Kila mtu ataamshwa nashidazake Kwa wakati wake...wenye roho ngumu kaeni Ivo Ivo kuumia na kuteseka kulia katika ufalme washetani ambayo moja yake ni dini ya ki islamu..Mimi nimtafuta ukweli sio kuzaliwa tu na kufata dunia...nilitafuta ukweli nikampata yesu..sababu yesu ni ukweli..Asante Yesu❤️
@i.dclassic1163 жыл бұрын
Wew ukiwa mkristo motoni
@bahelanyakilozo75073 жыл бұрын
L
@neemanyove91302 жыл бұрын
@@i.dclassic116 pole ndugu mpokee Yesu kristo upone na jehanum
@madopriyan65762 жыл бұрын
Ok
@ngwanafabian46122 жыл бұрын
Yesu ndiye kiama na ndiye atakayeihukumu dunia na hii koran inathibitisha.
@ChristineMunezero-wv2yb Жыл бұрын
Ainuliwe juu bwana wamabwana Yesu chrito❤❤
@jeffyweffy63984 жыл бұрын
Yesu ni Mungu...Ngumu kuamini kwa watu fulani lakini kweli
@Awatee2 жыл бұрын
Mungu anatahiriwa na kwenda msalani Mungu ana njaa zinduka ndugu
@lulanjamd38865 жыл бұрын
Yesu ni njia kweli na Uzima mtu haji kwa Mungu pasipo kumkubali yeye.Asante Yesu kwa kuniokoa nakupenda sana mwokozi wangu.
@akothchristine47528 ай бұрын
Yesu ni bwana Amen
@jacklinewahome24164 жыл бұрын
Glory to God, kumbe ata waislam, wamechoka na utumwa wa muhammed ,oh my God my Lord,you are wonderful glorious GOd. Waislam Wote karibuni kwa Jesus Christ son of God. The way the truth and life.
@bujaramaryo35213 жыл бұрын
Bi dada soma Ukifatisha watu utakuja kujuta mwishoni
@janenjenga56392 жыл бұрын
Non like Yeshua Messiah
@jumanjenga76823 жыл бұрын
Mwisho wa hayo yote ni hesabu.uzushi mtupu. Urongo mtupu
@barnabasanga75523 жыл бұрын
Bwana Yesu ndiye Mungu na jemedali wa ulimwengu.ampingaye daima atapotea.
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Mathayo 4 10 Ndipo Yesu alipomwambia Nenda zako, Shetani; kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Kama yesu mungu kwa nini asiseme tumuabudu yeye peke yake aseme tumsujudie mungu na yeye ni mungu
@petershikuku2748 Жыл бұрын
Atukuzwe Mungu mkuu atendaye mambo makuu kupitia Kwa mwanae Yesu k
@itiamekimbui7222 жыл бұрын
Huyu ni baba 6years ago😂🇰🇪 Leo ni mbunge kesho kwa nehema yA mwenyezi mungu atakuwa Raisi wa kwanza mchungaji. Ambapo atakuwa a Natoka ikulu na kuenda kuhubiri injili yA yesu kwa wananchi💪💯
@IkramuKapemba-yr5pd Жыл бұрын
Muislam mwenye kujitambua ya kuwa na hofu ya Mwenyezi Mungu awezi kufanya vitu vya ajabu kama uyo anaetoa ushuuda wa uongo
@eliasmyamba47673 күн бұрын
Nashindwa kukujibu maneno mazuri sabu akili hauna kijana,lud msalabani yesu kristo anakupenda
@brilliantt.ikenya7509 Жыл бұрын
Yesu ndiye njia ya kwenda kwa Mungu ❤
@ayubutwalbu6594 Жыл бұрын
Mzee ukasome acha uwongo mungu iyogope sku ambayo utarejea kwa mungu utakwenda kujibu
@allymadjaliwa13747 жыл бұрын
whallahi naapa kwa yule alie tutanguliza hapa duniani hauta ondoka hapa duniani kabla hauja zalilika kwa uongo mkubwa ulio uzua zidi ya muumba wetu allah.
