DOTO ANUSURIKA KUPIGWA NA MARUNGU KWA TUHUMA YA KULAWITI MTOTO WA MIAKA 8

  Рет қаралды 26,191

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 147
@Official83640
@Official83640 26 күн бұрын
Dah sijui tufiche wapi watoto wetu Subhannallah 😢😢😢😢
@Zainab_salat
@Zainab_salat 23 күн бұрын
Kweli
@muniramunira401
@muniramunira401 23 күн бұрын
😢😢
@HadiaMohammed-ec2dn
@HadiaMohammed-ec2dn 23 күн бұрын
Ata selew😢
@ALNAVSINKINDOLE-tr9qs
@ALNAVSINKINDOLE-tr9qs 26 күн бұрын
Tuliojua ni dotto magari Tujuane hapa❤
@MajimbiTz
@MajimbiTz 26 күн бұрын
😂
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 26 күн бұрын
We msenge nini
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 26 күн бұрын
Mimi hapa
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 26 күн бұрын
Mlishindwa kumpiga jmn had police wamefika? Mbn raia tumekuwa wajinga hv Jaman" Leo kwa mtt wa mwenzetu kesho kwetu 😭
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 26 күн бұрын
Nimekuja mbio😢
@chikujuma18
@chikujuma18 25 күн бұрын
😢😢😢 jaman Tumrudie Allah tunasahau Kama kuna mwenyezi mungu jaman tusali jaman Dunia tunaipeleka wap
@RehemaMwakisyala-k9u
@RehemaMwakisyala-k9u 26 күн бұрын
Jaman inaumiza sana duuu nimeshindwa kuvumilia sijamaliza jaman nimejikuta nalia
@HusseinSuleiman-g3b
@HusseinSuleiman-g3b 25 күн бұрын
Mimi nawalaumu Polisi hawako makini kwasababu haya matukio yalitokomea kabisa
@RehemaMwakisyala-k9u
@RehemaMwakisyala-k9u 26 күн бұрын
Eee Mwenyez mungu tuhurumie nusuru kizazi chetu 😭😭😭😭 roho inauma we mama wa mtt mungu akutie nguvu pole sana mtt mungu akusaidie
@muniramunira401
@muniramunira401 23 күн бұрын
Ameen🤲🏻🤲🏻🥲
@RonnieBertin
@RonnieBertin 24 күн бұрын
Msiwe na hofu wananchi so amekamatwa na polisi najua ataachiwa na akiachiwa fanyeni episode 2
@AishaHaji-h4d
@AishaHaji-h4d 26 күн бұрын
Msituharibie watoto jamani msituulie watoto Kwanini wanaume mmekuwa mnamambo ya kifala sana napata hasira sana mimi
@VincentGasper
@VincentGasper 26 күн бұрын
Wanaume?? Wangapi ni uyooo alieshikwaaa sio woteee
@joshuaaizack6973
@joshuaaizack6973 25 күн бұрын
we faraa nini kwaio hata babako, kaka zako na mmeo wanalawiti???? tumia akili kujenga hoja
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 26 күн бұрын
Mbona hawakumpiga mpaka wakamuua aaah! Huyo jamaa ni wakuuliwa bwana
@salumunsabimana6502
@salumunsabimana6502 23 күн бұрын
Niwape ushauri mkipata wanyama kama hao msiwapeleke polisi waingizeni miti alafu mtiyeni moto muone polic watasema nini ushahidi ukowazi .
@mgesizablon790
@mgesizablon790 26 күн бұрын
Yaani hapo mngemtega tu kwa kumtuma mtoto Kisha mtu akatoka nyuma kimya kimya patamu hapo kipogo cha umbwa mwitu
@kolosii4351
@kolosii4351 22 күн бұрын
Wananchi hapo mmetuangusha, huko alikoenda anacheleweshwa sana. Lingekuwa fundisho kupelekwa kituo cha wananchi wenye hasira kali wakammaliza basi. Wengine wangejifunza.
@AwaziRajab
@AwaziRajab 23 күн бұрын
Mama Usilie Akiachiwa Cheza Nae Aende Kuzimu Uko Mshenzi Uyo Mlitakiwa Mumlize Apo Apo Laiya Mnashika Marungu Alafu Waoga Uyo Pepo Mlitakiwa Apo Apo Shingo Zitengane Na Mwili Kakomalia Tumboni Uyo Kwa Mama Yake Asiachwe
@DavidDanken-uf7kp
@DavidDanken-uf7kp 26 күн бұрын
Afande uko vzur Asante sana!
