Brother Mohamed Dewij you are Man of God 🙏 Mungu azidi kukupigania, una hofu ya Mungu pia una Roho ya upendo ndani Yako.....! Nimejifunza mengi kupitia wewe, let me change my life...! Mungu akubariki 🙏🙏
@upendomgombozi1239 Жыл бұрын
Mungu akuongezee maisha marefu Mo. Leo ndo naiona simulizi yako japo muda mrefu ulishapita imeniumiza sana, mtegemee mungu yeye ni kilikitu kwako
@YAHAYA-xr8pu9 ай бұрын
Mkurugenzi wa Metl Mo Dewji Pole sana kaka Kwa yaliyokukuta lakn you a wisdom bro Allah blessed you
@YAHAYA-xr8pu9 ай бұрын
You have a wisdom bro
@MaarufuChambuso9 ай бұрын
Mo kwakweli unabusala kubwa na mungu yupamojanae pole sana moyoni naumia kiukweli hao wa2 wabaya mungu awaangamize
@Hawa-qc9fo3 ай бұрын
Hiii vidio inamiaka 4 toka itoke ila kama ww nipamoja na mm tulioangalia mwak huu 2024 weka like zako hapa❤
@DuniaNdogo3 ай бұрын
😂😂
@jumannekiruka84413 ай бұрын
Hahahahahah
@sekousunday69642 ай бұрын
Let ùs pray for PEACE AND LOVE FOR MOTHER TANZANIA. Mo you are GOD GIVE. Long live your passion and strength. 🙏🏿📌
@SachaTz-wk7nb6 күн бұрын
Mii nimeiona tarehe 1 /1 /2025 saa sita usiku🎉😂
@abelahaley2471Ай бұрын
Pole sana kaka ,Mwenyezi Mungu yupo pamoja na wewe anakulinda daima
@ElizabethMbotto-x7q3 ай бұрын
Mungu aliyekuepusha mshike sana mtumishi wa Mungu. Zawadi yako ya kuwasaidia watu ndio sana imekuponya. Ubarikiwe ndugu yangu.
@alicenoah540710 ай бұрын
Pole sana .Mungu ndiyo mwanzo wetu na mwisho wakila amtegemeae
@safiaothman10983 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu Subhannahu Wata'ala atakulipia leo hapa Duniani na Kesho Akheyra, Aamiin. Namwomba Allah Subhannahu Wata'ala akuepushe na balaa nyinginezo, Aamiin.
@BasraLambert3 ай бұрын
❤❤mwenyeazi mungu akulinde akujaalie Afya tele inshaaallah azidi kukutia nguvu imaan na amani upendo tele na family yako yote na watanzania wote tuliokuwa tunakuombea kila siku kwa mwenyewe mungu inshaaallah
@gumatohuka88275 жыл бұрын
Hii,.ni maisha tunaoishi.,mshukru mwenyezi Mungu amekutoa kwa hatari ya maishani.,siyo wote wanabahti kama hiyo., So it's a miracle.
@modestalois25352 жыл бұрын
Nchi ilielekea pabaya sana,ni aibu kubwa sana,pole Mh Mo Dewji,poleni Watanzania waliopitia dhahama hizo,Mungu awape amani tena
@CreofasBenedicto3 ай бұрын
Hakika Mungu anajua una kazi bado Mungu abariki kazi Yako na huduma Yako na mke wako upendo Nchi Yako uzidi Amina
@nurumohammed13103 ай бұрын
Pole sana Moo mungu akulinde akupe maisha marefu Akunusuru na mabalaa inshallah 🤲🤲
@ConstanciaShangaliАй бұрын
Duu.. My 1st Boss.. pole na yaliyokukumba .. pole sana🙏
@momylaviel10 ай бұрын
Baada ya yote uliyoyapitia bado unaishi Mungu akupe maisha marefu
@SuperKayaya2 жыл бұрын
Pole kabisa. Bado na sikiya uchungu ndani ya sauti yako. Pole tena Bingwa.
@mpozaurugamba26153 жыл бұрын
Pole sana Mungu akongezeye heli!
@mtafyaemmanuel664 жыл бұрын
Mimi Mch EmmanuelMtafya Niko Tunduma,namshukuru sana Mungu kumuokoa mo Dowji ,Nimesikiliza ushuhuda wake nimeogopa lakini ashukuliwe Mungu pekee.
@Da_Gee3 жыл бұрын
FAITH, FAITH, FAITH 7:35 - 7:40 Very powerful! Eee Mungu nipe unyenyekevu zaidi ya huu, Imani yangu nisiiache, ukinipa mafanikio maishani mwangu.
@patientlazaro69303 жыл бұрын
Mo Dewji pole ndugu yangu,. Umeongea point sana na umeongea vizuri nashukuru umeelezea huu mkasa maana kunawazushi walizua habari mbaya. Thanks sana
@mangofish90793 жыл бұрын
Duh pole sana mo mshukuru Mungu pia hawakukuharibu
@MMGANA-f1y2 ай бұрын
Mo Polena Hongera sanakipindi kirefu kimepita laki nirudie tena na tena kukupa pole. Na napenda jinsi ulivyo mtanguliza Mungu mbele yako na jinsi ulivyo mtumaini na kumtegemea yeye.Mgana msindai
@ramadhanshaban4754 Жыл бұрын
Mungu anakupenda kwa mazuri yako wabaya hawata weza mbele yake allah
@saumuhassan63655 жыл бұрын
Pole sana ndugu yetu, kwakweli tuliuzunika sana kwa kipindi kigumu ulichopitia, ila baada ya yote tuseme Alhamdulilah Allah ni muweza wa kila kitu. 🙏
@emmanuelminja22225 жыл бұрын
Saumu Hassan mambo
@immailecx53552 жыл бұрын
Polemo
@jilbertdanifordbutemba917 Жыл бұрын
Ata Mimi nakupenda moo maana kuna siku uliongea kitu Cha iman ukagusa moyo wangu.
@rekhaakashi57502 жыл бұрын
Pole sana kaka yetu mo dewji kwa matatizo yaliyo kupata
@nasseradel97843 жыл бұрын
Pole sana mungu bado anataka uishi 😗😗
@carolinenjiro413 жыл бұрын
Mungu Ni mwema Sana, wakati wowote, pole MO
@lusekelokajigili45643 жыл бұрын
MO Mungu ni mkubwa Sana. Mungu akubariki sana
@habibmhunga239110 ай бұрын
Kabisa tajili umeongea neno mashallha watanzani kwenye matatizo pammoja
@jamalimkasy29892 ай бұрын
daah n huzun kwakwer japo miaka mingi nkiangalia napata uchungu saana najamaa anaongea vzr saana mungu atuepushe nahawa madhwalim namungu pia awabadrshe watekaj wawe watu wazur inshaallah
@carmelinapalermo15733 жыл бұрын
Mungu akulinde daima pole Sana dewgi
@johnmnada97673 жыл бұрын
mungu atatenda makuu
@johnmnada97673 жыл бұрын
mungu yupp
@70SIXER75 жыл бұрын
Pole sana Kaka...inauma Sanaa wanadamu wengine kucheza na Amani yako hivyo!..unaombewa na wengi Sanaa!...na utaishi Maisha marefu Sanaa!
@samsonlizyborn75415 жыл бұрын
Pole sana kaka nikuomba bila kukoma
@الرعدالصغير-ت1ش3 жыл бұрын
Mungu Ni Mwema Mo Dewji
@zaudiarirunguru68774 жыл бұрын
Pole Sana dua zako ni funguo ya Kila mlango upitao hata uwe na rok ngum mungu anafungua Allah pekee anatosha
@moudyhamisi26413 жыл бұрын
Pole sana hakika mwenyezi mungu ni mwema
@Da_Gee3 жыл бұрын
16:18 - 16:30 Your good deeds will forever follow you, nimejifunza. Let's have good intentions, God will spare our lives, what a humble soul Mo. May God keep you longer.
