Jenga uaminifu Jiwekee mipaka Ongeza uwezo wako wa kuwasiliana Onyesha kiu ya kudumu Angalia uhitaji na uelewe uhitaji wa kihisia wa mwenzako Fahamu madhaifu yako
@neemamboya99 Жыл бұрын
Kaka Mungu akubariki sana kwa kuwa vipindi vyako ni halisi na kweli. Nmejifunza mengi mno kupitia vipindi vyako.wakat mwingine nikikwama huko huwa nakuja kutafuta huku nijue makosa yangu kisha narud kwenda kutengeneza nilipokosea🙏 Mungu akuweke zaidi na zaidi
@AbeliMshani Жыл бұрын
E bwana Dr Chris mauki uko vizuri nitakufuta siku Moja tuongee
@ElizabethKapinga-u6b12 күн бұрын
Amina najifunza kitu huo ujanja unanigusa ktk uchumba wangu Asante mjori wa mungu
@bakarpandu11422 жыл бұрын
Asante doctor nashkuru kwa mchango wako kidogo nimefarajika lkn naomba no. yako nikueleze zaid nlonayo moyoni mwangu asante 🙏.
@miriumsirmwechengo10 ай бұрын
Mimi ni mwanandoa nampenda sana mume. Wangu sana na nipo huru kiasi flani kwake ila yeye hawezi kurudisha upendo namaanisha naweza mwandikia txt yenye hisia kuhusu penzi letu ila yeye akajibu kwa ufupi na maneno machache TU me nikiwa namhitaji Huwa namwambia lakini mara nyingi anadai amechoka inaniuma coz hatumii lugha rafiki sana kunifikishia ujumbe nakwazika kwenye hili haswa
@ChristineRobert-i6k8 ай бұрын
Niko Kwa kiatu kama hicho
@frida-oi6kwАй бұрын
@@ChristineRobert-i6k😂😂😂😂😂 pole
@paulinpendo7497 Жыл бұрын
Asante sana doctor nimejufunza kitu
@fadhilanassor4262 жыл бұрын
I appreciate your lessons Dr.chris long live Dr
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Hapo kwenye miipaka nimepaelewa vzr,,,,,be blessed
@kastangonyani40682 жыл бұрын
Nafurahishwa sana na masomo Yako,endelea kutufundisha Ili tuweze kujenga mahusiano yetu na ndoa zetu zipate kudumu zaidi na Mungu akubariki
@julia99francess13 Жыл бұрын
Kwakweli Asante maana kuna mabadiliko nime ona kupitiya video zako Asante sana ♥️
@bertilalaurent Жыл бұрын
Asante Sana kwa somo hili ni mara yangu kwanza kusikiliza hili somo nimesikiliza ujumbe kama tatu hiv nimejifunza kitu je kunauwezekano wa kuongea kupitia sm maana mengine ni Siri ya mtu kwa msaada zaidi mm niko mwanza niko kwenye ndoa Nina watoto asante kwa somo
@jamillajackson21652 жыл бұрын
Nipo kagera nimeipenda na nimejifunza Asante
@elizabethgodblessmalanga27263 жыл бұрын
Thanks so much dr. Chris nakufatiliya kutoka Kenya
@stupidgenius28643 жыл бұрын
Chris nime shukuru sana kwa hii mawaidha yako mimi niko na shida kuhusu mausiano na mume wangu tafadhali naomba namba yako tuonge niko Kenya
@leinashabani1386 Жыл бұрын
doct but iseeee umeniimarisha Sana now am happy because of you 🙏🙏🙏Mungu akuweke
@AmoncaMkobwe7 ай бұрын
Mda ni mchache mambo ni mengi Asante Kwa somo zuri
@dadaumulisa7088 Жыл бұрын
Asante Sanaa ubarikiwe.Watching you from Australia
@rithamlacha5403 Жыл бұрын
Yaani leo nimetenga muda kwaajili ya kujifunza kiukweli Mungu akubariki daima.
