No video

DOTTO MAGARI AMVUA NGUO ''JUMALOKOLE'' HANATOFAUTI NA GIGY MONEY BAADA YA KUONESHA NYUMBA ANAYO ISHI

  Рет қаралды 84,824

BinaTv

BinaTv

8 ай бұрын

Ahsante kwa kuwa mwana familia,(BINA Tv) kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ya BINA TV ili usipitwe na habari zetu.
#alikiba, #ayotv, #block 89, #bongo #chapchap, #bunge, #bungeni, #burnaboy, #ccm, #chadema, #davido, #diamondplatnumz, #diamondplatnumz, #good #morning, #habarizaleo, #habarizamillard #ayo, #harmonize, #lavalava, #lavidavi, #live, #magufuli #makonda, #mbosso, #mgahawa, #millard, #millardayo, #millardayo, #millardayotv, #rayvanny, #refresh, #serikali, #sportsarena, #sportscourt, #spots, #sundayworship, #tanzanianews, #thestorybook, #theswitch, #tiwasavage, #trending, #uchaguzi, #wasafi, #wasafifm, #wasafimedia, #wasafi tv, #wizkid, #yope, #yope #remix, #zuchu
#BinaTv #WasafiTv #ManaraTv

Пікірлер: 240
@user-bv4gu5po4g
@user-bv4gu5po4g 8 ай бұрын
😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉tuna wapata tukiwa oman 🎉 ❤❤❤❤tanzania yetu imenoga bado zamu ya lokole baada ya gg
@aboukillo1734
@aboukillo1734 8 ай бұрын
Doto ur real man
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 8 ай бұрын
Namkubali Sana dotto magari keto. Mwache amchane Yule vipensi lokole😂.
@hamadihamisiambale8943
@hamadihamisiambale8943 8 ай бұрын
Hapo sawa doto mwanaume hafeki maisha.nimeipenda hyo doto
@DionizDaniel-gb4nh
@DionizDaniel-gb4nh 8 ай бұрын
Doto. Magari. Nakuotea. Itakuja. Kuwa. Bilionra. Kama. Baharesa. Kuna. Bintanakukubali. Sana. Sana. Sana. Sana. Sijui nimsaidie. Je
@ChrisMwambeje
@ChrisMwambeje 8 ай бұрын
Juma kajichanganya leo,nakubali dotto magari mmalize huyo
@fatmaabeid9668
@fatmaabeid9668 8 ай бұрын
Nampenda buree dotoo
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 8 ай бұрын
Leo ndio nimeamini kuhusu uyo juma lokole kama sio rizik anapumuliwa na wanaume wenzie... mtihani sana
@glorianikiza3940
@glorianikiza3940 8 ай бұрын
Yani siku moja mtu aje atwambiye😂😂😂 mambo ya juma😅😅😅
@issashabanihusseniwewe9024
@issashabanihusseniwewe9024 8 ай бұрын
Safi kabisa mzee doto👊👊👊
@elizajoseph7209
@elizajoseph7209 8 ай бұрын
Mwenye ndevu kama Yuda😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@1wernerweck
@1wernerweck 8 ай бұрын
Juma mwezake kwisa Ni mashoga wamwashe DOTTO MAGARI tunam angali hapa München
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 8 ай бұрын
Nakuelewa Kaka Doto keto.mchanee.
@kenedianosikitta3702
@kenedianosikitta3702 8 ай бұрын
Mungu aktangulie doto
@ameenaameena422
@ameenaameena422 8 ай бұрын
Juma tunajuwa ni shoga mzee
@suntzu8959
@suntzu8959 8 ай бұрын
Rayvan ana umri mkubwa zaidi ya harmonize
@juliusjaliwa9887
@juliusjaliwa9887 8 ай бұрын
Ujaelewa Harmonize nimkubwa kwasabab yy ndie wakwanza kwa Diamonde, sawa sawa wanavyo sema Diamond ni baba wa Harmonize, ki ualisia unajua ni hivo?
@suntzu8959
@suntzu8959 8 ай бұрын
@@juliusjaliwa9887 hii inachanganya, sababu rayvan anaita harmo mdogo wake. mambo ya wcb kwa sasa pembeni
@ayshaaysha2165
@ayshaaysha2165 8 ай бұрын
