DOTTO MAGARI AMVUA NGUO ''DIDA '' ATAFUTE MUME WA KUMZIKA /BABA LEVO KUNA KITU ALINIKOSEA

  Рет қаралды 56,220

BinaTv

BinaTv

4 ай бұрын

Ahsante kwa kuwa mwana familia,(BINA Tv) kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ya BINA TV ili usipitwe na habari zetu.
#alikiba, #ayotv, #block 89, #bongo #chapchap, #bunge, #bungeni, #burnaboy, #ccm, #chadema, #davido, #diamondplatnumz, #diamondplatnumz, #good #morning, #habarizaleo, #habarizamillard #ayo, #harmonize, #lavalava, #lavidavi, #live, #magufuli #makonda, #mbosso, #mgahawa, #millard, #millardayo, #millardayo, #millardayotv, #rayvanny, #refresh, #serikali, #sportsarena, #sportscourt, #spots, #sundayworship, #tanzanianews, #thestorybook, #theswitch, #tiwasavage, #trending, #uchaguzi, #wasafi, #wasafifm, #wasafimedia, #wasafi tv, #wizkid, #yope, #yope #remix, #zuchu
#BinaTv #WasafiTv #ManaraTv

Пікірлер: 120
@user-wh7gj9ug9s
@user-wh7gj9ug9s 4 ай бұрын
Safi doto mpende mkeo zaidi na zaidi
@tropperben-xw5xr
@tropperben-xw5xr 4 ай бұрын
bisha she is a good wife who gives dotto a very total happiness, enjoying your fatalistic moment stay blessed forever
@saidizuber8831
@saidizuber8831 4 ай бұрын
Kaka doto safi sana mchane hyo dida
@user-no7pz1bz4y
@user-no7pz1bz4y 4 ай бұрын
Dida na boss wake ngoma droo😂😂😂😂😂
@godymastermind9534
@godymastermind9534 4 ай бұрын
Leo Doto ameongea point. Di atafute wa kumzika umri umeenda
@Official83640
@Official83640 4 ай бұрын
DIDAAAAAAA MIGUU JUU KM FUNDI CHARAHANI DAH DOTO AKILI ZAKO UMENISHINDA😂😂😂😂😂
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 4 ай бұрын
Doto Magari umenichekesha sana. Siku ile na mama watoto wako ulitulia kwa Dida leo umemgeuka
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob 4 ай бұрын
Dotto , kingereza unakitaka, kwa nini usikitafute😂
@user-vv1te9fu8q
@user-vv1te9fu8q 4 ай бұрын
Unasuluhisha ya wenzio wakati ya kwako yamekushinda kila siku talaka nginjanginja heeeee hebu ncheke mie😂😂😂
@allydilunga1563
@allydilunga1563 4 ай бұрын
😂
@mupendaeugenie2600
@mupendaeugenie2600 4 ай бұрын
Dotto nakukubali 😂🇨🇩
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 4 ай бұрын
Big up Doto magari
@FredrickNgajua
@FredrickNgajua 4 ай бұрын
Nakukubari ndugu yangu wa kizi mkazi
@mrsab303
@mrsab303 3 ай бұрын
Dotto wait Ramadan finish you can see Dida🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@user-qm7bm8jx1b
@user-qm7bm8jx1b 4 ай бұрын
Dotto upo sahihi mama mitano tena tumuhendo kizimkazi wetu rais samia
@mwasunga
@mwasunga 4 ай бұрын
Umeongea point midida ananikera mno
@12322879
@12322879 4 ай бұрын
Mwamba sana Doto….Wanyee
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 4 ай бұрын
Dotto safi sana.. Umemwambia ukweli dida😂🤪
@user-md7sd3hk6l
@user-md7sd3hk6l 4 ай бұрын
pamoja mpiga debe mwzetu una tuwakilisha vizuli pamoja mzee
@nzalinextlevel4515
@nzalinextlevel4515 4 ай бұрын
hana pepo la ngono si la ndoa
@edgercyprian964
@edgercyprian964 4 ай бұрын
Ila kweli dida maneno mengi mbele kiza ndoa ngumu anatakiwa kavumiliae hakuna aliye mkamilifu chini ya jua dida tafuta mume uolewe umri huo sio wa kukaa single dada angu.
@kwisa4899
@kwisa4899 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Dotto
@ittybitty-bp1cl
@ittybitty-bp1cl 4 ай бұрын
Napenda anavosema “sawa”😂😂
@user-bs4oh4cf1n
@user-bs4oh4cf1n 2 ай бұрын
🎧😎✅
@aminamussa5122
@aminamussa5122 4 ай бұрын
Yaani waswahili akifa atazikwa na ndugu zake.
@callicevallice7383
@callicevallice7383 4 ай бұрын
Dotto nimekukubali leo ulivyomchana Dida 😂😂😂
@julianasimon5518
@julianasimon5518 4 ай бұрын
Doto anajikuta mpaka waanfishi leo anawafukuza na kichambo juu loh😅😅
@JaiAfidhi-tl6yi
@JaiAfidhi-tl6yi 4 ай бұрын
Mwacheni dott aseme
@ramsohk
@ramsohk 4 ай бұрын
Uyo dida labda yesu arudi ndo aje amshauri
@janetymatola6639
@janetymatola6639 4 ай бұрын
Oya oya Dida upo😂😂😂
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 4 ай бұрын
Nimekupenda bule doto nirikuwa sikuerewagi Leo nimefurah kumchana laivu dida anajifanya kungwi wakanti yye anachika Kila siku kwakua ana gari au nyumba mshamba sana dida
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 4 ай бұрын
Timu Ya Kina Madebe Iyo Maneno Mengi Lakini Kwenye Ndoa Wao Ndio Wakosefu Wakubwa Sana
@loner_wolf
@loner_wolf 4 ай бұрын
Eti mende , inamaana dada kabati cio ? Au vile mende mchezea kinyesi 😮😮😮😮 ? Acha matusi bro ....😅😅😅😅
@omanoman2044
@omanoman2044 4 ай бұрын
Et juice ya maziw duuh wanaume achen kulelew mtatukanwa mpaka mkome
@kingwandeinvestment8002
@kingwandeinvestment8002 4 ай бұрын
doto kasema ukweli
@adrophinamwanguse1510
@adrophinamwanguse1510 4 ай бұрын
Kkkkkk natamani nikuona live foto he Yani nimecheka mbavu sina
@ramosfally2318
@ramosfally2318 4 ай бұрын
akuna muisilamu anaeva msalaba.apo mi sikukubali sema we mtoto wa kizalamu sio muisilamu
@mudrickbarton8911
@mudrickbarton8911 4 ай бұрын
Anambomoa huku anamuita dada 😅😅😅
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 4 ай бұрын
😂😂😂Dotto 🎉
@GraceJulius-qy2qz
@GraceJulius-qy2qz 4 ай бұрын
Doto kanywe mkubwawao nakuja kulipa umeongea vizur
@Bless-sk8uv
@Bless-sk8uv 4 ай бұрын
Kwanza hao wanao enda kupata elimu kwa dida mpumbavu hana akili, dida tangu 2009 kabadilisha wanaume wengi
@user-vq1qx1dr4e
@user-vq1qx1dr4e 4 ай бұрын
Mh kumbe dida ni shangazi yangu mkubwa hivyo😂😂😂😂
@Bless-sk8uv
@Bless-sk8uv 4 ай бұрын
WW afadhali ni shangazi mimi ni mama yangu kabisa🤔🤔🤔🤔bado tu anabadilisha wanaume
@rosemtwaki7637
@rosemtwaki7637 4 ай бұрын
Nakpenda doto mpe vyake hyo didaa mshamba tu
@omanoman2044
@omanoman2044 4 ай бұрын
Kaoa lin huyu maywele nae kusifia zina tuy
@user-fm2zf7cq9g
@user-fm2zf7cq9g 4 ай бұрын
Totoooooo😂😂😂
@salumjoka6286
@salumjoka6286 4 ай бұрын
Doto muislam nashangaaga anavaa msalaba sielewi
@CAN.164
@CAN.164 4 ай бұрын
Dotto we kiboko
@rahmapelembela-oq4yd
@rahmapelembela-oq4yd 4 ай бұрын
Fata maneno yake usifate matendo yake jamani
@samwesupa6906
@samwesupa6906 4 ай бұрын
Dotto sim inaita iyo 😂😂😂😂😂
@nzalinextlevel4515
@nzalinextlevel4515 4 ай бұрын
kwanza katembea na mdogo wangu mtangazaji mdogo kitoka kiss fm sitaki kimtaji jina ... mtafute
@GWIJIGWIJISELLA-tt2it
@GWIJIGWIJISELLA-tt2it 4 ай бұрын
😆😆 devu kama yuda 😆😆🤣 dotto magari utaniua 😆
@user-uu7mg3ff8l
@user-uu7mg3ff8l 4 ай бұрын
dida acha ujinga ustaaa na majivuno vitakupereka motoni
@abubakarykivo7366
@abubakarykivo7366 4 ай бұрын
Wenyewe wameshachukua dhahabu zao😂😂😂😂😂
@nzalinextlevel4515
@nzalinextlevel4515 4 ай бұрын
atuambie kuhusu ez den the lock
@shery-bf8xh
@shery-bf8xh 4 ай бұрын
Content ama contract doto bana😂😂😂😂😂
@InnocentOmeme
@InnocentOmeme 4 ай бұрын
Hahahah yeye kashamaliza hvyo.
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 4 ай бұрын
Ndo ushamuelewa
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 4 ай бұрын
Hivo hivo
@alibinali_
@alibinali_ 4 ай бұрын
Wajidanganya mwenyewe eti Muisilamu aje tena unavaa msalaba wacha kudanganya watu😂😂😂😂
@edsonndomba1049
@edsonndomba1049 4 ай бұрын
Msalaba unakuumizaaa, huo ni ukombozi wa wanadamu wote
@ludewayetutv
@ludewayetutv 4 ай бұрын
Pank kama mcheza x wa uturukiiii
@mbokaicon5507
@mbokaicon5507 4 ай бұрын
TAFUTENI MASWALI YA MAANA WAANDISHI WA HABARI KILA SIKU DOTTO ANAWATOA KNOCK OUT
@ludewayetutv
@ludewayetutv 4 ай бұрын
Tangazo hamliachi lituliee linakimbiakimbiaaaa.
@AbdulMahmud-ut7ee
@AbdulMahmud-ut7ee 4 ай бұрын
Dotto pesa ipo
@JamalRamadhani
@JamalRamadhani 4 ай бұрын
😂😂😂..nakukubar sana kk unaongea ukwel sana ww broo saf sana
@bonabonala5559
@bonabonala5559 4 ай бұрын
dida hata kupika hajui ndio maans kaachika kea mumewe na kudanga kumezidi alsfu anajiita kungwi kunguni dida vipi wewe umemwaribu mpaka juma juma lokole ana left group juma lokole tizameni viugoko vyake kama vya basha wake mond lokole tokaapa uyouyo
@emmanueltsory3273
@emmanueltsory3273 12 күн бұрын
Juice ya maziwa Ni ipi?
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 4 ай бұрын
Wacha weee
@charitylulu8872
@charitylulu8872 4 ай бұрын
😊😂
@charlesjuif898
@charlesjuif898 2 ай бұрын
Guy get proper mic 🎙️
@JOHNJOHN-pu7wb
@JOHNJOHN-pu7wb 4 ай бұрын
Nimecheka 😅
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 4 ай бұрын
Mtufudenge nini?🇰🇪
@Moe-Joe
@Moe-Joe 4 ай бұрын
Disipirini😂.. Contract mjue ni content
@kwisa4899
@kwisa4899 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 4 ай бұрын
😂😂😂😂 contact
@Moe-Joe
@Moe-Joe 4 ай бұрын
@@masalakulwa7601 🤣😂🤣
@chemstry409
@chemstry409 4 ай бұрын
Yaani Dotto miguu ya Diddah ipo kama ya SHANGAZI YAKO.....😂😂😂😂😂
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 4 ай бұрын
Dotto sio contact ni content 😅
@salumuseif3324
@salumuseif3324 4 ай бұрын
hehehehehehehehehheeheheh
@thedon8467
@thedon8467 4 ай бұрын
HANA UWEZO KUONGEA KUMZIDI DIDA UYO MCHUMBA TU UYO.
@MnuwiiItowela-vf1td
@MnuwiiItowela-vf1td 4 ай бұрын
Huyo ndio kiboko ya dida sasa hadhubutu kunyanyua mdomo
@charitylulu8872
@charitylulu8872 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😅😅😅
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu 4 ай бұрын
Unachosema ni kwe li doto yeye kaachw a ndoa kibao atamfu ndisha Nani mambo ya ndoa na yeye ndo a zake hakai hata m wezi kwenye ndoa s asa yeye anajitia ku ngwi wakati yeye ya ke hayawezi ya ndo a anaachwa kilasiku kweli kabisa doto un avyosema
@safiaimran6455
@safiaimran6455 4 ай бұрын
hajajitia kungwi jueni kutofautisha Dotto alipe Ada ya Mtoto wake
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 4 ай бұрын
TUNALUKA TUNALUKA KWELI
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 4 ай бұрын
Mmepanga eti mke akupigie
@user-wh7gj9ug9s
@user-wh7gj9ug9s 4 ай бұрын
www wamepanga wapi
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 4 ай бұрын
😂😂😂
@karabadumbaabedi5366
@karabadumbaabedi5366 4 ай бұрын
😅😅😅😅
@tatuseifu7641
@tatuseifu7641 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@amosmahona433
@amosmahona433 4 ай бұрын
HUYU mwandishi namtabiria soon ni katibu tawala
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 4 ай бұрын
Sema dotto waandishi ndo wanaokupeleka mjini Acha kuwafokea
@chisongastephen7299
@chisongastephen7299 4 ай бұрын
Hahahaaaaah!
@peninashungu6633
@peninashungu6633 4 ай бұрын
Uyu mke kazi yake kukupikia tu ajue na kukupamba kuonekana hizo nywele na ndevu kama hazinaushirikiano
@neemamsanga253
@neemamsanga253 4 ай бұрын
alimpanga,,,ushamba tu.
@jumaalmasjuma1700
@jumaalmasjuma1700 4 ай бұрын
Unajua ila usitukane makabila unaounguza wafuatiliaji wako Mie mkigoma nakufuatilia ila uliposema watu wa mwanza wana akili kinyume chake kigoma hawana Akati ni kina mwijaku na baba levo ulowalenga
@AaAa-ue5di
@AaAa-ue5di 4 ай бұрын
😂🧎🧎🤗🤗🤗🤗🤗
@omanoman2044
@omanoman2044 4 ай бұрын
Wamekuzid ndo maan ww unakaa kwenye mabanda yauwan mjinga san ww
@samirshabani-yu4xu
@samirshabani-yu4xu 4 ай бұрын
Bad haujasema
@omanoman2044
@omanoman2044 4 ай бұрын
@@samirshabani-yu4xu kimewaramba na bado tafuten maendeleo achen midom
@rehemabakari4150
@rehemabakari4150 4 ай бұрын
Didaa kachambwa
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 4 ай бұрын
wacha kusoma Qur'an kama hujui fala ww
@ashaali7154
@ashaali7154 4 ай бұрын
Mshamba huyo anaongea na mke kwenye media pumbavu mkubwa.
@JacklineNamundengozi
@JacklineNamundengozi 4 ай бұрын
Mshamba ni wewe you sound jealous and stupid 🤣
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 4 ай бұрын
Sasa unamuingilia dida kwa sababu mke wako alikuja kwa mashamsham wewe Mbona ulitelekeja mtoto wako
@halimamasai2234
@halimamasai2234 4 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣👍👍👍👍
@samsonkingdom-xc8cg
@samsonkingdom-xc8cg 4 ай бұрын
Rudi shule kenge mmoja
@user-vv1te9fu8q
@user-vv1te9fu8q 4 ай бұрын
​@samsonkingdom-xc8😂😂😂😂😂😂 eti ulitelekeja
@safiaimran6455
@safiaimran6455 4 ай бұрын
Ndo namshangaa 😂 povu lamtoka Didah hajakosea sehemu 😅 dotto ahudumie mwanae
@callicevallice7383
@callicevallice7383 4 ай бұрын
Mchane dida huyo, kazidi😂😂
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 4 ай бұрын
🤣🤣🤣 eti kila siku anaposti miguu juu , kama cherehani 🤣🤣🤣
@charitylulu8872
@charitylulu8872 4 ай бұрын
😊😂
@user-vr2uj9cn7o
@user-vr2uj9cn7o 4 ай бұрын
😂😂😂
@nzeyimanamwavita1904
@nzeyimanamwavita1904 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@charitylulu8872
@charitylulu8872 4 ай бұрын
😊😂
@saidikido4595
@saidikido4595 4 ай бұрын
😂😂😂
NIMESHAWAHI KUPIGWA NA SOKO ZIMA LA KARIAKOO-DOTO MAGARI
3:55
Wasafi Media
Рет қаралды 14 М.
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 18 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 35 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 24 МЛН
#Paizão_Rrpl está doente e precisa de ajuda😭💔
7:47
Anmerson Joh
Рет қаралды 150
Арбузорезка 🍉
0:42
Сан Тан
Рет қаралды 2,9 МЛН
Why Is He Unhappy…?
0:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 54 МЛН