HELLO MR RIGHT SEASON 05 EPISODE 01 FULL SHOW Featuring Mc Gara B, Aaliyah & Lulu Diva

  Рет қаралды 88,097

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 63
@tabiangonyani3526
@tabiangonyani3526 9 ай бұрын
Nampenda sana Aaliya yupo vizuri sana kwa kuwapa warembo ushauri
@IshimweEmerine-k8i
@IshimweEmerine-k8i 2 ай бұрын
Minapendaka sana show yenu kabisa.
@RachelLaizer-n2p
@RachelLaizer-n2p 9 сағат бұрын
Yani wameendana Mungu mkuu ajuaye yote azidi kuwawekea mkono muishi kwa amani tu ❤
@IreneArbogast-i1c
@IreneArbogast-i1c 10 ай бұрын
Mim napenda kufika hapo mr..right ila sifaham mpo sehemu gani naomban mlielekeze wadau wenzanguu😅😅😅
@MrSmile255
@MrSmile255 8 ай бұрын
Hello I love show just want to advise to reduce background music because it is higher than conversation (It make some boring)
@barackshow6899
@barackshow6899 Ай бұрын
@@MrSmile255true
@MariamJuma-yu7pu
@MariamJuma-yu7pu Жыл бұрын
Aiseee kipindi kizur San Yan mmepatia kuanzia beat Yan good San hongereni
@danielndei5420
@danielndei5420 Жыл бұрын
Nelly ako very beautiful na amevalia poa,...Jacky ako na figa poa kisha mrembo,kisha anakaa demu mtulivu...Florah ako freshy sana,
@PeterMashauri-q2g
@PeterMashauri-q2g Жыл бұрын
Safi sana kwakutulushia kipande chote cha mr right kwa msimu huu mko bora sana zaidi ya sana niwape mauwa yenu
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 Жыл бұрын
Kuna elimu halafu kuna shule huyu ana shule sio elimu😂😂😂😂😂
@PricillaMsafiri
@PricillaMsafiri Жыл бұрын
Punguza iyo beat wakati mkiwa mnaongea inakela
@brianyego-vw1nz
@brianyego-vw1nz Жыл бұрын
Mtoe hiyo background music hatuskii vizuri
@doreenjuvenus3825
@doreenjuvenus3825 Жыл бұрын
Uyu mister lighth ni andsome sana angekubali kunyoa yuko pw sana jaman we kaka me nimekupenda bule
@MariamAbdullah-q6x
@MariamAbdullah-q6x 12 күн бұрын
Mm niko kenya naitaji mwenzangu naweza kupata
@sambicharles3378
@sambicharles3378 10 ай бұрын
Zarish unazingua
@WABAPRO
@WABAPRO 11 ай бұрын
Background sound Ina sumbua next time muipunguze kiasi
@francisniyokindi6737
@francisniyokindi6737 Жыл бұрын
Napenda diva jinsi anapenda vaa🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@KhalidNassor-qh9mc
@KhalidNassor-qh9mc Жыл бұрын
I'm so a proud with this episode I give you congratulations mr
@DavidSondela
@DavidSondela Жыл бұрын
Kuku wa kufuga hanunuliwi sokoni .
@linatasks4837
@linatasks4837 10 ай бұрын
Liked Hamas & Davis match, the fact that Hamas has interest and can do make up and do hair
@HusnaOmarry
@HusnaOmarry 4 ай бұрын
Naomba kuuliza swali kuna limit ya umri au,na je vigezo vya kuingia ni gani??
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 Жыл бұрын
Jamanii tuleteeni mwijakuuuuuuu🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️
@UpeenduIvantibu-dd6nh
@UpeenduIvantibu-dd6nh Жыл бұрын
Alijua je kama anapelekwa kwa waganga kama yey huwa haendi😂😂😂😂😂😂
@CathyPhillip-jg4zt
@CathyPhillip-jg4zt Жыл бұрын
Lkn mkaka wa nywele Handsome❤
@donseifbashraf5559
@donseifbashraf5559 Жыл бұрын
Jaman mhhhhh hii mbn kama maigizo
@happynazalenonazalenomndew5990
@happynazalenonazalenomndew5990 10 ай бұрын
Hyo frola kakusanya kijiji kizm cha nyumbn kwao ndo maan
@BJOHNMAUSA
@BJOHNMAUSA 10 ай бұрын
My Goodness, so beautifull
@RenzoJofre-my9lz
@RenzoJofre-my9lz Ай бұрын
I love show
@danielndei5420
@danielndei5420 Жыл бұрын
basi ndio mtupunguzie background track watu wakiongea, inaudhi sana
@FaudhiaNjombi
@FaudhiaNjombi Жыл бұрын
Ni kweli had wanafungag ndoa au utan
@zubedamae-ro1jx
@zubedamae-ro1jx Жыл бұрын
Naezaje pata MR RIGHT wangu jamn nipo kenya plz
@tabiangonyani3526
@tabiangonyani3526 9 ай бұрын
Njoo Tz
@ivannoahbenjamin6083
@ivannoahbenjamin6083 11 ай бұрын
tunataka muendelezo mbona mmekawa sana kuiweka yote full
@rosemery3017
@rosemery3017 Жыл бұрын
Mnauhakuka huyu ni m tz au ni mrundi!?🙄😩🤔😆
@Lidiakomba
@Lidiakomba 9 ай бұрын
Je kama anamwanamke mwingine mana anaonekana ni baba mwenye familia yake
@godfreyzenda9027
@godfreyzenda9027 8 ай бұрын
Sijapenda kumkataa mtu kwa hukumu ya jumla (kabila, dini, nk)
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
Bora mlivoamua kutuwekea full 🥰🥰
@MariyaFabiani-vb9tt
@MariyaFabiani-vb9tt 7 ай бұрын
Hello mnapatikana wapi
@adamjosephkatigizu19
@adamjosephkatigizu19 Жыл бұрын
Kaka Ngara B kwel hizi ndo zinadumu ama nimaigizo tu mnafanya kama biashara ya sanaa?
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 Жыл бұрын
Garage B sio ngara B lol
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Жыл бұрын
Hakuna ndoa hapo zinaa tupuu
@happynazalenonazalenomndew5990
@happynazalenonazalenomndew5990 10 ай бұрын
​@@nahlahassan-fd6le mie meshuhudia ndoa ya mmoja wapo kwa hao na mc alkua hyo hyo gara b
@Mery-st4nu
@Mery-st4nu 9 ай бұрын
Minilijuwa ngara mton kumbe anasema gara b😂😂😂​@@subrynerysegerow1323
@tabiangonyani3526
@tabiangonyani3526 9 ай бұрын
Pia umekosea cyo gerage B ni Garab​@@subrynerysegerow1323
@JaniceWangari-x4r
@JaniceWangari-x4r 11 ай бұрын
Mm nataka kuja huko naweza fika aje huko.
@gladysmusimbi5848
@gladysmusimbi5848 Жыл бұрын
I missed Lulu diva.watching from Kenya
@atomphoton5000
@atomphoton5000 Жыл бұрын
Sasa mumepevuka kuweka hizi Episode live na vinaenda kimataifa vipindi vyenu vitakuwa sana
@KizitoHusen
@KizitoHusen 6 ай бұрын
Muongo huyo
@georgeolunga5952
@georgeolunga5952 Жыл бұрын
Nikweli 😢
@Shamsaamour-l4p
@Shamsaamour-l4p 5 ай бұрын
Judges mnaongeaa sana 😢show ndefuuu
@kibibiibrah2854
@kibibiibrah2854 6 ай бұрын
Not the girls being delulu😂
@Eddyx21
@Eddyx21 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂dahhhh 2:15:40
@scholasticalaurent1542
@scholasticalaurent1542 Жыл бұрын
Wakati wa kuongea tunaomba hako kamziki mkatoe kanaumiza masikio tunataka tusikie sauti peke yakeeee
@shangweyussuf640
@shangweyussuf640 Жыл бұрын
Advocate my foot!!!
@justviewtv
@justviewtv 11 ай бұрын
it is not right to keep the girls waiting for over 30 minutes standing for unstructured introductions... who is the guest here? i mean the host talks too much. what has happened to the guest?
@marthageorge5043
@marthageorge5043 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@lydiahkerubo4985
@lydiahkerubo4985 Жыл бұрын
Huku lnaka soko heri kujitafutia mtaaa hila usijari utapata mke mwema
@kadhyanassor5046
@kadhyanassor5046 11 ай бұрын
Huo mziki mgetoa unazingua
@veekid
@veekid Жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@abduljoshi38
@abduljoshi38 10 ай бұрын
The show is good but you guys are making the show about you the host is not doing a good job kabisa hajui hajui hajui kuweka suspence making the show extremely boring jamani we need to watch wenzetu wanafanya vipi hizi show hata wakenya tu wametuzidi mara elfu daaah producer director hamuoni hiliiiiii ahhhhh 😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 79 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 651 М.
This Gen Z bachelor made Mum Getrude angry | Hello Mr Right KE
8:56
StarTimes Kenya
Рет қаралды 194 М.
UNAYAJUA MAHABAT WEWE! ONA HAPA SASA.
10:00
Hello Mr Right Tanzania
Рет қаралды 439 М.
Muhuhu wa gutabanio kwa mogaruruku ndundu-ini ya maminista.
25:17
KAMEME OFFICIAL PAGE
Рет қаралды 1,7 М.
The shy girl declared her love to Alex on the show || Hello Mr.Right
18:56
StarTimes Official
Рет қаралды 1,6 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 79 МЛН