Most of the time, when God uses us we tend to aim to give God his glory, but in the middle of doing that, we fall short of focus. We tend to include our ego, the contributions or positions we think we've played for such thing to happen. This song #Take it All reminds us that, 1. God deserves ALL the Glory-he never shares with any human nor anything he created. 2. There is nothing we can do to deserve sharing the glory with our God. 3. Sharing God's glory nullfies the rest of it. We have to learn TAKE IT ALL principle over our lives achievements being academics, family, health, ministry, annoint, finances etc. If we pass this taste of sharing God's glory we shall Excell in his throne's dimensions 🙌🙌.
@rachelkasub3 жыл бұрын
Very true
@ndefanikiomary69153 жыл бұрын
Your right!Lord have mercy on us!
@cia_asila3 жыл бұрын
@@dripyana1231 AMEN
@neliansanchez57923 жыл бұрын
Very well said. We can't share God's glory.
@dennismungai81393 жыл бұрын
well said...
@catherinenyambura1763 Жыл бұрын
Ohh Thanks so much for for taking us to the presence of God.May The Lord bless and preserve you so that our present and future generations may know how to worship God
@dr.peterik25863 жыл бұрын
I want to see at least 30 Milion subscibers in this HOUSE OF WORSHIP Bro Ipyana Mungu azidi kukuinua na uzidi wewe kushuka chini ili yeye Yesu aendelee kuinuliwa kupitia huduma yako
@patrickkubuya3 жыл бұрын
Take all the glory baba God. None one is like you Jesus Christ
@angelamvaa22293 жыл бұрын
Glory to God, use me Lord all the time am ready
@lydiaawuor62373 жыл бұрын
You guys should do a collaboration together love your songs
@irenemulu66553 жыл бұрын
Huu wimbo unibariki sana ....Mungu aipanue mipaka yako.Kenya is waiting for you
@christophermwendwa13175 күн бұрын
You are such a blessing to many souls Dr. Ipyana. We love your songs here in Kenya.
@olipaburton54153 жыл бұрын
Ooh! Hallelujah utukufu una yeye aketie mahali pa juu sana,ukuu wake umepita majina yote utukufu una yeye mfalme wa utukufu,Pendo lake ni halisi kwetu kwa nyakati zote na majira yote,Mmebarikiwa sana bwana amewaamini kutumika katika ufalme wake wenye nguvu kuliko falme zote
@baruthdavid2343 жыл бұрын
Kuna namna Tanzania HATUJUI KUFURAHIA MAFUTA KAMA HAYA (DR.IPYANA). Angekuwa Nigeria au south Africa , UFALME ungeenea kwa KASI. Ila ATUKUZWE Bwana kwa ajili ya zawadi nzuri kama HII. AMEN HALLELUJAH.
@eastcuisines1243 жыл бұрын
Utabaki kuwa Mungu Yesu, hata katika hili la nchi yetu kumpoteza kiongozi wetu Magufuli jina lako Libarikiwe
@irenemdoe21793 жыл бұрын
Wimboo wa Ajabuu wa viwango vya juu mpaka naogopa,🙏🙏🙏 Mungu Atukuzwe
@mkudemwisarya50103 жыл бұрын
Aisee! Cjawai kuona Powerful Song iliyovamiwa na Nguvu ya Ajabu ya Roho mtakatifu kama Hii! Nami namuomba Mungu siku moja nguvu hii inishukie ikae ndani yangu. Dr. Ipyana Pray for Me!
@TammyTashy19913 жыл бұрын
😭😭😭🙌🙌🙌 when i can't use my own words to glorify, praise, adore, appreciate my Miracle working God, my Abba Father, God of Impossibilities, Elohim, God my Provider, 😭😭🙌🙌nakuja hapa kuskiliza huu wimbo...#TakeItAll
@medlinenzuki95022 жыл бұрын
Sometimes we are tempted to take the applause of men, and we unknowingly end up beating our chest for having achieved some milestones in our lives.... Ohh Father, take all your glory.... Almighty God take all your glory.... We are nothing without thee in our lives... Those who are prideful end in shame like Nebuchadnezzer who ended up eating grass.... Help us to be humble at all seasons, dear Lord in Jesus name....Humble yourselves under the mighty hand of God and He will lift you up Pride comes before destruction .