@sulemansadiki67075 жыл бұрын
Kwel
@barnabasanga75523 жыл бұрын
Huyo Allah si Mungu ni majin
@مريم-ه2ز9ق3 жыл бұрын
Amiina
@yakobomkristo8722 жыл бұрын
Huo Utumbo Wako Ukikurudia Tunakutaka Utujulishe Ili Tukuombee Upone
@leticiajames2177 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣Dua la kuku halimpati mwewe 🤣🤣kapita huyo atakuwa na Yesu mpaka mwisho wa Dunia
@eliasmyamba47673 күн бұрын
Nakupenda sana mtumishi mungu akubaliki saaaana haleluya 🙏🙏🤗
@zahaljamal45205 жыл бұрын
Yesu ndiye njia ya kweli safi sana
@michaelwanyanga Жыл бұрын
Hakika BWANA YESU anatenda mambo makuu. Aliokoa, anaokoa, na atazidi kuokoa vizazi hata vizazi mpaka utimilifu wa mambo yote. Mungu alikumbuke kanisa hili kwa kuwa madhabahu ya ushuhuda lakini pia kwa kumkaribisha mtumishi huyu ili kutoa ushuhuda utakaowaokoa wengi katika Jina la Yesu Kristo....
@gilntihe4624 жыл бұрын
Wapende, wasipende,wakubali na wasikubali,Yesu ni Mungu,Mukombozi na ni Njiya,Uzima na Ukweli.
@abdiwelibishar42893 жыл бұрын
Uko naye andiko yesu anasema mimo ni mungu. toa
@abdillahsleyyum27683 жыл бұрын
Yesu ni Mungu? Jiulize kabla hajazalia muungu alikuwa nani? Tafakar ndugu yangu
@janethbalili92642 жыл бұрын
imean yohana 3:16
@kephermwangura2199 Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe... Hakika Mungu ni mwaminifu ,nafanya kazi kwa familia ya waislamu ...wamekuwa wakinisihi sana ni slimu nikawaambia mpaka nisome Quran na hadiths za mtume Muhammadi ....Sasa nikagundua ndani ya Quran Yesu ni Mungu,(Sura 4:171) pia Yesu alisulubiwa msalabani......(3:50-55) Sasa nikawaambia ziezi slim hata wanipatie utajiri wao wote...wakashangaa sana na Sasa hawawezi niambia lolote... Mimi naomba kupata hicho kitabu...Cha Muhammadi Cha majini....( SURA TU AJINI)
@aaronswai69352 жыл бұрын
Mungu akubariki Apostle Paul Hussein Mubarak kwa Injili ya WOKOVU!
@bahatimutatwa87195 жыл бұрын
Pastor Paul all things work for those who believe yote ni mipango y’a Mungu Ona sasa leo unayo yaongea yanatuhimiza moyo hata sisi waaminidu. Usingesoma hayo hungetufafanuluya habari za koran na Habari Njema
@bahatimutatwa87195 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Burundi 🇧🇮 karibu sana utufunze
@ibrahimmgimba61862 жыл бұрын
I real appreciate your presentation
@calvinmchopa22224 жыл бұрын
Yesu ni njia kweli na uzima. Pinga ila ipo siku utamiumbuka Bwana Yesu
@Zuwenamachela3 жыл бұрын
Yaan we kafiri wafaa ukatwe miguu na kichwa kwa uongo nanjaa
@Zuwenamachela3 жыл бұрын
Hakika ukristo niukafiri wawazi naona mnatumia nguvu kubwa at mtafankikiwa kuwavuta wa2 waache uislam half waingie katka ukafiri
@Zuwenamachela3 жыл бұрын
Mungu gan hajui hata siku ya hukmu mnakhasara kubwa ninyi angalieni acheni ushabiki na mazoea 24:36
@AbisaiMwambene-fo9pt Жыл бұрын
Jesus is a name above all names
@rebeccanghwasa73878 жыл бұрын
BWANA YESU ana watu wengi sana. ukimkataa wewe haimaanishi kuwa atashindwa kupata watu. kila siku watu wanaokoka. kweli YESU NI MUNGU. jina lake ni kuu sana. nakupenda sana YESU. nisaidie kuwa mtakatifu Bwana Yesu.
@ismailngolloh45178 жыл бұрын
Rebecca Nghwasa hata hao wanaomsikiliza wanajua wanadanganywa ....maana wakiristo wanasoma Quran lkn hawajawahi kuona aya hizo wala hawajawahi kusikia ...aibu ya wazi Kwa wakiristo
@rebeccanghwasa73878 жыл бұрын
ipo siku utajua haya kwa dhahili na naomba kuwa usiwe umechelewa na kuingia motoni. BWANA YESU akuhurumie na wewe.
@fatumamwalimu57658 жыл бұрын
+Ismail Ngolloh,ebu angalia hiyo comment ya uyo ulie mjibu nae pia ni miongoni mwa wale walio potea,anakwambia,yesu ni Mungu,nakwambia huu msiba kweli
@answarkera17198 жыл бұрын
MUNGU ANASIFA NYINGI HATA BIBLIA IMEZITAJA MOJA WAPO MUNGU HALALI ILA YESU ALILALA,MUNGU HALI YESU ALIKULA,MUNGU HAFI KWA MUJIBU WAIMANI YAO MUNGU YESU KAFA, NA YOTE HAYA NINA VIFUNGU ANAETAKA KUJIFUNZA ATUMIE MUDA HUU KUULIZA NIMFUNZE NA AFATILIE,,,NARUDIA TENA IMANI YENU IMEMSURUBU YESU AKAPIGA KELELE MUNGU WANGU MUNGU WANGU SASA KAMA MUNGU NAE ANAMUNGU WEWE UNABUDU MUNGU A AU MUNGU B? BORA ANGESEMA MUNGU MWENZANGU MUNGU MWENZANGU Mat 27:46 kuendelea soma huko.PIA SOMA YOH 19:14 NA MARKO 15:25 KISHA TUJUZE YESU KASULUBIWA MUDA GANI NA AKAFA MUDA GANI NA ILIKUWA SIKU GANI ILI TUZITAFUTE SIKU 3 ZA YEYE KUFUFUKA ALFAJIR YA JUMA PILINA UKUMBUKE SIKU INA MCHANA 1 NA USIKU 1 MUNGU HAKUZAA WALA HAKUZALIWA YESU KAZALIWA NA MARYAM MAMAKE ALIINGIA HEDHI KAMA WEWE REBECCA NA ALIPOZAA ALIPATA UCHUNGU KAMA MAMAKO ALIVYOKUZAA PIA HOJA YAKUWA MWANA WAMUNGU HAJAITWA YEYE TU WENGI WAMEITWA HIVYO HATA WEWE PIA 2:10 MALAKI SOTE NI WANA WA MUNGU WAKRISTO MSIPIGIE KELELE UKE WENZA ALIEWAAMBIA MUOE MKE 1 NI NANI IKIWA IBRAHIM HAKUWA NA 1,YAKOBO HAKUWA NA TENA NDIO BABA WA MATAIFA 12 YA IZRAEL 1,MUSA HAKUWA NA 1UNAPOTAKA KULETA CHANGAMOTO NA DINI HAI UWE NA HOJA ZA MSINGI.
@answarkera17198 жыл бұрын
JAMANI UJINGA MALI WEWE UKAFANYE UZINZI WAKO HUKO ZAMBI ABEBE YESU? ALAFU MUNGU KATANGULIA KUFA NA KUMWACHA BINAADAM HAI ANADUNDA TU?MUNGU GANI HUYU ANASHINDWA UJANJA NA WANAADAM WANAPANGA KUMUUA NA WANAFANIKIWA NAE ANALALAMIKA MUNGU AJE AMSAIDIE YAANI MUNGU NAE ANAMUNGU MUKUBWA DUH?
@nelsonechesa22002 жыл бұрын
Hakika mchungaji umenibariki sana be blessed 🙏🙏
@dallaxngaona13455 жыл бұрын
Shetan hapat tabu na nyinyi kwa sababu anajua kashawapoteza tayar hakun mungu anayeitwa yesu abadan
@mocranaburugi34865 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gqa6nGqprc2Lqrc
@janeobure30068 жыл бұрын
Yesu anaweza,damu ya yesu iliyomwagika msalabani ikufunike.