Pore sana mo mungu azidi kukurinda hakika tupo pamoja
@Dalaman103 жыл бұрын
Alhamdulillah uko salama. We were so sad when you were kiddnaped. We prayed to Allah for your safety ALHAMDULILLAH. Allah akuhifadhi wewe na sisi sote. Amiin
@abdulparesh48995 жыл бұрын
Tumekopa gari kutoka kwako gari moja tu nimetoka kwenye udereva wa mabasi Sasa namalizia Deni lako niwe huru Asante Sana bro
@arcusiusngonyani8639 Жыл бұрын
Kwa kweli tulikuwa tunakuombea Sana Sana sana hasa Mimi nilikuwa nawaza juu ya mzunguko wa pesa ulivyo Tz halafu watu wanakuja kutupunguzia mabosi wetu. Sisi tunaomba kila siku Mungu Atushushie mabosi wawe wengi kwenye nchi yetu halafu watu wanakuja kuwasumbuasumbua dah!!! Ilinipa tabu Sana lakini tunamshukur Mungu wamekuacha huru mwenyezi Mungu azidi kukulinda siku zote.
@halimasaid49774 жыл бұрын
MASHALLAH mashallah Allah akuzidishie iman mwanzo hadi mwisho wa dunia
@abdularuffin93083 жыл бұрын
Pole sana mo deuji allah amekulinda hakika ulimtengemea alllah ndiyo kakuokoa
@mtzhalisi22325 жыл бұрын
Very interested pole Sana bro mungu yu pamoja nawe siku zote
@deverathabalitazari86853 жыл бұрын
Pole sana mzee mo je? Ulivyokuwa unataka kujisaidia hulikuwa unafanyaje mzee
@KhalidHashim-qj2dd9 ай бұрын
😅😅😅
@barackjoshua67124 жыл бұрын
mahojiano mazuri allah akuhifadhi mo dewji
@joycepeter51103 ай бұрын
Mungu naendelea kukutunza na kukulinda mimi nilifunga nakuomba kwa ajili yako na hata sijawai kukuona laive ila niliomba Mungu ukutwe salama wasikuue
Daah so sad.. lkn Mungu ni mkubwa siku zote, humlipa mtu kulingna na nia yke. Una nia nzr na watanzania, Mungu amejaalia ukatoka salama salmin
@sallygrace14953 жыл бұрын
Glory to God 👏 Binafsi na Mungu yupo na sisi watanzania ni watu wenye amain na upendo huweziona inchi yoyote ila hapa Africa.. Mungu anatupenda sana Watanzania!!
@mamunote35073 жыл бұрын
Mashallah. Mungu akustir usiyaone tenants ktk Maisha yako pole sana Bro
@libeliusdonati76953 жыл бұрын
Muombe Mwenyezi Mungu lisikutokee tena
@stephanom.sylvestor69023 жыл бұрын
Alie ckia neno boc Kutoka kwa mo agonge like zake hapa
@rashidlighuda60143 жыл бұрын
Pole sana Mohammed Gullam Dewji
@VairethLuhanzu2 ай бұрын
Mngu akupe maisha maref
@precioussambale19645 жыл бұрын
Huyu jamaa ni humble Sana, anamwita Salim boss
@nadiaahmada70923 жыл бұрын
Kuitwa boc sioboc wewe unaeitwa boc. Ndoboc hataumuingizie buku nihela
@driftdumper89275 жыл бұрын
Pole sana Mo!! Nilisali sana nilijisikia vby wakati wote mungu mkubwa! Aliruhusu uwe hai!
@luluzegema57825 жыл бұрын
Mimi chadema nami pia ni yanga ila nililia na kuomba sana
@MosesDamas-c7v2 ай бұрын
Pole Sana Mungu ni Mwema Kwako.
@NaimaZahran-iq7gb3 ай бұрын
Wise and Brave Ma shaa Allah. BLESS YOU.
@Rajabu.dobeye-qw7fq3 ай бұрын
Pole sana mtani wangu yani mm shabik wa yanga ww muwekezaji wa simba,tukemee vikali sana ujinga huu,na serikali muitafutie ufumbuz shwala hili kwann kila siku watekaji wanateka nakuuwa.
@mariammatandala14093 жыл бұрын
Najua dua zetu Mungu aliziskia
@HappinessKamwela2 ай бұрын
Pole Sana mo mungu akutie nguvu
@tahiraabdul17015 жыл бұрын
Pole sana Shehe wangu Mohamed Dowji,alhamdulillah
@kisandushariph Жыл бұрын
mungu yu pamoja na wewe mkuu
@michaelstanley98985 жыл бұрын
Aisee nomaah nimependa Moh alivyojibu jamaa ni smart enough
@fadyanassor69345 жыл бұрын
i was cryn the whole time..pole sana MO alhmdullah kwa kutoka salama
@youngbizzy78565 жыл бұрын
Pole sana mama kwa viliyo ulivyoliyaa🙄
@shifaaal-baity45035 жыл бұрын
Alhmdulillah
@endythomas28385 жыл бұрын
Pole kwa hayo yote uliyopitia
@KajunaJovinary4 жыл бұрын
@
@jiphonmbwale81384 жыл бұрын
Mambovp
@selinamnzava77504 жыл бұрын
Pole sana inauma sana ila Mungu ni mwema anajua wema wako kwa watu usichoke kutenda mema
@JohnRwabigene2 ай бұрын
Leo ndo nimeisikiliza,we Mo Mwenyezi Mungu atakuongoza utakua na Maisha marefu,kumbukumbu ya watu waliokuombe na kuweza kuwashukuru
@abdulparesh48995 жыл бұрын
Mm mmoja wapo ambaye umenisaidia Sana nashukuru Sana siku umetekwa niliumia Sana bro pole sana
@officialkamdudu5 жыл бұрын
pole sana ndugu hua kwa imani yetu tunaamini roho haitoki ila kwa idhini ya Allah
@zuberigwakula85315 жыл бұрын
Itakusaidia kuwakumbuka wanyonge, pole sana. Allah ashukuriwe
@CBIBUREAU2 ай бұрын
Mungu atakuongezea maisha
@ConstantinePetreАй бұрын
Huna baya tajiri mungu akurinde na akupe ufanisi sisi wanasimba tunakukubali
@wolfgangkichai85775 жыл бұрын
God does his miracles in mysterious ways. He’ll keep you long enough to tell fairytales and roaring stories. Pole sana kwa yaliyo kukuta
@getmotivated36195 жыл бұрын
per this interview... the guy seems to be extremely nice... it would be a privilege to work with or even under him... kiufupi ni mtu muzuri!.. God bless him.
@abdallahaji2944 жыл бұрын
Pole mo kwa mitihani Allah atakulipi ixhaallah
@apaelinnko3052 Жыл бұрын
@@abdallahaji294 .kitoi
@venancemwanya4212 Жыл бұрын
@@abdallahaji294 alishalmlipia. Kulikuwa na uongozi wa hovyo sana awamu ile.
@genesikimario Жыл бұрын
@@abdallahaji294 p
@daudjoseph Жыл бұрын
@@abdallahaji294 Llllllllllllàaàààaàaaaaàaaaaaaààaàaàaaàaalllllllllllàaàààaàaaaaàaaaaaaààaàaàaaàaallllllllllàaàààaàaaaaàaaaaaaààaàaàaaàaalll ll L
@vuvuzelajordankhasindu29639 ай бұрын
Pole sana kwa hayo yote. Inatisha kanisa ila keep up, keep doing it brother. Peace.
@GeorgeEdward-ty8kn9 ай бұрын
Asee salim unaojii vzr sanaaa asee ❤❤
@saidahmed96883 жыл бұрын
pole sana mo dewji
@KlikHapaTV3 ай бұрын
Nimeangalia vyema tena hii Interview September 2024 , Ila nimegundua Jamaa Muoga sana, Maana hakuna anachosema chochote watu wengine wakitekwa. Aache mambo ya kusema anasali, yeye pia apaze Sauti
@muhammadkipangatv26743 жыл бұрын
Allah akuhifadhi akuepishe na mabalaa na mitihani
@hoseakamchapekaponya35023 жыл бұрын
Pole Sana mshikaji wetu, ila na ww umezidi woga sanaa
@felisteranthony86883 жыл бұрын
Inauma Sana, pole mno Mungu wetu ni mwaminifu
@jamilammnimtumzimakweliyot21783 жыл бұрын
Inauma sana pole sana lauchungu alisauliki lakini muombe mungu tuu
@nusalim33892 жыл бұрын
Enzi za magu na kina makonda si mchezo,unafanyiziwa halafu unasifu mwenyewe,ikizidi huna njia zaidi ya kuwasifu waliokudhalilisha kuwa wamefanya kazi kubwa sana na juhudi
@briansancedo93365 жыл бұрын
Umeongea sifa ya watanzania cc hatubaguwani hatuangalii rangi mwalimu nyerere ametuachia Hilo tunajivunia.
@gipsonmassawe46322 жыл бұрын
Long life mo dewj
@saramwajeka59282 жыл бұрын
Pole sana
@najmagudeh2035 жыл бұрын
Dah pole sana boss m.mungu akulinde leo na kesho inshaallah
@rachealsiuji83493 ай бұрын
MUNGU ni mkuu mnoo. MUNGU akutunze na kukulinda MO Dewji
@emmanuellemalali30345 жыл бұрын
Salim you're bright ,thumb up brother!
@deogratiusgideon86735 жыл бұрын
Inasikitisha sana pia inahuzunisha 😢 😭! Pole sana Boss Mo, 1 ❤️
@mariamdaudi23154 жыл бұрын
Pole bos wetu
@fanuelzakaria39563 жыл бұрын
Dah eti kuna kundi linaitwa wasiojulikana hadi leo hawafaahamiki
@origenesmsuya82915 жыл бұрын
Kila jambo linasababu kutokea katika maisha yetu hapa duniani,jambo lamsingi ni kumshukuru mungu umzima,nothing last forever
@johnsinyinza74502 жыл бұрын
Acha kutetea udhaifu ni wasiyo julikana
@ashuashu38434 жыл бұрын
M.mungu akunusuru haya na mengine.😭😭 baba yangu Humaid Abdullah Humaid mkazi wa Itigi mjini mkoa wa Singida ni marehemu Allah mjaalie makazi mema huko aliko ampe pepo ameen.Alipofariki baada ya week tu walifukua kaburi lake na sijui nini walichofanya Allah ndio anajua zaid😭😭 lkn wakazi wa Singida na Manyoni na Itigi walishirikiana kwa pamoja kwa kumuombea dua marehemu kwa yale alietendewa.Watu wa singida ni watu wema sana.
@AliceMgalama2 ай бұрын
Kwa keeling pole sana mungu anawaon
@edwardsalufu68864 жыл бұрын
mungu akupe rehema nyingi kaka
@sharifakhamis24615 жыл бұрын
Pole sana kaka ulipitia wakati mgumu sana Allah karim
@danielmahelaleimba96444 жыл бұрын
Mo pole sana kwa matatizo iliyokukuta lakn mungu bado yupo pamoja nawe tunamshukuru mungu kwa kutenda wema wako mungu