Yaan huyu kaka nampenda sn maneno yk yananifurahisha
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 8 ай бұрын
Mimi ndo sina mbavu kucheka 🤣🤣🤣🤣
@user-gh6dy1mr8w
@user-gh6dy1mr8w 8 ай бұрын
Doto nakukubali sana achana na shoga yule
@JacklineNamundengozi
@JacklineNamundengozi 8 ай бұрын
❤❤ Dotto
@DeborahChristopher-th6nl
@DeborahChristopher-th6nl 6 ай бұрын
Safi sana Dotto Mtoto wa Mama Kizimkaz
@user-xe1fl3rz7g
@user-xe1fl3rz7g 6 ай бұрын
tupo pamoja fadha
@Gdjn974
@Gdjn974 8 ай бұрын
Nakukubali saana saana bro mr fact
@silvergold5855
@silvergold5855 8 ай бұрын
Dunia ya mama kizimkazi😂
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 8 ай бұрын
Yule shoga achana nae media zimeajiri mashoga kuaribu jamii,,, mwanaume anaongea kama mwanamke muda wote maana yake nini.
@ismailchibonda5005
@ismailchibonda5005 8 ай бұрын
Juma shoga
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 8 ай бұрын
@@ismailchibonda5005 Sasa unauliza tena? We ulishaona mwanaume wa kweli yupo vile?
@ChochoZuchu
@ChochoZuchu 8 ай бұрын
​@@ismailchibonda5005Tena wa diamond
@seiflugendo7141
@seiflugendo7141 8 ай бұрын
Respect Dotto achana na hao mashoga wakina Juma.
@bonbuggatTV
@bonbuggatTV 8 ай бұрын
100 ..za uso
@user-tt6jt8pz5m
@user-tt6jt8pz5m 8 ай бұрын
KUFIKWAA KWA JUMAA😂😂😂😂 DOTO 5 JUMA 1😂😂😂😂
@user-tt6jt8pz5m
@user-tt6jt8pz5m 8 ай бұрын
Hebu SUBIRI kdgo😂😂😂
@khamisbk8569
@khamisbk8569 8 ай бұрын
Hahahahahahah Karibu mume wangu....kumbe na yeye anaitwa mke wangu daaah BC usimtolee siri😂😂😂😂😂
@KIDORBOYS
@KIDORBOYS 8 ай бұрын
😂😂😂sema dotto😅🎉
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 8 ай бұрын
Juma Haji kayatimbanga kwa Doto 😂😂😂😂😂
@hassansebowa3785
@hassansebowa3785 8 ай бұрын
Umepanic jamani
@user-kn5bn4wt1f
@user-kn5bn4wt1f 8 ай бұрын
Asa jamani muislam gani ana msaraba shingoni ebu tumuogope mungu jamanii
@abdullahabdull3172
@abdullahabdull3172 8 ай бұрын
Amekwambia yy Muislam? au unaropoka tu..
@user-kn5bn4wt1f
@user-kn5bn4wt1f 8 ай бұрын
Iskilz vizur alaf nd utajuwa amesema au hajasema
@josephpaul2103
@josephpaul2103 8 ай бұрын
Bro mm NAKUKUBALI sana msukuma wa mwanza
@omarymgoba3759
@omarymgoba3759 8 ай бұрын
Nakubal sanaaa kaka
@King-Buda
@King-Buda 8 ай бұрын
Sema rekebisha home mzee utaendaje kidume kulala na mkeo ukweni kwao unafeli kijana
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 8 ай бұрын
Hayo ni maridhiano baina yake na mkewe na ww ucw km Juma lokole
@JumaJuma-fu7ji
@JumaJuma-fu7ji 8 ай бұрын
Wanaomchokoza uyu jamaa sijui wakoje🤣😂
@MasizieRahim-gw1bf
@MasizieRahim-gw1bf 8 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@humphreyleodgar9434
@humphreyleodgar9434 7 ай бұрын
Minazi 52😂😂😂
@InnocentLeonard-gy1mn
@InnocentLeonard-gy1mn 8 ай бұрын
Juma alitumwa na watu wakamchafue dotto maana doto malanyingi sana alikuwa akimsifu sana juma kuwa alipambana jinsi alivyoipata renge yake lakin juz kakosea sana juma
@user-lw3kp8ns2o
@user-lw3kp8ns2o 8 ай бұрын
Muislam unavaa msalaba
@saidissa5117
@saidissa5117 8 ай бұрын
Doto ni mwamba sana
@AldoMan-ex6mi
@AldoMan-ex6mi 6 ай бұрын
@RashidIbrahim-610
