Shucrani baba hata mimi ya menitokea mazito sana bahada ya kugombana na mwenza wangu yale makosa ambayo nilikuwa simwambii kipindi atuja gombana lakini sasa kipindi tuna gombana nime yahongea yote ya moyoni na kuya tamka na yeye ana tamka ya kwake ,kwa sasa mimi niko na jirekebisha hata bila kumwambia , pia na yeye na hanza hona mabadiriko mazuri kabisa kutoka kwake , ana hanza badirika bila yeye kuni hambia ,somo nzuri kaka
@rhodasaid32622 жыл бұрын
Asante hakika kwenye darasa lako sijawahi kutoka tupu. BWANA akutunze na kukupigania daima, Amen!
@aminakarisa27212 жыл бұрын
Natoka kenya...asante sana chris kwa ushauri wako I appreciate you
@asteriashios18526 ай бұрын
Hivi Dr ulijulia wapi mambo ya kweli namna hii ama kweli mungu Kuna karama ameziweka Kwa watu wake hongera hivi mke wako si ana Raha sana yeye ndo alipata mume kamili ana Kila sababu ya kumshukuru mungu hongera sana Mzee cris
@EvodiaMtenga10 күн бұрын
Duuuuuh Ahsante Sanaa Dr🙏🙏🙏
@OdetteKahambu5 ай бұрын
Aksante sana baba kwa mafunzo. Haya migogoro yalisha wai kunitoke. Kiisha réconciliation,tume kuwa Na mausiano Mazurie sana.
@MesiusKaroli5 ай бұрын
Asante sana Dr nmejifunza sana jamaniiii
@claraeliethi71762 жыл бұрын
Asante doctors nimejifunza mengi kupitia wewe
@mafadakilimo22002 жыл бұрын
Chris Mauki Noma!
@dancansaka50042 жыл бұрын
Natoka Kenya Asante sana Cris mauki
@LissaGodson14 сағат бұрын
Umeongea ukweli mtupu
@neemashirima61212 жыл бұрын
Asante sana kwa ushauri
@queenmakere28492 жыл бұрын
Asantee dr criss kwa somo zurii
@jennytugara94702 жыл бұрын
Wow yaani hapo ndio kweli utajua makucha ya Mtu!!!
@salomewandya7257 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Acha tu
@rejinajoseph29949 ай бұрын
Nimepata kitu kwenye masomo yako mungu akupiganie
@chadasjames88562 жыл бұрын
You always spot on SIR🙏🙏🫡
@joyceluambano29312 жыл бұрын
Asante Kwa elimu hii nzuri.
@juliealex72142 жыл бұрын
Asantee kaka Kwa darasa lako nimeelewa🙏🙏
@ruthmbuya66012 жыл бұрын
Nimekuelewa Sana
@ruthmunyasya44992 жыл бұрын
wow nimependa sana mafundisho yako mchungaji ubarikiwe sana kwa kuponya ndoa zetu.
@habi781212 жыл бұрын
Asanteh Dr
@miriamandrew57832 жыл бұрын
Dr masomo yako ni mazuri
@HamidakomboKombo-xs2ju Жыл бұрын
Kweli kabisaaaaa
@jovithersarufu60822 жыл бұрын
N kwel kabsa
@abubakarirajabu3947 Жыл бұрын
Najifunza vitu vingi sana kupitia masomo yako yananijenga sana
@Udindigwa Жыл бұрын
Amina
@abubakarirajabu3947 Жыл бұрын
Kweli doctor ata mm uyu mwanaume amepadirika sn
@neemaelijah7602 жыл бұрын
Nimedaka hii
@ummkolthumkoalthum32712 жыл бұрын
Sahihi🥂
@calorinyfrancis86827 ай бұрын
❤
@sarahnicodem63362 жыл бұрын
God bless you 🙏
@gloriakawago62232 жыл бұрын
Asante sana Dr chriss Mauki, yoote umesema ni sahihi
@hassanharuna15192 жыл бұрын
Nikweli
@khaylulykessy71112 жыл бұрын
Salute broo 🙌🙌🎤🎤
@megatbae3400 Жыл бұрын
Nikama sisi ndio tunaongelewa hapa.mgogoro kila mara, tunanyamaziana,,mala puuuh anaanza kuongea tena🤣🤣
@louismwero78422 жыл бұрын
Asante
@onlinemarketingplace3102 жыл бұрын
1 waiting
@happyhaule5865 Жыл бұрын
Kama umeona kwangu
@shijalupondeja9082 жыл бұрын
Nashukru kuna kitu nimejifunza hapa,maana jana tu nimetoka kugombana na Mama mtoto wangu
@briyanna8139 Жыл бұрын
👍
@Lily-xw6hg11 ай бұрын
Amina baba uko vizur
@ashamwilawa232 жыл бұрын
🙏🙏😍😍
@nolimittvonline68222 жыл бұрын
Asntee kaka
@NZAMUYEJoseph12 күн бұрын
Huyu ni Doctor chiris je? Unataka kujuwa mwanafunzi wake ngusa profile ushuhudie chris wa pili kazuba paulo
@jamilahathumani42222 жыл бұрын
Nikwer niliona Hilo mda mrefu Yani,,hata mim nimuelewa Sana Kama wewe Kaka,,Yani umeongea point tupu Yani,,nikwer yoote yan
@tausisalum40522 жыл бұрын
Naomba namba yako
@severinemngulu.34712 жыл бұрын
Dr tufanye nini tunapohisi kuchoka au kuchoshwa na jambo flani,