DOMOKAYA AFIKA MSIBANI AFUNGUKA KWA UCHUNGU KIFO CHA MANDOJO "WAMEMDHULUMU NAFSI RAFIKI YANGU"

  Рет қаралды 47,557

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 100
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 2 ай бұрын
Hii nchi ina watu wana Roho Mbaya sana Mandojo kapitia changamoto sana mpaka kifo Chake, kuna kipindi kuna watu walimvunjia Nyumba yake Ya Dar, Jamaa kapitia mitihani Mwenyezi MUNGU amlaze Pema Legend."😢
@nemesapollo4846
@nemesapollo4846 2 ай бұрын
aisee kumbe ni htr
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 2 ай бұрын
Jamani kwel kabisa iliniuma sana aisee
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 2 ай бұрын
@@emmanuelmayunga1518 Ile issue mpaka Mkuu wa Mkoa aliingilia kati kipindi kile Makonda Cjui ikaishia wapi, Kwa kweli Mandojo Dunia haikuwa fair kwake japo yeye alikuwa mtu mzuri Duniani na kuchagua kutuburudisha bado watu wengine wa Dodoma wamemdhulumu Uhai Wake."
@TumainiMedason
@TumainiMedason 2 ай бұрын
Makonda kupitia mfuko wa maafa ofisi ya mkuu Wa mkoa walimjengea nyumba na wadau wengi tu walijotokeza kumchangiaga na mtaji wake wa kufuga kuku aliupata​@@jumaamohamed2815
@BabuAbdul-hd3xn
@BabuAbdul-hd3xn 2 ай бұрын
😢
@naba_watomaco9274
@naba_watomaco9274 2 ай бұрын
Br! Pole sana! Kwa wahenga! Tunatambua haijawahi tokea Big Combination 🇹🇿 ya Muzic kama Dojo na Domo! 😭😭😭 MUNGU akutie Nguvu Br, since day one nawakubali....😭😭😭 Tunamkabidhi MUNGU
@DjJohnBashir-oy7cx
@DjJohnBashir-oy7cx 2 ай бұрын
polenisana Ndojo ameniuma sana napenda kazi zenu mungu amtangulie mbele za haki
@stellamokiwa2025
@stellamokiwa2025 2 ай бұрын
Domo kaya nimekupenda.....unaongea vizuri sanaaaa
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 2 ай бұрын
Pole sana broo naelewa unachokifeel juu ya ndugu yako Dojo
@paulmwanyika7622
@paulmwanyika7622 2 ай бұрын
"Kazi yake mola haina makosa... Anafanya atakalo,anafanya awezalo kwani dunia ni yake, hakuna ashindwalo" R. I. P dojo....
@pharleserasto3114
@pharleserasto3114 2 ай бұрын
Kuwa pole Domokay njia Moja hii Mungu atalipa kwa wote walohusik
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 2 ай бұрын
Pole sana domokaya jamanii umepoteza combination yako kubwa kabisaa! Daaah
@sabrinaurio365
@sabrinaurio365 2 ай бұрын
Kama wızo na radio
@eaglemakopa7592
@eaglemakopa7592 2 ай бұрын
Mungu amlaze maalipema pepon mandojo
@joss.nkilio.3537
@joss.nkilio.3537 2 ай бұрын
Waliomfanyia Hivyo Mungu hatowaacha bule,Mungu ampumzishe Kwa Amani Mandojo🙏😭😭.
@samyspesho1698
@samyspesho1698 2 ай бұрын
HAO WALOMUUWA WANAJISIKIAJE HV SASA
@BedaKunguluche
@BedaKunguluche 2 ай бұрын
Domokaya,umeongea maneno yenye hekima sana, Mungu akutie nguvu
@AishaHaji-h4d
@AishaHaji-h4d 2 ай бұрын
Watu wachacheee 🥹🥹🥹misiba ya siku hizi sio kama ya zamani in short maisha yamebadilika sana Zamani mtu akifariki mpaka 40 ifike watu wanakuwa bado wanaomboleza Siku hizi ukizikwa tu unasahaulika muda huo huo Mungu atujaalie mwisho mwema Natoa pole sana kwa familia,ndugu,jamaa na mashabiki wote wa mandojo May peace be upon him
@mujwasteven
@mujwasteven 2 ай бұрын
Hanta Nation Nampata ni producer number moja bongo ndo alimtoa hamornise alitengeneza Uno na nyimbo kibao harmo alipotoka wasafi, utasikia "youg legendary" Yuko hapo pembeni kwa domokaya. R.I.P DOJO
@CatherineKulaya
@CatherineKulaya 2 ай бұрын
Roho ya marehemu ilale mahala pem peponi Amein 🙏🙏🙏
@dicksonjonas1799
@dicksonjonas1799 2 ай бұрын
Pole sana bro,,umeongea kwa uchungu sana,,
@ShokoleMasawe-hk9vh
@ShokoleMasawe-hk9vh 2 ай бұрын
kwa mola kila mja atarejea hakuna kifo kilichowahikosa sababu.pole sana domokaya
@MarryKiula
@MarryKiula 2 ай бұрын
Pole Sana Domokaya kweli Wewe ndo unamjua vizuri Mandojo Since mnafanya Mazoezi ya kuimba Mto Temi Arusha Kweli mmetoka Mbali😭😭
@LauraGeorge-u1r
@LauraGeorge-u1r 2 ай бұрын
Hongera domokaya umeongea kwa busara sana
@phantyrhymes9536
@phantyrhymes9536 2 ай бұрын
Polesana rafiki yangu Domokaya kwa Kumpoteza Dojo. R. I. P Dojo.
@PaskalEmilist
@PaskalEmilist 2 ай бұрын
Wote safari mojaa inauzunishaa na inasikitishaa sanaa hila mie nina aminii safari yetu moja asanten
@godfreyhiza1075
@godfreyhiza1075 2 ай бұрын
Maisha yetu duniani ni kama ua la kondeni mara kukauka na kuchukuliwa na upepo ...tumkabidhi BWANA YESU maisha yetu, Ndiye tunayerejea kwake!!!
@tareqhilal6750
@tareqhilal6750 2 ай бұрын
Brother tunawachukulia tofauti sana ila mtusamehe leo najua kuwa mnafanya music tu, umeongea vizuri mno, hii expression ni wachache wanaweza toa..Pole sana kwa kumpoteza Mandojo, uwe na subira maana Mungu hakosei kaka. Pole sana njia yetu moja.
@FredMeitamei
@FredMeitamei 2 ай бұрын
Mungu ampumzishe kwa amani ila binadamu siyo watu kwanini wamefanya hivi
@BabaLea-ez7pp
@BabaLea-ez7pp 2 ай бұрын
Kweli baba domokaya umesema ukweli ila huyu alieseme nirafiki yeke
@beatricesaitoti6125
@beatricesaitoti6125 2 ай бұрын
Inamaana hao waliomfanyia ivo hawamjui ndojo dah vitu vingine vinafikirisha sana all and all may soul in paradise ndojo
@FatmaMohammed-ry8yo
@FatmaMohammed-ry8yo 2 ай бұрын
Inna lillah waina ilaih rajiun poleni kwa Familia dogo ni Familia yangu aisee nimeumia
@MussaHaruna-e7t
@MussaHaruna-e7t 2 ай бұрын
Dah rip dojo.bro nyimbo zako bado tutazkumbuka na domokaya
@LauraGeorge-u1r
@LauraGeorge-u1r 2 ай бұрын
Unaumia sana ila umejikaza kiume,big up bro,rest in peace mandgojo
@h.mau9989
@h.mau9989 2 ай бұрын
Hawa jama sijawaelewa leo wala jana du imeniuma sana
@ShokoleMasawe-hk9vh
@ShokoleMasawe-hk9vh 2 ай бұрын
daaa.r.i.p kaka
@StevenMsagusa-mk8qd
@StevenMsagusa-mk8qd 2 ай бұрын
Poleni sana wanafamilia Mungu awape nguvu.
@cylviapatric7343
@cylviapatric7343 2 ай бұрын
It’s pain Jmn… Nmeumia sana. Pole domo
@MahuchaniNgoka
@MahuchaniNgoka 2 ай бұрын
Nice talk domokaya 😂
@rajabumkwawa6053
@rajabumkwawa6053 2 ай бұрын
RIP Mandojo.!! Pole sana Domokaya.
@NeemaLukasy
@NeemaLukasy 2 ай бұрын
Poleni wanafamilia
@Dully_star
@Dully_star 2 ай бұрын
Kazi ya mungu haina makosa ila tumempoteza PELLE WA TANZANIA jamaa likua anapiga miguu yote anaimba huku anapiga gittaa yani ni fundy kweli kweli mwenye roho nzury vibaya mnooooo yan daah NCHI YANGU TANZANIA JAMANI JAMANIIII????
@atupokilemwakajila7179
@atupokilemwakajila7179 2 ай бұрын
Broooo nimeumizwa saanaa duuuu nyie jamaaaa combination yenu ilinifanya nijivunie bongo flavor yetu.inamaana ile interview yenu UTV ndo mara ya mwisho kuwaona pamoja duuu.kazi ya mungu haina makosa pumuzika kaka
@jothamkibona2919
@jothamkibona2919 2 ай бұрын
Pole ndugu yetu hakika tumwachie mungu
@PauloKikoti-vn5du
@PauloKikoti-vn5du 2 ай бұрын
safi domo unajua kuongee.
@NeemaLukasy
@NeemaLukasy 2 ай бұрын
Daah poleni sana jaman
@bakarininga4100
@bakarininga4100 2 ай бұрын
Daaah Hakuna siku sijaingia you tube cjaskiliz nyimbo zao domo kaya daaah kapoteza combination moja ya maisha
@EmmanuelChacha-k2k
@EmmanuelChacha-k2k 2 ай бұрын
Mandojo rest in peace 😢😢😢
@shamimageta6651
@shamimageta6651 2 ай бұрын
dah...maisha mafupi sana aisee
@AdamSabugo-sr4ds
@AdamSabugo-sr4ds 2 ай бұрын
Dah poleni xnaa kwakuondokewa na ndugu mungu awape ngufu 😭😭😭
@JestinaKandonga
@JestinaKandonga 2 ай бұрын
Inauma sana ila mungu wa mbingu atawalipa😢😢😢😢😢
@Byme6434
@Byme6434 2 ай бұрын
Ila Labda yule Kaka Itakuwa Alivyopigiwa Simu hakujuwa kama Itarushwa hewani
@davisdaud9185
@davisdaud9185 2 ай бұрын
So sad ninja pole saana
@plutomc-m5j
@plutomc-m5j 2 ай бұрын
Nani asiye mjua mandojo Jamani Dodoma,Dodoma ya watanzania kweli hamumjuii mdojo RIP BABU
@MiriamGeorge-p4b
@MiriamGeorge-p4b 2 ай бұрын
Pleni sana
@Wazirirajabu-n7s
@Wazirirajabu-n7s 2 ай бұрын
Namkumbuka kwa wimbo wake wa taswira
@barakamwaisumbe6103
@barakamwaisumbe6103 2 ай бұрын
Kanisani ni mahali pa kuponea hata kama ni mwizi sheria zipo na polisi wapo kwa ajili yetu wananchi wasingejichukulia maamuz ya kupiga akat wao ni watakatifu
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 ай бұрын
Yan nyie kwel mlikuwa marafiki wa dhati tokea kipindi kile mpaka leo duu kwel mlipendana....mmmmhh au kuna kitu kinafichwa apo kwan ?? Mbona sijaelewa?
@leilawanjiru6484
@leilawanjiru6484 2 ай бұрын
Poleni kaka
@JosephinePanga
@JosephinePanga 2 ай бұрын
Jamaa ana matatizo ya akil ulimpima ww, acha kuropoka upuuziii
@HajiSeleman-h2l
@HajiSeleman-h2l 2 ай бұрын
Apumzike kwa amani
@djamanitvonline3623
@djamanitvonline3623 2 ай бұрын
Domo Kaya🇹🇿
@OmaryKibwana-n3n
@OmaryKibwana-n3n Ай бұрын
😭
@AdelineMkingi
@AdelineMkingi 2 ай бұрын
Labda alikua na ahida ilihitaji huduma za kiroho akakimbilia kanisani na mkamuua. Kwa hali ilivyo sasahivi nadhani watu waelewe mwizi apigwe akiwa na kidhibiti cha wizi aisee
@SadickAmiri
@SadickAmiri 2 ай бұрын
daaah kanisani????
@OmegaChurch-t5g
@OmegaChurch-t5g 2 ай бұрын
Kanisa la katoriki ni la kishetani
@TatuSeleman-zm1hn
@TatuSeleman-zm1hn 2 ай бұрын
Inna lillah waina lillah rajiun
@maimukanabora8751
@maimukanabora8751 2 ай бұрын
Poleni sana sana MUNGU awafariji
@sulleimanshalua168
@sulleimanshalua168 2 ай бұрын
R.ip mandojo
@SadickSadick-n6j
@SadickSadick-n6j 2 ай бұрын
Rip mandojo
@BabuAbdul-hd3xn
@BabuAbdul-hd3xn 2 ай бұрын
😢😢😢
@BakariMnou
@BakariMnou 2 ай бұрын
Da mwamba katutoka mbele yake nyuma yetu
@KudraEliasa
@KudraEliasa 2 ай бұрын
Polen san ndg
@rashidissa9395
@rashidissa9395 2 ай бұрын
Pole kaka
@JosephMaluwa
@JosephMaluwa 2 ай бұрын
Rip
@kisutiemanuele1299
@kisutiemanuele1299 2 ай бұрын
😢😢
@AllySalum-j9y
@AllySalum-j9y 2 ай бұрын
Doooomokayaaa nikweriií bwanaaa mandonjooo anamatatizooo yaaa akiriii bwanaaa munafichaaa ninii kwaniii kosaaa ripooo wapiiii jamahaa kusemaaa ukweriii namtuuuu amefarikiii
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 2 ай бұрын
Kosa lipo ndugu taarifa za msiba mara nyingi kibusara huwa inatakiwa aongee mtu wa Family sio kukurupuka huyo mwana tukubali tu kazingua sio fresh".
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 2 ай бұрын
Kuandika yenyewe hujui chokoraa wewe, tulia afya ya akil unayo wewe
@AllySalum-j9y
@AllySalum-j9y 2 ай бұрын
We we ndounajuaaa atiiii kuandikaaaa yenyeweee ujuii duuu kabiraaa ganii nduguu yanguuu kituuu kamaaa akikuhusuuu kaushaaa shangingiii auuu unatakaaa bwanaaa mitandaoniii
@nyambwirasam5896
@nyambwirasam5896 2 ай бұрын
​@@mrambadiana9678Na kweli kaka hakuna mtu hapo mwehu kabisa huyo.
@NeemaLukasy
@NeemaLukasy 2 ай бұрын
Poleni wanafamilia
@JestinaKandonga
@JestinaKandonga 2 ай бұрын
Inauma sana ila mungu wa mbingu atawalipa😢😢😢😢😢
@TonyMasterog
@TonyMasterog 2 ай бұрын
😢😢😢😢
@godloveemanuel1417
@godloveemanuel1417 2 ай бұрын
😢😢😢
@NeemaLukasy
@NeemaLukasy 2 ай бұрын
Poleni wanafamilia
@marthageorge5043
@marthageorge5043 2 ай бұрын
😭😭😭😭
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,7 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 269 #shorts
00:26
小丑揭穿坏人的阴谋 #小丑 #天使 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 2,9 МЛН
Tundaman Ft Kontawa -Ushauri (Lyrics video)
2:55
Tunda Man
Рет қаралды 148 М.
Sifa za vitenge vya kigoma kutoka congo #macuptz #pacha
2:09
Baraka Macuptz
Рет қаралды 4,4 М.
Bando MC ft Vanillah - Sikulaumu (Official Music Video)
3:40
Bando Mc
Рет қаралды 337 М.
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,7 МЛН