@RashidIbrahim-610 8 ай бұрын
Leo juma lokole kayatimba😊😊😊😊😊
@joewasike6875
@joewasike6875 8 ай бұрын
mikono juu kama bonny mwaitege🤣🤣🤣
@lujuomjanja2866
@lujuomjanja2866 8 ай бұрын
HII MEDIA MBONA KAMA YA TAJIRI YAKO HAPO NA HUYU JAMAA ANAYEKUHOJI KAFANANA SANA NA BOSS WAKO😁😁
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 8 ай бұрын
Mtangazaji na yeye anageuziwa kibao.😆🤣😆🤣😆🤣 Angalia usipigwe vibao na ndevu zako kama Yuda.😆🤣🤣🤣🤣
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 8 ай бұрын
Ungekuwa firauni doto kwahiyo ungemchokowaa jumaa au hahaha 🤣🤣
@mlekwa
@mlekwa 8 ай бұрын
Duh
@simbaasad5811
@simbaasad5811 8 ай бұрын
Juma sio ndugu yake Lakin. Leo anamchana
@user-jz2hk3yo8z
@user-jz2hk3yo8z 8 ай бұрын
Kwaiyo kumbe kaka choko😢😢
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 8 ай бұрын
Juma kajichanganya na kwisa
@sarafinatenga6466
@sarafinatenga6466 8 ай бұрын
Mikono ya dotto mimi hoiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@SekelaJakson-ls7dd
@SekelaJakson-ls7dd 8 ай бұрын
Mmh wanaume wanaoongeaga Sana uwaga wananuka midomo
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 8 ай бұрын
mhuuuu
@WaziriRamadhan-ML
@WaziriRamadhan-ML 8 ай бұрын
Dotto kaua sana leo yan anang'ata na kupuliza😂😂😂
@gaushehbshshehe3830
@gaushehbshshehe3830 8 ай бұрын
Dotto umemaliza ya lokole leo😅😅😅😅😅😅
@user-ny2zb4im1o
@user-ny2zb4im1o 8 ай бұрын
Juma chokole
@babafranco3366
@babafranco3366 8 ай бұрын
Uyu jamaa inaonekana kaumia sana
@tomsijohni
@tomsijohni 8 ай бұрын
huyo juma lokole ni shog'aaaa
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 8 ай бұрын
Dah mtangadhaji wetu mhhj😅😅😅
@user-gu7ds1jh5t
@user-gu7ds1jh5t 8 ай бұрын
Doto kwani juma mruguru umetisha kumsema huyo
@rajabumasinde5935
@rajabumasinde5935 8 ай бұрын
Juma ni shoga
@salimjuma1033
@salimjuma1033 8 ай бұрын
Eti bichwaaa km tangoo
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 8 ай бұрын
Subhaanallah
@davidmunishi5084
@davidmunishi5084 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Dotto
@benedictmhina4819
@benedictmhina4819 5 ай бұрын
Jamaa anaongea kama cherehani
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 8 ай бұрын
Hold on!!! Dotto muislam?😮 nakuvaa msalaba kama Mondi 😂😂😂
@uwimana6533
@uwimana6533 8 ай бұрын
Bongo kunavituko hakuna dini Baazi yawatu 😂😂😂😂
@zaburi2386
@zaburi2386 8 ай бұрын
Msalaba ni ukomboz
@puregamers4215
@puregamers4215 8 ай бұрын
Sio muislam
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 8 ай бұрын
Mtangazaji mwambie Doto nimemuelewa nataka picha ya pamoja
@Kidotii
@Kidotii 8 ай бұрын
Tumepataaa komesha ya Juma Lokole😂
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 8 ай бұрын
Hivi saa mbili😂usiku alishayatoa mambo mawili ya Juma Haji??😆😆😆🤣🤣🤣
@user-mo3xs7fh3e
@user-mo3xs7fh3e 8 ай бұрын
Dotto❤😂😂😂
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 7 ай бұрын
Juma shoga jitambo ila sasa hajufichi biashara matangazo anajitanganza sasa
@jumarajab5316
@jumarajab5316 8 ай бұрын
mtoto wa kiume umri huu unasema tuje ulipozaliwa siuseme kwako😂
@roberttagaya9098
@roberttagaya9098 8 ай бұрын
Bora huyu amejiweka hadharani kuliko wale wanao ekti maisha wakati hawako ivyo.
@gatimarwa7525
@gatimarwa7525 8 ай бұрын
Kwan Ifolensa ndio lugha gan😂😂😂😂
@lilybarongo8119
@lilybarongo8119 8 ай бұрын
Ila juma Ile nguo alikosea sana
@kahawathungu
@kahawathungu 8 ай бұрын
Riziki kweli mwanzo wa chuki lakini mwenye chuki hawezi kuimaliza njaa kwa kumchukia aliyeshiba.
@mwinyisarai-rm5oo
@mwinyisarai-rm5oo 8 ай бұрын
Kweli iyooo
@azizalungo266
@azizalungo266 8 ай бұрын
Juma haji😂😂
@ilukerish1
@ilukerish1 8 ай бұрын
DOTO ANALONGA SANAA
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 8 ай бұрын
Huyu ndugu maneno yanamtoka tu kama ameandika script
@user-tl8sy1nn6i
@user-tl8sy1nn6i 8 ай бұрын
Me naona hakuna jipya chini ya juwa mwacheni hatakam amefanya au anafanya acha unafiki wewe mwenyewe jela ulipotea kam alivyopote huyo juma ndy wale wale
@harrydinouser3080
@harrydinouser3080 8 ай бұрын
Mwenye ndevu kama yuda
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 8 ай бұрын
Mjaa laana huyo achana nae mshenzi anatuharibia watoto.
@josephndunguru6290
@josephndunguru6290 8 ай бұрын
Juma shoga kayatimba tupe mawiliii doto,
@saidirandon
@saidirandon 8 ай бұрын
Oya broo uyo lokore anamkole kocho😅😅
@1wernerweck
@1wernerweck 8 ай бұрын
DOTTO MAGARI Interview tena
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 8 ай бұрын
MUWE MNACHEK VYA KUONGEA,,,NCHI ISIMAME,,,BANDERA ISHUSHWE NUSU MLINGOTI,,KISA HUYO PUNGA
@issataslima9846
@issataslima9846 8 ай бұрын
Wee mwenyewe umevaa msalaba Jamaani sasa naani ninaani
@collinstemba6040
@collinstemba6040 8 ай бұрын
Et za yesu ndogo 😂😂😂
@xavioutfit3611
@xavioutfit3611 8 ай бұрын
Kupata mamilioni sio sababu ya kusahau ulipo zaliwa
@mariammariam6356
@mariammariam6356 8 ай бұрын
Kumbuka huy ajawahi kushik mabilion anashik ela la bongaa
@user-ue8db7iy5g
@user-ue8db7iy5g 6 ай бұрын
Na apa ipo
@TaarabChannel
@TaarabChannel 8 ай бұрын
Mpitie na kwangu wapendwa
@beckermbagala8
@beckermbagala8 8 ай бұрын
ANALIWA TWAJUA😅😅
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 7 ай бұрын
Siyo juma tumuite binti juma siyo juma haji
@user-uh8rk3dr3g
@user-uh8rk3dr3g 8 ай бұрын
Dotto anajuwa
@user-zb5kc5um5y
@user-zb5kc5um5y 8 ай бұрын
😂😂juma
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 7 ай бұрын
Ati Dotto ni "infolensa"jamani😊😊
@mlekwa
@mlekwa 8 ай бұрын
Sambili sio mbali et
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 8 ай бұрын
Msenge sana Doto😂😂😂 mamae dah
@zuwenaabdallah7748
@zuwenaabdallah7748 8 ай бұрын
Huyu mtangazaji atakuwa muhaya
@AnithaMapromo-db1to
@AnithaMapromo-db1to 8 ай бұрын
Hakiwa Muhaya inausu???
@zuwenaabdallah7748
@zuwenaabdallah7748 8 ай бұрын
@@AnithaMapromo-db1to sio hakiwa sema akiwa😁😁
@knowledgeispower1118
@knowledgeispower1118 8 ай бұрын
Ila nchi haiwezi kushusha bendari nusu mlingoti kwa wapuuzi
@titusmusyoki1167
@titusmusyoki1167 8 ай бұрын
Dotto magari😂😂😂😂
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 111 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 45 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН