Kama Slaa hataki kukaa jela kwa kujihurumia kuwa yeye ni mzee asitukane serikali. Lisu unataka ahurumiwe kwa nini? Sheria ina mtoto na mzee? Tuishi kwa kujuhadhari. Wanasheria muwe sehemu ya kusaidia watu kuwa na adamu siyo kutumia utaalamu wa sheria sheria watu wawe na mamlaka ya kukosa adabu.
@lucksonsikaona5056 сағат бұрын
Kwenda huko unamutukana raisi wetu halafu unasema ukombozi umefika wewe si ulipewa ubalozi na ccm wewe muzee ni musaliti sana acha wakufyndidhe adabu hao akina lisu wana kudanganya
@margarethpolepole74387 сағат бұрын
Sasa dr slaa wangemtoa kesi ikasemewa nje awe na Uhuru wa kuhudhuria Mahakamsni wamemnyanyasa sanaaaa huyu baba kinachotakiwa Katiba mpya tu
@yasirabdallah6366 сағат бұрын
UKOMBOZI UPI?ACHA MNYOOSHWE KWA KUTUKANA VIONGOZI,TUMIENI LUGHA STAARAB KUKOSOA SERIKALI SIO MIHEMKO YA KIJINGA MLO NAYO.ULIJIFANYA JOGOO SASA NGOJA WAKUONESHE NN MAANA YA DOLA NA UTII WA SHERIA BILA SHURUTI NA KWA MTANZANIA MWENYE KUJIELEWA HAWEZI KUSHABIKIA UJINGA WA LISSU
@MrKhatibu2 сағат бұрын
Uzee si kigezo cha kukiuka sheria
@KopiscoIsaya9 сағат бұрын
TUNDU LISSU WE MNAFIKI SANA.
@GraceDeo-g1n7 сағат бұрын
Mnafiki ni huo mama yako
@margarethpolepole74387 сағат бұрын
Mnafiki wewe pumbavu zako hujui kitu
@KopiscoIsaya6 сағат бұрын
@margarethpolepole7438 thank you indeed maybe It's true that,I know nothing, but I I think kwamba wewe nlabda ni zaidi yangu,ijapo kua Sina Hakika.please try to think BIG,hacha kukurupuka.