Orchestra Maquis "Kamanyola Bila Jasho",Popular Congolese band operating in East Africa, who also recorded for Ken-Tanza, Sindimba, Stereo...
Пікірлер: 34
@nebertterrah551 Жыл бұрын
This was the greatest band in TZ. Whenever they had a government function , Marquis was invited to entertain the crowd. Congratulations to the band leader King Kikii. Your voice is unique & cannot be found elsewhere Though you are not in good health, but we'll remember Marquis Band forever.
@jamesangana_lingalarumbainstit2 жыл бұрын
Oh leki oh nakufa bure-oh my young one I'm suffering/dying
@josiahkulwa344 ай бұрын
Hakika Wimbo huu unanikumbusha mbali sana
@wilsonmalias31222 ай бұрын
RIP mzee wangu king kiki ulituburudisha vizuri sana
@florencehaji31195 жыл бұрын
Asante kwa huu wimbo unanikumbusha mbali sana Dora ni dadaangu yupo hadi leo wakati huo alikua mrembo. Mno
@ulediuledii4885 жыл бұрын
Dora mtoto wa dodoma nakumbuka mbali sana bwana mkubwa kikii sio mchezo naitwa fundi shabani mkalimoto wa mabibo
@hamisikipita79462 ай бұрын
Aisee florencehaji asnte kutupatia ukweli wa huu wimbo Je bado yupo dora mwana dodoma?
@Mshini9103 жыл бұрын
Mpakani pale Mwenge Ilikuwa ni motoo miaka hiyo!!
@lutendamomkisi81602 жыл бұрын
What old good days
@afuani45232 жыл бұрын
Hakika kweli ya kale ni dhahabu, kwani vitu hivi ni adimu sana kuvipata siku hizi.
@nebertterrah5515 ай бұрын
Hasante kwa huo mpangilio. Si kuwahi kuwaona kihalisi lakini ilikuwa bendi yangu bora huko TZ. Hongera King Kikii kwa sauti ya kipekee.
@suleimanjabir82710 жыл бұрын
This was the first and original Marquis du Zaire: Chinyama Chiyaza; Saxaphone-Band Leader, Vocals: King Kiki, Mbuya Makonga, Kabeya Badu. Mutombo Litungula Odax, Solo: Nguza Viking and 2nd Solo: Ilunga Lubaba, Rythm: Mulenga Kalonji, Bass: Ilunga Banza Mchafu, Others were: Chibangu Katayi, Kanku Kelly (trumpet), Iluga Ngoyi, Bambu Kelly, Ngoi Mubenga, Mutombo Sozy (Conga and Drrums), Nkulu wa Bangoi (Trumpet), Mukuna Roy (Tena Sax). All those I can remember, I'm subject to be corrected. Ndio uungwana, kwani makosa hayana mwenyewe. Sisi sote si wakamilifu. God is Great and Always Good!!
@jamesangana_lingalarumbainstit2 жыл бұрын
Thank you
@hamisikipita79462 ай бұрын
Umetisha sana sule
@makumbele15 жыл бұрын
unachie wangu eeh, mama eeh ni wangu eeh... tumeshazoeana eeeh mwana Dodoma!!! Dekula, mbona leo lazima nile ugali!!! kumbukumbu nyingi sana.. aaah maisha...
@jaafarmkatta13367 жыл бұрын
Nakumbuka wakati huo redio moja tu RTDV .Hiyo rithim inanikumbusha mbaaali. Mm CHIIKALA CHIKAUJA
@DavidJohn-wv9yt9 жыл бұрын
Yakale ni dhahabu bwana!!
@MrSinafungu14 жыл бұрын
NI ILE MARQUIS halisi, nakumbuka hapa bado niko shule ya msingi nahisi ni miaka ya sabini na tisa kwenda themanini kama sijasahau
@wesnsomba7 жыл бұрын
Nilimaliza shule ya msingi 1979. So we must be the same age. Nilisoma sekondari Dodoma, hata Dora alieimbwa kwenye wimbo huu niliwahi kumuona. Alikuwa mfanyakazi RTC if I remember correctly
@azaliamwimbe21449 жыл бұрын
TUWE NA WIVU WA MAENDELEO YA DHATI BILA KUDHURU WALA KUJERUHI KWA MANUFAA YA VIZAZI VYETU.
@hamisikipita79462 ай бұрын
Na kwenye hvyoo vipande vipande vya wanamuziki wanapiga ktk uwanja hapo ni jamhuri stadium dodoma
@CharlesNazi10 жыл бұрын
Maqis Original inatukumbusha mbali utazipata Mwanza
@azaliamwimbe21449 жыл бұрын
TUAMKE, NA TUSIMAME NA TUELEKEE KWENYE MALENGO YENYE KULETA MAENDELEO HALALI.
@azaliamwimbe21449 жыл бұрын
Hao walikua ndio mainjinia wa muziki, kwani walikua wanauwezo wa kufanya utafiti wa muziki na kuweza kuutengeneza manual, na kila mshiriki na chombo chake na atakapowajibika na mapigo yake. Hawa ndio wahandisi wa muziki na magwiji. Turudi NA KUWAENZI KWA VITENDO.
@jamesangana_lingalarumbainstit2 жыл бұрын
Ukweli
@chrispinmakemo81467 күн бұрын
Ni kweli kabisa!
@ShukuruTamla-lp6tm2 ай бұрын
Nakumbuka narudi toka shule ya msingi minazimirefu ukonga naelekea nyumbani ilala mtaa wa bukoba. Mfukoni sina hata shilingi moja baada kulipa nauli ya mabasi ya UDA.
@jamesnselle9348 жыл бұрын
Sulemani hilo solo guitar lilpigwa na Ikunga Lubaba. Ila sax ya Chinyama imeniacha hoi kwenye wimbo.
@asrams15 жыл бұрын
hahaha wazee wa zamani mlifaidi.. hahaha
@papaakea68927 жыл бұрын
asrams nakumbuka mbali sana
@najmasaleh92313 жыл бұрын
Hata ww subiri za kina Nasibu Abdul (Diamonds)utafaidi pia ukija kuona video zake anashika kiuno anakatika mara aonyeshe nguo za ndani utakuwa unafurahi tu
@afuani45232 жыл бұрын
Hakika kweli ya kale ni dhahabu, kwani vitu hivi ni adimu sana kuvipata siku hizi.