No video

Dr Islam Vs Mbarak Awes Allah yuko wapi ?

  Рет қаралды 26,128

SHALBA OnlineTV

SHALBA OnlineTV

Күн бұрын

Пікірлер: 298
@Its_me_hanseif
@Its_me_hanseif Жыл бұрын
Dr.islaam allah akubaariki
@AhmedMohamed-un4zh
@AhmedMohamed-un4zh Жыл бұрын
الرحمن على العرش استوى إليه يصعد الكلم الطيب والعمل الصالح يرفعه
@balkisamisi2131
@balkisamisi2131 Жыл бұрын
Barakallahu fik ya sheik Awes
@HamzaMkonda
@HamzaMkonda 2 ай бұрын
Maashaallah shekh Mubarak Allah aibariki elimu aliyo kuruzuku
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 4 ай бұрын
Hamdillah Shukrani jazraa shekh nimefaidika pia.
@user-bp6fb6wo5u
@user-bp6fb6wo5u 2 жыл бұрын
قال شيخ الإسلام ابن تيمية رحمه الله : " مِنْ أَعْظَمِ الْأُصُولِ الَّتِي يَعْتَمِدُهَا هَؤُلَاءِ الِاتِّحَادِيَّةُ الْمَلَاحِدَةُ الْمُدَّعُونَ لِلتَّحْقِيقِ وَالْعِرْفَانِ: مَا يَأْثُرُونَهُ عَنْ النَّبِيِّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ: (كَانَ اللَّهُ وَلَا شَيْءَ مَعَهُ وَهُوَ الْآنَ عَلَى مَا عَلَيْهِ كَانَ) عِنْدَ الِاتِّحَادِيَّةِ الْمَلَاحِدَةِ، وَهَذِهِ الزِّيَادَةُ وَهُوَ قَوْلُهُ: (وَهُوَ الْآنَ عَلَى مَا عَلَيْهِ كَانَ) : كَذِبٌ مُفْتَرًى عَلَى رَسُولِ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ، اتَّفَقَ أَهْلُ الْعِلْمِ بِالْحَدِيثِ عَلَى أَنَّهُ مَوْضُوعٌ مُخْتَلَقٌ، وَلَيْسَ هُوَ فِي شَيْءٍ مِنْ دَوَاوِينِ الْحَدِيثِ لَا كِبَارِهَا وَلَا صِغَارِهَا . وَإِنَّمَا تَكَلَّمَ بِهَذِهِ الْكَلِمَةِ: بَعْضُ مُتَأَخِّرِي مُتَكَلِّمَةِ الْجَهْمِيَّة، فَتَلَقَّاهَا مِنْهُمْ هَؤُلَاءِ الَّذِينَ وَصَلُوا إلَى آخِرِ التَّجَهُّمِ - وَهُوَ التَّعْطِيلُ وَالْإِلْحَادُ - وَلَكِنَّ أُولَئِكَ قَدْ يَقُولُونَ: "كَانَ اللَّهُ وَلَا مَكَانٌ وَلَا زَمَانٌ، وَهُوَ الْآنَ عَلَى مَا عَلَيْهِ كَانَ" فَقَالَ هَؤُلَاءِ: "كَانَ اللَّهُ وَلَا شَيْءَ مَعَهُ، وَهُوَ الْآنَ عَلَى مَا عَلَيْهِ كَانَ" . وَإِنَّمَا الْحَدِيثُ الْمَأْثُورُ عَنْ النَّبِيِّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ مَا أَخْرَجَهُ الْبُخَارِيُّ عَنْ عِمْرَانَ بْنِ حُصَيْنٍ عَنْ النَّبِيِّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ أَنَّهُ قَالَ: (كَانَ اللَّهُ وَلَمْ يَكُنْ شَيْءٌ قَبْلَهُ، وَكَانَ عَرْشُهُ عَلَى الْمَاءِ، وَكَتَبَ فِي الذِّكْرِ كُلَّ شَيْءٍ، ثُمَّ خَلَقَ السَّمَوَاتِ وَالْأَرْضَ) . وَهَذِهِ الزِّيَادَةُ الْإِلْحَادِيَّةُ وَهُوَ قَوْلُهُمْ: "وَهُوَ الْآنَ عَلَى مَا عَلَيْهِ كَانَ" : قَصَدَ بِهَا الْمُتَكَلِّمَةُ الْمُتَجَهِّمَةُ نَفْيَ الصِّفَاتِ الَّتِي وَصَفَ بِهَا نَفْسَهُ؛ مِنْ اسْتِوَائِهِ عَلَى الْعَرْشِ، وَنُزُولِهِ إلَى السَّمَاءِ الدُّنْيَا، وَغَيْرِ ذَلِكَ، فَقَالُوا: كَانَ فِي الْأَزَلِ لَيْسَ مُسْتَوِيًا عَلَى الْعَرْشِ، وَهُوَ الْآنَ عَلَى مَا عَلَيْهِ كَانَ، فَلَا يَكُونُ عَلَى الْعَرْشِ لِمَا يَقْتَضِي ذَلِكَ مِنْ التَّحَوُّلِ وَالتَّغَيُّرِ " انتهى من مجموع الفتاوى (2/ 272).
@abuahlaam
@abuahlaam Жыл бұрын
ماشاءالله نقلا قيما الصوفية هم أعمى بصيرة والبصر
@badilamu
@badilamu Жыл бұрын
Twatumia Quraan na Sunnah na Fahmu ya Salafi
@ahmedbadi5822
@ahmedbadi5822 Жыл бұрын
Maa Shaa Allah darsa muhimu sana watu wajue aqida zao
@issamohammednassor8688
@issamohammednassor8688 2 жыл бұрын
Nyie mnaoedit hizi mtaulizwa kesho na Allah hakuna mjadala hapo kila mmoja alikua anatoa darsa yake na wala hakuna mahibizano baina yao hao watu wapo mbali na upuuzi wa kujibisana wte wapo makini na kazi yao
@abiabi9353
@abiabi9353 2 жыл бұрын
Kuedit maanake nini? Kwani si ukweli mawahabi huwamini Mungu amekaa sehemu.Mungu wa mawahabi anamikono na miguu.astaghafirullah
@saidmohammed2830
@saidmohammed2830 Жыл бұрын
Ww soma kwanini mungu hana mkono
@Its_me_hanseif
@Its_me_hanseif Жыл бұрын
Nikatika kuifikisha elimu ndugu
@Its_me_hanseif
@Its_me_hanseif Жыл бұрын
@@abiabi9353 kwani ww unataka kubishana na quran
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
​kauli ya mbarak aweso yuko sawa kabisa Allah akuhifadhi akuzidishie ilimu
@ibrahimadan6560
@ibrahimadan6560 Жыл бұрын
‏الرحمن وعلى العرش استوى
@manrectorz
@manrectorz 2 жыл бұрын
Alhamdulillah anlaa kulli halli. Hapa nawapongeza mashekh wote wawili kwa mapito waliopita katika jitihada za kumpwekesha Allah (SWT), Wote wapo sahihi kwasababu Sh. Aweso anasema Allah alikuwepo kabla ya kuumba kitu chochote wala sehemu yoyote wala Arshi haikuwepo. Na pia Sh. Islam anasema Allah yupo katika Arshi yake ni kweli pia. Elimu ni pana wala hakuna upotoshaji hapa kama wanavyodai wachangiaji wengine, hapo mashekh wote wanafanya jitihada tu ya kumpwekesha Allah (sw) kwa dalili wala hawajafanya kufuru. Allah analipa jitihada katika kuyaendea mambo. Hata maimamu wakubwa waliopita walihitilafiana lakin ni katka JITIHADA za kumfahamu Allah na mtume wake.🙏🙏🙏
@jumanneissa7118
@jumanneissa7118 Жыл бұрын
Huna akili wewe wapi na wapi baina masharki wal magharib eti wote wapo sahihi kwa kipimo kipi sasa
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Mbarak aweso yuko sawa Allah yuko kila sehemu kabla hajaumba arshi pia Alikua yupo Kwa hio mbarak aweso masha Allah Allah akuzidishie ilimu
@hassanomondi1286
@hassanomondi1286 Жыл бұрын
wewe hujielewi wasema nn 😂😂😂😂😂😂😂 Yeye mwenyewe kasema yupo juu ya Arshi juu ya mbingu saba we unaakili ya kumuelewa Allah zaidi yake yeye mwenyewe?
