DK SULE AISIMULIA HISTORIA MGOGORO WA PALESTINA NA ISRAEL AMBAO UTASIMAMA MPAKA QIYAMA MTORO DAR.

  Рет қаралды 12,582

Saimu gwao Online tv

Saimu gwao Online tv

Күн бұрын

Saimu Gwao Online Tv ni chanell inayojihusisha sana na vipindi vya dini vyenye mafunzo kwa jamii na matukio tofauti yenye manufaa Tunapatikana Masjid Mtoro Jijini Dar Es salaam. Kwa mawasiliano zaidi 0713471090

Пікірлер: 43
@raykyando7571
@raykyando7571 10 ай бұрын
Kumtaja Yesu haina maana kwamba mtaiona pepo la hasha , YESU anasema enendeni ulimwenguni kote mkaihubiri injili na kila aaminiye kuwa YESU NI BWANA na Mwokozi wa maisha yake ataokoka , hakusema atakaye muamini mohammadi, YESU anasema mimi ndimi njia ya kweli na uzima hakuna mtu atamwona baba bila kupitia mimi (YESU) Full stop. Mafundisho mengine zaidi ya hapo ni ya mpinga kristo ( wapinzani wa YESU
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 10 ай бұрын
Nakubaliana Na Ww Yesu Anasema Mtu Haend kw Baba mpka Kupitia Mm,Jee Ilkua Karne Hii Au Karne Ya Wana waizrail,Hapo wanaambiwa Wana Wa Izraili,Na Naomba Unambie Huyo Baba N Nan kw Yesu ,N Mungu Wake Yesu Au N Mungu Wenu Yesu Na Nyie ,Njbu Ili Njfunze , Muhammad Amekuja Kw Kila Kiumbe , Muhammad N Mtume Na Nabii Wa Allah ,Yesu N Mtume Na Nabii Wa Iszrail,Mussa N Mtume Na Nabii
@bibisalim8666
@bibisalim8666 10 ай бұрын
1:45
@raykyando7571
@raykyando7571 10 ай бұрын
Yesu anasema nakitumwa kwa walio wake lakini hawakumsadiki, ( nabii haeshimiki nyumbani kwake) basi sasa saa inakuja ambapo wokovu utawageukia wamataifa ( mataifa nje ya israeli) ili kuwatia wivu wale wa taifa la Israel, sasa Yesu ni mkombozi wa ulimwengu na kila anayeamini hivyo awe tayari kuokoka, kwasababu ya israel kumkataa sisi tukapata nafasi, sasa mkane uone anakuja kuchukua kanisa na wala sio msikiti, sijui siku hiyo mtajificha wapi , OKOKA KIJANA ACHA UJANJA UJANJA
@mwanahamishamad2335
@mwanahamishamad2335 9 ай бұрын
Allah akulipe wema
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 9 ай бұрын
Ray ,Andiko Halsem hvyo unaengeza ww,
@hikayatsuseno6843
@hikayatsuseno6843 5 ай бұрын
aslm..dari Banten Indonesia salam ukhuwah persaudaraan bagi semua saudara/i
@Shomariamuri1
@Shomariamuri1 9 ай бұрын
Siku moja utampokea Yesu tu.
@maufoung
@maufoung 5 ай бұрын
Duh noma sana
@mwanahamishamad2335
@mwanahamishamad2335 9 ай бұрын
Kweli dokta
@hassanmutta921
@hassanmutta921 10 ай бұрын
Dr Sule Assalamualaikum nakuomba mutuandikiye vitabu vya histolia Mimi Niko Uganda Asante
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 10 ай бұрын
Shekhe mwenye mvuto Tanzania anasauti ya ushawishi ya kuendelea kumsikiliza akili nyingi sna Sule keep it up
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 4 ай бұрын
Mafundisho anayatoa ktk. BIBLIA na waislam mnayasimiliza
@HamisPolino-wj3br
@HamisPolino-wj3br 10 ай бұрын
Mwenyezi mungu akuhifadhi siku ya qiyama Dr sulle.
@omarathuman5813
@omarathuman5813 10 ай бұрын
Mungu akupe Maisha marefu uzidi kuwalimisha watu Inshallah
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 10 ай бұрын
Uyu ndio Dr Sulle bwana Allah akuhifadhi
@saadnaim5518
@saadnaim5518 10 ай бұрын
Assalamu alaykum Vipi mambo Jee إ ۩inawezekana m7kafanya Daawah mitaani kama vile wanavyofanya wahaziri wenzenu kenya
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 9 ай бұрын
Yawezekana kwamana hzo zlkua Kaz za Manabii,hakikaa ukumbusho utamfaa walioAmin watakao Amini
@AllanMwarigha-zd3mv
@AllanMwarigha-zd3mv 10 ай бұрын
Hekaya za abunuasi hizi hivi asili ya waafrika ni waarabu ama vice versa
@mussamakatani7366
@mussamakatani7366 10 ай бұрын
Tayri Kesha kengeuka
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 10 ай бұрын
Mwamba doctor Sule
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 10 ай бұрын
akuna kitu apo ndugu yangu kama ni mwamba basi wakutane na mwalimu wa walimu francis-ndacha@
@harunaabu3083
@harunaabu3083 10 ай бұрын
Huyu mwamba nahatar ana muomba Allah amchukue akiwa namri wamiayaka.63 alafu sisi tunamuomba Allah amuweke bado nihitajio letu
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 10 ай бұрын
wapi mwamba?shida yenu nyie waislamu munaamini sana mashekh wenu kuliko ata qu'ran yenu,pia mashabiki wakwanza wa mpira barani afrika ni waislamu na ivo ndivyo munavyo shabikia uislamu!
@harunaabu3083
@harunaabu3083 10 ай бұрын
Kaka wewe.kama.unaweza tao andiko.linalo sema yes nimungu
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 10 ай бұрын
@@harunaabu3083 nipe andiko Muhammad katumwa na Mungu!
@harunaabu3083
@harunaabu3083 10 ай бұрын
Kumbe hahah hata bibilia yenyewe unathibitisha ujio wa mtewe muhmdi swl
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 10 ай бұрын
@@harunaabu3083 nyie ni mashabiki amujui lolote kazi ni ubishi tu na mumekaririshwa qu'ran kama wimbo,mm nimekuomba unipeye andiko wapi Muhammad katumwa na Mungu simple!
JESUS (Kirundi) 🎬
2:07:54
Jesus Film
Рет қаралды 142 М.
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 13 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 13 МЛН
THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU
44:18
Haya ndio Maajabu Yaliyopo katika Msikiti wa Aqaswa Palestina
33:28
OBA Online tv
Рет қаралды 15 М.
DR.SULLE SAFARI YA MTUME MUHAMMAD S.A.W (SEHEMU YA 1)2024  ISRAA NA MIRAJI
53:27
Watu wa Nabii Lut hawakufika tulipofika - Sheikh Ally Mpendu
32:42
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН