Ujumbe Mzuri SANA Mungu Asimame Nanyi Tuzidi kupiga Hatua
@WinWilly4162 Жыл бұрын
Best interview. Ahsante Baba Tim, Ahsante Kamreen, Ahsante SnS kwa ujumla
@hamisikisinzah8113 Жыл бұрын
Nimefurahia Sana katika mafundisho yake kutokana na uzoefu wake kuwa muwazi na kutoa mfano hai. Big Up!!!
@priscamavindi4082 Жыл бұрын
Hongera sana mtumishi wa Mungu Timoth my schoolmate wewe ni mwalimu na tunajifunza mengi na ya muhumi sana kitoka kwako Mungu akutunze. Hongera Irene kwa maono mazuri ya kutuandalia vipindi na kutuletea watu sahihi,hii ni ni huduma.Mungu amekupa, tunakuombea
@TacmenGroup Жыл бұрын
Asante sana Prisca nakukumbuka
@endavukaidaniel8688 Жыл бұрын
May the Lord Bless and Keeps You.Thanks indeed❤
@charlesmpemba9387 Жыл бұрын
Safi Sana nipo kwenye ndoa Ila nimejifunza mengi
@KoudraAbdoul Жыл бұрын
Nakubali san kazi zenu najipanga kuja huko mwezi wakumi
@abelasilas8302 Жыл бұрын
Asante sana kwa kushare nasi maalifa haya🙏
@monicawagunda7751 Жыл бұрын
Ahsante sana. Nimejifunza sana.🙏
@jasperjackson8871 Жыл бұрын
Barikiwa sana ❤️🙏 MADINI MUHIMU MNO❤️💯✔️
@angelcaezekiel7639 Жыл бұрын
Umetulekeza vzr ubarikiwe sana
@lusianguno6434 Жыл бұрын
Toa pesa wewe baba, acha ubahiri. Good lesson, thank you brother.
@FrolahMsekalile-ql4gu Жыл бұрын
Jaman kaz njema sanaaa I like it,,,and I learn something new from you.may God bless you all
@umwizasalama1328 Жыл бұрын
Iki kipindi kitaleta Impact wenye Jami Bila shaka. Tunasubiri part 2.can't wait. Thank you soo much
@berthakafugyxnhhhgfioko582511 ай бұрын
Understand that
@linnetmbotto7212 Жыл бұрын
Aisee huyu mwalimu wa leo ameongea mambo mazuri. Nimempenda kwa kweli. Asante Irene kwa kuteletea. Ila Irene watch about those moans of yours although they may seem harmless they give a different impression
@angelcaezekiel7639 Жыл бұрын
Mimi nimeipata semina Shukran
@geomangi6123 Жыл бұрын
Wao mafunzo mazuri sana sns . Thanks you guys for good job
@namelockmaasailady8002 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂nimejifunza. asante host na mhandisi
@edwardsolomon1699 ай бұрын
Amen
@mwandamboevans-wj8kp Жыл бұрын
Shukran Sana Kwa mafunzo haya
@LacksonTungaraza Жыл бұрын
❤WONDERFUL SESSION
@timotheokiss4870 Жыл бұрын
Wajina
@AminaAhmed-gb8oy Жыл бұрын
Kazi nzuri Kipenz
@VictoriaAndrew-i8x Жыл бұрын
Aiseeee nimepata kitu muhimu sana…barikiwa mwalimu
@fatmakombo9793 Жыл бұрын
Tunajifunzaa kweli
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Best topic...,thank you
@ashaidd2912 Жыл бұрын
Nondo Kali sana irene❤❤❤
@ilovejesus9303 Жыл бұрын
We love you Irene. Watching from 🇺🇸
@irenekamugisha Жыл бұрын
Love you too
@jacksonmrema4737 Жыл бұрын
Thanks for This...
@KoudraAbdoul Жыл бұрын
Irène hello Abdoul from Burundi 🇧🇮 nimekuwa naomba kujuwa sns ipo sehemu gani dar
@zawadipeter7152 Жыл бұрын
Ongera sanasana dada irine najinza vingi
@yassinwill11 ай бұрын
Kweli ,pochi linalo wanasaikolojia mmoja marekani alisema na kucheat ni kuzingua . Ni rahisi mwanamme Kufaulu kucheat kuliko kufaulu kupenda . Mwanaume katika kupenda lazima ashafanya jambo la kijinga au lisilolakawaida ❤.
@neemajonas3891 Жыл бұрын
Be blessed 🙏
@frenkfarm1139 Жыл бұрын
maneno yenye uhai ndani yake 💪lazima tusonge mbele
@nahumumgwama2280 Жыл бұрын
Hakika vipindi vyoko vinatufunza dada
@mwanatz5980 Жыл бұрын
😂😅 Asante sana
@mussafoum6562 Жыл бұрын
Nice one lrene
@estherndola4900 Жыл бұрын
🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@NzobonimpaIssa Жыл бұрын
Big up ❤
@rhodajackson2213 Жыл бұрын
Kipindi kizuri sana Hongereni sana ...
@uhaitvnevergiveup93063 ай бұрын
Lete mambo😅😅😅😅😅
@eliazarinyakiema1969 Жыл бұрын
Bravo
@salehemganga1081 Жыл бұрын
Elimu nzuri. IG anatumia account gani huyu mwamba?
@irenekamugisha Жыл бұрын
@timkyara
@awatifalghanim110610 ай бұрын
Sadaka eti 😂😂😂😂😂 kumbe BigG 😅😅😅
@mwajumabinwa604 Жыл бұрын
gigymoney uyo
@zurisana80689 ай бұрын
Part 2 iko wapi???
@aishaisbarty3934 Жыл бұрын
Kabisa
@eneamwakamisa5838 Жыл бұрын
Hongera Kwa mafundisho mazuri.nimebarikiwa sana,ila naomba ongeza kiswahili Moja Kwa Moja kiasi kwamba mimi maneno mengi yananipita.
@sarahkahimba6415 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwa mafunzo mazuri ya ndoa
@Amanisamuel394 Жыл бұрын
Point moja mzee kateleza Mwanaume asiyempa mwanamke hela hapendi!!! Kwa hii mzee kachemka so kweli asilimiy zote
@neemajonas3891 Жыл бұрын
Hapana hajatereza,sema we unaelewa kujitoa Ni lazima iwe pesa
@msangodiesel3132 Жыл бұрын
Vitu vizito na elimu hapatikani kwa wazazi sijui wanaona aibu kutuambia tatizo inapo anzia
@irenekamugisha Жыл бұрын
Aah ni ngumu sana kwa mzazi kusema ndio mana Mungu ametuweka kina sisi, tuvilete😂😂😂
@msangodiesel3132 Жыл бұрын
@@irenekamugisha kwanini family za Africa inakuwa shida kukuwambia kuwa na magonjwa mfumo wa maisha unabadilika ni wachache anaweza kukuonesha maisha ya mbali
@irenekamugisha Жыл бұрын
@@msangodiesel3132 traditions zetu zinatufunga vitu kama hivi ilikuwa ni taboo kuvidiscuss na hata ikifanyika sio na mzazi anakupa shangazi au mtu wa mbali! So ni utamaduni wetu, ni sasa hivi ndio tunajaribu kuzungumza hivi vitu kwa uwazi
@msangodiesel3132 Жыл бұрын
@@irenekamugisha tuna kazi Sana kweli dunia 3
@tunkuh661 Жыл бұрын
Wakati mwingine hata wao hawajui hv vitu lakini pia si wote wanauwezo wa kuelezea fikra zao kwa wengine, hofu pia ya kuogopa mapokeo ya watoto kwa kila watakachowafundisha. But all in all kweli umuweka mtu huru kuna umuhimu wa wazazi kuzungumza na vijana na watoto wao kile wanachokijua hii itamsaidia mtoto kujitambua mapema.
@jumaassomane7775 Жыл бұрын
🤣🤣🤣😁😁😁😁🤣🤣 kuna kamsitali
@prosperaugustino5292 Жыл бұрын
Hakika hili Somo Mimi limenifusha nimepata maarifa Mengi kuhusu ndoa yangu ,All in All God is Good ! Hekima ulio nayo uendelee nayo, MUNGU ATUSAIDIE KATIKA NDOA ZETU,