Wakristo tujuane hebu,Bwana yesu Kristo asifiwe,Hallelujah 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏YESU Kristo ni mwana wa Mungu aliye hai.
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Wewe mungu ana zaa tena
@ctnpetro9 ай бұрын
Amen apa Ctn petro youtube
@maxmarickylezile4 ай бұрын
🎉
@Samwel-y4d4 ай бұрын
Amen
@MaryTemba-z2l4 ай бұрын
Amina
@stanleywalker67083 жыл бұрын
Mungu akubariki sana jamal, wapi ata likes kumi zake!
@beatricepeter3013 жыл бұрын
kama umesikia k2 ndani ya Roho yako tujuane apa love you Jesus.. i cannot get tired of listening to the word of lord Jesus n our saviour...
@yohanachulila61233 жыл бұрын
Amen
@elishavicentmhina35453 жыл бұрын
Amen
@ummylucky48853 жыл бұрын
Amina
@gabrielkisach76703 жыл бұрын
Jesus is everything
@gabrielkisach76703 жыл бұрын
Amen
@abdallahrajabu28183 жыл бұрын
Jamal Jamal Jamal hakika unakitu chakipekee sana like zake tafadhal
@farajamsigwa13042 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi wa Bwana kupitia miujiza na mtendo makuu aliyoyafanya Yesu imenipeleke kukua kwa Iman yangu. Mungu azidi kujifunua kwako kila utakapo Pata kibali cha kufafanusha habari zake🙏🏽
@sofialinus82413 жыл бұрын
YESU KRISTO ndie njia ya Kweli na uzima, hakuna atakae-ingia mbinguni bila kupitia kwake
@dannymdete39312 жыл бұрын
Kweliii
@izmoo18352 жыл бұрын
Yes
@nduwimanaamidou40096 ай бұрын
Kwa wana wa Israel
@nduwimanaamidou40096 ай бұрын
Kwa wana wa Israel
@DulaMudi5 ай бұрын
uwong-o yesu ni mtume wamungu nawara siyo mungu m musipotee katika ii Dunia tambuweni Kuma maisha myengini Bada yaiii Dunia je nyinyi munawo hamini kuwa yesu nimungu siku ikikufiki yeni sijuwi mungu mutamuwambia nini badirikene muda ndo uuu
@kelvinantony78333 жыл бұрын
Kama umekubali Yesu anaweza weka like yako hapa
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Sijaelewa yesu anaweza nini tena
@japhetmasawemasawe5468 Жыл бұрын
Yesu Ni mfalme wa wafalme
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
@@japhetmasawemasawe5468 1 Timotheo 2 5 Kwa sababu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu; Yesu mwanadamu km wewe ufalme katowa wapi
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
@@japhetmasawemasawe5468 Mathayo 22 29 Yesu akajibu, akawaambia, Mwapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu. Nawe utapotea kwa sababu hujui maandiko soma biblia yako vizuri utaelewa
@DavidGithaiga-lx2ic Жыл бұрын
Anaweza..Jamal..we love you..ur pure talent from God brother
@RealGiftLydia2 жыл бұрын
Huyo ndie Star wangu number 1 ninae mwamini nakutamani kumuona siku moja maana nimekaa kaa mlinzi kila itwayo leo. Nakupenda sana Yesu kuliko kitu chochote hapa chini ya juwa😭🙏
@norbertlilungulu50183 жыл бұрын
Utuhurumie dunia na corona eeh Yesu! Utuponye na magonjwa yetu eeh Yesu! Amen
@ErickMwendwa-c3d11 ай бұрын
Amina mungu wangu wa majeshi❤❤❤❤
@jimmyjohn81843 жыл бұрын
Hapo mzee umeshahubiri Injili, tena kwa kwa mashiko kabisa. Barikiwa sana
@kvoicetv3 жыл бұрын
