#*Afya Podcast# Fahamu Tabia Mbaya 10 zinazoweka Figo zako HATARINI..

  Рет қаралды 128,684

Muhimbili TV

Muhimbili TV

Күн бұрын

#*Afya Podcast#*
Fuatana na Prof. Mohamed Janabi ili kufahamu Tabia Mbaya 10 zinazoweka Figo zako HATARINI..

Пікірлер: 206
@legera63
@legera63 5 ай бұрын
Mungu wangu linda afya yangu sayansi ni bora ila wewe ni bora zaid✊
@molionlinetv
@molionlinetv 5 ай бұрын
Asante sana Dr . Imeeleweka mungu akupe maisha malefu huna baya na mtu Dr janabi
@phantyrhymes9536
@phantyrhymes9536 5 ай бұрын
Simple and best explanations. Congrats Prof. Mohamed Janabi.Anajua kuelimisha sana.
@josephlorri431
@josephlorri431 5 ай бұрын
Mzee amenyooka,...ila maisha yanahitaji nidhamu kubwa
@hezronmlwale7416
@hezronmlwale7416 5 ай бұрын
Hakıka mzee amenyooka mpaka... Nıdhamu kubwa katıka maısha haya nı muhımu sana. 🙏🙏
@OnejobKope
@OnejobKope 5 ай бұрын
Asante sana doctor ubarikiwe
@officialyohanamalisa1873
@officialyohanamalisa1873 5 ай бұрын
Saana nidhanu ndio kila kitu. Ukikuta mtu anafukia nyama choka kilo moja na bia, akidhani huna hela ya kula , ila siku atakua anafanya dialisis atalia kama nyau 😊
@josephlorri431
@josephlorri431 5 ай бұрын
@@officialyohanamalisa1873 maisha yana mwisho, usimdharau na kumnyanyapaa anayekula kilo nyama choma. Duniani tunapita.
@domisonrichman6499
@domisonrichman6499 5 ай бұрын
Habari hii tv sikujua kama ipo hongera prof Jababi elimu nzuri umetoa..Ila mm ni kijana umri wangu 32yrs nina tatizo ambalo hospitali wameshidwa kujua tiba yake wala chanzo naomba mwenye namba ya simu ya Prof Jababi anisasidie guys nateseka sana almost miaka 8 sàsa ....Msada wakuu
@dullaone454
@dullaone454 5 ай бұрын
Jitahidi uende jkci. Pale muhimbili kitengo cha moyo. Utampata.
@jamesswai1683
@jamesswai1683 5 ай бұрын
Nenda Muhimbili ndio suluhisho..
@barnabasmboya7688
@barnabasmboya7688 5 ай бұрын
Yesu Kristo anaweza kukuponya. Mpe Yesu nafasi. Kwa msaada zaidi unaweza kunifuata nitakushauri na tutaomba na utapona
@SalamaSwedy
@SalamaSwedy 5 ай бұрын
​@@barnabasmboya7688 😂😂😂 Wacha utapeli
@husseinhamis1428
@husseinhamis1428 5 ай бұрын
we kichwa yako mbovu ​@@barnabasmboya7688
@ukweli255
@ukweli255 5 ай бұрын
Naamimi kuna Media Kubwa kama Clouds Media au Wasafi Tv wataingia mkataba na hii Channel ili haya Maudhui yawe yanawafikia wengi ambao kuifia KZbin ni ngumu!
@ce-08
@ce-08 3 ай бұрын
Alishaenda wahi kwenda clouds sema ....
@Abdalla.Said_01
@Abdalla.Said_01 5 ай бұрын
Unatoa elimu nzuri sana Prof. Mohamed
@aloycerichard5684
@aloycerichard5684 2 ай бұрын
Lakin pia ifahamike kunawengi wawo wanafanya Kaz kama Kaz na wengine wanafanya Kaz kama wito docta Mohamed ww unawito
@mahadhikawia3610
@mahadhikawia3610 Ай бұрын
شكرا دكتور،جزاك الله في هذه تذكرة
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 5 ай бұрын
Prof apewe muhimbili kwa miaka 100 ameibadilisha san Hospital ya Taifa
@taturamadhan5940
@taturamadhan5940 5 ай бұрын
Allh akulipe si rahisi kwa mtu mwenye cheo kama chako kuandaa vipindi na kutuelewesha hii ni kwa sababu unaona hatari iliyopo na unataka tujikinga. Ahsante sanna
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 ай бұрын
Sana huyu baba anaiimani. anahuruma na binaadam wenzie
@emmiemmi3861
@emmiemmi3861 4 ай бұрын
Kweli kabisa
@linnetmbotto7212
@linnetmbotto7212 5 ай бұрын
Umesahau utumiaji wa vipodozi vyenye kemikali kali
@alwysalehmohamedalammary3507
@alwysalehmohamedalammary3507 5 ай бұрын
Shukran doctor Allah akulipe kwa unachokitoa kwa jamii
@sixytntongambele3038
@sixytntongambele3038 5 ай бұрын
We jamaaa unaafya ya aqiri iliyo strong sana Me binafsi sijutii kukufaham kwakweli
@greysonmbembelakarateka5842
@greysonmbembelakarateka5842 5 ай бұрын
Ahsante, Mungu akupe maisha marefu uzidi kutuelimisha
@WardaArto
@WardaArto 4 ай бұрын
Doctor tunaomba mjibu coment zetu
@gloryurassa9873
@gloryurassa9873 5 ай бұрын
Asante sana kwa Elimu ya afya Dr. Janabi. Mungu akuzindishie wingi wa siku
@martinjohn7854
@martinjohn7854 5 ай бұрын
NASHUKURU SANA DOKTA. NAOMBA KILA. KADA YA DAKTARI BINGWA TAIFA, ITOE MADA YAO HUKU, ILI TUJIEPUSHE NA HATARI HIZI.
@jeremiahbhulituma855
@jeremiahbhulituma855 2 ай бұрын
Prof. Habari za kazi. Mimi ni mfuatiliaji mzuri Wa mafundisho yako. Kila kipindi unachorusha najifunza zaidi. Wewe kwanza umbo lako liko sahihi. Hapo ulipo una umri wa miaka mingapi. Na uzito wa kilo ngapi. Maana nakuona uko very super active!!! Natanguliza shukrani kwa majibu ya maombi hayo
@AbasiHassan-w4s
@AbasiHassan-w4s 5 ай бұрын
Nimekuelewa doctor.mungu akuzidishie kutupa elimu napia .akuingize peponi amin
@goodlucknjau77
@goodlucknjau77 5 ай бұрын
Shikamoo pro kwenye pombe ongeza ata mbili mkubwa 😂😂😂
@EliaMugini
@EliaMugini 4 ай бұрын
Heeeeee
@adamuadamumussa7289
@adamuadamumussa7289 Ай бұрын
❤❤MUNGU kakuketa duniani pia kakupa uhai na elimu ya juu ili utuokoe na maradhi na unatupa njia sahihi ya kuishi, chukua maua yako baba🎉🎉🎉wewe ni mtu muhim sana katika dunia hii,, tunapata faida na elimu unayotupa bure kabisa ingali wewe ulitumia pesa nyingi kuipata nasema ASANTE NA MUNGU AKUBARIKI🤲🤲
@AbuuMuhsin
@AbuuMuhsin 5 ай бұрын
Tuko pamoja Dr. Nakufuatilia kila siku na kila somo lako.
