Pole sana ndugu , usikate tamaa muombe sana Mungu na kuwa muaminifu kwake atakuinua zaidi na atakuonyesha wapi ulianguka na kukuokoa.... kuanguka kwa macho ya kawaida unaweza ona n kawaida lakini nyuma ya pazia binadamu ni wabaya sana usipate hata kodogo tu fitna zinajaa utaandamwa kila siku kiuchumi na kiroho,,, Amini nakwambia sali sana na toa sadaka ya kukugusa roho hakika utarudi barabarani
@MjumaSalima4 ай бұрын
Mm maibra Moshi usikate tamaa mungu yupamoja nawe pia jaribu kumtafuta Yule aliekuinua mwanzo
@PeterMuhina3 ай бұрын
Mtangazaj hii Kaz sijui kama unaifaham vzr unashindwa kuhoji vzr
@gmdigitostore85505 ай бұрын
Tunasema hivi, Umepoteza pesa au mtaji, lakini ujuzi, usoefu ulioupata muda wote huo, unafanya hiyo kazi, unadhamani kubwa kuliko pesa uliyopoteza. Ukiamua kuutumia ujuzi huo, utaweza kurudi kwenye mstari haraka zaidi, ya mwanzo. Wewe ni mgodi wa dhahabu. Jiamini, Anza tena. Anza kwa ufundi tena, jenga mtaji kidogo kidogo. Mimi nipifilisika, nikiwa vizuri kabisa, kwa ajili ya pombe.. Kwa sasa, nimerudi vizuri. Hakuna njia nyingine ya kurudi, lazima kwanza ujiamini unauwezo wa kurudi, halafu Anza kidogo kidogo..
@hamisially-c4x4 ай бұрын
Kabisa aisee pombe inamaliza watu wengi sana
@NasriRamadhani-po1lz4 ай бұрын
Kwel kaka
@JohnjosephMush4 ай бұрын
Pole sana hayo ni mapito , yale magari vipi ?
@Pachah2553 ай бұрын
Upo sahihi
@HamzaAbdallahAkilimali-wg5ld3 ай бұрын
Kijana usikate tamaa, miaka 35 bado umri mdogo. Hiyo ni kawaida tu, Mwenyezi Mungu hujaribu kiumbe chake kama mala mbili au mala tatu. Ili aione subira yako. Kikubwa jisahihishe ulikose wapi. Ktk. Kumuabudu Mwenyezi Mungu, kutoa sadaka, kuwathamini binadamu wenzako hasa wasiojiweza, kuwa mwaminifu, jihadhari na michepuko, na jihadhari na marafiki wenye lengo la kukuchomoa. (Usisahau kumuabudu Allah, kwa wakati) NINA IMANI UTAIBUKA TENA. Inshaallah.
@DJINNOSSBTZ4 ай бұрын
Aliyemfanya kuwa mzima mpaka leo ni mke wake mfikishieni hongera zake🤝
@calvin64455 ай бұрын
Mahukuru sanaa Mungu umefilisika na upo sawa sawa kiakili na unapambana na shughuli ndogo ndogo big up sanaaa Nina marafiki walifilisika wakawa vichaa kabisaa hadi ulevi wa gongo na pia wengine wamekufa kwa kushindwa kukubaliana na hali ilivyo kwa sasa
@brunomirambi87924 ай бұрын
HII IMEFIKA IMESOMEKA
@TheSalma19994 ай бұрын
Pole sana kaka wewe ni kichwa it is well utakuwa Sawa tu ila angalia sana wanawake sio watu wazuri take care of your self babaa
@SalimKombo-xo4pq4 ай бұрын
Mungu atakusaidia bro rama. Maisha ni safari ndefu. Ni mtihani tu.
@hamisimsosi62374 ай бұрын
Huyu kijana nampongeza Hadi Sasa anauza genge wengine muda huu amejinyonga au amedata yaani amekuwa chizi😭😭😭😭😭😭
@NasriRamadhani-po1lz4 ай бұрын
Kwel kabisa
@SharyMary-s8t2 ай бұрын
Kweli kabisa yaan bado Mungu anampenda sana
@narutonaruto43035 ай бұрын
Allah alikupa kwakukupima imani nakama hujazifanyia katika israfu nd maan zimeondk allah atupe utajir na taufanyie katik kusaidia wanaohitajia msaada kwaajili ya akher yetu
@naturelle10974 ай бұрын
Bora uhai Mungu atakuinua. Still young good looking Mungu akutetee!
@mohamedabdallah83214 ай бұрын
Kuchepuka kulikuponza ndugu yangu pole sana ndo maisha muombe sana mungu utakuwa sawa
@JumaGendeye-sv6yl5 ай бұрын
Du sante San king p tv nimejifunza vitu vingi San kutoka kwahuyo jaman ❤❤❤
@calvin64455 ай бұрын
Umejifunza nini kuhusu mwanamke
@spendjulius-qz9mt4 ай бұрын
@@calvin6445Bure kabisaa
@devothasimbi64954 ай бұрын
@@calvin6445imeandikwa ishi na mwanamke kwa akili
@JohnsonBagambi5 ай бұрын
Pole kiongoz kwenye maisha kuna changamoto nyingi omba uhai na afya njema mengne yanakuja tu
@ndimimaskati36415 ай бұрын
Ndio utajiri wa Kiafrika ukiinuka kidogo unamsahau mke unatafuta mchepuko kufanya ZINAA.
Mwanamke sio ndugu yako, ukimuamin utaumia sn, pole sn Mr
@devothasimbi64954 ай бұрын
Imeandikwa ishi na mkeo kwa akili
@gmdigitostore85505 ай бұрын
Hapa hapa, ungetoa namba, kwa ajili ya ufundi wako.. usingekosa kazi yeyote.. ungeanzia hapo
@Janetboaz5 ай бұрын
P0l0😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅l😅
@fabshad19795 ай бұрын
Tutampatia kazi inshaallah
@OmaryRamadan-m8v3 ай бұрын
Sema jasili haachi asili ukishajuwa kilochokuyumbisha basi ni kuanza upya vibaya ni kufirisika ukiwa ushazeeka
@FaustinKihambaSaragulwa4 ай бұрын
Jamaa yuko vzr kichwani,
@hamisially-c4x4 ай бұрын
Mtangazaji alishindwa kuuliza namna jamaa alivoporomoka mpaka kuuza magari Hadi tone lamwisho
@amosimariba98204 ай бұрын
Ukisikiliza vizuri amesema mwanamke aliempata kama mchepuko halafu akataka amuoe huyo ndiye chanzo cha kufilisika msababisha wa kufilisika hela akawa anaingiza kwenye account yake
@hamisially-c4x4 ай бұрын
Kuanzia kuanza kuuza gari lakwanza ailianzaje mpka tone lamwisho
@JUU-lw2je4 ай бұрын
Watu ambao mnasema habari za uganga mwombeni Mungu yasiwakute nimekuja hapa maana na mimi hali yangu inafanana na huyu nilikuwa nina hela nimefiisika nimeuza kila kitu nilichonacho sina hata pa kulala kwa sasa na wala sijwahi enda kwa mganga
@yudachelango68244 ай бұрын
Kivipi aise
@JamalKivambe4 ай бұрын
Pole
@RamadhanMussa-d1m4 ай бұрын
Hio nihali yakawaida kaka hata mm nilikuwa nazo zikapotea nilichomkubali jamaa katuliza akil nakujua kuwa Sina nianzie wap weg wao wanakuwa machiz hat mm kidogo nidate ila nikakubali matokeo
@JudithMapunda-i4o4 ай бұрын
Pole sana kwenye maisha kuna kupanda na kushukaa hivyo utapanda tu na ukipanda usisahau fungu la kumi na sadaka
@JosephIsanzu-g1r4 ай бұрын
Duuhh poje sana kaka never give up
@1free_time13 ай бұрын
Hehehehe Rama Rama uko wapi Rama ninatafuta Sana mamba yako Rama Mimi
@RenaldaZeramula3 ай бұрын
Mani.anaye.mfahamuntupemushahidi. siyomo8wa.mnatunga story 😊
@bakarially2534 ай бұрын
Naombeni mnikutanisha na huyu jamaa muhimu ana
@ndimimaskati36415 ай бұрын
Prsa ambazo sio za HALALI lazima Utafilisika.
@joymkenya23595 ай бұрын
Utajiri wa uchawi,,, wewe ulikuwa tu daraja nyota uliuza bila kujua 😅
@ibrahimsaloum49324 ай бұрын
sema jamaa good boy sana, anaonge kawaida tu kama hakijatokea kitu, mwandish apaswa kwambia ataje no zake ili iwe rahis kupata kaz.
@ashuraabdulmaalik53195 ай бұрын
Mshukuru Mungu pia bado anakupenda kwa7babu amekuepusha na mengi
@YakoubAliy4 ай бұрын
Pole ni ktkt mitihani machoni ni mtu mwenye Imani tulia muombee Allah atakufungua
Pole Mungu mpaji atakupa vyote vilivyo liwa vitarudi na hutarudia makosa Mungu akubariki
@lenniefei67105 ай бұрын
Ama ulikua na utajiri wa kishirikina kaka ?!.....WaTz wanapenda maisha mserereko mno 😂😂😂😂
@pascalsimion79294 ай бұрын
Mafanikio yanasiri sana yapo ya nyuma yapazia ambayo sio rahisi kuyazungumzia
@HeroJoseph-nm8pv4 ай бұрын
Nyinyi ni waongo Hana ata kumbukumbu za maisha yake ata picha ili tuelew kweri au mumeamuwa kutupiga to😲
@ilongasaid60834 ай бұрын
Pole sana kaka mkubwa. Mimi binafsi ndio maana MALAYA kwangu ni fish pori tu. Nachapa nakulala mbele. Tena wakati mwingine hua siwalipi maana hao ni MASHETANI Uliharibu kuweka makazi hapo.
@minaelnathanael18464 ай бұрын
Kisaikologia hii interview ni tiba kwako. Utainuka tu na ukishainuka . Mshike sana Mungu. Wewe ni mtu mwema sana
@joymkenya23595 ай бұрын
Pesa zile hazikuwa halali,,, mwenyewe tu alichukua vyake... Ndio maana ukapoteza fahamu,,, huyo boss alichukua nyota 😊 mwanamke alikuwa wa kutumwa, hata labda ndio alitumiwa. Aaaa mtu akupee pesa Africa 😅 ulipewa za ushirikina
@PaulHuncho-v3u4 ай бұрын
kaka usikate tamaaa ,pambana na hicho ulichonacho ,mungu anamakusudi na kila jambo .utanyanyuka tena.kikubwa mwamini mungu.
@digitalmoneytz96315 ай бұрын
Kwan sii uuze Yale magar upate mtaji wa kuanziapo? Au nayo ulihonga? Huyo nae kingpoo ajui kuliza point za muhimu
@vocalizertz68683 ай бұрын
Mtangazaji WA hovyo Kuna maswali muhumu sana hujamuuliza ,hujamuuliza hata magari yalipoteaje,maduka yalipoteaje,kam alikuwa mlevi,huyo demu wa Dubai alikuwa anajihusisha na nini na walikutanaje.
@WilliamKayanda-h2t4 ай бұрын
Dah kaka usikate tamaa mungu yupo
@IssaMsengi-q5p4 ай бұрын
Pole Sana ndg yetu nafas ipo tupambane
@ruthee18954 ай бұрын
Wewe ulimkosea mke wako,huyo mke wako wa baraka ulimuumiza naye mungu akakuchapa..Omba msamaha kwa huyo mke na mungu atakuregeshea
@ashantinicas2 ай бұрын
weye nawe
@JusterJeremia5 ай бұрын
Poleee ila bado unaongea kibos, na ucjali utapata kikubwa kuwa na subra.
@NasriRamadhani-po1lz4 ай бұрын
Kaka mm nakuashauri anza upya usikate tamaa ujuzi ulio nao ndio mkodi wadhabu jiamin tumia ujuzi wako mpya utarud kwenye gemu tena utakua bora Sana jipe moyo kukosea ndio kujifunza kaka
@medardkihekaabel26014 ай бұрын
Huyu Ni Mimi Kabisa😢 Ee Mungu tusaidie,Kumbe yametukuta Wengi.
