Shekhe islam ukiona watu wanakupinga sana jua kuwa unafanya kazi nzuri
@allylassuh4947 Жыл бұрын
Kwaio ww na family yko munapomkataza mtoto jamno asifanye lkn akawa haskii anaendelea tu kwaio hua yuko kwnye haki huyo mtoto na nyie nyote hua mko kwnye upotevu
@ustadhayub8733 Жыл бұрын
Kwa hio yeye alipo wanao leta dhikri inamaana pia wako sawa waendelee sio
@hilalkhalfan14527 ай бұрын
@@ustadhayub8733dini dalili sio fikra zako
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
Atakae taka ataamini ataamini asiyetaka basi anakatae. Ndo dunia hatuwezi kuwa na fikra zinazofanana. Darsa imeeleweka ALHAMDULILLAHI.
@abdallahhalifa5860 Жыл бұрын
Allah akurehemu Sheikh Lkn kuelimisha mawahabi ni kz mana fahamu zao za elimu ni finyo
@shuwehaharuna6309 Жыл бұрын
Amrehem vipi tna sema Allah amuhifadhi
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
Mawahabi ndo watu gani?wanasifa zipi?Halafu
@abdallahhalifa5860 Жыл бұрын
@@shuwehaharuna6309 Alishakufa huyo Mzee xamani
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
Kama unaiamini Quran Tukufu soma Suratul Al Israai:53. Unapomtusi muislamu au kumkejeli usifurahie ukaona kama umeshinda yakupasa uelewa;"ukifanya jema unaifanyia nafsi yako".Na ukifanya ovu ni juu yako "Tumche MOLA MTUKUFU.
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
AĹLAH SUBHANAHU WATAALA Ndie Mjuzi.Hakuna awezae kuutathmini uchaMungu wa mtu isipokuwa ALLAH SUBHANAHU WATAALA. Na suala kutofautiana ni lipo hakuna aliesalimika na mapungufu. Wote wametoa ushahidi.Wawezaje kumbeza mmoja wapo?
@rajabnyoka-vv5vh Жыл бұрын
Mashallah sheikhuna Allah akujaze kheri haki lazima ibainishwe na haki haizama daima popote iwapo lazima haki iwe juu
@ustadhayub8733 Жыл бұрын
Haki yakudharau dhikri nakusema nimayowe hio ndio hakki mumesahau Allah alipo sema wafauqa kulli dhii ilmin aliim
@fannaan3586 Жыл бұрын
Mizuka tuh hawa nao🤦🏽♂️
@adamaliali2206 Жыл бұрын
Mashaallah sheikh islam
@ustadhayub8733 Жыл бұрын
Mashaallah hio ni Kwa kupotosha umma au kusema dhikri ni mayowe?
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh Жыл бұрын
Mashallwha shukran
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
Zama ambazo Mtume swalla LLAHU alayhi anasifiwa sana na wanaompinga .
@hilalkhalfan14527 ай бұрын
Na ndio zama anazotukanwa Mtume saw kwa wanaomkubali
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
Dr. Islam umefikisha WALILLAHIL HAMDU. Zile zama zilizosemwa ndo hizi za wajuzi kuipinga haki kwa makusudi kwa hawaa za nafsi zao.Tena ni mafasaha wa kuzungumza.
@binally3258 Жыл бұрын
Dalılı zko wazı 😂
@allylassuh4947 Жыл бұрын
Hahahahahaha twambie bc rawah nani hio hadith polen mawahabi ukwly umewauma huo
@giltaemi4017 Жыл бұрын
@@allylassuh4947 Tumuombe sana Allah atuepushe kua wapumbavu. Bora kua mjinga kuliko kua mpumbavu. Kunyanyua sauti haija wahi thibiti kwa mtume. Kama una ushahidi mtume kafanya leta ushahidi. Kamahamna ni bora zaidi kuacha kuliko kujifanya unatetea asicho kifanya mtume zama hizo Huo ni upumbavu bora kua mjinga ukielimishwa unaelimika.