@hamidashakhbot2557
@hamidashakhbot2557 24 күн бұрын
Mimi naona selikari iweke sheria anae uwa nae au wawe na anae baka nae au wawe tena hadharani hii nadhani hii tabia itakoma kabisa sasa nchi yetu imezidi na mambo ya kikatili .
@dogodogo595
@dogodogo595 20 күн бұрын
Dunia imefika mwisho. Turudi kwa Allah
@MarthaNshunju
@MarthaNshunju 26 күн бұрын
Si huyo dotto ahanisiwe tu maana akipelekwa polisi atatoka na ataendelea kutuhalibia watoto
@dazuujuma778
@dazuujuma778 23 күн бұрын
Wahifadhi watoto wetu yaa Rabbi
@oyay2821
@oyay2821 26 күн бұрын
Nilidhani Dotto Magari
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 25 күн бұрын
Subhanallah 😢ya Allah tujaalie mwisho mwema 😢
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 26 күн бұрын
Subuhanallah sijuikwanini wanaumewengi wanapenda kuwaaribu watoto wakiume kwakuwafanya nyuma. Allhahu akibar. Mtihani tunao
@SuinaDullah-ii4lh
@SuinaDullah-ii4lh 26 күн бұрын
Huyu mjingaa sanaa inshaalha mungu atamuangamia
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 26 күн бұрын
Yani imeniuma kama mwanangu Yani polisi wawili ndo wamewazuia wananchi ote apo,,yani uyo mbwa alitakiwa amalizwe apoapo ,yani uo niuzembe 😭😭😭
@raheemsaleh14
@raheemsaleh14 20 күн бұрын
Pingine ata police wanatamani wamtie vibao lakini tatizo camera izo kesho watasema police wana…. Ila naamini ata police apo wamemaindi
@carolinemariki4029
@carolinemariki4029 26 күн бұрын
Wakati mwingine polisi wananiudhi mimi mpige makofi kwanza akili ifunguke... kwa hali hiyo wangeachia tu raia wa deal nae bwana. J
@ladyr.hamsini2311
@ladyr.hamsini2311 26 күн бұрын
Subhannah Allah 😭😭😭
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 26 күн бұрын
Bora mngemuuwa mbwa mkubwa laanatullah jamani roho yaniuma 😢😢😢😢😢😢
@MajimbiTz
@MajimbiTz 26 күн бұрын
Inalilahi wainalilah rajun Allah atujalie vizazi vyema🙏🙏🙏🙏🙏
@user-uc8ee8eq9m
@user-uc8ee8eq9m 23 күн бұрын
jamani hii Dunia ime fikia wapi Sasa serekali mujuwe kwa mwenendo huu taifa Lita kosa nguvukazi ya vijana watu kamahawa ni wa kuliwatu hawana mana kabisa inauma sana sana Tena sana piga risasi moja kwa moja kudadadeki hili jambo SI lakubeza nisawa wazazi Wana jukumu la kuwalinda watoto ila naona kama serekali haito kuwa na ukweli taifa Lina potea
@user-nd8gg4ig7m
@user-nd8gg4ig7m 26 күн бұрын
Pole sana mama 😢😢
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 23 күн бұрын
SASA KESI KAMA HII UTASIKIA SEREKALI WANASUBILI USHAIDI UKAMILIKE😢MGEWACHIA WACHUKUE SHELIA MIKONONI TU
@dulasele-ud8cw
@dulasele-ud8cw 26 күн бұрын
Mi naona kama serikali hii ya awamu ya 6 imekuja kutujazia ushoga mana naona kama jambo hili wamelipuzia sana awamu ileeeeee walitujazia mateja😢😢😢
@Arsenal5000
@Arsenal5000 25 күн бұрын
Sasa serikali inahusika vipi hapo matako ww
@RonnieBertin
@RonnieBertin 24 күн бұрын
Selikali Lele mama wakati wa magu kulikuwa hakuna usenge wa aina hii. Very 😭
@sampachino5184
@sampachino5184 23 күн бұрын
Uyo afungwe maisha
@kolosii4351
@kolosii4351 22 күн бұрын
Wamemwaribu huyo mtoto. Akikua atakuwa hivyo hivyo na yeye kuwafanyia wengine.
@ElishaMakuza-i2p
@ElishaMakuza-i2p 23 күн бұрын
Ewe Mungu tukumbuke sisi niwako
@user-gy5fo6zv6w
@user-gy5fo6zv6w 23 күн бұрын
Wakati kengere zake kisha wazipe mbwa,, sini bora apige nyeto jaman
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 23 күн бұрын
Haya ni matokeo ya taasisi zinazoendesha ushoga lkn tulizikumbatia kama mayai ,inauma sana yaani,na sisi tupunguze kutuma watoto nenda dukani wewe na je Mtoto siku zote unamtuma hadi anafanyiwa KITENDO kama hicho na akachelewa humuulizi ULIKUWA wapi?
@muniramunira401
@muniramunira401 23 күн бұрын
😢😢😢😢
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 23 күн бұрын
Tuseme nini mungu wetu jamani watoto wetu 😭😭😭
@shuwanaliloka3816
@shuwanaliloka3816 23 күн бұрын
Dada mi nalia na wewe pole sana . Inauma jamani tuone hivyo hivyo. Namuombea Kwa Mungu mtoto aache kabisa hiyo tabia.
@DativaMbowe
@DativaMbowe 25 күн бұрын
Uwiii😭😭😭
@BurhaniSaidi
@BurhaniSaidi 26 күн бұрын
Huyo mbwa auliwe tu mademu wote hao waliojaa mbwa huyo
@SuzanAugustiano
@SuzanAugustiano 26 күн бұрын
Inasikitisha sana aiseeee...😭😭
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 26 күн бұрын
Huyo mbwa auawe
@NapeDkilia
@NapeDkilia 23 күн бұрын
Hii kitu omba isikukutee ndo utakavyo uona uchungu wa mtoto vzr. Inatakiwa serikali itoe zamana ya watu hawaa.
@Zainab_salat
@Zainab_salat 23 күн бұрын
Jamani kwanini wanaharibu watoto, tuwapeleke wapi watoto hawawezi kucheza huru. Pole mama atakuwa sawa
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt 25 күн бұрын
Yaani ningekuwa mm ndo mzazi wa huyo mtoto tunge gawana majengo ya Serikali
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 23 күн бұрын
Nakwambia tungefugwa wote mana wanakaliaga kusema tumechukuwa Sheria mkononi singejali ningepoga jiwe la kichwa bila kujali tusileteane upuuzi
@edinafaustinez8514
@edinafaustinez8514 26 күн бұрын
Pole sana mama
@omanoman2044
@omanoman2044 26 күн бұрын
Masikin wallah wazazi tunaum8a san sisi ambao tuko mbali na watt wetuy tutakufa wallah
@shabanialfani5394
@shabanialfani5394 26 күн бұрын
Hebu iwekwe Sheria ya kuwahanisi hao Watu wanaowalawiti Watoto wadogo
@mustaphakijazi9807
@mustaphakijazi9807 25 күн бұрын
Innalilah waina lilah rajuun
@user-of7uy8kb4t
@user-of7uy8kb4t 25 күн бұрын
Duuu inauma sana
@user-ih9ou6bx2n
@user-ih9ou6bx2n 25 күн бұрын
Jamani inaumiza sana inatakiwa auwawe
@herrynkinda6589
@herrynkinda6589 26 күн бұрын
Jamani...😭😭😭😭😭
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 26 күн бұрын
Mmhhh mtihani sana
@user-nl6yp7ku9x
@user-nl6yp7ku9x 25 күн бұрын
Watoe sheria kama kwa panya Road yeyote alipatikana auwawe kama panya Road asirudi tena nchini mzazi au ndugu zao wakachukue mtu wao wakazike... hao wahalifu wabakaji watakoma. Mungu awaalani hukumu zao atawalipa hapa duniani
@HusnaMtitiko-yt4ru
@HusnaMtitiko-yt4ru 25 күн бұрын
Yani kila siku wanao watoto wanauliwa kwa kubakwa na kulawitiwa ila bado wanawakumbatia wabakaji wangemuachia apige afe😭💔
@halimarasso254
@halimarasso254 24 күн бұрын
Kwa nn hakuuwawa..ingekuwa kenya tungemaliza mchezo on the spot
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 25 күн бұрын
MBONA POLICE MNAACHA WATU HAWA HURU😢😢😢😢 HAWA WAKUULIWA TU
@omanoman2044
@omanoman2044 26 күн бұрын
Subkhan llah wangempiga hata kam askar wapo duuh
@ramadhanimwinyi-7445
@ramadhanimwinyi-7445 24 күн бұрын
Ili yaishe haya wakikamatwa wachinjwe mara moja
@ommynations.9157
@ommynations.9157 26 күн бұрын
Mama poleee
@user-tb5bt8lq8j
@user-tb5bt8lq8j 22 күн бұрын
Kwanini msimuuwe tu wakienda huko wanatamba na wanarudi😢
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 23 күн бұрын
Sosadiiiii😢😢😢😢
@rithaurassa
@rithaurassa 19 күн бұрын
Afande anaelimisha vizu.sio hawawengine wanitoa ufaham kabisa
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 26 күн бұрын
😭😭
@jamamabdully4351
@jamamabdully4351 26 күн бұрын
Hawa watu tungeachiwa RAIA tuwamalize kwa kipigo hii tabia ingekoma kwakwel inauma sana dada pole sana nimeumia sana
@Djsunirytz
@Djsunirytz 23 күн бұрын
Kwaio mtoto alikua anaon raha au mpaka awe kimya
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 26 күн бұрын
Dunia inaelekea wapi jamani😢😢😢
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 26 күн бұрын
Jamani mbona dunia yaenda vibaya vizazi vyetu vinakwisha mhhhh
@RonnieBertin
@RonnieBertin 24 күн бұрын
Yaani machangudoa woote wa dar na mtu anafanya usenge kama huo. Very funy
@Rukwembe7712
@Rukwembe7712 22 күн бұрын
Kuna jamaa apo amevaa tishet nyekundu anaonekana icho kitambi ameshakichoka
@Lilmbunah
@Lilmbunah 26 күн бұрын
Kmmk msenge hana haki ya kuishi huyo auwawe
@davidfrancis7619
@davidfrancis7619 26 күн бұрын
Doto magari au😂😂😂😂😂
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 25 күн бұрын
Iyo panya aijui uchungu watoto
@Zena-vv5sf
@Zena-vv5sf 25 күн бұрын
Pumbavu sana uyooo chaliii
@RobertsonNandime-eo9fp
@RobertsonNandime-eo9fp 26 күн бұрын
NI DOTO MAGALI AMA MASIKIO YANGU ASIYE FAA KA FAA siongei kama mazuli laki inasikitisha Mungu alingilie amaana duh dunia imeisha kweli
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 26 күн бұрын
Kwan tz kuna shida gani?🥺
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 26 күн бұрын
Hini kampeni ya ushoga .maana matukiyo yamezidi sijuitatizo nini
@IreneMacha-g8o
@IreneMacha-g8o 26 күн бұрын
Sijaweza hata kumalizia
@henrypeter1361
@henrypeter1361 26 күн бұрын
Nikajua doto magari
@radiusmgambwa7062
@radiusmgambwa7062 26 күн бұрын
nikajua Dotto magari
@prosperiamani
@prosperiamani 26 күн бұрын
ais serekali yetu unazingua uyo auwaw kwanza iwe funzo kwawengine make wamezidi
@ramadhanisenzota1169
@ramadhanisenzota1169 26 күн бұрын
Pigeni mawe mengi uyoooo mpaka afeee shetani sanaa
@user-cc2kw5jr5z
@user-cc2kw5jr5z 23 күн бұрын
Mung tuhurumie kizazi chetu
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 26 күн бұрын
Haki hii nchi imejaa laana ubakaji ushenzi nje nje watu hawanahaya kabisa mh
@nellymtambo8432
@nellymtambo8432 25 күн бұрын
Serikali tunaomba muliangalie hili ulawiti umekua mwingi sana Tanzania tunaomba serikali mlifanyie kazi na wazazi lindeni watoto kwa njia yoyote lindeni watoto 😮
@mkombozsanga
@mkombozsanga 26 күн бұрын
We doto 😢😢😢
@memesnamatukiomuhimu8453
@memesnamatukiomuhimu8453 25 күн бұрын
Madem wote hawa unaanzaj kubaka yaan Haw wabakaj wakikamatwa adhabu yao wabakwe na wao hadi kufa✌️
@HusseinSuleiman-g3b
@HusseinSuleiman-g3b 25 күн бұрын
.ningekuwa na uwezo ningelipangua jeshi la polisi lote
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 26 күн бұрын
Hawa wazazi nao wana matatizo ... siku ya kwanza tu kujua mtoto anatofauti lazima kama wazazi lazima muanze kulifanyika kazi. Tatizo uswahilini wazazi wengi wanajua kabisa sasahv mambo yameharibika lakini wao walaa hawajali ...yani mtaani utakuta mpaka saa 2 , 3 usiku unakuta watoto wanazurura tu mitaani. siku hiz kuna kulawitiwa kwa watoto na kubakwa pia kuibiwa watoto. kila mzazi lazima amlinde mwanae jamani ...hali sio nzuri.