@MrDaoud-il9nt
@MrDaoud-il9nt 4 ай бұрын
Shukrani doctor Allah akulipe
@EvanceShirima
@EvanceShirima 5 ай бұрын
Dr mo janabi unipa somo nimetoka na kitu kimojahapo,msaliimie bingwa mwenzio hapo dialysis mgumi na ness mnyenyekevu asie na mawaa HAJIRA ###
@deogratiasntalindi4200
@deogratiasntalindi4200 4 ай бұрын
MUHIMBILI#Afya bodcast# naomba mnisaidie mawasiliano ya Prof.Janabi nina maswali mengi sana
@franciskennethngwale5195
@franciskennethngwale5195 4 ай бұрын
Sio lahisi hivo kupata
@joshuakimambo2765
@joshuakimambo2765 5 ай бұрын
Elimu nzuri sana. Elimu ya kujitambua bado inahitajika sana. Magonjwa mengi yangeweza kuepukika kwa kubadilisha tu mfumo wa maisha
@asnathmugassa136
@asnathmugassa136 5 ай бұрын
Aksnate sana professor Janaby kwa elimu nzuri sana
@mbondehemed2841
@mbondehemed2841 5 ай бұрын
Nimekupata janabi mungu aliki kwasomo rako
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 ай бұрын
Maashaallah Allah akulipe heri Dr. JANABI
@josiahkulwa34
@josiahkulwa34 5 ай бұрын
Shukran kwa mafunzo yenye kutujenga kiafya
@ManyamaOG
@ManyamaOG 4 ай бұрын
Assalam alaikum, dr janabi naomba utuelezee maradhi gesi na namna ya kujikinga . Insha Allah
@paskalkinyunyu9045
@paskalkinyunyu9045 5 ай бұрын
Mungu akutie nguvu utupe elim naelimika sana sana asante
@adamuadamumussa7289
@adamuadamumussa7289 Ай бұрын
❤❤
@richytarimo4656
@richytarimo4656 5 ай бұрын
mmesikia ,,, bia 2 kwa siku,,, Sasa unakunywa krate sijui unamkomoa nan
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 5 ай бұрын
Anazikomoa figo😂😂 alafu ukiwaambia wala hawasikii
@tatankakoroba48
@tatankakoroba48 5 ай бұрын
Our body when having too much acid ....can be reduced by eating alkaline foods ...ie all vegy and fruits
@AmaniSylvain
@AmaniSylvain 2 ай бұрын
Asante
@mohammedabdullah5895
@mohammedabdullah5895 2 ай бұрын
❤❤❤
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 5 ай бұрын
Tunashkur kwkuwa tunapata Elim ya mapema.
@SahimSalim-l5f
@SahimSalim-l5f 5 ай бұрын
Huyu jamaa anajua kutupa madini na anajua kuchambua
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 5 ай бұрын
Hakika MUNGU akubariki Sana wewe kweli ni msomi
@aloycerichard5684
@aloycerichard5684 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana nimeelewa ulaji holela ni hatar kubwa
@joycemboya5728
@joycemboya5728 4 ай бұрын
Tunaomba Dr mfanyie utafiti Sawa zetu za asili tulizotimia huko nyuma na zikatusaidia
@victorntaganyamba7313
@victorntaganyamba7313 5 ай бұрын
Asante kwa somo zuri
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 5 ай бұрын
Asanteee pfrs Jana bi❤❤❤❤ kwa somo
@samwellaurence7035
@samwellaurence7035 2 ай бұрын
Somo zuri sana,, Ahsante Dr.