Mimi ndimi njia ya kweli na uzima mtu hawezi kufika kwa baba bila ya kupitia kwangu alie niona mimi amemwona Baba asema YESU mwokozi wa ulimwengu 🙏🙏🙏🙏 AMINI NAWE AKUPONYE
@lovenessrobert98153 жыл бұрын
Amen
@ngwanafabian96683 жыл бұрын
It means Yesu ni Mungu
@fetty15713 жыл бұрын
Amina
@kvoicetv3 жыл бұрын
@@ngwanafabian9668 Sure ✔️
@meshackkigumbi1213 жыл бұрын
Amen
@zabrongermanus-co1jj Жыл бұрын
❤ ahsante yesu kwa kuniokoa
@blessjacob91962 жыл бұрын
I love you Jesus my savior my Lord my king my everything ❤️
@saudatoller642 Жыл бұрын
Apo sas unakufuru, ikiwa yeye ndio kila k2 kwako, je yle aliemuagiza Kuja hapa dunian kw ajili yetu tumpe nafc gan
@julietjotham88123 жыл бұрын
I love JESUS you love JESUS we love our master 🙏💓💓💓💓
@gbreezy_tz3 жыл бұрын
Hii ndio story ambayo itampa baraka na mafanikio ya kila aina kw jamal april(The professor) mungu akubariki sana professor wa maprofessor🙏🙏
@rahelchilale10753 жыл бұрын
MUNGU siyo mungu
@ummylucky48853 жыл бұрын
Nisamehe Yesu Kwa maovu niliyokutendea😭😭nikumbuke katika uzima wa milele🙏🙏
@athumanzahir83162 жыл бұрын
Amen
@izmoo18352 жыл бұрын
Umenena vyema 🙏🏾
@abdulsanga573 жыл бұрын
Kama umeirudia zaid ya mara mbili gonga like kwa professor
@pastorypatrick94723 жыл бұрын
Asiyeamini matendo na maelekezo ya Bwana Yesu namuombea neema ya Yesu imshukie ili aweze kuamini.
@elijahbaya54282 жыл бұрын
Jamal kwani wewe mkristo ama ni muislam Kwa sababu ni vigumu sana muislam kueleza ama kufafanua ubora wa mkristo. Na ni vigumu sana muislam kuamini kuwa yesu ni mwana wa MUNGU, lakini kama wewe unayaamini hayo basi naomba MUNGU azidi kukupa neema ya ufahamu zaidi na hekima. Na ubarikiwe sana🙏😇
@salmasollo22144 ай бұрын
Mungu hana sifa ya kuzaa, wala kuzaliwa. Sikiliza story vizuri story. Kila jambo alilokuwa anafanya ni kwa uwezo wa Mungu na si yy
Yesu Mwana wa Mwenyezi Mungu. Yeye ndiye njia ya uzima na ukweli. Mimi ni nani nikatae kupita katika njia yako ?! Na iwe utakavyo juu yangu na hatma ya maisha yangu ya hapa duniani. Amina
@willywox50403 жыл бұрын
Ujawahi niangusha na hautakuja kuniangusha kaka! wewe ni genius tu💪👍"SALUTE"
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
Nyinyi wakristo hamuoni yesu na wanafunzi wake waisilamu kweli kanzu kofia shuka kila kitu uisilamu mashaAllah❤❤
@DulaMudi5 ай бұрын
wambie awo wapotevu wadunia
@lubwelawalubwela78393 ай бұрын
@@DulaMudi Mungu wenu hazai lakini Yesu ni mwana wa Mungu wetu ndo maana alifanya miujiza ya maajabu sana. Alifundisha mambo ya hekima ya juu ambayo haijawai kushuhudiwa kwenye historia ya ulimwengu.
@leahmgunda1773 жыл бұрын
Umenitajia mtu nimpendae maishani mwangu hakika nimefurahi sana.Dumu kutujuza na mengine .
@seasonepisode33283 жыл бұрын
Uyo ndie Yesu king of kings..yy ndie muhukumu wa ulimwengu huu..yy ndie njia ya kufika mbinguni bila yy akuna binadamu ata 1 atae weza ingia mbinguni..ukimkosa Yesu umekosa vyotee na ukimpata Yesu umepata vyotee..Yesu nakupenda kwakua ulinipenda bila ww mimi si kitu .ww ndie mwenye mamlaka mbinguni na duniani ww ndie mwenye funguo za mauti na uzima..Yesu niongoze nifike salama.