@SelemaniHassan
@SelemaniHassan 11 ай бұрын
Mashiekh wote wako sahihi kwa fahamu but Allah ndiye mwenye kujuwa zayidi.
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 10 ай бұрын
Umesema urongo wote hawako sawa mbarak awes ndio yuko sahihi
@nyangevigody8849
@nyangevigody8849 3 ай бұрын
Allah akulinde uzidi kutuelimisha Dr lslam
@barzaqtradingcompany8541
@barzaqtradingcompany8541 11 ай бұрын
Hawa masufi wana kufuru na sifa za Allah na zimeeezwa na mtume. Israa wal micraaj hawatoshi kuamini
@truthspeaker2062
@truthspeaker2062 Жыл бұрын
Allah akubarik sheikh awesu.
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
DK KATOA DALILI KUTOKA KWA QUR"AN,HADTH ZA رسول الله صلى الله عليه وسلم NA MASWAHABA NDIYO AQIDA HIYO, WEWW SUFI WATOA MANENO TU,BILA DALILI WA ATHAR!!
@issarashidiferuziferuzi9201
@issarashidiferuziferuzi9201 2 жыл бұрын
Ahsante doctor mubaarak tuko nawe
@hemedahmed3094
@hemedahmed3094 2 жыл бұрын
57:4 - Yeye ndiye aliye ziumba mbingu na ardhi katika siku sita; kisha akakaa vyema juu ya enzi. Anayajua yanayo ingia katika ardhi na yanayo toka humo, na yanayo teremka kutoka mbinguni, na yanayo panda humo. Naye yu pamoja nanyi popote mlipo. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyaona mnayo yatenda
@ahmedbadi5822
@ahmedbadi5822 2 жыл бұрын
Kuwa na haqi sio mwanadamu ama doctor wa academics
@user-ty7qj4vv2u
@user-ty7qj4vv2u 4 ай бұрын
Awesu hio niaqida ya masufi siyo ya ahlisuna
@idrissaomba8803
@idrissaomba8803 6 ай бұрын
hapa sijaelewa AWESO, swali ni ALLAH alikuwa wapi au swali ni ALLAH iko wapi? nadhani HADITHI YA DJALIA KWA WENYE WANAIJUA WATAELEWA NASEMA NINI MTUME ALIPOMUULIZA AKAJIBU KUA IKO MBINGUNI, NA MTUME HAKUMKOSOA
@DaudiDigo
@DaudiDigo 2 ай бұрын
Hivi ndivyo Mawahabi walivyoratibishwa katika bongo zao na kuleta utata wa Uislamu na maprofessa wa Kizungu na mayahudi.Wanampa Allah sehemu na viungo na mwendo
@allahisone6386
@allahisone6386 Ай бұрын
@DaudiDigo WACHA UBAGUZI KWENYE DINI SI VIZUUR
@BashiruMnyama
@BashiruMnyama 4 ай бұрын
Huyo shehe anaepinga ana ufaham mbaya san
@user-ug8hc4yh5k
@user-ug8hc4yh5k 3 ай бұрын
Uweso acha akida ya kisufi Sio aqida ya ahlul suna wal jaamah Kama Allah yuko popote Vipi choni
@omarjeylan4113
@omarjeylan4113 2 жыл бұрын
HII SIO SIASA, WACHENI KUGOMBANISHA WAISLAMU. I RESPECT THEM BOTH MORE THAN THE POLITICIANS.
@abiabi9353
@abiabi9353 2 жыл бұрын
Siwezi kumrespect mtu anayemuweka Mungu pahala
@faisalmohamed727
@faisalmohamed727 Жыл бұрын
Masufuria ni wagonjwa mpaka mwapingana na Quran!!!!, ndani ya Quran kwapatikana (thumma stawaa alal arsh) pia kwapatikana (thumma stawa fi-sama), yeye kuwepo kabla arshi na samaa haikataliwi ila yeye mwenyewe ajua alikuwa wapi kabla sisi hatujui, baada ya kuumba akasema mwenyewe hayo maneno iweje umpinge.
@yassirally2942
@yassirally2942 Жыл бұрын
Napia Allah s.w.t anajua niyayenu kwanini mumefanya jambo hilo mungu atawalipa kwa nia yenu inn shaa allah
@shadyaaboud2405
@shadyaaboud2405 2 жыл бұрын
Awes mashaallah
@user-qo9xg9zc2p
@user-qo9xg9zc2p 5 ай бұрын
Mashaallah
@ABUBAKARKHAMIS-be5xe
@ABUBAKARKHAMIS-be5xe 4 ай бұрын
Kama Mungu Hana mahali maalum, vipi bw Mtume s.a.w safar ya isra na miraj kukabidhiwa swala kuuona moto na pepo, kuwaona mitume iliyo tangulia kwenye Kila anga. Je hamuamini Khabar hiyo
@damasiibrahimu8892
@damasiibrahimu8892 10 ай бұрын
Sasa suala la uwepo wa Allah linawatatiza nn?awe popote Allah jukumu letu ni kumuabudu Khitlafu gani hii,au ni Bora tu kukhtilafiana
@user-abuhassanshabiby
@user-abuhassanshabiby Жыл бұрын
Aweso asema hapo mwisho: "Katika aqidah ya ahlu sunnah wal jama3ah.." Hiyo ni aqidah ya watu wa bid'ah wala sio ahlu sunnah, Kila anayejua lugha ya kiarabu ajua kuwa السماء ni mbingu Hizo tafsiri za kipotofu ndio zimefanya watu wakawacha njia ya wema wakashika njia za jahmiyyah na mu3tazilah Twamuomba Allah atuongoze sote
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Eleza tukuelewe ww wamuita mbarak aweso ni mtu wa bida huyo mtu wa bida ndio ahlusuna wajama sasa ukiulizwa mungu kabla hajaumba arshi na mbingu alikua wapi kuweni na akili mawahabi someni ukitaka kumchunguza sana Allah ndio pale munapo kufuru bila kujua
@user-abuhassanshabiby
@user-abuhassanshabiby Жыл бұрын
@@fikafikan8484 Kama hujaelewa wewe ndugi yangu wengine wameelewa, waona hayo maswali unayouliza ndio yamesababisha watu kupotea, kwa kutanguliza akili zao juu ya dalili, na kujikalifisha katika kufkriia mambo ambayo sheria haijakukalifisha. Wala hakuna mtu wa bidah awe ahlul sunnah, sababu bid'ah na sunnah hazikusanyiki kwa mtu mmoja. حفظك الله وهداك وسدّد خطاك وألهمك الرشد والصواب.
@gweh3144
@gweh3144 2 жыл бұрын
Hapo memefanya kazi ya editing mukachukua sehemu ya darsah ya huku na sehemu ya darsah ya kule ati mukatengeneza mada ya mjadala. Hii ni aqidah musifanye mchezo na dini ya Allaah. Watu wakifuata sivyo basi mujue munafungu katika kupotea kwao. Watu wanahaja ya kusomeshwa sio kuchanganywa akili
@jumakumala1337
@jumakumala1337 Жыл бұрын
Sasa Awes ww watuambia MUNGU sehemu gani ikiwa Dr islam anasema MUNGU ako kwenye harshi ww wapinga , tuambie basi
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Si harshi ni Arshi Alafu mbarak aweso hapingi Akwambia Allah yuko kila sehemu sasa ukiulizwa kabla hajaumba arshi akikua wapi itajibu nn
@BashiruMnyama
@BashiruMnyama 4 ай бұрын
Aliekwambia kwamb mwenyez mungu alimuwepo bila ya sehen ni nani? Kwan haujuwi kwamba kabla hajaumba ardhi na mbingu alikuwa juu ya arshi ambayo ilikuwa juu ya maji?
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
AQIDA YA AHLUSUNNAH WALJAMAA الله عل اعرش استواء ALLAH YUPO JUU YA ARSHI YAKE JUU.. KASEMA IMAAMU SHAAFY
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Kabla hajaumba arshi alikua wapi
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 8 ай бұрын
Kamsome tena imaam shaafi: قال الشافعي (ر) من اعتقدَ أنّ اللهَ جالسٌ على العرشِ فهو كافرٌ. (رواه ابن معلّم القرشيّ في كتابه نجم المهتدي ورجم المعتدي: ص، ٥١).
@user-qw7ho7yn6c
@user-qw7ho7yn6c 5 ай бұрын
Shida ya Mawahabi hawakusoma,watafsiri Quran vile ilivoandika,ikisema kipofu wao watafsiri mtu ambae Haoni Hana macho yakuona..La!Si hvo..kipofu pengine Ni Wa Moyo Na Sio jicho
@qurantajweed3935
@qurantajweed3935 2 жыл бұрын
Wacha kupotosha watu na edits zako... Kuchukua sehemu za video na kufanya ni Darasa. Weka full video mtu asikize na abainishe mwenyewe
@adennurahuka402
@adennurahuka402 5 ай бұрын
Kwa hvyo,,mbona Allah basi alimwita mtume Muhammad swala na salamu zimfikie katika israa na mi'iraj aende binguni ampe swala tano kama hayuko binguni,,,,kama angekuwa kila mahali hakungekuwa na haja ya israa na miiraj angemwita tu huku ardhini ampe,,,wal'iadhubillah minal kufr,,,makhurafi mnashida kweli,,,,maneno ya imam shafi,,hajawai mwona sufi aliye na akili timamu.
@adennurahuka402
@adennurahuka402 5 ай бұрын
Kwa hvyo na kwa choo basi Yuko,,,Allahu musta'an ,,,, ukhurafi ni mtihani,,,aweso hayuko katika ufahamu wa salafi yaani maswahaba
@OmarSaid-nt2xd
@OmarSaid-nt2xd 2 ай бұрын
Awesi elmu yako ikochini sana kwaunayo ongea
@abuabdillahyusufjama1153
@abuabdillahyusufjama1153 2 жыл бұрын
Subhanallah, Aweso Muogope Allah, na fanya Tauba haraka. Wazi wazi unapinga Dalili. Kama Allah hana sehemu je yuko wapi?? Innalillahi wainnailayhi rajiuun. Allah Mtukufu yuko juu ya Arshi yake. Aya nyingi na Ahadiith zinathibitisha. Imam Ibn Qayyim anasema kuna dalil zaidi ya 1000 inathibitisha Allah yuko juu ya Ardhi. Mfano moja inamtoshe mwenye akili na mwenye kutaka haki. Mtume swalallahu alyhi wasallam katika safari yake ya Israa na mi'raaj alipopelekwa mpaka mbigu ya saba akazungumza na Mola wake na kufaradhishiwa swala tano ilikua wapi?? Uliza jawabu mtoto wako atakujibu.!!! Tunamuomba Allah Atuonyeshe Haki kua ni haki na Atuwezeshe kufuata na Atuonyesha uovu kua ni ovu na Atuwezesha kuepukana nao. Amiin.
@saidihaji3739
@saidihaji3739 2 жыл бұрын
Abu Abdillah Kama dalili zingekua zinachukuliwa kwa watoto wadogo pasingekuwa na haja ya kuletwa QUR ANI . HALAFU TAJA AYA MUHKAMAT (أیة محکمة)AU HADITH SWAHIIH lNAYOSEMA ALLAH KWA DHATI YAKE YUKO JUU YA ARSHI YAKE . AU MANENO YA SALAFI SWALEH .
@ismaahme6597
@ismaahme6597 2 жыл бұрын
Mbarak Awes atoe dalili sio kusema tuu sababu yeye pia hufanya maulidi na ni bidah
@saidihaji3739
@saidihaji3739 2 жыл бұрын
@@ismaahme6597 Atoe dalili ya jambo gani ?? Amesoma aya na ataifasiri kwa maneno ya mwanachuoni wala hajatoa kichwani mwake . ........... ............ .............. Halafu MAULIDI ni KUSOMA QURAN... KUTOA MAWAIDHA ... KUMSIFU MTUME ... KUTAJA SYRA YAKE.. KULISHANA CHAKULA . Twambie kipi ktk hivi ni BIDA'A au hakina DALILI ktk QUR ANI AU SUNNA ??
@salwasaeed2685
@salwasaeed2685 2 жыл бұрын
Hamfikii Dr. Islam kwa elimu hata akirudi masomoni mara kumi! Hapa haruki. Mpigie Dr. Islam magoti akufunze wacha kua chua chua mwisho utatumbukia ndani ya maji ya moto.
@saidihaji3739
@saidihaji3739 2 жыл бұрын
@@salwasaeed2685 Kwanza kudai eti dct Mubaraka Awess hamfii Dct lslam kwa elimu .. Hayo ni maneno yako tu wala hayana ushahidi wala uhakika wowote . ........... ....... Halafu kama utakua muadilifu utaona Dct Mubaraka Awees amesoma aya na akaitafsiri kwa maneno ya mwanachuoni . Kwaivo tafsiri hajatoa kichwan bali mpaka kitabu amekitaja. Ama Dct lslam yeye kwanza hakusema mwanachuoni gani ametafsiri km alivopita yeye . Pili hajataja maneno hayo ameyatoa wapi .. .......... ....... Sasa unatakiwa upime kwa mizan ya uadilifu sio ushabiki utapotea MMOJA AMETOA USHAHIDI KWA MWANACHUONI WA KIISLAM TENA ANAETEGEMEWA (✅) NA MWENGINE HAJASEMA TAFSIRI YAKE KAITOA WAPI WALA HAKUTAJA KITABU CHOCHOTE NI MANENO MATUPU TU (❎) (( فأي الفریقین أحق بالاتباع إن کنتم منصفین )) Basi lipi ktk makundi ma2 lina hakki zaidi kufuatwa . ..km kweli nyny ni waadilifu .??
@barzaqtradingcompany8541
@barzaqtradingcompany8541 11 ай бұрын
بعض أقوال العلماء في إثبات علو الله: 1- قال أبو حاتم وأبو زرعة الرازيان رحمهما الله: "أدركنا العلماء في جميع الأمصار؛ حجازًا وعراقًا، وشامًا ويمنًا، فكان من مذهبهم... وأن الله عز وجل على عرشه بائن من خلقه كما وصف نفسه في كتابه، وعلى لسان رسوله صلى الله عليه وسلم بلا كيف، أحاط بكل شيء علمًا، ﴿ لَيْسَ كَمِثْلِهِ شَيْءٌ وَهُوَ السَّمِيعُ الْبَصِيرُ ﴾"؛ (شرح أصول اعتقاد أهل السنة والجماعة) لللالكائي (1/ 198). 2- قال أبو الحسن الأشعري: "وأنه عز وجل فوق سماواته على عرشه دون أرضه، وقد دل على ذلك بقوله: ﴿ أَأَمِنْتُمْ مَنْ فِي السَّمَاءِ أَنْ يَخْسِفَ بِكُمُ الْأَرْضَ فَإِذَا هِيَ تَمُورُ ﴾ [الملك: 16]"؛ (رسالة إلى أهل الثغر بباب الأبواب) (ص: 131). 3- نقل النووي عن الأرموي رحمهما الله كلامًا طويلًا في العقيدة مقرًّا له، وفيه: "نؤمن بأن الله على عرشه كما أخبر في كتابه العزيز، ولا نقول: هو في كل مكان، بل هو في السماء، وعلمه في كل مكان، لا يخلو منه مكان؛ كما قال: ﴿ أَأَمِنْتُمْ مَنْ فِي السَّمَاءِ ﴾ [الملك:16]، وكما جاء في حديث الإسراء، ثم قال النووي: هذا آخر ما أردنا ذكره من هذا المختصر من معتقد مصنفه، مما ذكره في كتابه (غاية المرام في مسألة الكلام) للشيخ أبي العباس أحمد بن الحسن الأرموي الشافعي، وهو الذي عليه الجمهور من السلف والخلف"؛ (جزء فيه ذكر اعتقاد السلف في الحروف والأصوات) للنووي (ص: 68، 69).
@manhajul_haq2585
@manhajul_haq2585 6 ай бұрын
Fanya jambo hili ili kuepuka na Haramu: kzbin.info/www/bejne/p5eam3qkbbmWg6csi=9D2linmV4k0Acw9-
@saidimpako5186
@saidimpako5186 10 ай бұрын
ALIKUEPO BILA YA SEHEMU BAADA YA KUUMBA SEHEMU VIP AKOSE SEHEMU
@mudybeka6698
@mudybeka6698 Жыл бұрын
Vitu vyengine hata mtoto anaweza akakushangaa...sasa sheikh aweso hiyo sehem ni sehem gan aliyokua ALLAH 😂😂😂😂😂😂
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 7 ай бұрын
Allah s.w Hana sehemu Wala hahitajii sehemu ,sisi binaadamu ndio tunahitajia sehemu ,na Hawa masalafi ni mujassimiina wanamfanya mwenyezimungu yupo kimwili 😢na kumpachika viungo
@sharifsayyid
@sharifsayyid Ай бұрын
Kweli awes ilmu yake ndogo sana
@sokomoko6757
@sokomoko6757 6 ай бұрын
Kila mtu aishi na itikadi yake ya Allaah yuko wapi bila ya kukufurishana, almuhim tunafwata maameisho yake.
@user-bp6fb6wo5u
@user-bp6fb6wo5u Жыл бұрын
Hhhhhhhhhhhhh 😂😂😂😂😂 aweso unajipinda sana maskini, wallahi unajigongagonga.... dalili nyingi sana katika Quran na Sunna, bali maumbile ya binadamu ajua kuwa Allah yuko juu!!! Waleta story ndefu za kipuzi wawacha dalili za Quran na Sunna.
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Toa hizo dalili yuko sawa mbarak aweso kabla hajaumba arshi na mbingu alikuwa wapi Allah ndio mbarak aweso akwambia Allah yuko kila sehemu mwenye akili atamuelewa lakini mawahabi wapotofu huwezi kuelewa
@user-qw7ho7yn6c
@user-qw7ho7yn6c 5 ай бұрын
Dr Islam,kabla hajaumba mbingu Na arshi,Allah Alikua Wapi?
@sharifukipoto-iy7vd
@sharifukipoto-iy7vd Жыл бұрын
صدقت يا مبارك
@user-ty7qj4vv2u
@user-ty7qj4vv2u 4 ай бұрын
Awesu Dalili kutoka ktk Kitabu au Hadithi zinazo sapoti hio itikadiyenu nyie Masufi anayo maana unatunukulia maneno ya masufi wenzio lete nassi!
@IjumaaIjumaa
@IjumaaIjumaa 7 ай бұрын
ushia ni ukafiri jalala acha tamaa za dunia utasngamizwa na allah
@subulus_salaam2023
@subulus_salaam2023 Жыл бұрын
Ewe Alshahba tv mche Allah unaweka clips za masheikh wanaopinga dalili wapewazo,,,
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 8 ай бұрын
Duktur vp Unasema ALLAAH Yupo mbingu ya saba Inamaana ALLAH Ana Sehemu? قال الإمام علي (ر): إن الله خلق العرش إظهارا لقدرته ولم يتخذه مكانا لذاتِه.
@truthspeaker2062
@truthspeaker2062 Жыл бұрын
Kwahio Allah yupo ktk arsh . Kwahio Allah ana mipaka ? Je Allah ana huduud .
@barzaqtradingcompany8541
@barzaqtradingcompany8541 11 ай бұрын
Hizi ni vile masufi wana sherehe السماء hakuna aliyo fasiri vile wanavyo sherehe hawo masufi, aliye Allah nimrefu aw na vinginize hathawaoni haya namsemo wa ueongo,
@dauddaud-xm2wc
@dauddaud-xm2wc 11 ай бұрын
Mabraqa aweso tafuta wa kushindana nae dr islam sio lovo yako hata akigawanywa kwa 4 bado huoni ndani kile dr ni chuma cha #
@eidallyeidally5093
@eidallyeidally5093 7 ай бұрын
Kitu ambacho cjawahi kuskia sufi katoa dalilil yakile anachokiamini
@subulus_salaam2023
@subulus_salaam2023 Жыл бұрын
Wala sihitaji like zako ewe Alshahba online tv,,, Nachokuomba muogope Allah usiweke clips kama za kina Mubaarak awes anayepinga dalili wazi wazi wapata madhambi.
