Dr. Chris Mauki: Mke mwenye busara humpa mumewe haya manne (4)

  Рет қаралды 133,349

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Пікірлер: 197
@fatinaMkamb
@fatinaMkamb Ай бұрын
🙌🙌🙌 nimempa ninampa na nitaendelea kumpa vyote lakin waswahili wanasema kuknguru hafugiki!! Asante kwa SoMo zuri doctor na wao pengine walikua hawajui lakin kupitia SoMo hili watelewa.. maisha maref kwako doctor 🙏
@michaelmwakalundwa6618
@michaelmwakalundwa6618 Жыл бұрын
Doctor!! Mungu akupe maisha broo nimefurahi mpaka machozi!! Daaa mpaka nimetamani kukuona. Heshima kwako,Asante kwa Mungu kunipa weweeee
@FatumaNgala-k2l
@FatumaNgala-k2l Жыл бұрын
Woow 🤚🤚🤚mimi ni mwenye Busara👏👏👏asante saana kwa mafunzo yako
@evertheobald1811
@evertheobald1811 Жыл бұрын
Dr Mauki Dr Mauki Dr Mauki weweee, hilo jambo la nne limenivunja mbavu balaa pokea maua yakoooooo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@NZAMUYEJoseph
@NZAMUYEJoseph 3 ай бұрын
Coaching ya upublic unafundisha CHRIS MAUKI
@KitoEsther
@KitoEsther Ай бұрын
Asante sana huyo nimimi sikukuwa najuwa hatammewangu tumekosana tunasameyana nakusahabu tunaendeleya kuwa mme na muke
@fatemajohn3195
@fatemajohn3195 6 ай бұрын
Ahsante sana kwa mafudisho mazuri MUNGU akubariki sana sasa kuhusu kitabu mm nipo oman nakipataje sasa
@ChristinePaul-bs3zh
@ChristinePaul-bs3zh Жыл бұрын
Thanks doctor chris ponya ndoa za watu,for me mumewangu ananiambia wew bora kwangu cause nipo sawa kila angle labda vitu vidogo ambavyo tunamalizana ndani wenyewe
@LillianCharo-v8p
@LillianCharo-v8p Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤mawifi sijamroga kaka yenu,njooni msikie Dr.mauki
@pendomtobela5238
@pendomtobela5238 Жыл бұрын
Unafanya hayo yote but mme anachepuka nakukuumiza tu
@kweliinayokuwekahuru9982
@kweliinayokuwekahuru9982 Жыл бұрын
Usimkatie tamaa endelea kumwombea
@barakadeusdedit8273
@barakadeusdedit8273 10 ай бұрын
KABLA YA KUMUOMBE, JE NI KWELI ANAFANYA HAYO?@@kweliinayokuwekahuru9982
@samwelilazaroTZ2835
@samwelilazaroTZ2835 5 ай бұрын
Mpende kuliko hao michepuko lazima atajirudi tu, japo ni mchakato, wa muda mrefu
@magrethgodwinlekashu
@magrethgodwinlekashu Жыл бұрын
Kwa msaada kwa wengi Naomba no zako dr
@herrymkumbwa9407
@herrymkumbwa9407 Жыл бұрын
Najifunza vitu vingi Asante kwa mafundisho mazuri mungu akubariki akuongeze siku za kuisha dunoani♥️♥️♥️
@chrissg4026
@chrissg4026 Жыл бұрын
Utiifu Utiifu Utiifu! Ni bidhaa hadimu sana kutoka kwa wanawake walio wengi!
@jenithandyetabula3805
@jenithandyetabula3805 Жыл бұрын
Asante Mungu, asante Dr kwa somo zuri sana la kutupa kujipima
@jessicamasepo8320
@jessicamasepo8320 Жыл бұрын
Shukrani kwa mafundisho mazuri.
@FarhiaSwai
@FarhiaSwai Жыл бұрын
shukran sana kwa nondo nzuri zenye kutuimarisha zaidi Mungu akuweke sana
@ChristianBarnabas-i3t
@ChristianBarnabas-i3t 10 ай бұрын
Asante sana kaka kwa somo lako.