@adamkamaze98883 жыл бұрын
Acha kufuru yesu ni mtume xio mungu
@millionairejeffreysunofbez37663 жыл бұрын
@@adamkamaze9888 yaani mijitu mingine bhn, yaan unaupinga ukweli,
@millionairejeffreysunofbez37663 жыл бұрын
@@adamkamaze9888 ivi si usome Luka 1 :26 nakuendelea. usibishe tena,
@millionairejeffreysunofbez37663 жыл бұрын
@@adamkamaze9888 au ww kwa akili zako Marehemu na Aliye hai hadi kiama utamfuata nani...?
@leahmgunda1773 жыл бұрын
Hey narrater,very happy to hear the story of my Lord;yes the Lord of lords.
@belafontesteven51443 жыл бұрын
Muujiza uliosahaulika hapa ni huu kwamba huyu Yesu anaendelea kufanya miujiza hata sasa na yupo hai hata leo, mwamini uokoke.
@patientlazaro69303 жыл бұрын
Muujiza wa kwanza kwa mwanadamu ni kuokoka,
@eriyasenye96223 жыл бұрын
Aminaa
@miraclelaurent94133 жыл бұрын
Vizuri Ni YEYE YULE JANA LEO NA HATA MILELE
@lovenessrobert98153 жыл бұрын
Kabisa mpk leo ni mtenda miujiza
@hassandabaso48692 жыл бұрын
Kuokoka vp wakati bado mnatenda madhambi
@musstiamulannoamulanno12433 жыл бұрын
Uyo ndiyo mwanaume Yesu
@SethJohn-x9f4 ай бұрын
Jamali wewe ni mtu wa pekee aubagui dini ya mtu Mungu akubariki sana akupe maarifa zaidi ya uprofesa
@godfreycharles27923 жыл бұрын
Kwa haya uliyoyaeleza juu ya Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai, amini Mr. Jamal, ushuhuda na wokovu hautakuacha na Neema ya Mungu itakufuatilia. Amen
@theonestrenatus9542 жыл бұрын
Hakika
@johnmichael85963 жыл бұрын
Thanks, mwili wa damu na nyama havikukushawishi ufanye story hii bali Roho wa Mungu. God bless🙏🏿!!
@rayfaakim19203 жыл бұрын
Ngoja Nika pike futari nikimaliza kufuturu nije kuangalia the story book Nije kusikia miujiza ya Yesu story in iingie wakati nimeshiba 👌👌👌👌👌
@enemtatuka58633 жыл бұрын
Utoa kar ya mwakaa hiii jamn
@emmysam15103 жыл бұрын
🤣🤣
@MishiPapalan3 жыл бұрын
Hapo kama kunamtu atasema yesu mungu basi balaa lake mana huyukaka kaeleza vizuli kama yesu ni mtume wa mungu wala sio mungu
@MishiPapalan3 жыл бұрын
Yesu kasema yeye mwana wa adamu
@monicabh16682 жыл бұрын
@@MishiPapalan bado mtabisha tuu ila itabaki kuwa Yesu Kristo ni mwana wa Mungu.
@almassylivester46913 жыл бұрын
Yohana 1:10 Alikuwako ulimwenguni, hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako, wala ulimwengu haukumtambua. YESU KRISTO NI MUNGU.
@adamkamaze98883 жыл бұрын
Yesu ni mtume Tu wa Mungu wala yeye sio Mungu .yesu ni binadamu kama wewe tofauti yake na wewe kuwa yeye alikuwa mtume wa Wana wa izrael
@sikitu89573 жыл бұрын
@@adamkamaze9888 yesu sio binadamu kama sisi Tambuwa vitabu vya dini vinatuambia kuwa kila binadamu alizaliwa Na dhambi ya asili Tofauti na yesu tu Malaika alisema kutazaliwa neno la Mungu kwa iyo yesu ni neno la Mungu lililovaa Mwili
@monicabh16682 жыл бұрын
@@adamkamaze9888 yesu ni NENO
@official_mtiamoyo2 жыл бұрын
@@adamkamaze9888 Hapana Mwanadamu hawezi kuumba, Yesu ni Mungu
@christinamwilawi83352 жыл бұрын
@@adamkamaze9888 masihi ni neno lenye asili ya kiebrania linalomaanisha MKOMBOZI...na sisi wakistro tunaamini kupitia maandiko ya MUNGU yaani biblia kwamba tulianguka dhambini na hivyo MUNGU kabla hajatuumba alijua hilo litatokea na ndiposa akaandaa mpango wa UKOMBOZI wa mwanadam KABLA YA KUWEKWA KWA MISINGI YA DUNIA......muda ulipofika ambao obvious aliupanga yeye akaacha kiti chake cha enz juu mbingun akachukua jinsi ya ubinadam akaja duniani akaishi na AKAFA NA KUMWAGA DAMU ili sisi wadhambi tukimuamini na kuamin kafara yake pale msalabani na kuomba msamaha tunapata ONDOLEO LA DHAMBI ZETU...zamani walikua wanachinja kondoo na wanyama kama kielelezo cha zoezi zima litakavyokua pale kondoo halisi atakapokuja na kuchijwa,,,, ndio maana YESU alipokufa pale msalabani akasema imekwisha NA kondoo aliekuepo hekaluni kwa ajili ya kuchinjwa alikimbia na kisu kikamdondoka kuhani na pazia la hekalu lilipasuka.....kumaanisha kwamba TUKIO HALISI LA kuchinjwa na kumwaga damu lililokua practised kama kielelezo limeshatimia hivyo hakuna haja tena ya kuendelea kuchinja kondoo na kutoa kafara kwa ajili ya kusamehewa dhambi.....ndio maana sasahvWAKRISTO HATUCHINJI WANYAMA KWA AJILI YA KAFARA YA KUSAMEHEWA DHAMBI'''''''''' NIMEJARIBU KUKUELEZEA YESU NI NANI ALIKUA WAP NA NINI LENGO LA KUJA NA KUFA MSALABANI.....LABDA UNAWEZA KUPATA PICHA KIDOGO.........Kuhusu uungu wake malaika Gibril ameiweka vizuri kabisa katika INJILI YA MATAYO 1 fungu la 23''''''''' anasema TAZAMA bikra atachukua mimba nae atamaa mwana ....naye ataitwa emmanueli YAANI MUNGU PAMOJA NASI.....mpango wa MUNGU kuja kutukomboa aliupanga yeye na ilikua ni kwamba avae namna ya ubinadam ...azaliwe kwa uwezo wa roho mtakatifu...aishi nasi....akamatwe ,.....asulubiwe ....siku ya tatu afufuke katika wafu...PLAN IMEISHA ....sasa kama una maswali kuhiusu hio plani ukifika firdaus utamuuliza kwa nini hakushuka moja kwa moja tu kama alivyo....kwa nini aliamua kuzaliwa?? asante @Hop Graphic
@jofreyfumboonline48663 жыл бұрын
Naomba Jamal Mungu aendelee kukupa neema ya kutuelimisha maan hata wakristo wengi umetuzidi kufuatilia maandiko nimekupenda bro..
@flova70222 жыл бұрын
Yesu ni Mungu,, sitaki jibiwa kwenye Imani yangu na yeyote. Na ndiye ataniokoa siku ya mwisho kunipeleka Kwa Mungu Baba.
@kasongokusova19052 жыл бұрын
Mungu yupo muumbaji wa kila kitu na yesu ni mwanamungu aliyeshuka kueneza ukristo tu aliishi miongoni mwetu na alizaliwa na mtu ,lakini mungu wa mbingun hajawahi kuishi na watu ,natangu mwanzo wa ulimwengu aliye muona ni mmoja tu Nabii Musa tu tena kwa ishara , SOMA ULE ,SOMA UWELEWE ,
@flova70222 жыл бұрын
@@kasongokusova1905 waelewAje kuhusu Mungu mwana ?
@amosmunezero99583 жыл бұрын
My Lord! the perfect and Almighty one!! Believing in you gives me peace!
@MwanduMachiya Жыл бұрын
Mungu nimkubwa 🙏🙏🙏
@ericmukabwa45632 жыл бұрын
Glory Glory Glory ❤️
@donathakihombo42983 жыл бұрын
Utukufu kwake yeye astahiliye. YESU KRISTO WA NAZARETI, MUNGU MWENYE NGUVU.
@Agneskithitu.7 ай бұрын
Mungu anaendelea na kazi yake ata Leo Tena kwangu
@wencesmarc68472 жыл бұрын
Am proud of you LORD JESUS
@kingpin25113 жыл бұрын
Mnipee likes Za Professor Tafadhali
@fredrickmbaga11963 жыл бұрын
Upewe likes umefanya miujiza gani?
@carlixtz45943 жыл бұрын
@@fredrickmbaga1196 😂😂
@lovenessrobert98153 жыл бұрын
@@fredrickmbaga1196 😂😂😂😂😂
@hermanndaka52103 жыл бұрын
@@carlixtz4594 Babe
@yeboclassic90583 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/bpPWkGyMfLuSZs0
@YorandaBonephas9 ай бұрын
Asante naubalikiwe uendelee hivyohivyo kutuletea habali njema za mkombozi wetu yesu Kristy wanazaleti Alie hai Amina.
@godfreydeus18323 жыл бұрын
" I'm the only way of trust and life, no one can come to the father except through him" Jesus said..simply Huwezi kwenda kwa Mungu bila kumuamini Yesu.
@hopgraphic29653 жыл бұрын
tumuamini Yesu au Mungu ?
@godfreydeus18323 жыл бұрын
Yesu ni Mungu.
@kendrick9563 жыл бұрын
Yesu ni roho ya mungu ukimuamini yeye bas umemuamini mungu 👌👌
@hopgraphic29653 жыл бұрын
@@godfreydeus1832 kama Yesu ni Mungu ? Mungu ni nani ?
@godfreydeus18323 жыл бұрын
@@hopgraphic2965 Mungu ni mmoja ambaye ndo Jesus Christ, he dead on cross because of our Sina.
@RTGC.R73 жыл бұрын
Every knee will bow and confess Jesus is Lord ( Lord in Jewish national name of God: - Jehovah, the Lord.) Every mouth will confess "Jesus is Almighty Jehovah"
@3ziilymephisdraco5582 жыл бұрын
Jesus christ is our way to God
@asueddy14653 жыл бұрын
Yeye pamoja na Jamaa zake wote wakamwamini Yesu 16:46
@georgeslupopo621510 ай бұрын
Neno La Mungu wetu katika Bwana Wetu Yesu-Kristo Li sifiwe milele na atamilele, Amen !🙏
@AmosiDeogratius3 жыл бұрын
Nipe likes Kama umemuangalia Jamal akiwa kwenye code mavazi makaliii kwelii hii Ni wasafi WCB for life✌️
@eliasmapuli26743 жыл бұрын
Nice story nimempokea yesu katika maisha yangu yote
@mcmorris7774 ай бұрын
Iwapo unaamini Kuna maisha mapya baada ya mauti,weka like
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
Yohana 14: 11 Yesu anamtaja Baba yaani Mungu. Nani nabii aliyewahi thubutu kumuita Mungu Baba? Soma maandiko zaidi.
@vitarismujuni68893 жыл бұрын
Au ulitaka amuite mwaangu!!!!
@rosaliemane21943 жыл бұрын
Amen, Jesus is the lord Glory to him . Thx for the History , May God bless u . Keep it up .
@tuliamakombe16233 жыл бұрын
Ahsante yesu
@salehabri69572 жыл бұрын
ISSA bin Mariam,ni kiumbe wa mungu aliozaliwa bila baba kila alifanya ni kwa uwezo wa mungu tu,hakua mungu Wala mtoto wa mungu,hakusulubiwa Wala kuuwawa,alipaisbwa ,kwa miujiza ya mungu yupo hai na atarudi kabla siku ya mwisho.
