THE GREAT GUITARIST & COMPOSER NGUZA VIKING "BIG SOUND"
Пікірлер: 131
@mutwaitumo3566 Жыл бұрын
This reminds me my life as student VSs Taita. Big up to kina Mwangoka,mzee power,,Basheikh, Peter Kung'u,Gosha Karisa,Joseph Bahati,konde maina ngugi tetc.. etc ..
@kibasamohamedi80294 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana hizi zilikuwa, aiseeeeeee wangp wanaburudika na nyimbo nzuri kama hizi. Mwaka 2020 km unaisikiliza pitisha like
@malcelalihawa60344 ай бұрын
2024
@Johnboscojr Жыл бұрын
Burudani kamili, listening from Greenlife Trees in Migori Kenya. Nakumbuka enzi hizo nikiwa mwanafunzi Kanga High School. Kweli siku zaenda.
@ogachieamonn491Ай бұрын
Wow! What an incredible performance of Ni Wewe Pekee by Viking. The energy, passion, and connection to the audience were absolutely breathtaking. Truly a masterpiece that touches the soul-well done!
@joycekitundu9335Ай бұрын
The best song ever ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@braienkris5174 ай бұрын
Nilikuwa nasikiliza hii nyimbo kwenye redio ikabidi ni i shazam chapchap.... Moja ya nyimbo nzuri kutoka kwa Nguza Viking na kundi lao kwa ujumla 🙌🙌🙌
@mzuvendi4 жыл бұрын
Siku zinapepea haraka nilipita hapa 3 yrs ago..mola tupe uzima na afya! Amiin.
@godlovedonkoli6050 Жыл бұрын
Good Music I like it until 2023
@DominickKuboАй бұрын
Inanikumbusha marehemu baba mzee Kubo alikua anaupenda sana huu wimbo
@suleimanjabir82710 жыл бұрын
This was my late Mother favourite song. She used to sing and dance with my father. Oh! Good Lord Rest Her Soul in your Heavenly Peace!
@richmahegah77406 жыл бұрын
Amina
@daidoreuben84085 жыл бұрын
Tears fall on my checks when I rember how my late dad loved this music Rip till we meet again.. Amen
@dennisfestus11233 жыл бұрын
Kula kulala kwa mawazo
@robertmbelwa1622Ай бұрын
great song for us who are far away from our loved one
@wasongakowino69355 жыл бұрын
This belongs to that Golden age of East African Music
@ogiekriftvalley64973 жыл бұрын
Cool music. Reminds me early 90s when I was young boy, 12yrs! My father used to listen after news of saa saba. KBC. When music was music. Long life Dad and Mum. Am now 43 and still enjoying the music.
@mwasakafyukasamson12 жыл бұрын
Kati ya nyimbo ambazo nimeisikiliza mara nyingi bila kuchoka ni huu, Mungu Mkubwa huu ni zaidi ya urithi, muziki unanguvu jama,,,,,,,,,,,,,,,,,! Niusikiapo nakumbuka mambo mengi sana.
@mamachris68115 жыл бұрын
Zilikua nyimbo za mapenzi na mapenzi yenyewe yalikuwepo Siku hizi in nyimbo za ngono tu na mapenzi hakuna ni pesa tu.
@Txmnaz14 жыл бұрын
am only 26yrs but i love this songs...those days!!!!!!!!!!
@ulimbombonaulindi5088 Жыл бұрын
You are now 38, time flies ☺️
@robertshonga94615 жыл бұрын
Hakika nyimbo his zinanikumbusha Ardhi Institute 1978 tulikuwa tunatoroka chuo
@louisendunguru7106Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@RyanMbageАй бұрын
Reminds me of my two late brothers
@bensonmonjero Жыл бұрын
Enzi zangu 80s nice
@salehekidiba86757 ай бұрын
Naitwa Saleh kidiba, inanikumbusha nyumbani wilaya urambo mkoa wa tabora, mzee wangu alikua anaiweka kila siku jioni wakati wachakula
@Rkerry5 ай бұрын
Naipenda inchi ya Tanzania saana🤝
@josephmwanzui42447 жыл бұрын
I like it. Dearly I wish my. Wife was listening to this song
@josephmwanzui42447 жыл бұрын
This is when music was music
@kwelitu39417 жыл бұрын
when was that? I thought Jaguar is the real deal?
@nyabisemaro20957 жыл бұрын
Daaaaaaaaah Namkumbukaaa Baba anguuuu Mzaziii na Kipenziii Changuuuuu ndio alikuwa anapenda kuisikilizaa kwa sasa niko naeee Mbali love you so much my father
@veronicangwale71597 жыл бұрын
kama mm wanguuu dah mungu akulaze pema peponi george
@nyabisemaro20957 жыл бұрын
+veronica ngwale Amina pole Veronica
@christinaalexander12137 жыл бұрын
Mine too...rest in peace dad
@bernarddaudi96576 жыл бұрын
OK! Mungu alikupa kipaji Mungu amekuokoa toka kwenye tundu LA simba ni wakati wako sasa wa kwumwimbia nyimbo za kumsifu Mungu. Halleluyaaa!!!
@madirishamm59607 жыл бұрын
Rais Magufuli awasamehe Nguza Viking na Papi Kocha leo siku ya Maadhimisho ya sikukuu ya uhuru wa Tanzania Bara. Safi sana Mheshimiwa Rais
@seintediprotection8 жыл бұрын
Mukubwa Nguza Viking I remember you since 1968
@patopartizzodientertainer8936 жыл бұрын
beautiful beautiful song..yanikumbusha baba akiwa hai...alikua yuapenda sana zilizopendwa
@JovinJohn-h1j7 ай бұрын
Nyimbo inaisiq sana,mungu amzidishie akili na hekima aliyetunga wimbo huu na kuimba
@georgemchalumbi50085 жыл бұрын
Nyimbo bomba sana haziishi hisia
@peterkiprotich50774 жыл бұрын
I love this song sana
@rubamann13 жыл бұрын
hahahahaha wimbo umenipeleka mbali sana. Thanks Dekula, thanks Radio Tanzania Dar... just sweet memories.
@amonijustini1197 жыл бұрын
Nguza viking nakumbuka miaka ya 80 zilibamba sana!!
@nehemiahbungei386Ай бұрын
Viry nicd
@makumbele15 жыл бұрын
kaka Dekula mbona unatupeleka mbali!!!!! Hizi ndio ngoma za kweli!
@allynjilinge49397 жыл бұрын
Ndugu zangu mnanipa raha Sana maana mnanikumbusha mbali kweli. Jitahidini mtupatie na CD player zake
@christineoumanabwire64384 жыл бұрын
Still here in 2020. So many good memories
@aggreyjoseph29663 жыл бұрын
nyimbo inahisia Kali mno mno mno
@laurentluya1856 Жыл бұрын
Wazee walijua sana kuandika,
@julithamuhale72713 жыл бұрын
Oohh! Ni wewe pekee ninayekupenda Joel! Asaante Sana mzee Nguza Vicking kwa burudani! Napenda sana nyimbo zako!
@samuelmuthaka33009 жыл бұрын
rememmber the song used from KBC radio monopoly days
@mwitasons2 жыл бұрын
Ngoma Safi
@ellykitia7817 Жыл бұрын
So tough song. The words and the bit are so nice
@salomelukaga43262 жыл бұрын
i really remember my late dady🥲
@JACKSON8183512 жыл бұрын
kaka sina lakusema zaidi niseme shukurani sana.
@dohabisophicateqatar17427 жыл бұрын
kweli wakati huo nilikua mdogo nikiona marehemu babayngu mungu amueke pema akisikiliza huu mziki
@richardgaya3965 Жыл бұрын
An ever green forever!!!!
@saadajohnson33619 жыл бұрын
Oh.......I miss home, sinza dar-es-salaam TZ.......I miss home!
@nasibugunda79274 жыл бұрын
Your welcome
@MrSinafungu14 жыл бұрын
big sooooound , mungu akutangulie wakuachilie na hizo kesi za kubambikiwa.
@mlumamluma74187 жыл бұрын
Nakumbuka mbali sanaaa
@MrRaredon9 жыл бұрын
Daima nitakupenda sooo nice
@lovejazzbass13 жыл бұрын
Dekula who are the musicians here do you know ? I remember "Club Raha Leo Show" every weekend!!! those days.
@philipmunga969 жыл бұрын
Kanyungu nyungu Nyungulula,,,Lovely Tune Indeed..
@peterkiprotich50774 жыл бұрын
Am happy nguza and babu seya are now free,lots of love men
@samkasulwa26678 жыл бұрын
The Big Sound- Nguza Viking -- Bwana Mukubwa -- osepelisa nzoto na nga papaa. musique oyo eza monene.
@mwandumazaoidrossa17027 жыл бұрын
Sam Kasulwa vraiment o lobi la vérité mwana mboka musique eza monene makasi
@dastanmboyaduu85406 жыл бұрын
kumbukumbu
@asteriamallya10874 жыл бұрын
My all time favorite song.. 🥰🔥🔥🔥
@jacklinedastani61129 жыл бұрын
asante kwa aliyepost hizi nyimbo
@larryokumu31875 жыл бұрын
Just very good music anyway; well planned and played, ama?
@lovejazzbass7 жыл бұрын
Vumbi, ume-remaster hii track? It sounds really good.
@yahyawatuta39028 жыл бұрын
"Its high time Nguza and his son be released" . wamesha onja joto la makosa tuna wamiss sana uraiani
5 жыл бұрын
Maombi yako yajibiwa mwaka 2017
@godfreymushi51255 жыл бұрын
Wametoka mungu mwema
@makulaikuku69095 жыл бұрын
daaa nimpate wapi atakayeniambia maneno haya nami nijione wathamani🤕
@robertbwekeria20938 жыл бұрын
Those days KBC just after lunch time
@kwelitu39417 жыл бұрын
wewe umezeeka!!
@edwinshikanda1545 Жыл бұрын
6:07 it like it played yesterday very nice ❤❤
@veronicangwale71597 жыл бұрын
asanteeeee jamaniii dah
@pauloyoo64608 жыл бұрын
i love the song so much
@restymlale60036 жыл бұрын
Wow! Nice music. "😀😀"
@winifridandale82394 жыл бұрын
Hewaaaaaaaaa
@zaitunsalem3319 Жыл бұрын
2023 tuko wangapi
@brysonkalu8067 Жыл бұрын
❤
@makumbele15 жыл бұрын
Zembwela mama tucheze zembwela....
@yaassinridhiwani35586 жыл бұрын
Mambo ni murua
@SamuelChai-t4o7 ай бұрын
Kama tpokjazz
@abbassalum18642 жыл бұрын
Fire🔥
@wellingtonenyongesa5698 жыл бұрын
when music was music indeed
@saidlembeli9896 жыл бұрын
My brother was singing this song remind me a lot things
@nasibugunda79274 жыл бұрын
Yes
@simiyurahab18814 жыл бұрын
Used to listen to it when I was young in early 90s. Today I sing to my husband every day ❤️
@samuelmwaipopo13024 жыл бұрын
DDC magomeni kondoa nilikuwa mdogo nyumba yetu haipo mbali nilikuwa nasikia nyimbo zote asubuhi tunawahi kuangalia kama wacheza dansi kama wamedondosha pesa sakafuni na kwenye bustani 😀😁😁😀😁😁 sometime tulikuwa tunaokota hata sh 30.
@judyboucher20328 жыл бұрын
those were the days
@charlesopondo88602 жыл бұрын
Educative music by then
@Txmnaz14 жыл бұрын
i will listen to more of their lovely music for sure
@teddyambundo90619 жыл бұрын
The foundation of Bongo Music
@salimgarise85687 жыл бұрын
Good music
@abrahamankanji33988 жыл бұрын
.....Chigalula!
@mzuvendi8 жыл бұрын
Inanikumbusha Ngara, mkoa wa Kagera nilikozaliwa mwaka 1958 na kuondoka mwaka 1974! Asante Dekula...Hii ndio "Original" Ni wewe pekee...nakumbuka ndio first time kuusikia nimeshuka Dar 1981 na damu imenichemka! Siku zinaruka jamani! Toka niondoke Tz miaka 43! Nashukuru mola bado nipo hai kuandika haya!
@sethmartin19396 жыл бұрын
cool moods
@rwezahurarevocatus18866 жыл бұрын
Cool music, we thank all 4 good job done and those who were able to bring these, God bless u.
@moarchitect73006 жыл бұрын
Njoo utembee nyumbani
@gloryshayo68746 жыл бұрын
Karibu Tz Karibu Ngara na viunga vyake Benako,Rusumo,Rulenge n.k
@othmanalsherem73135 жыл бұрын
Huo mwaka unashuka Dar mie ndio nazaliwa, kweli maisha yanakwenda mbio
@anamariafernandes17317 жыл бұрын
Beautiful!
@theadvertisertv.channel9348 ай бұрын
this is orchestre marquis
@saidachekaaali13077 жыл бұрын
Ndugu Dekula2,wapi the original version?Hebu nayo pia iweke hapa.
@celebritynet-z3t7 жыл бұрын
nyungulura...
@godfreymushi51255 жыл бұрын
Hadi raha h track
@mamitojuma70607 жыл бұрын
Maneno yako yote nimeyapoke x2 kwa roho moja zilipendwa hizi
@4BUKOTODYNASTY15 жыл бұрын
good song, soothing and romantic! thx 4 posting
@halidhalid68227 жыл бұрын
ashukuriwe mungu aliye watoa gerezani mbarikiwe papiiii
@oendaelgidion66777 жыл бұрын
MX wa zaman hauna mpinzan
@dastanmboyaduu85406 жыл бұрын
zko vizur
@joanrwegoshora7854 жыл бұрын
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
@abdulnjengite14115 жыл бұрын
Naweza ukanipatia nyimbo hizi kwenye frash naomba namba
@matemondungu85056 жыл бұрын
Hizi nizile nilikuwa napenda kusikiza nikisome, secondary
@dennismselema10765 жыл бұрын
Wapi nguza Viking (Babu seya)?
@puresounds54265 жыл бұрын
Any translations ?
@SamuelChai-t4o7 ай бұрын
Like to ok jazz reminds me of orch makassy @ kaloleni giriama Kwa Mzee Charles mwango