@mwanaidiamiri4212
@mwanaidiamiri4212 Жыл бұрын
Unaempa amani anagawa amani nje kwa wengine,,,,waeleze nao namna ya kuidumisha amani
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@princesamberrose9024
@princesamberrose9024 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@isikesamike
@isikesamike Жыл бұрын
Inaonekana unapenda kushindana. Elewa somo - Hiki alichokieleza si hitimisho la ukamilifu wa mwanaume. Sikiliza vizuri somo kwani inaonekana limekuzidi ukubwa wa fikra zako. Rudia kusikiliza!
@evertheobald1811
@evertheobald1811 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@zainabzain3434
@zainabzain3434 Жыл бұрын
Nikweli my dear❤❤❤
@ElizabethAmos-c5q
@ElizabethAmos-c5q Жыл бұрын
Maneno ya busara sana . Much respect doc
@Fatma-it2ue
@Fatma-it2ue Ай бұрын
Amen amen amen hallelujah glory be to God 🎉🎉🎉
@victoriamnken7304
@victoriamnken7304 Жыл бұрын
Nakuelewa sana dr
@Cgartists
@Cgartists Жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@CeciliaHalinga
@CeciliaHalinga Жыл бұрын
Asante sanaa nimekuelewa vizuri
@AishaOman-qz7tn
@AishaOman-qz7tn Жыл бұрын
Asante Dr chris mauki ❤
@keziaakaliche4802
@keziaakaliche4802 Жыл бұрын
Shukurani ndugu,nimepata mafunzo mazuri ya kuimarisha ndoa yangu mungu akinipa mme wangu wa ndoa amina.
@bupekibiki5151
@bupekibiki5151 Жыл бұрын
Doctor upewe maua yako🎉🎉🎉
@fatmaaziz4871
@fatmaaziz4871 2 ай бұрын
Thanks nimefaidika
@rithamlacha5403
@rithamlacha5403 Жыл бұрын
Asante sana Dr. Mauki
@DavinakaumbyaDenis
@DavinakaumbyaDenis Жыл бұрын
🎉🎉🎉❤ asnteee kwa somo nimeelew na nitafany hvy mung atusaidie inshallah 🤲🙏🧚 💖 hiii imeenda has hii ya mwsh aiseeeee
@hansjafeth4337
@hansjafeth4337 6 ай бұрын
Hongera sanaaa kazi yako ni njema, endelea kuponya maisha yetu yaliyojaa vikokotoo vya kila namna hata vingine havivumiliki, Mungu akuzidishie maarifa.
@ruthembedodo1065
@ruthembedodo1065 8 ай бұрын
Ubarikiwe doctor
@MapatanoDiallo
@MapatanoDiallo 11 ай бұрын
Asante sana kwaushari wako
@StellaA-n4i
@StellaA-n4i Жыл бұрын
Ahsantee kwa mafundisho
@raysalum
@raysalum Жыл бұрын
Maneno ya busara sana.... barikiwa kaka
@KikiKasawa-ru9yf
@KikiKasawa-ru9yf 9 ай бұрын
Ahsante kwaujumbe
@elizabethfabian-ih4lk
@elizabethfabian-ih4lk Жыл бұрын
Mke mwenye busara humpa Mume wake haya mambo manne 1. Mpe Amani 2. Mpe Msaada 3. Mpe Heshima 4. Mpe Tendo Zuri La Ndoa
@johnmagubo4269
@johnmagubo4269 Жыл бұрын
❤❤😅
@aminaabdi-tb8bx
@aminaabdi-tb8bx Жыл бұрын
Hiyo imeenda
@aminaabdi-tb8bx
@aminaabdi-tb8bx Жыл бұрын
🙏
@joycehaule9717
@joycehaule9717 4 ай бұрын
Mi nitampa YESU TU....
@hawaaseif2862
@hawaaseif2862 18 күн бұрын
Je kamaa anakusaliti unaweza mpa tendo
@RukiyaButoyi-sk5nm
@RukiyaButoyi-sk5nm Жыл бұрын
Kweli kabisa Mungu akubariki D .hakika unamafunzo mazuri
@OtianaSanga-m4k
@OtianaSanga-m4k Жыл бұрын
Amina mtumishi tufundishe tupone
@MwanaidyShabani
@MwanaidyShabani 10 ай бұрын
Asante docta
@lydiahnasimiyu4198
@lydiahnasimiyu4198 Жыл бұрын
Asante Dr kwa somo zuri God bless you
@EstherChai-bb7fg
@EstherChai-bb7fg 6 ай бұрын
Thank you so much 🥰🥰
@Frolencekatunzi
@Frolencekatunzi 10 ай бұрын
Barikiwa
@DeeLizy
@DeeLizy Жыл бұрын
Nayapenda sana mafundisho yako nayapenda mnoo jap bado cjaingia kwa ndoa na pia napenda kujifunza mnoo Mungu akutangulie kila jambo
@tatumohamed660
@tatumohamed660 Жыл бұрын
Duuh,no baazi yawanaume doct wengine hta ufanye vip ni mtihn
@FarajaKwatwa
@FarajaKwatwa Жыл бұрын
Asante sana coach!
@ezrazake
@ezrazake Жыл бұрын
Good, be blessed
@KaribiaRozmenmsuva
@KaribiaRozmenmsuva 9 ай бұрын
Thanks brother ❤
@berindakawegere9414
@berindakawegere9414 Жыл бұрын
Ameen asante sana Doctor
@NeemaMmeli
@NeemaMmeli Жыл бұрын
Mwanamke ukimpenda na kumuamin lazima utapata amani tu
@NeemaMmeli
@NeemaMmeli Жыл бұрын
Wanaume wengi ni makatili sana.mwanamke ni mwepes sana kubadilika naadam akijua humthamin
@AshaAmeir
@AshaAmeir 5 ай бұрын
Ni wajibu wetu kuyafanya yote hayo tena kwa nia safi kwa wapendwa wetu hata kama utamuona yuko tofauti
@barakapaul4800
@barakapaul4800 7 ай бұрын
Nashukulu nimejifunza
@lilianotieno5816
@lilianotieno5816 6 ай бұрын
Woow🙌🙌🙌
@veronyanganda179
@veronyanganda179 Жыл бұрын
Kaka uko sawa ila kuna wanaume na magumegume, kuna baadhi ya wanaume unaweza ukafanya yote haya ila akawa haeleweki.
@lisagracious2172
@lisagracious2172 Жыл бұрын
Iwish ungeandikq kwa kingereza pia from kenya
@claramrosso2566
@claramrosso2566 Жыл бұрын
Asante dor.
@lucykalinga8690
@lucykalinga8690 Жыл бұрын
Somo zur sana,barikiwa mno
@aishaabdul9983
@aishaabdul9983 Жыл бұрын
Hapo kwenye tendo 😂😂😂😂😂😂😂ety unakaa kama umemwagwa barabarani😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌,,,, doctor mauki Mimi ni mke Bora ,pamoja na mapungufu ya mwenzangu ila bado nampenda sana najua hakuna aliye mkamilifu, Asante kwa somo
@khadijaboki3494
@khadijaboki3494 Жыл бұрын
Yani mimi nilikuwa nafanya yote ayo lakini yalionikuta mungu nisaidie, yani nilikuwa najishusha kila idara laki niliambulia vipigo dharau mateso,usaliti, akujali busara zangu 😢😢 , kiukweli bahadhi yawanaume awatambui ilo
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Жыл бұрын
Ata ufanye yote hayo akipata mchepuko anasaau kila kitu, Ila uko kwa mchepuko nako akiona mabadiliko anarudi,
@NeemaJohn-z8v
@NeemaJohn-z8v 2 ай бұрын
Hakukupenda😂
@ElizabethGaspal
@ElizabethGaspal 6 ай бұрын
Asantee sanaa
@tullymgogo6167
@tullymgogo6167 Жыл бұрын
Mauwa yako dr! I have busara by more than 80%😊
@pendo8082
@pendo8082 5 ай бұрын
👏 👏 👏 bravo
@jonakax
@jonakax 6 ай бұрын
Asente Sana somo zuri
@SteveAvelinBuretter
@SteveAvelinBuretter 6 ай бұрын
Ongera doctor
@catherinemutiembu5611
@catherinemutiembu5611 Жыл бұрын
Asante sana
@christopherkaloli3418
@christopherkaloli3418 Жыл бұрын
Ni mpaka Mungu akugeuze,sio rahisi
@janethurio2453
@janethurio2453 Жыл бұрын
Umenifurahisha😂😂😂 hiyo kauli et unakaa Tu Kama mtu ameanguka barabarani da!! Nimecheka Kwa saut . Asante Kwa soma kk.
@niyonkurunatacha2619
@niyonkurunatacha2619 Жыл бұрын
😂😂😂
@ZainabuWaziri-pd8ci
@ZainabuWaziri-pd8ci 7 ай бұрын
Thank you
@AgnessMsacky
@AgnessMsacky Жыл бұрын
Kaka yngu unaongea vizuri saana lakini inategemea kabila gani huyo mwanaume pia ukoo aliko toka unamshauri anakuambia ujamshauri ,akiwa na shida y kifedha ukimsaidia anakudharau anakuambia ujanipa tena ukidai hela aliyokukopa hakurudishii mwanaume hakuonyeshi ukaribunawewe sasa matukio umalaya uliokisiri bila uoga hela yke akuonyeshi anakuweka wakati mgumu akusaidii chochote mwanaume wa hivi inabidi kumuomba mungu
@gracemadangi-j7u
@gracemadangi-j7u Ай бұрын
Mm ni mwenyew busara nampa amani nampa penz la ndoa nampa msaada nampa heshima,lkn hamna mabadiliko wala hanijali
@marthakemunto7513
@marthakemunto7513 Жыл бұрын
Asante bro
@syliviabaruti4660
@syliviabaruti4660 Жыл бұрын
thank u ❤❤❤❤❤
@Munahi-99
@Munahi-99 Жыл бұрын
asante 🎉🎉🎉
@GiselaMkwele
@GiselaMkwele Ай бұрын
Dr naomba msaada wa namba Yako , tafadhali
@AshaAmeir
@AshaAmeir 5 ай бұрын
Hata kama utamuona yuko tofauti you must play your chancce .
@veronicaluvanda2880
@veronicaluvanda2880 Жыл бұрын
Nimeishia. Kutabasam sina neno zaidi ya kujisomea coment
@FatumaMrisho-i3f
@FatumaMrisho-i3f 6 ай бұрын
Asante sana kwasomo doctr but tunaomba nawanaume wafundishwe kwn ndoa nying sasa hiv imekuwa nimtihani kwa asilimia kubwa wanaohribu nihao wanaume kwan wanapewa mafunzo ya miez mitat kabla yakwenda kwamume
@veronicalyimo2084
@veronicalyimo2084 Ай бұрын
Very true
@beatricekishe2699
@beatricekishe2699 Жыл бұрын
kaka Chris kuna wanaume wanaozira hilo tendo la ndoa unasemaje kuhusu wanaume kama hawa
@christinadominic3168
@christinadominic3168 7 ай бұрын
AMANI, MSAADA, HESHIMA & TENDO
@ElinaHalima
@ElinaHalima 11 ай бұрын
Am the one ❤❤
@magrethgodwinlekashu
@magrethgodwinlekashu Жыл бұрын
Aaameen,Ubarikiwe dr
@JacquelineMamboya-we8on
@JacquelineMamboya-we8on Жыл бұрын
Aminaaaaa baba.
@meryfrank5272
@meryfrank5272 Жыл бұрын
Nimejifunza
@Neema-fh1wp
@Neema-fh1wp Жыл бұрын
Asante
@VictoriaMazagwa
@VictoriaMazagwa 8 ай бұрын
Kaka Chris naomba msaada wa mawazo pia nijue namna ya kufanya kwenye mahusiano yangu kaka
@marwafuncha
@marwafuncha 2 ай бұрын
Ameen
@NiyonkuruSalehe
@NiyonkuruSalehe 4 ай бұрын
Hicho kitabu tutakipata aje uku kenya jaman😢
@neemammbaga716
@neemammbaga716 Жыл бұрын
nikweli,mwanaume wengine wanapata amani,nakila kitu lakini wapi hawaoni umuhim hata
@joycehaule9717
@joycehaule9717 4 ай бұрын
Niko hapa mke mwenye busara.....hahahahhaah
@Fatma-it2ue
@Fatma-it2ue Ай бұрын
Nikiwa Kenya nitaipataje
@RonaldoSUI352
@RonaldoSUI352 Жыл бұрын
Asante sana,Ila sisi ambao tunakaa na waume wetu mbali Yuko nje ya nchi na Mimi Niko kwingine tufanyeje?
@AnastanziaGodfrey
@AnastanziaGodfrey Ай бұрын
Yeah
@REHEMAPETER-p5w
@REHEMAPETER-p5w Ай бұрын
Mm Nina shida zote izo ila sikuwai dumu kwenye mausiano walau mwaka
@rebeccasese9362
@rebeccasese9362 Жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏
@elizabethmajaliwa5189
@elizabethmajaliwa5189 Жыл бұрын
Tatizo wanaume wetu hawajielewi , ukimuonesha mapenzi anakuona huna thamani, labda nao wafundishwe
@FloraSlivester
@FloraSlivester 4 ай бұрын
Unafundisha vizuri ila sio kwa wanaeme wa kizazi hiki wengi hawanitambui ki akili ni Kama wamechanganyikiwa ivi
@JescaEdward-k5k
@JescaEdward-k5k 2 ай бұрын
Huo ni umimi ubinafsi tu,hayo wanandoa wote watendeane mema
@ZuuhMrombo-n4u
@ZuuhMrombo-n4u 22 күн бұрын
Nimecheka yaan wanaume wanajikutaga mazur yote wafanyiwe wao tu
@SilivanSilivesta
@SilivanSilivesta 6 ай бұрын
Je,mme unatamani kumusaidia lakini hakushilikishi kile kinacho mumiza utamusaidiaje
@rhodamindoti3311
@rhodamindoti3311 Жыл бұрын
Wengine hata umpe amani ,anakuchokora tu ,mpe msaada hasaidiki ,mpe heshima hakubali Wala matendo yake si yakuheshimiwa weee pooo!!!
@juliethamala3324
@juliethamala3324 Жыл бұрын
Nilizingatia yote ila mume aliona ni kawaida akaingiza mazoea kwenye ndoa... Sahi nikuvumiliana tu ya watoto 😢😢
@TinahSoo
@TinahSoo 2 ай бұрын
Asant
@Dancan-s8y
@Dancan-s8y 3 ай бұрын
Mimi mambo hayo yote umetaja Hana haya moja ananipa maumivu to
@geraldmwangira.4978
@geraldmwangira.4978 Жыл бұрын
Me nmejifunza bdo kuoa tu.
Dr. Chris Mauki: Siri Za Wapenzi Wanao Dumu Pamoja
8:32
Chris Mauki
Рет қаралды 17 М.
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
Chris Mauki: Kwa dalili hizi hafai kuwa mume
7:15
Chris Mauki
Рет қаралды 84 М.
Dr. Chris Mauki: Epuka maneno haya 8 wakati wa tendo la ndoa
8:16
Chris Mauki
Рет қаралды 653 М.
Dr. Chris Mauki: Mambo 3 mumeo ana kiu kuyaona kwako
6:03
Chris Mauki
Рет қаралды 136 М.
Dr. Chris Mauki - Aina Tatu ( 3 ) za Tendo la Ndoa Kwa Wanandoa.
6:47
Makosa saba (7) ya kuepuka kwenye mahusiano yako
12:24
Chris Mauki
Рет қаралды 102 М.
Dr. Chris Mauki:  Mambo 5 ya wanaume yanayo waudhi sana wanawake
10:20
MASANJA AIGIZWA LIVE NAYE AKIWA HAPO HAPO
14:23
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 911 М.
SIFA TATU (3) ZA MKE | DEO SUKAMBI
1:03:07
Deo Sukambi
Рет қаралды 152 М.
JOEL NANAUKA - MUDA SAHIHI WA KUKAA KIMYA
8:09
Joel Nanauka
Рет қаралды 111 М.
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН