Milima yayeyukaa ,i believe hakuna jambo gumu kwa Mungu wetu mweza wa yote Mungu mfalme wa wafalme ,simba wa Yuda na Mungu asiyeshindwaaa.
@boazdanken2 жыл бұрын
Milima Yayeyuka Mbele za Baba Yetu. Atukuzwe Sana Milele MUNGU wetu Glory and Honor to Jesus God Bless you Dr. Ipyana
@wambuimungara20362 жыл бұрын
What a blessing you're too Minister Danken. Baraka.
@thewriteteacher36782 жыл бұрын
Milele na Milele
@shosekombe6422 жыл бұрын
👏👏👏👏🙏
@agnesmbone2312 жыл бұрын
Hallelujah 🗣🗣🗣
@johnmwangi1374 Жыл бұрын
have been waiting for your collabo.....it was on fire
@jeremiahongwenyi7150Ай бұрын
Depression na Suicidal thoughts vinayeyuka kwa jina la Yesu
@estherkanini893310 ай бұрын
Ulevi in the family of Musyimis wayeyuka in Jesus Name, nani kama wewe???????
@annkhamisi59187 ай бұрын
Aamen🙏🙏🙏
@joycemaige68382 жыл бұрын
Huku Oman saizi saa 2:25 ROHO MTAKATIFU Amenileta nikae na huu wimbo baada ya kumaliza maombi ya muda mlefu usiku huu Barikiwa sana katika utumishi wako naomba Mungu aniweke niludi salama mwalimu wangu wewe uliye chaguliwa na Mungu BABA juu ya huduma yangu Amen
@eunicenjoroge5717 Жыл бұрын
Naomba Mungu akafanye milima yote iliyo katika maisha yetu ya ndoa Mimi na dada zangu ikayeyuke katika jina kuu la Yesu❤
@berniethomas98832 жыл бұрын
mlima wa vita kati ya Russia na Ukraine na maeneo yote yenye mapigano yakawe na Amani yako Yesu na dunia yote ikakujue wewe ee Yesu mwana wa Mungu aliye hai... Amen
@wilper63185 ай бұрын
Ni lazima yatokee ili Kristo arudi Mathayo 24
@ngianatemu36102 жыл бұрын
Madeni ya yeyuka ,roho ya kukataliwa ina yeyuka ,magonjwa yanayeyuka hakuna kama wewe Mungu wetu
@Malima29_102 жыл бұрын
""Cancer,, kisukar,, ukimwi vina yeyuka"" Dr.ipyana,,,,,, kw maneno haya n Inspiration tosha kw vizaz n vizazi, Mungu akubarik mtumishi w mungu🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@tinamturi6599 Жыл бұрын
For the first time to have the holy spirit I was listening this song and then I started speak in tongues wow I was almost fainted it was so powerful and deeper, God is very strong the atmosphere changed it was over welcoming I won't forget that day, Mungu akupe ufunue zaidi zaid kwa huduma yako inafanya makubwa tusiyotarajia
@florencekisanya520 Жыл бұрын
Ni lbada kamili na utakatifu
@DorcasNkatha-mw1fl6 ай бұрын
AMEN!!!!!
@IreneCtz2 жыл бұрын
Nani kama wewe ee Mungu Baba wa milele. Hayupo kama wewe hatawahi kuwepo milele 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@kingRonyo19 күн бұрын
Magojwa na umasikini kwa familia yetu na ulevi zote zayeyuka katika jina la yesu 🙏 🙏 🙏
@ericknathanael72012 жыл бұрын
Kaka Mungu azidi kukutunza sana nyimbo zako huwa zinanibariki sana Naomba sana kama utapata kibali ufanye nyimbo na Joel Lwaga nyimbo moja ya kuabudu. Asante
@jobuchitunda3462 жыл бұрын
Dr lpyana ni katika ya waimbaji 10 tz 🇹🇿 kwa sasa wanafanya vzuri tuwape support zetu 🙏🙏
@olivewanjiru79562 жыл бұрын
Jehova ainuliwe milele.I used this song today to declare the melting of my mountain and God showed up without delay .........Lord you never disappoint....you a covenant keeping God ...Neno lako ni la hakika...God is so real .
