SAHIHI KABISA MAELEZO AMBAYO DR. SLAA ALIYOYASEMA ; SERIKALI INAHUSIKA NA KIFO HICHO NA VIFO VYA JINSI HIYO.
@MusaOgwoko3 ай бұрын
Msigwa .pole utajibu kwa jeova
@bsmonline84823 ай бұрын
Yaani ni hatari kutikisa mzinga wenye nyuki wakali waliotulia. Hii nchi tunakoelekea kama kweli kuuana tunataka tuliingize kwenye destroy ya Taifa ambayo haikuwa desturi yetu Tanzania hii ni hatari sana hata nchi za jirani watakuwa wanashangaa heeh! Tumwombeni Mungu sana hii ni hatari sio kwetu sisi Kizazi cha sasa ila Si salama kwa Vizazi vyetu vijavyo. Shida ni nini mzee kama yule unamuuaje jamani laana sana.
@gloriamichael79352 ай бұрын
Mhuuuu Mhuuuu hawa chadema ni shida sana
@AbdulhaamisSoud3 ай бұрын
Alipofanyiwa ukatili binti aliebakwa na gang Tanzania nzima ilipiga keleke leo watu wanatekwa,wanapotezwa nakuuwawa watanzania ukitowa upizani na wanaharakati kimyaaa ila watanzania wajue kuwa ukatili huu unaoendelea ni ukatili kana ukatili mwengine nahali hii wajue kuwa itaendelea na kumuathiri yyte anaelia leo mwengine akafurahiya kilio chake atalia kesho
@lucaschisamalo28523 ай бұрын
AGP ajiuzulu tu hakuna jinsi sasahivi mambo yamezidi sana
@deniccgabriel61533 ай бұрын
R.I.P Mw, Ally Kibao nilikuona Kwa Macho yangu ukua na neno namtu ukua na tatizo kwanini uyu mtukufanyiwa hv..😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@TNgwale-eu3xl3 ай бұрын
Hawezi kukivunja jrshi la polisi maana litamsaidia kushinda kwa kiahindo 2025😂😂
Sasa wanatafuta wengine wa kuteka, ukila nyama ya mtu hutaacha by Mwl. JKNyerere
@TNgwale-eu3xl3 ай бұрын
Watanzania ni kwa vile hatujitambui. Hao watu waliomkamata ndani ya basi na kumchukua wangetakiwa wapate kipigo cha kweli maana hawakuja kama polisi bali majambazi. Tatizo watanzania hatujitambui na ndio maana jeshi la polisi na usalama wa taifa wanaendelea kufanya huu uhuni wa kinyama
@Yussuf-b3b3 ай бұрын
Wanaotekwa ni wana chadema tu ,kwa hiyo wanachadema ni lazima watembee na vitu vya kujihami kama mapanga ,
@valentineevarist3 ай бұрын
hivyo mauaji yamesha wekewa green light
@mustapharashidi-j8z3 ай бұрын
Nchi ishakuwa sudan hii
@MashakaMagesa3 ай бұрын
Tumepata uhuru bila kumwaga damu Leo tunamwaga damu wenyewe Eeee mora tunusuru
@ndemabhwila3 ай бұрын
Msigwa hapo vipi sawa?
@FestoMunishi3 ай бұрын
Jeshi la polisi ni kitu gani me sioni sbb y kusemapolisi wafanye chunguz hapna kwani wao wak wapo adi watu wanauliwa
@prospermalala66363 ай бұрын
🙆🙆🙆❣️❣️❣️❣️💔💔💔😭😭😭😭😭😭😭😭
@GABRIELSTEPHEN-im7gg3 ай бұрын
😊😊 1:44 I
@abbotantony44603 ай бұрын
👍
@eunho95293 ай бұрын
Duuuh!!!!! so sad, mimi binafsi sioni aliye salama zaidi ya wanaccm hivyo ni kheri kufa ukiwa umesimama kuliko kufa ukiwa umepiga magoti, nashauri huyo mzee hasizikwe bila kueleweka kwani serikali imeshaona na kuhalalisha kuua raia ni kitu cha kawaida tu.
@mlebesitv26282 ай бұрын
trh 23 mbona aifiki jamani
@SamwelMdamanyi3 ай бұрын
Jee bado tanzania ni nchi ya amani?swali kwa yoyo
@eliahnjavike48273 ай бұрын
Kwa hapa tulipofika,nategemea mheshimiwa raisi awawajibishe wafutao,waziri wa mambo ya ndani,mkurugenzi mkuu wa usalama wa taifa na IGP.
@MagesaamosiNyantabano-qh8th3 ай бұрын
Be. M
@gabrielkyando26323 ай бұрын
Biblia inasemaa apandacho mtu ndicho atakacho unavaa,,, na auwayeee kwa upanga atakufa kwa upanga,, simple like that
@georgekilwa20513 ай бұрын
Na Hawa anawaua JPM?
@JosefuSwai3 ай бұрын
Unamanisha nini
@ezekielezekiely84763 ай бұрын
Sela ya chama tawala.nani hawajui
@NgamelaYussuph3 ай бұрын
Hili tukionLinashanhaza Yani Ndani Ya basi Watu Wa njiani Na Wapiya Njia Hakuna Hata mmja aliepata picha ya hili Tukio
@TNgwale-eu3xl3 ай бұрын
Tatizo tuna serikali na utawala wa ovyo mno.
@IbrahimuRamadhani-m5h3 ай бұрын
Kama serikali inashindwa kulinda watu najeshi lake nani awajibike ?
@mozesamizi9313 ай бұрын
Mimi ni mpiga kura, sitaki kuamini au kukiri kama wengine wanavyosema rais nchi imemshinda, lakini, mheshimiwa rais, hebu nishawishi kidogo ili mwakani kama utagombea nikupe kura yangu, swali, Usalama wa nchi hii upo sahihi?
@PhilipoMwita-b2x3 ай бұрын
Ahhh unachekesha unamkingia kifua rais utafikiri huyo ni man Yako Kumbuka majeshi yote yapo chini ya Rais wakuu wa majeshi wanateuliwa na Samia suluhi Hasan Pia wanafanya maagizo ya Samia Mfano wewe unawatoto halafu watoto wako niwachokoz wanapiga watu Taarifa zinajufikia ww hauchukui hatua Unajua mzazi anaweza kumtuma mtoto nenda kaibe au kafanye jambo flani Taarifa zikifika halafu we mzazi humkanyi au kumchapa mwanao lazima ww mzazi utakua unawapa kiburi watoto wako Lkn ukimshika mtoto ukamchapa viboko ukamnyima chakula watu tutasema kweli huyu mama hapendi watoto wake wafanye ushenzi Mm nilitegemea Samia angemfuta kazi mkuu wa polis pia angehakikisha watu wasiojulikana WANAJUKIKANA Lkk Samia hafanyi hivo Sasa ww unamkingia kifua mshenzi ww
@bahatielias64433 ай бұрын
Raisi Nchi imemshinda na hasa kiujumla CCm wapishe Kwa amani tu ,
@dr_william_mtanzania_jkt3 ай бұрын
1:52 😢
@danielkanso3 ай бұрын
Mmmh wakubwa wa nchi wako bize watu wanatekwa wanauawa wanateswa lakini wenye mamlaka kimya tuseme nini tujizuie kuwaza tuwe wananchi wajinga tusioweza kufanya chochote Ee Mungu Baba muumba wa mbingu na nchi wewe waweza wewe wajua mambo yote yanayoendelea nchini na wewe ndiyo Hakimu tazama usalama wetu watanzania
@angelsulle71773 ай бұрын
Çhama hicho kifutwe kwa sababu kimeshindwa kupeleka malalamiko ya mauaji popote na watu wanaendelea kuuawa tu
@makobamasawemangu41223 ай бұрын
Unataka hayo malalamiko wayapeleke wapi ndg yangu
@AnnaFelix-p1z3 ай бұрын
Atakae sema inchi ii ni ya amani ntampinga kabisa ccm imeleta vita
@FrankasamisyeMwaiswasu3 ай бұрын
Polisi wa samia wanaua watu
@SaidMnyika-i9e3 ай бұрын
HV kweli it means ktk basi hakuna watu waio chukua video ya watekaji ktk basi!??. Mbona watu ktk mambo ya upuuzi huwa Ni wa kwanza kuchukuaa picha au vidio!!! Kama hakuna abiria hata mmoja alichukua vidio au picha ya hawa watu walio Fanya Tukio hilo ,,,,,,,, basi ifakuw mpango umefanywa tokea zamani hata ,,,,,,,Thanks
@lucaschisamalo28523 ай бұрын
Mmh umeambiwa walikuwa na siraha nzito unaanzaje
@ahmedalbalooshi85183 ай бұрын
User,hivi kweli utakuwa na roho ya kuchukua video au picha wakati walioteka walikuwa na silaha za moto?
@bahatielias64433 ай бұрын
Walipigwa bitii Kali Halafu wakiwa na silaha za moto,hakuna wakupiga picha
@emmanuelmhiche74943 ай бұрын
This is immediately cause work on it!!thus all!!
@TomasiklistophaMwinuka3 ай бұрын
Sasa nyie niviongoz wajuu mnaona kunauhalali wakuishi pamoja nawatekaji mnalichukulieje hili mana hatuelew maishaetu
@2003hintay3 ай бұрын
We unamuuliza slaa unategemea atasema nini, anashangaa eto hajasikia viongozi wamesema nini mbona yeye mpaka umemuuliza ndo anasema
@AliSalim-yu4mo3 ай бұрын
Yeye asema kama Nani?na tujiulize wewe ni Nani ana mamlaka ya ulinzi wa Raia!na nini kazi ya Watawala!mbona inaonesha Una ubongo wa Samaki!
@AliSalim-yu4mo3 ай бұрын
Tukuulize wewe
@shafee91283 ай бұрын
Yeye sio kiongozi mkuu wa taifa au chombo chochote cha usalama ndio maana amesema alipoulizwa hatujitambui ndio maana tunafikia huku
@AnnaFelix-p1z3 ай бұрын
Msigwa wewe siyo muchungaji ulikuwa unatengeneza njiya ya vifo vya wana chadema ndomana ulijificha kama mwana chama chadema
@PrincePrinceDanielmsafiri-r8m3 ай бұрын
WakwanZa naomba like zangu🎉🎉😢
@gosbertmerchades20213 ай бұрын
Yawning watu wanauwawa we unaomba like!😮
@amaningobayi71143 ай бұрын
Kwakweli Hivi hizo like mnatumia kulia ugali au so sad
@hassanshadhly34812 ай бұрын
NI kweli kitabu chako Dr slaa. Kimeandikwa kuwa chadema ilikuwa ikiteka watu?
@HASSANWAZIRIGAO3 ай бұрын
AKUMBIKE TAARIFA ALIZO WAHI KUTOA CHADEMA ILITEKA MTU TEMAKE
@PhilipoMwita-b2x3 ай бұрын
Mitano tena kwa samia
@DeogratusNgujunge3 ай бұрын
Muwaji
@henryndosi20023 ай бұрын
Wewe padre slaa ni mtekaji namba moja ulimteka na kumtesa mlinzi wako mbwa wewe
@georgekilwa20513 ай бұрын
Makala zenu ndefu mno hazitamiki fupisha makala
@shafee91283 ай бұрын
Acha ujinga basi
@MohamedHamsini3 ай бұрын
MZEE ACHA KUROPOKA ... WALIOMCHUKUA SI WAMEONEKANA? SI WATAJENI GARI MAMBA MGAPI SI MMEONA HACHENI KUISEMA POLISI VIBAYA
@Leeeeeeee-963 ай бұрын
una akili za ajabu sana au tatizo D mbili amna
@MoEd-k8w3 ай бұрын
Tuambie umesikia wameonekana wapi, gari zilikuwa na utambulisho gani au ndo ninyi mnaongea tu vitu Kwa ushabiki
@danielkanso3 ай бұрын
Hata hivyo hata hivyo mimi si tetei uovu wa namna hii jeshi la police wanachokipanda watakipata hata kama watachelewa maana wao ndiyo wenye dhamana tutavumilia lakini Mungu yupo.
@adammbaruku24993 ай бұрын
Hawa wote wanaolitupia lawama police nadhani wanatumia makamasi kufikiri badala ya ubongo. Tume huru iundwe na ifuatilie pia huko ktk chama chake kulikuwa shwari kwake kwa kiasi Gani. Kwani kumbukumbu zinaonyesha hata huyu anayeongea alishawahi kuteswa na wafuasi wao sababu tu alikuwa tofauti na wenzake. Hivi Serikali au polisi Gani juzi tu wanalalamikiwa hadharani juu ya utekaji halafu kipindi hichohicho wamteke mtu hadharani wamuue na kumtupa hadharani kwa iwe kwa lengo Gani hasa. Hivi hamuoni tusiwatilie shaka wanaotowa dhutuma ndiyo wanaofanya ili kupalia mkaa Lile wanalolitaka. Hasa kunufaika kisiasa. TAFAKARI.
@MoEd-k8w3 ай бұрын
@@adammbaruku2499 kama wao wanatumia kamas bac wewe unatumia matako kufiria, Kwa mazingira ya yanavyoelezewa pia ukiunganisha matukio ya nyuma unaona hapo mshukiwa wa kwanza atakuwa nani. Jinga la mwisho au unajaribu kupotosha ukweli
@FestoMunishi3 ай бұрын
Jeshi la polisi ni kitu gani me sioni sbb y kusemapolisi wafanye chunguz hapna kwani wao wak wapo adi watu wanauliwa
@gabrielkyando26323 ай бұрын
Biblia inasemaa apandacho mtu ndicho atakacho unavaa,,, na auwayeee kwa upanga atakufa kwa upanga,, simple like that
@IbrahimuRamadhani-m5h3 ай бұрын
Kama serikali inashindwa kulinda watu najeshi lake nani awajibike ?