DR IPYANA WANASEMA NINARINGA,HAWAJUI NINA MKE,WATOTO/MIMI NI INTROVERT
Пікірлер: 39
@monicasimpilu62577 күн бұрын
Asikujua hakuthamini. Bora wakwambie unaringa. Kuliko kufumania. Una heshima sana mwanangu
@edithakimario34304 ай бұрын
Nimekufuatilia Kwa muda mfupi nimeshika hofu ya Mungu ikiongezeka sana ndan yangu unakitu Cha tofaut Dr Ipyana .Kwa macho yakibinadam watu hawawez kuona
@mammyaswani64553 жыл бұрын
Am an introvert too and am happy when alone.
@user-qk5eb7wy9b10 ай бұрын
Ameeen tunaishi kwaneno litokalo kwa mungu na siyo maneno ya watu saluti kwa mtumishi
@j.matinde3174 Жыл бұрын
Huyu Daktari anakaa mnyenyekevu sana sio maringo hayo
@joannajack25963 жыл бұрын
Live your life for christ Jesus binadamu wako hivyo ukinyamaza unamaringo ukiongea wanatafuta makosa, as a servant and man of God, for God to lead you in the right path its good kukuwa vile huko Ata Mungu hapendu kiherehere
@jengekakifikra4462 жыл бұрын
wengi wanasema mimi muoga,wengine wanasema naringa kwa sababu ya nafasi nilionayo,wengi wanasema nimejijengea ufalme wangu mwenyewe........huhuhuhu im enjoying that,nahiaji kuwaona kwa mbali na ninafurahia hilo wao wanadhani naumia na kujihisi mpweke,my super power naeza kukaa ndani half a week huku nafanya issue through meadia
@virginiadavid8714 Жыл бұрын
Humble man may God bless you 🙏👍
@edithakimario34304 ай бұрын
Dr nakupenda Sana Yan unahofu ya Mungu sana na uwepo upo wa wa Mungu hivyo Kwa asiyefaham anaona unaringa
@margaretkanini6683 Жыл бұрын
The most humble minister
@janenjeri49512 жыл бұрын
A very humble man.
@gloriousn64253 жыл бұрын
We introvert are considered antisocial, MTUELEWE TU JAMANI. i prefer my alone time, me time 🤗🤗
@ebenezafarajah50252 жыл бұрын
Mimi pia ndivyo nilivyo
@doriszephania35032 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu Dr Ipyana
@johnmwatu88952 жыл бұрын
It's God's glory n favour not pride,people shud not perceive otherwise,God bless Dr Ipyana,God bless Kenya God bless Tz n all our neibas,,karibu Kenya-Ken Mwatu-RGC Umoja
@kanankirannko6174 Жыл бұрын
Ringa sana Mtumishi Stahili yako inakufanya ufike mbali Mungu anapenda utulivu ,unyenyekevu na kutulia huko ndo kunafanya tuvutiwe na nyimbo zako mfano ,Umestahili heshima na utukufu ooo
@nanagreco8143 жыл бұрын
Ringa baba ,,, Mungu amekupa kipawa bure na unakutumia ipasavo,,,, fanya kile Mungu anakuongoza husifanye kile mwanadamu anataka,,,, nakupenda bure kijana wangu
@elizabethcharles47123 жыл бұрын
Ubarikiwe
@faithsonkoyo14052 жыл бұрын
Ringa kabisa Dr. We love you like that!!!
@koki-f4w Жыл бұрын
Am an introvert and many people misunderstand us
@tukuswigaikasu5227 Жыл бұрын
Kusema kweli kati ya mastaa wasio ringa on social media ni huyu kaka. Ukimtag ana respond au uki comment ana respond kitu ambacho ni very rare kwa mastaa wengi.Maybe he has his own character but he is an humble man.
@benezethemily96102 жыл бұрын
Dr.yuko sawa
@emmanuelkitosi66723 жыл бұрын
Kwenye kulinga sio kweli
@suziemichael43382 жыл бұрын
Same here
@ngusekisu67462 жыл бұрын
Haaa hapana huyu kijana ni nyenyekevu sana labda wivu unawasumbua anaupako wa Mungu mpaka nalia akiimba
@alexanderkapinga7003 жыл бұрын
Yaani hicho kinachomkuta huyu jamaa ndio kinachonikuta mimi pia
I'm an extrovert but not always at times I'm also ambivert
@apostlemathewnestory14493 жыл бұрын
Tunaringa tupo ndani ya Yesu
@lizzybahati98333 жыл бұрын
Kwel kabisa usipo ongea wanasema umenunua mara umeringa ila watu 😃😃😃Bora kubak tu na ukimya tupo wengi wa namna hii bora kuwa mkimya tu waache waongee tu
@hieljoe10172 жыл бұрын
Kuumbe nilikua sijijui kuwa nami ni introvert mana napenda kuwa peke yangu.leo nimejjuaaa
@stevecharlo7149 Жыл бұрын
Kujeni Kenya mjue vile huyu mtumishi anapendwa jameni
@NeemaSimon-yi1eh Жыл бұрын
Ringa baba
@leahgeorge43422 жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃
@treasureforashes3497 Жыл бұрын
Anaringa vipi ??? He's okay
@hidayaswai31193 жыл бұрын
Wanadamu wana maneno mno, ukiongea na kila mtu na kicheka na kila mtu nayo ni shida. Bwana wee mumuache. Watu hawana wema ana neno la Mungu
@joannajack25963 жыл бұрын
Live your life for christ Jesus binadamu wako hivyo ukinyamaza unamaringo ukiongea wanatafuta makosa, as a servant and man of God, for God to lead you in the right path its good kukuwa vile huko Ata Mungu hapendu kiherehere