No video

DR KUMBUKA - ''KAMA KIUNO KIZURI NDIYO NDOA BASI MADANSA wa TWANGA PEPETA WOTE WANGEOLEWA''...

  Рет қаралды 92,874

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

DR KUMBUKA - ''KAMA KIUNO KIZURI NDIYO NDOA BASI MADANSA wa TWANGA PEPETA WOTE WANGEOLEWA''
#KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO
#KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO
#KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PESA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 209
@globaltv_online
@globaltv_online 9 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@djumaramadhani1157
@djumaramadhani1157 8 ай бұрын
@user-qv8uo3bc6o
@user-qv8uo3bc6o 7 ай бұрын
Chanel io kuhiunga vipi mbona naingia haijii😊
@user-jg5ou9rz2d
@user-jg5ou9rz2d 7 ай бұрын
Nataka nami kujiuga wasp
@MozaFoum-yg9he
@MozaFoum-yg9he 6 ай бұрын
Haikubal naon hy mmb vp
@user-vx4hm8cr6h
@user-vx4hm8cr6h 8 ай бұрын
Mafunzo mazuri sana. Dr Kumbuka nilikuwaga simuelewi lakini kuna siku nilimuona kwenye sherehe moja nilimpenda ana busara sana.👌💪
@amoursalim7418
@amoursalim7418 8 ай бұрын
Dr umesema wapo wengi mtaani hao awataki kukubaliana na maisha walioyakuta kwa wanaume zao upewe maua yako🎉🎉🎉
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb 7 ай бұрын
❤❤❤❤nimewaelewa zaidi nawashangaa wale wanaotunyari kutuona unyagoni....
@rahmasuleiman9334
@rahmasuleiman9334 8 ай бұрын
Kweli leo ni leo kati kati ya koko motooo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉pokeeni kipindi kimenoga ❤❤
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 9 ай бұрын
Wallah nimeludia Tena interview aise maaana mambo kuntu aswaaaa
@aminasalim8708
@aminasalim8708 8 ай бұрын
Wengne huruma tunao ila wanaume munatuchosha jmn munacho amujulikani, hamuna amujulikani, , wengne ata chakula cha maan kila siku amutupi wengn mapenz tunayoo aswaaa ila tunaishiwa nguvu kuwafanyia kwa mambo yenu meusi....aaanh mumezid alafu munatupachika sisi lawama zote😢😢
@evejap6887
@evejap6887 7 ай бұрын
Yatakwisha..mamii😢
@user-eq6wg3cf4r
@user-eq6wg3cf4r 6 ай бұрын
Pole sna mammii kwa hayo yanayo kukuta
@jenipherishengoma1239
@jenipherishengoma1239 7 ай бұрын
SEMA DR KUMBUKA NI MWALIMU KWELI
@husnaameen9309
@husnaameen9309 8 ай бұрын
Na kweli unyago ukirudisha hata huu ushetani wa ushoga utakoma maana ni wazungu wantuletea mungu awainue viongozi kuruhusu unyogo kuokoa taifa la kesho
@evejap6887
@evejap6887 7 ай бұрын
Tuombe mungu sana upande huo..maana viongozi wetu wakipewa gunia la pesa washa pitisha mswada ..mwenzangu ..bila kufikirua mbeke..hawajui leo na kesho kizazi kijacho kita kuaje😅😅..yaani mambo tafrani kweli kweli.😢
@evejap6887
@evejap6887 7 ай бұрын
Wazungu niwa January sana..wni maquis zetu..na wana jua sehemu za kutu gonga ili lengo Lao lifanikiwe..nakwambia tuendako kubaya ..afadhal tutokapo..maana viongozi wetu...ndionwana tuangamiza pole pole lkn wajue hajuna urafiki ..wa ..manufaa urafiki wao niunafiki na wakishapata wakitakacho watatuacha mataani..mbona tutajuta siee😢
@kautharjay5868
@kautharjay5868 Ай бұрын
sio lazima unyago kwanini usimfundishe mwanao
@keyla3641
@keyla3641 8 ай бұрын
Kumbuka you made my day mola akueke
@fatmamrihani6828
@fatmamrihani6828 8 ай бұрын
Natamani msingemaliza jamanii kipind kizur sana, dr kumbuka unajua sana hongereni❤
@eshasaid3258
@eshasaid3258 7 ай бұрын
Usema unwell wazazi hapedi kuwaliya watoto wao vombo vya kupikiya shuqrani sana uzuri uliyosema❤❤❤❤❤❤
@adnanimohamed8815
@adnanimohamed8815 8 ай бұрын
Ahsante sana Dr kumbuka! Maneno mazima! Tupe!
@khadijarashidy9304
@khadijarashidy9304 8 ай бұрын
Tupe vitu tupe vitu Dr kumbuka mwenye kumbuka zako😂😂😂
@sumayyahally3199
@sumayyahally3199 8 ай бұрын
Mubarikiwe mashaallah nimejifunza naenda unyago now dokta tunakupenda kwa ajiri ya Allah ❤
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 8 ай бұрын
😂😂
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 9 ай бұрын
Pamba jamn napenda jamn uwiii mwanzo mwisho jamn nimecheka mwanzo mwisho shukran sana mmenifunza aswaaaaa
@rahimarahima6924
@rahimarahima6924 8 ай бұрын
Kumbuka umesema ukweli mungu akuweke kwa ajili yetu
@hidayamanda-gk7nf
@hidayamanda-gk7nf 8 ай бұрын
Jaman nmecheka atar ❤❤❤❤
@nahyaahmedy1382
@nahyaahmedy1382 5 ай бұрын
Nimeelimika...asanteni sana...❤
@lovenessmackline6606
@lovenessmackline6606 7 ай бұрын
Ndampendaga kumbuka bule kabisa 🤗🤗🤗 maua yake 🎉
@vickysteven1172
@vickysteven1172 8 ай бұрын
Mimi nashauri muanzishe darasa hasa kwa watt wanaonda kwenye barehe muwafundishe jamaani hata kulipia tulipie
@Naahlyan
@Naahlyan 8 ай бұрын
Kumbuka atali sema nmejifunza Ving love❤
@user-nw9ny2il8n
@user-nw9ny2il8n 8 ай бұрын
Asantee dr.Kumbuka❤❤❤
@ChristinaOnditi-el3xo
@ChristinaOnditi-el3xo 8 ай бұрын
Salehe yubwi mwanangu umeongea point sana nakumbuka ulivoenda jando,mie mama akommdg najua ,Sabina mmakonde alinishirikisha,nimefurahi sana..napenda uwe na hekima Ivo,marehemu mama Yako alikua na utii sana na baba Yako pia ni mwema sana .fata zile busara zao japo kuongea hiyo ni ya mama Ako mkubwa beata🤣
@user-vx4hm8cr6h
@user-vx4hm8cr6h 8 ай бұрын
Safi sana dr Kumbuka 🙏nimejifunza jambo .
@vero57
@vero57 9 ай бұрын
Jamani inabidi watoe leseni ukitaka kuoa au kuolewa, walipe. Ndoa ikiachikaaa alipee piaaa 😮😮
@keyla3641
@keyla3641 8 ай бұрын
Kumbuka asante
@BintiNyembo-vs2ur
@BintiNyembo-vs2ur 7 ай бұрын
Asanteni nimejifunza mengi sana mwenyezi mungu hawabariki❤❤❤
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 8 ай бұрын
Mashaallah tabarakaah Dr kumbuka nakupenda sana
@user-ct3kz3rq1q
@user-ct3kz3rq1q 8 ай бұрын
MTU MWENYE MASHAKA NA AKILI ZA DR.KUMBUKA KIAKILI BASI ATAZAME HII VIDEO ATAFAHAMU KAMA NIMZIMA KICHWANI
@khadijayusuph2634
@khadijayusuph2634 8 ай бұрын
Ila jamani mi nashauri wanaume wapewe elimu Pana juu ya ndoa au kujua thamani ya mke na kumkirinu maana hawa watu duh"mtihani
@EmJesho
@EmJesho 9 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉yako Dr ❤❤❤❤❤❤❤❤ pamoja na mama j
@fathimamct232
@fathimamct232 8 ай бұрын
Kweli kabisa Kuna haki ya kurudiisha jando na unyago
@khadijasalum2302
@khadijasalum2302 8 ай бұрын
Big up Dr kumbuka❤
@famidaally2665
@famidaally2665 8 ай бұрын
Kweli kabisa jaman da kwasasa hakuna watu tumebaki majitu
@AminaKida-ik8fc
@AminaKida-ik8fc 8 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉kwa doctor
@jescawilliam-vc9ip
@jescawilliam-vc9ip 8 ай бұрын
Nimecheka sana😛😛😛😛
@johanjoha5262
@johanjoha5262 6 ай бұрын
Umenenepa kumbuka
@user-yr5lh3mp8v
@user-yr5lh3mp8v 6 ай бұрын
Dr ajengewe sanamu jamaniii
@vickysteven1172
@vickysteven1172 8 ай бұрын
Kumbuka uko vzr
@aminanuranassor660
@aminanuranassor660 8 ай бұрын
Asante sana kumbuka ❤❤❤
@user-ip2vk5bo1p
@user-ip2vk5bo1p 8 ай бұрын
Asanta Dr kumbuka
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o 9 ай бұрын
Daa kumbuka nimekuelewa kabisa
@omarsakwa-zs2zy
@omarsakwa-zs2zy 7 ай бұрын
Mama jj...congrats
@HasnatyGift-gn6vb
@HasnatyGift-gn6vb 7 ай бұрын
Ongera na asantee
@bibielroybibielroy8710
@bibielroybibielroy8710 6 ай бұрын
Swadakta kumbuka
@jonesshao8284
@jonesshao8284 7 күн бұрын
Fact
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 9 ай бұрын
Leo ni leo Dr Kumbuka na mama J katikati ya koko, majirani hukuuu 😂😂😂😂
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 9 ай бұрын
Sadakta Dr hapo nakupa asilimia lazima wanawake tuwe na akili kichwani mwanaume akiondoka watt hawahangaiki family haiteteleki
@iddykwangaya2794
@iddykwangaya2794 8 ай бұрын
Hahahahaha...nani doctor swalehe,,eti kama nyani ngwengwe🤣🤣🤣
@ttss7716
@ttss7716 9 ай бұрын
Mama jj ❤
@MwanaidMsindo
@MwanaidMsindo 8 ай бұрын
Good upo vzuri sana
@KHAMIS_SHILINGI
@KHAMIS_SHILINGI 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂 jaman nimetoka kumpa ndizi mmewangu kama ilivo khee kumbee matusi alhamdulillaah 🙏😂😂😂🙌
@zaituniabdallah1948
@zaituniabdallah1948 8 ай бұрын
😅njoo Kwa wazaramo ufundwe Ile vingine Iman tuu mwaya hajakosea
@KHAMIS_SHILINGI
@KHAMIS_SHILINGI 8 ай бұрын
@@zaituniabdallah1948 hakika 😂😂😂😂
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 8 ай бұрын
​@@zaituniabdallah1948nifunde na mimi
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 8 ай бұрын
​@@zaituniabdallah1948nifunde nataka kuolewa na mzaramo
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj 7 ай бұрын
Mambo mazito😁👌❤️❤️
@norahnasson7606
@norahnasson7606 9 ай бұрын
Dr kumbuka kazi kweli kweli 😅😅😅
@ramadhankombe2643
@ramadhankombe2643 9 ай бұрын
😅😅majiran tumewasikiaaaaa!!! Ila duhhh mkwe leo km kipele kimepata mkunaji😂😂😂
@clovicemusobozi3891
@clovicemusobozi3891 8 ай бұрын
Kweli kabisa Sasa awafundwi wanapelekwa hospital bado watoto wachanga
@user-sd7ms7wf9t
@user-sd7ms7wf9t 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@Nahdiya-nr3de
@Nahdiya-nr3de 8 ай бұрын
Kbcaaaaa umesema bhanaeeeee
@sheikhasheikhan6610
@sheikhasheikhan6610 6 ай бұрын
Jamaniii Mambo mazito 36:52
@malichanda3146
@malichanda3146 8 ай бұрын
Kumbuka umesema ukweli warembo wengine na wamejaliwa viuno lakini wazazurura tu hawaolewi jamani umesema ukweli kabisa
@Maggie824
@Maggie824 8 ай бұрын
Wajuaje viuno vingi vizuri Nawe chako kibaya Kama Mondi
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 8 ай бұрын
​@@Maggie824mhmm
@user-lr8lh3jx3z
@user-lr8lh3jx3z 8 ай бұрын
Kweli kabisa asateni kwa kutuelimisha
@lydiajonathan3544
@lydiajonathan3544 5 ай бұрын
In the class
@alhabsi6430
@alhabsi6430 8 ай бұрын
Leo umewapa ukweli wao
@faridapandu7579
@faridapandu7579 8 ай бұрын
Kumbuka umeongea kweli❤❤
@joycenzemya2732
@joycenzemya2732 8 ай бұрын
aaaaaaaaaah,nimewapenda sana,mambo ni fireeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂
@shadidasaidi3318
@shadidasaidi3318 7 ай бұрын
-👌
@Asmini-xp5ld
@Asmini-xp5ld Ай бұрын
Kak nakuunga mikono asilimia mia moja
@KHAMIS_SHILINGI
@KHAMIS_SHILINGI 8 ай бұрын
😅😅😅😅 twende viti vya wagonjwa muhimbili😂😂😂
@fatmaabdi8813
@fatmaabdi8813 8 ай бұрын
Kumbuka 👏👏👏
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 9 ай бұрын
Dr. Umeniacha HOI, kumbe huko. Jando Unyago mnafundishwa yoote hayo? Je Mnatapishwa??
@user-os8pk7oe6e
@user-os8pk7oe6e 2 күн бұрын
Mbona video aitowi sauti jamani😥😥😥😥
@mhabimina4023
@mhabimina4023 8 ай бұрын
True that 🔥🔥👌
@marthageorge5043
@marthageorge5043 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Dr kumbuka umongea kweli kabisa
@user-fn5if9wu8p
@user-fn5if9wu8p 8 ай бұрын
Nimekupata mama JJ Mimi adellah banda
@BishiraMunga-ey6jx
@BishiraMunga-ey6jx 4 ай бұрын
Unyago haukatazwi,kinachokatazwa ni unamfanyia unyago ktk umri gani wakatigani,pia usikekete haitakiwi,navyojua mimi unyago wanaenda kuandaliwa kuwa handle wanaume lkn saivi mtt mdg anatiwa unyago akitoka sikionlimevuka kichwa hata mamaake amuona majununi.
@user-kp7gj9xq4b
@user-kp7gj9xq4b 8 ай бұрын
Jicho te teh teh teh😂
@latifahkasubi256
@latifahkasubi256 7 ай бұрын
Nakukubali sn Dr Kumbuka
@annatwelewile3498
@annatwelewile3498 7 ай бұрын
handuduu handadaa
@user-tw5gd6zo7c
@user-tw5gd6zo7c 6 ай бұрын
Dr shikamoo😂❤
@MwajumaRajabu-p9o
@MwajumaRajabu-p9o Ай бұрын
uko vizur kaka nikuku bali
@arafakiloli749
@arafakiloli749 8 ай бұрын
Sahihi
@mesaidiali5649
@mesaidiali5649 7 ай бұрын
Aitwe Tena huyu baba Dr
@Bengo_OnlineTv
@Bengo_OnlineTv 8 ай бұрын
Wachaga mpooo wap njooni kuna neno lenu huku😂😂😂😂
@user-qz9wy9ou6g
@user-qz9wy9ou6g 8 ай бұрын
Aaaaaaa mm hata wasije mana fmly yangu yaezwa na mungu wee tuone tu 😂😂😂😂😂manaheee 😂😂😂😂😂😂
@aminakasim1198
@aminakasim1198 8 ай бұрын
Asee
@user-ro2fl1py6m
@user-ro2fl1py6m 8 ай бұрын
Mi ndiyo nishaazima
@user-rk1hq4pq6e
@user-rk1hq4pq6e 7 ай бұрын
Wow
@user-el5pz7oo1t
@user-el5pz7oo1t 8 ай бұрын
Hatari
@jenipherishengoma1239
@jenipherishengoma1239 7 ай бұрын
Naanzaje kupembua mchele WA supamaketiiiiiiiii??? Ungo WA kuchambulia mboga kwangu labda
@user-el5pz7oo1t
@user-el5pz7oo1t 8 ай бұрын
Mengine mbakishe
@mwahijasuleiman5062
@mwahijasuleiman5062 8 ай бұрын
Nyoka wa kibisa!!
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 8 ай бұрын
Spiqa za msondo😂😂😂😂😂
@hanifa9153
@hanifa9153 9 ай бұрын
Kumbka jamaniii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@rehmakondo
@rehmakondo 9 ай бұрын
Kumbuka umenivunja mbavu😅😅😅eti unavaa 3tu sio umezijaza kama nyoka wa kibisa😂😂😂😂
@farajaflorence1690
@farajaflorence1690 3 ай бұрын
Kuhusu unyago jamani Kuna wadada wamepita huko na hawadumu kwenye ndoa wakishapita huko wanaona wanajua kila kitu wanaachika Sana tu. Labda wanaume sijajua
@omary8564
@omary8564 2 ай бұрын
Baadhi ya wanaume hawawapi muda wake zao darasa Liwepo mwanamke hakufuata kula kwako
@PeacefulMicrophone-cn9mp
@PeacefulMicrophone-cn9mp 5 ай бұрын
Mm nafundisha darasa nnalo nafundisha mfumo mzima wa misha ya ndoa ya mke na mume
@user-it7ii4zf1x
@user-it7ii4zf1x 3 ай бұрын
Vaa uhalisia na kilichofanya mwanamke atoke? Africa hawathamini wake zao mbona nchi za wenzetu huthamini
@MohammedShehe-ed4xw
@MohammedShehe-ed4xw 8 ай бұрын
Kumbuka utafika Mbali una.kitu
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 78 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 18 МЛН
KUNGWI DUME: KUJAMBA KWA UKE
29:38
Ibrah Thedon
Рет қаралды 15 М.
kungwi dume kuna vitu haifai kukosa kwenye chumba chako kama mwanamke
4:21
USHAURI WA DR KUMBUKA KWA WADANGAJI WOTE
9:28
Dina Marios tv
Рет қаралды 125 М.
DR KUMBUKA - WANAWAKE MUWE MNAULIZA KABLA YA KUOLEWA
10:40
Dina Marios tv
Рет қаралды 141 М.
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 78 МЛН