Dkt SLAA: SIKUTAKA KUWA RAIS 2015/ NILIHONGWA!/ RIPOTI YA CAG INAPOTOSHWA

  Рет қаралды 54,059

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24news@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24Tz
⚫️ Facebook: @dar24news
⚫️ Twitter: @Dar24News
#cag #dktslaa #uchaguzimkuu

Пікірлер: 93
@sdeshnjwetr6707
@sdeshnjwetr6707 2 жыл бұрын
I RESPECT THIS OLD MAN 🇹🇿🖤🇹🇿
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 2 жыл бұрын
# Me too! Na sio muongo muongo kama rsisi wetu wa sasa.
@PhilibetLadislaus
@PhilibetLadislaus 8 ай бұрын
Hongera,tunategemea mikakati yao zaidi ya ile watanzania na kukwamishwa huko mwanza,kumbuka kuwa na chama madhubuti,kumbuka kushirikisha watu makini na mahiri,Sisi wanzania tuko nyuma yako.We need changes with good result/impact .Bravo
@winnesakara6957
@winnesakara6957 2 жыл бұрын
Asante doctor slaaa
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 2 жыл бұрын
We ndio ulikuwa chadema Hawa wengine wanaleta siasa za wapigania uhuru sio za ujenzi was nchi utawala na utawaliwa Bora , wanafurahi wakisikia kumetikea vulugu na matusi ,,,,,,,,,,,,,, uko vizuri sio lazima uwe rais ila kazi Yako tumeikubari
@afredyohana4504
@afredyohana4504 2 жыл бұрын
Huyu mzee mnafiki Sana huo ndio ukweli Kama ulimpokea baba mtakatifu kipi kilikusababisha uondoke kwenye upadre
@manasekabusha7180
@manasekabusha7180 2 жыл бұрын
nafasi bodo kubwa ccm anatoka kupitia magufuli amini msiamini upinzani ukiyazingatia maneno ya magufuli nchi wanabeba kweupe
@ambrosethomas5922
@ambrosethomas5922 2 жыл бұрын
Huyu alikuwa kichwa, hongera Dr.
@phakundigervas1360
@phakundigervas1360 2 жыл бұрын
Ila spate yeye tu mbinafsi kama jpm
@sebastianmsilikale4683
@sebastianmsilikale4683 2 жыл бұрын
Asante mzee kusema ukweli juu ya ufisadi ambao mpendwa wetu aliupiga vita. Mama tunakupenda ila ufisadi na mafisadi unaowarudisha watakuweka pabaya mno!
@erasmusgervas2464
@erasmusgervas2464 Жыл бұрын
Tatizo magufuli aliwafanya muwe wajinga kwa Kila kitu kwa kuwalisha maneno ya kijinga kabisa kwani ni lini huyo mjinga aliwafunga hao mafisadi kwenye utawala wake ? Au ni lini Samia aliwatoa hao mafisadi magereza na kuwapa nafasi serikalin?Au mlikaririshwa kwa maneno ya huyo mjinga eti Kuna mafisadi wakati mpaka linakufa halikuwai kumfunga hata mmoja huyo fisadi kazi ilikua ni kuchafua tu majina ya watu na kuwaaminsha nyie wajinga wenzie kuwa Kuna mafisadi kumbe ni Hila tu
@saxannjo6173
@saxannjo6173 2 жыл бұрын
GENIOUS IS BACK
@anosiata8242
@anosiata8242 2 жыл бұрын
Dr silaa Umesema ukweli lipoti ya CAG ni ya uposhaji Kuna wizi unafichwa. Kuna wizi fedha ulitokea wizara ya fedha mwaka jana mwezi 5 kwenye sherehe za May mos. wafanyakazi wa wizara ya fedha wajilipa mamilion ya pesa. Waziri mkuu Aliongea nao. Lakini ile hakufanyiwa kazi hadi ni kimya. Na kwenye lipot ya CAG haimo. Tulisikia tu walihusika watachukuliwa hatua hadi imekuwa. Kimya.
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 2 жыл бұрын
Slaa anzisha Chama Cha siasa lea vijana waendeleze falsafa zako. Wewe ndio unajua tu namna ya kuendesha Upinzani wenye tija.
