DKT ELLIE - ''MUMEO AU MKEO ASIPOKUWA KAMA KAKA AU DADA YAKO, NDOA YENU HAIWEZI KUDUMU'' | Hard Talk

  Рет қаралды 42,820

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 81
@siasia5469
@siasia5469 Жыл бұрын
Uyu baba uwe unamleta sana ana mafunzo mazuri
@pendomwaiteleke1636
@pendomwaiteleke1636 Жыл бұрын
Nashukuru Kwa kumlete Dr Elie nampenda sana huyu Baba Mungu azidi kumtumza Kwa wote wanaofuatilia mafundisho yake
@greenermichael2057
@greenermichael2057 Жыл бұрын
Hunizidi Mimi navompenda
@happynescostat7420
@happynescostat7420 10 ай бұрын
Ujanifikia mimi😂😂
@pendomwaiteleke1636
@pendomwaiteleke1636 4 ай бұрын
@@happynescostat7420 🤣🤣🤣🤣
@KusiMushi
@KusiMushi 9 ай бұрын
Huyu Dr napenda sana mafunzo yake, ni Dr kweli, siyo wa kubahatisha.
@jairatu688
@jairatu688 Жыл бұрын
Nashukuru sana dada Lilian Vp women matters unairudisha lini mamy tumewamiss mno jaman
@JulianaMissana-zc5lh
@JulianaMissana-zc5lh Жыл бұрын
I waited this for too long,I wish kila wiki kuwe na episode mpya😊can't get enough listening to this man
@zainabtumba1186
@zainabtumba1186 Жыл бұрын
❤🇹🇿🇺🇲Mashallah Elimu Ni Mwangaa! Elimu ya Philosophy Alotugeyaa leo Huyu BaBa ni directe Tiba Namkubalii Mno!! Mwangaa wa Philosophy yake Mkali si Mchezo. 2.UPENDO ABADANII HAUFI!MAPENZI YAFAAA JAMANII THAT FACT. 2.UKIMPENDA MTU HAUWEZI KUMGONGESHA. 3.JIWEKEE INTEREST YA WEWE SIO ULIVYONAVYO UTAHESHIMIKA. Ukweli ni huooo So Sweeet talking also it's Very Ahhhaaa Moment to me Dr. Thank you . Lillian Thank you too for this.Dr Muamiana I appreciate your sharing knowledge God Bless you always! AMEEN.🇺🇲
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 Жыл бұрын
Ila uyu baba ninoma sana
@silverman6930
@silverman6930 Жыл бұрын
My guy always look young .. my genius 🇬🇧🇬🇧🙏🙏
@SharonAron-t1j
@SharonAron-t1j Жыл бұрын
Jamani huo muziki usingekuwepo au uwe kwa mbali sana
@nemesjosephat5612
@nemesjosephat5612 Жыл бұрын
Doctor ubarikie sana
@nevagasmsamba5060
@nevagasmsamba5060 Жыл бұрын
Elimu nzuri sana 💯🤝 Kwa kigezo cha ulimwengu/ universe na sio person experience
@sabinibra3513
@sabinibra3513 Жыл бұрын
Dr. Ellie 🔥😊
@Boaz22
@Boaz22 Жыл бұрын
Hio background music iko juu sana,hatusikii vizuri,punguzeni au muiondoe
@rhodalameck5722
@rhodalameck5722 Жыл бұрын
Seems your not fine today da lili Mungu akupe amani
@tiffanymo9453
@tiffanymo9453 2 ай бұрын
We love you Dr Elie and ccy lilly. Much blessings🙏❤
@josiacharles2778
@josiacharles2778 Жыл бұрын
Uyu mzee anafaa sana kulea vijana anafaa sana naisi maadili yangekuwepo. Na ili jambo limefanya wanawake wengi wameathirika ila udhaifu wanapeleka kwa wanaume kumbe tatizo liko kwao.
@tiffanymo9453
@tiffanymo9453 2 ай бұрын
Dr.Ellie is 🔥🔥🔥👌👌👌
@geofreymkoko2567
@geofreymkoko2567 Жыл бұрын
Dah,haya madini adim sana.Mungu akubariki
@GeogeHebuka
@GeogeHebuka 4 ай бұрын
❤🎉ahsante sanaa dada lilian
@scholasticalaurent1542
@scholasticalaurent1542 Жыл бұрын
Da Lilian hako ka mziki usituwekee tena wasikilizaji wako tunakuomba sana tunataka tusikilize mazungumzo yaliyotuliaaaaa
@joycebosire3434
@joycebosire3434 Жыл бұрын
Kweli aisee unatuchanganya na uko juu sana,
@scholasticalaurent1542
@scholasticalaurent1542 Жыл бұрын
@@joycebosire3434 umeona eehhh mazungumzo yanapoteza radha aiseee
@NjuuJera-gg9ec
@NjuuJera-gg9ec 7 ай бұрын
Kweli my
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Somo zuri 😊
@VeronicaSalvertory
@VeronicaSalvertory Жыл бұрын
Asante Sana Dr elie
@mwasitiiddy1089
@mwasitiiddy1089 7 ай бұрын
Lil background yamuzik iko juu sana
@MakaiKasala
@MakaiKasala Жыл бұрын
Background music throughout interview zinaharibu sana interviews. Dah!
@sofiarugoye7929
@sofiarugoye7929 9 ай бұрын
Love so much Lilian mwasha
@ediusgabriely615
@ediusgabriely615 Жыл бұрын
The real genius🙏🙏
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Asante sana kwa ukweli wako
@NyamwizaLucky
@NyamwizaLucky 8 ай бұрын
❤❤asantee sanaa god bless you guys
@EVELINAEGINAS
@EVELINAEGINAS 8 ай бұрын
Umenitoa mbal asant
@LeahMuganyizi
@LeahMuganyizi Жыл бұрын
Asante saana kwa elimu nzuri !binafs inanipa majibu ya maswali yangu
@zainabtumba1186
@zainabtumba1186 Жыл бұрын
Yaan Wewe kweli!! Kanifanya Nijielewe Zaidii Na Zaidii na kupata jibu la Uhalisia wa Mimi km mimi. Mtazamo na Misimamo Niliojikea uhalisia wake sio kosa! Ni Heshima yangu Mimi. shukran dr. 😊🥰
@45Recordstz
@45Recordstz Жыл бұрын
Dr.Elie🙌
@mariamuchechenga
@mariamuchechenga 2 ай бұрын
Ushauri wang mm naelewa English, lakin kwa masomo mazuri kama haya jitahidi sanaa kuongea kiswahili au muwe mnatafsri lugha
@solangesoso3100
@solangesoso3100 7 ай бұрын
Wow hakiri nyingi
@rhodalameck5722
@rhodalameck5722 Жыл бұрын
Napenda huyu baba anavyoongea ametulia ,yaan anaongea taratibuuuu,mkongo si mkongo,basi ni udambwi udambwi tu,Mungu akitunze na akuzidishie amani katika familia yako
@silverman6930
@silverman6930 Жыл бұрын
This guy is something else … absolutely Gem Dr Ellie …your a star 🇬🇧🙏
@tegemeawilliammsewa1950
@tegemeawilliammsewa1950 Жыл бұрын
Mbarikiwe, sana.
@maryschroeder521
@maryschroeder521 Жыл бұрын
Looking stunning ❤❤❤
@gracedismas1108
@gracedismas1108 Жыл бұрын
❤ god did
@nasiwasumari3830
@nasiwasumari3830 2 ай бұрын
Hiyo background music ingezimwa
@aureliayuktankabebwa5066
@aureliayuktankabebwa5066 Жыл бұрын
Waiting for this so long🙏🏾
@officialsaitoti492
@officialsaitoti492 Жыл бұрын
May you be blessed with many more years of life Dr. Elie, as your wisdom and guidance have been invaluable to me. I am grateful for the opportunity to learn from you, and I hope to continue benefiting from your presence for years to come
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 Жыл бұрын
Huyu baba namwelewa
@pearl3696
@pearl3696 Жыл бұрын
Take out that back ground muziki
@ziadaskitchen5060
@ziadaskitchen5060 Жыл бұрын
Nice my
@dionisiabarnabas6337
@dionisiabarnabas6337 Жыл бұрын
Lili Ukitulia utamuelewa Dr ,sisi tunamuelewa vzr tu,pia punguza ushabiki Bali mwanafunzi,
@Godfreykayinga
@Godfreykayinga Ай бұрын
@greenermichael2057
@greenermichael2057 Жыл бұрын
Mie kwangu Ni lazima nifike kileleni na hata Kama simpendi nitajifikisha mwenyewe kileleni na Ni lazima nifike
@queenmilan2024
@queenmilan2024 Жыл бұрын
Tuleteeni Dr Chris Mauki na sukambi
@allymasoudi6780
@allymasoudi6780 Жыл бұрын
Sukambi aje john
@allanothuman2941
@allanothuman2941 Жыл бұрын
Kwann
@KoudraAbdoul
@KoudraAbdoul Жыл бұрын
Poa tu wote kwa mda wake
@babumollel1006
@babumollel1006 Жыл бұрын
Part 2 lini Dr Lilian?
@victoriakaroli6995
@victoriakaroli6995 Жыл бұрын
Na ameongea kwa utulivu lakini watu hawatulizi akili. Sikiliza vizuri utaelewa
@elizabethleonce1089
@elizabethleonce1089 9 ай бұрын
Yani hata mtangazaji mwenyewe hamuelewi maswali hayana mtiririko.
@susans4490
@susans4490 Жыл бұрын
Background music inaboa
@fauziyaomar7090
@fauziyaomar7090 Жыл бұрын
Nilikua napenda ukimuhoji
@osinyoruth2769
@osinyoruth2769 Жыл бұрын
Haa mwanamke akiwa more than 3 men ni kahaba.big up doctor
@elizabethleonce1089
@elizabethleonce1089 9 ай бұрын
Mtangazaji ana haraka..Dr akili kubwa
@nelsonkazaura5713
@nelsonkazaura5713 Жыл бұрын
Uongo Huo. Mkiishi Kama Kaka Na Dada Hapo Sasa Ndoa Ni Nini, Je! Wewe Waweza Kulala Na Dada Au Kaka Yako Kitanda Kimoja?
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 Жыл бұрын
Ata hujaelewa
@geoffreyluvanda7801
@geoffreyluvanda7801 Жыл бұрын
Hujaelewa somo inaitaji utulivu sana
@pendomwaiteleke1636
@pendomwaiteleke1636 Жыл бұрын
Sikiliza Kwa umakini ukiwa na Nia ya kujifunza utamuelewa lakini ukiwa na Nia ya kukosoa hutomuelewa
@AFYAKWAWOTE-jp5eh
@AFYAKWAWOTE-jp5eh Жыл бұрын
ndg yang jtahd sana kusikilza haya madini mwanzo hadi mwisho vngnevyo tutakuacha njia panda
@elisantenyange8751
@elisantenyange8751 Жыл бұрын
Unaona ulivyo na akili ndogo, rudia kusikiliza na urudie tena
@ashamaneno9819
@ashamaneno9819 Жыл бұрын
Uyu mama ashukur pesa
@hanifa9153
@hanifa9153 Жыл бұрын
Kwanin!?
@susans4490
@susans4490 Жыл бұрын
Acha kukufuru hujajiumba
@canibalgazaboy8325
@canibalgazaboy8325 Жыл бұрын
Duh ila walimwengu
@denisnjaila2182
@denisnjaila2182 Жыл бұрын
😮😮
@jacqueisaac8155
@jacqueisaac8155 Жыл бұрын
Uyu ndio nini? Sema huyu......unaonekana shule huna , exposure huna, pesa huna, wala hofu ya Mungu huna. Amekuzidi mengi sana huyo kitulize
진짜✅ 아님 가짜❌???
0:21
승비니 Seungbini
Рет қаралды 10 МЛН
$1 vs $500,000 Plane Ticket!
12:20
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН