannassir2568 Жыл бұрын
Allahuma barik yaa shekh . Allah akuhifadh allah akupe uzima . Na akuuingize peponi amin yaa rab Amin
@rayaalhabsi1725 Жыл бұрын
Welcome back brother to your original faith Alhamdulilah Rabbil Aalamiin Allah bless you and all Muslims around the world. Allah Akbar
@ummohammed8380 Жыл бұрын
Amiin yarab
@allywhite8065 Жыл бұрын
@@ummohammed8380 b.
@rahmahersi6584 Жыл бұрын
Mwenyeezi Mungu akupe afya na umri Sheikh ili tuzidi Kupata elimu ya kutufaa Kwa maisha yetu kesho Akhera.....Aameen.
@apexmombasa6809 Жыл бұрын
Ma Sha Allah karibu sana kwenye dini ya haki Allah akujalie kila kheri ktk hii dini na apushe na Shari (Allahumah Amin yarabi 🙏🙏🙏)
@kineromakame7295 Жыл бұрын
Mashaallah mashaallah Allah azidi kukuongoza sheikh ❤❤❤❤❤
@ismailyussuf1805 Жыл бұрын
Allah akuzidishie Umri na Afya njema Shk wetu.
@shabanegaddafi1511 Жыл бұрын
Allahu akbar Allahmmdulillah Allah akulipe apa duniani na kesho akhera kwakazi unayo ifanya ya Allah
@angle3600 Жыл бұрын
Karibu kwenye dini ya haki na ya kweli,mimi pia nilikua mkatholik,nashukuru mungu kwa kunionyesha dini ya haki
@tawakalmzee516 Жыл бұрын
Masha allah
@josephwilliam5813 Жыл бұрын
🤣🤣🤣kwaio na wewe unamsubiri YESU aje kuua nguruwe na kuoa?
@davidmghanga8502 Жыл бұрын
Ulikuwa mkatoliki ni kweli hukua kwa YESU basi nakuita njoo kwa YESU upone yy ndiyo njia yako ilio hai ya kukupeleka kwa MUNGU
@angle3600 Жыл бұрын
@@davidmghanga8502 siezi rudi nyuma tena
@davidmghanga8502 Жыл бұрын
@@angle3600 nakuita ili ufanikiwe na faida ya kumfuata YESU ni uzm wa milele maana hakuna njia kando na YESU itakupeleka kwa MUNGU Fanya uamuzi wa busara uokoe jahazi YESU pekeake ndie alie njia ya kukupeleka uzimani bila YESU utapotea hata Muhammad atafufukuwa na YESU ahukumiwe
@Aminamuhamed Жыл бұрын
ALLAH akbaru ALLAH akbaru ALLAH akbaru Hakika mwenyezi MUNGU humuongoza amtakaye hongera shekhe
@fauzenkassim8424 Жыл бұрын
Waaleykum msalaam warahmatuhllah wabarakatuh Allah atakusimamia kwa kila jambo lenye kheri InshaAllah
@hassankeya5281 Жыл бұрын
Mashallah sheikh MUNGU akupe UMRI
@khalidkamanda8154 Жыл бұрын
Masha Allah, na wengne awape mwanga , na sote tudumu tukiendeleza dini ya kiislamu.
Pole sana sana tena nakusikitikia umefuata majinini umemuacha YESU kiristo kweli wewe ni mfuu
@zaidiissa37143 ай бұрын
Wewe bakiatu huko mwenzako kajiepusha na moto wajehanam endelea kufutiwa zambi na wachungaji
@IbrahimuyussuphuMutakyamir-t3j2 ай бұрын
zidi kuwanasihi waio mupwekesha alla
@BjleonardBhiandaАй бұрын
Ni kweli jamaa yetu kaacha kweli kafuata giza...kufuata majini!!!...sisemi mimi maneno hayo bali Qur'an yenu inasema majini ni ndugu wa waislamu...ndani ya Biblia takatifu hakuna sehemu yoyote Mungu aliwaambia watu wake washirikiane na majini..na hata ilipotokea mtu akafuata majini au kuabudu miungu..Mungu hakuwa radhi nao waliadhibiwa...kweli imani ni kazi...watu wanaamini majini daaa!!!
@kaoretosha6668Ай бұрын
@@BjleonardBhiandaKweli PAULO alifanikiwa kuanzisha dini 'fake' kwa kutumia jina la Yesu, na akamfanya YESU kuwa Mungu wa kuabudiwa badala ya Mungu Mwenyezi.
@kaoretosha6668Ай бұрын
Paulo delusional....still live
@Athmanmasini Жыл бұрын
Mshllh mungu akubariki
@ArafaSuleiman-db9pw3 ай бұрын
Barakah ALLAHU fiiqum hbbi kwa kuandaa hadraa hii Mashallah ALLAH SWT awajaalie janatul firdhaus aalyah wabillah tawfiq Inshallah
@Tadjiliwamahaba Жыл бұрын
Akika ALLAH NIFISHE MIKIWA MWISILAMU
@MalikiSheki6 ай бұрын
Allah akuongoze naawaongoze waklisto waielewe njiayahakki kwasababu Allah humuongoza amtakae nakumuachakupotea amtakae
@HemedSerious3 ай бұрын
Allah atuongoze njia sahihi sote inshallah, na Kwa rehma zke atupe mwsho mwema amen
@nakundwamkubwe7823 Жыл бұрын
Takbiriii Allah Akbar!!
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Allahu Akbar
@AwiloNtemi24 күн бұрын
Unamwacha Yesu na kujichovya kwenye Dunia mzima mzima Pole!😢😢😢
@isseamin2017 Жыл бұрын
Dini ya haki mbele ya mwenywezi mungu i uislamu soma Quran lakini haikutajwa kwa vitabu dini nyingine Ila uislamu. Amini mungu na watume wote ili ukuwe safe kesho
@maugeomar Жыл бұрын
Masha Allah
@selemanihamisi-yu5uw3 ай бұрын
Masha-allah, Allah akuongoze zaidi na akuzidishie elimu yenye manufaa kwako na akujaalie mwisho mwema
@jamuhurialiwazir46858 ай бұрын
Subuhana lhaaa Poleni Sana wahazhiri wetu alha awazidishie subira
Allah akulipe fafhila hizo kesho na stukutanishe nawe ktk Pepo ya firdaus yake Inshaalah
@abbassmshaury75724 ай бұрын
hahahaha sema sema ndg yangu na mungu atakuhifadhi inshaallah
@nassorbinfundi1196 Жыл бұрын
Allah akutunzie afya yko, nakulipe kwakila juhudi yako kwenye dini y haki,
@niyonkurukinana6210 Жыл бұрын
Ustadh luvanda allah akuhifadhi
@JinaJuma-gy1us3 ай бұрын
mashaallah jazzaka allahu kheri
@DottoRajabАй бұрын
Kweli ata mimikuna bibiyangu zamani alikuwa na mbuzi anafuga alikuwa anawavalisha vi fuu vya kwenye mdomo mpaka puani kumbe ile ilikuwa brakoea na walikuwa wanapelekwa kula kwenye kuchungwa alihamdu lilahi
@saudahassan6667 Жыл бұрын
Mashaallah mashaallah allah akujaalie kila la kher
@frankjohn87063 ай бұрын
Hao waumini makanisa 48 wasiskike kuombolezea kiongozi wao au kuambatana naye pakoje apo
@MuhsinAliy3 ай бұрын
Allah atuongoze sote na aturejeshe kwake sote tukiwa ni wafuasi sahihi wa Mtume (Saw)
@RahmahMasaood-pb1wm Жыл бұрын
Mashaallah❤
@bahatigwivaha22012 ай бұрын
Uongo tu. Ungefikia level hiyo ungekuwa na uelewa mpana na ungejua kutofautisha giza na nuru.
@nalingarowl7048 Жыл бұрын
Kanisa ni Roman Catholic,mengine ni madhebu. Mt.16:16-18 Kanisa haliwezi kushindwa,Je? Kuna kiongozi Gani wa Imani ambae ni mashuhuri kumzidi Papa. * Huwezi kuwasogelea Maaskofu Wala Mapadre wa RC.*
@AlhajiSaidi-uo8zl4 ай бұрын
Jazakallhu haira
@IsmailHiyesa28 күн бұрын
Allah Akiamua kukuepusha na jehannam Atakutoa huko uje kwa haki na ukweli,,, kama Hataki Atakuacha tu uendelee kuongea matope na mwisho uingie motoni.
@sulehassanshall6140 Жыл бұрын
Jalla jalalu.Mungu nimkubwa
@HassanAli-eq8ko Жыл бұрын
Mashaallah jazakumllah kheir amiin
@sulimankarusi83453 ай бұрын
Mashallah ya sheikh
@noot-oe2mw3 ай бұрын
Mashaallah 🙏🙏
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Hidaya ni kwa mungu subuhana allah alijua uhakika sithani kwamba mariyamu ni mungu NA. Wazazi wake wawili baba NA mama NA haiwezekani kwa mungu watatu sasa kabla ya kuzaliwa marriya NA kabla ya kuzaliwa yesu mungu alikuwa moja sio unajua mungu hafi milele mbona hao wamekufa NA ikiwepo kufa NA kuzikwa huo sio mungu hayo mambo sio sahihi kabisa ni shirk thambi isio samehewa milele astagfuru alla
@sharifuahmed8340 Жыл бұрын
Uislam Raha sana jamn daaaaaah,
@RamadanPaul Жыл бұрын
Dini ya kwel ni ......... Kuamin Mungu mmoja na mitume wake na malaika,,,, na hyo ndo iman ya watu wote wa kale... Hii kuamin YESU alikufa kwa ajiri ya dhambi zako, kipind yesu hajafa hao wa nyuma waliamin nn 😢
@MejumaaRashid-s8g3 ай бұрын
Subuhanallah Lailahailalla Allahu Aqbar
@halimaa9367 Жыл бұрын
اللهم امين يارب العالمين
@issafaquedalaura8279 Жыл бұрын
Masha Allah Mungu akubariki
@salehkhamis-ob8ln Жыл бұрын
Mbeya makafiri wengi unaweza kutembea usikute msikiti
@maxpesa8811 Жыл бұрын
Miskiti ipo ila ni pale mjini tu ukitoka nje hupati hata mmoja
@allychengula3511 Жыл бұрын
Wew Ni muongo mbeya Kuna misikit sio mmoja, misikit Hadi ntokela upo
@allychengula3511 Жыл бұрын
@@maxpesa8811 hufaham mbeya et misikit Hadi ndaga, et
@bilaalmuhammad9499 Жыл бұрын
Allah hu aqbarrr
@safarisafari73887 ай бұрын
Wachristian wanadhani hatumjui yesu😂 yani kama kunawatu wanamjua yesu niwaislam na historia yake.waislamu nikidogo duniani lakini wana power sana kushinda wachristo ambao niwengi na hamna kitu.hata mimi nilikua huko na nisarakasi tu ziko kanisani😂
@marympochela79034 ай бұрын
Imeandikwa, walikuja kwetu bali hawakuwa wakwetu.,BWANA YESU KRISTO alisema lolote utakalofunga duniani basi litafungwa na mbingun na lolote utakalofungua duniani litafunguliwa na mbinguni. ( mathayo 18:18) vilevile imeandikwa, ungamaneni dhambi zenu ninyi kwa ninyi. Yaani umemtumikia MUNGU siku zote kisha unakwenda kuzimu? MUNGU akukumbuke! Uzinduke
@PharaceNyaimaga-td7lhАй бұрын
Watu wameganda torati,lakini YESU alikuja kutimiliza,sio kutangua
@PharaceNyaimaga-td7lhАй бұрын
Bwana awangazie Nuru ya Uso wake,mkafunnguke mpate okolewa
@fatuma5208 Жыл бұрын
MASHALLAH ❤
@ummuhafswa8980 Жыл бұрын
Mashaallah Allah azidikukuongoza
@SalamaNauthar Жыл бұрын
Waislamu ta..ta...ta...Taqbiiiiiiiiiir
@RamadanPaul Жыл бұрын
Amin🙏😂
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Waaskofu wengi duniani wameingia katika uslaam NA wakiristo kwa mamilion wanaingia kila siku lakini hutaweza kuona muslaam kaingia ukristo
@allychengula3511 Жыл бұрын
Lengo la kuingia huko Ni kwa lengo moja tu la new world order soma biblia ndugu yangu utagundua Jambo la Siri kubwa mno linaloujia ulimwengu et
@hansiselemani80259 ай бұрын
@@allychengula3511 Walio kwambio sio kweli soma dini usiambiwe
@nehemiaayo95278 ай бұрын
Wapo maliyo pya wanawo ingia katika ukirsto fwatiliya kwa makini sana sema ivyo utavitiya kwako
@Ummunajma-i2cАй бұрын
Maa shaa llah., Allah sw Akupe mwisho mwema.
@salehkhamis-ob8ln Жыл бұрын
Wakristo nyinyi noma mnafutiana mazambi wenyewe kwa wenyewe 😂😂😂😂 huyo anaekufutia mazambi yeye mwenyewe anamtegemea mungu amsamehe
@HemedSerious3 ай бұрын
Hatari sana cjui ata akili zao Zina mattzo gani Haki ya mungu
@mwanaidwakanai1125 Жыл бұрын
Allahu akbar
@rashidjemadar6620 Жыл бұрын
Sub-hana llah
@MOHAZBOY29 Жыл бұрын
Mashallah sheikh anaitwa nani?nimevutiwa na mawaidha zake
@RiyadhTvOnlineZnz Жыл бұрын
Shk Issa John Luvanda
@bilaalmuhammad9499 Жыл бұрын
Mashallah ♥️
@AlhajMoza14 күн бұрын
So mtu wa bara tu hata mm ni mznzbr ila kimakunduchi sikielewi mm naona sio kiswahili bali ni kilugha
@AbduMutwaribi4 ай бұрын
No matter how much Western Monsters fight versus Islam , Islam Shall Never perish Inshallah
@ConfusedChicken-ze9fz3 ай бұрын
Yes islam will never perish but muslims will surely perish forever if you don't believe Jesus as Saviour and redeemer of your life
@emanweljohn1240Ай бұрын
Baad ya kumtumia shetani sasa mnarud KTK imani yenu yakipepo ukua mchungaji ulikuja kuibia nakudanganya watu pandikizi la kipepo nendenituavhie Yesu wetu
@AbujadiAbdalaAbujadiAbujad28 күн бұрын
mashallh mashallh
@asiahmchingamah-ds3vl Жыл бұрын
Mashaallah
@shekhamuhham9044 Жыл бұрын
Mashallah Barakallah fiika
@gaspermmari8538 Жыл бұрын
Msidanganyike mjiongeze,hayo ni maneno tuu msibabaike na dini,dini ya kweli ni Mungu tuu,pia taf.tafakari MUNGU NI nini,uachane na dini hiyo
@omarmwapanahd4819 Жыл бұрын
Makafir wote motoni
@gaspermmari8538 Жыл бұрын
@@omarmwapanahd4819 jiandae vizuri kwa kuwa unakoelekea ,utakuwa wa kwanza kutangulia motoni ukijidanganya una dini,jiongeze ndg yangu moto usikuwahi haujabadilika
@paulcharles321 Жыл бұрын
Huyu mwongo sana amekuwa sheik wa mchongo mambo mengi anasema uwongo huku kasema alikuwa mchungaji wa lutherani huku anasemea mambo ya kikatolic huyo wa mchongo
@jumamgandi-wi1cp Жыл бұрын
Mashallah...Al Islam dini...
@hakizimanamariam8566 Жыл бұрын
Allahu ak'baru Allahu ak'baru Allahu ak'baru
@issakayogoma7463Ай бұрын
Uislam ni dini ya SHETANI jim3 kuwa muislamu miaka 27 natumai QUR'AN kwnye UGANGA najua machafu YOTE 😊
@ummohamed4404 Жыл бұрын
ما شاء الله ❤
@gemmamwajombe3169 Жыл бұрын
Sijajua ni kwa Nini Uislamu ilienezwa kwa Upanga naomba sababu
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Ukitaka kujua dini ya kiislaam huko kwenu kuna mashekhe wengi sana waulize watakufahimisha sisi waaslaam tunaamini vitabu vyote ya mungu ikiwepo gruani NA tunaamini mitume mohamed mtume wa mwisho lakini hatuamini kwamba yesu ni mungu au ni mtoto wa mungu yesu ni binadamu NA mama yake ni mwanamke anakula NA atakufa tu lakini aliyeuba dunia hafi milele uslaam ilikuja kufundisha majahili lakini ilipokuja huko makaa imepigwa vita NA makafiri ikawa lazima kupambana nao ila tu wakisilimu wayapona dini ya kiislaam ni dini ya mungu NA gruani imetremshwa NA mungu kwa mtume wake mohamed uliza mashekhe huko kwenu kama shekh kashik NA wangine wengi
@harounkiyungi7288 Жыл бұрын
@@gemmamwajombe3169 uislamu haujaenezwa kwa upanga ila ukristo ndio uliongezwa kwa upanga ndugu fatilia historian ya crusade war ila kama itaamua kufuata propaganda za kanisa itakula kwako milele ukitaka details sema tukupatie kama hauogopi mabadiriko
@samuellubunga Жыл бұрын
Nyinyi amna baba ila sisi wakristo tunae baba
@SalmaAbdul-zz7dy Жыл бұрын
@@gemmamwajombe3169 wewe ulijuaje km ulienezwa kwa upanga Sasa SI umuulize uyo ulomsikia
@StraightPathDawah Жыл бұрын
Kuna mwingine au ni Sheikh Isa aliyesimu zaidi ya miaka 25
@KhamisMdzomba-w6h Жыл бұрын
MaashaAllah
@conjestamashallo84583 ай бұрын
Yesu hakua na wewe
@adlainekamonya-ic2kq Жыл бұрын
Mimi ni Mkirsto🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@ImaniTinda-h6x4 ай бұрын
Pole wenzio wakimbia ad Kwa kifo lakin wew Kwa akilizako unakubali kwenda jehanam duu
@ImaniTinda-h6x4 ай бұрын
Hatushangai izi ni sku za mwisho vibwengu Ving vitatokea
@bentybenty2343 Жыл бұрын
ALLAHU AKBAR
@mwangazakusenge2197 Жыл бұрын
Alhamdulilah
@adammboma5924 Жыл бұрын
Hata huyo mchungaji Ni msanii pia hata mazinge mwamposa wote ukanda Ni mmoja
@khadijaaheemed3386 Жыл бұрын
AllahuAkbar
@MukhtarBurah2 ай бұрын
Aminia kabisa usilamu ndio dini ya kweli mbele ya allah
@ImaniTinda-h6x4 ай бұрын
MUNGU akusamehe kwakua hujui ulitendalo
@RafikKarimomarOmar-sc5gz2 ай бұрын
Takbirrrr
@SisterPeter3 ай бұрын
Ulikuwaje mchungaji kivipi kama ulikua hujui Yesu ni nani hicho kiilikustahili.
@IDRISISMAIL-q2h Жыл бұрын
Manshallah
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
Unashangaa mitume kutoka Mbeya? mbona mitume wa kwenye vitabu vya dini wote walitokea mashariki ya kati
@kassimkipande1858 Жыл бұрын
mashaalh
@sinenomwadeje-vx9lo Жыл бұрын
Allaah bless you
@abdallahkassim8600 Жыл бұрын
Mashaallah mungu tuzidishie imani ktk nyoyo zetu tusimamie dini yetu
@fardoshnassor7847 Жыл бұрын
Mashallah Allah
@EDSONKAJUNA5 күн бұрын
Imetengenezwa kabisaaaa. kaharibu mwanzo kabisaaa. kaanza na Uongo hata kuendelea kuangalia siwezi