Dodoma: Ujenzi wa mji mkuu mpya wa Tanzania

  Рет қаралды 26,425

Peter Mwangangi

Peter Mwangangi

Күн бұрын

Serikali ya Tanzania iliuchagua mji wa Dodoma kuwa makao makuu ya nchi hiyo mnamo mwaka 1973. Mji huu ulizingatiwa kuwa eneo sahihi katika kusukuma maendeleo ya nchi kwa sababu ya faida yake ya kijiografia kama makutano ya usafiri. Mwanahabari wa BBC Peter Mwangangi alitembelea mji huo kutathmini ujenzi unaoendelea kuleta hadhi ya mji mkuu wa nchi.
#Dodoma #Tanzania #DarEsSalaam #MjiWaSerikali #MagufuliCity #JohnPombeMagufuli #SamiaSuluhuHassan #PeterMwangangi

Пікірлер: 33
@princeofosun7451
@princeofosun7451 Жыл бұрын
As A Kenyan I love Tz so much the people the nature the umoja ya watu,
@hoseastephen4508
@hoseastephen4508 Жыл бұрын
Ahsante ndugu pia karibu TZ
@josephstephen1079
@josephstephen1079 Жыл бұрын
We love Kenyans too u're our blood brothers
@princeofosun7451
@princeofosun7451 Жыл бұрын
@@hoseastephen4508 Asante
@princeofosun7451
@princeofosun7451 Жыл бұрын
@@josephstephen1079Thanks
@shinipapaya846
@shinipapaya846 6 ай бұрын
​@@josephstephen1079 usitusemee na sisi wengine wengine ni maadui zetu hao pumbaaavuuuu zako 😂😂
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 7 ай бұрын
Chonde chonde serikali ya Tanzania fanya mfanyalo jiji la Dodoma lijengwe vizuri majengo yake yawe bora na mazuri kuzidi yaliyo Nairobi na dar.Dodoma ndiyo image ya uzuri wa Tanzania.Tafuta wajapani,wakorea wachina waje wajenge magorofa marefu yanayo jengwe kwenye guides kuhimili matetemeko ya ardhi kwani Dodoma iko bonde la ufa.pia pale katikati ya mji majengo taka yote yabomolewe magorofa mazuri na fly overs zijengwe Tanzania ya Nyerere izidi kupendeza.
@kondoatown8765
@kondoatown8765 Жыл бұрын
Nipenda Dodoma aisee sijui kwa nn ?
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Жыл бұрын
Hayati Dr. JP. Magufuri hakuwa rais mstaafu, inasikitisha unaposhindwa kelezea ukweli.
@simpsonisoe8994
@simpsonisoe8994 Жыл бұрын
Ni mstaafu kwasababu nimareemu
@tanzanite9944
@tanzanite9944 Жыл бұрын
Msameheni ni Mkenya huyu kiswahili ni cha kupima. hawana maneno mengi ya kiswahili.
@simpsonisoe8994
@simpsonisoe8994 Жыл бұрын
@@tanzanite9944 ukweli kiswahili ni cha kupima
@surusuru1994
@surusuru1994 5 ай бұрын
😢💞💞💔💔
@tanzanite9944
@tanzanite9944 Жыл бұрын
Mwandishi ni Mkenya ila amejitahidi kuongoea kiswahili fasaha, ila accent ya TZ bado hajaipatia.
@josephstephen1079
@josephstephen1079 Жыл бұрын
Hawezi kuipataia sababu sio mothertongue yake
@shinipapaya846
@shinipapaya846 6 ай бұрын
​@@josephstephen1079so what?
@mussamussa8181
@mussamussa8181 7 ай бұрын
Mbona kakazia apo rais wa zaman...anajua neno zaman
@saidimandala8342
@saidimandala8342 Жыл бұрын
Raisi mstafu..?.we vp muandishi au WA mchongo.
@pendolyimo5062
@pendolyimo5062 Жыл бұрын
@GLOBAL FORTUNE COMPANY LTD 👊✌
@albertngendelo5350
@albertngendelo5350 Жыл бұрын
Mwandishi wa habari mbona unatuangusha? Mji wa Dodoma watu milioni 3 wanatoka wapi? Takwimu unazitoa wapi hizi? Au hujui "MJI" ni nini?
@josephstephen1079
@josephstephen1079 Жыл бұрын
Wengi ni wafanyakazi wa serikali waliokuwa dar na sasa wamehamia dom
@ototek8037
@ototek8037 Жыл бұрын
Kama unapita mala kwa mala Dodoma bado hujaijuwa..mitataa yote imekuwa zaidi ya mala3, watu ni wengi sana, amini.
@albertngendelo5350
@albertngendelo5350 Жыл бұрын
Kama MJI wa Dodoma una idadi hiyo ya watu, mkoa wa Dodoma utakuwa na watu wangapi? Ninachokiona hapo ni maana ya "MJI" hujaielewa.
@filbert9138
@filbert9138 Жыл бұрын
Kwamba takwimu za sensa we hujazusikia Au
@albertngendelo5350
@albertngendelo5350 Жыл бұрын
@@ototek8037 Jiji la Dodoma lina Idadi ya watu kama 430000 tu.
How Tanzania's new capital Dodoma is changing
9:12
Peter Mwangangi
Рет қаралды 108 М.
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 32 МЛН
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,6 МЛН
Majaribio ya ndege  uwanja mpya Dodoma kuanza Agosti
6:39
Mwananchi Digital
Рет қаралды 7 М.
MAENDELEO YA UJENZI MRADI WA DART AWAMU YA TATU
5:49
DART TV
Рет қаралды 8 М.
Dodoma City Tanzania l The Washington D.C. Of Tanzania🇹🇿
19:36
Inspire For Travel
Рет қаралды 90 М.
Maajabu ya SOKO KUU la JOB NDUGAI DODOMA Kanisa na Msikiti ndani yake
11:33
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 32 МЛН