@esabelfadhili8432
@esabelfadhili8432 26 күн бұрын
Ni kweli!Unamtuma mtoto dukani alafu achukue muda mwingi kurud hushtukiii?Alafu kutuma tuma watoto usiku dukani sio sawa kabisa,Tuwe makini na malezi ya watoto
@ramadhanhassan9308
@ramadhanhassan9308 26 күн бұрын
Malezi ya hovyo
@user-en2md9kn5n
@user-en2md9kn5n 25 күн бұрын
Jaman vp kuhusu wale askari waolawiti washakamatwa??
@surusuru1994
@surusuru1994 25 күн бұрын
😢😢😢😢😢🤐🤐
@omanoman2044
@omanoman2044 26 күн бұрын
Angepigwa huyo kijan tumechoka duuh
@MaulidHimili-vq5df
@MaulidHimili-vq5df 25 күн бұрын
Yañi huyo msenge wangemuua tu
@demicratia4071
@demicratia4071 25 күн бұрын
Kuna nini kwenye hizo mbo..o zikikatwa Mbili au tatu watakomaas wakatweeee ili wawe wanapiga konyetooo sabuni bei RAHISI MBONAA
@ogdosho93
@ogdosho93 26 күн бұрын
Wazazi kuweni makini sana na watoto tuache ukali kwa watoto sometimes wanapitia mengi... Sasa baadae wakiwa ma*Hoga mnaanza kuwalaani kumbe utotoni hamkua na ulinzi na urafiki kwa watoto tuwe makini sana
@demicratia4071
@demicratia4071 25 күн бұрын
Kuna watu hawana kazi wanatafuta ka😄zi tangazeni kazi za kukata mborrrr as Wabakaji na wanaolawiti watoto watu wata apply zikishakatwa zikaushwe ziwekwe kwenye kumbukumbu historically
@RashidShinza
@RashidShinza 26 күн бұрын
Misada yamalekani itatuuwa jamani hawafungwi hao kuhofia malekani
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 26 күн бұрын
Watu wa namna hii nikuuwawa tu wala sio wakuishi ,alaaniwe huyo
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 25 күн бұрын
Wangemuacha kwanza wamponde
@engineerismael2186
@engineerismael2186 26 күн бұрын
Mngemuua tu uyo yan anaenda polis ajapigwa ata kidg
Alat yang Membersihkan Kaki dalam Hitungan Detik 🦶🫧
00:24
Poly Holy Yow Indonesia
Рет қаралды 11 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 50 МЛН
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Кушать Хочу
Рет қаралды 1,4 МЛН
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 11 МЛН
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 86 М.
BILLIONEA ALIYEFIRISIKA NA KUWA MUUZA GENGE ASIMULIA MAZITO
51:17
HILI NI HARAM ! INASIKITISHA // SHEIKH KIPOZEO
14:28
arkas online tv
Рет қаралды 8 М.
SINGLE MAMA ep 02 (@asmacomedian9021 )
8:10
ASMA COMEDIAN
Рет қаралды 592 М.
Alat yang Membersihkan Kaki dalam Hitungan Detik 🦶🫧
00:24
Poly Holy Yow Indonesia
Рет қаралды 11 МЛН