I personally attended this live recording with the zioners band. The place was powerful. Jesus be lifted forever🙌
@humphreywanjohi6 ай бұрын
We're here
@lucytatublessed95766 ай бұрын
Where are my fellow kenyans🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 and East Africa at large. Lets gather here in the presence of the most highl🙏🏽🙏🏽🙌🏻🙌🏻
@JESSEKARANI-16 ай бұрын
Here🎉🎉
@janinwendy72646 ай бұрын
Am here
@beatricerubia38675 ай бұрын
Here
@JacquelineBerege6 ай бұрын
Zaburi 27:4 Neno Moja nimelitaka kwa BWANA, Nalo ndilo nitakalolitafuta, Nikae nyumbani mwa BWANA Siku zote za maisha yangu, Niutazame uzuri wa BWANA, Na kutafakari hekaluni mwake. One thing have I desired of the LORD, that will I seek after; that I may dwell in the house of the LORD all the days of my life, to behold the beauty of the LORD, and to enquire in his temple. NATAKA NIKUONE MAISHANI MWANGU MAY GOD BLESS YOUR MINISTRY,,,,am blessed 🎉
@peterkithuku81666 ай бұрын
Are you here in 2080? Alright, just know Dr Ipyana was a minister of God and a worshipper who made congregants humble before Almighty God. Thank you Man of God for saying Yes to Jesus #ForGodforGenerations
@onyangostephen26386 ай бұрын
The Gen-Z who are here to like and comment. Be blessed and may the good Lord help us❤❤❤
@lydiawanjiru24526 ай бұрын
Let me see you Lord until it becomes that it is no longer I but Christ in me❤😢🇰🇪 Thanks a lot for this song ... this is real worship
@RizikiKidumba6 ай бұрын
❤
@nelithamimwani45166 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏Ohooo MUNGU wangu pale nilipokukosea nisamehe MUNGU wangu ili nikuone kwenye maisha yangu anza nami MUNGU ikiwa ni mwezi wangu wa kuzaliwa huu ohooo YESU nikumbuke🙏🙏🙏🙏
@EdwinNsyani6 ай бұрын
NATAKA NIKUONE YESU.HII NI KIU YA MOYO WANGU DAIMA.
@Nathalights6 ай бұрын
Hellow People of God,...😊😊😊😊you are all beautiful, whoever is looking at this comment, God loves you too much,...in fact ,in earthly way of talk they'd say MADLY IN LOVE, but well since it's not mad, let's just say GOD LOVES US!😊😊😊😊 Beautiful God made Beautiful people
@majestymaurice32396 ай бұрын
God loves you too 🙏
@Nathalights6 ай бұрын
@@majestymaurice3239 Amen
@Tag-BuzaWwkChoirBmc6 ай бұрын
How many of their desires to see God have increased through this song 🙌🙇
@gabriellafaith61286 ай бұрын
That first statement 🙌 Malizana tu na MUNGU, Malizana na Mzee 🥰🥰🥰🙏
@AccaTz4 ай бұрын
Even me❤
@furahinipallangyo13636 ай бұрын
Nataka nikuone Mungu Nionekanie kwenye maisha yangu Nakuhitaji Zaidi na Zaidi eeeh Mungu Karibu ndani ya Moyo wangu wewe ni mkuu milele nitakaa kwako milele baba Ahsante sana Ipyana kwa Wimbo mzuri Hadi nimelia kaka kuna namna huu wimbo umekuja wakati sahihi kwangu nipo ndani sasa ni siku ya 4 sina cha kufanya sina kazi nadaiwa Kodi nadaiwa dukani sina cha kupika sina nimetumiwa 5000 na kaka yangu hapa nimetoa 4000 alafu 1000 nimeunga Bando Namshukuru Mungu nimepata chakula cha roho ubarikiwe kaka
@Jassy-kx3ww6 ай бұрын
MUNGU akupe haja ya moyo wako usikate tamaa MUNGU anakupenda sana mtumaini yeye nae atafanya
@ezrakaturitsaofficialtz78736 ай бұрын
Utukufu umrudie yeye
@furahinipallangyo13636 ай бұрын
@@Jassy-kx3ww Ameen
@furahinipallangyo13636 ай бұрын
@@ezrakaturitsaofficialtz7873 Ameen
@cindykate52136 ай бұрын
Nitazame uzuri wako patakatifu pako hekaluni mwako....oh Jesus this song is deep. So much love from Kenya
@stevebrown85136 ай бұрын
Dr Ipyana May God richly continue to use you with your songs in blessing people . Truly you are such a blessing 🙏. This song touched my heart
@hopezawadida6 ай бұрын
When I get to heaven,I will remember this was my prayer and God faithfully answered me. Singing the song with revelation.
@lilymaita6 ай бұрын
Jambo moja nimelitafuta, nikae uweponi mwako barazani pako Bwana
@MinRuthKarisa6 ай бұрын
The cry of my Heart Forever to Dwell in your presence🙌🙌🙌🇰🇪🇰🇪
@luciegoodluck66486 ай бұрын
Nataka nikuone ukiinuliwa kwenye maisha yangu🙏🙏😭😭😭
@ipyanamwampalile55046 ай бұрын
Zabur 27:4...neno moja nimelitaka kwa bwana.❤❤🎉
@dannieburah84466 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu tupate yale Mungu ameweka kwako Nakupenda Kaka🙌🙌
@Sly_Roc25ky2 ай бұрын
The Song is really a blessing... Kwa kweli kumwona Mungu Ni Suluhu Kwa Mambo Mengi... MORE GRACE AND MAY GOD uplift you more Citizens of Heaven
@ianjesse85256 ай бұрын
Powerful worship music love from Kenya 🇰🇪
@evamoses97536 ай бұрын
Nataka Nikuone Baba Yangu Maishani mwangu🔥🔥🔥🙏🏻🙏🏻🙏🏻🇹🇿🇹🇿
Kuna wakati unapitia mambo magumu sana katika maisha, kupanda na kushuka, unatumia kila uwezo na akili ulizo nazo lakini ni kama haupati mpenyo,Nataka nikwambie dont run away from God....Run to GOD no matter what,, Mungu yupo,Mungu Yupo......ZAB 27:4 NATAKA NIKUONE BWANA......My testimony
@Muteti_K6 ай бұрын
My testimony too.
@Cate146 ай бұрын
Nataka nikuone Bwana ,this has hit at the right time ,Glory unto the Lord 🇰🇪
@clintonsimiyu42715 ай бұрын
@dr Ipyana and the team, you are really a blessing to our lives. May God use you more and more.
@clintonmutzori35126 ай бұрын
This man never disappoints 2024 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@rockvictor70015 ай бұрын
A follower since 2020 when coronavirus (COVID-19) was the talk in every corner of the world. The songs are top-notch.
@joramkyando92596 ай бұрын
In My incomplete Journey kufikia kuwa yule ulieniambia nitakua, I WANT TO SEE YOU LORD...I connect myself n'to this worship😭😭😭🙏🏽🙏🏽
@Dr_PhilK4 ай бұрын
I am here after watching this mighty man of God singing at Women Foundations Conference in Kigali Rwanda,holy spirit ministered me till I cried like a baby,what an intelligent and yet a humble and anointed man! Dr, I want to tell you, God has chosen you to be his vessel and be used by Him in such difficult and corrupt world for a good reason,be brave and courageous,YOU ARE NOT ALONE!💪💪👍👍
@CatherineNzeki4 ай бұрын
AMEN.INDEED HE IS A SERVANT OF GOD
@yehusonga6246 ай бұрын
It is my daily Prayer To see You LORD in my life To see you Jesus KING OF GLORY
@lokorikenya28046 ай бұрын
Eeh Mungu fungua macho yangu Nikuone Bwana kwa Jina la Yesu .
@luciegoodluck66486 ай бұрын
Nataka nikuone Bwana kuliko Jana kuliko juzi nikuone kwenye maisha yangu nikuone wewee nahitaji kukuona ww tyu 😭😭😭😭😭
@sophiabonaventura82292 ай бұрын
Nataka nikuone eeh Mungu nitendee kwenye maisha yangu baba.