@kwangahudispensary72389 ай бұрын
Huyo ni isa wenu sisi Yesu wetu alikufa kwa kusulubiw na akafufuka
@collinskipkorir4501 Жыл бұрын
YESU WA NAZARETI , WAPI LIKES ZA PROF🔥🔥
@dottomarko18903 жыл бұрын
Haleluyaaa haleluyaaa haleluyaaa naliamini jina lake yesu na nalipenda kwa kuwa yeye ndy njia kwer na uzima wa milele
@brinasally74512 жыл бұрын
God of gods,the omnipresent, God of Nazareth, ..thanks for your mighty deeds 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽.I love you Jesus
@annamakome29793 жыл бұрын
Amina kubwa. Na ubarikiwe unaetoa simulizi hii maana Mungu ana makusudi nawe ili kila sikio lisikie habari za Yesu Kristo na kumwamini.
@noti1k7523 жыл бұрын
Nipeeni likes za mwokozi wetu yesu💥
@DulaMudi5 ай бұрын
m upotevu tu
@nikitalucas23233 жыл бұрын
Jesus is king of all kings Jesus is son of God Jesus is lion of Judah hallelujah 🦁👑🙏🙏🙏❤️❤️❤️✝️✝️✝️
@adamkamaze98883 жыл бұрын
Mbona hamueleweki wengine wanasema ni Mungu na wengiine ni mtoto wa Mungu hamuoni kuwa ni ukafiri Mungu ampe utume mja wake ili kuwafikishia nanyi mnamuita Mungu Kwa matamanio ya nafsi zenu
@faumahona57693 жыл бұрын
@@adamkamaze9888 huo ni mtazamo wako
@flova70222 жыл бұрын
@@adamkamaze9888 waislamu hua mnaniacha Hoi sana,,, mbna wakristu hatufatiliii mambo yenu? Afu nahisi mnafundishwa kutuchukia dini zingine,,, wakristu twaamini Yesu ni Mungu ,,,maana Mungu ni mmoja na nafsi tatu yaani Mungu Baba, Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu,,,hiii hata mtutishie kutuuua Kwa jihadi hatubadiliki....cha msingi ni kuwa Mungu wawakristu na waislamu ni mmoja...tupendane...hizi dini ni mapito
@rachealnazi9115 Жыл бұрын
Mbona sisi wa kristo hua hatu fatilii mambo ya kiislaam lakini wa islam wakisikia tu Yesu utaona waki complain
@ShikaAdabuICTLab7 ай бұрын
acha ushamba
@voyagemakile32233 жыл бұрын
I love you Jesus❤🕊🙏
@GodWithUs_GodVoice3 жыл бұрын
Atukuzwe MUNGU BABA, MUNGU MWANA NA MUNGU ROHO MTAKATIFU AMINA.
@IbrahimAli-tf4dw3 жыл бұрын
Ela ya vitafunio nmenunua bando kwa ajili ya Jamal naombeni like zake nikologee chai tupu nisukumie 😁😁
@Mwalimu_seleman2 жыл бұрын
Huo nao ni muujiza
@roxxanetz543 жыл бұрын
Jesus my Lord and My Salvation😍 Love you my God
@juliuslucas4613 жыл бұрын
4rever king of glory.
@cgm92113 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪 Shukran , much love from Kenyan people............
@gastomyoka392 Жыл бұрын
Waooh c g m moto
@veronicalaiser83942 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa kuhubiri Injili. A vessel of the Living God.
@IbrahimsolicitorIbrahimsolicit Жыл бұрын
Kama kweli unaamini kuwa nabii is so yesuu wala sio mtoto wa mungu gonga like katika hii comment
@maggiek50023 жыл бұрын
Jesus we need ur miracles too,, gonga like Kama unaaimini atakutendea muugiza pia🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@allymukhsin97743 жыл бұрын
Ndio
@ericsumali77562 жыл бұрын
Amen
@saraabdulatif61713 жыл бұрын
Hakuna kama Yesu nahata wanapomshusha hakuna siku watafanikiwa Yesu atakuwa juuu jamali ubarikiwe unajuwa kuna vitu maimamu wamisikitini hawasemi lakini Mungu anajeshi ambalo linamfanyia kazi yake
@mwarabumbarak43423 жыл бұрын
Lakini Yesu huyo huyo atakuja kukufukuza siku ya mwisho Kwa sababu yeye katumwa tu kwa waisraeli. Luka 13:25-28 Wakati mwenye nyumba atakaposimama na kuufunga mlango, nanyi mkaanza kusimama nje na kuubisha mlango, mkisema, Ee Bwana, tufungulie; yeye atajibu na kuwaambia, Siwajui mtokako; 26 ndipo mtakapoanza kusema, Tulikula na kunywa mbele yako, nawe ulifundisha katika njia zetu. 27 Naye atasema, Nawaambia, Siwajui mtokako; ondokeni kwangu ninyi nyote mlio wafanyaji wa udhalimu. 28 Ndipo kutakapokuwa na kilio na kusaga meno, mtakapomwona Ibrahimu na Isaka na Yakobo na manabii wote katika ufalme wa Mungu, nanyi wenyewe mmetupwa nje.
@harrisonsamwel31123 жыл бұрын
@@mwarabumbarak4342 umesoma lakini hujaelewa vitu vilivyo wazi hujaelewa pameandikwa nini hapo japo panaeleweka na yote hii ni sababu ya mafundisho ya uovu mliyopewa
@mariammbeye82393 жыл бұрын
@@mwarabumbarak4342 tatizo umebeba kipande hata hujui ilikuaj mwanzo biblia ni msitu mnene peaneni ya uongo tu
@roidysimchimba71032 жыл бұрын
Hongera Sarah hakika mungu iko saa na wakat watamuelewa zaid maana kristo kumwelewa inahtaj nguvu ya rohoni
@roddybob68713 жыл бұрын
Kitu kikubwa Ninacho kipenda kwa Yesu.....Ktk Bibilia Hakuwahi kujiita Mungu....Japo Baazi ya watu wasiyo soma Bibilia Humwita Mungu...... Wanadamu turudi kusoma vitabu Tusiwe tunaimani ya Dini kama ushabiki wa mpira Amina
@vinmwasele80323 жыл бұрын
Upo vzuri sana umepta mule mule Mungu akuongoze na kukuongezea kipaji cha hizi simuliizi zako🙏
@dbarrik41082 жыл бұрын
Kila ulimi utamkiri kuwa Yesu Kristo ni Bwana. Na atakaporudi mara ya pili kwa utukufu wake KILA JICHO LITAMWONA! Yesu ni Bwana!
@yunisdavid73502 жыл бұрын
Nampenda huyu mfalme napia natakumtumikia kwa moyo wangu wote l, Love my 👑
@ArmisticeBuyole-vn4is Жыл бұрын
I love you Jesus Christ ata leo bado yupo natenda miujiza na penda ku sema asante sana yesu kwa ku nilida siku zote ya maisha yangu 🙏🙏🙏😚😚😘
Weeee!!!!! Si Mtawatimua hao Maimamu, Maanake Mtaona eeeeh wanamtaja Yesu na hapo Sio kanisani, Mtanzania kuona wamechanganyikiwa Mtawapopoa kwa Mawe, na kama walikuja na njia Moja watarudi na njia Saba😛😛😂😂😂😂🤪😂😂
@jumasaid27923 жыл бұрын
Mh!! Mzee baba umesema kitu usichokijuaaaa kwani huyu aliekufanya wew uandike baada ya kusikia ni mkristo au muislamu?
@yasinali43773 жыл бұрын
Hakika kuna watu wanalaana mbna ujawahi sema km mnna hakuna sheh au muumini wa dini aloshiba uislamu kubadilisha dininya kiislamu kuwa mkristo ila mapasta na wakuu wa church washatokea kuwa waislamu jiulise kwann kichwan mwako
@yasinali43773 жыл бұрын
Halafu jiulize kwann kuna baibo ya kale na ya sasa wakati qur ani nimmoja tokea iletwe hadi kufa kwetu ndo iyoiyo haitobadilika milele na haikatai ujio wa yesu ila inakataa yesu dio mungu na ni jina linaloitwa na ukristo ss wailamu anaitwa NABII ISSA IBN MARYAM
@miamiboy58054 ай бұрын
Jamal Mungu akubariki sana kwa kazi kubwa unayoyifanya napia wewe ambawo hujampokea yesu kristo mpokeyeni na ni kwafaida yako mwenyewe. Amen
@neyemrode41653 жыл бұрын
Jesus is the way, truth and life
@davidbarasa71172 жыл бұрын
Manabii wa uongo mwache kuwalazimisha watu kutoa ushuhuda huko makanisani kwenu kwa maana hata yesu mwenyewe hakupenda mtu kuwaambia wengine aliyo mtendea....... Amina 🙏🙏🙏🙏🙏
@josephmwalimu85222 жыл бұрын
I love you Jesus my savior Lord and my everything
@PapiMwady-uf6sd4 ай бұрын
Mungu atukuzwe kwa kweli ❤❤
@EstherLyatuu Жыл бұрын
Yesu ni maisha yangu, kama umeirudia hii zaidi gonga like
@paulpraise.w.m71213 жыл бұрын
Hongera Sana prof.. Hili ni jambo kubwa sana umefanya Mungu akupe uwezo mkubwa zaidi wa kuendelea kufanya mkubwa zaidi yatakayo leta manufaa kwenye ufalme wa Mungu na watu wake.
@julietjotham88123 жыл бұрын
Huyo ndomtuliza kiburi Cha bahari, Nampenda Sana YESU kwakuwa alinipenda Kwanza🙏💯💓💓💓
@salumabdallah29903 жыл бұрын
wewe yesu anakujua?
@seasonepisode33283 жыл бұрын
@@salumabdallah2990 utaelewa siku akishuka apo utaelewa kama anakujua au akujui
@salumabdallah29903 жыл бұрын
jibu kwa hoja usijibu kwa mzunguko jee wewe anakujua?
@seasonepisode33283 жыл бұрын
@@salumabdallah2990 Mt 28:19 SUV Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu...👈👈Yesu anamjua yule alie fanywa kua mwanafunzi wake lzm ubatizwe kwa maji mengi ww utakua wa Yesu ila kama ujabatizwa ww sio wake.
@salumabdallah29903 жыл бұрын
@@seasonepisode3328 yesu ni nani?
@irjackjackson47393 жыл бұрын
Thanks for talking about my Jesus Christ... My lord
@moxasaidi33982 жыл бұрын
huyo anaongea juu yA mitume yote ndani ya uislamu yesu sio Mungu kwani Mungu ni mmoja tuu na ni Allah S.W ambae alimuumba yesu na mitume yote
@vivianoforo47603 жыл бұрын
Nilikuwa naisubiri kwa hamu kubwa sana. Nipeni likes za Jamal jmn😂
@stevepaul193 жыл бұрын
Hay furai
@elijooyusuph5843 жыл бұрын
Afu
@ibrahimgwasma23511 ай бұрын
Thanks so much siku hizi huwa nasikiza story book , Mwalimu pia usisahau kutusimulia kuhusu kitabu alichopewa Nabii Muhammad AS maana kwa mujibu kitabu kile inasemekana hakufa wala hakufufuka,
@vitalsjr75203 жыл бұрын
My God is Good say halla kwa Jamal..... Yesu kristo ni mshindi sku zote
@King_Of_Everything3 жыл бұрын
This is over all stories 🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌
@kwangahudispensary72389 ай бұрын
Yesu Mungu wangu unirehemu,,,naomba msamaha wa dhambi zangu. Amina.
@steavmcper73223 жыл бұрын
JESUS IS MY EVERYTHING
@ShikaAdabuICTLab7 ай бұрын
yes
@paulmaker9534 Жыл бұрын
I love you ma king#jesus Christ❤️❤️
@sylvesterkalinga12143 жыл бұрын
Mwamba umehubili bila kuchukua sadaka nimekupenda
@Janvier-u4u10 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩 ubarikiwe sana na yesu nawewe akuongoze kwenye nyinya yakweli na ubarikiwe Mahana umeona ukweli
@renathamartin62723 жыл бұрын
Amina barikiwa na Mungu aliye hai. Halafu mi napenda unsvyoanza kutoa background, litrev mpaka findings na concludions. Mi ntakutafuta unifunze maana u mwalimu mwema. Hakika we ni Prof na zaidi