@braitonilomo16354 ай бұрын
mungu atakufungulia njia mkuu nakukubari mpambanaji hachoki
@fatumahamadi13794 ай бұрын
Poke sanaaa ALLAH atakufanyia wepes Inshaallah
@tufikemnyone31824 ай бұрын
Kaka umesahau kuwa hata hizo za kwanza ulipata mtu akakubust? Bila Shaka utafanikiwa
@corneliasabuni77334 ай бұрын
Ungejua ungemfungulia account mkeo na umuwekee pesa zingekusaidia leo
@FrankMwakatima4 ай бұрын
pole sana jamaa endelea kumuomba mungu atakubaliki tuuu ila tumejifunza kitu toka kwako
@lailafakhihaji4 ай бұрын
Usikate tamaa kaka mungu anamakusudio yake kufisilika kwako endelea kumuomba mungu kwani kwa mungu hakuna kubwa
@NuruJara4 ай бұрын
Kaka sisi wake wa ndoa ukituchepuka den unamsitress mkeo kila mke akilia na ww wafilisika Kuna mungu maumivu ya mke na Bado Kuna haka kafala nakapa mda mchache
@tufikemnyone31824 ай бұрын
Mbona bado mdogo umri bado utafanikiwa ongeza bidii na umakini na pia muombe Mungu sanaaa
@tedygodwin54315 ай бұрын
Mungu atakusaidia ni mtihan tu wa maisha mwamini mungu tu arakupa tu
@naimarishedy15235 ай бұрын
Mungu hamtupi mja wake uwe na subra Allah muweza wa yote 🤲
@saribokoalluminiumGlassworks4 ай бұрын
Acha genge bro rudia maita umeelewa
@Dafetty4 ай бұрын
Duh aise pole sana kaka
@hamedmweru69554 ай бұрын
Ila mungu atakupa tena usiofu dumu katika imani tu
@yusuphswai68514 ай бұрын
Ila asikate tamaa Bado mdogo sana ajitaid kupamban
@LucyMassalu5 ай бұрын
Muombe mungu saana hatakuacha Lakin unapaswa.uwe na mwanasaikolojia wakukuweka Sawa kimaongezi.ila wew ni jasri kuwa mkweli na kujua wapi ulikosea unaweza kujipanga kichwani mwenyew
@AwaziRajab4 ай бұрын
Pesa Za Mapepo Azimuachi Mtu Salama Siku Zote Japo Sadaka Aichagui Pesa Lakini Vijana Tusake Kwa Haki Pesa
@khalilyjuma8135 ай бұрын
Duuhh pole sana kijana Kuna mafunzo mengine watu wanajifunza Kwa watu
@bakarially2534 ай бұрын
Umuhimu wa elimu ndipo unahitajika katika swala zima la biashara
@DanielSamike4 ай бұрын
Mtangazaji hajui kuhoji vizuri namna ambavyo alifirisika
@amosimariba98204 ай бұрын
Amesema mwanamke aliempata kama mchepuko ndiye aliemfilisi hela akawa anaingiza pesa kwenye akaunti ya huyo mwanamke
@annabyekwaso-wt7oi4 ай бұрын
Mbona kaelezea rudia kusikilizatena.
@muksiniMudrikat-v3z3 ай бұрын
Pambana kaka nakukubali
@Elisabeth-g4n5 ай бұрын
Pore sana kaka angu mungu atakusimamiy
@selekiwande33864 ай бұрын
Wamechukuwa nyota yake ila jamaa akiri imetulia amin mungu yupo atamsaidia atapata tena pesa nyingi
@grasiandastan79184 ай бұрын
Muombe Mungu atakupa upeo zaidi kurudi kwenye biashara
@lampadshigonko30064 ай бұрын
Kiufupi mwamba alipigwa libwata asee😢😢😢
@FadhiliSaid-mr8gq4 ай бұрын
Mwangu utatomboa waza chanya soma vitabu vya elimu ya pesa utaludi tena kwenye utajili wako ww unanafasi kubwa ya kufanikiwa
@Yusufu9405 ай бұрын
Maga jenga achana na magari ukiwa na kwako ni hshima kubwa
@hamedmweru69554 ай бұрын
Mimi nachukia sana wanawake pamoja ni mama zetu ila nawachukia sana. Sababu utampenda kawaida ila wao wataingia katika shirki tu
@imrankweka47524 ай бұрын
Usikate tamaa ilhali uhai unao!jiulize punzu uliyonayo anaimiliki nani na utajiri uliokua nao alikuruzuku nani!Amini kua kuna siku utarudi kiuchumi na fanya sana Istighfari.
@YahayaSefu4 ай бұрын
Ayse jamaa umepigana sana kwenye maisha ila usikate tamaa ila mwanamke siyo mtumzuri nishetani
@annabyekwaso-wt7oi4 ай бұрын
Jamanimpeni kazi kakangu mradi mmemwona mtandaoni.
@FedrickAloyce-nl1pl4 ай бұрын
Kuna jamaa nipo nae mtaani ni mshikaj wangu sana alikua na hela mbaya sana kauza magali saiv hana kitu ana kaduka tuu
@beltinastockburger59345 ай бұрын
Jiulize hizo mali umezipatia kwa Mungu au mganga sema ukweli
@yusuphsanga71945 ай бұрын
ukizipata kwa mganga huwez kuwa na ujasiri wa kuongea hv Ila wanawake🙏🏾🙏🏾
@Zsdaughter4 ай бұрын
Pesa Ni neema lakini Afya, tena Afya hasa ya Akili ndo mpango mzima.
@pascalsimion79294 ай бұрын
Kuanguka kupo na yote ni MUNGU ndo anasababu yake ila kibinadamu ni vigumu kuelewa maana yake cha msingi kuwa na imani na kumtumaini MWENYEENZI MUNGU TU.
@kasibalisaid70364 ай бұрын
Aliyeflisika Ariyefirisika ....mnaharibu lugha
@IreneIsmail-s8j3 ай бұрын
Hivi utajiri wagafla ndani yamiaka miwili duu Hainiingiiakilini..au alikosea mashariti
@RamadhanMbwana-o1j4 ай бұрын
Sasa kama wewe ni fundi kwanini usitafute kazi alafu hilo genge ukamuachia bi mkubwa?
@ihanomadili2 ай бұрын
Hata mimi namshangaa kabisa, maana ana network ya kazi. Labds kpigwa jini.
@gracekagoma32314 ай бұрын
Biashara yake safi tu🎉
@JailaniRamadhan-it3kp4 ай бұрын
We muongo😊
@AishaMbega-mg9fo5 ай бұрын
Usikate tamaa na rehema zake Allah hiyo ilikuwa kadari za Allah ilikuwa upitie tu kwa vovote vile.sasa unavosema umekata tamaa unamkufuru Allah. Usikate tamaa kabisaaa
@RamadhanMussa-d1m4 ай бұрын
Kwamtu ambaye hayajamkut atakuona fala ila mm nakupa shavu kwakusimama Tena
@KachePaschal-iw4zk3 ай бұрын
Wekeni na picha za zamani kipindi anafedha msije mkawa mnatuletea hadithi za kufikirika
@AwaziRajab4 ай бұрын
Uyu Uyo Ambae Anasema Alimuwezesha Ndie Kampeleka Kwa Sangoma Na Uyo Mke Ambae Anasema Ndie Chanzo Kwake Kufilisika Ilo Lilikua Katazo Shetani Anaju2 Mtu Akiwa Na Pesa Awezi Kumiliki Mke Mmoja Ndipo Atakwambia Ukioa Wewe Na Mke Wako2 Na Pesa Itakupeleka Sehemu Za Sitarehe Kwa Wacheza Uchi Uko Je Utaweza Kuvumilia Apo Patamu Alishindwa Kuvumilia Akapta Na Mke Uyo Mbaya Zaidi Utakuta Uyo Mrembo Ni Mfuasi Wa Kuzimu Anakuja Kwa Urembo Wa Kiwango Cha Akili Yako Kufikili Yani Akili Yako Itamuona Yeye Ni Mrembo Kuliko Wote Duniani Tena Mpaka Mkeo Utamuona Feki Wakati Mkeo Ndie Olijino Mwisho Wake Ndio Hu
@allyiddakizimana71035 ай бұрын
Duh umaskini noma yaani mbaka Nnzi wanamnyea kichwani
@YahayaSefu4 ай бұрын
Anatakiwa asifikirie KUWA amepotea hapana mimi najua amepata akili nyingi zaidi hapo alipo umri BADO nimdogo sana asikatae kupokea sim Kwa kudhani anadharaulika hapana arudi afanye KAZI atapata helasana
@AuradScharion2 ай бұрын
Sawa
@shabanmohamed90252 ай бұрын
Msiba wa kicheche
@amosimariba98204 ай бұрын
Wanawake ni majambazi wakubwa sana wasiotumia silaha ya chuma ila wanatumia silaha ya nyama 🤔🤔🤔🤔 ni wa kuwaogopa sana hawa wanawake
@kilogreek40505 ай бұрын
Maisha Uwezi kuamini kama Ungekua Unasali Asingeingia Uyu mchapuko Ungekua na Ulinzi wa swala pole sana