@abuually-ol2xc
@abuually-ol2xc Жыл бұрын
Hawa mawahabii kaziyao kukurupuka tu kutoa tafsiri za juu juu tu hawajui kwamba wanakhutubia umma ambao Kuna walosomaa na wanaelimu ila wamekaa kimya tu
@haujahauja900
@haujahauja900 Жыл бұрын
Mbona mwataka kuwatia hawa mashekhe kwenye kujibizana
@Auf-uh3jq
@Auf-uh3jq 11 ай бұрын
Mishekhe Wana wivu kama wake wenza
@samiraabubakar9015
@samiraabubakar9015 2 жыл бұрын
SubhanaAllah hawakukosoana Maswahaba walobobea dini kila mmoja akihishimu rai ya mwenzake kama kweli uzinifu umekithiri, urongo umekithiri, dawa za kulewa zimezidi kwa watoto wetu wa kiislamu na hasad pia zimezidi. Talaka zimezidi. Shughulikieni hayo.
@issarashidiferuziferuzi9201
@issarashidiferuziferuzi9201 2 жыл бұрын
Tulia raddi ziendelee ndo adabu iwap
@abiabi9353
@abiabi9353 2 жыл бұрын
Kwahiyo unataka waachwe mawahabi wapotoshe watu
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
​@@issarashidiferuziferuzi9201mtume alifundisha wapi hizo radi zako mawahabi hamna ilimu na mtume s a w alisema kutakuja watu wakijiona wanailimu wakikosowa wanazuoni wakiwatusi wanazuoni ndio nyinyi mawahabi muko kwenye upotofu
@rasheedearthman2511
@rasheedearthman2511 11 ай бұрын
Awes anaongea tu bila dalili
@hajjisanga789
@hajjisanga789 10 ай бұрын
Mbingu na ardhi zili kuwa pamoja kabla ya hapo sasa mungu alikuwa wapi shekh ukisema yupo juu ya Mbingu ni makosa
@jumachuro4050
@jumachuro4050 10 ай бұрын
Sasa tunapoambiwa Allah ushuka siku ya Arafa ama mida ya Kiyam leil huwa atoka wapi? Mbona mijadala ingine twaileta sisi tu kwa kuedit clips ,wala hao masheikh hawakua na mjadala!
@shabanimbui1691
@shabanimbui1691 2 жыл бұрын
Alie edit hii video ana makosa na awa awakuweka mjadala alafu kujadiliana mungu Yuko wap sio la muhimu ilamuhimu ni kujadili vipi UISLAM utatawala na ALLAH akatulzia
@yassirally2942
@yassirally2942 Жыл бұрын
Kamanikutupotosha4 nyee miloo edit na wasihi muogopeni Allah narudi I kwake
@AbuRumeysa-yz6xt
@AbuRumeysa-yz6xt 2 күн бұрын
Aweso nenda kasome wewe
@abuually-ol2xc
@abuually-ol2xc Жыл бұрын
Tatizo mawahabi wanatafsiri neno kwa neno hawajui kwamba qur ani imejaaa balaghaa wanaonekana wahajui balaghaa mawahabi wanakurupuka tuu
@abuually-ol2xc
@abuually-ol2xc Жыл бұрын
Tatizo la mawahabii kwenye elimu Bado ni WA dogo sana ila wanaonekana wanaelimu kutokana na wasemaje sana ,utamkuta muahabi anatoa dalili Moja kishaa anatafsiri Kwa anavyotaka yeye ili tu iendane na hoja yake apate Cha kumtetea asionekane Hana hojaa ! Maneno mengii wanayo kuliko dalili! Wewe mtu kama umeamuaa kupakia na msimamo wako bakia nao mwenyeo ila usilazimishe umma wakakutetea wewe ! Au ukawalazimisha wafuate msimamo wako Kwa kutoa hojaa batili ambazo dalili zake za kudandia tu!
@user-ql2om7qj3v
@user-ql2om7qj3v 2 жыл бұрын
Mbarak Awes ww yako ni copy and paste, unazungumza bila dalili na kwa matamanio ya nafsi yako! Au unakufuru kuwa Mtume alichukuliwa kwenye Safari ya Isra wal mi'iraj?
@abiabi9353
@abiabi9353 2 жыл бұрын
Kwani kupinga hoja za kiwahabi za kusema Mungu amekaa mahali panahitaji dalili gani? Kiakili tu haikubaliki
@abiabi9353
@abiabi9353 2 жыл бұрын
Yani sheikh Awesi upo vizuri sana .endelea kuwapa darsa hawa washirikina wakiwahabi. Yani kwenye hili ndo nimegundua masheikh wa kiwahabi ni mbumbumbu sana.yani wanataka kumpa Allah dhati kama yakibinadamu
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
Nyie mnaofanya editing mnatafuta vita na ALLAH SUBHANAHU WATAALA. Acheni ujinga na upumbavu na fitna zenu .Kwani hao mashekhe zetu wote wawili wapo katika kuotoa darsa na wala hakuna hicho macho kieleza. Felini kwa fitna zenu.
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
we hurafi una tabuuu ww
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
kasim mafua wa tanga njoo ukuuu umuone dr islam anavo wacharaza masufiii
@omarjuma5532
@omarjuma5532 Жыл бұрын
Alaf Hawa ndo huita wenzao mushrik kwa aqida yao hyo ya kua Mungu yuko juu,fuuu
@KombHaji-dr5pd
@KombHaji-dr5pd 9 ай бұрын
wahabi niuongo kwendambele twambie alikuwa wap kabla yakumba sehem kul shaii haliku ila wajiha Viumbevyote vikiondok atakaa wapi Allha ache kfata ibn temia nyiny mawshabi
@abuusaalimalmasasiyyu9421
@abuusaalimalmasasiyyu9421 2 жыл бұрын
Hawa ndio wazushi walivyo toa kauli za maimamu wanne huone unavoaibika we jizush awesi
@saidihaji3739
@saidihaji3739 2 жыл бұрын
Abuu Shaymaa RUDI KTK KITABU CHA ABUU HANIFA KINAITWA (الفقه الأکبر)
@ahmedbadi5822
@ahmedbadi5822 2 жыл бұрын
Kasome ujitusi mwenyewe jaahil
@abiabi9353
@abiabi9353 2 жыл бұрын
Mawahabi kwa sheikh Awesi wsmeshika adabu yao
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Amezusha nn ukiulizwa hemu sema alichozusha ama ni chuki tu muogope Allah siku yakiyama utakwenda kulizwa kwa kauli yako
@chabunu3367
@chabunu3367 2 жыл бұрын
Wewe mbarak huna hoja Wala dalili yoyote ni pojo na chuki tu hasidi huna sababu sheikh Islam yuko sawa na tumemuelewa
@saidihaji3739
@saidihaji3739 2 жыл бұрын
Chabunu SHEIKH MUBARAKA AMESOMA AYA NA AKAIFASIRI KWA MANENO YA MWANACHUONI . NA TAFSIRI YAKE NI SAHIHI KABISA . AMA DR ISLAM WAHABIY HAJATAJA MWANACHUONI YOYOTE BALI KATOA KICHWANI SASA NANI HANA HOJA ??? .......... ....... ....... Dct MUBARAKA UWESS {Yupo sawa sawa } Na Dct lslam wahabiyu kakosa {X}
@user-bp6fb6wo5u
@user-bp6fb6wo5u 2 жыл бұрын
قال الشيخ محمد خليل هراس رحمه الله : " إِنَّ قُصَارَى مَا يَقُولُهُ الْمُتَحَذْلِقُ مِنْهُمْ فِي هَذَا الْبَابِ: "إِنَّ اللَّهَ تَعَالَى كَانَ وَلَا مَكَانَ، ثُمَّ خَلَقَ الْمَكَانَ، وَهُوَ الْآنَ عَلَى مَا كَانَ قَبْلَ الْمَكَانِ". فَمَاذَا يَعْنِي هَذَا المُخَرِّف بِالْمَكَانِ الَّذِي كَانَ اللَّهُ وَلَمْ يَكُنْ؟! هَلْ يَعْنِي بِهِ تِلْكَ الْأَمْكِنَةَ الْوُجُودِيَّةَ الَّتِي هِيَ دَاخِلُ مُحِيطِ الْعَالَمِ؟! فَهَذِهِ أَمْكِنَةٌ حَادِثَةٌ، وَنَحْنُ لَا نَقُولُ بِوُجُودِ اللَّهِ فِي شيءٍ مِنْهَا؛ إِذْ لَا يَحْصُرُهُ وَلَا يُحِيطُ بِهِ شَيْءٌ مِنْ مَخْلُوقَاتِهِ. وَأَمَّا إِذَا أَرَادَ بِهَا الْمَكَانَ العَدَميَّ ، الَّذِي هُوَ خلاءٌ محضٌ لَا وُجُودَ فِيهِ؛ فَهَذَا لَا يُقَالُ: إِنَّهُ لَمْ يَكُنْ ، ثم خُلِق ؛ إِذْ لَا يَتَعَلَّقُ بِهِ الْخَلْقُ، فَإِنَّهُ أَمْرٌ عدميٌّ . فَإِذَا قِيلَ: إِنَّ اللَّهَ فِي مَكَانٍ بِهَذَا الْمَعْنَى؛ كَمَا دلَّت عَلَيْهِ الْآيَاتُ وَالْأَحَادِيثُ؛ فَأَيُّ محذورٍ فِي هَذَا؟! بَلِ الْحَقُّ أَنْ يُقَالَ: كَانَ اللَّهُ وَلَمْ يَكُنْ شَيْءٌ قَبْلَهُ، ثم خلق السموات وَالْأَرْضَ فِي سِتَّةِ أَيَّامٍ، وَكَانَ عَرْشُهُ عَلَى الْمَاءِ، ثُمَّ اسْتَوَى عَلَى الْعَرْشِ، وَثُمَّ هُنَا لِلتَّرْتِيبِ الزَّمَانِيِّ لَا لمجرَّد الْعَطْفِ " انتهى من "شرح العقيدة الواسطية" (ص 141)
@saidihaji3739
@saidihaji3739 2 жыл бұрын
طیب ما هو هذا المکان العدمي الذي تتحدث عنه ؟؟ وهل هو موجود أو معدوم ؟؟
@user-bp6fb6wo5u
@user-bp6fb6wo5u 2 ай бұрын
​@@saidihaji3739 يا جاهل ترد على العلامة الهراس؟؟ أحسن لك اعرف قدر نفسك ولْزمه.
@khatibujuma4933
@khatibujuma4933 Жыл бұрын
Huyu isilamu nimuongo sana kamaswahabagani
@abuanmarabubakar
@abuanmarabubakar 2 жыл бұрын
we uwesu hujii hata maana ya aya wala hadithi
@issarashidiferuziferuzi9201
@issarashidiferuziferuzi9201 2 жыл бұрын
Pumbavu weeeeh unamjua au wamsikia
@abuanmarabubakar
@abuanmarabubakar 2 жыл бұрын
we mjinga kabisa uwesu namjua kama pesa .a ndio nokamwambia hajui aya wala hadithi
@saidihaji3739
@saidihaji3739 2 жыл бұрын
@@abuanmarabubakar TWAYYIB SHEIKH MUBARAK AWESU AMETOA AYA NA AKAIFASIRI KWA MANENO YA MWANACHUONI . KWAIVO HAKUTOA KICHWANI KWAKE . NA HIO NDIO ITIKADI YA AHLUSUNNA WAL- JAMAA . AMMA HUYU WAHABI DR ISLAM KATOA KICHWANI NANI ATANGULIZWE ??? HAKUNA AYA WALA HADITH MOJA INAYOSEMA ALLAH KWA DHAT YAKE YUPO JUU YA ARSHI . KWAIVO : DCT MUBARAKA UWES ✅ NA DCT ISLAM WAHABI {X}
@hemedahmed3094
@hemedahmed3094 2 жыл бұрын
@@abuanmarabubakar 57:4 - Yeye ndiye aliye ziumba mbingu na ardhi katika siku sita; kisha akakaa vyema juu ya enzi. Anayajua yanayo ingia katika ardhi na yanayo toka humo, na yanayo teremka kutoka mbinguni, na yanayo panda humo. Naye yu pamoja nanyi popote mlipo. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyaona mnayo yatenda 32:4 - Mwenyezi Mungu ndiye aliye umba mbingu na ardhi na viliomo baina yao kwa siku sita, na akatawala kwenye Kiti cha Enzi. Nyinyi hamna mlinzi wala mwombezi isipo kuwa Yeye tu. Basi, je, hamkumbuki?
@hemedahmed3094
@hemedahmed3094 2 жыл бұрын
@@issarashidiferuziferuzi9201 toa dalili c matus au Qur'an na sunna haiwafunzi lugha nzr 17:53 - Waambie waja wangu waseme maneno mazuri, maana Shet'ani huchochea ugomvi baina yao. Hakika Shet'ani ni adui aliye dhaahiri kwa mwanaadamu. 33:70 - Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu na semeni maneno ya sawasawa. 33:71 - Apate kukutengenezeeni vitendo vyenu na akusameheni madhambi yenu. Na anaye mt'ii Mwenyezi Mungu na Mtume wake, bila ya shaka amefanikiwa mafanikio makubwa. 49:11 - Enyi mlio amini! Wanaume wasiwadharau wanaume wenzao, wala wanawake wasiwadharau wanawake wenzao. Huenda hao wakawa bora kuliko wao. Wala msivunjiane hishima, wala msiitane kwa majina ya kejeli. Ni uovu kutumia jina baya baada ya kwisha amini. Na wasio tubu, hao ndio wenye kudhulumu.
@hassanbinhalkano1616
@hassanbinhalkano1616 2 жыл бұрын
Ww awesi una peteza watu hiyo aqida unayo isemea sio ya Ahlu sunna bali ni ya sufi
@saidihaji3739
@saidihaji3739 2 жыл бұрын
Nani kakwambia MASUFI sio AHLUSUNNA WAL JAMAA ??
@hassanbinhalkano1616
@hassanbinhalkano1616 2 жыл бұрын
@@saidihaji3739 sufi wana jidai ni Ahlusuna lakini sio Ahlusuna
@abiabi9353
@abiabi9353 2 жыл бұрын
@@saidihaji3739 nini maana ya ahlulsunah wal jamaa. Lete dalili kuwa mtume aliwahi kuwaita watu kwajina la ahlulsunna wal jamaa. Hii nayo ni moja ya bidaa
@saidihaji3739
@saidihaji3739 2 жыл бұрын
@@hassanbinhalkano1616 Masufi wamejulikana kuwa ni ktk Ahlusunna waljamaa kabla ya miaka 1000 elfu moja nyuma . Kabla Ibnu Taymia hajazaliza na Muanzilishi wa Uwahabi .. Ametaja hilo عبد القاهر البغدادي katika kitabu chake ((الفرق بین الفرق)) Bali mawahabi Hawajatajwa kuwa ni ktk Ahlussunna waljamaa ktk kitabu hicho .. Sjui wameingia vipi mpaka wakaanza kuwatoa wenzao .
@nurudinsalim8955
@nurudinsalim8955 2 жыл бұрын
awes ni doctoor anatoa hoja y nguvu kuliko islamu sema ewes hapend ugomvi ni mpole sana ila akiamua munaaqasha mutaenda kuita masheikh wenu huko suudia
@hemedahmed3094
@hemedahmed3094 2 жыл бұрын
57:4 - Yeye ndiye aliye ziumba mbingu na ardhi katika siku sita; kisha akakaa vyema juu ya enzi. Anayajua yanayo ingia katika ardhi na yanayo toka humo, na yanayo teremka kutoka mbinguni, na yanayo panda humo. Naye yu pamoja nanyi popote mlipo. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyaona mnayo yatenda 32:4 - Mwenyezi Mungu ndiye aliye umba mbingu na ardhi na viliomo baina yao kwa siku sita, na akatawala kwenye Kiti cha Enzi. Nyinyi hamna mlinzi wala mwombezi isipo kuwa Yeye tu. Basi, je, hamkumbuki?
@fahadfuad9248
@fahadfuad9248 2 жыл бұрын
Kisha akakaa vyema ? Wacha wazimu 🤦‍♂️.....kwa hvy ana makalio ? إنا لله وإنا إليه راجعون........ ليس كمثله شيئ وهو السميع البصير 💯
@hemedahmed3094
@hemedahmed3094 2 жыл бұрын
@@fahadfuad9248 laanakum llah
@fahadfuad9248
@fahadfuad9248 2 жыл бұрын
وأنت كذالك
@hemedahmed3094
@hemedahmed3094 2 жыл бұрын
@@fahadfuad9248 Ww yaaan ndani ya qur'an Allah amesema yy ni samian wabaswira 58:1 - MWENYEZI MUNGU amekwisha sikia usemi wa mwanamke anaye jadiliana nawe juu ya mumewe, na anamshitakia Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu anayasikia majibizano yenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kuona. 2:224 - Wala msifanye jina la Mwenyezi Mungu katika viapo vyenu kuwa ni kisingizio cha kuacha kufanya wema na kuchamngu na kupatanisha baina ya watu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia na Mwenye kujua. Pia kasema ana mkono 38:75 - Mwenyezi Mungu akamwambia: Ewe Iblisi! Kipi kilicho kuzuia kumt'ii yule niliye muumba kwa mikono yangu? Je! Umejiona mkubwa, au umekuwa katika wakuu kweli? Ulivyokuwa ufaham wako ni mdg waenda kutoa mfano wa makalio yaaan mifano yoote ilioandikwa ndan ya qur'an huion
@user-bp6fb6wo5u
@user-bp6fb6wo5u 2 жыл бұрын
Aweso maskini unampima wewe Allah kwa akili zako! Huna dalili laa katika Quran wala sunna! Naomba hata mtoto wako mdogo Allah yuko wapi utaona kwa fitra yake atajibu nini! Falsafa nyingi hazifai katika itikadi!
@saidihaji3739
@saidihaji3739 2 жыл бұрын
Kwanza unatakiwa kufahamu {(المصادر)} ambayo Huchukuliwa dalili . Ni KITAABU ... NA SUNNA ... NA IJMAA ... NA QIASSI .. Hakuna ktk hayo kuulizwa {MTOTO MDOGO } na kama lngekuwa ni HOJA basi .. ALLAH asingeiteremsha QUR ANI wala kumtuma MTUME ﷺ Maana watoto wadogo WANGETOSHELEZA .
@fahadfuad9248
@fahadfuad9248 2 жыл бұрын
Rudi usikilize vizuri , bali amesema hatufai kumpima kwa akili zetu ........mwamsifia kana kwamba mwaeza kumdiriki mola kwa akili zenu eti amekaa , mara yuaruka , إنا لله وإنا إليه راجعون...... Mujassimah khatari sana kwa uislamu na falsafa zenu za kigiriki , mwataka kumfanya Allah kama kina zeus 🤦‍♂️
@fahadfuad9248
@fahadfuad9248 2 жыл бұрын
Zeus ndio ameketi kwenye kiti akiangalia watu wakipigana jihadi huku akila mkate na kuku , Allah sw hafanani na kitu chochote wala hajazi sehemu kama viumbe 💫 ليس كمثله شيئ وهو السميع البصير. ولم يكن له كفوا أحد. هل تعلم له سميا . Ayah zote zinamtakasa mola sw , na nyinyi munamchafua لا حول ولا قوة إلا بالله.
@FatherofRabbits13
@FatherofRabbits13 2 жыл бұрын
Mbarak aweso zuzu Kabisa. هؤلاء دعاة من أبواب جهنم. Na ww unaedit hzi Ogopa Allah. Maana kesho utaenda ulizwa. Kma ni kazi tafuta kazi usifanye hvi Kwa ajili ya kupata pesa.
@fahadfuad9248
@fahadfuad9248 2 жыл бұрын
Ajabu Jaahil murakkab ausia wenye elimu kufanya tawba . Innaaa lillahi wainnaa ilaihi raajiun
@abiabi9353
@abiabi9353 2 жыл бұрын
Mawahabi ndiyo majahili kwasababu ya ufahamu wao finyu kila kitu hukitafsiri literally. Huwo ndiyo ujinga wao mawahabi
@truthspeaker2062
@truthspeaker2062 8 ай бұрын
Ndio maulamaa wako wanavyokufundisha utovu wa adabu kwa wanachuoni ?
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u 2 жыл бұрын
Dah Aweso Mwepeesi na Anashubuhaat nyingi Sana kama Huna Elimu Anakudanganya. Lakin pia Haikuthubutu Kwa Maswahaba wala Wema waliotangulia kutaja kuwa Allah Ana upande Fulan Wala sehemu.Hili halipo. Na nyie mnaokataa Uluw ya Allah mnelezeaje kuhusu Israa na miiraj Kuwa mtume alienda wap ???Ikiwa Allah Hayupo Juu ya mbingu saba??
