Asee,,kama Hekima ni vazi..basi limekufit vizuri pastor,,hayo maneno tu uliyoyasema ni hekima ya Hali ya juu..Be blessed so much
@SelpherAkala-ue2frАй бұрын
Mungu akuinue zaidi pst tunakupenda, kupitia kwako nasikia sauti ya Mungu.
@CharlesBett-jg5xjАй бұрын
I am Victor Osborn from Nakuru-Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪napenda pastor Tony sana, ni Baba wangu wa Kiroho na sipendi umbea Mwache Baba aenese upendo wa Mungu
@GloriousMshingwe2 ай бұрын
Pastor Tonny MUNGU wetu ni mkuu sana....ipo sababu maalumu yawewe kuwepo Duniani.....ipo sababu ya wao kuzungumza juu yako kwa jinsi waonavyo......Umechaguliwa wewe ni wa kipekee sanaaa.....Acha waseme wamepewa vinywa na aliyekupa wewe kibali....MUNGU na akuwekeee mpaka kusudi lake litimieee ishi sana mtumishi ❤❤❤
@lucymsalila24362 ай бұрын
The Best Pastor of this last dispensation especially kwa vijana ❤
@GodfreyMhela2 ай бұрын
YESU AMESHINDA!!! I LOVE JESUS####I LOVE PT
@salomemwamwaja18412 ай бұрын
Mungu alivyo wa ajabu Mungu kainyamazisha kimya kimya kabisa na iwe ivyo milele wanapenda sana kuchafua watu wa MUNGU
@JoyceJohn-dr5kl2 ай бұрын
Haupo Kwa app ndo maana
@Eshy-m9o2 ай бұрын
Mungu akubariki Pastor kwa kutopoteza muda na hao wa dunia hii nimependa ulivyosolve ni hekima ya Mungu peke yake ndio iko hivyo na kupitia hii nimemwona Mungu kupitia huduma yako aliyokupa Mungu. God bless you Pastor
@neemamgowole52272 ай бұрын
We don't care pastor.. Unayonifundisha naelewa na yananisaidia that's enough maisha yako mengine ni wewe na Mungu wako.. Keep teaching us pastor wazidi kutushangaa.. From 🇬🇧
@bahatirobert10092 ай бұрын
Mtumishi naomba ongea mara nyingi kiswahili,siyo wote tunajua English,nakupenda MUNGU aendelee kukusimamia, asante
@romanilyimoАй бұрын
Umesema kweli uzungu mwingi ata kama unata kusikia ujumbe wa neno la Mungu kupita Kwake unashindwa sio vzr kabisa anavyofanya kwa kweli.
@rhodasamwel2485Ай бұрын
Kabisa, tunampenda ila tunapata tabu sana 😂😂😂
@salomemrembo74822 ай бұрын
Washindwe katika jina la yesu. Wacha mungu Hawafunge midomo milele..mungu hawape show!!!
@ChristinaAbraham-i6u2 ай бұрын
Mungu akutie nguvu na ujasiri pastor wetu
@GraceofGodTelevision2 ай бұрын
Pole sana Dady, najua jinsi unavyojisikia, najua maumivu hayo, neno langu kwako, Songa mbele ewe shujaa, Mungu yupo pamoja na wewe, achana na walioshindwa nenda na walioshinda.
@lulanjamd38862 ай бұрын
Hivi vidada vimalaya vinawaita mapastor dady😂😂
@rehemamajaliwa2 ай бұрын
@@lulanjamd3886vinakera😐
@eliafileakyoo99722 ай бұрын
Hizi hekima zinapatikana kwa Yesu tu❤
@eliafileakyoo99722 ай бұрын
Asanteni kwa likes I've been surprised surely
@mariakabonga22 ай бұрын
hapo ndipo mi najivuniaga Yesu umeshinda zaid ya uwazavyo na ujuavyo umemwaibisha shetani na huo ndio msuli wa imani barikiwa, mama tony usivunjike moyo mungu amewapa hiyo huduma lakini kumbuka kuna watu hawaifurahii, kama ilivyokuwa kwa masanja alisimama kiume na simama kumuombea mume wako na MUNGU wa mbinguni asiwaache wala kuwapungukia
@kabobajeanclaudenaftali6608Ай бұрын
Amen amen amen God Bless you ❤❤❤
@claraMilanzi-xe5bt2 ай бұрын
Bora umuhubir Yesu....😊 me nampenda sana Mwl. Mwakasege mambo kama hayo huwa hana mda wa kuyajibu
@HappyMwaigwisya2 ай бұрын
Kabisa kabisa. Mwakasege anamjua Yesu
@gwamakamwasongwe80532 ай бұрын
Vita sio vyake ni vya Bwana Efeso 6
@agapemahenge77312 ай бұрын
Na sijawah ona kakutwa nayo. Nampenda sana Mwalim Meakasegr na mkewe Diana Mwakasege
@olivergwahemtse99302 ай бұрын
Kabisa sema kabisa. Sema tena kabisa
@anajoycejames52502 ай бұрын
Kabisa hata mm natamani pastor asijibu Kila kitu
@chrissmichaelmashouda1726Ай бұрын
God is good, hautatahayarika Sababu Mungu yu pamoja nawe...na wakristo sijui kwanni hua wanapenda kuona anguko la mchungaji yaani,... Mwl Mwakasege amesemwa sana vibaya ila Mungu amekua akimtetea na huduma yake iko strong sana, so na wewe pia utafanikiwa na utakua salama so please ikibidi acha tu hata ukaribu na huyo dada
@LucyLuciana-x5z2 ай бұрын
Barikiwa sana pastor......tunakupendaaa🥰🥰
@NeemaSilayo-g7f2 ай бұрын
Songa mbele Mtumishi wa Mungu, mwangalie huyo aliyekuita na alichokuitia, vita IPO Kwa nafasi Mungu aliyokupa, Si wote watakukubali piga kazi Roho Mtakatifu atawashuhudia ya Mungu Yuko pamoja na wewe. Nakupenda Pastor, nakuelewa...
@helicious94022 ай бұрын
Jesus... Tupe neno Mtumishi w Mungu
@ReginaMapunda-v5j2 ай бұрын
Mungu akutetee❤❤
@MaryLaizer-zy6nm2 ай бұрын
Pole sana Mtumishi wa Mungu, Mungu akupe amani moyoni mwako na katika familia yako usimpe adui nafasi kwa sababu unafanya kazi kubwa sana kwahyo lazima adui ainue vita na siku zote mti unaopigwa mawe ni uwe wenye matunda Songa mbele achana na walimwengu
@tegemeareuben76182 ай бұрын
I'm so proud of pastor Tony a true man of God
@leahsamwel19312 ай бұрын
Mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe...Yesu alitukanwa alipigwa mpka kuuwawa kwasababu ya kazi yake njema....the OSBORN's we moveeeeeee❤🎉
@bozeydayana4920Ай бұрын
Mmmmmh mungu atuhurumie.🙏
@billionaireoswardkanyala13072 ай бұрын
Sasa pastor we mwenyewe unaona kazi unayoifanya afu usiguswe amna itakuwa hujafanya kazi bado ukishakuwa juu lazima ujue unaangaliwa na wengi choxhote unachokifanya kitaonekana kwa ukubwa sana kwasababu uko juu so hayo yanayoendelea Mungu anajua ni saiz yako... songa mbele tu.
@felistermombo73402 ай бұрын
It is well with you Pastor songa mbele
@ebenezermbena28942 ай бұрын
GOD BLESS YOU MAN OF GOD HIZI NDIO HEKIMA ZA MBINGUNI...YAANAI NIMEFURAHI ILIVYOJIBU NAJISIKIA RAHA❤
@bettykinyami50962 ай бұрын
Kuweni na maarifa watu wa Mungu, sio mnashangilia Tu Kila kitu mwambie I Roho mtakafifu awaongoze
@MwajumaMwakijolo-b5w2 ай бұрын
Amen, Mungu akutangulie mtumishi wa Jehova aliyehai
@Peterstanley-p4r2 ай бұрын
A true man of GOD..........PT
@Neema-qm9kk2 ай бұрын
Mtumishi achana na mange.ingia kwenye maombi Mungu atakutetea.mambo ya kusingiziwa huwa yapo tu kuwa mtulivu achana nayo songa mbele .
@upendommbaga70702 ай бұрын
Pastor wangu acha kabsa kumuongelea au kuongelea hilo suala maana unampa muda na ushindi... sisi tukaendelee na maombi acha MUNGU ndo atakutetea
@gosbertmuta54212 ай бұрын
Aingie kuomba nn saa
@Neema-qm9kk2 ай бұрын
Kwani haufahamu nafasi ya maombi kwa binadamu. Maombi yanatumika ktk kila hali ,kutubu,kuomba uponyaji wa magonjwa, unapitia ktk huzuni au hali yoyote ya kukatisha tamaa ukiomba Mungu anakupa hekima, amani na kisha unavuka. Sasa unauliza maombi ya nini sasa? Unamaanisha nini
@ConstanciaShangali2 ай бұрын
Ur a Really mtoto wa MAJOR ONE💪
@eliasdaffie64362 ай бұрын
kumbe ni mtoto wa major one
@winnieexavery33042 ай бұрын
Major 1 tena 😮😮😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳 I don’t want to believe this one!
@petrokapinga2201Ай бұрын
Ingefaa Aweke siku ya ibada kingereza na Ibada kiswahili Sio kiswanglish ibada zote
@pastorheri7152 ай бұрын
Pastor, kuna mambo ukijiambatanisha nayo tu, lazima uchafuke. Soma 1 Yohana 2:15 "usiipende dunia na mambo yaliyomo ndani yake". Pole sana
@olivergwahemtse99302 ай бұрын
Some thing,to advice Mr. Pastor you are a really man of God , wachana na haya mambo , keep pushing ahead. Hasantakabradeshiyata.
@EddyMwangwale2 ай бұрын
Pastor tony barikiwa zaid
@zenamwaisaka2 ай бұрын
Short but clear
@KatarinaKalistiАй бұрын
Kabisa lina wadhungu tu nasikia wite nooo, yeeea
@HappinessMasolwa-nm2to2 ай бұрын
Tony tony tony pasta achana na mitandao fanya kazi y mungu
@elijahsaro66112 ай бұрын
I pray for you man of God haya ni mawimbi ya muovu
@MikeseOffice2 ай бұрын
Let's go sir🤝
@everychildcounts70412 ай бұрын
You are the hero man of God keep going, hata Yesu mwenyewe walimtupia mawe
@Maryc2G2 ай бұрын
Usiwasikilize wanaotaka kukukatitisha tamaa, songa mbele na kazi ya Bwana wetu yesu christo. Atakushindia. Mimi nakushukuru kwa Maombi kutoka ktk madhabahu yako na ministry yako. Unawajibika kwa Mungu na familia yako, na watu unawahubilia . Ubarikiwe na bwana
@rachelmuhehe77892 ай бұрын
Mnhuh naogopa kutamka neno juu ya watumishi wa Mungu but Mungu aturehemu sana
@MtuSafi2 ай бұрын
😂😂😂
@ElineWilson-ou8wm2 ай бұрын
Mungu atadili tuu na hawo wanao mchafua mtumishi wa mungu
Akili kubwa uwezo mkubwa hausumbuliwi na akili ndogo za wapenda Kiki. Safi sana Mtumishi.
@naomidavid63902 ай бұрын
Angekaa kimya n kumuomba Mungu wake siyo kila jambo linaloibuka mtandao ulitolee ufafanuzi ajifunze kupitia Mwamposa mbona hajibu chochote
@perpetuampita50182 ай бұрын
songa mbele kumtumikia bwana achana na mambo ya mitandaoni Pastor!
@floridasimkonda17792 ай бұрын
Piga kazi ya Mungu pst achana na watu wa ulimwenguni hao
@neemarwamugira11682 ай бұрын
mti wenye matunda hupigwa mawe,,ukifanya mazur usitegemee wattakusema mazur
@enocklazaro81752 ай бұрын
True identity of JESUS deciple. Yesu akisha mkubali Mtumishi wake hakuna wa kumtikisa.
@annaBenkras2 ай бұрын
piga kaz mtumish wa Mungu
@RebeccaMalale2 ай бұрын
Mungu atakupigania
@marwajuma80542 ай бұрын
Ww angalia hao wasaidizi eheee
@ZawadiMadede-ft6ms2 ай бұрын
Ifike mahala hawa wanaojiita watumishi wa Mungu waachane na mitandao bhana Wao wenyewe ndo wanajisababishia maskendo yasomaana
@smartonlinetv51442 ай бұрын
Mtumishi tumia kiswahili zaidi may be kuna baadhi ya kondoo unawaacha njiani kwa kutoelewa neno.
@cletusbaraka20452 ай бұрын
Mpaka akatumia kingereza anawajua kondoo wake 😂😂😂 Akuna mchungaji asiyejua kondoo wake labda jisemee wew neo huelewi tukusaidie usitumie mwamvuli wa wengine😂😂
@gotafostv73052 ай бұрын
@@cletusbaraka2045sijajua kama umetumia nini kufikiri,kwani anaporusha hapa mtandaoni ,wote wanaelewa kiingereza?? ,ingekuwa anafanya ibada kanisani kwake na harushi mtandaoni huenda ungekuwa sahihi,lakini je na hapa mtandaoni wote wanaelewa kiiingereza??
@happysakuya73942 ай бұрын
Hapa anafanya hvyo kwa faida pia ya wasiojua kiswahil dear❤hopeful umeelewa
@smartonlinetv51442 ай бұрын
Mimi nadhani Kwa nchi yetu hii sidhani kama Kuna watu ambao hawafahamu kuzungumza kiswahili, ni wachache sana ambao unakuta hawakifahamu kiswahili sema yeye anakaulimbukeni Fulani hivi. Especially asilimia kubwa ya watu wanaotumia mitandao hii wanafahamu zaidi kiswahili kuliko kingereza. Kusoma sio tija, wapo wasomi kabisa na degree lakini kuzungumza kingereza ni mtihani wanamung'unya maneno tu.
@petermanala61382 ай бұрын
@@gotafostv7305SIo hata kanisani sio wote wanajua kiingereza aliyejibu hiv amekosea ni kama dharau hata yey SI Kila kitu anakijua Mungu atusamehe Kwa majivuno
@josephwarioba52032 ай бұрын
Kwa jinsi ninavyokufahamu kwa undani kiuhalisia usingetumia nguvu yoyote kujieleza au kuwapanga philosophically eti umuelezee Yesu au malaya mbaya upo MADHAHABUNI hiki kitu sio kizuri na ushauri wangu CAG is a pillar kwako jiulize Archbishop huwa anapataga huo muda wa kutega watu philosophically??
@malkiarosemuhando33102 ай бұрын
Ongea kiswahili
@joycemakanyaga2 ай бұрын
Bora umhubiri yesu vita vyetu si vya dam na nyama hata yesu ilizushiwa maneno lakini hakujibu kutoka 14:14 bwana atawapigania nanyi mtanyamaza kimya
@Mery-st4nu2 ай бұрын
Malibu mazuri sana pastor
@josephinelukweto64422 ай бұрын
Good pastor
@cleartzboy2 ай бұрын
Jaman uislam uko wazz
@annamwakibinga5272 ай бұрын
Mtumishi achana na hawa watu wameona unainuka wanataka kukuangusha. Bali hawapambani na wewe wanapamba na Mungu.
@flashmextv2 ай бұрын
Aisee Noma Sana😂
@bettykinyami50962 ай бұрын
Sasa we mtumishi wa Mungu unawezaje kwenda kufunga saluni, wakati masaluni sio mango wa Mungu, funguo makanisa kama kweli, mi sijamuelewaga
@marykarebeti94102 ай бұрын
Masalon sio mpango wa Mungu kwani unataka tuwe wachafu?
@JuliethJapheth-ov3kt2 ай бұрын
Naomba uzidi sana mtumishi.
@shijacharles2 ай бұрын
Mungu azidi kukutunza.
@manpierre5712 ай бұрын
Keep Provoking their reaction pastor mpaka waseme huyu ameshindikana 😂
@RebeccaMalale2 ай бұрын
Mungu mwema
@dstarclassic94902 ай бұрын
Haleluya
@DorethMselem2 ай бұрын
Kwanza had ye aamue hivi kwan wa kwanza peke yake?mange anamsema had Mwamposa mange anamsema hadi rahis tunakuomba ukae kimya tu maneno kwa maneno ni kelele lkn maneno na ukimya ndo jibu
@aminanchimbi-eb8ee2 ай бұрын
daaah napenda san mahubir yk jamsn
@zakiamseka96982 ай бұрын
Achana na Visichana hivyo vihubirie wokovu tu basi
@ChrisSiwale-kl8nv2 ай бұрын
Ingia rohoni this is not ordinary
@malopemaliyamungu52432 ай бұрын
Kila Jambo linaanziaga kiroho, prayer warriors na yeye alipaswa awe amelijua na angekuwa ana-prove ujumbe.. na hao Clouds Media akae nao kwa akili na kiroho mno na MUNGU amsaidie
@BeatriceDismas2 ай бұрын
Jaman achen ajitetee kila mtuu ana namana yake ya kupunguza maumiv ndan ya moyo wake...... Mwingine atalia, mwingine atapiga kelel, mwinginè atatakaa kukaa peke yakeee...... Obviously PT kaumia ndoo maan unaona anaongea sna mwachen aongeèe aseee mm namuunga mkono
@sakinamuulage13952 ай бұрын
Songa mbele mtumishi wa Mungu....
@RebeccaMalale2 ай бұрын
Aiseee
@gmentertainmentcompany93532 ай бұрын
piga KAZI tony watanzania tunakuelewa bado Sana
@gabililta2 ай бұрын
Anajitetea sana pastor Angekausha tu kama hiyo ishu haina ukweli wowote
@janemwenda-ec2oh2 ай бұрын
Kabisa Ilibidi ache kabisa
@DerickNgowi-mf5pe2 ай бұрын
@@gabililta anatumia nguvu nyingi kwakingereza
@smavilifestyle24712 ай бұрын
Sasa amejitetea wapi jamani,si ametoa option ajielezee au amuelezee Yesu watu wamechagua Yesu na ameendelea na mahubiri
@pacificaredemptory62692 ай бұрын
Kuna watu angewaacha njiani na kuwavunja imani
@manpierre5712 ай бұрын
Mbona kama umekereka mzee, amefika hapo kwa jitihada alizofanya na neema aliyopewa na anachagua yeye nini aseme ...na Wala hajajitetea hapo
@amashamwankuga2 ай бұрын
Sijawahi kucoment ila mchungaji nimekuelewa sana Mungu akuongeze zaidi
@GraceGeofrey-d4i2 ай бұрын
Mumngu wapiganie watumishi wako hv vita
@francisngwale45672 ай бұрын
Mtangazaji nmekuelewa sana
@justinemasse282 ай бұрын
Ilo kanisa lipo nchi gani
@elizabethraphael-n4y2 ай бұрын
Yani hakuna nchi ambayo watu hawana heshima kama Tanzanía mara wawa vamie adi wamama watu wazima
@sesiliasalleko20132 ай бұрын
Tony jifunze kiswahili sWa sawa unatuvuruga
@MaryjoyceTarimo2 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu kumbuka wewe ni jalala kumbuka hilo, upaswi kuji chochote acha Mungu atawajibu mbona ni vema zaidi
@rerisamba2 ай бұрын
Mapastor na wasanii wa duniani ni wapi na wapi
@MtuSafi2 ай бұрын
kwahyo bwana tony unaowqhubiria wote wanajua kiingereza mana mahubiri yako yote ni kiingereza tu.
@kanankirannko61742 ай бұрын
Elezea Yesu achana na masikini Wa akili kazi kuwaza ngono tuuu mi nakuelewaga sana unafundisha uchumi huyo dada anainspire wapambanaji wenye akili na wanaotaka kufanikiwa Mwanamke from zero to heroo
@StephaniaKasunga-g6t2 ай бұрын
Mchungaji wangu me kila siku nakuombea uwe Tajir
@annawinstone94262 ай бұрын
Tupo nje ya muda mtumishi lete neno😂😂
@alakomba6830Ай бұрын
Hakuna utumwa mbaya kama utumwa wa fikra. Hivi Tony unafikiri kuongea kingereza nchini mwako mbele ya watanzania wasiojua kingereza ni maendeleo? Tunajua umesoma lakini ni busara kutumia kiswahili
@furahamwikombo-p7g2 ай бұрын
Achague Lugha 1,,,ya kusema Maali alipo,,,sio kuchanganya Lugha kwa wakati mmoja....
@iamdivineimage2 ай бұрын
Utofauti wake ndio umefanya awe na wanaomfuatilia... Ambao hawamuelewi huwakuandikiwa kuwa wake
@Mrs.naturalez2 ай бұрын
Even if anything happened. I'd still stick with Baba.
@ebenezerchurchsupremetv94902 ай бұрын
Kiburi kilimshusha shetanj
@YohanaRichard-e6p2 ай бұрын
Pastor Tony kapola, ulitaka mashetani wakusifie? Ndani yako Kuna ufalme wa mungu aliye hai , kwahiyo kuzushiwa uovu wewe nisawa dhahabu kuipitisha motoni itazidi kung'aa tuu. Endelee kunyenyekea mbele za mungu na ulifikie kusudi alilo kuitia muumbaji wako.
@LessaFocus2 ай бұрын
Minajivunia wew hakii
@joyceallute67272 ай бұрын
Hekima ya Kimungu kabisaaa nimependaaaa pastor Tony ni mmoja tu😂😂😂😂😂
@salmamkwizu32232 ай бұрын
Ni kawaida hata mke wa Mtume wetu alisingiziwa uzinifu