DOTO MAGARI AONYESHA UPANDE WAKE WA 2 ALIOWEKEZA MILL 70 DODOMA, AWAVAA WANAOSEMA FEDHA SIO ZAKE

  Рет қаралды 65,031

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 230
@bakarially253
@bakarially253 6 ай бұрын
Ndio shida ya Elimu Yani muwekezaji hajui mradi unaendaje. Isas magari akuachishe kazi
@aflofemagriservice7295
@aflofemagriservice7295 5 ай бұрын
Naitwa DR MGISA Kiukweli Hawa watu wanaoonekana kirahisi katika media wangetumia vizuri huo wakati Ili kusaidiwa wengine, Kwa wakati mwingine Wana amsha hari Kwa vijana lakini watafute taarifa sahihi. Nina project naanza kufanya dodoma ikikupendeza karibu
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 5 ай бұрын
kaka naomba namba kuna kitu nataka niulize unaweza nisaidia
@christophermsekena616
@christophermsekena616 6 ай бұрын
Huyu ni Ambassador
@aflofemagriservice7295
@aflofemagriservice7295 5 ай бұрын
Hata kama ni barozi tafakari maneno unayokwend kuongea mbele ya media, pata ABC ya unachotaka kukizungumzia, that's all
@zidatv1122
@zidatv1122 6 ай бұрын
Mmea za utapeli, hayo mambo kwa Tanzania bado mifumo ya kusaidia wtu wanufaike hakuna,
@GbpAud_King
@GbpAud_King 6 ай бұрын
Millard Ayo umeanza kuyumba... Habari gani izi
@selector728
@selector728 5 ай бұрын
acha kiherehere
@pascosalvatory5274
@pascosalvatory5274 Ай бұрын
#DOTO KAWEKEZA SEHEM AMBAPO HAPAJUI ASEE TUSIDANGANYANYE
@antonyngairo3306
@antonyngairo3306 6 ай бұрын
Huyu mwamba akiongea maneno 20 la kweli ni neno 1
@bokakassimkhojakhoja3208
@bokakassimkhojakhoja3208 6 ай бұрын
Nguruwe wa mke wa professa jay,,hizooo
@RayaOmar-w5e
@RayaOmar-w5e 6 ай бұрын
Kharamu ngurue
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 6 ай бұрын
We si muislamu we askafirullah
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 6 ай бұрын
Nilikua nadhani huyu Doto ni muislamu,Uislamu wa Tanzania mi siwaelewi Subhanallah
@HashimuHashboy-bo2wl
@HashimuHashboy-bo2wl 5 ай бұрын
Uislamu unatoka wap hii ni biashara weka Mbali na imani, haya maisha muache apambane hilo game tuu udini tuu😊
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 5 ай бұрын
@@HashimuHashboy-bo2wlWw una Imani gani?
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 6 ай бұрын
Doto acha bangi ngurue 1 anakula laki 3 Ahya ngurue 1,000 ×laki 3 ni ngapi kwa mwezi na unalipwq ngapi na Issah😂
@dextech2023
@dextech2023 6 ай бұрын
Atawadanganya wagugaji wenzake wa Dar😅😅
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 6 ай бұрын
@@dextech2023 😅😅😅😅
@EvaristKatibula
@EvaristKatibula 2 ай бұрын
Watanzania munachekesha
@nabothsilasie2020
@nabothsilasie2020 Ай бұрын
Hata mimi nimeahangaa!!!
@christopherdiu7851
@christopherdiu7851 6 ай бұрын
Kijiji cha Nguruwe❤❤
@donaldmutegeki9669
@donaldmutegeki9669 6 ай бұрын
Nguruwe wao tofauti na wa Africa wametoka ulaya huko Namibia wapi wapi.....
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 5 ай бұрын
Inaalillahi Wainaa Ilayh Raajiun
@meshackthomas1341
@meshackthomas1341 6 ай бұрын
Musjaji imani ya doto. Kwamba yeye imani gani fikilieni mazaifu yenu kama Kuna mtu Hana zambi Kati yenu. Anajiongopea. Nafisini mwake. Mungu akujuen sana. tu. Jutien mazaifu yenu. Ndipo mtoe ushauri wa meme.
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 6 ай бұрын
Hongera kaka kwa kufuga nguruwe wenzako
@idrisaseiph3499
@idrisaseiph3499 6 ай бұрын
😂😂😂
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 6 ай бұрын
😂😂😂 kenge kabisa
@fredducaunt
@fredducaunt 6 ай бұрын
Nguruwe mama ako 😂😂 Kenge wa chooni 😂😂
@dafrosamonko8254
@dafrosamonko8254 6 ай бұрын
Shkamoo bro
@aflofemagriservice7295
@aflofemagriservice7295 5 ай бұрын
Mungu anakuona
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 6 ай бұрын
Eti anamshauri na reporter wa Millard aache kazi aanze kufuga 😂😂
@nabothsilasie2020
@nabothsilasie2020 Ай бұрын
Nguruwe mmoja anakula laki 3?
@salumukevin957
@salumukevin957 6 ай бұрын
Muwekezaji anauliza panaitwaje hapa 😂😂😂yani umewekeza sehemu usiyo jua jina Doto kaka😅😅
@KPPKPPkabwendepoultrypro-ue4pe
@KPPKPPkabwendepoultrypro-ue4pe 6 ай бұрын
😂 tulianza kuwekeza hapa
@songamberetv2219
@songamberetv2219 6 ай бұрын
Uyu anafanyia matangazo wenye nguruwe zao
@NadeemKhan-zo8dc
@NadeemKhan-zo8dc 6 ай бұрын
Si dalali😂
@Hasnspop
@Hasnspop 6 ай бұрын
Jamani amkeni huu ni utapeli huyo jamaa mugopeni mwenye hiyo gari nyeupe Dotto utapotea acha kufungamana matapeli😂😂😂😂😂😂
@edwinntabwa5451
@edwinntabwa5451 6 ай бұрын
Ñi matapeli Kivip mkuu hebu nisanue
@Hasnspop
@Hasnspop 6 ай бұрын
@@edwinntabwa5451 Ndugu yangu ni story ndefu sana ila kwa kiufupi epuka sana hakuna pesa inapatikana kiurahisi hivi hawa wako kwenye mambo ya vanilla pia wameliza watu sana naona wamekuja na mbinu zingine tena za nguruwe
@Trey2k365days
@Trey2k365days 5 ай бұрын
Si wale jama waa vanila
@thomasardoph
@thomasardoph 6 ай бұрын
Content😮😮😮
@Mgema001
@Mgema001 6 ай бұрын
Dotto namashaka na uraia wako, nahisi utakua mnazareth maana kiswahili kwako shida😅😅
@LIVINEMILY
@LIVINEMILY 6 ай бұрын
Zamahero 😂😂 kumbe kijiji cha nguruwe ni Dotto ✅🤗
@eliakusaja1955
@eliakusaja1955 6 ай бұрын
Hahahaha yani mtu amewekeza sehem ambayo hapajui ni wilaya gani?
@pantaleomcha1795
@pantaleomcha1795 6 ай бұрын
TRA is typing and deleting...😂 Isije ikafika muda ukapelekwa mahakamani kama Mr Kuku boss
@charleskaozya9924
@charleskaozya9924 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂mtoto wa kiislam amefuga nguruwe aaah bana dotto 😂😂😂😂😂
@gmdigitostore8550
@gmdigitostore8550 6 ай бұрын
Mbona sielewi. Serikali... nani amekuambia mradi ni wa kitapeli...hivi Mr kuku bado yupo. Kuweni makini..
@kingxule6562
@kingxule6562 5 ай бұрын
hajui hata uwekezaji wake uko wilaya gan aache kuigiza mbupu huyo hidaya kapita shinyanga katupa Hii😂😂
@rogmassay4010
@rogmassay4010 6 ай бұрын
Pumbavu sana, nguruwe anakula laki 3 kwa siku???
@ibrahimelisha6842
@ibrahimelisha6842 6 ай бұрын
Hata wilaya haijui Dah
@antonyngairo3306
@antonyngairo3306 6 ай бұрын
Kilo 400 nguruwe mmoja Mungu anakuona
@beatusmtui507
@beatusmtui507 6 ай бұрын
Sawa boss acha mringe tuuu tutafanyaje na ushajipataaaaa😂
@emmanicko1535
@emmanicko1535 6 ай бұрын
Huyu mwamba bangi sana
@KAMANDAGAMALIELI-zp1ni
@KAMANDAGAMALIELI-zp1ni 5 ай бұрын
Mfanyakazi ndyo mfafanuzi zaidi kuliko mkurugenzi..hahaha alafu mkurugenzi hata haelewi anang'oa macho tu acha kutuchora doto. Yani unapewa nafasi unaanza kujisifu ulivovivaa badara ya kudadavua mladi hahaha alafu mfanyakazi ndyo anadadavua yani unashindwa hata kuuvaa uhusika!!!? We kweli kutoboa kazi IPO!!!!!!!!!
@hancymachibbula4355
@hancymachibbula4355 6 ай бұрын
Nguruwe Mmoja ale Laki 3😢 huu utapeli, atangaze tu matangazo yeye kawekeza mwaka jana lakin mwingine anasema miez minne iliyopita mradi haukuwepo sasa unamuelewa nani hapo 😂 😂 , Huyu akaririshwe kwanza kabla hajaongea
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 6 ай бұрын
😂😂😂muwekezaji hajui amewekeza Wilaya gani. Alafu nguruwe 1 anakula laki tatu kwa siku😂😂 bange hizi
@MajaliwaMajaliwa80
@MajaliwaMajaliwa80 6 ай бұрын
Doto bwana wasio kujua wanapata shida sana
@NixonGerson
@NixonGerson 6 ай бұрын
Wewe unaenda tukukosa sisi waislamu wote .. kwa biashar. Yako Harajuku hiyo😊
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 6 ай бұрын
😂😂 sisi tupo
@fredducaunt
@fredducaunt 6 ай бұрын
😂😂 tusifosiane principle ya maisha Kula nyama nyamaza 😂😂
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 6 ай бұрын
@@fredducaunt kelele waachie mbwa
@daudpius130
@daudpius130 6 ай бұрын
Mzee wa vanilla
@fatumahossein754
@fatumahossein754 6 ай бұрын
Uongo Huyo ngurue a nakula laki 3 atauzwaje? 😂😂😂😂 Acha uongo. Hata wilaya hujui hahaha
@godfreymasabwida4064
@godfreymasabwida4064 6 ай бұрын
Mke wa professor j kawekeza hapo
@stevenngota6400
@stevenngota6400 5 ай бұрын
😂😂😂😂 acha nicheki tu ngurue mmoja anakula laki tatu
@pauloegbert515
@pauloegbert515 6 ай бұрын
Mhhh wapi
@BentleyB-d3u
@BentleyB-d3u 6 ай бұрын
Hapo hakuna uwekezaji wa Ml 70 Wala hakuna nguluwe anakula chakula cha lak3 kwa siku 1 Acha uongo
@eddyeddy1337
@eddyeddy1337 6 ай бұрын
Unatuzingua Milard ayo sasa kutupeleka kwenye nguruwe
@fredducaunt
@fredducaunt 6 ай бұрын
😂😂 ikihitajika utaitwa Na nguruwe wapo
@pascosalvatory5274
@pascosalvatory5274 Ай бұрын
MRADI WA HUYO MWENYE MIWANI #MR_MAMGURUWE😂😂
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 6 ай бұрын
Huu ndo ule mradi wa billion ngapi?
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 ай бұрын
Muislamu unaguga nguruwe maajabu hayooo
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 6 ай бұрын
Muhimu mkono uende kinywani😂
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 6 ай бұрын
Dec hii au Mr Kuku ?
@marthamvanga8028
@marthamvanga8028 5 ай бұрын
Amezoea kuongea kwa kishindo
@barakamutabazi2824
@barakamutabazi2824 6 ай бұрын
Achauongo nguruwe gani anae kula laki 3 kwa siku, mimi pia ni mfugaji na nivema kusema ukweli
@AllySalum-j9y
@AllySalum-j9y 6 ай бұрын
Dotooo asaiviii ushakua adiii darariii waaaa nguruweee njaaa mbayaaa bwana
@danielmakelemo2395
@danielmakelemo2395 6 ай бұрын
Dotto SI wakwamwamposa Haina shida kufuga ngulue
@GeofreyNgello
@GeofreyNgello 6 ай бұрын
😂😂😂Sasa Namibia ipo wapi jmn
@WilliamIbrahim-dt5nb
@WilliamIbrahim-dt5nb 6 ай бұрын
Huyu sio mtanzania amejifunza kiswahili tu
@vt-kn6qf
@vt-kn6qf 6 ай бұрын
Wewe unawivu tuu , Kwani wewe ni kabila gani
@WilliamIbrahim-dt5nb
@WilliamIbrahim-dt5nb 6 ай бұрын
@@vt-kn6qf sina hata wivu ndugu mimesikiliza kiswahili chake tu
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 6 ай бұрын
Mbona hunyoi mashart au?
@Kabwela776
@Kabwela776 6 ай бұрын
Nyama ya nguruwe ni magonjwa tu unaweza kupata minyoo Hadi kwenye ubongo
@husseindumwala3431
@husseindumwala3431 6 ай бұрын
Nimesikia nguruwe mmoja anakula laki tatu...
@ForodhaniZanzibar
@ForodhaniZanzibar 6 ай бұрын
Milard ayo unazingua sana hizi habar gani unaeka
@fredducaunt
@fredducaunt 6 ай бұрын
😂😂 futari ya nguruwe
@sommnetengineeringltd6117
@sommnetengineeringltd6117 Ай бұрын
Huna jipya ujinga mtupu
@kingkendrickk
@kingkendrickk 6 ай бұрын
Dotto mbona mchafu hivyo, au ndo masharti ya mganga
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 6 ай бұрын
Huyu hakili tiziii hajierewii ilaa anapiga hela
@ProsperMlati
@ProsperMlati 6 ай бұрын
Acha uonge nguruwe mmoj anakula 300000
@SimonJohn-v9c
@SimonJohn-v9c 6 ай бұрын
Pumbavu kbc kwa cku laki 3
@dayanamsuya6516
@dayanamsuya6516 6 ай бұрын
Millard huna habari yakugwa au😢
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 6 ай бұрын
makaburi uloachiwa na bibi yako pia unaweleza😂
@twahahamidu6246
@twahahamidu6246 5 ай бұрын
Kumbe doto akilia ana .awekeza ngurue
@cmantz8837
@cmantz8837 6 ай бұрын
Kwenye laki 3 ndipo unaonekaka mpuuzi tu laki tatu kwa miezi sita no sh ngapi Hugo ngulue unauza billion ngapi
@selector728
@selector728 5 ай бұрын
Nguruwe sio ngulue
@ForodhaniZanzibar
@ForodhaniZanzibar 6 ай бұрын
Duuuuuuh ngurue ana kilo 480 nusu tani oyaaaaa acheni ufala
@magidalenarauya4286
@magidalenarauya4286 6 ай бұрын
We mwongo,anakula lakitatu utauza sh ngapi,hujui unachosema
@kingkendrickk
@kingkendrickk 6 ай бұрын
Dotto anabwabwaja hajui anachoongea
@joumarajab5307
@joumarajab5307 6 ай бұрын
Utapeli wa peli huu after mr kuku here we go again
@igulug5450
@igulug5450 6 ай бұрын
Wezio tumewekeza ng'ombe erofu 1000 mbn hatujisifii tatizo wazaramu munaonge sana siyo kama sisi wasukuma
@RashidLupatu-bg8dr
@RashidLupatu-bg8dr 6 ай бұрын
Nguruwe Moja anakula laki 3 ????
@allysulymani1110
@allysulymani1110 6 ай бұрын
Ukzaji gani huo unachafua mazingira mzewetu mungu arehem mzee mwinyi alipiga marufuku wewe nizuzu kweli
@stevenmkami2333
@stevenmkami2333 6 ай бұрын
Mmewatapeli watu kwenye vanilla mmeamia ngurue inaumiza sana 😭😭
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 6 ай бұрын
Kumbe?
@IsmaelRamole
@IsmaelRamole 6 ай бұрын
Tunaruhusiwa kuleta pesa zetu tuwekeze
@Allyhujjat
@Allyhujjat 6 ай бұрын
Mfundisheni kuzungumza basi maana kuna vitu aviitaji mmasihara
@Electri-ambi
@Electri-ambi 6 ай бұрын
😂😂😂 huyu sio muwekezaji eti mmoja anakula laki tatu hahahaha jichanganye huyu tapeli kama tapeli
@josephfrank4446
@josephfrank4446 6 ай бұрын
😂😂😂😂jamaa ongo hili
@charlesmsuya220
@charlesmsuya220 6 ай бұрын
Harufu ya utapeli ipo wazi dhahiri mbio ziwaokoe
@mxofmfk8406
@mxofmfk8406 6 ай бұрын
Okay nguruwe mmoja kwa siku anakula laki 3 kwa mwezi anakula milioni 9. Kwa hiyo hao nguruwe mnawalisha pesa au chakula?
@ForodhaniZanzibar
@ForodhaniZanzibar 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@SharifaOman-bf1bn
@SharifaOman-bf1bn 6 ай бұрын
Huyu. Fipi. Doto. Magari mtiani. Kweli
@ibrahimelisha6842
@ibrahimelisha6842 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 WATU WA JATU MPOO MJE NA MAELEZO YENU HAPA
@IYEGU-p3n
@IYEGU-p3n 6 ай бұрын
Mabanda yenyewe yanavumbi Kama nini acheni utapeli sisi niwafugaji acheni kuinia watu
@adkajisi4536
@adkajisi4536 6 ай бұрын
Unadhani bil70 matako eti?
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 6 ай бұрын
Ngurue na mwenye nguruwe
@augustineanney4239
@augustineanney4239 6 ай бұрын
Eeh,,,,eeh,, wanapigwa watu siyo mda
@aflofemagriservice7295
@aflofemagriservice7295 5 ай бұрын
Alikuwepo mwamba aliitwa Tariq au Mr kuku wakawaulize wawekezaji hapo
@suzanambatta1126
@suzanambatta1126 5 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 6 ай бұрын
Nguruwe mmoja anakula lak3 kwa siku😂😂😂😂
@jonasamos555
@jonasamos555 6 ай бұрын
Boya sana huyu Nguruwe wa kula laki 3 kwa siku eti mmoja apelekwe mirembe Banda za mabaki ya mbao moja ni 1000 bei ya juu Mabanda machafuuuuu nguruwe wachafuuuu Mirad kazi umekosa aisee
@RobertChacha-hb9re
@RobertChacha-hb9re 6 ай бұрын
Kaka adi makaburi 😅😅😅
@simonjovin1885
@simonjovin1885 6 ай бұрын
Kijiji cha nguruwe😂😂
@sadickshabankiloya4622
@sadickshabankiloya4622 5 ай бұрын
Hadi nguruwe
@WinnieJamesMichael-yi9jm
@WinnieJamesMichael-yi9jm 6 ай бұрын
Ila Millard ayo mbona mnatupa tarifa za kitoto hivyo kwani amekuja kututukana au kutuelimisha
@AsaphAroko
@AsaphAroko 6 ай бұрын
Unalipa kodi ya serikali ww
@JohnsonMichael-c2x
@JohnsonMichael-c2x 6 ай бұрын
Waambie hao
@salimbilali5174
@salimbilali5174 5 ай бұрын
N muislam kweli uyu
@awadhsalim2680
@awadhsalim2680 5 ай бұрын
Uoslam sio nongo kama kila mtu anazo
@komasavatz
@komasavatz 6 ай бұрын
Hapa tumepigwa
@salumsaid7301
@salumsaid7301 6 ай бұрын
Dotto Manguruwe tena...
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 11 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 46 МЛН
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
Ufugaji wa nguruwe kisasa.
34:35
ITV Tanzania
Рет қаралды 61 М.
KIMEUMANA: DOTTO MAGARI NA MZAZI MWENZA NUSU WAZICHAPE STUDIO
27:31
Wasafi Media
Рет қаралды 232 М.
WAKE WENZA FULL MOVIE (SEASON 1) EPISODE 1-6
1:07:25
Comedy Plus
Рет қаралды 670 М.
Nilianza na Kuku 8 wa Kienyeji, Lakini Nimezalisha Kuku wa Kienyeji 300
10:37
NYOMI LA STESHENI YA SGR DODOMA NI HIVI 🔥🔥🔥🔥🔥
10:13