@JeremyMaroa2 ай бұрын
I can't get enough of this message from this song...usipungukiwe na neema ya Mwenyezi Mungu 🙏
@Juliunyo10 ай бұрын
Can't get enough of this song. God bless you with more anointing of this kind. God yeyusha Kila mlima maishani mwangu
@eaglenoe5762 жыл бұрын
Magonjwa yote yayeyuka mbele zako😢Nani kama wewe Mungu wangu .shuhuda zako zanishangaza Jehovah
@Janeth_Saukiwa6 ай бұрын
Thank you Lord, Kila mlima unayeyuka mbele yangu, Hold me lord 😢🙏
@JoyceAmos-sk4jj6 ай бұрын
Mungu akubariki zaidi Sana nimepokea uwepo wa MUNGU
@MinisterSilas2 жыл бұрын
Milki yake.Ametuhifadhi.Tu wateule.Acha na wimbo Huu ukaguse mataifa
@lindadaudi97352 жыл бұрын
Magonjwa sugu yayeyuka, kansa ukimwi, kisukar , uvimbe, tb 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 vinayeyuka mudaa huu kukataliwa, mikosi kwishaaa kwa Jina la Yesu
@helenkiwalu86812 жыл бұрын
Your so anointed brother..... receive more blessings from GOD ❣️❣️❣️ nazidi kubarikiwa kila siku kupitia nyimbo zako🙏🙏
@solowmak2 жыл бұрын
This is amazing!!! Your ministry is a huge blessing, I love that your music is scriptural. Hebrews 12:22 But you have come to Mount Zion, to the city of the living God, the heavenly Jerusalem. You have come to thousands upon thousands of angels in joyful assembly. Psalm 97: 5 The mountains melt like wax before the Lord, before the Lord of all the earth.
@joanatieno14142 жыл бұрын
Halleluyah 🙌🙌🙌🙌
@TrishiaMun2 жыл бұрын
Beautiful
@fatmaali32673 сағат бұрын
Tz 🇹🇿umeinulka katika mbele za mungu
@wilper63185 ай бұрын
❤❤❤, Asante Mungu wa baba Yetu Ibrahimu- Isaka- Yakobo-Yusuphu- Musa-, Mungu anayetunza maagano, akamuaid atakuwa na Musa hata awaokoe wana wa Israel agano aliloweka na Ibrahimu kuwapa nchi ya Kanani- Misri ikafanywa mateka. Naipenda huu wimbo
Nimesikia upako mzito sana wa nguvu za Mungu za ajabu kupitia wimbo huu. Nimeona mafuta mabichi ya Roho mtakatifu kuweka mambo wakfu na urejesho. Sifa zote kwa BWANA YESU.
@juliethmagova34352 жыл бұрын
Jamani jamanii MUNGU awainue sana maana ninyi mmeshuka chini!! zaidi sana mnampendeza MUNGU WA MBINGUNI,,napendaga sana vile mna mtumikia MUNGU MOTO ULAO,wewe Dr.Ipyana na minister Boaz danken na mkewe... love you in Jesus mighty name
@AdventinaAnthony2 жыл бұрын
In an exam room of a subject that’s full of confusion and then God brings me to this beautiful worship that change’s the atmosphere of the room to all of us in here. Glory to God, trusting God for better results maana HOFU IMEYEYUKA🙏🏽.
@isombachennel2 жыл бұрын
Trusting is better knowledge
@shijamsoga2773 Жыл бұрын
Matokeo yalikuwaje?
@FavoredGrace1122 жыл бұрын
Every mountain before me yeyuka katika jina la yesu. Make plain ABBA father every mountain and valley. For you alone you are my hope and only trust
@kevinmbagaya532 Жыл бұрын
Hallelujah 🙏 Mungu apewe sifa milele...
@daniedavid944 ай бұрын
magonjwa,umaskini,ukosefu wa ajira,biashara kuyumba,madeni,mahusiano yasio dumu,desperation na stress vyote vya yeyuka kwajina la Yesu.
@dianaminja3175 Жыл бұрын
Mungu naomba uniponyee mgongo na tumbo
@yvonnewanjiru-s4g2 ай бұрын
Milima inayeyuka😢😢who's like our God .......❤
@butwawestonmwailubi2 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu Dr. nabarikiwa sana na nyimbo hakika Tanzania tunajivunia kuwa na watumishi wa kariba kama wewe... Lakini yote katika yote Utukufu ni kwa Mungu mwenyewe kuyafanya yote haya.... be Blessed Dr. with your Ministry in praising Mighty God and worshipping him b'se is only one worthy to be praised .. Thank you Jesus for your exceeding joy
@goodluckmsuya89942 жыл бұрын
Nani kama wewe Mungu wangu unaetunza maagano Bless you Dr Ipyana
@rachelmacha37252 жыл бұрын
Amen kweli milima yayeyuka Mbele za Mungu wetu
@EdwinNsyani2 жыл бұрын
Tunamshukuru Mungu sana kwa ajili ya hii Ibada.Mungu akutunze mtumishi wa Mungu. JINA LA YESU LITUKUZWE DAIMA.
