Dr. Frank Minja: Vitu 5 vya KIAFYA vya kuzingatia kama MWANAUME ili kuzuia Presha, Kisukari, kiarusi

  Рет қаралды 233

Jiongeze

Jiongeze

Күн бұрын

Leo nimepata fursa ya kuongea na Dk. Bingwa katika taaluma ya NYURO REDIOLOJI. Dr. Minja, ni mmoja wa madokta ambao wana shiriki sana katika kuikomboa nchi yetu nzuri ya Tanzania katika sekta ya AFYA haswa katika upande wa Radiology akishirikiana na hospitali kubwa kama Muhimbili katika kuboresha sayansi na teknolojia ya Radiology.
Dk. Minja pia amekuwa mstari wa mbele aki sapoti wana diaspora kwa kushiriki na kuongoza vikundi vinavyo wakilisha waTanzania waliopo nchi ya Marekani kama DICOTA.
Katika maongezi haya na Dk. Minja, ameweza kugusia kwa mbali jinsi gani technolojia ya Radioloji ina tumika katika kugundua magonjwa mbalimbali katika mwili wa binadamu ikiwapo magonjwa kama Kiarusi, shinikizo la damu kwenye ubongo n.k.
Dk. Minja pia ameweza kugusia vitu mbalimbali juu ya AFYA ya mwanaume haswa jinsi ya kuepuka magonjwa ambayo huweza kutokea kadri umri unavyoenda juu.
Kama una maswali basi usisite kuacha hapo chini kwenye comment!
Kama umeipenda hii video basi naomba uipe Dole gumba!
Pia naomba usisahau kushea link na video za Jiongeze Podcast katika social media zako na rafiki zako!
Kama bado hatuja fuatana basi fanya hivyo;
Ni follow IG ‪@jiongezepodcast‬
Ni follow IG @MalkiaCynthia

Пікірлер: 3
@valentinomlessa2912
@valentinomlessa2912 3 ай бұрын
🤝🤝
@LishaPasha
@LishaPasha 3 ай бұрын
asante. lets spread the good word about this channel
@jiongezepodcast
@jiongezepodcast 3 ай бұрын
Asante sana🙏🏼. Best way kuspread the good word ni kwa ku-shea link ya hii video ama chanel kwenye social platform zako kama whatsapp, IG, Tik Tok n.k. ❤️
DICOTA FB Live interview Dr  Frank Minja Feb 3 2018
50:07
Diaspora Council of Tanzanians in America (DICOTA)
Рет қаралды 389
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 20 МЛН
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 2,6 МЛН
How To Transform Lives | Master Shi Heng Yi
2:10:05
Andy Zoltan ツ
Рет қаралды 78 М.
Mtanzania Daktari Bingwa USA 🇺🇸 aliyesoma Harvard University
12:55
LOST TECHNOLOGIES: Mysteries of Vanished Civilizations
2:03:29
Lifeder Educación
Рет қаралды 4,9 МЛН
If You Know These 15 Words, Your English is EXCELLENT!
7:39
Brian Wiles
Рет қаралды 1,6 МЛН
EXCLUSIVE: MKEWE LISSU AFUNGUKA, NGUMU KUAMINI (PART 1)
26:26
Mwananchi Digital
Рет қаралды 183 М.
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 20 МЛН