Jinsi ya kusolve matatizo kwenye mahusiano1.Kubali kwamba mnatofautiana (mtazamo,haiba 2.jifunze kuwasiliana vzr sikiliza vzr, zungumza vile unataka mambo yawe be a confident speaker 3.jielewe ,jifahamu,jiulize maswali ability to understand ur self 4.huwezi kua perfect wakt wote 5.jifunze na ukubali kurekebishwa 6.be humble accept
@AlonsoKite8 күн бұрын
Doctor mimi niko kwenye matatizo makubwa sna na ndowa yangu mpaka nahisi kuachana na huyo mwanamke kwanza alini chiti kabala ya ndowa Kisha asivi baada ya ndowa Kuna tatizo la kukuta Namba ngeni za simu nikuliza naonekana naleta matatizo nimesha sna Lakin sieleweki naomba msaada wako Doctor