@JastineMwombeki6 ай бұрын
Mungu wangu akubariki sanaaaaaa brother.... hakuna uzuri kama kuwemo ktk uwepo wa Mungu
@HarrietMariah6 ай бұрын
Oooh Yes ...nataka nikuone maishani mwangu Yesu
@evakatani6366 ай бұрын
Hallelujah 🙏, nataka nikuone eeeh Yesu maishani mwangu🙏
@DottoMpapi5 ай бұрын
Shauku ya moyo wangu Yesu,,, nataka nikuone maishani mwangu
@carolmuthiani63636 ай бұрын
Lord I want to see you in my life
@JoyceNgechu-t4h28 күн бұрын
Kenyans love you, waiting for your live performance.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@egidegoodman936 ай бұрын
I want to see you Jesus in my life. Be with me for everything Lord,,👏
@pallangyodaniel89185 ай бұрын
MUNGU akuzidishie usipungukiwe katika utukufu wake 🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️💖
@petermakokha84484 ай бұрын
This is the cry of all christians who are on fire 🔥 for God
@everlynkamau38202 ай бұрын
Listening to this as I prepare to go for a Kesha at night. I will leave this comment here, because I know the God who has kept me will meet me in that sanctuary. I will see Him.
@anitahbecky93046 ай бұрын
This is powerful... May this anointing never fade away in Jesus name
@josephmnembuka69986 ай бұрын
NI SHAUKU YANGU PIA KATIKA SIKU ZANGU HAPA DUNIANI NITAKA NIKUONE MAISHANI MWANGU MUNGU
@Pastorkarimoni39846 ай бұрын
Ni muvea... Hongera Mtumishi
@margaretkabwere74296 ай бұрын
Nataka nikuone maishani mwangu Mungu wangu🙏🙏🙏
@Mastorytown6 ай бұрын
Mm sina cha kusema ila tuu mungu ainuliwe zaidi na zaidi Barikiwa kaka
@mercylintyra48886 ай бұрын
Ee mungu nataka nikuone maishani mwangu
@AthumanRamadhan-h5e6 ай бұрын
Na mm Yesu nataka nikuone maisha ni mwangu.Kama wengine unawatendea na wanauona wema wako na mm Leo kupitia wimbo huu nataka nikuone Yesu
@zakiamahanyu26576 ай бұрын
Nataka nikuone Bwana,tusaidie sote tuweze kukaa katika uwepo wako
@JosephBarakaMasembo-qd2vr6 ай бұрын
Karibu tuabudu kwa pamoja this touch song I waited kwa hamu sana be blessed @dr Ipyana
@DoreenJohn-pv4fd6 ай бұрын
Hallelujah, nataka nikuone Yesu maishani mwangu🙏
@ukweli2552 ай бұрын
Sunday 06 October 2024 Nataka nikuone Baba katika safari yangu ya Maisha yaliyobaki😢🙏
@felicitygitonga76266 ай бұрын
Truly this has come at the right time.iam in Uganda with briquettes project which I have worked on since 2018 and not have entered in the market .lord my I see you I know you're El shaddai lord may I see you.Jesus I trust in you Amen
@DorcasShekinah3 ай бұрын
I have been singing this song even in my dreams 😭
@FloraLemaАй бұрын
Ameen like wise to me
@mouzinhocorneliojacob35516 ай бұрын
Seja abençoado por este canção, canção que toca do fundo do meu coração ❤❤❤(estou em Moçambique 🇲🇿🇲🇿 🇲🇿 🇲🇿)
@ezrakaturitsaofficialtz78736 ай бұрын
Neno moja nimelitaka kwa Bwana nikae nyumbani mwa Bwana siku zote za Maisha yangu
@catherinewesonga-qq8im6 ай бұрын
This is my desire oh Lord,,,to behold your beauty all the days of my life
Ubarikiwe Mno Dr Ipyana Mungu Akuinue Zaidi na Zaidi 🙏🙏👏👏
@heidibannice89733 ай бұрын
This is my 2024 ❤ prayer Exactly what I have been telling God be a I have really suffered 😢 It’s enough I want my life to be a living testimony for his glory to be seen I want to be an example his specimen after all this pain and suffering I want to see you highly lifted up🙏🫶🏿🇰🇪👐