To those who always go through comments let's gather here 😂😂
@mantlede6544Ай бұрын
kuna huyu peng kwa audience amevalia jacket ya black yenye imeandikwa USA alaf ikachorwa love on the left side of her arm...unakaa my Mrs right🤩
@JudyNjenga25 күн бұрын
😂😂😂
@DngMichaelАй бұрын
Hey guys kwani Maggie hatoki soko or maybe she's there for show but not for the guys because she's there every time 🤭🤭🤭🤔🤔
@AugutstinАй бұрын
Maggie hawezi Pata mpoa na hizo drama zake ni ile ofu anamind drama zake isay
@RonzeehRonnieehАй бұрын
Huyo ni clout ana tafuta ni content creator
@brendamwende5525Ай бұрын
Kwani amerudi Tena si niliacha amepata mtu na akatoka show
@user-ph6mz9qc8zАй бұрын
Hii ni marudio wanapost juu Mr right iliisha Sao Ofweneke anafanya live interview
@adelizzohАй бұрын
Hawà watu huwa wana act hata
@elizabethodero8338Ай бұрын
Finally a full episode ❤❤❤❤
@OchukaGerald-kc5geАй бұрын
Iko lit BBG ❤❤
@millicentbarasa516223 күн бұрын
I love you guys,, nime feel poa Ku watch the show blessings 🎉🎉
@dazoldaz673627 күн бұрын
To whoever it may concern I miss SWITCH TV
@ayiechaanne675623 күн бұрын
Me too 😢😢😢
@carolynesther15852 сағат бұрын
Wanaume wa siku hizi wataka tushare the responsibility😢😢 I guess Ruto is the reason 😂😂😂😂
@damariskimeu493029 күн бұрын
Nashangaaa wengine wakisema they need a guy who is rich na wengine ata kazi hawaezi jameniiiii
@Phyllis-iz1gr26 күн бұрын
ATI ringtone ako 26yrs,aliimba Pamela nikiwa grade 4,sai am amother,acha uongo man
@charlesngare746617 күн бұрын
Ni kiki siste😂
@AlexKiarie-p5lАй бұрын
Tunafaa tuone place hawa watu hukuwa after three months
@NDIMU-lemmieh25 күн бұрын
I think maggy got someone and she is still there aaaa yuuuu pleeeing😂😂
@learntthisontheinternet21 күн бұрын
Did I hear 'nimekuona nikambuka kiatu😂' The second guy to Maggie
@Jacksonkamau600229 күн бұрын
omg.the first guy is just something else
@AlhagieManneh-d6yАй бұрын
That was a good one I am watching from the United States
@ericothe1st616Ай бұрын
Are you sure,but we are together
@SelectorCeline29 күн бұрын
Me too from wichita,KS
@RehemaChidodo29 күн бұрын
Hi mambo.... Naomba kazi plz help me
@lordclinchi9383Ай бұрын
The second guy to Maggie😂😂... eti nimekuona nikakumbuka kiatu..
@jackkairu5642Ай бұрын
Hiyo comeback ya huyo msee imenimaliza 😂😂 but imepita watu kibao hawakurada
@lordclinchi9383Ай бұрын
Walai ilipita watu hivyo😂😂
@EmmanuelMwambaji-g9s22 күн бұрын
The best Mr Right ni ya TZ,hii apana
@shufaajamil2428 күн бұрын
Enda uko na familia yenu
@georgeogonda712429 күн бұрын
This guy is absolutely mature in his reasoning.
@flowrencebabrahАй бұрын
Agape you got a good man walai
@edithkimeu25121 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂Dr. Ofwee, was it a must to imitate the cutwalk😅
@Ciiraziongal17 күн бұрын
Me I want to meet Dr. Ofweneke one of this fine days. Sambady tag him for me. That will be an oscar for me! I always pray I meet him in person 🎉🎉🎉
@austinebulinda402524 күн бұрын
So here what you choose might reject you and who chooses you can change her mind and reject you again😂
@paulwachira2521 күн бұрын
Acha mi nijitolee nitoe Maggie soko😢😢😢💓💓💓😂😂😂
@gloriapraise331329 күн бұрын
Huyu ni ule aliimba pamela,,hehe,,,his mother took my aunty's hubby akampeleka jehova witness in 2004,the man 😢is no more so kazan unavuna alichokipnda mamako
@AbestaMmoja-wf4ivАй бұрын
Melissa anajijua no wonder amesare😂😂😂😂
@evancelimumba28 күн бұрын
Diana Leo umekaa mpole sana na Ku talk kidogo sana
@FridahMuthoni-g6c24 күн бұрын
im taking this opportunity to appreciate the audience 🥺
@HumphreyRakewaPM27 күн бұрын
ati ione tu ikienda , one thing must kill a man
@VerahKerubo-rh4skАй бұрын
Amazing 😍 show
@dianachepngetich4726Ай бұрын
Gazelle kwani hajatoka soko😂
@ClaireMakale-jf2qo23 күн бұрын
Mimi nilimjuwa nikiwa na 18yr sai niko 38yr na yeye yake haisongi
@elizabethodero8338Ай бұрын
This couple really match they remind me of Salome 🤩🤩
@MkalaNzaka28 күн бұрын
The first guy doesn't knows what he wants unfortunately 😅
@allydavy691921 күн бұрын
Mr right ya tz iko best enough
@Sammy-yg8lk19 күн бұрын
Maggie bn leo uko mpole😂😂😂😂
@3erffeoui8622 күн бұрын
winnie winnie winnie
@stephenmutinda9656Ай бұрын
Ofweneke unapeda kuchekelea wasee😂😂😂
@OchukaGerald-kc5geАй бұрын
Imagine that's how he earns his money 😂😂😂
@bahatiwaeldoret924129 күн бұрын
@ringtoneapoko umekua 26yrs for long omera😂😂😂it is time ufike 30yrs😂😂😂
@kiharathechairman2192Ай бұрын
Kijana amepotea,,,ati anataka mwenye pesa,,basi aolewe,,,,this generation iko na kasoro
@eunicesemere555519 күн бұрын
Mwenye jeans gai anatembea ni km ndio first time kuvaa nkodonkodo
@ghetto_taikun_officialАй бұрын
Pia mimi nadai kufika hello Mr Right akh 🙏🙏..........
@JamesKaren-k7j25 күн бұрын
We ni fala TU ati unataka dem akona doo man hapa SI india
@jackspartan254Ай бұрын
kisigino😩😂😂55:08
@rahabgatwiri617827 күн бұрын
Elewa he is Kariuki and Kikuyus are business oriented and wanapenda pesa
@Jacksonkamau600229 күн бұрын
eti boys alifanyiwa mchango,that`s crazy ofweneke
@jacintamueni-l5qАй бұрын
Nyinyi madame mnatakaga nini
@Pro-1234324 күн бұрын
Diana B amekata kuzeeka 😂😂😂
@underratedsindanondogo28 күн бұрын
Wow shelly utapata
@memelord-lr1wy29 күн бұрын
16:34 apoko has actually spit facts 😊!
@kimochieng6514 күн бұрын
😊Amina 🇬🇷
@nbakellyАй бұрын
Ringtone hana content Msiwai mleta
@miriamnyabuto586719 күн бұрын
Ringtone ako na shida ya akili kidogo
@olukayodeogunyemi264628 күн бұрын
The use of vernacular make the show less International. Kenya's franca lingua is English?
@HUMPHREYMBAYI-eo7lwАй бұрын
💓💓💓💓💓💓lack words to express my feelings
@cecil-3019 күн бұрын
Nilijua wanatufool na huyu maggy na gazelle those ladies are actors and i hate fake shows
@mohamedali488426 күн бұрын
Amina❤❤🥰
@mairymairy727321 күн бұрын
Sipendi Mr right ya kenya inaboo
@miriamnyabuto586719 күн бұрын
This guy he's not normal upstairs kuna bonet ziliana kiasi kwa akili
@anngatwiri3155Ай бұрын
Hapana hii show ata huwesi elewa Maggie tuliona akienda kwani anashindanga akirundi apo
@sharondegishaniАй бұрын
Hadi mm ushangaa
@maggieshics2712Ай бұрын
Gazelle na shumuleta name 😂😂😂😂😂
@PrijohKim17-kf3jwАй бұрын
GAZALLLE ALIRUDI TENA KWaNI
@JedidahMorara29 күн бұрын
huyo boy amechukua agape apana🙄🙄
@Star__17-g6iАй бұрын
people mess kwa profile 2
@josephoyoo8391Ай бұрын
😃😃😃😃😃😃huyu anasema nini
@ruthmorondi782428 күн бұрын
Just asking ,is this a new episode ama ni ya kitambo.the reason am asking niiiiii maggy bado ako hapaaaaaaa ana twin wake ama ni look alike wake. Niambiwe tu
@ezekielmusyoka-mx1woАй бұрын
Huyo jamaa wa mwisho anakaaa kama Ako illuminat
@wilfredshoghosho001728 күн бұрын
😂😂😂
@NellyChebet-zo1xo28 күн бұрын
Unajoma
@mannufitzpaul8500Ай бұрын
I hope the one that will premiere is the whole episode cause if it would be the 10-15 mins episodes few people will be interested to watch it
@ruthmugure5339Ай бұрын
Jamilla😂😂😂😂😂
@JamesKaren-k7j25 күн бұрын
Man we uko shule na unahustle wee otek matin
@REGINAHNJERI-g9v28 күн бұрын
Kwany i show ni ya uongo yani hawa watu wanapata wapoa then kesho wako uko
@BelindaAyiekoАй бұрын
Kwani lucy alirudi
@omarmbarak1579Ай бұрын
Raha yamtotos ni umu unde mwenywe sio upate ambayo ishaindwa huyu jama ametupa mbao alikuwa achukue yule mselenda aka unda hiyo Mali hakutaka advise ya mum
@stephenmutinda9656Ай бұрын
Alaf mlete madam new tuenjoy the show
@Lindaa123_c8zАй бұрын
Upcoming KZbin tujuane na ku follow
@Patrickkahindi-y2cАй бұрын
DIANA akue na heshima maana bahati akiona hatakua na raha ata kidogo.Ofweneke ebu kua na heshima bana acha kumhug ivo
@userkemmy29 күн бұрын
😂😂 huto mwenye anevaa bra ya black akioata mniambie ciz sijafurai na hiyo sura
@allydavy691921 күн бұрын
😂😂😂
@sirmesirme6612Ай бұрын
Lakini kuoa celeb n shda sasa bahati like anaona venye mtu wake anashikwa
@lexienyambura1137Ай бұрын
Why take panadol for his headache?💁🏽♀️
@jeronolevin21829 күн бұрын
English rounded off to kalenjins 😂😂😂by the way Boniface is my uncle 😅😅
@mercychepkorir225624 күн бұрын
C gazelle alikua ameenda
@LydiaKims29 күн бұрын
Womeninmensfield 😂😂😂
@PriscaMwenda-s7o29 күн бұрын
C adi gazelle alikua ameenda na msee wa majuu
@FAHYMAALI-zd8sgАй бұрын
Maggie na gazzel wamekaa sana huku
@veeke19Ай бұрын
Jamilla atawahi pata mtu kweli😅😅
@GjjjgfdddhnАй бұрын
Kakienyeji flani
@janeakeyo268Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hizo ni mawhats lakini
@KinyoroDominic29 күн бұрын
Jamila unakaa caroon
@ruthmugure5339Ай бұрын
Ruth wanted the guy 😢😢😢 she's disappointed
@gwachikelvins630725 күн бұрын
Nipewe number ya Irene alaaaa
@dave-xy4wmАй бұрын
😂😂first guy
@brendamagoma575227 күн бұрын
Hii show ni ya juzi ama kitambo juu Gazelle alienda na nimemuona leo...
Senior Dave , wachana na maagano na shetani. Juzi ulikuwa unalipa doo juu uliagana na waganga .sasa wataka mzee alipe shetani pesa instead ya umpeleke kwa maombi? Sometimes, you act like a confused man. Wacheni kulipa mashetani hamna deni nao. Mungu haitishi pesa juu mali yote ni yake. Ugechukuwa huyu mzee na watoto wake straight kwa pastor content badaye.
@njugunapeter900725 күн бұрын
GUY'S Qwan Tracey alienda wapi...
@rahmakassim197626 күн бұрын
Why does Wendy wear clothes tht expose her😮 bt the ladies look nice😊
@conceptorotiso219729 күн бұрын
Maggie atoke kwa show tumechoka na yeye
@Ianbounty27 күн бұрын
How can I also be at the show and get myself Mrs Right
@Annmainagulfagent27 күн бұрын
I'm here
@Uploads-2426 күн бұрын
Hapo kwa APOKO kama guest HAPANA 🚮🚮🚮🚮
@GalmaTadicha-b4kАй бұрын
wow show iko lit💥💥💥💥
@ricksgaming5548Ай бұрын
Hi nyororo ndio nini jameni
@terrykibe875024 күн бұрын
The first man anatafuta sugar mummy not wife
@TrezaPerisАй бұрын
Hawa madems ni walewale tu kila siku
@judith-ed7kqАй бұрын
Maggie na gazzelle are there for the show hata wanabore
@lizz6555Ай бұрын
huyo jamila anakaa ghost na hiyo makeup
@KinyoroDominic29 күн бұрын
Niliona io
@suzysue435828 күн бұрын
Huwa ananiboo sana
@lizz655528 күн бұрын
@suzysue4358 pia mimi
@christabelotieno263128 күн бұрын
Maggie alishamweka pahali pake@@suzysue4358
@sheshannet5074Ай бұрын
Kwani Maggie, Wendy n gazelle huenda wakirudi??? Can't you just clear that lot n bring in new babes kama hawa wameshindwa kupata men ?? Coz they're never serious anyway .. So choosy !! Am sua there r so many serious gals out there who want to join that show