@bonifaceferdinand566
@bonifaceferdinand566 5 ай бұрын
Somo zuri Dr,ila hujatuambia nini tule ili Figo zetu ziweze kuwa salama
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 5 ай бұрын
Hayo aliyokwambia fanya kinyume chake ndiyo jibu. Pia yale asiyoyataja ndiyo hayana madhara makubwa unaweza kula
@sitisalum9573
@sitisalum9573 5 ай бұрын
Mwenyezi mungu akubariki sana prof,
@isacklaizer6776
@isacklaizer6776 5 ай бұрын
Kunywa maji ya kutosha, punguza chumvi, punguza sukari, Punguza matumizi yaliyopitiliza ya dawa za maumivu (NSAID), Kuacha Unywaji wa pombe uliopitiliza...n.k.,
@MinskBelarus-il2tl
@MinskBelarus-il2tl 5 ай бұрын
Boniface, mbona ameweka Wazi? MAJI KAMA CHAKULA BORA
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 5 ай бұрын
😂😂​@@MinskBelarus-il2tl
@josephmsacky2248
@josephmsacky2248 5 ай бұрын
6:09 Hii nzuri sana, ongera sana dr
@benjaminjackson8567
@benjaminjackson8567 4 ай бұрын
Thank you so much for your consideration 🙏🏿🙏🏿
@johngibson3089
@johngibson3089 5 ай бұрын
Asante sana Dr Janabi kwa kutuelimisha. Je, juice ya miwa ni salama kwa figo?
@DativaMbowe
@DativaMbowe 4 ай бұрын
Sasa mimi ninae kunywa wine zaid ya moja mungu nisaidie nimeogopa
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb 5 ай бұрын
Janabi chawi siku hizi kila nikita kununua soda naiona picha ya janabi , chap naghair
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 5 ай бұрын
Hongera sana DR🎉🎉
@AbihudiMbekomize-uy7kp
@AbihudiMbekomize-uy7kp 5 ай бұрын
Asante sana doctor lakini pia nina maswali jenaweza kuuliza
@samsonshedrack5677
@samsonshedrack5677 5 ай бұрын
Doctor asante kwa somo zuri,
@tatankakoroba48
@tatankakoroba48 5 ай бұрын
Prof Janabi..huwa nafuatilia sana session zako...
@TowardJesusTv777
@TowardJesusTv777 5 ай бұрын
Asante Prof. Barikiwa sana....nakufata toka DRC
@richytarimo4656
@richytarimo4656 5 ай бұрын
kitu nachojifunza kila kitu unashauriwa kutumia kwa kiasi,,
@abdoulzainoubongoth2556
@abdoulzainoubongoth2556 4 ай бұрын
Dr janabi Mungu akupe maisha marefu
@abrahamsingano5372
@abrahamsingano5372 4 ай бұрын
Hongera sana Dr. Mungu akuzidishie umri
@francisosodo8001
@francisosodo8001 5 ай бұрын
Asante Prof. Kwa Elimu
@ernestjophreymalaba3374
@ernestjophreymalaba3374 4 ай бұрын
Ubarikiwe sana My Role Model
@sharifhamad-x4n
@sharifhamad-x4n 5 ай бұрын
kwani mtu akiwa mwembamba anakua hana afya nzuri
@rodsconehenry4249
@rodsconehenry4249 5 ай бұрын
MAMBO YA AFYA HAYA,MWISHOWE MTATUAMBIA HADI KULALA NA FENI KUNASABABISHA FIGO KUFELI,,SASA USINGIZI ASKARI HAWALALAGI KABISA KUMBE NI HATARI
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 5 ай бұрын
Wewe utabisha mpka kifo chako
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 5 ай бұрын
Mzaha kwenye ukweli ni mzaha uliouzoea kwenye maisha yaki jitafakari ndg
@rodsconehenry4249
@rodsconehenry4249 5 ай бұрын
@@abdallahmmary8591 angalia Figo zako sio zangu
@abasilihundu200
@abasilihundu200 5 ай бұрын
Nani kakwambia askari halalagi kabisa, acha kukariri. Kwamba mda wote anakuwa kazini
@rodsconehenry4249
@rodsconehenry4249 5 ай бұрын
@@abasilihundu200 kwani Dr kasema tulale mda wote?au kukosa mda mwingi wa kulala?we unaelewa bs
@bongosativa
@bongosativa 5 ай бұрын
Hapo kwenye nyama Dr. Unetupiga na kitu kizito kuna Carnivore diet trend hivi sasa na watu wengi wanapona magonjwa sugu kama cancer na kisukari just kwa kula grass feed meat na tafiti zipo ila zinafichwa. Please watu nendeni kafanyeni research kuhusu Carnivore diet. Wahadzabe Arusha ni case study tosha kuhusu umuhimu wa nyama.