@NzeyimanaNadine-x5y Жыл бұрын
Ubalikiwe sana
@AnnoyedJumpRope-kw1csАй бұрын
Asant Dr kwa somo
@katorokatoro-r4p Жыл бұрын
Asantee kwa masomo nmejifunza vizur sana
@joshuaterstegen62962 жыл бұрын
Naitwa Joshua Joseph MANDEVU kutoka Zambia na nashukuru kwa somo lako limenigusa sana pia nahitaji kuonana na wewe siku nikirudi dar nikupatie hata kahawa. Asante
@MariamRamaa2 ай бұрын
Asante sana dr
@Kolomuani-my1mh Жыл бұрын
Dr asant kwa kutupatia elimu nashkuru penzi langu limekuwa nilafuraha
@Mosesyona-t9j Жыл бұрын
Leo ni kwa Mara ya kwanza najuinga au kufuata video zako mwalimu lakini nabarikiwa na jengeka naimarika mana bado mimi ni single kwahiyo masomo haya yananiandaa na kuwa makini katika kuoa, mana wanasema unaweza kujenga nyumba vibaya ukaibomoa na ukajenga Tena lakini ukikosea kuoa au ukioa vibaya umeharibu kila kitu katiaka maisha yako ya baadae, kiukweli najiona niliyebahatika kuwa miongoni mwa wanafunzi wa masomo haya na mwalimu wetu Mungu aendelee kukutumia zaidi na akubariki sana sana Amen
@allexbeautysaloon23252 жыл бұрын
Napenda sana masomo yako, natazama kutoka arusha
@Berinder315510 ай бұрын
asantee mungu akubariki
@mbukeemanuel33312 жыл бұрын
Asante sana hakika najifunza vingi kupitia ww
@AndrewNgonyani5 ай бұрын
Asante nimefurah san
@mwavitafuraha72442 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwaujumbe
@ZawadiKilagalila-sd2tt Жыл бұрын
Asante,kweny communication ilikuwa n tatizo sana kwang
@neemamabena-xx5er Жыл бұрын
Nimekuelewa saana
@AugustinoCosmas7 ай бұрын
Mungu akubariki
@josiampokera597710 ай бұрын
Dr Chris, thank you!
@mamanulati11052 жыл бұрын
Asante doctor mungu akubariki sana.
@magrethnestory35622 жыл бұрын
Asante kwa ushauli kaka
@dinahkirigha2637 Жыл бұрын
Asante sana kwa masomo yako yenye faida kubwa maishani.
@LILIANNANYU7 ай бұрын
Thanks awesome learning
@mahambaflorence76712 жыл бұрын
Ok merci papa Mungu akubarigi
@swalhinajuma4149 Жыл бұрын
Yan kk chriss we acha tu mwenyewe unajua
@levinavenance12003 ай бұрын
Mambo yakukufanya mjanja kwenye mahusiano 1.jenga uaminifu 2.jiwekee mipaka( kwenye maneno,mda wa kuwa nje ya nyumbani,mambo ya imani) 3.ongeza uwezo wako wa kuwasiliana (sikiliza ili kuelewa c kujibu) 4.onyesha kiu ya kudumu 5.elewa uhitaji wa kihisia wa mwenzako 6.fahamu madhaifu uliyonayo
@MinahWaziri Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@mussadismass93063 жыл бұрын
Ubarkiwe Chris mauki mungu akuinue
@rehemamagege5843 Жыл бұрын
Asante kwa somo nzuri
@evodiamathias25422 жыл бұрын
Naomba no yako dr mmekuelewa sana
@catherinenasambu53662 жыл бұрын
Thxz saxa kwa hii funzo boss
@neemamabena-xx5er Жыл бұрын
Asantee nakupenda buree🥰
@mariamuodila4132 Жыл бұрын
Samahan Dr Chris Mimi nampenzi wang Ila ananizidi erimu Sasa naee anajua Mimi sna Kaz yamaana namimi kiukweri nampenda ktoka moyon ss inakuwaje apo japo tupo mbari mbari nisaidie tuchanti tunaelewana wakati mwingine simuelewi jaman 🙏
@princessdickson6900 Жыл бұрын
Mwezangu na mimi jamn watu waliopo mbali na mwezie kuna mambo yanakera unakata tamaa
@theresiamartin30083 жыл бұрын
Asante sana Dr yaani mume wangu ananifurahia umeyabadilisha maisha yangu ubarikiwe mnoo Mungu akuweke viwango vya juu
@ChrisMauki13 жыл бұрын
Nafurahi sana kuskia hilo. Endelea. Natumaini umesubscribe channel
@lulubandawe6284 Жыл бұрын
Doctor dada angu n mnene na amepata mchumba mnene piah mwenye mapenzi ya dhat lkn dadangu anapata hofu kusemwa na familia na majamaa kwamba wamechaguana wanene mda mwengine anadirk hata kuvunja na kurejesha mahusiano yake.unamshaurije
@Sharifarajabudebe Жыл бұрын
@@lulubandawe6284 mahusiano ni yao sio ya familia ukiingz familia kweny mahusiano hufiki mbali wakat wanakubaliana wakijiona
@lilianwilliam2838 Жыл бұрын
Asante kwa Magu fish o mazuri
@jumakitwazi6252 Жыл бұрын
Asante dkt
@janetdaniely79452 жыл бұрын
Asante sana Dr 🙏
@ShaimaaShaibu Жыл бұрын
Asante sana docta,mafunzo yako yamenisaidia sana nimejifunza mengi.
Asante doct MUNGU akutunze Mtumishi tutayafanyiakazi
@ChrisMauki13 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@princessa30603 жыл бұрын
Thxxx alot doc for the lessons ❗ it will make us grow as couples...
@ChrisMauki13 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@amanithomas50693 жыл бұрын
Asant mm nakuelewa sana
@julianapeter7482 жыл бұрын
nimekuelewa vizur kaka nashukuru
@ZawadiKilagalila-sd2tt Жыл бұрын
Naomba nione video zako dr
@pactricktimothnyangile87903 жыл бұрын
Asante sana nakupata vyema kutoka Tunduma Songwe
@ChrisMauki13 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@fikikenya1401 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤hapa umenifundisha jambo
@khadijajumbe6984 Жыл бұрын
dr, mm naomba tuongee
@aishaaisha45492 жыл бұрын
Asante
@hadasuleimanhaji7823 Жыл бұрын
Hongera kaka
@blessjalileni74803 жыл бұрын
Mungu akubariki napenda sana mafundisho yako
@ChrisMauki13 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@nuruali84213 жыл бұрын
Asnte som zur
@yohanamapunda26543 жыл бұрын
Napenda nikutane na wewe face to face Dr
@doramkolo17453 жыл бұрын
Thank you Dr. Mauki nimejifunza kitu kikubwa sana
@ChrisMauki13 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@musarichard29343 жыл бұрын
Hi Dora
@aishaabdala95912 жыл бұрын
@@musarichard2934 nimekuelewa
@rozzylydmwongeli50783 жыл бұрын
Napenda Sana mafunzo yako,,Mungu akumbaliki sana
@ChrisMauki13 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@ismailzahor74363 жыл бұрын
Asantee Dr
@BerthaKibambi Жыл бұрын
Ahsante Kwa mafundisho yako ,m Niko mbali na mume means siish nae yupo Kikaz nifanyaje vp ili nidumishe ndoa yangu bila kujal umbali ili nae anipende zaid navompenda
@zoyafarooq95642 жыл бұрын
Nice lesson
@jacklinejovitha3463 жыл бұрын
Thanks for ur lesson. Nimejifunza kitu for sure be blessed dr chris
@ChrisMauki13 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@sadahamisi39013 жыл бұрын
Asante mauki nimejifunza
@josphinekathina78742 жыл бұрын
Thank you for the lesson
@winfridamwigilwa21073 жыл бұрын
Dr in ze air again. Aksante.
@ChrisMauki13 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@shanianuru74792 жыл бұрын
Asante bro
@MajidAbdullah-p9s11 ай бұрын
mm kwa kweli nimeshidwa nawa viumbe wanawake
@happinesslumambo98312 жыл бұрын
Nice lesson Dr I appreciate
@rehemachristopher51802 жыл бұрын
Thnk you for dah good lesson Dr
@ummuhoneyabdulaziz38403 жыл бұрын
Mungu akubariki dr unanifungua mengi sana
@ChrisMauki13 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@akimanaasiya4654 Жыл бұрын
Dr. Nipo n mchumba si kam si mulew ivi yani kanambiy anatka ku ishi na mm Ila kwney Siku yek muhim hataki ndugu zake wa huzuriye ata moj n mama yk eti ata mwambia nyuma akisha kamilisha iyo jambo lak yani Siku y ndoa ivo n kimuliza kwa nin anasem yey ndo mu amuzi sa maisha yk
@happysirili31513 жыл бұрын
Asante sna
@happysirili31513 жыл бұрын
Asant xn doctor 🙏 nimejifunza somo zur ubarikiwe sna
@ChrisMauki13 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@violethroth9076 Жыл бұрын
Your my modal thanks bro
@devidisimkonda8649 Жыл бұрын
Ahsante kwa SoMo liko doctor but nampenda mke wangu ila nahis yy hajazama kihisia kama mm je? Nafanyaje ili azame kimausiano
@IreneMichael-se3jx Жыл бұрын
Big up Dr .Chris ur helping us alot
@violethndowo8242 жыл бұрын
Upo vzur kakaang
@annetcliford88013 жыл бұрын
Asante sna umenijenga kitu leo umenifanya kuwa mpya
@oliverstanley6941 Жыл бұрын
Kipitia wewe naelemika sana ubarkiwe
@righitkileo9 ай бұрын
❤❤❤❤true❤❤❤
@AnjelJames-q4wКүн бұрын
Dr mm naomba unishauli mwanaume alinificha kumbe anatarajia kuoa mwanamke yani kipindi ananifata mm tayari alikua na uyo mwanamke nikaja kugundua akaniomba msamaha ila bado nampenda nishauri
@dinahkirigha2637 Жыл бұрын
Nina swali, "Je, unasemaje kuhusu wapenzi wawili ambao miaka yao imetofautiana pakubwa? Yaani mwanamke ana miaka 16 zaidi ya mwanamme, na mwanamme huyu anampenda kwa dhati mwanamke wake and he's so proud of her...
@ibahatimoses64313 жыл бұрын
Tnx Dr mauki nimejifunza sanaa
@ChrisMauki13 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@samirasaid69483 жыл бұрын
Asante kwa ujasiri wako una tufunzamegi lakini mm bado nå ombo nikupate prt nina jambo naitakuwa nimafunzo kwetu mm mkenya
@marydisii10822 жыл бұрын
Asante dr
@queenmakere28493 жыл бұрын
Asanteee sana Dr kwa somo zurii
@ChrisMauki13 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@alfonsimarkous52663 жыл бұрын
Thanks Dr
@GraceNgandu-lj1ft5 ай бұрын
Mm nipo kwenye uchumeleba ambao sielewi kuwa ananioa au hanioi, kwamaana haniweki wazi huwa anamniambia kuwa ipo siku nitaenda kuonekana nyumbani kwenu ila haendi kwa sasa tunamtoto mmoja anamiaka mitatu naomba uunisaidie nifanye nini maana nampenda sana
@GraceNgandu-lj1ft5 ай бұрын
Yaani umekuwa uchumba sugu maana nimiaka mingi sasa imepita naomba unisaidie