@mariamatuku647516 күн бұрын
Milima mbele zako, nani kama wewe Mungu wangu
@ErickMb-ty9pt8 ай бұрын
Natan kwel nije kuwa kama u bro🔥🔥
@Zachariahmwinuka77812 жыл бұрын
Nilikuwa nasubiri kwa shauku kuu sana this song...Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu DR. IPYANA...MUNGU AKUPE MAFUTA MABICHI,UPAKO MPYA
@sardiwilliam97264 ай бұрын
Hii ni uwepo wa hali ya juu kibinadamu🙏🙏🙏🙏.................
@officialsethmwaigomole.11552 жыл бұрын
Mimi Ni mshamba siku zote wa uwepo na Nguvu za Mungu,
@dianaminja3175 Жыл бұрын
Vimbe zayeyuka mbele zako
@rhodanilsson96272 жыл бұрын
Milima yayeyuka mbele zako ....maadui wanayeyuka .., nani kama wewe Mungu wetu .
@oyiera.daisy332 жыл бұрын
Ayyyyyiiiiiih this one is so deeeeep wuuuuueeeeeh thw atmosphere is heated up Mzee wa kazi yupo kazini
@stephenmuniss91172 жыл бұрын
22 Bali ninyi mmeufikilia mlima Sayuni, na mji wa Mungu aliye hai, Yerusalemu wa mbinguni, na majeshi ya malaika elfu nyingi, 23 mkutano mkuu na kanisa la wazaliwa wa kwanza walioandikwa mbinguni, na Mungu mwamuzi wa watu wote, na roho za watu wenye haki waliokamilika, 24 na Yesu mjumbe wa agano jipya, na damu ya kunyunyizwa, inenayo mema kuliko ile ya Habili. Waebrania 12
@israelmartin20222 жыл бұрын
Heribaranta kalibarasal,,,,,,God is good!!!!🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@joelmulimbiOfficiel30896 ай бұрын
Mungu kumbuka inchi yangu ya congo piya n'a jamaa yangu 🙇🙇🙇🙇🙇🙆
@ednee_sweetcakes10 ай бұрын
mara ya 4 nawatch this holly song
@ericabarnabas572 жыл бұрын
I've been waiting for this release Waebrania 12:22. YAHWEH is THE MOST HIGH GOD
@theeproverbs31babe822 жыл бұрын
this is a daily dose early in the morning late in the night until all the neighbours can sing it coz it plays daily in my house
@henritachacha51542 жыл бұрын
Amen magonjwa yanayeyuka,maadaui,madeni,umaskini,mitego yote yanayeyuka huduma,kazi,zinachanua amen
@janenjeri49512 жыл бұрын
I join you and your team Dr.Ipyana to worship Jesus...Milima yayeyuka mbele Zako,Nani kama WEWE MUNGU wetu..🙌🙌🙌🙌
@vickimwangi32912 жыл бұрын
I have really waited for this I bless God for you sir God bless you
@natashalameck68435 ай бұрын
Ameen Ameen
@thaeckdvibe97262 жыл бұрын
kaka Ipyana endelea kuwafanyika baraka kwa mataifa pamoja na Israel kwa wimbo huu huduma ilojificha ndani yangu naanza kuiona sasa
@winnieotieno48602 жыл бұрын
Nani kama Mungu wetu 🙏
@bettykelitu58262 жыл бұрын
So many Kenyan fans in the comment section! Indeed man of God, you are a blessing to us. We love your Spirit-filled worship. May God keep using you for His glory.
@vincentanyona68542 жыл бұрын
Ammmmeeeeen 🔥🔥🔥🔥🔥 God bless you man of God watching from kisumu City 🇰🇪
@joycemaige86832 жыл бұрын
Tiba ya mifupa yangu Bwana nishike mkono miezi iliyo baki kumaliza mwaka nisikutane na makwazo kwenye safari ya kuludi home nisaidie nikae kwenye mlima Sayuni
@subirakulyamo59212 жыл бұрын
Nimesubirii sana ubalikiwe
@tumainituya67892 жыл бұрын
Naona mafuta mabichi yanafurika ya roho mtakatifu ubarikiwe dr
@irenekilenzi5099 Жыл бұрын
I am leaving this note so i can come back to testify after todays prayers Guys am back and am in years ...my God did it jamn ...nmekuja mlima sayuni kukusifu na kukuabudu naongana na maserafi na makerubi....thank you God ametunza maagano na milimama imeyeyushwa 🙌🙌🙌 my God jamn nyie
@johnwaithanji77242 жыл бұрын
It's out. Glory to God. Milima ya siasa Kenya itayeyuka pia
Nabarikiwa sana ,, Ulifanya maamuzi sahihi kutumika kwa Bwana
@cathys15352 жыл бұрын
🔥🔥🔥nani kama wewe Mungu …. Milima yayeyuka …..Yahweh Yahweh utukufu ni wako
@winnieinziani38472 жыл бұрын
this song is full of God's glory magonjwa, cancer , Diabetes and all those evil things zinayeyuka sasa
@elizabethdzitu4310 Жыл бұрын
Amen ,milima yayeyuka mbele za baba yetu❤❤❤❤
@JayJayHolding2 ай бұрын
We bless God for you Dr.Ipyana. More Grace.
@sandrafungafunga Жыл бұрын
Nilipo sikiya iyi wimbo limenipa nguvu asante kwako
@berthayindi64462 жыл бұрын
Natetemeka 😭😭..! Who is like our GOD? Ni Nani kama Mungu wetu huh
@josh44902 жыл бұрын
Live from 🇨🇦🇨🇦🇨🇦 Godbless you so much... 🙏🙏🏼
@Rehothkenya2 жыл бұрын
Barikiwa sana mutumishi wa Mungu 🙏🙏🙏🙏😇😇😴😴😴
@baryblessmmbando2 жыл бұрын
More blessings brother napata Amani nikiusikiliza wimbo huu dah MUNGU alikutumia vile apendavyo katika kuifanya kazi yake azidi kukuinua zaidi na zaid AMEN
@gichuhi_marcie22502 жыл бұрын
Nani kama wewe bwana🙌hayupo Yaani wimbo huu wanibariki sana ....Mungu aendelee kukubariki daktari
@faithsteve2 жыл бұрын
Milima yayeyuka mbele zake bwana 🙏 hakuna mwingine kama yeye mungu wetu.
@baddymeddyke78819 ай бұрын
Nammilikia jua mwezi na nyota
@neshalmanguli78502 жыл бұрын
Barikiwa mungu azidi kuku inua viwango adi viwango
@jenifamuia22862 жыл бұрын
This is amazing,Jesus reigns
@nzisakasau82342 жыл бұрын
Finally the song is here great song great job👏👏👏👏
@ProsperAleng-kd1se Жыл бұрын
Jehova ainuliwe mulele!!!milima yayeyuka mbele za mungu wetu!!!
@fredrickotieno255410 ай бұрын
Madeni yayeyuka mbele zako bwana ziende katika jina la Yesu
@lightnesssawe29182 жыл бұрын
Halleluya,,, Glory to God, hakuna kama Mungu wetu, kila jambo anaweza Mungu wetu hakuna lililogumu lakumshinda Mungu wetu, Utukufu ajichukulie Mungu wetu tunapoinuliwa kwa utukufu wake, waoooh it's amaizing song for sure be blessed man of God, Mungu azidi kukuinua kiwango hadi viwango vya juu zaidi 💃
@charlescosmas48872 жыл бұрын
Nilikuwa nasubiri kwa Hamu huu wimbo, Milima yayeka mbele zako. To Him all power all might all wisdom all glory to Him.Yehova aliye hai 😭😭😭😭😭😭
@hilaryisaaimu39322 жыл бұрын
Hallelujah kila aina ya milima inayeyuka katika maisha yangu,milima stagnation unto my life inayeyuka in Jesus name
@collinmtoto5722 жыл бұрын
This is more than amazing. Thanks, God, for your blessing. Glory be to God forever. Thanks, Dr Ipyana, for nice songs
@isaacwangui2 жыл бұрын
Ohhhh from Nakuru 🇰🇪🇰🇪....it has made me 😭...neema ikuzidie mtumishi
@brendachebet77302 жыл бұрын
Powerful. Representing 🇰🇪
@evalynkakui91932 жыл бұрын
Who is like you God you can't be compares God I'll keep to lift you up Jehovah because u've done for me