@athmanbabusa8020 Жыл бұрын
@@giltaemi4017 Hadithi ni dhaifu
@JabirBakar-ys8dw Жыл бұрын
@@giltaemi4017 wakati sheikh anafundisha hapo we ulikuwa wapi hebu tutolee hadithi zako dhaifu
@swabrianwar1020 Жыл бұрын
Dalili wazii kama jua, lakin wenye chuki kwenye nyonyo zao hawaon hizo dalili
@9119-r4t Жыл бұрын
Basi kama wampenda mtume saw basi mfate ama muige weka ndevu sio umekaa kama kibonzo. Kisha wajiita sheikh
@JabirBakar-ys8dw Жыл бұрын
Tupe hadithi mtume amesema usipofuga ndevu hunipendi na wendi peponi tupe hiyo hadithi
@hamdaniame98606 ай бұрын
Kwani wewe unafuata mambo yote aliyofanya mtume? Mtume ekua anaswali mpaka miguu inavimba kwa sababu ya kisimamo wewe dakika Tano tu izo huzipati
@AliBadru-r2f6 ай бұрын
Yani kumpenda mte sio moyoni, nikufuga ndevu
@yusufathman2478 Жыл бұрын
Uyo sheikh wa pili ni sufiyun munharith
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Huyo ni mwanachuoni wacha ujinga na kiustadh chako islam mrongo
@yusufathman2478 Жыл бұрын
@@fikafikan8484 sifuati mwanachuoni Sufi mmi
@mhusinigau32312 ай бұрын
Acha kiburi ww pumbavu
@shuwehaharuna6309 Жыл бұрын
Mwenye Chanel hii sio mwiislam kamili umedandiatu rudi madrasa
@athmanbabusa8020 Жыл бұрын
Rejelea hiyo hadithi ya jeneza utajua ni dhaifu بالجهلاة الرجال
@kherimakame212 Жыл бұрын
km mtu hajasom mustwalahul hadithi huwez kufaham uyo sheikh anachosem ukisom fan hiyo utamfaham hat uyo aliekosolewa akikaa na kutulia atajua kosa lake
@kherimakame212 Жыл бұрын
sio kil hadithi inachukuliwa hadithi zinadaraja zilizosimuliwa na watu ambao wameaminiwa zinafanyiwa kaz na zilizosimuliwa na watu waongo zinaachwa kwaio mtu mwenye elim ndogo ataisimulia hadithi ambayo imeachwa na mwisho wasiku atawapelek watu pabaya
@hamdaniame98606 ай бұрын
TATIZO SIO UFAHAM NAHISI TATIZO NI TONGE IENDE KINYWANI
@FarahJey Жыл бұрын
وعن أَبي أُمَامَة الباهِليِّ قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللَّه ﷺ: أَنا زَعِيمٌ ببَيتٍ في ربَضِ الجنَّةِ لِمَنْ تَرَكَ المِرَاءَ وَإِنْ كَانَ مُحِقًّا، وَببيتٍ في وَسَطِ الجنَّةِ لِمَنْ تَرَكَ الكَذِبَ وإِن كَانَ مازِحًا، وَببيتٍ في أعلَى الجَنَّةِ لِمَن حَسُنَ خُلُقُهُ حديثٌ صحيحٌ، رواه أَبُو داود بإِسنادٍ صحيحٍ.
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
Baraka LLAHU fiyka akhiy lkariim.
@FarahJey Жыл бұрын
@@ahmadmzoa74 وفيك
@abdulshakurmshindo9040 Жыл бұрын
Vizazi vya mtume ndo vyenye nuru ya mtume dini tuchukue kwao tutasalimika
@charafimali9731 Жыл бұрын
ASTAGHFIRULLAAAH, duh, LA ILAHA ILLALLAH ni kelele ?
@edhaomar2853 Жыл бұрын
Dr Islam kama SI Hawa waalahi huyu Mzee ni mwanachuoni wa kweli sana hangerudia Tena haya maneno
@selmaswaleh2133 Жыл бұрын
Dr.Islam uko Sahihi asiyekuelewa hajataka kukuelewa.Takbir za Idi mumezitowa wapi wakati wa Kuzika??? Adhana kumuadhiniya Maiti mumeitowa Wapi??? Talqin baada ya Maiti kuzikwa mumeitowa Wapi??? Kusoma Suratu yasin au Suratu Ikhlas kumi na Moja baada ya Kuzika mumeitowa wapi??? قل هاتوا برهانكم إنكتم صادقين
@athmanbabusa8020 Жыл бұрын
Hadithi aliyoitoa Dr. Islam ni dhaifu. بالجهلاة الرجاله
@mpasuajiali8710 Жыл бұрын
Wewe mbwa unamdharw mtume
@alial-amoudy4399 Жыл бұрын
Kwanini utasema Sheikh Islam apotosha Watu..... Hii ni chuki na fitna mbaya sana
@hamdaniame98606 ай бұрын
Ndio apotosha kwa sababu hasemi yaliyo sawa wakati mwengine
@omarsakawa2070 Жыл бұрын
Mwasikia nyie mawahabi uchambuzi huo.kumbe mwajichukulia mahadithi bila kufanya bahthi.
Majaahil wakubwa nyie, na waongo kweli kweli, yani haya si maneno yanayo fanana kutoka kwenye kinywa cha Shekhe. Yakitoka ni ushahidi kua maarifa ya elimu ya hadithi hana....