@mrmc55
@mrmc55 5 ай бұрын
Tupe reference zako make unambishia Dkta. Em tuambie ww unaelewa nn??😂
@RobertNestory-cn9ml
@RobertNestory-cn9ml 4 ай бұрын
Naomba uelewe hivii unapotumia nyama nyama yyt huwa na cell ambapo hizi cell huwa na DNA ambapo DNA inacomponent mbili PURINES AND PYRAMIDINES ambapo purine huvunjwa na xanxine oxidase enzyme kutengeneza (xanxine) pia hizi xanxine huvunjwa na xanxine oxidase kutoa uric acid the final product ni allantoise ambayo huzarishwa kwa ndege sasa ukila nyama kuzid kiasi ambazo ni nyekundu..unasababisha kuwa na super saturation of uric acid in blood ambapo hizi metabolates huchujwa na figo in case ya a dult ambapo wapo aged as age increase glomerular filtration rate decrease by 1% per year so husababisha formation ya kidney stones ambapo hizi huharibu figo kwa kidney injuring also zinasabisha urine manipulation to acidic..
@williumgeofrey9587
@williumgeofrey9587 5 ай бұрын
Nitanzingatia yote ila kwenye nyama hapana
@HusseinJumaa-my6dc
@HusseinJumaa-my6dc 5 ай бұрын
Nashukuru kuwafahamu nitaendelea kuwa fuatilia
@MohamedMursal-nb6nm
@MohamedMursal-nb6nm 5 ай бұрын
Thanks Dr
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 4 ай бұрын
Shukran sana professor MJ
@ernestshekalaghe1945
@ernestshekalaghe1945 4 ай бұрын
uko vizuri sana Prof . Janabi
@James-hb2gv
@James-hb2gv 5 ай бұрын
Asante sana kiongozi Mungu akubaliki
@kobylwaho3191
@kobylwaho3191 5 ай бұрын
safi sana dr nashukur Kuifahamu hii chanel inayofundisha mambo muhimu ktk maish yetu
@LukmanAbdullah-n5v
@LukmanAbdullah-n5v 5 ай бұрын
Shukran prof janabi hakika kinga ni bora kuliko tiba
@JumaMakenga-t2o
@JumaMakenga-t2o 5 ай бұрын
Asante sana prof🎉
@salutarysebastian2882
@salutarysebastian2882 3 ай бұрын
Asante sana kwa elimu
@EricNiyonzima-i8u
@EricNiyonzima-i8u 5 ай бұрын
Ningependa aweke nambayake jamani
@baluhyajr.913
@baluhyajr.913 5 ай бұрын
Asante sana Prof. Janabi kwa elimu ya afya kwa umma.
@adamkalokaza6813
@adamkalokaza6813 5 ай бұрын
hongera profesa janabi nakufuatilia
@sharifhamad-x4n
@sharifhamad-x4n 5 ай бұрын
km kuruani sio bibilia
@amaniupendo1078
@amaniupendo1078 5 ай бұрын
Asante sana kabisa from 🇨🇩
@severinmmassy7627
@severinmmassy7627 4 ай бұрын
Hongera Sana prf. Hiv kukojoa mara kwa mara unawezakukuweka hatarini pia
@RehemaJustine-co2kp
@RehemaJustine-co2kp 19 күн бұрын
Nijuavyo Mimi no kwamba! Ukiwa unakojoa Mara kwa mara,huku unakunywa maji ya kiasi Mara kwa Mara hiyo sio mbaya! Maana umetoa simu mwilini kwa kukojoa,lkn hujauacha mwili bila maji badala yake unakunywa tena maji. Na ukiutizama mkojo unaotoka no mweupe,yaani haina rangi km ya kahawia sijui km soda hivi! Hiyo iko sawa
@MsangoDiesel
@MsangoDiesel 5 ай бұрын
Naomba ushauli zamani nilikuwa natumia maji mengi ila Sasa siwezi na hali ya hewa ikibadilika ya badili ndio nakuwa mvivu kutumia naomba ushauli nitumie Nini ili niludi kama zamani.
@AbdullahOmar-be4wy
@AbdullahOmar-be4wy 5 ай бұрын
Km mvua mwili inakuwa hauhitaji maji mengi
@franklinisaya4796
@franklinisaya4796 5 ай бұрын
Njia ni kunywa maji tena
@elewatz804k4
@elewatz804k4 5 ай бұрын
Asante kwa elimu
@Bioone06
@Bioone06 3 ай бұрын
Kulinda afya yako
@Kisase
@Kisase 5 ай бұрын
Asant sana doctor mungu akulinde
@MosesMsuya-yq9ru
@MosesMsuya-yq9ru 4 ай бұрын
Imeeleweka doctor
@eliamtani2840
@eliamtani2840 5 ай бұрын
Thank You Prof.
@FrankDeo-xu7zw
@FrankDeo-xu7zw 5 ай бұрын
Ubarikiwe kiongoz
@jumannemalale2943
@jumannemalale2943 5 ай бұрын
Najua hii itanifanya niwe maarufu sana 😢😢😂
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 5 ай бұрын
Hapa kwenye ulaji wa pombe kupitiliza ningependeza useme watu wasitumie pombe kwasabab hata hio glass moja inaleta athar ndan ya mwili
@martinisadru9899
@martinisadru9899 5 ай бұрын
Kila kitu kua na kiasi, kama bibilia ilivo tuongoza.
@DBrownstain
@DBrownstain 5 ай бұрын
Nimependa tu profile yako.... huna baya "YISRAEL CHAI "🎉
@martinsawan2923
@martinsawan2923 5 ай бұрын
Dr nakuelewa sana masomo yako Asante
@MahadMfiyome
@MahadMfiyome 5 ай бұрын
Toka hapo na bendera lako hilo
@martinisadru9899
@martinisadru9899 5 ай бұрын
@@MahadMfiyome ulitaka niweke mkundu wako hapo! kila mtu auone. Kundu yako we.
@hashkhantantrasiraji118
@hashkhantantrasiraji118 5 ай бұрын
Shukrani 🙏🙏🙏
@victoreleonardmdee9158
@victoreleonardmdee9158 5 ай бұрын
Ahsante Kupata Elimu hii
@maryammo-gd3me
@maryammo-gd3me 5 ай бұрын
Asante sana kwa elimu nzur
@MosesMsuya-yq9ru
@MosesMsuya-yq9ru 4 ай бұрын
6:27
@nelsonwilliam7578
@nelsonwilliam7578 5 ай бұрын
We mzee konyagi sana mbona hunenepi
@MtuSafi
@MtuSafi 5 ай бұрын
😂😂😂
@joctanmotoka2637
@joctanmotoka2637 5 ай бұрын
Ubarikiwe sana prof
@winnesakara6957
@winnesakara6957 5 ай бұрын
Asante doctor
@adellahchipanyanga5107
@adellahchipanyanga5107 5 ай бұрын
Mungu akubariki somo zuri xana hili
@niriacatering172
@niriacatering172 5 ай бұрын
Shukrani sana
ONYO KUHUSU TATOO/MUHIMBILI YATOA ANGALIZO ULAJI WA HOVYO
13:16
ZamaradiTV
Рет қаралды 10 М.
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 16 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 55 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 260 МЛН
You're Being Lied To About Ocean Plastic | Truth Complex | Business Insider
17:57
KUONDOA KITAMBI NA KUPUNGUZA UZITO NDANI YA MUDA MFUPI Part 1
21:32
JE KUNYWA POMBE NI AFYA?
15:27
Muhimbili TV
Рет қаралды 22 М.
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 16 МЛН