Ipo siku nitafika sehemu ambayo mungu ataniweka niwashangaze wanao taka nishindwe
@SherdrakJohnny3 сағат бұрын
🤝🤝🥁 namshukuru mungu kwa kukaribia kumalizia mwaka na kwenda kuanza mwaka mwingine kwa kishindo
@LaizerRachel3 сағат бұрын
Namshkur Mungu Kwa ajili yako barikiwa san
@fatmaali32673 сағат бұрын
😅
@fatmaali32673 сағат бұрын
Thanks dr ipyana
@fatmaali32673 сағат бұрын
Tz 🇹🇿umeinulka katika mbele za mungu
@marykisaka28573 сағат бұрын
Thank you Dear Lord for everything you've done for me this year 2024. I have a lot to tell you but you know my heart, it has so much gratitude for each and everything you've done and continue doing for me and my family.
@MeshackMbwile3 сағат бұрын
I will be waiting ✋
@ruthkiaulilo-tz4 сағат бұрын
Dr Ipyana is such a Humble man ever.. the level of Calmness that God has put inside this man is immesurable🥹🙌🏻🙌🏻🙌🏻Mungu azidi kukuinua kwa Neema yake mtumishi wa Mungu🙏🙏
@KennedyProsper8 сағат бұрын
Thanks you God for any things done for me.
@lardynekipsang40838 сағат бұрын
God I know and I believe coming next year I will come with a testimony ...and I will use this song to praise you Lord🙏
@lamechobutu99899 сағат бұрын
Baba mungu tenda 🙏🙏🙏
@Just_in91110 сағат бұрын
Asante Yesu kutufikisha hapa...nimekuja kushukuru 🙏🏾🙏🏾
@kavenyi11 сағат бұрын
Hallelujah
@christineolengo454012 сағат бұрын
I can see mrs jb masinde there....❤❤❤❤❤hatuja ona namna hii
@NancyGachanja-gt5bv12 сағат бұрын
Niseme nini?namushukuru mungu
@alindajoel670414 сағат бұрын
I want to be part of this testimony 🙏
@Wanjabessie22 сағат бұрын
I'm coming back with a testimony 🙏
@Adelphine-it6vvКүн бұрын
Amen 🙏🙏
@oscarmkumbo7451Күн бұрын
Ahsante
@hellenrogath45482 күн бұрын
Sijalala kwa ajili ya hi nyimbo nzuri sana I ❤ you
@judymuthoki22482 күн бұрын
Kenyans in the house & those from Eastern have you seen our own Wilberforce Musyoka in this live I am happy
@alainmpanga62622 күн бұрын
Amen
@GKWaJESHURUN2 күн бұрын
This is the top most song for me this year
@kissageorge39872 күн бұрын
Kiufupi siwezi kunyamaza ni mengi MUNGU katutendea ibaki tu kusema wewe ni ebeneza usiwe shindwa
@RosinaWawuda-g9d2 күн бұрын
Hata mimi niko Hapa Kenya 🇰🇪 Taifa Letu Nashukuru🎉 Kwani Mungu Amenipendelea.Haja Shindwa Bora Umupe Nafasi.Mimi Ni Baadhi ya WanaoShukuru Matendo Mengi Makuu ya MUNGU.Mungu Wetu Ni Wa MikakatiStay Blessed 🎉
@GRACEWANJIRU-do8el2 күн бұрын
Isaiah 54:17 no weapon formed against you will prosper in Jesus name
@All_thingsparlky3 күн бұрын
Baba ninakushukuru
@reagancgans273 күн бұрын
2023😢😢😢i will never forget
@beatricecherdiel92993 күн бұрын
Umetembea na mimi toka mwanzo upo pamoja nami ulitangulia mbele bila wewe nisingeweza, hapa nilipo ni kwa nguvu zako Asante Elohim. ❤
@peninachelangat39123 күн бұрын
Thank you Jesus❤
@frandzenlukorito3 күн бұрын
Thank you for the cross
@elizabethmumina81393 күн бұрын
The 1st day to hear this was yesterday by pastor luke moki jcc bamburi mombasa before he started preaching...aaaaaaah
@lindaayodi76333 күн бұрын
December 23rd God am grateful,sijaona namna hii
@DianahNjeri3 күн бұрын
Thank you God for another opportunity 😢😢❤,new job in a new country after being jobless for 3 years..Baba Asante ❤❤
@IreneMokobi3 күн бұрын
Siwezi kunyamaza wakati Mungu ameponya mama arthritis iliyomhangaisha sana....sijaona nanma hii
@sarohmillan37133 күн бұрын
Tumshukuru huyu Mungu jamani, ametenda makuu maishani mwetu🙌
@kainboaz49863 күн бұрын
Nawezaje kunyamaza nawakati mungu amenipa uhai pamoja na mume jaman ainuliwe mungu wetu
@RachelMkumbo3 күн бұрын
Jamani Mungu akubariki San tunaomba Grand ibada pia singida 😢
@Rebecca-k5l5h4 күн бұрын
Siwezi nyamaza amenipa uhai bure
@AgapeLukumai4 күн бұрын
Nawezaje kunyamaza Kwa mengi mungu aliyonifanyia katika maisha yangu toka huu mwaka wa 2024 siwezi kunyamaza wakati amefanya Nina Kila sababu ya kumshukuru siwezi kunyamaza kabisa
@julietmusimbi77864 күн бұрын
Nashukuru
@PendoDauson4 күн бұрын
asante Elohim
@christophermwendwa13174 күн бұрын
You are such a blessing to many souls Dr. Ipyana. We love your songs here in Kenya.
@godwinlutete84794 күн бұрын
God bless you 🙏 dr
@Funke_Technologies4 күн бұрын
Thanks God for everything in my life
@ellymcharo17194 күн бұрын
I need you Jesus Christ
@neemamuga13984 күн бұрын
Naweza kunyamaza na Mungu amefanyaaaa 🙌🙌Ameniponyaaa Cancer ya ziwa iliyonitesa for 9 months🙌.yalikua maumivu makalii mnooo yasiyowezaaa kuelezeka mwili mzima ulikua unawaka motooo 🥹.Mungu ni mwemaaa mnooo🙏🏻Tumuamini Mungu