@jennifermakere51392 жыл бұрын
Nilikuwa nakaribia kua muislam lakini miaka 14 iliyopita alishuhudia kanisan moja njombe nikaokoka na nilipotoka chuoni Niko ufufuo na uzima mpaka Leo nasonga mbele Mungu amuinue sana
@abduomar84382 жыл бұрын
Hahaha 🤣 umeokoka njoo whatsapp nikulize masuali yangu km umeokoka
@V3Aministry40 Жыл бұрын
@@abduomar8438 hellow
@abduomar8438 Жыл бұрын
@@V3Aministry40 habar yako
@faithgitonga83147 жыл бұрын
Kwa waislamu wote... hata mpinge namna gani, ndani ya mioyo yenu mnajua uwazi kuwa hamna Jina lingine lililopewa nguvu ila jina takatifu la Yesu. Just surrender your lives to Jesus... lilieni nafsi zenu mpate uzima wa milele. Nyinyi ndio mliofungwa macho na masheikh wenu, Yesu anawapenda jinsi mlivyo tu
@crescentvscross11324 жыл бұрын
Tumechoka kutafuta pesa Kwa jasho Sasa tumeona tukatapeli wanao tapelika kanisaniiiiii
@crescentvscross11323 жыл бұрын
Uislamu unashika ulaya kwa watu wasimi wanaojua qur'an makristo wa Africa ni kuimbishwa tu siwachukue Quran wasome wenyewe jamaa anadai kakutana na jini live hongera yake
@aboulhaarith14812 жыл бұрын
Nyinyi wakristo ni wapumbavu,,chukueni quran msome
@fatumamwalimu57652 жыл бұрын
Sasa jina yesu litapewa nguvu kwa mfumo gani? Ni Jesus, ni jevoo, ni jesu? Hau ni jina gani maana kila kabila inamtaja yesu kwa jina lake na hata kwenye bibilia ya lugha ya yesu hakuna jina yesu?
@Awatee2 жыл бұрын
@@crescentvscross1132 🤣🤣🤣🤣🤣
@babylidyaandrea45686 жыл бұрын
Nabado watakuja Mashehe wote kuhubili injili nyie wanafunzi wa mashekhe masublinn njooeni kwa yesu kuna njia ya uzima asante shekhe
@princessh60735 жыл бұрын
We nayeye pia hakiri zenu ziko sawa hamjielewi Hebu mwangalie vizuri huyo nguruwe pori ana fanana na shekhe gani licha ya kufanana na shekhe hawezi kufanana hata na mwislamu wa kawaida. We vp?hivi hawa ma pastar ster wenu mbona asihubirie wafuasi wake wanaozini na ma pastar tena ndani ya kanisa?watubie
@ahmedzahor29753 жыл бұрын
Tuonyeshe katika bible kua ukristo dini na vitaje vitabu vya Mungu tuone kama bilia imo Vitabu ni Zaburi Taurat innjil na Qur-an
@ajilimaria92905 жыл бұрын
Jina la yesu ni dawa siku zote kwenye maisha yetu ss wakristu.
@Awatee2 жыл бұрын
Mnafiki hujawatafsiria vzr laana tuullah
@sibiromallya58946 жыл бұрын
njoon kwa yesu kristo maana hakuna jambo gumu lolote asiloliweza Ameeeeeeennnn
@rachaelmwinyi84166 жыл бұрын
Njooni kwa Yesu waislam shtukeni hukumu ya Mungu inakujaa
@rehemaabinelynyagawa28784 жыл бұрын
Msumari umepenya wenye masiko na wasikie
@abelmabula70948 жыл бұрын
Mtumishi ubarikiwe nawashindwe kwa jina la yesu
@babaanisha21045 жыл бұрын
Qur'an hii ndio naisikia leo namshukuru Allah kwa kuzaliwa muislam
@christopherjoshua35325 жыл бұрын
huna elimu ya ujasoma kijana hata mim nilijua kabla yako hili swala
@mocranaburugi34865 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gqa6nGqprc2Lqrc
@denisdizo97763 жыл бұрын
Badae utajuta!
@ashurantunzwenimana5975 Жыл бұрын
Hakuna jina jingine isipokuwa YESU CHRISTO
@eliasmyamba47673 күн бұрын
Kwanza akili yenyewe hauna kwahiyo atuwez kukubishia,lod msalabani yesu kristo anakupenda
@nginamugwe80935 жыл бұрын
Mtu anijibu tuu hi swali....Muislam anaomba Mungu mmoja na wakristo ama wao ni tofauti na sisi
@jeunajuatv8173 жыл бұрын
Mungu tofauti. Mungu wa Waislamu ni Allah na hao ni Yesu
@elizabethimo4125 жыл бұрын
Ushuhuda huu umenifunguwa macho na masikio na akili nimemkubli Yesu. Nimejuwa kuwa kuwa Sawa katika Yesu ni kujuwa maandiko na kufuata maandiko Damu ya Yesu itulinde siku zote za maisha yetu🙏🙏🙏
@crescentvscross11323 жыл бұрын
Damu ya yesu?
@aboulhaarith14812 жыл бұрын
Ushahidi ni story ata me naweza tunga dogo
@Awatee2 жыл бұрын
Sijui uyo yesu ana damu ya kilo ngap kila mtu amfunike 🤣🤣🤣
@mariambwilo6841 Жыл бұрын
Damu ya YESU Ina nguvu sana
@RubenMtuwaMungu-bz8ee Жыл бұрын
@@Awateewewe ni kipofu ingawa una macho hujui mambo ya rohoni unajua mambo ya mwilini tu.
@eliasmyamba47673 күн бұрын
Mbingu inakusubili hongera sana kijana🤝
@newlightmoviesproduction35982 жыл бұрын
Asante sana baba kwa neno la maisha 🙏 🙏 🙏.
@babylidyaandrea45686 жыл бұрын
Punzika kwa yesu baba kunaamani tele tele sio huko kwa Majini ubalikiwe Mtumishi wa mungu
@sahera11255 жыл бұрын
kuna majini wapi uko tuwaulize nyinyi mnaotoana mapepo kanisani
@isaacklaurian7697 жыл бұрын
Wajanja wanakimbilia kwa yesu. . . pole sana Kama uamini
@hagererakoroso32575 жыл бұрын
Kila goti lita pigwa na kila ulimi uta kiri kwamba yesu ni bwana
@janepaulo96194 жыл бұрын
Jamani Yesu ni mkuu sana pia namshukuru kwa kumokoa Paul
@gigxjr9754 Жыл бұрын
Nimekutafuta Siku nyingi sikupate,leo Roho Mtakatifu âmekunipa Amena
@janekchannel50744 жыл бұрын
Njooni kwa Yesu tuokolewe ili tukauridhi ufalme wa Mungu mbinguni
@ashunashunabdallah33198 жыл бұрын
ww umepewa pesa kutukanana uislam.n inshaall Allha Akulaaan kwakukikashifu. kitabu chake.
@euniceeunice76806 жыл бұрын
Nampenda yesu ❤❤❤waislam njoeni uku uko mnapotea Mohammad ni shetani ndo mana anawatia chumvi muchukie kitu cha kweli jamani jamani nawaonea huruma sana 😥😥😥
@janekamau61894 жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔🤔☹☹☹
@Awatee2 жыл бұрын
Weye ndie shetan pamoja na kanisa lak kushawahi kuona msikiti kuingia shetan 😏😏
@wenisariaswai31042 жыл бұрын
Mwenyenzi Mungu azidi kukuinua na kukutumia kila mahali mtumishi wa Mungu.
@heavenlightswai52948 жыл бұрын
Mungu wa eliya atajulikana tu
@dodoted50335 жыл бұрын
Ashajulikana,ni Yesu njia ya uzima.
@henryjonas59916 жыл бұрын
Waislamu njooni kwa Yesu Kristo muokoke
@emmakaneko23868 жыл бұрын
Yesu ndiye njia ya uzima
@NeussfetdXiu-bx9uq6 ай бұрын
Ushuhuda wa nguvu na kukuza kweli...
@DorcasMutanu-db2yo Жыл бұрын
God help us to worship you in truth and spirit Amen
@DemetrioTabwa Жыл бұрын
Wana mpinga
@abdisalammohamed29444 жыл бұрын
Aty yesu ni mungu na alitahiriwa na viumbe vyake....inalilallah
@NetflixMovies14 жыл бұрын
Njoo kwa yesu
@yakobomkristo8722 жыл бұрын
Ati Allah mungu Na Alitukanwa Na Kiumbe Dhaifu Aitwaye Afande Sele💉💉💉 Inalil-Yesu
@jaredochieng47252 жыл бұрын
Asate sana dungu Paul Hussein. Ushuuda wa nguvu. Lazima video hii ienehe. Mungu akubariki sana sana sana.
@jd-lo4xx6 жыл бұрын
Yesu anaupendo sana amempenda paster husen anakupenda nawewe uliyeko kwenye Giza totoro kama arivyo kua paster husen njoo acha kusita ubadilishwe uokoke
@zacharymaina26035 жыл бұрын
Mimi niko kenya hiyo ni kweli tupu yesu akudumishe milele
@saintj1982 Жыл бұрын
Thank you Jesus Christ, the way , truth , and life
@missarngweshemi99836 жыл бұрын
Mungu endelea kufunua kweli yako wengi wasiendelee kuangamia na kupotelea upotevuni. Wengi wa waislamu hawaijui hata korani inasema nini. Wako tayari hata kufa kwa kushikilia walichoelezwa, sio walichokisoma wenyewe. Umamma unawaangamiza ndugu Zetu. Yesu yuko kwa ajili yao, ni kukubali na kukiri tu.
@ismailchumu68896 жыл бұрын
Acha ujinga, waislamu sio wakristo sisi tumekatazwa kuabudu bila ya elimu, ukiona tunasali ujue tunaufahamu na tunachokifanya hiyo Qur'an unayosema wewe hatuijui huyo kafiri ndo anaijuwa basi umepotea, sisi tumebobea kwenye Qur'an yetu anachoongea huyo kafiri ni utumbo
@enockndale84723 жыл бұрын
ISLAM NI DINI YA MAJINI NA UTUMWA HAO WATU WAKO UNDER SLAVERY YA MOHAMMED NA WAARABU , OLE WAO WANGELIFANYA UAMUZI HARAKA IWEZEKANAVO KABLA MASIHI HAJARUDI KUHUKUMU ULIMWENGU.
@rashidathumani22506 жыл бұрын
Uisilamu hata ukihubiriiwa na mtu anayeuchukia sana bado ukweli wake utaonekana tu.Hiyo hadhira iko ktk mashaka sana.
@miltonjohn977910 ай бұрын
Wew ngangana tu na uislam wako ila ipo siku utajuta sana
@mafurushirima9665 жыл бұрын
Allah ni shetani
@asadomar10324 жыл бұрын
Mungu akusamehe hujui usemalo
@Awatee2 жыл бұрын
@@asadomar1032 Laana mbaya ndugu
@RRr-of9ps4 жыл бұрын
Tafuta kazi ndugu yangu hiyo siyo kazi mungu a nakuona atakupeleka pabaya
@gideonimathew64918 жыл бұрын
Yesu ni njia ya kweli na uzima. Huwezi mwona Baba ila kwa yeye. Amwaminie yeye hahukumiwi asiemwamini amekwisha hukumiwa... Haina mjadala hiyo Mwamini uupate uzima kama unautaka. Mkatae upotee milele mbali na uzima. Nnnamjua nilie mwamini ni kweli na niuzima
@bashiryusuf96705 жыл бұрын
Kweli akili ni mali ikiwa huendi kwa baba ila kwanjia yake yy yesu kisha wasema yy yesu ndie baba niujinga uliokithiri
@kolthoomkolthoom25167 жыл бұрын
Hatuwezi kuja Kwa Yesu Kwa kushawishiwa na wafanyabiashara,endeleeni kutafuta wateja
@mocranaburugi34865 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gqa6nGqprc2Lqrc
@gideonimathew64918 жыл бұрын
Yesu ni Kamanda hata wakipinga bado ni Bwana
@azizayassin36238 жыл бұрын
hta mm na mkubali n nabii wa mungu vle na wale wanamuita mtoto wa zinaa(Israel ) uko na ujumbe wa kuwaambi
@ismailngolloh45178 жыл бұрын
Gideoni Mathew poleni sana Kwa kudanganywa...ametaja aya ya 44 al imrani haisemi hayo anayosema...
@janek91037 жыл бұрын
Gideoni Mathew very true brother
@نايفالشمري-ط3د6 жыл бұрын
Gideoni Mathew Amen
@lusekelomwinsasu3185 жыл бұрын
@@ismailngolloh4517 naomba tufundishane Mimi na wewe je unaamini kuwa Yesu alikufa na akafufuka na akapaa kwenda mbinguni?
@fatumamwalimu57652 жыл бұрын
Vunja nguvu ya udude unaitwa ukiristo pamoja na mashetani yao na baba yao ibilisi
@issacklewis86544 жыл бұрын
Amen bwana yesu asifiwe
@mtanzaniamzalendo70017 жыл бұрын
Yesu ni Jibu!!!! Hongera Sheikh kwa kuona ukweli.Songa mbele, wasomee ukweli utawaweka kweli.Ukweli ni ukweli tuu
@rehemaokomba74626 жыл бұрын
Aki huyu mtu anadanganya sanaaa Aki kweeliii
@jennywakirori99717 жыл бұрын
Yesu tosha hakuna mwingine ila yeye tu
@111dudi3 жыл бұрын
Zaidi ya Yesu ni aliyemuumba yesu, nae ni Mungu
@sylviakazimily87602 жыл бұрын
Nakupata sana Mwalimu wangu upo vizur
@princessyvetteevedollyisma25867 жыл бұрын
yesu anaokowa watu,,,watu husema umuona yesu,,,,kwa hakika mimi yesu alinitokeya kwa ndoto baada ya kuona wafu wakinifata majini nikanza kukemeya katika jina la yesu mmoja akaniuliza yesu ni nani nikajibu ni baba yangu sekunde aikupita yesu akatokeya nikamkimbilia akanikumbatiya bada ya hapo wale wafu wakapoteya kwa hakika ukimwita yesu atakuja bora uwe na imani uwe muslim uwe cristian ukimuomba atakuitikiya,,,sidanganyi na hapa mbele ya mungu nimemuona
@vesitinalevocatus48866 жыл бұрын
hakika ukomuita yeye kwaimani lazima aonekane watu watasema niuongo lakini namwamini hakika yupo
@innocentmido70162 жыл бұрын
@@fiiijengu7410 yule w kweny pich sio waiekti tu
@exaudinyachi17753 жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu umeniokoa
@agathavike70722 жыл бұрын
JESUS IS THE ONILY WAY TO THE FATHER. AMEN
@swaloboyswaloswalo12214 жыл бұрын
Jamani eeh Allah atukinge na Shari zawalio dhulumu inapo fika stegeYesu ukamwita mungu subhanallah
@babylidyaandrea45686 жыл бұрын
Kwer kabisa uisilamu ni majini na waganga wakienyeji
@i.dclassic1163 жыл бұрын
Wew haujui uislamu ndoman ila nakwambia uyo hakuna msomi wala hajasoma kabisa
@i.dclassic1163 жыл бұрын
Hakuna sura inayo itwa hivyo nahyo Maneno yko unawadanganya watu
@sukumaganga26132 жыл бұрын
Huo ni owongo mkubwa sana Kwan ukisema kweli utapungukiwa na nn?
@abasisuma91523 жыл бұрын
Hao wakristo wanashangilia kwa sababu hawajui ila siku wakijua kuwa unawasomea aya za uongo watakukimbia na utaaibika Sana pamoja huyu
@agneskhakali20696 жыл бұрын
Glory be to GOD. Thank you brother for receiving Christ
@omartsangari20416 жыл бұрын
We njaa tu ndo inakusumbua aki nawasikitikia sana wakristo koz hamtaki kusoma sasa mnakubali tu kudanganya na awa pastor wenye njaa
@Turyatunga537 жыл бұрын
YESU asifiwe sana.
@eunicehezron34814 жыл бұрын
AMINA
@yusufebrahim32572 жыл бұрын
Innalillah waina illah rajuun ipo siku utakuja kujibu mbele ya Allah
@Gospo_beats2 жыл бұрын
Mgumu kuelewa wewe
@bonnyngowo75672 жыл бұрын
Yusuf Ebrahim umefika wakati kijiko kiitwe kijiko na chepe liitwe chepe
@jackneymasamson83354 жыл бұрын
Glory be to God Hallelujah in the Mighty name of Jesus Christ May God bless you and Protect you and your family in Jesus Mighty name Amen and Amen Hallelujah 🙏
@PeterChengo Жыл бұрын
May the load be blessed
@abcdg19954 жыл бұрын
New subscriber Greetings from Santa Monica California American I subbed because of your beautiful testimony about Jesus Christ
@blessedlovedandfavoured41295 жыл бұрын
Great is the name of Jesus Christ
@msskandi33168 жыл бұрын
nashkuru sana muhubiri kwa huduma yako.hata Mimi jinsi nilivyo naishi na waharabu.lebanon lebanon
@@abeidomary6135 siku ya hukumu utasimama peke yako hakuna mwislam mwenzio utaenda naye
@bentake70478 жыл бұрын
Yesu anawapenda sana waislamu
@abubakarimwasumilwe72937 жыл бұрын
Beni, nikweli Yesu anatupenda c waislam kwakua ht ye ni muislam
@ayunramadhan31045 жыл бұрын
Anawapenda kwa sababy yy issa au yesu ni Muslim c kafiri kama nyie mnaoabudu sanam la bikira maria from dubai Abu Dhabi
@lusekelomwinsasu3185 жыл бұрын
@@abubakarimwasumilwe7293 nipe aya wapi Yesu ni Muislamu
@rechomethod8288 Жыл бұрын
Kabisa yesu ni mzuri jamani
@sylviakazimily87602 жыл бұрын
Upo sawa mtumishi mkweli wa mungu
@roseandersen69036 жыл бұрын
Jina la Yesu ni la kuheshimwa sana,mana lina nguvu kabisa. Jina lake linuliwee. Amen
@sophiamakani61332 жыл бұрын
Yesu ni njia
@minanietienne-sz8xu Жыл бұрын
We love you so much thunder of God
@emmamwingizi44077 жыл бұрын
Jina la bwana Yesu liinuliwe
@rweyemamueustace17065 жыл бұрын
Milele yote. Amen
@ChristineMunezero-wv2yb Жыл бұрын
Amen 🙏 🙏
@aminaally41633 жыл бұрын
Mafundisho mazuri Sana .Mwenye sikio na Asikie aliekua shehe asema nini
@joycekashaija92322 жыл бұрын
Yesu ni Bwana.
@gideonimathew64918 жыл бұрын
inajulikana na iko wazi kua Yesu ndio njia kweli
@Kalaharidesertstorm6 жыл бұрын
Gideoni Mathew pumbavu wewe utajua haujui wapagani ndio walikuita wewe mkiristo maana wewe pumbavu
@winnieopondo30016 жыл бұрын
haaaaa naisi raha sana ndani ya roho ,waislam mtapondo ukristo mpaka lini,msimfananishe muhamad na yesu wetu,
@winnieopondo30016 жыл бұрын
bila nyinyi ukristo utaendelea nashkuru mungu kujipata mkirsto manake sijui ningelikua wpi bila yesu
@winnieopondo30016 жыл бұрын
malaika wanaimba uko binguni YESU ni bwana ukubali ukatae shauri yako YESU ni bwana
@winnieopondo30016 жыл бұрын
hakuna siku uwongo utabadilika ukweli, ati dini yakweli kwani watu wanaabudu dini ama mungu ndo manake mnaishi na majini kwa nyumba zenu mshindwa kwa jina LA YESU kristo mwana wa mungu alie hai
@mussamzee17018 жыл бұрын
uta simama siku ya kiyama uta eleza hizo aya ume zitoa wapi .ila Mimi na muomba Allah kabla haja zichukua roho zetu kama hizo aya ni za kweli basi Allah aku ongoze na kama ni uongo Allah aku dhalilishe mbele ya macho yetu wote tulio ona ujinga wako tuku one hapa kwa vyovyote Allah anavyo weza maana Mimi ni shahidi katika aya zako ulizo to a hakuna ya ukweli hata moja MZEE una jitahidi kuitafuta dunia Allah aku lipe
@swai.sudeysimpower96998 жыл бұрын
Inah lilah wainah lilah Rajun uyo jamaa kapewa pesa yeye anajua kabisa Uislam ndo dini yakwel kwasababu ya njaa anatafsri haya za uongo wala quran haijatamka hivyo
@festokimath22455 жыл бұрын
Ndugu zangu watu wanatoa njaa zao tumbon wanaziamishia kichwan hvyo bas kwasababu wao huwa naitafuta dunia allah kasha waachia na akhera allah anajua atawafanya nn hivyo angalie kisha waachen msiwatukane wao wala din ya maana muslam 1 anaogopwa na manaswara(wakristo) 10
@janek91037 жыл бұрын
there is power in the blood of Jesus
@janiffermueni32134 жыл бұрын
Amen
@odettekamariza35224 жыл бұрын
AMEN
@ahlulqurantv16 жыл бұрын
Jamaaaan nyie heb ndugu zet jaribun kusoma na kutafuta ukwel mbon huo ni uongo mwepes kabisaaaaaaa daaaaah...
@mocranaburugi34865 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gqa6nGqprc2Lqrc
@abelmabula70948 жыл бұрын
Masheteni majini wanatoka kwa jina la yesu Ameee!!!!!¡
@linaajjey33964 жыл бұрын
Nilitaka kuwa mwislamu lakini siwezi tena. Asanti sana kwa maubiri haya.