@Kilele-Cha-Sifa6 күн бұрын
My deep worship song with my holy spirit
@philbertbukeme61773 жыл бұрын
It is the time that the good God is visiting Tanzania like never before. Can't wait to be a part of His move.
@ikupaabrahamu83133 жыл бұрын
Amen!!! MUNGU atukuzwe kwa wimbo huu ni baraka saana kwangu.
@anitharwehumbiza25133 жыл бұрын
Powerful song,Oooh my God,powerful worship song,nguvu za ajabu. Your my number one worshipper. Mungu aendelee kukupa nyimbo mpya kila wakati kwa sifa na utukufu wake.
@gasparymiltonruzemvya3 жыл бұрын
Hallelujah 🙌🙌🙌
@mwanjokaully49043 жыл бұрын
Tazama SAA Ipo nayo Yaja... Ambapo WAABUDUO Halisi watamwabudu BABA katika Roho na Kweli...😢😢 Congratulations family... Mungu ni mwaminifu na tunamrejeshea UTUKUFU WOTE #TakeItAllGod.
@ibrahimmaduhu18343 жыл бұрын
Chukua utukufu wako
@andrewgarrett48053 жыл бұрын
When I visit Tanzania I hope to attend one of your worship concerts Dr. Ipyana. May the one true living God continue blessing your ministry. Stay blessed.
@DrIpyana3 жыл бұрын
Karibu sana, glory to the Lamb of God
@andrewgarrett48053 жыл бұрын
@@DrIpyana How can we support your ministry Dr. Ipyana?
@DrIpyana3 жыл бұрын
You can reach me through whatsup +255712177580
@andrewgarrett48053 жыл бұрын
@@DrIpyana Thank you Dr. Ipyana. God bless you.
@isombachennel2 жыл бұрын
@@DrIpyana Hello brother am like your service God bless you
@livalinkulola27823 жыл бұрын
Take it All JESUS kwa yale yote umetenda ...you deserve all the Honor and Glory
@gabriellafaith61283 жыл бұрын
Take it all LORD 😭😭😭 All of it 🙌🧎🏻♀️🇹🇿🙋🏻♀️
@wistonaugustino76063 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi, ww ni Baraka katika nchi yetu 🇹🇿🇹🇿💓💓
@ireneamos9843 жыл бұрын
Oooh holy Spirit take all the glory
@prophetemmanuel8613 жыл бұрын
Umenifanya hivi nilivyo Leo kwa ajili y utukufu wako Mimi na familia yangu pia, YESU chukua utukufu wako, Dr Ipyana ninaudumiwa ahsante YESU Mtumie zaidi Mtumishi wako.....
@daltonsaul74763 жыл бұрын
Thank you Dr.Ipyana ,you become such a blessing to thousands of nation.I pray that God continue to add in you from hero to king of hero.Such a powerful ,meaningful worship..* Let God take it all*
@beatricemariki8373 жыл бұрын
Tanzania now we are worshipping, asante Yesu kwa mtumishi wako
@edwardbora73093 жыл бұрын
Asee namshngaa mungu alivy wa ajabu najisikia kububujik kil nikisikiliz huu wimb chukua utukuf mwan Dr naomb uniombee
@terrystephens95213 жыл бұрын
oohh Dr Ipyana taking me all the way ...Holy spirit Holy spirit...God bless you. much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@ministergodfirst80413 жыл бұрын
Chukua utukufu wako BWANA maana wastahili hakika wastahili YESU
@sylviaautophace71463 жыл бұрын
Amina sanaaa ubarikiwe mtumishi wa Mungu.. Hakika utukufu wote ni wa Baba.
@violetmlawa7490 Жыл бұрын
Mbinguni wapo pia wenye uhai wanne mungu aendelee kukuunganisha nao tunasujudu mbele zake yeye ainuliwe
@karenvocals25492 жыл бұрын
Ninaposumbuka Kukuskia Roho Mtakatifu! Ninapojifunza Kukuskiza! Chukua Utukufu Wako! Hata kama Amri Zako kwangu Mimi hazimake sense .. Chukua Utukufu Wako! Nitakutii. Nitaobey.
@catherineurio68463 жыл бұрын
Hallelujah chukuwa Utukufu wako BWANA
@ariseandshine2 жыл бұрын
😭😭😭for Jesus, Hallelujah!!
@sophiawilson65806 ай бұрын
All Glory is Yours King of GLORY
@elkanakilumbe3 жыл бұрын
Hakika.... anastahili utukufu... kunautofauti mkubwa sana kati ya mwimbaji na mtumishi wa Mungu
@egliseemmanuelkinyovu69543 жыл бұрын
I don’t understand Kiswahili but every time I listen to you music you bless my heart so may the lord protect you Much love from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@DrIpyana3 жыл бұрын
Thanks for prayers sir.
@martinkisanga7353 жыл бұрын
nguvu za mungu nime ziona kabisa katika uu wimbo sio waka waida ubarikiwe dr ipyana
@ronaldchambasi74933 жыл бұрын
AM OVERWHELMED NIMEJIKUTA NIMEZAMA BILA KUTARAJIA....😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪TAKE IT ALL JESUS🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@simonsigauke79243 жыл бұрын
Safi sana Dr Ipyana !!Mungu wetu ni Mwaminifuuuu!
@lidyabwathondi36943 жыл бұрын
You are my inspiration Dr...Mungu ameweka kitu cha ajabu sana juu ya kumuabudu..whenever i hear your songs napata goosbums..Mungu akutunze man of God..nakupenda..agape love
@irenemulu66553 жыл бұрын
I listen to this song everyday ..Karibu Kenya
@mercymungai8123 жыл бұрын
This is not just a song, it's a deep revelation, God's presence can be felt. Thank You Jesus, Take All the glory over my life, my academic, my family, my friends, neighbors, our Nation Kenya, 🇰🇪🇰🇪, asanti Yesu. Take It All Father. 😭😭🙏🙏
@nnkoelinas43513 жыл бұрын
Glory to God for his mercy. Blessed be his name "Yahweh"
@morrismuriithi67413 жыл бұрын
For you are worthy to be praised son of God 🙌🙌✨
@ariseandshine2 жыл бұрын
Daktari you bring a new touch to swahili gospel. We need praise and worship music..baraka tele na tele na tele. Bwana Mungu abariki sana injili na kazi ya mikono yako. Glory to God!
@judithlejalearnmore22362 жыл бұрын
Utukufu twakupa pokea Bwana Maana unastahili
@leonardsanya60933 жыл бұрын
Receive all the glory God🙏 Servant you are a blessing to us, may God use you more and more
@musaliaeugene79752 жыл бұрын
Wow take it all when I hear this song I just shed tears endlessly
@salopics_3 жыл бұрын
Dr Ipyan you're an anointed worshipper You've allowed God to be the object of your worship
@judithlejalearnmore22362 жыл бұрын
Bubujiko la utukufu Apewe Yesu
@emilymboroki50153 жыл бұрын
Take all the Glory Lord. Great anointed worship DR. IPYANA. More Grace
@barakaluhwago44793 жыл бұрын
Dr MUNGU AZIDI KUKUTUMIA SANA KWA UTUKUFU WA JINA LAKE
@Wakio2313 жыл бұрын
He will never share His glory with any man, take it all Abba Father 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@mwalimuleoh3 жыл бұрын
Brother Mungu azidi kukuinua Sana Injili ya Mungu iende ....
@judithlejalearnmore22362 жыл бұрын
Sifa apewe Yesu!
@elvistefurukwa55843 жыл бұрын
Take your Glory Jesus you deserve it
@joshuadenis68993 жыл бұрын
You're worth LORD, glory is yours, HONOUR is yours. We glorify you the Lamb of God. Take it all Jesus
@rhodanilsson96273 жыл бұрын
Amen Amen Amen ! Yesu chukuwa utukufu wako . Wewe ndiye umefanya Yesu . Wewe ndiye umenipigania Yesu .
@irenemdoe21793 жыл бұрын
Chukua Utukufu wako heshima mamlaka Ni zako Mungu Umeinuliwa juuu 🙏🙏 Mungu azidi kukuinua Dr Ipyana katika viwango vya juu Uwiii wimbo uliye jaaa roho mtakatifu
@daudiwiston54853 жыл бұрын
Wimbo uliojaa nguvu za Mungu, ubarikiwe mtumishi,Dr Ipyana!
@thealilys Жыл бұрын
Today is my birthday and this song has ministered to me a great time ❤❤
@DrIpyana Жыл бұрын
HAPPY BIRTHDAY
@thealilys Жыл бұрын
@@DrIpyana Thank you Sir. Amen
@MekTvMedia3 жыл бұрын
King of Kings, Lord of Lords you will reign forever through this worship that rise from the depth of our hearts, Take it Lord this is for you, #dr ipyana be blessed forever this worship is incredible!!!!!!
@MekTvMedia3 жыл бұрын
@@drlpyana137 your not Dr ipyana brother how comes ur account has only 1 subscriber and ur acting as a prophet through Dr ipyana ministries, shame on you! And I command u in the name of Jesus STOP IT!!!!!! Otherwise u will face the consequence, BE CAREFUL WITH THE FRAUDSTERS FAM!!! the guy with this account am replying on is not the real Dr ipyana BE CAREFUL!
@DrIpyana3 жыл бұрын
Thankyou for reporting him
@MekTvMedia3 жыл бұрын
@@DrIpyana thanks Dr am proud of your ministry!
@favouredblessed16423 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na wimbo huu. Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu..
@gilberteugen3 жыл бұрын
Glory be to the living God. Unastahili Wewe Mungu uliye hai kupokea utukufu wote. Tumwabudu nani kama si Wewe. Yesu endelea kufumndisha na kumfunulia zaidi ili Jina lako lizidi kutukuzwa. Mungu Mtumishi wako Dr Ipyana pamoja family na uzao wake. AMEN.
@edsonkabyemela_3 жыл бұрын
YESU CHUKUA UTUKUFU WAKO😭🙇♂️🧎♂️🙌🙏
@pastoralphaxardtutuba13333 жыл бұрын
Niliusubilia kwa ham kubwa sana. Siku zote ulikuwa unaimba ndani yangu na nikiingia KZbin siupati, nilipoona tangazo la kuuachilia huu nikasema asante Yesu. Na leo niliisubili hii siku kwa ham. Utukufu kwa Mungu. Mungu zidi kukukuza na kukuongeza katika huduma hii. Umebarikiwa.
@annachongolo39033 жыл бұрын
Yes Jesus, Take all the Glory
@glorycharles6153 жыл бұрын
Oooh yes!!!!!!anastahili utukufu yeye peke yake Yesu 😭😭......take it all Lord❤️
@josephatmathayo23553 жыл бұрын
Mungu akutumie atakavyo Kwa utukufu wake mwenyewe
@frazierchilande84133 жыл бұрын
Whooosh deep. This song makes you fall in love with God again
@Agatha_1523 жыл бұрын
Chukua Utukufu Wako Baba🙌🏿🙌🏿🙌🏿
@DrIpyana3 жыл бұрын
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@pendothomas72583 жыл бұрын
Take it all Father. Chukua utukufu wako Baba, you deserve it all
@frankfransicmtasingwa35883 жыл бұрын
Amesitahili YESU utukufu kwa ajiri ya Tanzania umetufanyia heshima na neema ya pekee, ubarikiwe Mtumishi
@annmusangi2043 жыл бұрын
I tap anointing I how I pray God anoint to minister like that
@DrBenandInHisPresenceWorship3 жыл бұрын
Take it all Lord. Utukufu ni wake
@christophermsekena6163 жыл бұрын
Tanzania achukue utukufu wake, namshukuru Roho Mtakatifu kwa kuniongoza uwe mentor wangu, sifa ya Yesu mwenyewe
@margaretnjoki94513 жыл бұрын
Ndio Baba chukua utukufu wote ni wako. Amen Amen
@deborahkiangi3929 Жыл бұрын
Take all the glory Jesus
@agathathomas28613 жыл бұрын
Glory to God receive all the Glory Jesus🙌🙌🙏
@adembajunior59693 жыл бұрын
TAKE IT ALL.
@olivewanjiru79563 жыл бұрын
When are you coming to Kenya...I really need this kind of heavenly worship....To be at the feet of Jesus... This song has made me see God in a very unique way.
@francisconyalema12793 жыл бұрын
Ee Mungu Utukufu wako n wako tu pekeee
@rudiakamugisha78443 жыл бұрын
Very powerful..GOD USEE YOU DR..I FEEL THE HOLY SPIRIT AND A LOT OF BRAKTHROUGH...TAKE IT ALL GOD
@rudiakamugisha78443 жыл бұрын
@@dripyana1231 Ameen
@successmbizo32093 жыл бұрын
The One and Only....King Jesus who dwells among us. Hakuna Mungu mwingine anayeweza kukaa ndani yetu, ni Yeye Peke Yake
@yambazisimon17033 жыл бұрын
Take it all Jesusu
@yambazisimon17033 жыл бұрын
@@dripyana1231 Amen mtumishi wa Mungu, japo cjui kiingereza vzr lakn nmeelewa japo kidogo, samahan umeyagusa maisha yangu mpaka machoz yamenitoka naomba uniambia vzr kwa lugha ya kiswahili
@El9a3 жыл бұрын
I sincerely love this song... ... hata nikikaa kimya unajirudia moyoni, Annointing and the glory of God in this song is Real... Be Blessed Man of God Dr Ipyana.
@nimfarichard3523 жыл бұрын
Nimeabarikiwa,,,....Wimbo huu umenifanya kila jambo nimrudishie Mungu utukufu pekee hatakama sina space ya kuomba ktkt ya wimbo huu Ninamwazimisha Bwana.Holy spirit thank you, Jesus Thank you.Utukufu ukurudie kwa ajili ya mtumishi wako huyu.Endelea kuachilia mafuta kwake uzidi kuinuliwa sio Tanzania pekee bali Duniani
@frankdmushi3 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na huu wimbo
@edwinalexander11703 жыл бұрын
Huyu Dr. IPYANA ni mtanzania, he is singing so nicely, he is a blessing to this generation.
@DrIpyana3 жыл бұрын
Glory to the Lamb of God in the highest
@eliyamwaigomole28003 жыл бұрын
God bless u again,MUNGU aendelee kuachilia mafuta zaidi kwako!?.
@hmbaru2 жыл бұрын
love the swahili part....Amen
@amonphilip59023 жыл бұрын
YESU ahsante mana inatokea sasa hapa Tanzania...#revival
@jonmwalugha31483 жыл бұрын
Indeed Take it all, Lamb of God my elshadai.. My worship and praise belongs to you Abbah Father. For all that you do n done in my life, I give my All unto you. Be exalted as I let myself to be ur servant to be molded and walk with you. ALL GLORY BELONGS TO YOU GOD. @IPYANA GOD BLESS YOU FOR REMINDING US MAY UR MINISTRY BE BLESSED.
@pastorheri7153 жыл бұрын
Be blessed in the name of Jesus Christ of Nazareth. 🙏
@dickyndama73693 жыл бұрын
Amen.. #takeItAll
@gabriellafaith61283 жыл бұрын
Chukua take take take it all GOD🥺🙌🙏🧎🏻♀️💃🏻
@pastorlatsonmusa3 жыл бұрын
Take it all God, its not by mighty, not by power, but by your holy Spirit
@neematumainiel45283 жыл бұрын
Namuona Mungu kwenye huu wimbo yani kila nikiusikiliza nasikia nguvu yaroho mtakatifu