Dr Paul Hussein Mubarak 3

  Рет қаралды 50,267

Membo Zamoka

Membo Zamoka

Күн бұрын

Пікірлер: 50
@shangwegissu8795
@shangwegissu8795 9 жыл бұрын
Kweli kabisa Yesu Kristo anaokoa na ni mwenye nguvu sana waislam lazima waokoke hayo ndio maombi yetu
@eliseirankunda4149
@eliseirankunda4149 6 жыл бұрын
Shangwfe Gissu
@jeremiekangabo5765
@jeremiekangabo5765 6 жыл бұрын
Huu ni ukweli ,ukubari usikubalu Yesu anaweza yote. Nakusii na wewe muisilam unayebaki nyuma uje ukaokoke yesu kristo anaweza.
@chantalchaniss7665
@chantalchaniss7665 Жыл бұрын
Imana ibahezagire kuri izo info. Inedite muduhaye kugira zikure abantu muri ignorence. Koko ceux qui le traduit, l'ont traduit differement. Bisabako umuntu agomba kugira isesengura ryimbitse pe, kugira abone exactement izo verset Umukozi w'Imana arimwo kuduha. Mon peuple perit par manque de connaissance. Imana idufashishe esprit de Wisdom kugira tubashe gutahura ivyo yoyonyini ishakako dutahura.
@MagretJonas
@MagretJonas 3 ай бұрын
Yesu ni bwana atosha
@pitajoaquim5772
@pitajoaquim5772 2 жыл бұрын
Nnampenda sana pastor Paul Hussen,
@marywangui2310
@marywangui2310 9 жыл бұрын
Hiyo si uongo YESU kristo aokoa na watu wake hawatapotea
@mohamoh7747
@mohamoh7747 8 жыл бұрын
bwana hussein hio ilikuwa biznes yako nafamilia yako, sio uislamu ! ww tu mwenyewe ni mchawi, ungechomwa hata kama mutume alisema wachawi wachomwe
@jamilshisia5929
@jamilshisia5929 4 жыл бұрын
Wewe endelea kumuunga mkono ju mko nakafiri
@jamilshisia5929
@jamilshisia5929 4 жыл бұрын
@Nestor Kambala wewe ndio uko gizani, tangu lini mtu akosoma hizo vyeti zote na angali na hizo miaka ujinga acheni
@beatriceirakoze96
@beatriceirakoze96 3 жыл бұрын
Yesu arakiza araruhura imitim imenetse
@glorioseniyonzima1982
@glorioseniyonzima1982 3 жыл бұрын
Bwana wetu yesu apewe sifa
@scolarketer8353
@scolarketer8353 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@desireniyomwungere1829
@desireniyomwungere1829 Жыл бұрын
Mtusaidie Mtupatiye number ya houssen Mubarak
@jamilshisia5929
@jamilshisia5929 4 жыл бұрын
Hiyo uongo haukupanga vizuri ungekuja nkupangie vizuri ingemake sense, mwanzo tu miaka za kusoma zimekutoa nje, LA pili hicho cheti cha kuwa sheikh wa kati kwa Africa hatuna kwa dini yetu LA tatu Mihadhara walimu wetu na masheikh huwa hawalipwi ni kujitolea kwao, LA NNE hujatwambia ni mskiti gani ulikuwa unaongoza LA mwisho hujui kusoma Qur'an walah kuongea hizo herufi hawatamki ka mwenye amelewa hivo, so danganya wakristo wasio juwa elimu wala maandiko, intact huko Uganda ndio kuna waisilamu wegi so ungeenda utanganyeko mahali pengine
@ismamansour2620
@ismamansour2620 4 жыл бұрын
Hii ni filamu ya ucheshi ndugu yangu Mazuzu wanapiga makofi😂😂😂😂😂
@paskalmichael6658
@paskalmichael6658 6 жыл бұрын
Barkiwa sana
@johnbaho8119
@johnbaho8119 8 жыл бұрын
Nikweli mutumishi wamungu muku Dunian.mumi mungu ameniambia Bible nimwanawume quaran nimwanamuke.sasa nikusema yakwamba sisi niwake ngugu zangu Lazima wenzangu tufate mwana wume.
@desireniyomwungere1829
@desireniyomwungere1829 Жыл бұрын
Turasaba muturonse inomero y'uwo mukozi w'Imana Houssen
@sibiromallya5894
@sibiromallya5894 6 жыл бұрын
Ameeeeeeennnn yesu kristo asifiweeeè Ameeeeeeennnn
@kenidaki8942
@kenidaki8942 2 жыл бұрын
Amen
@jamilshisia5929
@jamilshisia5929 4 жыл бұрын
Huyu jama kweli ni muongo eti alikunywa maji yenye alimeweka damu ya majini! Hebu twambie Hiyo damu inafananaje ndio tujuwe pia sisi
@rebeccakamau2134
@rebeccakamau2134 Жыл бұрын
God is great,every tongue shall confess that Jesus is lord
@jamilshisia5929
@jamilshisia5929 4 жыл бұрын
Wewe ulijuwaje ni petrol ndio walitumia kuchoma nyumba yako ilihali ulikuwa ushachukuliwa, ungeomba tu sadaka na uwende zako
@Richesfam
@Richesfam 4 жыл бұрын
Ungali Muslim. So usitegemeye majibu anayo kupita kimo
@bibi1em
@bibi1em 7 жыл бұрын
Yani uislam ç dini moto unawahusu njoooni kwa Yesu mpone
@blessedlovedandfavoured4129
@blessedlovedandfavoured4129 6 жыл бұрын
Please share
@mshindivictor1690
@mshindivictor1690 5 жыл бұрын
Nimeamini
@hosealutaha8588
@hosealutaha8588 6 жыл бұрын
Kweli wakristo mnapelekwa pelekwa tu kama misukure vile
@jamilshisia5929
@jamilshisia5929 4 жыл бұрын
Jamani tusidanganywe hebu twambieni ukweli hizo miaka zote ka anasoma na venye ako saai kwani kwa akili zenu hamfikirii kuwa anadanganya!!!!! Alafu anadanya eti alikuwa anataka kuwa sheikh wa kati kwa Africa, tangu lini sisi tukawa na cheo kama hicho
@Richesfam
@Richesfam 4 жыл бұрын
Jamil Shisia Unawashwa Dada 😂Ukweli huwa unaumiza
@henrylisamadi3641
@henrylisamadi3641 3 жыл бұрын
Hahahaaa.. .huyo mwanamume yuko sawa kabisa bro muhim kabisa nikumpokea YESU CRISTO baa.
@girukwishakavenantie497
@girukwishakavenantie497 2 жыл бұрын
Pole sana ,rakini na wewe YESU anakupenda sana na anakuitaji uombolewe nae!
@AnnurKisoda
@AnnurKisoda Жыл бұрын
Wewe kama ni muislamu waulize viongozi wako juu ya elimu yake hiyo kama ni kweli au uongo. Vyuo vipo na rekodi zake zinapatikana huko,fanyeni follow up mtajua. Phd sio mchezo!
@y.n.initiative2701
@y.n.initiative2701 2 жыл бұрын
ulaaniwe wacha kupoteza watu wacha ku con watu
@luvmo04
@luvmo04 7 жыл бұрын
huyu jamaa toka alopowandanganya hawa warundi hajaonekana tena.......arudi atutajue hivyo vyuo kwa majina alivyosoma huwezi kuwa msomi wa kiislamu kwa miaka 26 uwe na kiarabu kibovu kiasi hiki
@festusjapharychunya1392
@festusjapharychunya1392 5 жыл бұрын
Ndio tabia zenu wakiwaanika wazi Mambo yenu mnasingizia hawajui kiarabu.vizuri..hicho anachojua kidogo ulimfundisha wewe
@jamilshisia5929
@jamilshisia5929 4 жыл бұрын
@@festusjapharychunya1392 wewe hebu hezabu hizo miaka na uniambie ni umri gani ako nayo na alimaliza akiwa na ngapi, acheni kuwa makafiri
@festusjapharychunya1392
@festusjapharychunya1392 4 жыл бұрын
Yesu ndiyo njia kweli na uzima okoka jamali Yesu anakupenda
@festusjapharychunya1392
@festusjapharychunya1392 4 жыл бұрын
Hakuna msomi wa kiarabu au dini ya kislam kutoka nchi zisizo za kiarabu ambaye anakijua Sana kiarabu..
@jamilshisia5929
@jamilshisia5929 4 жыл бұрын
@@festusjapharychunya1392 acha uongo bro, kwa Qur'an huwa wanatafisiri kivipi,
@salehlofy4251
@salehlofy4251 7 жыл бұрын
Inasikitisha sana mkiwemo kanisani hua wanawadanganya sana lakn wakikutana na waislam wanakua hawana hoja siku zote wakristo wanazdiwa kwa msaada wa bure fuatilieni midahalo ya wakristo na waislam na musome hii itawasaidia kuamua kwa akili yako mwenyewe
@abdalanyandwi7794
@abdalanyandwi7794 10 жыл бұрын
Kupitia Uwongo huu Uislam ndio Unazidi Kukuwa
@felisterkhisa2146
@felisterkhisa2146 6 жыл бұрын
Jina la yesu liko Na nguvu!
@mshindivictor1690
@mshindivictor1690 5 жыл бұрын
Asante Yesu, unaweza sana
@hosealutaha8588
@hosealutaha8588 6 жыл бұрын
Na waislam washampatia majibu yake tafuteni video enyi wakristo mjifunze vizuri pia aliitwa na mashehe wafanye muhadhara akagoma sababu anajua, kaongea uongo mtupu,
@henrylisamadi3641
@henrylisamadi3641 3 жыл бұрын
Muokoke waisilam muache maswali mengi
Dr Paul Hussein Mubarak 4
1:48:17
Membo Zamoka
Рет қаралды 31 М.
Pastor Paul Hussein Mubarakh Vunja Nguvu Ya Uisilamu Na Majini Official Video
1:38:46
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,9 МЛН
兔子姐姐最终逃走了吗?#小丑#兔子警官#家庭
00:58
小蚂蚁和小宇宙
Рет қаралды 13 МЛН
Dr Pastor Hussein Mubarakah Kutoa Majini Na Mapepo Part 2
43:26
Africha Entertainment
Рет қаралды 10 М.
Dr Pastor Hussein Mubarakah Kutoa Majini Na Mapepo Part 1
44:04
Africha Entertainment
Рет қаралды 17 М.
Life Beyond Rejection | Bishop Dale C. Bronner
45:39
woffamily
Рет қаралды 6 М.
Mubwihisho
4:08
Apostle Dr Paul M. Gitwaza - Topic
Рет қаралды 2,8 М.