@johnfaceluhigilo7129
@johnfaceluhigilo7129 2 жыл бұрын
Huyu mzee alinivutia Sanakufatilia vyama vyaupinzi;vyama vyaupinzi vtasubiri Sana kuongoza nchi
@mahingilasambichuma1369
@mahingilasambichuma1369 2 жыл бұрын
Uko vizuri Dr Slaa
@sebastianmsilikale4683
@sebastianmsilikale4683 2 жыл бұрын
Mzee Mungu akuongee uhai kwa kuwa mkweli. Barikiwa baba, bado unatufaa sana Watanzania.
@saidimkurago6893
@saidimkurago6893 2 жыл бұрын
Mwanasiasa wa upinzani niliokuwa namkubali sana upinzani sio uadui ukimkataa Makufuli kwachuki binafsi haisadii wapinzani waliobaki ni vilaza Tu upinzani sio kukataa vyote hata
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 2 жыл бұрын
Dr slaa upo vizuri
@paulobaha5242
@paulobaha5242 2 жыл бұрын
You are great sir.
@fortinatuswangubo196
@fortinatuswangubo196 2 жыл бұрын
Silaa tunakusubii kwenye chama kipya
@johnmligo6966
@johnmligo6966 2 жыл бұрын
So brilliant.....
@samwelmushi1783
@samwelmushi1783 2 жыл бұрын
Namkubali tangu mwanzo slaa
@donaldtadeodontado9991
@donaldtadeodontado9991 2 жыл бұрын
Nimejikuta nakitamani hiko kitabu nitakipataje aiseee......
@deohank5995
@deohank5995 2 жыл бұрын
Dr. Umesahau neno moja ulilolisema,( HATA MIMI NI BINADAMU NINAUMIA , ukizngatia niliandaliwa kwa gharama KUBWA!)
@fanueltarimo509
@fanueltarimo509 2 жыл бұрын
Huyo alikuwa kichwa kwelikweli
@majaliwapili7310
@majaliwapili7310 2 жыл бұрын
Asant kiongozi slaa Tanzania inakuhitaji sana
@phakundigervas1360
@phakundigervas1360 2 жыл бұрын
Kusahau kuzuri , ulitamka kwa ulimi wako kuwa Lowassa angekuja na wenyeviti 20 wa ccm mikoa mngempokea,sasa wenzako ukawasema ni wasaliti kumpokea dr. Unazeeka vibaya tena unafiki uliofanya unashangaza kabisa
@frankkimaro1354
@frankkimaro1354 2 жыл бұрын
bado una material kichwani
@Epicmarkmedia
@Epicmarkmedia 2 жыл бұрын
Nina pataje hicho kitabu Dr. Slaa
@alexmzumbwe1328
@alexmzumbwe1328 Жыл бұрын
Wewe hakika ulikuwa vizuri tofauti na sasa hawa wanasiasa wahuni
@shukurupetro9018
@shukurupetro9018 Жыл бұрын
Ndo maana hueleweki kumbe ulikuwa padri
@josephatkajange8714
@josephatkajange8714 2 жыл бұрын
Good interviewer!
@jumaiddy441
@jumaiddy441 2 жыл бұрын
Nina sema na narudia tena Wapinzani wakienda na ndoto za magufuri 2025 wanachukua nchi asubui tu hakika maonoyake na dhamira yake ilikua ni dira njema Japo kua hadi leo wanamtukana
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 2 жыл бұрын
Utachukua nchi kwa tume hii na police hawa,wewe unaijua CCM
@abdallhamjegele5582
@abdallhamjegele5582 Жыл бұрын
Tatizi wapinzani awataki kuamini kuwa magufuli ndio Raisi wa kwanza Afrika kuawateka wananchi wa khali ya chini ndio Raisi alijubalika kuliko yoyote afrika kwa watu wenye kipato kidogo cha kushangaza upinzani wanamkashfu kila siku bila kuangalia jinsi gana wananchi walivyokua wanamkubali
@thomasgege1009
@thomasgege1009 2 жыл бұрын
Hongera baba yetu ww ndo uliyetutoa kwenye utumwa wa chama kimoja enzi ya Gorro
@alfredmarti3131
@alfredmarti3131 2 жыл бұрын
Mtangazaji unajitahidi
@soberkaleya5148
@soberkaleya5148 2 жыл бұрын
Esta 8: 16 Ikawa nuru na furaha na shangwe na heshima kwa Wayahudi. *FURAHA, NURU, SHANGWE, HESHIMA, KARAMU NA SIKUKUU VIWE SEHEMU YA MAISHA YETU SASA NA HATA MILELE, AMEN!!!*
@dominickvitus4665
@dominickvitus4665 2 жыл бұрын
learning never end! #chakula cha kisomi
@eliasemmanuel3295
@eliasemmanuel3295 2 жыл бұрын
Good.. omba urais mkuu
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 2 жыл бұрын
Sasa unatumikia serikali ya CCM ila ilani hauitaki ni kweli au unatuletea cheupe cheusi
@zahorsalum4976
@zahorsalum4976 2 жыл бұрын
Tyr familia yako ushaihamisha nchii.🤣🤣🤣🤣
@sun7282
@sun7282 2 жыл бұрын
Et kwanini kila mgombea akiulizwa nafasi ya uraisi anajibu hakuwahi kutamani wala kuwaza hiyo nafasi ya uraisi mbona kunakama kaunafiki kwenye hili jibu?. Mm naamini huwezi pata chochote hapa duniani kama hujakifikilia na kukichukulia hatua ya kufika pale kamwe hutakipata.
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 2 жыл бұрын
Chadema kumpoteza slaa ndipo waliangukia.
@fatumachagudadui3138
@fatumachagudadui3138 2 жыл бұрын
Pua au sikio
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 2 жыл бұрын
@@fatumachagudadui3138 Hahaaaa! Vyote.
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 жыл бұрын
@@fatumachagudadui3138 kote
@stivinshedrack7841
@stivinshedrack7841 2 жыл бұрын
Ule mwaka kupitia huyu mtu wangetangaza ushindi mapema sana
@a.msanga1621
@a.msanga1621 2 жыл бұрын
Chadema ni taasisi haitegemei mtu yeyote ukijua hilo nadhani huwezi andika vitu vya hovyo
@Doma_Tech
@Doma_Tech 2 жыл бұрын
I love you father
@shukurupetro9018
@shukurupetro9018 Жыл бұрын
Huwezi Kupewa ubalozi bila kadi ya chama husika
@shukurupetro9018
@shukurupetro9018 Жыл бұрын
Kumbe umeondolewa ubalozi ndo maana unabwabwaja chadema mwe makini na huyo adui yenu wa siasa
@bahatihaerter5651
@bahatihaerter5651 2 жыл бұрын
Hata mm nimeona babangu,na wanasema sasa mama ameachia mwanya hali nzuri kidogo
@Doma_Tech
@Doma_Tech 2 жыл бұрын
Long life to you
@wemamwaikambo6485
@wemamwaikambo6485 Жыл бұрын
Haa kumbe ni balozi mstaafu, angekuwa bado yupo kazini asingesema hivyo. Amesikia kuwa upinzani umerudi anajipendekeza ili arudi tena labda anaweza kufikiriwa.
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Жыл бұрын
Descation of will brod silaa is felliyer polition in politics in Tanzania Has chadema has got strong polition soon after wilbrod slaa came out from chadema soon after 2015 left chadema and chadema got Freeman mbowe hold steering wheel chadema became vary strong political party and will brod silaa given ambassador outside and block him in saycologe of wilbrod slaa resist on political in tanzania
@nyerere1259
@nyerere1259 2 жыл бұрын
MBOWE HUTAMSIKIA ANAMSEMA VBAYA SLAA COZ ANAJUA MSIMAMO WAKE.
@Kisaboleonards
@Kisaboleonards 2 жыл бұрын
Dodoma napataje hicho kitabu?
@matthewglory2877
@matthewglory2877 2 жыл бұрын
kwani Huyu Mzee ubalozi Ushaishaaa??
@smarty1064
@smarty1064 2 жыл бұрын
Agombee tena binafsi naona ananifaa sana kuwa kiongozi wangu hasa kwa sehemu ya urais
@Swahili360
@Swahili360 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@frankmnale1900
@frankmnale1900 2 жыл бұрын
Wanasiasa si wakuamini siku zote ni vigeu geu.... Hata vitabu wanavyoviandika uongo ni mwingi kuliko ukweli
@damianogabrielitippe7227
@damianogabrielitippe7227 2 жыл бұрын
Mzee anazeeka vibaya.leo lazima usema hivyo kwani huwezi kuwa kuwaponda utanyanganywe tonge
@khneesajumaa2052
@khneesajumaa2052 2 жыл бұрын
Soi.mafisadi kawaludisha mwenywe rais samia???
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 2 жыл бұрын
Usitudanye bhana hoja zako siku hizi zinaonyesha kwamba unaamini katika itikadi za CCM jambo ambalo siyo baya kabisa.
@amanijampion3045
@amanijampion3045 2 жыл бұрын
Ko unalazimisha wakati yeye amepinga hoja hiyo wazi wazi
@desolz3809
@desolz3809 2 жыл бұрын
Karibu umoja party
@majidimussa8678
@majidimussa8678 2 жыл бұрын
Kwahy spika samwel alikua kada wa chadema?
@matayoernest1131
@matayoernest1131 2 жыл бұрын
Sifakwako baba silaha
@mathiasulaiti5665
@mathiasulaiti5665 2 жыл бұрын
hiko kitabu kinapatikana wapi?
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 2 жыл бұрын
Natamani ajiunge na chama kipya Umoja Party ingawa CCM watafanya figisu kisipate usajili wa kudumu ili kisishiriki uchaguzi ujao.
@linuskyando4155
@linuskyando4155 2 жыл бұрын
CHAMA CHA KIKABILA NA KIKANDA HAKIFAI CHAMA KISICHOAMINI KWAMBA WATU WANAKUJA DUNIANI NA KUTOWEKA NJIA TUTAKAYOPITIA WOTE
@abubakarihamissi4178
@abubakarihamissi4178 2 жыл бұрын
@@linuskyando4155 nakuelewa sana hicho chama chao kipya ni cha kikabila na kikanda na ni hatari mno
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
@@abubakarihamissi4178 Naunga mkono hoja! Umoja wa Kitaifa hauguswi! Vinginevyo, tunaweza kujikuta kwenye Ukabila na madhara yake ambayo tumeyaona kwa majirani zetu, Rwanda, Burundi, Kenya n.k! Ee Mungu tuepushe na huu uhuni! 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🤲🤲🤲🤲
@ibrahimbakary2464
@ibrahimbakary2464 2 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 vipi kuhusu chadema ama mnapenda kueneza propaganda?? Waache watanzania walio wengi watahukumu msiwapake watu matope
@ibrahimbakary2464
@ibrahimbakary2464 2 жыл бұрын
@@abubakarihamissi4178 watanzania wanajua kwahiyo waachwe wataamua na ndio maana ya mfumo wa vyama vingi
@fidelmbai3642
@fidelmbai3642 2 жыл бұрын
Ubunge Karatu ni 1995 mpaka 2010
@ffanklleopord5998
@ffanklleopord5998 2 жыл бұрын
Muombe Mungu jamani?
@abcxyz3740
@abcxyz3740 2 жыл бұрын
Hicho kitabu kinapatikana wapi? Tukanunue
@elibarikkiakyoo
@elibarikkiakyoo 2 жыл бұрын
Sjawahi kukuelewa labda kwa7bu sjakufuatilia lkn hata hapa unacho kiongea sikielewi Maana maisha ya watu unadiriki kusema kwa bahati mbaya.
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 2 жыл бұрын
Kichwa chenye akili nyingi
@h77-f8m
@h77-f8m 2 жыл бұрын
Wana utakatifu ganj wezi tuu
@novaabas4621
@novaabas4621 2 жыл бұрын
.
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 5 МЛН
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 13 МЛН
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
BAKWATA: Mwiba mzito kwa Waislam Tanzania
43:19
Kalamutz
Рет қаралды 10 М.
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 5 МЛН