@saidihaji3739
@saidihaji3739 2 жыл бұрын
Kwanza (أبو فیصل) Hakuna muislamu anaekataa sifa ya (العلو) Sio MAWAHABI wala AHLUSUNNA WALJAMAA . Tofauti iliopo ni (العلو) kwa maana ipi ?? AHLU SUNNA : Wamesema (العلو) ya uwezo wake , daraja, na sifa zake . Kwaivo wakisema (( ALLAH YUPO JUU )) Maana yake : Yupo juu kwa Sifa zake , uwezo wake , na cheo chake n.k . DALILI : قال الله تعالی : [ سَبِّحِ اسمَ رَبِّكَ الأَعلٰی] وقال تعالی : [ وهُوَ القَاهِرُ فَوقَ عِبَادِهِ ] وقال النبي ﷺ ؛﴿ کان الله ولم یکن شیٸؓ غیره ﴾ وفي روایة ﴿ کان الله ولا شیٸ معه ﴾ MAANA YA HADIITH : { Alikuwepo ALLAH wala hapakua na chochote } . NA KTK RIWAYA : [ Alikuwepo ALLAH wala hakua pmj nae yeyote] NA ALLAH HABADILIKI {HANA SIFA ZA MABADILIKO] AMA MAWAHABI : Wanasema yupo juu kwa dhatti yake ni Qauli hii haina dalili hata moja ktk QUR- ANI wala SUNNA . INAYOSEMA : ALLAH YUPO JUU KWA DHATI YAKE . HALAFU WAKATOFAUTIANA MAWAHABI WENYEWE .. WAPO WALIOSEMA : ALLAH BAINA YAKE NA ARSHI KUNA MASAFA . NA WAPO WALIOSEMA : HAKUNA BAINA YA ALLAH NA ARSHI MASAFA YOYOTE BALI AMEIKALIA HASSA .۔۔ NA WNASEMA : Eti KUNA SEHEMU YA ARSHI IMEBAKIA (والعیاذ بالله) ATAKALISHWA MTUME ﷺ۔ ۔ NA ktk hilo WANATUMIA ILE HADIITHI DHAIFU. SUALA: Jee kusema ALLAH KWA DHATI YAKE yupo juu ya ARSHI YAKE Inafaa ?? JAWABU : HAIFAI kwasabb ARSHI NI KTK VIUMBE VYA ALLAH . NA ALLAH HATEGEMEI VIUMBE VYAKE. قال الله تعالی :(( وَاللّٰهُ غَنِيّؓ عن العَالَمِینَ )) Na ALLAH ni mkwasi Amejitosheleza { hategemei viumbe vyake }.
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u 2 жыл бұрын
@@saidihaji3739 Mawahabi ndio maDhehebu gan hayo?Naomba Dalili
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u 2 жыл бұрын
@@saidihaji3739 Pili hujajibu Swali uliloulizwa Unakurupuka. Mtume ktk Safar ya Miiraj alienda wap Ikiwa Allah hayupo Juu??? Kuna Kauli za Maimamu wote wanne na Kauli za Maswahaba Na Hadith na Quraan Yathibitisha hili.Bali Maulamaa Wengi wameandika na kufafanua. Masufi Sio Ahlu sunna wal jamaa.wacha kujiita Ahlu sunna ikiwa wew ni khuraafi Sufi Dhaaalun Mubtadiu. Na pia ukisema Allah hayupo juu Twakuuliza yupo wap!?Na ukisema hayupo popote hapo Wew ni Kafiri Kwa maana unasema hakuna Mungu. Rejea maneno ya MWanachuon huyu قال ابن تيمية رحمه الله عن وسطية أهل السنة والجماعة في صفات الله عزّ وجل: (ومذهب السلف بين مذهبين، وهدى بين ضلالتين: إثبات الصفات، ونفي مماثلة المخلوقات، فقوله تعالى: {لَيْسَ كَمِثْلِهِ شَيْءٌ} [الشورى: 11] ، رد على أهل التشبيه والتمثيل، وقوله: {وَهُوَ السَّمِيعُ الْبَصِيرُ} [الشورى: 11] ، رد على أهل النفي والتعطيل، فالممثل أعشى، والمعطل أعمى: الممثل يعبد صنماً، والمعطل يعبد عدماً) مجموع فتاوى ابن تيمية 5/196.
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u 2 жыл бұрын
@@saidihaji3739 Ulete Historia ya Hayo MAdheheb ya Uwahab yameanza Mwaka gana na nan miamzilishi wake.????
@saidihaji3739
@saidihaji3739 2 жыл бұрын
@@user-qe8xp6ii1u Twayyib Kwanza nitajie hao maulamaa waliosema Masufi sio AHLU SUNNA WAL JAMAA katka salafi . Pili : wewe unaitikadi gani ktk hizi mbili za mawahabi . Mungu wako kakaa ktk Arshi ?? Au yuko juu zaidi hajagusana nayo ?? Na ni ipi hukmu ya asieitakidi hivo unavoitakidi wewe ?? .............. ................. ............ JAWABU Mtume alienda safari lsraa na miiraji kwa ajili ya KUONESHA AYAAT ZA ALLAH والدلیل علی ذلك قول الله تبارك وتعالی ؛﴿ سبحان الذي أسری بعبده ليلا من المسجد الحرام إلی المسجد الأقصی الذي بارکنا حوله ﴿لِنُرِیَهُ من آیاتنا﴾ إنه هو السمیع البصیر﴾ ۔ NITAJIE HIZO AQUALI ZA MAIMAM WANNE AMBAO UNADAI QAULI ZAO ZIPO !!! ANGALIZO Taja Qauli ....?? Taja kitabu ...?? MFANO ABUU HANIIFA... Wapi kasema ?? MAALIK BNI ANAS ... Wapi kasema ?? MOHAMAD IDRISA SHAFIY ... wp kasema ?? AHMAD BNI HANBAL ..wapi kasema ?? ................. ............ ........ Jawabu la pili Allah yupo wapi ?? ALLAH YUPO bila ya kutegemea sahemu . Kwasabb yeye hategemei chochote ni mkwasi aliojitosheleza . KAMA VILE ALIVOKUWEPO KABLA YA KUUMBA CHOCHOTE .
@issacksomo967
@issacksomo967 11 ай бұрын
Masufi ni watu wa kufata hawaa zao wala hawaendi na dalili
Allah Yupo Wapi? :: Sheikh Mbarak Ahmed Awes
57:01
Sheikh Mbarak Ahmed Awes
Рет қаралды 15 М.
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 13 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 5 МЛН
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 45 МЛН
JE MUNGU YUKO WAPI? (Dhati ya Allah)Sehemu 01/02@KHALIFAMPYA-TV
19:32
KHALIFA MPYA TV
Рет қаралды 1,8 М.
JE KUACHA CHANGE DUKANI NI RIBAA?//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD.
23:04
Fauz Production
Рет қаралды 12 М.
MAWAHABI WAO KWA WAO WANATIYANA KATIKA BIDA.       BY SHEKH AHMAD MBARAK AWES
5:55
Prophet Muhammad and Aisha's Adultery (Al-Ifk)
16:31
Nabi Asli
Рет қаралды 676 М.
SAIDIA WENZAKO ILI NAWE USAIDIKE / SHEIKH SAID BAFANA
42:29
ABUU AISHA أبو عائشة
Рет қаралды 8 М.
NI LAANA KWA MWANAMKE KUFANYA MAMBO HAYA//DUKTUR ISLAM
33:29
Fauz Production
Рет қаралды 16 М.
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 13 МЛН