MAAFA RUFIJI WATU 6 WAPINDUKA NA MTUMBWI..LIVE ..WANNE MPAKA MUDA HUU WAJAPATIKANA......

  Рет қаралды 158,081

dolphin tv

dolphin tv

Күн бұрын

Пікірлер: 89
@kisinza6077
@kisinza6077 8 ай бұрын
Nachukia sana mimi mnapoendekeza magwanda kwenye maisha ya watu, unasikia kuna ajali/maafa, unaenda kuvaa gwanda la kijani kwanza ndiyo uende maafani ukaseme mama anasema hivi,;
@RichboyIbrahim
@RichboyIbrahim 8 ай бұрын
Mambo MENGINE ni ya kisenge, KAMA watu wazima mnatoka na kwenda kushuudia wa2 wanakufa Kuna nyie🖕
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 8 ай бұрын
Yani we Acha tu
@fatumahapesamohamedfatumah4633
@fatumahapesamohamedfatumah4633 8 ай бұрын
Yaani baada muharakishe muone mtawaokoa vipi mnapiga domo.Akk mmenichukiza.
@MariaIsaya-y2y
@MariaIsaya-y2y 7 ай бұрын
Jaman mm maji nimuoga Sana hata kama yawe kwenye magoti sivuki
@prosperidinya5864
@prosperidinya5864 8 ай бұрын
Inaumiza sana.
@Allybinamour
@Allybinamour 8 ай бұрын
subhanallah,jamani tumrejee mola wetu kwa madhambi yetu jamani
@NeemaMateleka
@NeemaMateleka 7 ай бұрын
Jamani tunapoa majanga kwa wezetu tusimame kwenye maombi mimi na wewe maa hatujui kesho yetu mungu tusamehe na ulisamehe taifa letu akili zetu zimefungamana ni wewe wajua tuendako amina
@fridamwenda5728
@fridamwenda5728 8 ай бұрын
Mungu utusaidie
@arafatimsongo5328
@arafatimsongo5328 8 ай бұрын
Natoa ushauri kwa serikali yetu sikivu ipeleke helkopta maeneo yale ili pakitokea shida kama hiyo itakuwa rahisi kuokoa.
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 8 ай бұрын
Nakuomba mungu tunusuru na vua zinazo enderea
@uplovermellody9837
@uplovermellody9837 8 ай бұрын
Mungu awafanyie wepesi ndungu zetu
@DudddyWhyCant
@DudddyWhyCant 8 ай бұрын
Tuwe na juhudi na maarifa katika kuokoa, nyie mnaenda kushuhudia watu wakifa,badala mwende na mbinu za kuokoa.
@fatimamashi2171
@fatimamashi2171 8 ай бұрын
Fact ndg yangu inaumiza
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 8 ай бұрын
Mambo mengine yana umiza sana
@JacoboMtokoma
@JacoboMtokoma 8 ай бұрын
Je hakuna msaada wa kijeshi. Na Helikopter za uokoaji??
@JosefinaMponde
@JosefinaMponde 8 ай бұрын
Polen mungu asamehe
@OthmanJuma-z9q
@OthmanJuma-z9q 8 ай бұрын
Alla anasema sehem yeyote watu wake wasipo simamisha swala na ramadhani wakaiona sawa na mwez wakula mchana wasubir maradi na mamweso na mafufuriko
@EmmanuelMsangi-kb3vv
@EmmanuelMsangi-kb3vv 8 ай бұрын
Acha ujinga wewe
@freduallughano2301
@freduallughano2301 8 ай бұрын
​@@EmmanuelMsangi-kb3vvhuyu jamaa mpumbavu sana kwa hiyo huko arabuni ambako ndiko kibra maafa hamna?
@SwailaMbaruku
@SwailaMbaruku 8 ай бұрын
Inch yangu ngumu yani wao ndio waliosababixha madhala kwann wasipeleke faiba xx
@halimahalima1488
@halimahalima1488 8 ай бұрын
Subhana Allah 😢😢
@gwakisamwakatage4656
@gwakisamwakatage4656 8 ай бұрын
Poleni Sanaa ndugu zetu
@valenakomba7686
@valenakomba7686 8 ай бұрын
SASA ISJUI NDO KUMAANISHA NINI?. YAANI KAMA WANAKWENDA KWENYE KAMPENI.😮😮😮
@issapanduka7313
@issapanduka7313 8 ай бұрын
Hawa viongozi wa ccm hawana hata aibu ya kujieleza katika hilo tukio walilolishudia hapo yote hayo ni utawala usiojali utu wa watu wake inasikitisha sana. Ila hakuna marefu yasio na ncha. Wacha wafurahie maisha kula kunywa na kusaza kwa kodi za wavuja jasho ipo siku mungu atahukumu
@InjiliyaUfalmetv
@InjiliyaUfalmetv 8 ай бұрын
Jamani iteni waokoxi Basi Eee Mungu wangu
@osodowilberforce2321
@osodowilberforce2321 8 ай бұрын
Kwani Tanzania haina jeshi?Haina Jeshi la wanamaji wa kusaidia jamii?Kwani jeshi la Tanzania lina wajibu gani kama haliwezi kusaidia walipa kodi?Uzembe wa CCM.
@feisalomar-hr3hq
@feisalomar-hr3hq 8 ай бұрын
Tanzania jeshi lipo lakukupga mwananchi na kuwauwa hasa katika uchaguz hawana kazi nyengine
@ivomhagama9796
@ivomhagama9796 8 ай бұрын
​@@feisalomar-hr3hq😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@serengetiduma1090
@serengetiduma1090 8 ай бұрын
Nyie wenyewe maboya tu, ndo mjue kijifunza kuogelea! Mngrkuwa umnajua kuogelea mgeweza kwasadia! Badalala yake unasema mko mnashangaa.. mmesimamisha msafara hili mshangae!!
@abusuheyba
@abusuheyba 8 ай бұрын
Sasa waswahili kusimama kando na kulia mutaacha please
@AllyYassen
@AllyYassen 8 ай бұрын
Allahu akbar
@barutiboniphace4335
@barutiboniphace4335 8 ай бұрын
Majanga mengine unajua ni ya kujitakia. Anaona mvua zimenyesha maji yanakasi kuliko kawaida bado unapita tena hapo hapo kwani nilazima kuisogelea hatari siangetulia tu kwanza hatari ipungue ndiyo apita inamaana yeye hakujiuliza ikitokea mtumbwi umepinduka tunajiokoa vipi. Rsk Management
@StonesSemwenda
@StonesSemwenda 8 ай бұрын
Pole kwa mafuriko🙏
@Mwanaidi-ih7lh
@Mwanaidi-ih7lh 7 ай бұрын
Mh jamani poleni sana
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 8 ай бұрын
Subuhanallah inalillahi wainailahi rajuun
@barakajoseph2234
@barakajoseph2234 8 ай бұрын
Ccm mnazingua mnatoa wapi muda wa kuvaa magwanda hadi kwenye matukio ya emergency
@seifseifmohamed7118
@seifseifmohamed7118 8 ай бұрын
Hata hizo sura zao tu ukiwaona hutajua tu kuwa hawana akili
@ShijaKilasa
@ShijaKilasa 8 ай бұрын
Poleni sana
@AgnessEustace
@AgnessEustace 8 ай бұрын
Ee Mungu tusaidie
@onescaniaonescania8227
@onescaniaonescania8227 8 ай бұрын
nyie wotee sijui niwaite aje,na masere yenu ya CCM, 🤦🤦🤦🤦😭😭😭😭
@dulaomar5537
@dulaomar5537 8 ай бұрын
Hata boti hiwezo hayo maji yanakasi so jamn hiyo hatred kwa kutumia mitumbi Allah ajaalie alete Rehma zake
@khadijaomar6730
@khadijaomar6730 8 ай бұрын
Innalillahi wainnailayhi rajiun
@SalamaAkilimali-ly3bu
@SalamaAkilimali-ly3bu 8 ай бұрын
😭😭😭😭
@pauldatche8410
@pauldatche8410 7 ай бұрын
Mbona hawakutumia daraja kuvuka mto, jamani!
@HamzaOthaman
@HamzaOthaman 8 ай бұрын
Mungu atanuru kwa mvua hii
@hajially4527
@hajially4527 8 ай бұрын
Wabongo wapuuzi watu wanazama wao wanawarecodi na kupiga picha baada yakuwasaia wanawaacha wafe
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 8 ай бұрын
Nchi iko chini ya shetaniiii iko chini ya shetaaani shetaniii anatawala nchiiiiiiii
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 8 ай бұрын
Shetani ni wewe na ukoo wako laana kum wee. Adui wa Allah adui wa Rasulli.
@bentanabwire5692
@bentanabwire5692 8 ай бұрын
Kutangaza mafaa munajua na kukumbowa watu kuwatoa kwenye maji munashindwa labda mungewaokoa.
@rejinajoseph2994
@rejinajoseph2994 8 ай бұрын
Poleni jamani
@yusuphlazaro
@yusuphlazaro 8 ай бұрын
Serkali inatakiwaa wamke wasilale jaman heee
@ShijaJotham
@ShijaJotham 8 ай бұрын
Waokoeni maelezo ya nn angekua kiongozi mngekaa kimya ivo
@valenakomba7686
@valenakomba7686 8 ай бұрын
MNAI KAA KARIBU NA MAJI JIFUNZENI KUOGELEA .
@petercostakisoka
@petercostakisoka 8 ай бұрын
Daah poleni sana
@mjunicharles1198
@mjunicharles1198 8 ай бұрын
Mwisho na daraja litavunjika😢
@ramadhanhassan5285
@ramadhanhassan5285 8 ай бұрын
Ndomana tumefushwa na mtume wetu ukiwa na mtoto umri kuanzia miaka 7 miongoni mwa yale mambo ya ulazima ni kumfundisha kuogelea ili iwe miongoni mwa msaada wa baadae kwake mwenyewe
@feisalomar-hr3hq
@feisalomar-hr3hq 8 ай бұрын
Mbwa kweli muna rikodi video baada kuwaokoa mh kweli balaa
@StarMerinyo
@StarMerinyo 8 ай бұрын
Kwa hiyo wanawaangalia tuu bila msaada huo
@ednakawau9842
@ednakawau9842 8 ай бұрын
😢😢😢
@aminakhamis2276
@aminakhamis2276 8 ай бұрын
Polesana
@ZainabuTembo
@ZainabuTembo 8 ай бұрын
Maafa,rufiji
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 8 ай бұрын
Yaani watu wote hao wameshindwa kwenda kuwaokoa?shenzi kabisa
@AkimuWaziri
@AkimuWaziri 8 ай бұрын
Mnafanyann kalibunamaj?
@fortyyellu9971
@fortyyellu9971 8 ай бұрын
Sasa unaripot na jezi za ccm ndo nini sasa
@shimoneycashtalk9176
@shimoneycashtalk9176 8 ай бұрын
Yani mna shuhudiya watu wanavo kwenda na maji africa shida sana
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 8 ай бұрын
Kweli kabisa
@rahimumuco8662
@rahimumuco8662 8 ай бұрын
Life jackets ?!
@AhmedSeif-il1xx
@AhmedSeif-il1xx 8 ай бұрын
Jeshi la nchi hii lipo kwa ajili yakuiba kura tu pumbavu
@ZahratAhmad-o1v
@ZahratAhmad-o1v 8 ай бұрын
Harafu mkobize na sikukuu ya muungano
@boniventurehussein7276
@boniventurehussein7276 8 ай бұрын
Serikali simpeleke helkopta ikae mda wote kwaajil ya tahadhali maana ya jeshi la uokoz nini???
@dullayomwinyi3359
@dullayomwinyi3359 8 ай бұрын
Serekali wako wp jaman
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 8 ай бұрын
Lasaana ya huyu shetani samia itawamaliza watanganyika
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 8 ай бұрын
Nawe pia una laana ya M/Mungu itakumaliza.
@Sobo740
@Sobo740 8 ай бұрын
Pelekeni boti acheni siasa
@HamzaOthaman
@HamzaOthaman 8 ай бұрын
Masikin
@hillaryngeno310
@hillaryngeno310 8 ай бұрын
Hawa wanaongea badala kuona mbinu WA kusaidia watu
@swabiaa1489
@swabiaa1489 8 ай бұрын
Jamn si mkawaokoe dah😢
@seifseifmohamed7118
@seifseifmohamed7118 8 ай бұрын
Nani anajiweza wote hao ni bure tu kama hapana watu. Hawa watu ni mavi ya kuku
@hamadikhalfan6751
@hamadikhalfan6751 8 ай бұрын
Eemungu
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 8 ай бұрын
Hi I jeshi la zimamoto kazi yake nini?? Na hata jkt jwt hizi ni Nyenzo za kusaidia mambo kama haya Sasa mbona ni kama hakuna kujali Hali za Hawa wenzetu aathirika?
@athmaniathmanisimba4976
@athmaniathmanisimba4976 8 ай бұрын
Mnabaki kuongea baada yakuwaokoa mnabaki mmesbika maik
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 8 ай бұрын
Yan nyinyi baada kutoa msaada kurecod tu
@AleXNixt-xg2cw
@AleXNixt-xg2cw 8 ай бұрын
Watu wanazama live mpo mnarecod live mh kweliii uyo mwandish yupi ambae anashindwa fata ethics poor behaviour
@edwinmahonga4063
@edwinmahonga4063 7 ай бұрын
Shindwe wajinga nyinyi,helicopter ipo wapi,,,serikali ,,hiyo ni muda mrefu sana wakizama ilihali mnaripoti
@salehekisebengo8554
@salehekisebengo8554 8 ай бұрын
Ninyi wajinga sana ,mnashindwa kuokoa watu mnabaki kupga picha tu,et unatuambia umepita kkuangalia tukio,huu ni upumbavu ,unaangalia tukio la kuona watu wanakufa bila kuwaokoa?
@RukaiySultan
@RukaiySultan 8 ай бұрын
😢😢😢
@AleXNixt-xg2cw
@AleXNixt-xg2cw 8 ай бұрын
Watu wanazama live mpo mnarecod live mh kweliii uyo mwandish yupi ambae anashindwa fata ethics poor behaviour
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
Maajabu ya Daraja la Mungu na Simulizi ya Kusisimua ya Nyerere na Warusi
14:50
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 9 МЛН
BONGO DAR ES SALAAM S02EP01 - PESA
22:43
Wasafi Media
Рет қаралды 145 М.
Hatua gani zimewekwa kudhibiti mafuriko Burundi?
3:20
DW Kiswahili
Рет қаралды 1,4 М.
Ziara ya Rais Magufuli kwenye Bandari ya Dar es salaam
5:57
Millard Ayo
Рет қаралды 982 М.
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН